Search This Blog

Thursday 27 October 2022

ONE DAY YES - 1

 http://pseudepigraphas.blogspot.com/2019/12/one-day-yes.html

    IMEANDIKWA NA : MOONBOY



    *********************************************************************************



    Chombezo : One Day Yes

    Sehemu Ya Kwanza (1)



    ONE DAY YES ni msemo unaotafsiriwa kua IPO SIKU YATAKWISHA kwa maaa ya kwamba mtu huyo anaesema hivyo yupo katika hali ngumu ya kimaisha au misuko suko ya hapa na pale.

    Msemo huo ni msemo unaotaamkwa na mtu mwenye shida ya kimaisha hivyo kila siku lazima mtu huyo aseme ONE DAY YES kwa maana ya kwamba IPO SIKU NA YEYE ATATUSUA kama wenzake,



    Kijana mdogo huyu alieitwa RASHIDI TUNDI KINGAZI MWENYE UMRI WA MIA 21 alizaliwa katika kijiji kimoja kilichopo mkoani TANGA kiitwacho PANGANI KIKOKWE ni kijijini sana huko, Kijana huyo alikua ni mtoto wa mwisho katika familia yenye watoto wanne (4)



    WA KWANZA NI KAKA YAKE ALIOPO MJINI ARUSHA NA ANA PESA KIASI FULANI LAKINI HATUUJUI MSAADA WAKE KATIKA FAMILIA....



    NA WA PILI NI KAKA YAKE PIA, AMBAE WANAISHI WOTE KIJIJINI KWA KULIMA MAZAO KWA PAMOJA ILI KUMSOMESHA DADA YAO...



    NA WA TATU NI DADA YAKE NA RASHIDI AMBAE KWA SASA BADO ANAENDELEA NA ELIMU YAKE YA CHUO HUKO DAR, KATIKA CHUO KIMOJA KIITWACHO mlimani city KWA UDHAMINI WA SERIKALI NDIO MAANA KAENDELEA MPAKA HUKO ILA BILA HIVYO ANGEISHIAGA DARASA LA SABA KAMA MDOGO WAKE RASHIDI......



    NA MTOTO WA NNE NA WA MWISHO NDIO HUYO RASHIDI SASA AMBAE NDIO ANATUELEZEA YALIOMKUTA MPAKA SASA HANA NDUGU WALA NINI, ILA KIJANA RASHIDI NA NDUGU YAKE JUMA WAMEOA WOTE.... ILA HATUJUI HUYO WA MJINI



    LAKINI CHA AJABU KIJANA RASHIDI ANAKUJA KUA TAJIRI MKUBWA KULIKO....JE? ATAUPATAJE HUO UTAJIRI???



    ........ HEBU ANZA RASMII KUISOMA HIII ??? STORI



    ~KATIKA STORI ZOTE NILIZOANDIKA HAKUNA NILIOIPENDA KAMA HIII, MAANA INA MAFUNZO JUU YA MTU ANAEKWENDA MJINI~



    TWENDE KAZI NA KASTORI KETU

    ??



    Tulikua shambani mimi na kaka yangu juma, tukiwa katika mapumziko ya kupata mihogo ili tuendelee kulima vibarua vya watu, Wakati huo mke wangu na mke wa kaka yangu walienda kutafuta kuni, kwa ajili ya kurudi nazo nyumbani maana ndio wametuletea chochote cha kukazia tumbo....

    "unaskia broo?"

    "sema?"

    "mi nafikiria kwenda mjini kwa broo"

    "nini? ivi una akili wewe? nakuuliza una akili wewe?"

    "kwanini sasa?"

    "yaani unajua kabisa familia yetu yote inatutegemea sisi afu tena unataka uende mjini? unawaza nini mdogo wangu eee?"

    "sawa kaka mimi najua kua familia inatutegemea sisi wawili tu, ila tutaendelea kupiga vibarua mpaka lini?"

    "mdogo wangu mdogo wanguuu achana na imani potofu, mbona maisha yanaenda tuuu? Hebu fikiria kaka yetu mkubwa alivyotutelekeza tunamsikia tu kwenye maredio akitangazwa kua tajiri wa tanzania nzima lakini sisi ndugu zake tunateseka tuuu"

    "sawa mimi sikatai lakini wacha nami nikayajaribu maisha ya mjini"

    "mmhh haya ongea na wazazi kwanza lakini"

    "nitajaribu..ila wakikataa mi natoroka"

    "nini? acha ujinga... utakuja kuachiwa laana bure Omba kwa hekima zote ukubaliwe"

    Basi tulikua tukishauriana na kaka yangu, ili nijue nitaondokaje kijijini... basi tuliendelea kulima heka za watu ili tupate chochote cha kutuwezesha kiasflani katika maisha.



    Tulilima pale kwa muda na wake zetu walikua wakitusubiria ili tuondoke wote,....



    "mama said nenda tu nyumbani si unaona una mtoto mdogo huyo?"

    Mke wangu alikua ana mtoto mdogo ambae kazaa na mimi... yaani mtoto wangu mimi

    "bwana baba said twendeni bwana"

    "hapana, kwani sisi hatutaki kuacha kitu hapa"

    Mara broo akaingilia kati na kusema

    "aaaaa muache tu kama hataki kwenda"

    "hapana bwana kaka ana mtoto mchanga sana huyu"



    Kutokana nabkung'ang'ania kwa mke wangu Nilibidi nitulie tu maana kagoma kwenda mwenyewe, Ila hata mke broo nae yupo, hivyo nilimuacha tu......

    Basi tuliendelea kulima pale huku tukipiga stori za hapa na pale ili jembe litembee vizuri... na mimi nilikua nalima balaa yaani kwa siku nusu heka inaisha hivi hivi yani..... ila sema tu pesa wanazotulipa ni chache sana hivyo duuu haikidhi mahitaji kabisa,

    http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Basi ilifika mpaka mida ya saa 7 hivi tuliweka majembe begani na kumpigia bosi alietupa kazi.. kisha akatutumia elfu 15 kwenye M-pesa.. ila ni baada ya kumuambia tumemaliza nusu heka yake...

    "Yaani broo eti nusu heka tunalipwa elfu 15 kweli????? Eeee mungu seidia tu"

    Tulikua tukilalamika juu ya kipato tulichopewa na boss, maana kazi ilikua ni ngumu afu malipo madogo.. basi malalamishi yetu hayakuseidia kitu na wala hayajambadirisha mtu



    Muda huo wa saa saba juu ya alama na muda huo jua lilikua likiwaka vibaya mno... hata kijijini kwetu hakuna hata mazao ya maana

    Tulikua katika moja ya njia yetu ya kila siku, Na wakati huo mke wangu na mke wa broo walikua mbele wakiwa wamebeba kuni kichwani...



    nilimsikitikia sana mke wangu maana ana mtoto wa miezi 6 tu.. yaani mke wangu hata uzazi tu hajala kabisa yaani alibahatika kula kuku mmoja tu, katika uzazi wake na pia hakuna mtu aliemseidia, kwani kipindi hicho mama angu alikua anaumwa. na dada yangu yupo shule dares lam, yaani mimi dio nilikua karibu na mke wangu kwa kumtunza uzazi nini na nini... daah nazani mnajua hivyo tusiliongelee sana....



    Mke wangu nampenda sana tena toka alivyonizalia mtoto ndio nilizidi kumpenda zaidi pamoja na saidi wangu



    Sasa wakiwa wake zetu wapo mbele na sisi tulikua nyuma.. hio ni baada ya kuvuka korongo moja hivi lenye kupitisha maji machache sana...

    Nilichomwa na mwiba mkubwa tu mguuni... maana vijijini kutembea peku sio jambo la kushangaaa



    Sasa ikabidi nichuchumae ili niutoe ule mwiba maana damu nyingi zilikua zikitoka,

    "nini rashidi? umefanya nini tena?"

    Ni broo wangu aliniuliza kihivyo

    "ni mwiba tu usjali kaka"

    Basi tuliseidiana kutoana na wakati ho nae mke wangu kaja mbio huku akiuliza kuna nini. Alipoona damu zinatoka kwangu ilibaki tu kidogo azimie afu na vile alikua ana mtoto mgogoni sijui ingelikuaje kwakweli....



    sasa baada broo wangu kumzuia na kumueka chini... nilimuelezea kilichotokea huku nikijitahidi kusimama... basi niliutoa mwiba ule kisha nikawa najitahidi kusimama... basi tukaanza kupiga hatu za kuelekea nyumbani, Sasa kabla sijamalizia hatu kadhaa niliskia

    "vuuuuuuu"

    Kwa nyuma yangu, lakini sikuona mtu kabisa

    "broo we ndio merusha jiwe huku nyuma?"

    "jiwe? saa ngapi nilishika jiwe?"

    "au ni wewe shemu nini?"

    Nilimuuliza mke wa broo kiutani tu. sasa kabla sijapiga tena hatua niliskia tena ile sauti.. ya mtu kupita kwa spidi nyuma ya mgongo wangu



    "Broo tuache masihara bwana mbna mnarusha mawe?"

    "nani karusha mawe wewe?"

    "ok poa twendeni"

    Tulianza safari huku tukipiga stori za hapa na pale



    Lakini ghafla niliguswa usogoni mithili ya mtu alienisodoa...

    "aiseee broo mbona mi sielewi?"

    "nini wewe?"

    "nani kanigusa kwa nyuma?"

    "sasa mimi nipo mbele nitakugusaje kwa nyuma?"

    "eeeehh??"

    "Eeenhh eee eee Eeee nini sasa?"

    "eeee?"

    "nitakutia makonzi rashidi sitaki mchezo"

    "eeeee?"

    Sasa ilikua naitikia tu eeee bila kujielewa kua ninachokifanya sicho

    Ilifikia mahari nimelitupa jembe kisha nikaanza kurudi nyuma tena nikielekea kle korongoni tulipo papita mwanzo

    "we chidi unaenda wapi uko?"

    Nilikua simsikilizi mtu huku bado nikiwa naitikia eeee kama vile kuna mtu alikua ananiita hivi...

    "we chidi twende bhana unaenda wapi huko?"

    Mara mke wangu akamuuliza broo

    "ana nini yule?"

    "mi sijui ndio namuoa sasa hivi"

    "sasa si umfatilie jamani shemeji"

    "aaaa huyu ana utani sana uyu usikute anatuchezea tu"

    "jamani shemeji nenda kamuangalie"

    "au anaenda kunywa maji nini?"

    "mmhh toka lini akanywa maji ya korongoni?"

    "mi sijui kwani si mumeo"

    Sasa nilipokua naeda kulikua na korongo kubwa tu...ambalo nikidondokea huko basi na kifo ni huko huko...

    Nilifika hadi mwisho wa lile korongo... yaani nikipiga hatua tu basi tena na sitokua mimi tena...

    Sasa nilipofika hapo nilishindwa kujua pa kuelekea hivyo.. nilibaki tu nikiwa nimesimama pale



    ghafla Kulidondoka jani la mti lakini sio jani kama jani... bali lilikua na ujumbe fulani..

    Nililiokota na kulifungua kwa haraka

    Heeeeeee nilishangaa kilichoandikwa humo kwenye hicho kijani

    Eti kimeandikwa hivi

    "usi.................



    Nilikua naogopa hata kufungua ile barua ya majani.. ila nilijikaza tu kiume huku nikittetemeka vibaya



    Niliifungua ile barua na kuanza kuisoma.....

    Heeeeeee nilishangaa kilichoandikwa humo kwenye hicho kijani

    Eti kimeandikwa hivi

    "usiende mjini"



    Kiliandikwa hivyo tu basi. na hapo hapo kikanipotea kile kijani chenye ujumbe. Nilishidwa kuelewa kua ni nani kaniambia hivyo.... sijakaa vizuri mara kijani kingine kilikuja..

    Kikiwa kimeandikwa hivi

    "usimuambie mtu"http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Kisha kikapotea pale pale mkononi mwangu.... Mara nilivutwa na broo na kurushwa huko pembeni..

    "aaaaa sasa si utaniumiza broo"

    "acha majanga wewe.. ulitaka kujiua pale si ndio?"

    "nijiue kwa mpango gani sasa?"

    Ilikua naongea lakini sina raha kwa meseji zile nilizozisoma muda sii mrefu...

    "haya sasa ulikua unataka kufanyaje pale?"

    Mmhhh nakumbuka niliambiwa nisimuambie mtu

    "aaaa hamna kituuu wala"

    "si unaona shem? mi nilikuambia ana masihara sana huyu mmeo"

    Basi tuliamua kuondoka zetu...

    lakini cha ajabu na cha kushangaza ule mguu nilioumia ulikua hauna kidonda tena... yaani kama vile sikuumia vile

    "broo mbona sina kidonda tena?"

    "aaaa ebu twende bhana nimechoka na mambo yako"

    Nilikua nasema kweli ila yeye anaona ni utani. ila ni kweli kile kidonda hakipo tena, yaani utafikiri sikua nacho vile

    basi tulikua tunakaribia nyumbani kwetu... huku mke wangu na mke wa kaka wakiwa mbele kama kawaida yetu.....



    Tulifika nyumbani na kila mtu akaingia geto kwake, kwa ajili ya kupumzika kidogo ila mimi akili yangu ilikua ikiwaza kwa ile meseji niliopewa kule korongoni, sasa najiuliza ni nani kanipa ile barua??

    Nilijiuliza sana lakini bado sipati jibu, Basi nilipumzika pale kidogo Ila sikulala sana kwani nilishtuliwa na sauti ya mtoto akilia

    "aaaaaa nini tena mama saidi?"

    "jamani mtoto anasumbua"

    Nilimuonea sana huruma mke wangu maana alikua akifanya kazi huku mtoto akimsumbua, hivyo nilichukua jukumu la kumchukua mtoto wangu na kutoka nae nje ili mama ake afanye kazi....



    Nilipotoka nilielekea nyumba kubwa, yaani hapa nikisema nyumba kubwa ninamaanisha kwa wazazi kule, maana hapa nilikua geto,

    Basi nilipofika nilimkuta broo na mama pale wakiongea yao, Nilikaa nami nisikilize mawili matatu ila zumuni langu ni kumgusia mama katika swala la kwenda mjini, Baada ya wao kumaliza maongez nami nikaanza na yakwangu......



    "sasa mama?"

    "nini mwanangu?"

    "mimi nina wazo kidogo"

    "wazo gani? hebu sema tulisikie"

    Mmhhh nilikua nasita kuongea ila najua tu hatokubali kabisa yani, maana katika hii familia sisi ndio tunategemewa kwa kuilisha familia...

    "mama mi nataka niende kwa broo"

    "Eti unasemaje? kwa broo yupi huyo?"

    "si kaka hatibu"

    "yaani rashid mwanangu huna hata wazo lolote unalowaza kuhusu familia,..... sasa sisi tutamtegemea nani humu ndani Eee? toka baba yako alipo fariki dunia... mpaka leo hakuna mtu anaetulisha kama sio wewe na kaka yako? mimi sikubaliani kabisa na wazo lako"

    "mamaa kama ni chochote mimi nitarusha mama niache nikajaribu na mjini napo"

    "nakuambia sitaki"

    "lakini mamaa hujanitendea haki kabisa"

    Kiukweli nilimbembeleza mama angu lakini wapiiii yaani hataki kabisa, Tulijitahidi hata kuongea na broo ili alizike lakini pia wapi...



    Niliondoka pale na kumpeleka mtoto kwa mama ake.. kisha nikaenda kwa bibi kuongea nae...

    Nilifika kwa bibi kisha nikamtoa kama na buku 2 ya ugolo ili nimlainishe na yeye..

    "sasa bibi?"

    "umeshaanza mambo yako tena? haya unasemaje?"

    "amna bibi wala sina tatizo lolote"

    "wataka nini?"

    "sasa?? nataka ukaniombee kwa mama pale"

    "nikakuombee nini sasa?"

    "bibi mi nataka nikajaribu maisha na kungine"

    "kivp sasa mbona sikuelewi mjukuu wangu?"

    "bibiiii mi nataka niende mjini kwa kaka hatibu"

    "weee mtoto wewe? uende mjini na familia yako nani ataiangalia Eee? mimi mwenyewe nawategemea nyie wajukuu zangu mnanipa hata ya ugolo afu leo unasema waondoka? Aa hapana mi sikuruusu uende"

    "bibi kama ni chochote nitatuma tu msijali"

    "hata kaka yako alipoondoka mwaka 2002 mwezi wa 9 alisema hivyo hivyo lakini matokeo yake hatumuoni hadi leo"

    "huyo ni yeye bibi.. naomba tu mnikubalie ombi langu bibi"

    "heeeeeee sasa ndio unalia?"

    Nilikua natoa machozi ya uongo na kweli ili ajue kweli nataka kuondoka kwenda mjini hivyo,

    Bibi aliniangalia na kunihurumia sana, na kama unavyojua mapenzi ya bibi yalivyo. hua hapendi mjukuu wake aumie pasipo na sababu yeyote

    "haya basiii niongeze ya ugolo hapa nikaongee nae"

    Nilinyanyuka na kutoa buku mbili tena, kisha nikampa bibi ili akaongee na mtoto wake ambae ni mama angu....



    Baada ya hapo bibi alichukua mkongojo wake na kuelekea kwa mama.... sasa nikaona bora niondoke hapa ili niyakute matokea ila sio niyasubirie



    Nilitoka pale nyumbani kwa bibi na kuelekea mtaani.. mida hio ilikua ni mida ya saa 10:30 jioni Wanafunz walikua wakirudi mashuleni.. nikiangalia hivi hua natamani kua mwanafunzi. kwani kama sio ugumu wa maisha basi leo ningelikua nipo kidato cha 3 ila daah ndio hivyo sasa, Nimefaulu vizuri sana tena kwenye matoke yangu ya darasa la saba nilipata Grade B yaani ni kiwango kizuri kweli, lakini kwa bahati mbaya wazazi wangu walikosa pesa ya kunisomesha hivyo ilifikia mahari mpaka niliuza jina langu kwa mtu aliofeli mtihani.. ili tu nipate kiasi cha pesa kwa kuendeleza maisha....



    "oyaaa rashidi? we rashidi?

    Daaahh alikua ni rafiki yangu mmoja niliekua nikisoma nae shule ya msingi,

    Hata hivyo sikutaka kuonana nae kwasabu ni aibu kwa upande wangu..

    "vip rashidi? ulikua unaninyamazia au ni mawazo tu?"

    "daaa josee? mimi hapa nilipo sijiskii tena kua mtoto au kijana mdogo, kwani tayari najihisi nimeshakua mdingi wa makamo kutokana na haya maisha yetu ya tanga"

    "hapana chidi wala usikate tamaa kiivyo, mbona we bado ni mdogo sana? au unajihofia kua una mke na mtoto?"

    "wala tu sio hivyo josee ila ni majukumu nilionayo mimi.. sidhani kama hata huyo mtu mzima atakua nayo kwakweli"

    "chidiiii sio wewe tu mwenye maisha magumu tuu. tena bora hata wewe unaepata hata milo miwili kwa siku...ila kuna mwenzio hajui hata harufu ya chai.. kwa maisha yake yalivyo magumu"

    "aaaa sawa nashkuru kwa ushauri wako.... ila nina mpango wa kubadiri upepo"

    "umeona sasa??? kumbe una mawazo ya mbali. wakati kuna mwenzi hawazi hata kupanda baiskeli..eee? kuna mwenzio anaisikia mjini kwenye redio tu.. kuna mwenzio haisikii hata harufu ya mjini.... chidi rafiki yangu nakuomba sana USIKATE TAMAAA maana ipo siku na wewe UTATUSUA tuuu... vp kwani unaondoka lini?"

    "aaahhh bado sijajua ila nilimuambia maza lakini naona hataki.. na nimeongea na bibi muda si mrefu.. ili akaingee nae. sasa sijui kama atakubali au vp?"

    "Usijali chidi huyo lazma atakubali tuuu... ila utaenda na mkeo?"

    "mmm hapana kwakweli ila nitamuita kama mambo yatakwenda sawa"

    "mmhhh poa ila ukienda kua makini sana rafki yangu si unajua una familia?"

    "usijali josee nitawakumbuka tuu"

    Mara simu yangu iliita... niliitoa na kuangalia alikua ni mmoja wa maboss zetu wanaotupaga mashamba ya kulima.... niliipokea

    "haloo mzee shkamoo?"

    "marahaba kijana hujambo?"

    "sijambo mzee wangu. vp una kazi?"

    "Eee ila nilimpigia kaka yako juma hapatka vp?"

    "aaaa labda sumu yake itakua imeisha chaji"

    "ok sasa? kesho nendeni kwenye shamba yangu ya mkonge... mlimie vizuri kama trekta.. maana nataka kupanda mahindi pale afu ile mikonge mkisha ichimbua muiweke mahali moja sawa?"

    "sawa mzee nimekuskia..ila sisi hatuujui mpaka wa shamba lako vp sasa si uje utuelekeze mipaka kwanza?"

    "aaahh usijali mimi nipo mbali ila mama razaki atakuja kuwaelekeza"

    "sawa mzee tunashkuru mzee wangu"

    "sawa ila hakikisheni mnachimbua kama trekta sawa? na ikiwa sivyo siwapi pesa"

    "usijali mzee yaani tutachimba kama mifereji ya maji mzee"

    "heeeeeeee mifereji??? ivi unaakili wewe? mifereji kwani una una unaaa kama hutaki kazi useme nikuache ufe njaaa"

    "basi mzee nisamee ni utani tuuu"

    "haya msichelewe lakini?"

    "sawa?"



    Daaahh tulimaliza kuongea vizuri kisha simu ikakata

    "umeona maisha haya josee? yaani unapewa kazi na mikwara juuu"

    "sasa utafanyaje chidi? ila mi nakuaminia lazima utoboe (utoke kimaisha)"

    "daahh poa bhana... sasa mi naomba nikuache uwahi nyumbani nami nikajue michakato mizima ya familia yangu, si unajua?"

    "yaaaa poa basi mida"

    "poa Asee jose"

    http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Ilikua ni mida ya saa 12 kasoro jioni hata safari ya kuenda kitaa iliisha hivyo nikawa narudi taratibu nyumbani.... ila nilianza kupitia kwa bibi kwanza ili nione kafikia wapi.. Nilimkuta bibi anatupia tu ugoro Hivyo nikakaa pale na kumuuliza kuuhusu jambo nililomuachia

    "bibi mbona unacheka?"

    "niongezee kidogo mjukuu wangu"

    "aaaa bibi si unajua hata mafuta ya taa sina?"

    Bibi alitaka nimuongeze hela ya ugoro duuuu

    "hayaaaa eee ndio wataka kulia?"

    "eeee mana staki kukudanganya bibi yangu"

    "haya nilikuambia hilo ni jambo dogo tu"

    "Eeeh unasema? unamaanisha kakubali?"

    "jiandae tu mjukuu wangu... ila usikose kunitumia ya ugolo"

    "bibi? unasema kweli kakubali?"

    "ndio we nenda ukamalizie tu"

    Nilikurupuka pale hata bibi sikumuaga na kuenda kwa mama angu ili kujua kama ni kweli kakubali....

    Nilimkuta mama angu analia ila sikujua analia nini

    "mamaa? mamaa? mama nini tatizo?"

    "mwanangu? nakulilia wewe tuu maana wewe ndio kiziwanda wangu wa mwisho.. sasa naogopa usije ukazami kama kaka yako"

    "mamaaaa mi siwezi kufanya hivyo eee? naomba unyamaze mama angu sitowatupa kweli?"

    "mwanangu chidi nakupa baraka zote ila usitusahau wazazi wako mkeo mwenye mtoto mdogo... usije ukadanganywa na mihadaiko ya dunia"

    "usijali mama lazima niwakumbuke tuu"

    "nakuombea mwanangu"



    Daaahh nilifurahi sana kuskia hivyo kwani nilijua angekataaa.. nilitoka mbio na kuenda geto kwangu huku nikiwa na furaha ya hali ya juu

    "mke wangu mke wanguuuuuu hahahahaha nimekubaliwaaaaa"

    "nini wewe baba said?"

    "aaaahh we acha tu.. yaani safari imewivaaa"

    "safari? safari gani?"

    "Oohhh shiti kumbe skukuambiaga?? ooo naomba unisamee mke wangu.. kwani nia yangu ni kuwaomba wazaz kwanza afu ndio nikuambie"

    Heeee mara mke wangu akaanza kulia

    "iiiiii iiiiii uuuuiiii yaani chidi unataka kunitorokaaa"

    "hapana hapana batuli mimi sifanyi hivyo?"

    "sasa kama sio ni nini? si tayari ushaaongea na wazazi wako sasa mshaelewana...ndio unakuja kuniambia mimi"

    "noo mke wangu usilie basi"

    "kwani tutaenda wote?"

    "mmm hapana"

    "umeona sasa unanitoroka chidi"

    "mke wanguuuuuu naomba utoe hilo wazooo kabisaa"

    "chidi chidi chidi tumetoka mbali afu leo hii unanitoroka? kumbuka nimeacha shule kwa ajili yako chidi"

    Nilijikuta nami naanza kulia tuuu kwa uchungu wa maneno yake Nilishindwa cha kuongea juu ya hilo kwani hata mimi huruma ya kumuacha mke wangu ilinijia ghafla tuuu



    Basi kwa pale hatukuelewana kabisa maana kila mtu alikua ana ghazabu zake...

    Alipika chochote tukala kisha tukalala zetu.... Siku hio nilikua na hamu ya naniii duuu maana toka mke wangu ajifungue mpaka leo ni miezi 6 sijawahi kugusa mzigo wa mke wangu tena...

    Nilijaribu kumuamsha ili kama atakubali

    "mama saidi, we mama saidi?"

    "mmhhh?"

    "vp sasa?"

    "vp kuusu nini?"

    Sikusema kitu bali nilianza kumpapasa mapaja na kushika kiuno chake, huku nikimtekenya tekenya kimahaba

    "bwana chidi bado mtoto ni mdogo wewe"

    "aaaa mke wangu usifanye hivyo"

    "sitaki bwana niachie.. tutamuumiza mtoto"

    "aaaa msogeze hukoo ili tusimguse"

    "sio hivyo mume wangu... tukifanya mapenzi tukiwa na mtoto mdogo sio vizuri"

    "we muongo wewe... kwan ni nani kakuambia?"

    "si mama angu?"

    "mmhh we sema hutaki tuuu"



    "haya basi njoo ila ujue mtoto wako hatotembea maisha yake yote"

    "Eti nini? weeed ninavyompenda mwanangu hivyo..tena natamani atembee hata leo hii afu unaniambia hatotembea??? kama ni hivyo basi staki we lala zako tu"

    "aaa kama wataka chukua ila kasaid chako katabaki chini maisha yote"

    "sitaki bwana nishagaili.... ila nina hamu hio mke wangu.. kwani we huna?"

    "ninayo tele"

    "sasa mbona hata huniombi"

    "kwani si ninajua madhara"

    "mmhhh haya... ila nina hamu hio duu"

    "utajiju mi mwenzio najikandaga na maji ya moto"

    "haaaaaaa sasa si bora wewe mimi je?"

    "sikia mume wangu... nakuruusu chepuka mara moja tu ila usizoee"

    "aaacha utani batuli"

    "kweli ila utumie kinga"

    "uuuuuuwiiiiii safi sana tuturururu"

    "sasa unaenda wapi?"

    "si naeda kwenye mdumange huko husikii?"

    "sijakuambia uchepuke leo"

    "aaaaaaa mboa unabadirika tena mke wangu?"

    "kesho ila leo laza miguu yako hapa"

    "Eeee yashaakua hayo tena?"

    "lala bwana kwani hadi kesho utakufa?"

    "haya basi mke wangu.... sasa mke wangu?"

    "nini tena?"

    "umekubali kuusu safari?"

    "chidi chidi chidi usinitibue bwana"

    "mmhh basi yaishe"



    Sasa mtoto wa kiume nilijiwa na mawazo juu ya yule mtu alienitumia ule ujumbe kule korongoni.. nilikua nina mawazo sana. kwani hata usingizi ulikua hauji kabisa yani.. Niliwaza sana kuusu yule mtu. maana smjui ni jinsia gani wala ni nani...

    "we baba saidi hujalala tu?"

    "we mbona hujalala?"

    "mi nawaza ukiondoka je nitabaki na nani?"

    "usijali mke wangu... nitakua nakutumia chochote"

    "sasa utanitumiaje?"

    "nitakuachia simu yangu usijali"

    "mmhhh ila baba saidi naomba usinisahau mimi na mwanao"

    "hakuna watu ninaowapenda sana kama nyie wewe na mtoto wetu"

    "sawa nimekubali"

    "saaafi sana mke wangu... haya ndio mafanikio sasa"



    Sasa tukiwa nampongeza kwa kunikubalia kusafiri.. nilikua namyonya denda... lakini ghafla bin vuu kibatali kilizimika na hakukua na upepo wowote ule

    "mbona umezima taa mama said?"

    "mi sijazima jamani.."

    "hebu lete kiberiti..maana hakutakiwi kuwe na giza kwa ajili ya mtoto"

    "nilishika kiberiti lakini cha ajabu mikono yangu ilikua ikitetemeka vibaya mno.. kiaskwamba hata kuwasha kiberiti nilikua siwezi....

    "washa basi mume wangu"

    "mama said mbona sielewi"

    "huelewi nini?"

    Mara kulitokea mwanga mkaliii pembezoni mwa ukuta kisha ikarusha barua nyeupeeee ilioambatana na mwanga mkali sana

    niliachia kiberi na kuipokea ile barua ilioandikwa hivi



    "bado husikii tu? Nimeshakwambia usiende mjini"



    Kisha ilitoweka mikononi mwangu ile barua kisha kukawa giza

    "mama saidi umeona nini?"

    Nilimuuliza mke wangu kama kaona ule mwanga

    "sijaona kitu mbona"

    "Eeee mungu wangu hebu muangalie mtoto wetu yupo?"

    "sasa ataenda wapi? Heeeeeee mume wangu mtoto simuoni"

    http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Nilikua ni muoga saa kuusiana na hili liliotokea muda huu

    Baada ya hapo nilimuuliza mke wangu... maana saa hio palikua ni kiza sana. baada ya kibatali kuzima

    "Eeee mungu wangu hebu muangalie mtoto wetu yupo?"

    "sasa ataenda wapi? Heeeeeee mume wangu mtoto simuoni"

    "unasemaje wewe?"

    "kweli jamani baba saidi mtoto wanguuu"

    "tulia basi utaamsha majiraniii"

    "bora waamke ili watuseidieee"

    Nilifanikiwa kuwasha taa na mwanga ukapatikana

    "aaahh mtoto si huyo hapo"

    "yukuapi mwanangu... ooohhh my god mwananguuu"

    "ila huko alisogezwa na nani mke wangu?"

    "mi sijui ila nashukuru nimemuona"

    Mimi najua tu ni yule mtu ambae simjui...

    Basi tulilala japo ni kwa wasi wasi tu, Ila mke wangu ndio alikua anaogopa sana. kwani alikua amemkumbatia mtoto wake mthili ya ngedere....



    Baada ya usiku huo kupita na sasa ni saa 1:30 asubuhi, mimi nilikua ni mtu mwenye mawazo mengi sana kutokana na kile kilichotokea jana usiku.

    Nilitoka geto kwangu na kwenda kwa broo juma.. ili kumuamsha tukalime vibarua vya watu,

    "broo? broo? broo?"

    "hayupo"

    "za asubuhi shemu?"

    "poa tu zakwako"

    "nzuri tu, vp broo kadaamkia wapi leo?"

    "kaenda kuteka maji korongoni"

    "aaaa ok wacha nimsubiri"

    Niliondoka maeneo yale, maana shemu nishaanza kuona dalili zake, mana namuona anacheka cheka tu... basi nilifika geto na kumkuta mke wangu anampa mtoto uji. hivyo nami nikawa namenya mihogo ili tuchemshe ya kunyea chai ( kitafunwa ).. Nilipomaliza kuimenya niliibandika jikoni kisha nikatulia kwa pembeni, huku mke wangu anamuogesha totooo.... Daahh nampenda sana mtoto wangu pamoja na mke wangu, Yaani nipo radhi nife mimi kuliko wao wote wawili,

    "mke wangu?"

    "mmhh?"

    "nakupenda sana mke wangu"

    "kwanini useme ivyo? au kuna kitu umeota nini leo?"

    "wala tu sema imenibidi niseme tu"

    "bwaaanaa usintekenye ehehehehe"

    Aaaa ilikua ni utani juu ya mimi na mke wangu... Maana shida na matatizo hayawezi kuzuia hata furaha ispatkane ndani ya nyumba, hivyo tulikua tunafurahi mno utafikiri tuna mabegi ya pesa ndani. kiukweli nilikua najitahidi sana katika maisha yangu yote... familia yangu isiijue njaa. lakini havitekelezeki vyote ila vichache tu ndivyo tunaweza kuvipata....



    Basi mihogo iliwiva kisha nikabandika safria ya chai huku mke wangu akiwa kapumzika tuu...

    Baada ya chai kuiva tulikunywa kisha nikatoka na jembe langu pamoja na upanga...

    "aaaa broo na wewe ulikua unatoka?"

    "ndio ila leo wapi leo? maana hujanambia"

    "leo ni kwa mzee makange"

    "aaAAa kule mkongeni?"

    "ndio...ila anataka palimwe kama trekta"

    "Eeeh kama trekta? kaaa kweli hii kazi itatuua asee ndugu yangu"

    "sasa tutafanyaje broo? na kama unavyojua familia yote inatutegemea sisi. hivyo haina budi kufanya"

    "nalijua hilo mdogo wangu, ila kazi za kupewa kwa mikwara tusiwe tunazifanya sawa?"

    "mmh sawa?"

    "sio mmh inabidi na sisi tuwe na msimamo, sio kwakua tunashida ndio tupelekwe kipunda punda bwana"

    "sawa nimekuelewa broo"

    "haya twende basi"

    Tulitoka hapo na kuelekea mkongeni kwa ajili ya kazi.

    "vp mama amekubali ile ishu yako?"

    "ndio bana kakubali lakini bado kuna tatizo juu yangu broo"

    "tatizo gani tena? kama ni nauli si ndio hii tunaenda kupiga kazi?"

    "tatizo sio nauli kakaa"

    "ni nini sasa?"

    Nilitaka nimuambie broo kuusu vile vitu vinavyonijia kila mara. ila nikakumbuka kua nilionywa nisimuambie mtu,

    "aaahh we acha tu"

    "sasa si useme ili tujue bhana"

    "aaa ni mke wangu hua hapendi niende"

    Nilimdanganya broo maana ili asiulize sana

    "aaaa hao ni wanawake tu.. ongea nae vizuri atakubalii"

    "sawa leo nitakaa nae na kumuelezea"

    Tulikua tukiongea huku tukielekea shambani kulima mashamba ya watu, Kiukweli nilikua nina wasiwasi juu ya huyu mtu anaenifatilia maisha yangu, Basi tulifika shambani hapo huku tukimuona mama mmoja kaina akiwa anachuma chuma mboga... Mimi nilimjua maana mzee mwenye shamba alisema mkewe atakuepo kwa kutupa maelekezo ya hapa na pale. Tulimkaribia yule mama na kumsalimia kwa heshma zote..

    "shkamoo mama?"

    "marahaba hamjambo?"

    "hatujambo mama"

    "nyie ndio watu nilioambiwa mtakuja ee?"

    "ndio ni sisi mams"

    "oohhh haya njoeni niwaonyeshe.. ila kulimwe kama trekta sawa?"

    "broo unaskia huko?? haya mama usjali tutalima tuu"

    "huyu mama ntamtia mawe huyu"

    "punguza hasira broo. kumbuka mi sina hata nauli ujue"

    "sema kwa ajili hio tu ngoja nitulie mdogo wangu"

    "tutulie tuuu"

    Basi yule mama alituonyesha mipaka ya shamba lao na kutuachia kazi, huku akitoa maagizo fulani ya hapa na pale kua, mtoto wake wa kike atakuja kuchukua kuni ambazo sisi tutakua tumezivunja....

    Baa ya hapo alichukua mboga yake na kuondoka zake, huku sisi tukiendelea na kazi... Tuliachiwa tulime heka moja, Na sisi ndio tulikua ni majembe tunao aminika kwa kulima mashamba ya watu. kwani heka moja tunailima kwa siku moja tu... tunapiga nusu asubuhi afu tunakuja kigurwa ( marudio ya jioni ) yaani tunakuja na jioni tena kumalizia ngemo ( kipande kilichobaki )



    HIZI ?? NI RUGA ZA KISAMBAA HIZO.. KUNA JAMAA KANIFUNDISHA HUMU HUMU FACEBOOK. SASA KAMA KANIDANGANYA, AISEE MTANISAMEEE JAMANI MAANA MI SIIJUI HIO RUGA. JAPO NAISHI NAO KWETU...



    Sasa saa hio tulikua moto tukilima mshamba huo wa mkonge. Alikuja yule mtoto wa kike ambae tuliambiwa atakuja muda sii mrefu achukue kuni tulizovunja, mtoto wa kike alikua ni mkali ile mbaya... mi mwenyewe nilibaki mdomo wazi kwa uzuri wa huyu mtoto wa kike.. Basi tulikua tunaendelea kulima zetu mikonge, Mara mtoto akaanza kutusalimia kwa wote

    "mambo zenu?"

    Tuliitikia kwa wote afu kwa haraka mno,

    "poa mambo?"

    Broo wangu huaga hanaga muda na wanawake, ila hata mimi pia muda na wanawake hua sinaga kabisa, Basi mtoto alituuliza kwa upole.

    "nimeagiziwa na mamii eti kuna kuni mlizokata?"

    "aaahh ndio ila bado kidogo labda usubiri kidogo"

    Nilikua namjibu huku wenge limenijaa kichwani, maana toto sii haba ni mweupe afu mkali ile mbaya na umbo lake ni la kiaina tuu,

    "sawa nasubiri, Lakini si havitochelewa?"

    "No havichelewi"

    Nilijifanya najua kingerezaaa kumbe ni darasa la saba tuu,

    "sawa"

    Basi mtoto alikaa kivulini huku akichezea simu moja ya maana..



    UNAJUA HUKU TULIPO NI TANGA VIJIJINI KABISA HUKO.. YAANI UKIONA MTU MWENYE SIMU YA SKRINI TACHI BASI UJUE HUYO KWAO MAMBO SAFI...

    http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    basi mtoto alikua katulia zake kivulini akiendelea kupekua pekua mawasapu facebook instagram na vingine vingi, wakati huo naibia kwa kumuangalia kwa chini chini,



    Ilipofika saa 6 mchana mtoto wavkike alichoka kukaa hivyo aliamka pale mtini na kutufata sisi

    "samaani kaka naombeni panga lenu nikate zile kuni pale"

    "ok sawa ila angalia usijikate mamaa?"

    "mhehehehe usijali"

    Basi sisi tuliendelea kulima mshamba wao, Sasa mtoto akaingia msituni kukata kuni. nasi tulikua zetu tunalima kama kawaida ya kazi yetu



    Mara mtoto akaanza kuita huku akiendelea kukata gogo la mti mkavu

    "we mkaka?"

    Aliitikia broo huku akicheka

    "nini we mtoto?"

    "nani mtoto?"

    "aaaa kwaio we ni mkubwa wewe"

    Walianza kukoromeana na broo. maana broo hua hapendi kuzarauliwa kua yeye ni mdogo. saa hio mimi nimetulia kimyaa nawasikiliza tu kimtindo, Waliongea mengi mpaka karibia wagombane..

    "we broo vunga si unajua ni mtoto wa bosi?"

    "aaaaa bosi bosi kitu gani? kama ni pesa ni zakwao sio kutupeleka sisi"

    "vunga basi broo tutakosa pesa eti akienda kusema"

    "nimekasirika sana"

    "haya basi vunga broo"

    "afu we unawaogopa sana wewe"

    Basi tuliendelea kulima hapo huku mtoto akaniita mimi

    "wewe mkaka mwingine?"

    "sema mdada?"

    safari hii Nilimuitikia mimi

    "hili gogo mbona halikatiki"

    "gogo lipi ilo?"

    "liko pale ni zuri kwa kuni"

    "mmhh hebu twende tukalione"

    Basi niliacha kulima na kuelekea huko gogo lilipo

    "aise kaka yako mkorofi"

    "aaamna sema broo wangu hua hapendi kuzarauliwa na mtu ambae sii lika lake"

    "mmhh mwambie mi hua spendi utani wa kijinga"

    "we msamee tu"

    "mmhh wala mimi sina tatizo na mtu"

    Basi tuliifika hadi hapo lilipo hilo gogo na kunionyesha kisha nikaanza kulikata ili mtoto atulie...



    "mmh mkaka una misuli eee?"

    Mtoto keshaanza kidomo domo cha kunisifia misuli ya mikono.

    "asante"

    Sasa mtoto wa kiume nilizidisha bichwa hilooo kwa kusifia kua nina mwili wa mazoezi...

    "afu we mkaka si ulikua unasoma kwenye ile shule pale juu?"

    "eee ndio"

    "sasa vp umeacha au?"

    "apana sijafaulu"

    Nilimdanganya mtoto wa kike lakini nilifaulu vizuri tu tena kwa maksi nyingi sana ila nililiuza jina langu. maana wazazi wangu hawakua na pesa ya kunisomesha hivyo niliambiwa kama siwezi kusomeshwa niliuze... Sasa mtoto alikua ananiangalia kwa jinsi ninavyokata mti.



    Sasa nilipokua nakata ule mti kuna kiuchafu kiliniingia machoni hivyo nikasita kukata na kufikicha jicho kwa uga...

    "una nini we mkaka?"

    "nina uchafu jichonii"

    "mmhh sasa itakuaje?"

    "ebu kalete maji pale kwenye dumu"

    "au nikupulizie?"

    "mnhhh sijui kama utatoka huo uchafu ila jaribu"

    Sasa mtoto akaanza kunipuliza jicho huku akinishika kifua changu ili apate balansi ya kunipuliza... sasa kushikwa kifua na mtoto mlaini kama huyu... Nilijikuta naanza kusisimkwa kimapenzi huku mtoto akiendelea kunipuliza jicho...



    Sasa akapuliza kama mara mbili hivi afu akashusha macho yake mpaka tumboni kwangu na kuangalia jinsi tumbo langu lilivyojitenga kimazoez... mimi nilikua namuona ila sio sana maana bado nilikua napesha pesha macho tu...

    "vp tayari?"

    Aliniuliza mtoto wa kike huku akiniangali usoni

    "bado kidogo tu"

    "ngoja nijaribu tena"

    Sasa nikamtegea ile anataka tu kunipuliza nami nikajipindua kichwa na kusababisha mgusano wa midomo

    "weee mkaka ndio nini ivyo?"

    Alisema hivyo lakini ni kwa upoleeee

    "nisamee dada"

    Nilimuomba msamaa lakini najua nilifanya makusudi

    "usijali... ila una mdomo mlaini mmhh utafikiri sio mwanaume"

    "huo ni utani wa ngumi sasa"

    "kwani si kweli jamani?"

    "kwaio mi nina mdomo kama wewe?"

    "ata wangu wenyewe haukuti wako"

    "basi yaishe"

    Nilimuambia yaishe maana tunapoelekea ni kubaya.... sasa mtoto alikua ananiangalia vibaya mno

    "mbona unaniangalia hivyo?"

    "mmh nauangalia tu huo mdomo wako"

    "inaonekana umeupenda ee?"

    Alitikisa kope za macho yake kuashiria ndio... afu huku kama anaona aibu fulani hivi..



    "mmhh asante kwa kuupenda mdomo wangu"

    Sasa nikawa naendelea kukata ule mti.. mara mtoto akaniuliza

    "vp umepona tayari hilo jicho?"

    "ndio nimepona"

    "mmhh bado bwana nipe nikupulizie tena"

    "apana bwana inatosha"

    "bwana nipe nipulizie"

    Sasa akawa analazimishia kwa nguvu huku akiwa anataka anishike kichwa ila mimi nilikua nakataaa...

    Sasa akawa anataka kwa nguvu mpaka tukajikuta tumeshikana viuno

    "umeona sasa?"

    Mimi ndio nilimuambia hivyo

    "kwani kuna tatizo?"

    "aaa mi naogopa bhana"

    "heee sasa we wakiume ukiogopa na mimi itakuaje?"

    Niliona kweli haitokua poa kumuogopa mtoto huyu,



    Mara mtoto akaanza kufumba macho... yaani hii inaashiria kua yupo tayari kwa lolote litakalotokea mbele yake

    Nami sikupoteza muda nikampitishia lipsi zangu mdomoni kwake... mtoto akapanua mdomo kuashiria kua anataka denda..

    Nilimpiga busu la shingo..

    "sssssiiiiii aaaahhhhhyiiiii we mkaka"

    Alitoa sauti hio duuuu mpaka nilisisimkwa na mwili mzima...

    "nini wewe?"

    Nilimuuluza mtoto wa kike huyu

    "rudia tena embu?"

    Saa hio bado mtoto kafumba macho tuu

    Nikamshika matiti yake yale madogo madogo huku nikimng'ata shingo kimahaba

    "aaaaaasnnnnnnnnnhhhh sssssssiii iiiiii"

    Mmmhhh utamu ulizidi kipimo hivyo nikaangalia huku na kule hakuna mtu anaetuona zaidi ya wewe unaesoma hii story... kwaio nakuomba uache unoko noko na upaparazi wako





    Basi mtoto nilimuegemeza kwenye mti hivi tukiwa bado tumesimama. Aiseee mtoto nae sii haba katika upande wa kushika mbavu na mgongo wangu, daa alikua yupo safi kuliko mke wangu. Sasa nilikua nina kasi ya kumvua nguo Maana sitaki kuwa na habari za kuandaa mtu.. coz muda sio mrefu mke wangu atakuja kwa kuniletea chakula hivyo sikutaka kupoteza muda. ila yeye alikua hataki kuingiliwa kwa muda huo.

    "we mkaka mi staki uku perini"

    "aaaa Acha kuzingua basi mamii"

    "bwana mi naogopa nyoka"

    "akuna nyoka wala nini bana"

    niliona mtoto analeta mboyoyo nyiingi, Nilimshika kiuno kisha nikaanza kunywa lita za kutosha kama dakika 3 hivi nzima sikumuachia... nilipokuja kuutoa mdomo wangu kwake, Mtoto alikua anahema juu juu tena kwa mdomo huku macho kama yakisinzia sinzia kiasi flani hivi, Nikaona hapa haina haja ya kumvua nguo zote bali ni jambo la kusogeza tu kiaina.. nilimshika mapaja yake kwa ndani na kugundua kua yupo na skin tait flan hivi... hivyo niliivuta chini ili ibakie chupi tu.. lakini mtoto alikua bado ni mgumu kwani hata kushusha ile tait alikua hataki mtoto huyu,

    Nilimrukia na denda la maana huku nikiendelea kuyashika shika matt yake kiufundi wa hali ya juu sana, Mtoto alikua keshalainika kimtindo hivyo ilikua ni rahisi kuishusha tait yake kiulaini tu, Nilifanya hivyo fasta fasta huku mtoto akisubiria kinachokuja juu yake... Nilimlaza kwenye majani kisha nikaivua ile tait yake huku nikiwa na hamu nae ile mbaya, Mtoto alikubali kuvuliwa mpaka chupi Kisha sikuchelewa kukitoa kinanii changu kifupi hicho daahh ambacho hata mimi mwenyewe hua najishtukia kimtindo kua huenda nisimfikishe kileleni nini.. Basi kwakua nilikua na ukwaru wa hali ya juu mno. Nilimuingizia mtoto kidude chote, ila hakustuka kitu nikajua mmhh Hapa naogelea tu hapa. ila naomba asiniulize kua.. vp mbona huingizi? Na wakati kitu kipo ndani muda mrefu...



    WANAUME WENGI SANA HUA TUNAJISHTUKIA SANA PINDI TUNAPOKUA NA WAPENZI WETU... MTU ANAWAZA SWALA LA KUMFIKISHA MPENZI WAKE KILELENI NA WAKATI YEYE ANA KIBAMIA (UUME MDOGO) ILA HIZO NI IMANI POTOFU AMBAZO TUNAJIJENGEA SISI WATU WENYE MAUMBILE MADOGO... KUA HURU AFU USITIE HOFU KUUSIANA NA HILO JAMBO... KWANI UKIWA NA UUME MFUPI BASI KINACHOTAKIWA HAPO NI UTUNDU JUU YA KUKITUMIA KIBAMIA CHAKO, SIO KWAKUA NI KIFUPI ETI HUTAKI DEMU KWAKUA ATAKUDHARAU..... ACHENI IMANI POTOFU. KWANI NI WANGAPI WA UUME MREFU NA WA MAANA LAKINI MADEMU ZAO BADO WANACHEPUKA HOVYO TU.... JIFUNZE MBINU ZA KUKITUMIA KIBAMIA CHAKO. KWANI MWANAMKE HAHITAJI KUUMIZWA BALI HUHITAJI KURIDHISHWA KIMAPENZI NA SIO KUMKWAZA NA LIUME LAKO LIKUBWA.... TUJIFUNZENI JAMANI KUUSIANA NA HILI JAMBOhttp://deusdeditmahunda.blogspot.com/



    basi mtoto wa kiume nilikitoa kibamia changu na kukingiza kwa mtoto wa kike. na wakati huo tupo chini nimemlaza kifo cha mende huku mtoto namuona anafumba fumba macho.. nikajua hapa hapa siondoki mpaka nimsikie mlio wake







    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog