Search This Blog

Thursday 27 October 2022

ONE DAY YES - 2

 http://pseudepigraphas.blogspot.com/2019/12/one-day-yes.html

    Chombezo : One Day Yes

    Sehemu Ya Pili (2)





    Ilituchukua kama lisaa limoja hivi mpaka kumaliza kitendo kile. mtoto alikua yupo hoi vibaya mno. utafikiri nilimuingilia na uume wa nchi 7 kumbe ni nchi 3 tu...ila nilikua na mautundu fulani juu ya kibamia changu.

    "aisee we mkaka ni mtamu mmh"

    "asante mamiii"

    "ivi unaitwa nani vile?"

    Mtoto aliniuliza jina langu nami sikusita kusema jina langu lilivyo

    "naitwa rashidi"

    "waaooo am happy to met with chidi"

    Aliongea kwa kingereza na kunipoteza maboya. maana mimi na kiingereza vilikua havipandi kabisa.

    "na wewe sjui unaitwa nani?"

    Nilimuuliza kiutani flan hivi

    "mimi naitwa sabrina"

    "waao jina zuri"

    Sasa tukiwa hapo mara simu yangu ikaita. Alikua ni broo ananipigia

    "we uko wapi wewe mama said keshafika hapa, na huyo mtoto wa watu bado upo nae?"

    "ndio bado nakata kuni"

    "njoo bana tumalizie"

    "poa nakuja"

    Niliona aibu kwa simu yangu kuonekana maana ilikua ni mbovu imezungushiwa masolotepu marababendi mampira mpira duuu.

    "waaoo kumbe una simu? nataka namba yako"

    "aaa usijali simu lenyewe bovu bana nitakusumbua tu bure"

    "usjali chidi mbona mi wa kawaida tu"

    "Eeh ehehehehe kweli"

    "chukua hiii elfu 50 kachukue simu mpya"

    "haaaaa Apana bwana hio pesa kubwa sana aisee"

    "we chukua tu si nimekupa mimi"

    "lakini pesa yote hii umetoa wapi?"

    "usijali.. nilipewa na baba angu nikanunue nguo"

    "haaa sasa si utafokewa kwakua hujanunua?"

    "wala hakuna shida kwani nitamdanganya kua nimeidondosha msituni huko"

    "mmhh asante mamaa wangu ee?"

    "nipe basi namba yako"

    "andika ni 0714419487 nibipu ili niisevu namba yako"

    Basi tulimaliza mchakato mzima kila kitu kimeshaisha nikatoka pale huku nikiwa nimebeba gogo la kuni ambayo nilikwenda kuikata...



    Nilimkuta mke wangu kavimba huyo duu, Mpaka nikajua hapa nimeachwa. ila sikua na wasi wasi sana. kwani aliniruhusu mwenyewe kufanya hivyo...

    Aliniangalia kwa jicho baya huku akinisunya. Nikajua hapa kazi ipo. basi nikampeleka yule mtoto wa kike katika kivuli na kumpa mzigo wake, sasa akawa anapiga simu kwao ili gari lije kubeba kuni ambazo tulizivunja sisi... Nami saa hio nilikua naelekea pale walipo mke wangu na shemeji pamoja na kaka



    "vp chidi ulikua wapi saa zote izo? ona sasa shem kanuna"

    Alikua ni broo anaongea kiutani huku akila chakula kilicholetwa na wake zetu...

    Sikutaka kuongea sana ila nilinawa maji na kuanza kula ugali na majani ya maboga. huku kukiwa na mrenda kwa pembeni

    Tulikula fasta fasta kisha tukaendelea na kazi kwa kumalizia kidogo.



    Tulilima mpaka ilipofikia mida ya saa 12 jioni tulikua tumemaliza heka nzima tena kwa staili ya kuchimba tu... Wake zetu walikua wamesha ondoka na hata sabrina pia alishaondoka toka mchana uleule.... Sasa muda huo tukampandia mzee hewani ili aje atulipe na aangalie kazi yake vizuri

    Tulimsubiri kama robo saa hivi ndipo alipotokea Na kuangalia kazi yake kwa umakini mzuri tu na kujitabasamia mwenyewe

    "leo mumenifurahisha sana vijana"

    "hii ndio kazi yetu mzee"

    Nilimjibu mimi maana broo wangu hua hapendi zarau za hapa na pale. Hivyo mzee alitukatia pesa nzuri kuliko siku zote ambazo anatupatia pesa..

    "kila kazi hua nawapaga elfu 30 kwa heka moja ila leo nawapa elfu 60 kwa heka moja"

    Daaa tulifurahi sana kuskia hivyo maana dau ndio limepanda hivyo

    Basi tulipokea kiasi chetu hicho cha pesa huku tukifurahi kiaina...

    "sasa wiki ijayo nitawaita tena sawa?"

    "sawa nzee usijali"

    Basi tulianza kuondoka zetu huku kagiza kakiingia kimtindo. Tukapitia mtoni tukaoga kisha tukawa tunapandisha kimlima taratibu.... kama unavyojua vijijini hua tunaogaga makorongoni huko... huku hua hakuna cha bafu wala nini. ukikuta nyumba ina bafu basi ujue kuna mzazi humo.... ila mpaka wanawake ambao sio wazazi huenda kuoga korongoni katika sehemu zao huko huko mtotoni

    "sasa chidi kwan hio safari ni lini?"

    "si kesho"

    "haaaaaa kesho? apana bwana kesho pumzika hata uage age ndugu na jamaa vizuri"

    "aaaa kwani nyie mkijua tu kuna shida gani"

    "apana haitokua vizuri hata mungu hapendi safari za namna hio...kifupi we nenda keshokutwa"

    "mmhh sawa broo nitafanya hivyo"

    "ok sasa? chuku 30 yako"

    "nipe 20 tu"

    "aaaaa kwanini chidi? we una familia na mimi pia hivyo tugawane sawa kwa sawa"

    "broo mimi nimekuambia nipe elfu 20 na wewe bakia na hio 40 tu"

    "nipe sababu za kuchukua elfu 20"

    "yule mtoto alinipa pesa"

    "afu kweeeli maana nilikua nina wasiwasi kule mlipoenda nyie.. mtakua mumechepuka nyie au nadanganya?"

    "ni kweli"

    "Eeeeee nilijua tu maana sio kawaida yako wewe.... ila we mtoto mbaya wewe Eeee?"

    "amna bwana sasa si alitaka mwenyewe"

    "Ayaaaa afu dogo langu una zali wewe duuu. yaani mitoto inamiminika tu yenyewe asee"

    "we nipe twenti langu bana tuonane kesho au sio broo?"

    "poa digo langu"
    http://deusdeditmahunda.blogspot.com/



    Basi niliingia ndani huku nikiwa na wasi wasi juu ya mke wangu maana alivimba huyoo

    "mmhhh ushampenda yule binti e?"

    Mke wangu ndio kaniuliza

    "binti nani tena?"

    "si yule niliokuona nae mchana"

    "wala tuuu yule aliniita niende kukata gogo la kuni tuu"

    "mmhhh gogo la kuni ee?...... Nakuuliza gogo la kuni?"

    "ndio jamani mama saidi mbona ivyo?"

    "gogo la kuni eee? na ile lipustiki ya kifuani kwako iliwekwaje?"

    "eeee? lipustiki?"

    "unajifanya hujui?"

    "aaaaaa Oookeee ile alinipaka muda flani hivi akiwa anakimbia nyoka. ndio akaja kunikumbatia"

    "Aaaa Eee? Aliogopa nyoka ndio akaja kukumbatia????"

    "ndio mke wangu"

    "njooo?"

    "nini tena?"

    "we njoo si unasema aliogopa nyoka?"

    "ndio aliogopa nyoka"

    "unakikumbuka hiki chungu?"

    "ndio nakikumbuka mke wangu"

    "tuliapiana nini humu?"

    "tuliapiana kua hatutotengana wala kusalitiana mpaka kifo kitutenganishe"

    Unajua mke wangu niliozeshwa ndoa ya mkeka tena kwa lazima. kwani nilimpa mimba akiwa ndio anamaliza darasa la 7 hivyo nikaambiwa nimuoe laa sivyo niende jela... nikakubali kumuoa na licha ya kulazimishwa kumuoa pia nilikua nampenda sana demu wangu... Hivyo wazazi wake wakasema kua hawa tukiwapa onyo la kutokuachana kwa mdomo haitoseidia bali hawa ni kuwafungisha ndoa na chungu... ili mwenye kumsaliti mwenzie aje aseme ukweli mbele ya chungu hicho... na akidanganya tu nanii yangu inakatika na kua kama mwanamke tena na manyonyo juu... Duuu sasa saa hio nilikua nawaza kusema uongo na kusema ukweli

    "sasa leo umefanyaje?"

    "sijakusaliti mke wangu"

    "haya sema ukweli mbele ya kile chungu pale"

    Sasa nikamgeukia mke wangu na kuanza kuongea ukweli



    "ni kweli mke wangu sijakusaliti wala nini na pia na"

    "weweeeeee mbona umenigeukia mimi sasa? geukia chungu kile"

    "Eeeh Eehh Eehh aaaaa Acha utani mke wangu tufanye yaishe tuuu"

    "nini??? piga goti pale na useme ukweli... na kama umenisaliti naondoka zangu na mtoto atakua sio wako tena"

    "haaaaaaaa saidi wangu tena awe sio wangu?"

    "neeeeeeeenda pale piga goti"

    "mmhh mke wangu mbona unang'ang'ania hivyo kama bibi kizee bwana"

    "sawa mimi bibi kizee ila piga goti pale"

    "Au unafatiliza ule msemo unaosemwa kua kila goti litapigwa mbele za bwana??"

    "mi sijui bwana we sema"

    "haya sasa nisemeje sasa?"



    "SEMA HIVI,.... eee mizimu yetu na ya mke wangu pamoja na yote. leo nipo hapa kusema ukweli kua kama nimemsaliti mke wangu naomba mniadhibu kwa kunikata uume wangu na kuniotesha manyonyoo....SEMA HIVYO TU"

    "heeeeeeeeeee ivi kweli mke wangu unanitakia heri kweli wewe? yaani niote manyoyoo aseeee?"



    Daaa nilikua kama nafanya utani lakini mke wangu alikua siriasi kweli tena alikua hacheki kabisa wala kutabasamu. nikajua hapa kweli mke wangu kakasirika. afu sipendi nimkasirishe kwa jambo ambalo halina maana...

    "lakini mke wangu si uliniambia mwenyewe jamani?"

    "sasa mbona ulikua unaniambia uongo?"

    Mke wangu aliondoka pale kwa hasira nami nikamfata mpaka pale alipo na kuanza kumbembeleza. Kiukweli ni kweli aliniambia mwenyewe kua nichepuke ili nisimuumize mtoto wetu. ila alinipa nafasi hiii tu

    "naomba usije ukarudia tena"

    "sirudii haki ya mungu vile sirudii tena"

    Basi swala lile liliisha kiivyo huku tukikumbatiana kwa mapenzi moto moto.

    "mmhhh hebu niambie mimi na huyo nani anakatika kiuno vizuri?"

    "mmhhh aiseee humkuti yule binti ni noma kwa mauno"

    "nini?? pumbavu ndio maana sijataka uende..."

    Mke wangu alikua ananipiga kwa vibao huku tukikimbizana kiutani

    "basi nilikudanganya... ni wewe ndio unakatika vizuri"

    Basi ilikua ni moja ya utani wa hapa na pale kwa mimi na mke wangu tu..

    http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Baada ya siku hio kupita na sasa ni Jioni mida ya saa 10 hivi nikiwa nipo zangu kitaa nikiendelea kuaga aga marafiki, ndugu, na jamaa ili nilalie safiri kesho.. Nilipokua kitaani mara nilimuona sabrina akishushwa na school bus kutoka shuleni.

    Sikutaka kumshtua wala kumshobokea kitu. Bali nilikauka kama sio mimi vile Lakini haikuseidia kitu kwani hata kushuka kule sii kua ndio kituo chake bali alishuka kwasababu kaniona mimi.

    "chidi? chidi? jamani si nakuita?"

    "ooo sory nilikua nipo na mawazo sana mambo vp lakini?"

    "poa tu.. sasa mtoto mdogo hivyo una mawazo gani?"

    "si ile pesa ulionipa jana niliidondosha muda sio mrefu na ni maeneo haya haya tu"

    Nilimdanganya kua imepotea ile elfu 50 ili kama anayo nyingine anipe

    "pole chidi ila usijali. we twende mjini sasa hivi"

    "mjini? mjini kufanyaje?"

    "we twende tu chidi"

    Tukisema mjini hatumaanishi labda ni sehemu ya kusafiri kwa umbali hapana... ni sawa na dare slam kwa mtu aliopo dar vijijini afu akitaka kwenda kariakoo ni lazima aseme niende mjini... maana huko anapoishi ni vijijini japo ni dar hio hio...

    Sasa sisi tulikua tanga vijijini huko maeneo ya pangani katika kijiji kiitwacho KIKOKWE hivyo amesema twende tanga mjini...

    Basi nami sikukataa tulipanda gari flani linalokwenda huko... tena ni kwa nauli yake mwenyewe. Nilikua sina wasi wasi...



    Ilituchukua masaa machache hadi kufika tanga mjini.. kisha tukawa tunaelekea katika maduka flan hivi ya simu... nikajua hapa lazma ninunuliwe simu.

    Tulipofika pale mtoto aliongea na yule muudumu wa duka kua anahitaji tecno moja nzuri ya batani... afu akanigeukia mimi na kuniambia

    "chidi usijali kwani nakununulia simu mpyaa... tena ya maana"

    "mmhh nitashukuru lakini si ghali sana mamii?"

    "wala tu usjali. kwani baadhi ya maduka ya simu hapa tanga ni yakwetu"

    "haaaaaa acha utani sabrina"

    "kweli chidi tuna maduka yasiopungua 7 hapa stend"

    "mmhhhh kumbe mpo vizuri eee?"

    "mmm wala tu kawaida bwanaa.. ila chidi si tutafanya vile vitu vyetu?"

    "mmhhh lini?"

    "mi nataka na leo bwana"

    "aaahhh bwana tufanye kesho"

    "aaa mi staki bwana chidi"

    "kweli sabrina tufanye kesho au jioni kwenye mdumange pale"

    "kweli chidi utakuja?"

    "nitakuja kweli"

    Basi tuliahidiana kiivyo huku nikiwa na furaha kwa kununuliwa simu ambayo maisha yangu yote nisingeweza kuinunua hio simu. japo haikua tachi skrini lakini alinunuliwa kwa gharama ya shiling elfu 60 keshi...

    Nilipewa ile simu huku nikicheka cheka kimtindo, Tulimaliza kununua simu kisha tukaingia hotelini tukapiga msosi wa maana ambao sijawahi kula msosi uliojaa kuku na rosti ya maana.... kwani mwisho wangu wa kula nyama ya bata ni kipindi mke wangu alipojifungua tena nilikula mamiguu na vichwa tuu na shingo..vingine alikula mke wangu sasa leo nimetengewa vyuku mezani na nyama choma bila kusahau chips mayai... afu ni kila mtu na msahani wake Kiukweli mimi sio mlaji sana wa vitu vya mafuta hivyo niligusa tu kidogo na kumkumbuka mke wangu...

    Nilimuita weita aniletee mfuko kisha nikaviweka kwenye mfuko, Sabrina alishangaa kuona kituko kama hicho. Baada ya kuona vile akaniuliza kua

    "heeeee mbona unakiweka umo?"

    "daaa vtu vya mafuta hua vinanishibishaga haraka sjui kwanini"

    "jamani pole sasa hivyo unapeleka wapi?"

    "nina mdogo wangu nyumbani wacha akale kuliko tutupe"

    Nilimdanganya kua nina mdogo wangu lakini sio kweli... ila nimemkumbuka tu mke wangu....maana sabrina hajui kama nina mke. na akijua heeee hata hii simu huenda nikanyang'anywa muda si mrefu

    "apana bwana mchukulie vingine... weitaa lete teka wei ya kuku na chips mayani pamoja na nusu nyama choma"

    "haaaaaa sabrina nina ndugu mmoja tu zote hizo za nini?"

    "nimefrai kwakua unajali ndugu zako"

    Basi mavitu yalikusanywa na kuwekwa kwenye rambo moja na ile yangu pia niliiweka huko huko ila hajaona... mana anataka kile chakula changu nilichobakiza nikitupe, na wakati hakijaliwa kabisa yani niligusa gusa tuu kwa kua nimemkumbuka mke wangu na mtoto wangu....

    Baada ya hapo zikaletwa na mango juice kama 6 hivi... tukajazia rambo kisha akalipa shiling elfu 40 khaaaaa pesa ndefu ile mbaya. yaani hivi vimsosi tu bili imekuja elfu 40???? duuuuuu kweli mjini pesa



    Basi tulitoka pale muda ya saa 12 jioni tukapanda gari ya kurudi kikokwe tulipotoka... Muda huo kagiza kaliingia kiasi flani hivyo huko ndani ya gari tulikua tukidendeka vibaya mno

    "chidi?"

    "sema?"

    "plz nakuomba usikose kuja ngomani"

    "usijali nitakuja"

    Basi ilikua tupo katika hali ya kutamaniana kimtindo lakini tulijizuia kidogo...



    Tulifika kikokwe mida ya saa 2 usiku huku mtoto akaita toyo impeleke kwao na mimi pia akanilipia toyo inipeleke kwangu afu akanikatia kitu kama elfu 30 hivi

    Kisha kila mtu akasepetuka zake kwao..



    Nilipofika nyumbani nilimkuta mama watoto kavimba ile mbaya hivyo niliutua mzigo wangu wa misosi ya maana. huku mke wangu akishangaa tu. Nilifungua mfuko wa mapocho pocho na kumkabidhi mke wangu ajisosomole... Nilichukua nyama kidogo na juice kisha nikampelekea mama angu pamoja na bibi.. Afu nikampa mama ile elfu 30 yote niliopewa na sabrina... Kisha nikamuaga mama angu kua kesho ndio naondoka..... Daaaa mama angu alinipa baraka nyingi sana huko niendako... na bibi pia nikamkatia ya ugoro na kunipa nae baraka nyingi sana.... binafsi nilifurahi sana kwa kuruhusiwa safari ya kwenda arusha.....



    Niliporudi geto nilichukua chips moja na nyama rost ya kutosha na juice 2 ili nimpelekee broo juma na mke wake..... Baada ya hapo nilirudi na kuanza kusosomola na mke wangu...

    "kabla sijala hiki chakula hebu niambie umekitoa wapi?"

    "aaaaa mke wanguuuu maswali gani hayo unaniuliza?"

    "we si useme tu"

    "ok wacha nikuambie ukweli... nilikutana na sabrina mchana na akanipeleka mjini kuona maduka yao na hata simu hii hapa kaninunulia.. ndio tukanunua kila mtu chakula chake cha nyumbani kwao... ila hiki kanilipia yeye huyo sabrina"

    "na nanii mumefanya?"

    "wala tu... ila mke wangu? mi leo naomba nikuombe kitu leo"

    "ah ah kwakua nimejua chakula kimetoka wapi tule kwanza afu uniombe hicho kitu baadae"

    Basi nilimsikiliza mke wangu na kuanza kusosomola msosi ule uliobakia kwa ajili yetu.... msosi mwingi tuliugawa huko nje

    "mmhhh kitamu ee?"

    "eeee ndio uniachie sasa nichepuke chepuke"

    "weeee mjinga nini wewe?? na sasa hivi unifanye hata kwa kondomu sikubali tena uende kwa huyo sabrina wako"

    "aaaaaa wacha nikakilipie chakula cha watu kwa leo tu"

    "sitaki nishasema sitakiiiiiiiiiii Aaaa"

    "heeeeeeee sasa nitakilipaje?"

    "kwaio we umepokea ili ukakilipie sio?"

    "amna bana utani tuuuu"



    Basi tulimaliza kula pale kisha tukaingia kulala, sasa mtoto wa kiume nilikua naomba alale ili nimtoroke niende kwenye mdumange. Nilikua namuangalia mke wangu kama kalala fofofo

    "mke wangu? mke wangu? we mama saidi?"

    "nini wewe?"

    "mhhh Mbona hulali?"

    "we wataka nilale ili iweje?"

    "aaah amna we lala tuuu"http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "Aaannhaaa kuumbeee sasa silali leo"

    "ok poa wacha nikuambie ukweli.... mama saidi naomba niende dumange basi"

    "nakuambia huko huendi ng'ooo"

    "aaaaaa mosieeee niache niende"



    HAHAHAHA UNAONA HICHO KISAMBAA HAPO JUU??? ETI MOSIEEE... DUUUU KWELI NAJUA JUA ASEEE



    "hakuna cha mosie wala mgosi hapa yani huendi...kama wataka twende wote"

    "aaahh sasa na mtoto utachezaje?"

    "tunamuacha ndani"

    "haaaaaaaaaaaaa basi siendi aisee"

    "acha na tulale"

    Daaahhh safari ya kwenda dumangeni ilishia hapo. basi tukawa tumelala zetu tu mida ya saa 3 hivi usiku...

    "chidi mi nina hamu bwana tufanyeje?"

    "aaa mi siwezi kumuaribu mtoto"

    "kachukue kondom basi"

    "sitaki je kondom ikipasuka je?"

    "utavaa mbili au tatu"

    "haaaaaaaaaaaa zote hizo nitapizi saa ngapi?"

    "bwanaaaa baba saidi fanya hivyo"

    Sasa nikaona yeeeeees huu huu ndio muda wa kwenda mdumange.

    "sawa basi ngoja nikachukue"

    "nakupa dakika tano tu urudi hapa"

    "sawaaaa"



    Nilipotoka tu nje nikampigia sabrina simu

    "haloo sabrina upo wapi?"

    "bado nipo nyumbani... navizia mlinzi alale niruke geti"

    "mmhhh mi mwenyewe huku sipati muda"

    "basi tufanye kesho"

    "poa kesho basi"

    Ilikua pia ni poa ila safari ya mdumange haijaisha maana nina muda mrefu sijaendaga mdumange nilienda kununua kondom kisha nikaziweka mfukoni... Sasa nikawa naelekea mdumange kuyakata mauno........ sasa kufika njiani niliona mtu kwenye mti kavaa nguo nyeupeee pyeeeeee... Nikajua labda huende ni kademu kalikua kananisubiri nini ili twende nae mdumange

    Ikabidi niulize huku nikijiamini maana nikiangalia kiunoni yupo kama kafunga kibwebwe vile.. ila alikua kavaa nguo nyeupe mithili ya kanzu au gauni........

    "wewe ni nani? Ulikua unaenda mdumange nini? Eti dada kwani unaitwa nani?"

    Nilikua nina maswali mengi sana muda huo

    Sasa nilipoona hanijibu niliendelea zangu na safari huku nikiwa kama mtu mwenye haraka....mida hio ilikua ni mida ya saa 4 usiku afu kumetuliaaaaaaaa naskia mdumange kwa mbali....

    Sasa nilipofika mbele nikamkuta mwingine akiwa kavaa vile vile kama huyu huku nyuma yangu...

    "Aaaahhh kumbe mpo wengi wengi? twendeni basi ili tuwahi"

    Sasa kitu kilichonishtua ni pale nilipoona mtu wa tatu akiwa katika mavazi yale yale... ila staili aliokuja nayo sikuweza kuifahamu japo alikua kwa mbali kidogo.... kwani alikuja kwa kutokea chini ya aridhi.. sasa nimekuja kujua kumbe hawa sio watu kama nilivyotarajia.... maana watu wa tanga wanapokwenda kwenye vigodoro au mdumange hua wana tabia ya kuvaa madira (magauni ya kushonesha) yanayofanana.... sasa nikajua nao hawa ndio walewale wamama wa vigodoro..... kumbe sio watu maskini ya mungu.. sasa nimekumbuka shuka na wakati kumekucha...... sijakaa vizuri mara mwingine kaja na staili ile ile ya kutokea Aridhini.... ila huyu alikua kavaa gauni jeusiiiiiiii tiiiiiiiiiiiiiiiiiiii



    Nilikua nimeshaanza uoga juu ya watu hawa. na kama sio kuona jinsi wanavyotokea aridhini. basi nisingejua kamwe kua sio watu kama nilivyotarajia..... Hapo tulipo palikua na miti mirefu. afu palikua na misufi, mibuyu..na kadhalka. mtoto wa kiume nilianza kua kutetemeka baada ya kumuona mkuu wao, Nilitamani pachimbike ili niingie ndani ya ardhi Maana najua hapa tayari nishaaharibu madhingira yao... Kifupi siwajui ni akina nani kwani sijui kama ni mizuka au majini au mizimu Daaaa kweli hapa kazi ipo, Nilikua naomba mungu ili kisinikute kibaya juu yao..



    Ghafla nilimuona yule mmoja mwenye nguo nyeusi akiwaamuru wenzake kwa ishara ya mkono tu... kua waondoke.... Mmmmmhhh hio staili walio ondoka nayo duu sikuamini macho yangu, Sasa nikawa nimebakia na huyu mwe gauni jeusi, Nami pia sikutaka kuongea tena wala kuliza, bali nilinyooshewa mkono na kuelekezwa njia ya nyumbani ilipo.. yaani kaunyoosha mkono wake kule nilipotoka, Ili nisiendelee kwenda mdumange.... Sasa baada ya kuruusiwa kuondoka kwenda kwangu. mara na yeye kapotea ghafla ghafla... Sikutaka hata kuzungusha kiuno pale Nilifunguka na hizo mbio.. yaai ungeniona ungecheka mwenyewe kwa jinsi nilivyokimbia.. Breki ya kwanza ni nyumbani kwangu na kuingia ndani huku nikihema hema juu juu kama jibwa vile

    "nini wewe baba saidi?"

    "mmh we acha tu mke wangu"

    "sasa mboa ulikua unakimbia jamani?"

    "unajua nini mama saidi? nimekutana na watu fulani wamevaa nguo nyeupe pyeeee"

    "enhe sasa ikawaje?"

    "ooohoo saa ngapi hawajaanza kunizunguka.. ila kabla hawajanigusa mara mkuu wao akatokea"

    "kwahio we ulitoka mikonon mwao?"

    "mmm nilitoka kwa msamaa.. Yaani walinisameee wenyewe tu"

    "mmhh mume wangu una majanga wewe duu pole"



    Nilimdanganya mke wangu kua nilizuiliwa nikiwa natoka kuchukua kondom... kumbe walaa ni nilivyokua naenda kwenye mdumange. Sasa mtoto wa kiume hata hamu ya mapenzi yenyewe ilikata kabisaa. Nikaweka kondom mezan kisha nikalala zangu..

    "nini sasa?"

    "nini sasa nini?"

    "mbona umeziweka uko?"

    "aaa sijiskii tena"

    "Ah ah bwana mi nataka bwana"

    "jamani mama said nimechokaa"

    "staki bwana mi nataka mmhhh"

    Mke wangu alianza usumbufu wa hapa na pale wa kunidandia dandia huku akininyonya denda.. mpaka stimu zikarudi,



    Basi nami sikumnyima nilianza kumpa haki yake ya ndoa.. ili isije kua ndoa ndoano

    "we baba saidi vaa kabisa kondom"

    "tulia nitavaa tu"

    "bwana tutajisahauuu"

    "mmhh haya ngoja nivae bas"

    Nilinyanyuka na kuvaa kondom chapu afu tukaendelea kudendeka. wakati huo mke wangu alikua ana chupi tu afu na vile nae mke wangu alivyo sii haba na umbo lake. duuu ilikua ni raaaha. Basi mke wangu alifikia mahari akawa abahitaji dudu yangu. Nami nikaitika "naam"

    Nikamueka sawa kifo cha mende kisha nikaivua ile chupi yake iliokua imejaa nye*** kibao yaani chupi imekua nzito vibaya mno. yaani ile kuvua tu mke wangu analia kwa jinsi ninavyoivua kimadoido fulani hivi

    Baada ya hapo niliiweka miguu yake begani na kujiandaa kuingiza mambo. Niliishika nanii yangu vizuri na kuiingiza katika buyu la asali. na kujiminya kimtindo

    "sssiiiii Aaiiiiiiiii baba saidiii"

    "nini mke wangu? vinauma nini?"

    "ah ah vitamu we endelea tuuu"

    Basi nilianza kufanya kazi ya mhangaiko wa huku na kule chenga mbili tatu ili nipate goli la haswa



    Ilituchukua kama masaa matatu hivi hadi mke wangu hoi hoi hajiwezi utadhani ni mgonjwa vile

    "mke wangu vp mi bado"

    "bwana mi staki tena..."

    "aaaa mke wangu yaani kupizi bao mbili tu ndio uchoke?"

    "mmhh baba said hebu pumzika kidogo. mi mwenzio nimepizi bao 4 tofauti na zile za nje ya chupi.. kweli hapo nisichoke jamani mume wangu?"

    Nami nikaona daa afu kweli mke wangu kachoka bora nimuache. maana hata hivyo sina hamu tena ya ngono, licha ya kupizi bao mbili tu



    Basi nilivuta shuka na kuuchapa usingizi wa nguvu na wa afya teleee



    Ilipofika saa 11 alfajiri niliamka na kujianda vizuri kwa ajiri ya safari ya kuelekea mjini.

    Nikachukua maji ya kuoga kisha nikaenda kujimwagia maji kimtindo

    Afu nikaja nikavaa minguo yangu ambayo binafsi naona ndio nguo za kusafiria..

    "mke wangu? mama said?"

    "mmhhh"

    "safari imeiva hivyo"

    "jamani mume wangu ndio unaondoka?"

    "ndio mke wangu ndio naondoka hivyo?"

    "jamaniiii iiii uuuiii mume wanguu"

    Mke wangu alianza kulia na kunipa na mimi simanzi nzito ya kuanza kulia

    "mke wangu? usijali kwani nimeona kaka yangu kazamia mjini nami wacha nikajue kilichomsibu na kujaribu ipepo wa huko ulivyo. na pia mambo yakiniendea vizuri nitakutumia nauli uje tuishi wote mjini hivyo naomba unyamaze kwani machoz yako huenda yasiwe ya kheri na baraka sawa mke wangu?"

    Nilimtuliza mke wangu na kumfariji kiasflan ili atulie. Na kuendelea kuishi tu.

    "sawa mume wangu ila ujue kua huku umeiacha familia katka madhingira ya hali kama hiiii iiii uuiii"

    "usilie basi mke wangu kwani ukilia nami utaniliza mama"

    "sawa mume wangu nakuombea safari njema na mafanikio juu yako"

    "nashukuru mke wangu kwa kunitia moyo kama huo.. nami nakuahidi nitawakumbuka kila siku ya maisha yangu yote. na pia nitakua nakuja kila baada ya miezi 6 nitakua nakuja kuwasabahi mke wangu"

    "sawa safari njema kwako"http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Mke wangu alikua akiniaga lakini kama roho yake inasita. yaani haamini kama kweli naondoka...

    "Ooopssii nilisahau kukuachia simu daa sijui ningekurushiaje pesa mungu wangu"

    "unaniachia simu?"

    "ndio au hutaki?"

    "nataka bwana nipe na mimi nioshee"

    "shika hii simu mpya, mana mimi siiwezi kuitumia hivyo wewe huenda ukaiweza na pia ina laini mpya huko ndani"

    "haaaa mume wangu asante.. na mimi nitamringishia mke mwenzangu"

    "ah ah usifanye hivyo bhana"

    Yaani anasema atamringishia mke wa kaka juma eti kwakua yeye hana simu... maana kijijini huku hua wanaomiliki simu ni wanaume tu... ukimkuta mwanamke nae ana simu basi ujue kwao sio mbaya....

    "sasa namba yako? umeisevu tayari?"

    "ndio nimechukua na hio ya kwako pia"

    "asante mume wangu"

    "ok sasa namba ya siri ya m-pesa ni mwaka aliozaliwa saidi. yaani 2014 sawa?"

    "sawa... kwaio ukirusha hela naena pale kwa mgosi natoa tu?"

    "ndio ila ukiisahau hio namba ya siri hutoi pesa"

    "mmhh ivi kuna mama anaweza kusahau mwaka aliomzaa mwanae kweli?"

    "mmh sijui"

    "mume wangu.. utukumbuke basi. ujue huku umetuacha katika madhingira gani"

    "usijali mke wangu nitawakumbuka wote kwa ujumla mke wangu"

    "apo najua unamuacha mtoto ana miezi 6 Mpaka ukirudi keshaanza shule"

    "haaaaaaa Amna bhana siwezi kufanya hivyo mke wangu.. tena umenikumbusha hebu nimbusu side wangu"

    Basi nilimuaga mnyamwezi wangu kisha na kumpa mke wangu bonge la denda huku tukikumbushana kwa yale tulioyafanya usiku

    "mume wangu? naomba uiheshimu ahadi juu ya ndoa yetu"

    "usijali mke wangu"

    Niliingiza mkono mfukoni na kutoa shilingi elfu 20 na kumpa mke wangu

    "mke wangu naomba bania matumizi... simu hio haina haja ya kueka vocha, mwenye shida akupigie yeye tu sawa?"

    "sawa mume wangu nitabania tu"

    "ila mtoto wetu usimbanie mpe bonge la uji zitooooo sawa?"

    "Ehhehehehe kwaio unamjali mwanao kuliko mimi?"

    "Ah ah simaanishi hivyo ila si unajua ni miezi 6 toka aje duniani hivyo kape msosi wa maana ili kidume kikue fasta au sio mke wangu?"

    "sawa tuu nitafanya hivyo"



    Nilianza safari huku nikimuangalia mke wangu kwa huzuni kubwa. na yeye pia alianza kulia kwa uchungu huku akinipungia mkono, Nami nilimpungia mkono huku nikitokwa na machozi ya huzuni kwa kuiacha familia yangu katika madhingira magumu mno,



    Ila sikukata tamaa wala nini nilichukua toyo muda huo na kunipeleka hadi stendi ya magari. nikicheki simu yangu inaniambia sasa ni saa 12 asubuhi.. Nilipanda gari moja aina ya NGORIKA... Ilipofika saa 1:30 safari ya kuelekea arusha iliwadia.. Tuliianza safari mapema tuuu



    Ilipofika mida ya saa 8 mchana tulikua tupo mombo pale.... basi watu na pesa zao walinunua vya kununua pale. Kisha safari ikaendelea mbele. Ilipofika mida ya saa 10 tulikua moshi maeneo ya mwanga... Lakini tukiwa katika safari tena kwa mwendo wa kawaida tu.. lakini kulitokea basi lingine liliokua likiende moshi mjini sasa yakiwa yanapishana ile gari ya moshi ilipasuka tairi na kuja kugongana na gari yetu uso kwa uso lakini ajali hio haikua kubwa sana kwani hakuna gari iliokua na kasi hata moja lakini ilileta matatzo



    Nikiwa nipo chini ya siti ya gari nilikua sisikii maumivu yeyote yale mwilini mwangu. kwani hata watu waliopo katika gari yetu wote ni wazima na gakuna alieumia hata mmoja. Sasa kile kitendo cha kusema niamke chini ya siti hio... maana hata sijui niliingiaje huko chini ya siti... Sasa nilijikuta hata kusimama siwezi

    Aaaaayaaaaaaa kumbe nilishavunjika mguu wa kushoto na mkono wake. Aisee nilianza kulia kwa uchungu huku nikiikumbuka familia yangu



    Punde sii punde waokoaji walifika na kutoa majeruhi wote. lakini ukweli ni kwamba majeruhi nilikuepo mimi mwenyewe tu. na wengine wote ni wazima tena ndio kwanzaa wanacheka.. sasa nikashangaa kwanini watu wanacheka kwenye ajali. sasa nilipoangalia na hao waokoaji wenyewe heeeeeee nao walikua wanakaukia vibaya mnoooo.... sasa sijakaa vizuri nikapata upenyo wa kuona gari ya moshi kwa ndani.. ilikua inachuruzika damu tuu. kana kwamba katika basi lile hakuna aliopona hata mmoja. Sasa nikajiuliza mbona basi lile la moshi watu wamekufa wote. afu basi hili letu watu wanakaukia vibaya mno kwa kucheka. yaani utafikiri walikua wanaangalia komedi flani kwenye tv lakini wapi hakukua na tv wala nini... Sasa nikamuuliza huyu muokoaji mmoja

    "broo mbona mnacheka aiseee?"

    Oohoo yaani ndio nimewaongezea kasi ya kucheka zaidi.. yani ndio wamezidi kucheka kwa kasiii... Lakini nikajiuliza hawa ni waokoaji gani wamevaa suti nyeusiii tiii afu zote zinafanana... Sasa mmoja akanifata pale nilipo.. huku wale abiria wote wakaanza kunigeukia mimi na kuendelea kupasukiwa kwa vicheko... nikaona hawa huenda wamejua kua kutatokea ajali.. au wameifurahia hiii ajali...

    Sasa muokoaji alianza kunii kwa mkono

    "njoo usiogope"

    "kwani we ni nani?"

    Wakaanza kucheka wotee kwa pamoja

    "Aaaahahahaha ahahahaha Aaaahahahahaha Ahhhahahaha Ahahahaahaaaaahahaahaha"

    Sasa nikaanza kuogpa sasa na kuwashtukia hawa abiria kua huenda wasiwe sio waokoaji na wala sio abiria,........



    Haaaaa sasa kuangalia chini ya siti nilishangaa kuona miguu ya abiria wote ikitetemeka kwa staili moja.. yaani jinsi inavyotetemeka hawapishani kabisa utafikiri ni madansa wa diamond



    Sasa nikajua hapa siii mahari pa kukaa tena. hivyo nilijitahidi kuamka na kutaka kutokea dirishani... Nilivutwa miguu na kupigwa kibao kimoja tu cha utosi.... Kilichonifanya nipoteze fahamu pale pale ndani ya gari



    Kutoka hapo sikujua kilichoendelea zaidi... maana sikua najielewa tena.



    Nilipokuja kuzinduka nilijikuta nipo ospitalini tena nikiwa nimezungushiwa mabendeji ya kutosha katika mkono na mguu wake wa kushoto. Nilishindwa kujua hapa nilifikaje kutoka katika mikono ya wale watu waliokua wakicheka cheka hovyo,

    Ghafla alikuja nesi aliokua akiniuguza hapo odini...

    "ooo umeamka mgonjwa?"

    "ndio..Eti nani kanileta hapa?"

    "aaahh aliekuleta huku ni dokta mkuu"

    "ah ah sisemei alionileta humu odini bali nauliza alionileta hospitali"

    "mmhh kiukweli sijui labda nimuite dokta?"

    "hebu muite"



    Basi nesi huyo alitoka hapo na kwenda kumuita huyo dokta wao.... nilikaa kama dakika tano hivi nikisubiria dokta aletwe.. mara dokta kafika wodi hiii

    "shkamoo?"

    Nilimsalimia dokta huyo mana ni mwanamke wa makamo kiasi.

    "marahaba hujambo kijana?"

    "sijambo"

    "wajionaje hali yako?"

    "aaa sio mbaya japo nina maumivu kwa mbali"

    "pole sana kijana"

    "asante... Aahh eti dokta naomba kujua ni nani kanileta hospitali?"

    "mnhh kiukweli hata mimi simjui kwani mtu huyo alioniachia wewe na kulipa matibabu yote lakini sikufanikiwa kuiona sura yake wala kusikia sauti yake.. kwani nakumbuka nilikua natoka lanchi.. lakini ghafla nilihisi mtu ndani ya gari yangu. na ni kweli alikua ni yeye huyo mtu na alikua kakupakata mapajani mwake kama mtoto mdogo"

    "ebu ngoja kwanza unasema alinipakata mapajani mwake?"

    "ndio alikupakata ukiwa hujitambui"

    "mungu wangu eee usikute kanipakata kweli kweli aisee ni jinsia gani uyo mtu?"

    "kiukweli mimi sifahamu kwani hakuongea kabisa na alijifunika nguo nyeusi usoni"

    "kwa wewe ulivyomuona maumbile yake ni kama dume au jike?"

    "jamani kijana huyo mtu alikua kaka nyuma ya siti ya gari yangu hivyo kutokana na alivyonionya. ikanibidi nikubali kisha akatoweka hapo hapo kwenye gari"

    "mungu wangu eee kama ni kidume basi kitakua kimenipakata kweli dokta daahh"

    "lakini yule mtu nadhani sii binadamu wa kawaida kwakweli"

    "mmhh ok sawa"

    "lakini kwani ulikua unaelekea wapi?"

    "nilikua naelekea arusha kwani hii ni hospitali gani?"

    "hii ni hospitali ya mount meru arusha"

    "mmhh haya sawa ila nina muda gani ndio nitoke?"

    "lazima ukae kama mwezi hivi"

    "mwezi? ayaaaa nwezi wa nini dokta?"

    "ndio ni kutokana na hali ulionayo"

    "aaa fanya wiki tu dokta"

    "tutaangalia kama utakua vizuri"



    Basi niliendelea kukaa pale hospitalini huku nikiuguza mguu wa kushoto na mkono wa kusho.. nilikua nimening'inizwa juu. huku limfuko lizito likinielemea ili mfupa uungane katika hali yake ya kawaida



    BAADA YA SIKU 6 KUPITA



    bado nilikua nipo hospitalini na matibabu yalienda vizuri kabisa Hivyo sikua na wasi wasi juu ya chochote kile. Dokta yule alikuja na kunipa pole huku akionekana kunizoea kwa ucheshi wangu wa hapa na pale. Nesi ilibidi aniulize kitu

    "eti kijana?"

    "ndio dokta?"

    "mbona toka umeletwa sasa yapata wiki lakini hakuna ndugu wala jamaa aliokuja kukuona"

    "aaahh kiukweli dokta mimi hapa sina mtu ninayemjua hapa mjini. ila nilikua naenda kwa kaka yangu aliopo huku mjini ila pia sijui anaishi wapi"

    "oo pole sana kwani huna namba zake za simu?"

    "kiukweli sina dokta"

    "haaaaa yani kaka yako ukose kua na namba zake?"

    "ni stori ndefu dokta"

    "mmhhh haya mana nimekuuliza hivyo kwasababu bili uliolipiwa sasa imekwisha.."

    "ooo shit sasa itakuaje dokta?"

    "mnhh kiukweli mimi sijui cha kufanya tena"

    "au niruusu tu nikamtafute kaka yangu"

    "hapana haitokua sawa kukuruhusu kwani hapo ulipo bado mifupa haijaunga"

    "hivyo hivyo dokta itaungia mbele ya safari huko kwa kaka angu"

    "sasa si ulisema humjui anapoishi wewe?"

    "ndio sijui anapoishi lakini kutokana na umaarufu wake huenda nikamjua kwa bahati tuu"

    "kwani kaka yako anafanya kazi gani?"

    "mnhh niliskia ni mtu wa madini sjui nani vilee sijui boko baku aaa mi sijui bwana"

    "Au ni broka"

    "Eenheee hivyo hivyo eee"

    "anaitwa nani?"

    "anaitwa hatibu"http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "hatibu? hatibu huyu huyu tajiri mkubwa wa hapa arusha nzima?"

    "mnhh mi sijui kama ana utajiri huo.. ila ni mrefu afu mweusii ana mimacho mikubwaaa"

    "Basi atakua ndio huyo. mana hata huyu tunaemjua ni hivyo hivyo"

    "basi ndio huyo aisee naomba niruusu tu"

    "basi nitakupeleka jioni sawa?"

    "sawa"



    Ilipofika mida ya jioni dokta alinichukua huku nikiwa na magongo yangu kwa ajili ya kupelekwa kwa broo wangu mkubwa. Simu yangu nilikua nayo ila nguo tu ndio sina maana vilipotea katika ile ajali iliotokea pale... Dokta huyu alinifikisha hadi huko anapoishi kaka yangu... maana ni maarufu sana hivyo hakuna mtu asiejua nyumbani kwake,



    Dokta aliniacha na kuondoka zake nami nilimshukuru sana kwa msaada wake...

    Basi niligeuka na kuanza kubonyeza kitufe cha kengele ili nifunguliwe mlango. Kiukweli kaka angu alikua ana mjumba mkubwa tena ni wa gholifa kabisa.

    sasa Mlinzi alikuja na kuniuliza

    "samaani nikuseidie nini?"

    "aaa samahani kaka mimi ni ndugu yake na hatibu"

    "Eti nini? yani wewe kapuku uwe na ndugu kama huyu?"

    "Aahh sheheee hatibu ni kaka yangu"

    "hebu ngoja nimuite mkewe kwanza"

    Nilisubiri hapo nje ili mke wa broo aje aniambie ni kweli... lakini kibaya zaidi hata huyo mke mwenyewe hanijui wala simjui. maana kaka ana muda mrefu toka aje mjini hajawahi kurudi kijijini hata siku moja, kwahio hata kuoa kwake sisi hatujui kabisaa



    Mara mke wa kaka akaja huku akisema kwa dharau nyingi mno

    "yuko wapi huyo kapurwa unaemsemea wewe?"

    "si huyu hapa nje na miguu yake iliovunyika utafikiri kadondikewa na meli"

    "heeeeeeee we vipi umepotea njia?"

    Aliniuliza huku akiniangalia chini juu Nilikua naona aibu kwa dharau ninazofanyiwa afu ukiangalia ni mtu na familia yangu..

    "mimi ni ndugu yake na broo"

    "heeee ivi ana akili timamu huyu?"

    "sijui hebu muulize"

    "we mbaba eti una akili vizuri wewe?"

    "ndio na namfahamu kaka angu na yeye pia ananifahamu"

    "sisi tutakuaminije wewe? Ok kwa kifupi we kaa hapo nje umsubiri mpaka aje akuone ndio uingie nae ndani sawa?"

    "mmhh sawa"



    Walifunga geti lao kwa hasira huku wakiongea maneno machafu ambayo sikuyapenda kwakweli.

    Sasa mida hio kumbuka ni mida ya jioni na kagiza kalikua kakiingia Afu broo ndio bado hajaja na nikiangalia juu mvua ilikua ikija kwa upepo mkali

    Nilikua sina hata sehemu ya kujificha ili mvua ipite... hivyo ilininyeeshea pale pale nje ya geti huku yale mabendeji niliofungwa yakaanza kulegea na kunipa maumivu makali kweli... Nilivumilia hadi ilipofika mida ya saa tatu.. ndio nikaona mwanga wa gari ukija na huku getini.. Na alikua ni yeye ndio anarudi kutoka kazini. sasa alipofika pale alishuka na kuja kuniuliza maswali ya ajabu ajabu tu..

    "we ni nani wewe?"

    "broo ina maana umenisahau?"

    "mi sina ndugu mjini bwana we sema we ni nani?"

    "ni mimi rashidi bakari kingazi"

    "ni nani kakuelekeza hapa?"

    "nimeulizia tuuu"

    Nilikua naongea kiunyonge sana ili asije akanikataa tu maana sina pakulala kabisa

    "mmhh umetumwa?"

    "wala tu broo nimekuja kutafuta maisha"

    "lakini kwanini usinipe taarifa kama unakuja?"

    "lakini broo namba zako tungetoa wapi?"

    "mschiiiiuuuuuu ( msunyo ) haya ingia ndani"

    Daa nilishukuru kwa kuskia hivyo kwani hata vile alivyosema sina ndugu mjini alikua ananitishia tu... Basi alipiga honi na geti likafunguliwa na kuingia yeye na mimi pia...



    Tulipofika ndani mke wake akaja juu

    "heee ivi kweli ni lindugu lako hili?"

    "aaaa si unajua mambo ya vijijini ndio ni ndugu yangu"

    "mmhhh mbona hata hufanani nae kabisa huyu?"

    "mmhhh we muache tu"



    Tuliingia mpaka ndani sebuleni na kukaa kwenye sofa kalii lakini nilikalishwa chini na shemeji eti ninachafua sofa

    "vp mbona umefungwa fungwa miguu mikino nini shida?"

    "aaahhh nilipokua nakuja tulipata ajali hivyo nilipelekwa hospitalini?"

    "mmhhh haya bwana vp una njaa?"

    "ndio broo"

    Akaitwa mfanyakazi na kuambiwa akaniletee chakula... Daa tena siku hio walipika hubwa hubwa kitu cha kipunga... Daahh nilikifakamia kama mbwa yani...

    "kwaio una kama wiki toka uje arusha?"

    "ndio broo"

    "pole"http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "mmhh asante ila broo wazazi wanakuulizia sana broo"

    "habari za nyumbani sizitaki kabisa kuzisikia... na kama umeletwa na njaa njaa zako na shida zako utarudi ulipotoka"

    "basi broo yaishe"



    "mama omari?"

    "abee?"

    "hebu toa yale masuruali na mashati yalioniruka mpe abadili hizo nguo"

    Nilishangaa kuskia hivyo

    "haaaaaa"

    "haaa nini?"

    "sasa mwili wako broo na mimi kweli si itakua kama gunia?"

    "kama hutaki acha"

    "ah ah ok ntazivaa tu"

    Baada ya hapo nilipelekwa stoo ambako kunawekwa mikaa na vyuma vyuma na pia kuna sehemu ya lile dude la kufulia nguo. afu kwa pembeni kuna kitanda.. ambacho mtu akija kufua nguo zake kama zinachelewa kidogo basi anajilaza hapo... sasa hicho ndio kitanda changu...



    Nilipewa na shuka moja tu la kujifunika.... ila mi sikua najali kitu kikubwa mambo yangu yaende sawa tu.... Nilibadili zile nguo mbichi na kuvaa suruali hio kubwaaa kama suruali ya MADILUU unamjua madiluu wewe? sasa ndio hiii bwana.

    Niliivaa na kuifunga na kamba ya mkonge. Nili lala vizuri tu wala sikua na shaka na mtu... maana nishazoea maisha ya shida sana tuu

    hivyo haya naona ni ya kawaida tu kwani hata broo anaonekana hakupendezewa na ujio wangu kabisa.....



    Sasa nikiwa nimelala zangu mara mlango uligongwa..

    Nikajikongoja na kwenda kufungua.. Alikua ni mfanya kazi wa kike amekuja kuchukua mkaa... maana huko niliko si stoo ya vitu...

    "mambo?"

    "poa"

    "sijui unaitwa nani?"

    "naitwa rashidi"

    "ok na mimi naitwa hadija"

    "oohh nashukuru kukufahamu"

    "mnhh huyu baba ni ndugu yako kabisa?"

    "ndio ni ndugu yangu kabisaa"

    "sasa mbona kakulaza huku?"

    "mhhh mi sijui mipangilio ya nyumba yao"

    "mhhh ila kaka hii nyumba sijui kama utaweza kuishi kweli"

    "kwanini useme hivyo?"

    "hii nyumba tatizo lake ni"

    Mara aliitwa na shemeji

    "we hadija?"

    "abee?"

    "unafanya nini huko?"

    "nachukua mkaa"

    "hebu fanya haraka"http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "sawa dada"

    Basi mtoto akawa anaendelea kusema Lakini kabla hajaendelea na stori niliona mtu kakaa juu ya ile mashine ya kufulia nguo afu kavaa nguo nyeupeee afu ni chafu...

    Ikabidi nimuulize huyu hadija ili nisije kukiwazia vibaya bure

    "Eti we hadija?"

    "nini?"

    "unamjua yule jamaa pale?"

    "jamaa gani wewe huku hakukaagi watu"

    "jamani mtu si yule pale anatuangalia"

    "yesu wangu kimbia wewe"



    Sasa mfanyakazi alitupa ndoo ya mkaa na kukimbia... nami nikajaribu lakini nilishindwa kukimbia kwasababu ya mguu wangu na mkono hivyo nilibaki nikijiburuza tu chini kama paka aliokatwa kiuno... Sasa nikiwa najiburuza mara yule jamaa akatokea tena kwa mbele... Lakini nilipoiangalia hio sura ni kama naifahamu vile....







    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog