Search This Blog

Monday 19 December 2022

JIMAMA JIRANI - 1

 



IMEANDIKWA NA : EDGAR MBOGO


*********************************************************************************


Chombezo : Jimama Jirani


Sehemu Ya Kwanza (1)




Jastin kijana mwenye miaka ishirini, nimpole sana kumsikia anaongea ninadla sana, ata uongeaji wake niwataratibu sana, tena uonge mala chache na kwasauti yachini, ata huko shuleni alikokuwa anasoma, wenzake walikuwa wanamwita paroko,


Kwa sasa Jastin alikuwa amemaliza kidato cha sita, katika shule ya sekondari ya luhuwiko huko mkoani Ruvuma, kipindi cha kusubiri matokeo alienda dar es salaam, kumtembelea kaka yake mkubwa Higno, ambae alikuwa akifanya kazi kwenye kampuni moja yausafirishaji, kama dereva wa magari makubwa yamizigo, yanayo safari kwenda mikoani na nje ya nchi, kupeleka mizigo mbali mbali, kipindi Jastin anafika Dar es salaam, shemeji yake yaani mke wa kaka yake, alikuwa ameenda kwao Morogoro kujitazamia kwaajili yakujifungua, yaani alikuwa mja mzito, Higno alikuwa anakaa Dar es salaam mbezi, mtaa wa makondeko, unaingia ndani kidogo ukiihacha barabara kuu iendayo morogoro, nje kidogo ya jiji, Higno alipata eneo dogo nakujenga chumba kimoja na sebule, mtaa huo ulikuwa ni mtaa mpya wenye nyumba chache tu! kubwa sana zenye fensi na mageti makubwa na nyumba ndogo kama ya Higno kaka yake Jastin, nyumba za mtaa huu mpya zilikuwa zimeachiana nafasi, kubwa kati ya nyumba na nyumba,


Shuguli za Jastin kila siku, tokea ameingia Dar ni kuweka mazingila safi nakujipikia, kisha anachukuwa simu yake nakufungua face book, hapo ushinda mpa anaingia kulala, siku moja moja alikuwa akienda na kaka yake ofisini kwao, mwenge huko alimsaidia kaka yake shuguli za ufundi wagari analotumia kwa safari za kupeleka mizigo mokoani na nje ya nchi, kama service za kawaida za gari, maana alikuwa nafahamu ufundi wa magari, kutokana na baba yao kumiliki garage japo siyo kubwa huko nachingwea lindi, lakini kwa na chingwea magari mengi sana yanatengenezwa pale, ndipo yeye utumia kipindi cha likizo kusaidia kazi ndogo ndogo za kiufundi,


Sikumoja Higno alisafiri kwenda nchini congo DRC, akipitia Rwanda, kupeleka magari ya u,oja wa mataifa, angetumia wiki mbili, kwenda na kurudi, huku nyuma Jastin alibaki peke yake, haikuwa tatizo kwake, siku yapili toka kaka yake asafiri, Jastin aliamka mapema sana, akiwa amevalia track suit nyepesi, akaanza kufanya shuguli zake za kila siku ikiwa pamoja na mazoezi ya viungo kidogo, tena ufanyia ndani kwao, kisha akatoka nje akawasha jiko la mkaa kwaajili ya kutengeneza kifungua kinywa, wakati jiko linakolea akaanza kufagia, wakati anaendelea kufagia akaona geti la nyumba ya jirani yao linafunguliwa, mfunguwaji alikuwa mama mmoja alievalia gauni fupi kidogo lililokamata mwiliwake vyema, kiasi kwamba Jastin aliweza kushuhudia umbile zuri la yule mama, yaani vizuri kabisa, kiukweli hakuwai kumwona yule mmama zaidi ya binti mmoja ambae kama sikumbilisasa hajamwona, wakati akiendelea kumwangalia yule mama, akamwona amefungua geti kisha akarudi ndani, hakuweza kumwona tena sababu ya ukuta mkubwa ulioizunguka ile nyumba, mala akasikia mlio wa gari likitoka kwenye lilegeti, ni prado nyeusi, likasimama nje kisha akashuka yule mama akaenda kufunga geti, wakati anafunga geti gari likajizima, Yule mama alipomaliza kufunga geti alirudi kwenyegari nakujaribu kuliwasha tena, lakini alikuwaka, alijaribu mala tatu zaidi alikuwaka, akamwona akishuka na kutazama huku na huko, alipotazama upande aliopo Jastin, hapo Jastin akajifanya anaendelea kufagia, lakini aliendelea kumtazama kwa macho ya wizi “we! anko, we! anko unaefagia” yule mama akaita, huku akitazama kule alipo yeye, Jastin akasimama na kujionyeshea kifuani kwamba “unaniita mimi?” “ndiyo anko, samahani nakuomba mala moja”


Jastin akaweka mfagio chini kisha kamfuata Yule mama, huku akiuangalia ule mwili wakipekee wa yule mama wajilani, kila alipozidi kumsogelea ndipo alipoanza kugundua kuwa, licha ya umbile linalo lenye kutamanisha, pia huyu mama alijaliwa sura nzuri na ya kuvutia “shikamoo mama” Jastin alisalimia yule mmama wajilani baada tu! yakumfikia “marahaba mwanangu, samahani kwa kukukatisha shuguli zako” aliongea yulemama huku akionyesha uso wa tabasamu, nakufanya midomo yake yenye lips pana zilizopakwa rangi nyekundu ya midomo, kumchanganya Jastin, japo kwa umri huyu mama ni nimkubwa sana kwake, lakini alionekana bado wamoto “husijari mama” alijibu Jastin kwa sauti yake yaupole huku akijitaidi kuyakwepa macho mazuri yaliyo kolea wanja ya yule mama, “wewe ni ndugu wayule kaka anaekaa pale?” aliongea yule mama huku akionyesha kwa kidole nyumbani kwakina Jastin, hapo Jastin alipata nafasi ya kushuhudia pete na bagili za dhahabu, zilizo jaa mkononi kwa mama huyu, “ndiyo ni kaka yangu mimi ni mdogo wake wa mwisho” alijibu kwasauti yake ya upole “ok! naliacha hapa nje gari langu, naomba uniangalizie, maana limezima ghafla” aliongea yule mama akionyesha kupendezwa na upole wa Jastin “kwani linatatizo gani?” aliuliza jasini kwa sauti ileile ya upole, akiligeukia gari la mama wa jilani “kwakweli mimi ata sijuwi, yani limezima lenyewe ghafla, nitachukuwa gari jingine hili nalihacha hapa” hapo Jastin akazunguka kwenye boneti “ebu fungua boneti niangalie kama litawaka” hapo mama jilani akashangaa kidogo, “he! kumbe wewe ni fundi?” aliongea Yule mama huku anafungua mlango wagari kisha akalifyetua boneti “hapana nina ufahamu mdogo tu! wa magari” Jastin aliinua boneti alafu akalizuwia na kifimbo chake chachuma, kisha akaanza kukagua uku akilekebisha kila alipoona panafaa kulekebishwa, lakini kwa macho ya wizi, hakuacha kutazama maumbile yamama jirani, yalivyo jichora kwenye kile kigauni matata.






Wakati Jastin akiendelea kulekebisha gari lamama jirani, kwa macho ya wizi alitazama miguu mizuri ya mama jirani, iliyobeba mapaja manene yaliyotuna vyema na kubana kigauni chake, kilicho sababisha kuonekwana kwa makalio makubwa ya huyu mama, mwenye kiuno chembamba natumbo dogo, kifuani sasa ndo balaha, aliweza kuona maziwa yaliyo jaa vizuri yakionekana kidogo kwa juu, nakutengeneza kitu kama makalio, uso wake kwakweli huyu dada amejaliwa uzuri wakipekee, pia mwili wake ulipambwa nabangili ‘ear ring’ (heleni) na chain shingoni iliyo lala mpaka kwenye minyonyo yake, vyote vikiwa nidhahabu tupu, nywele zake za hasiri zilikuwa nyeusi na ndefu mpaka kwenye mabega, “ aya mama,jaribu kuwasha sasa” aliongea Justin, ilikuwa ni baada ya kumaliza kulekebisha, mama jirani alipojaribu kuwasha gali likawaka, “asante sana mwanangu” yule mama wajilani alimshukulu Jastin,akitoa noti ya elfu tano nakumpatia “hapana mama husijari” Jastin alikataa, hapo wakaagana na yule mama akaondoka zake kuwai kazini, akimwacha Jastin akimsindikiza kwamacho mpaka gari lilipopotelea mtaani, kisha akarudi nakuendelea na kazi yake yakufagia, huku kichwani akivuta picha ya umbo la yule mama wajilani, “duu! watu wanafaidi” alimalizia kwa kunong’ona


Huyu ndie jimama la jilani, jina lake anaitwa Selina, ni mmama mwenye miaka selathini nasaba, kabla yakuanza kazi kama mhasibu bandarini, ambako anafanyia mkasasa, alikuwa anafanya kazi Benk ya biashara ya taifa, ndipo alipokutana na bwana wake wakwanza bwana Kubelwa, huyu alikuwa mfanya biashara, waliishi pamoja kimara kichungwani, kwa miaka saba, kama mke namume, bila kupata mtoto wala mimba, kabla ya kuachana kwa kashfa na matusi, yule mume alikuwa anamshutumu Selina kuwa nimgumba, mala tasa na maneno kama hayo mengine mengi sana, baada ya mwaka mmoja wa miangaiko, Selina alipata mume mwingine alie fahamika kwa jina la Ponela, hukiachilia mabwana watatu aliokuwanao hapa katikati, kila mmoja kwa kipindi chake’ huyu bwana mwingine ambae naye alikuwa mfanya biashara pia, alimwachisha kazi ya benk nakumfanya kuwa mama wanyumbani, waliishi kwenye nyumba ya huyu jamaa huko kinyelezi, walikaa miaka mitano wakionyeshana mapenzi mazito, bila kupata mtoto, licha yakuzunguka kila kona kusaka tiba yakushika mimba, wkitumia fedha nyingi sana, lakini hapakuwa na mafanikio, ndipo visa vilipoanza, siku ambayo Selina aliamua kuondoka nakwenda kuanza maisha mapya, ilikuwa ni ijumaa usiku saa saba, ndipo mume wake alipoingia nyumbani akiwa namwanamke mwingine, wote wakiwa wamelewa,aliingia nae moja kwamoja nakwenda kulalanae chumbani, ambako analala yeye na mke wake Selina, wakimtimua Selina kwamba aenda kulala kwenye chumba kingine, Selina hakuwa na ujanja aliingia chumba cha wageni na kulala mpaka asubui, nipo alipo kusanya kilicho chake nakuachana na Ponela, nakwenda kuanza maisha mapya, ukweli nikwamba, wale wanaume wote wawili walioa wanawake wengine, na wamejariwa kupata watoto, kwa matukio haya Selina hakutaka tena kujiusisha namapenzi, hakutaka tena kupenda, licha yakusumbuliwa na wanaume kila kukicha, lakini akutaka mazowea kabisa na mwanaume yoyote, tena unekuwa adui yake endapo ungeonyesha kumtamani, hakutaka tena kuumia, na kuusu uzazi alishakata tamaha, zaidi alifanyakazi kwa bidii na kuwasaidia wazazi wake, waliopo Mbeya nyumbani kwao, alishapoteza matumaini ya kuitwa mama, alikuwa amepata kazi bandarini, na mpaka sasa nimiaka mitatu toka aanze kazi bandarini, akitegemea mshahara wake na pesa nyingine alizozipata kama asante, kwa kuwasaidia watu kupitisha mizigo kwa njia zisizo alari, alishafanikiwa kujenga nyumba kubwa yakisasa, yenye kila kitu ndani, pia alimiliki magari matatu ya kifahari, kwsasa alikuwa anaishi yeye namschana wake wakazi, baada ya mgodo wake aliekuwa anaishinae,kupata mume na kuolewa huko Tanga, pia binti wake wakazi alienda Iringa kusalimia wazazi wake, angekaa huko mwezi mmoja, kwahuyo tika juzi mama huyu alikuwa peke yake,


Zilikuwa zimepita siku tatu toka Jastin amwone mama jirani na kumtengenezea gari lake, siku hiyo ilikuwa jumamosi, mida ya saa sita mchana, ambapo Jastini alikuwa sebuleni, amejilaza juu ya kochi dogo la watu wawili, akiperuzi mtandao wa face book kama kwaida yake, wakati mwingine akichati na rafiki zake waliomaliza shule pamoja, na wengine alio waacha shuleni, leo Jastin alikuwa amevaa tisheti na bukta moja kubwa kidogo, inaweza kufikia magotini kwa urefu wake, asa anapo simama, wakati anaendelea kupeluzi, mala akasikia mlango ukigongwa, ikimaanisha mtu anapiga hodi, alishangaa kidogo maana toka amefika pale, sasa nimwezi umekwisha, lakini hakuwai kusikia hodi katika nyumba ile, akasikilizia mala mbili “hodi wenyewe” ilikuwa sauti yakike, akainuka haraka na kwenda kufungua mlango, naam akakutana uso kwa uso na mama wa jilani, “karibu mama” Jastin macho yalimtoka, maana japo leo mama wawatu alikuwa amevaa gauni jepesi sana kama lakulalia, lakini kiunoni alijifunga kanga ambayo ilisalimu amri kwenye mahips, na kusababisha itengeneze kitu kama ‘v’ iliyogeuzwa nakusababisha mapaja kuonekana kidogo, kutokana naufupi wakigauni “asante mwanangu, ujambo lakini?” alisalimia mama jirani, baada yakuona mwenyeji wake ameduwaa, huku mama jilani, tabasamu likishamili usoni mwake, nakumfanya azidi kuwa mzuri zaid kama binti wa miaka kumi na tisa, “me! sijambo, shikamoo” alisalimia Jastin huku akiwaza nini shida ya yule mama, mpaka aje pale nyumbani, maana kaka yake aliwai kumdokeza kuwa kuna mama mmoja anakaa pale, akimaanisha yule mama wajilani, kuwa huwa hataki mazowea na mtu, yaani akisha kusalimia tu! anatambaa na mia, sasa leo vipi,




.“Marahaba mwanangu, samahani kwa kukusumbua” mama jirani aliongea akizidi kuachia tabasamu, huku akioneka nakukosa uturivu, kwa kuuchezesha mwili wake kila anapoongea, na kila alipotikisika kidogo, kifua chake kilicheza nakusababisha ile miziwa yake kutikisika, siyo siri Jastin alipatashida, licha ya kufahamu hakuwa na hadhi ya kumpata yule mama iwe kwa fedha au umri, “husijari mama, nilikuwa nimekaa tu! sifanyi kazi yoyote” Jastin alimwambia mama jirani, kwasauti yake ya upole, huku macho yake yakiibia kutazama kifua cha huyu mama, basi mama jirani alieleza shida yake akimwomba Jastin akam’badilishie taa ya jikoni nyumbani kwake, kwani ile yamwanzo imeungua, Jastin hakuwa na kipinamizi wakaongozana kuelekea nyumbani kwa mama jilani, Selina au mama jirani kama tunavyomuita, akiwa mbele na Jastin akifwata kwa nyuma, kila atua moja iliyopigwa na mama jirani, ilimpa shida sana Jastin, maana alishuhudia makalio makubwa yaliyojaa vyema ya huyu mmama yakitikisika kama yaliwekewa spring ndani yake, kiukweli Jastin toka wakati anasoma mpaka amemaliza shule, aliwai kuwa nampenzi mmoja tu!, alimpata akiwa kidato chapili, wakati yule mpenzi wake Christina ama Tina kama walivyo penda kumwita wenzie, alikuwa kidato chakwanza, hapo hapo lihuwiko sekondary, haikuwa kazi ngumu kumpata, maana ilitokea wakiwa wanasafiri toka shuleni Songea walikokuwa wanasoma, wakielekea mikoa ya kusini, lindi na Mtwala, safari ilianza jioni saa kumi na moja, bahati mabaya baada yakutembea kwa masaa nane kutokana na ubovu wa barabara kipindi hicho, walipofika Namtumbo gari likawaalibikia, wakalazimika kutafuta sehemu yakulala, maana kifaa kilichoaribika ilikuwa ni lazima kifuatwe songea mjini, nibaada yakuangaika sana walibahatika kupata chumba kimoja, maana sikuile nyumba za kulala wageni zilijaa sana, hawakuwa na budi iliwalazimu wote walale chumba kimoja, wakipeana masharti ya kulala mzungu wa nne, mambo ya libadirika baada ya Tina kulalamika baridi nakuomba japo wakumbatiane miguu, lakini dakika chache baadae Tina akavunja tena masharti, nakuomba walale kawaida ili wapeane joto vizuri, kwakifupi usiku hule haikuwa rahisi wao kuvumiliana, ndipo Jastin akampata yule binti, ambae tokea hapo akawa mpenzi wake, wakaja kutengana baada yaJastin kumaliza kidato channe, ata aliporudi tena luhuwiko sekondary kusoma kidato cha tano na chasita, yule binti alikuwa amebakiza muda mchache wakujiandaa na mitihani, pia alisikia tetesi zakuwa anatoka na mwalimu wake pale shuleni, kwasababu hizo Jastin akajiweka mbali na Tina, na tokea hapo Jastin hakuwai kupata mwanamke mwingine mapaka leo, hii ni kutokana na kuwa na mdomo mzito sana kwenye kuomba vitu vitamu, Jastin akabaki analikodolea macho wowowo la mama wa jilani, mpaka ilifikia kipindi muhogo wake ndani ya bukta, ukaanza kushtuka, akajitaidi kuizuwia usionekane kwa mmama huyu, lakini shida ikaongezeka baada ya kuingia ndani, wakitumia geti dogo pembeni ya geti kubwa ambalo walilikuta wazi, nazani sababu mama huyu alitoka kupita muda siyo mrefu, alitangulia mama jirani akamsubiri Jastin aingie ndani, ili afunge geti hilo dogo, Jastin alipita kisha mama wajilani akaanza kufunga komeo ya juu yageti, sasa kila alipokuwa akiitikisa komeo ‘kwichi kwichi’ iliiweze kuingia maalipake, ndipo shida ilipoanza, maana makalio na kifua vya huyu mama vilitikisika, nakutengezeza picha flani iliyoleta laha machoni kwa Jastin, mama Jilani alipofunga sasa akaamia komeo la chini alipo inama tu! hapo Jastin aliangalia pembeni bila mwenyewe kupenda, maana alikuwa kama anasugua kisigino, kwa jinsi msambwanda ulivyokuwa unacheza juu chini,


Naam ndani ya ule wigo (fens) ya mama jilani, Jastin aliweza kuishuhudia nyumba nzuri yaki sasa, iliyo zungukwa na maua mazuri, eneo lote mle ndani vilipangwa vitofari vidogo vidogo kuzunguka nyumba, pia kushoto ya nyumba hii yali pack magari matatu yakifahari “mama hapa unaishi nanani?” aliuliza Jastin kuvunja ukimya, kwasaui yake ile ile ya upole “kwa sasa naishi mwenyewe, ila nilikuwa nakaa na dada wakazi, ameenda kusalimia kwao, likuwa nakaa na mdogo wangu pia, yeye meolewa hukooooo Tanga” alijibu jimama huku wakiingia ndani, kwa akika ndani mlikuwa mzuri mpaka inaogopesha, yani palitawaliwa navifaa vyasamani kubwa na mlipambwa mkapambika, wakaelekea moja kwamoja jikoni, “karibu mwanagu, ngoja nikachukue taa nyingine” mama jirani aliongea nakuelekea chumbani, kuchukuwa taa nyingine iliyotakiwa iwekwe, huku Jastin akimsindikiza kwa macho, akiangali msambwanda ukitikisika kwa kila atua ya mama jilani, adi alipo potea kwenye korido, Jastin alisubiri hapo hapo jikoni, baada ya sekunde chache mama jirani alirudi na taa mkononi, ikiwa ndani ya box, akampatia Jastin, kisha yeye akaenda kuchukuwa sturi kwaajili yakusimamia wakati wakuweka ile taa, sekude chache Jastin alimwona mama jilani anarudi akiwa nasturi mkononi, lani basi kabla haja fika, na sturi bado ikiwa mikononi mwa mama jirani, kanga ikajifungua kiunoni mwa mama huyu na kumdondoka , akabaki na kigauni kifupi sana tena chepesi, kilicho yabana mapaja yake na kusababisha umbo lake lionekane vizuri, lakini mama huyu hakuijari ile kanga, akabaki nakile kigauni chepesi sana nakifupi sana, kiliishia juu kidogo yamagoti, ata alipo inama kuiweka chini sturi, kilipanda kidogo nakufanya, macho ya Jastin yaone sehemu za nyuma za mapaja ya huyu mama, hapo mapigo yamoyo ya jastini yali ongeza kasi nakusukuma damu kwanguvu kuelekea sehemu ya chini yamwili wake, zikajaa kwenye mirija ya dudu, ambayo ilisabababisha inyanyuke na kuinyanyua bukta, hivyo kuifanya itune kwa mbele, likaanza zoezi lakuizuwia mashine iliyochachamaa, hisionekane kwa mwenyeji wake, lakini ilishindikana, maana tayari kitu kilikuwa kimechachamaa, Jastin akawai kupanda kwenye sturi nakugeukia upande mwingine, ili mama jirani asije akaona jinsi mambo yalivyo mwalibikia, nikweli alikuwa amefanikiwa, maana mama jilani alikuwa metazama kwenye kabati lake la vyombo, akitoa glasi akipanga kumpatia Juice mgeni wake baada ya kumaliza kazi, Jastin akaanza kuitoa iletaa ya mwanzo, Wakati huo mama jirani na yeye, katika angalia angalia yake, nikama macho yake yaliona kitu flani hivi amazing, kwa kutumia kioo cha kabati lilichopo upande aliogeukia Jastin, “mh” alijikuata akiguna kwa sauti ya chini, lakini jimama akapotezea, akihisi macho yake yana mdanganya, pengine kile kioo kime kaa vibaya, maana aliona kitu kilichotuna kwenye bukta ya huyu kijana kama ameficha kipande cha mohogo, akaona ngoja atumie ujanja, ili kutazama vizuri kilichovimba kwenye bukta ya Jastin, pasipo mwenyewe kujuwa.





ITAENDELEA


***************


0 comments:

Post a Comment

Blog