Search This Blog

Monday 19 December 2022

MWALIMU ALITAKA - 2

  

Chombezo : Mwalimu Alitaka 


Sehemu Ya Pili (2)


Nikweli alimwona sister Judith, ambae uso wake ulikuwa umetawaliwa na tabasamu pana, “nilizani umebanwa na kazi, ndio nilikuwa na ondoka zangu” alisema Michael, huku anatabasamu pia, na wakati huo pua zake zililikuwa zina nusa harufu nzuri ya mafuta ambayo jina akulifahamu, ila arufu yake ilikuwa inafanana na ile uya uwa ridi, (rose) “inabidi uwe mvumilivu kidogo Michael, asa unapo subiria kitu flani, aya karibu ndani mgeni, ukanywe japo kikombe kioja cha maziwa” alisema yule sisister,huku akiongoza kuelekea ndani na Michael akafwatia nyuma, huku hakiri zake zikizidi kuchafuka kwa tamaa ta kitumbua, maana ata hapa alikuwa anayatazama makalio ya sister Judith, alie tangulia mbele yake, kuingia ndani ya uzio mkubwa wa eneo la watawa.*****

Naam sister Judith alimwongoza Michael mpaka ndani ya uzio huu mkubwa ulio zunguka nyumba nyingi sana, zikiwepo hoster za watawa wakike, na majengo ya kituo cha redio Maria, wakaelekea eneo moja tulivu lenye vibanda vidogo vidogo vya wazi, yani mizurungi au midure kama vitano hivi, vilivyo jengwa mbele ya kijumba flani kidogo cha vioo, maalumu kwa kuuzia mikate cake na maziwa, sehemu ile walikuta watu kadhaa wamekaa kwenye midure wakiongea huku wanakunywa mziwa na cake, na wao wakachagua kibanda ambacho akikuwa na watu, wakakaa wawili tu!, walikaa kwa mtundo wa kutazamana, wakitenganishwa na meza, wakiagiza maziwa na cake, “nilikukumbuka sana Michael, ila natumaini ulifika salama” alisema Judith, mala baada ya kuletewa vile walivyo agiza, mlipaji akiwa ni Michael, “nilifika salama, na mimi nilikukumbuka sana” alisema Michael kwa sauti tulivu, huku akiachia tabasamu la kiume lililojaa uchokozi, lakini macho yake yalikuwa yanajaribu kutathmini mwili wa mwanadada huyu mtawa, japo nguo alizovaa ziliuficha mwili wake, japo kuna baadhi ya viungo vya Judith vilionekana vikiwa vimetuna kidogo, kama eneo la mapaja, makalio na kifua chake, “ulinikumbuka kwa lepi Michael, inabidi utumie muda wako kwenye masomo na Rafiki yako wakike…” alisema Judith huku anatabasamu, na alisha yaona macho ya Michael, yalivyo kuwa yana utazama mwili wake, kwa matamanio, “sina Rafiki wa kike, nilikuambia toka siku ile” alisema Michael kwa sauti ambayo licha ya utulivu, pia ilikuwa nzito ilio ambatana na tabasamu la kiume, na macho ameyakaza usoni kwa sis Judith, ambae pia alimtazama na macho yao yaka kutana, sister Judith akatazama chini kwa aibu, akikwepesha macho yake, na tabasamu “hooo! ulisema auna Rafiki wa kike” alisema Judith, ambae kiukweli mwili wake ulisisimkwa kwa mtazamo hule wa Michael, ambae ni mvulana wa kwanza kuwa nae karibu kwa miaka mingi sana iliyopita, kipindi anasoma shule ya msingi, “lakini…. Kwanini auna Rafiki, unanzani wenzako wanafanya vibaya, kuwa ma marafiki wakike?” aliuliza sis Judith ambae alikuwa anajitaidi kukwepesha macho yake yasi kutane na macho ya Michael, yaliyo jaa ushawishi mbaya, “ni vibaya, lakini urafiki unafaida pia, sema mimi sikuwa nimepata aina ya mschana ninae mwitaji” alisema Michael kwa sauti ile ile nzito na tulivu, ambayo ilizidi kumsisimua sister Judith, “mh! Michael unaitaji Rafiki wa aina gani, maana niliona hupo sahihi kuwa mwenyewe bila mschana” alisema sister Judith, akimtazama Michael usoni, ambae pia alikuwa anamtazama kwa macho legevu huku analamba midomo yake ya chini, iliyokuwa katika tabasamu mwanana, lenye ushawishi, ambalo alikumwacha salama matwa huyu, ambae kwa mala ya kwanza baada ya muda mrefu kupita, akajikuta anawaza kuhusu dudu, ambayo akuwai kuipata katika Maisha yake, na akufikilia kuiruhusu ipenye kwenye kitumbua chake, “unapenda kujuwa naitaji mschana wa aina gani?” aliuliza Michael kwa sauti ile ile huku anamemkazia macho Judith, ambae kila alipojaribu kumtazama Michael, alishindwa na kutazama chini, huku anatabasamu, na kuitikia kwa kichwa kuwa anaitaji kujuwa, “nimschana mwenye sifa kama zako” alisema Michael, na kumfanya Judith asisimkwe mwili mzima, kiasi cha kuhisi mkojo una mbana, “mh! Unamaanisha unapenda sister mtawa?” aliuliza Judith, kwa sauti ya chini, iliyojaa mshangao, akijaribu kumtazama Michael, ambae ilikuwa zamu yake kutazama chini kwa aibu, ukichukulia ni mala yake ya kwanza kuongea hivi mbele ya mwanamke tena mtawa, “siyo sister tu! ila niwewe” alisema Michael ambae alijaribu kumtazama Judith, ambae nae alikwepesha macho yake, “mungu wangu, unamaanisha unanipenda?” aliuliza Judith, kwa sauti ya mshangao mkubwa………… endelea………… kufwatilia hadithi hii 




Huku anajihisi kusisimkwa kwa mastaajabu, “ndiyo sis Judith, labda nikueleze kitu, mimi toka nikiwa mdogo sikuwai kujiingiza katika mapenzi, na sikufikiria kufanya hivyo hivi karibuni, lakini uwezi amini, toka jumapili iliuopita nikuone, nime tokea kukupenda sana” alisema Michael, kwa sauti ile ile tulivu nanzito ila iliyojaa ushawishi.

Naam Judith alitulia kidogo, kama mwenye kuwaza jambo zito, kisha akashusha pumzi nzito, kama vile amechoshwa na jambo, kisha akasema, “lakini unafahamu kuwa aiwezekani, sababu mimi ni mtawa na ninakaribia kufunga nadhiri (ni hatua kubwa sana katika maisha ya watawa)” alisema Sister Judith kwa sauti tulivu, “najuwa sister, lakini tafadhari naomba usiniache niumie roho yangu, kwaajili ya upendo” alisema Michael kwa sauti ambayo ilikuwa inatoka kwenye upole na kwenda kwenye kutia huruma, sijuwi alifanya makusudi, aliona kuwa anaelekea kukataliwa, sister Judith akatoa macho kwa mshtuko na mshangao akimtazama Michael, “mh, Michael unamaanisha nini, mbona kama sijakuelewa vizuri?” aliuliza Judith kwa sauti ambayo iliendana na sura yake ya mshangao, Michael aka jitaidi kumkazia macho sister Judith, maana aliona kuwa akilegeza atapigwa chini, “nakupenda sister Judy, hakika sijawai kupenda kama hivi hapo kabla, naamini tuta fanya siri hakuna atakae juwa, nitaitunza heshima yako, tena sito kusumbua mala kwa mala” alisema Michael kwa sauti ya chini, iliyo jaa msisitizo, huku bado akimtazama sis Judith, kwa sura iliyo jaa huruma, sis Judith akazidi kushangaa, “unamaana Michael gani unataka tuzini, yani unataka tufanye mapenzi?” aliuliza Judith, kwa sauti ambayo sasa iliambatana na aibu, iliyosababisha ashindwe kumtazama Michael usoni, Michael nae akaanza kuitikia kwa kichwa, akimalizia kwa kwakusema, “lakini itakuwa siri yetu, nakuahidi sito mwambia mtu yoyote”

Hapo Judith akatulia kidogo, akitafakari kwa sekunde kadhaa, kabla ajainua usowake ulia umba tabasamu lililojawaa na aibu, na kushindwa kuvumilia akatazama chini, huku ananyoosha mkono wake, na kulaza kiganja chake, juu ya kiganja cha mkono wa Michael, “sikia Michael, umenipa mtihani mkubwa sana, ila naamini kuwa itakuwa safi, naomba nipe muda nitafakari kidogo, kisha nita kujibu, naamini utafurahi na kuridhika pia” alisema sister Judith, kwa sauti tulivu ya chini iliyo jaa upole na upendo wa hali ya juu, naam ile kushikwa mkono Michael alisisimkwa na moyo wake ukajawa na amani kubwa sana, joto la mkono wa Judithi lilimsisimua na kumfanya dudu yake ianze kututumka, huku harufu ya marashi ya mafuta aliyo jipaka sister Judith ikizidi kupenya puani kwake, na kuzidi kumletea labsha kwenye dudu yake, ambayo ata aliposimama wakati wakuondoka, ilionekana wazi machoni mwa Judith, jinsi ilivyo simama, na kutuma ndani ya suruali, kiasi cha kumfanya Judith atabamu na kutazama chini kwa aibu, “pole sana Michael, mwaliko wangu unakutesa” alisema Judith, akimweleza Michael ambae alijuwa amepewa pole ya nini, maana aliona wazi jinsi sis Judith alivyo iona dudu iliyokasirika.*****

Naam zilipita siku tatu, Michael akienda shuleni huku akisubiri kwa hamu siku ya jumapili, siku ambayo aliamini kuwa angeenda kupata majibu yake kwa sis Judith, majibu ambayo aliamini kuwa yatakuwa mazuri kama alivyo ambiwa, lakini, Jumapili aikufika, ilifika siku ya alkhamis asubuhi, siku ambayo Michael aliitwa ofisini kwa mwalimu mkuu, ambako alishtushwa na watu aliowakuta mle ndani, ukiachilia mwalimu wa taaluma, na wanidhamu waliokuwepo na mwalimu mkuu, pia kulikuwa na baba yake mzazi, ambae alikuwa amekunja uso, na kilicho mshtusha Zaidi, ni kitendo cha walimu wale pamoja na baba yake, kuonekana wakisoma karatasi flani, huku wakipokezana, kila mmoja akimaliza usoma anamatia mwenzie, na kila alie soma aliishia kutikiasa kichwa kwa masikitiko, “shikamoni” alisalimia Michael kwa sauti iliyojaa tahadhari, salami ambayo iliitikiwa na mwamu mkuu peke yake, tena kwa sauti kavu na bila kumtazama usoni, ukweli Michael alikuwa katika wakati mgumu sana, maana akujuwa nini kilikuwa kina endelea, na alikuja kufahamu dakika chache baadae, ni baada ya mwalimu wa nidhamu kumkabidhi kile kipande cha karatasi, “ebu soma ulichoandikiwa kisha utujibu maswali yetu” alisema mwalimu yule nah apo huku ana anatetemeka, Michael akaanza kusoma kile kilichoandikwa kwenye ile karatasi, ambacho baada ya kutazama tu, akagundua kuwa ni barua, tena mbaya Zaidi ilikuwa na anuani ya mwandishi ambae alikuwa anatoka jimbo kuu la songea, na si mwingine ni sis Judith.

“Mpendwa Michael, nimekaa na kutafakari ombi lako la kuwa na mimi kimapenzi, na nimeona nikueleze kama ifuatavyo, kiukweli wewe ni kijana mzuri ambae akuna mwanamke anaweza kukataa kuwa na wewe, ata mimi na kupenda sana, lakini bahati mbaya, dini na Maisha niliyo ya chagua, ayaniruhusu kuwa na mwanaume, Michael mpendwa unafahamu kuwa mimi ni sister mtawa, na ninakaribia kufunga nadhiri, hivyo naomba unisamehe, sitoweza kufanya hivyo, lakini sito kuacha hivi hivi, naomba nikusaidie kumpata mschana ambae anasifa ambazo unaziitaji, mschana ambae ukiwanae utanikubuka mimi, mschana ambae utampenda kama mimi, naomba tukutane tena jumapili, pale pale tulipokutana, wako akupandae na kukujari sister Judith” hivyo ndiyo ilivyo someka ile barua, ambayo ilikuwa inatoka kwa mtawa Judith, hakika Michael aliishiwa pose, ni wazi barua ile ilitumwa kwa njia ya poster, na kupokelewa na ofisi ya mwalimu wa nidhamu, ambae anadhamana ya jambo ilo, na mala zote uwa anafungua barua zote binafsi za wanafunzi, na kuzisoma kama zinazingatia maadiri.

“Michael, unamfahamu alie kuandikia hiyo barua” aliuliza mwalimu mkuu kwa sauti kavu, ambayo ilionyesha kuchukiza na jambo lile, maana katika vitu ambavyo mwanafunzi akutakiwa kujiusisha navyo, ni swala zima la mapenzi, ata kwa bahati mbaya, endapo ingebainika, adhabu yake ni kufukuzwa shule moja moja, “ndiyo namfahamu, nisister Judith wa pale jimboni” aljibu Michael kwa namna flani ambayo ungesema kuwa akuwa amefanya kosa lolote.

Hapo baba yake yani mzee Eric, akainua uso na kumtazama usoni kijana wake huyu wa pekee, kwa macho ya mshangao pengine alizania kuwa angejitetea kidogo, “lakini Michael si unafahamu kuwa kwa sharia za shule yenu nikosa kujiusisha na mapenzi?” aliuliza mzee Eric kwa sauti ya masikitiko, “lakini baba siyo sija fanya nae lolote, siyo mwanamke wangu” alisema Michael, nah apo mwalimu wa nidhamu akadakia, “lakini tayari umesha onyesha utovu wa nidhamu, kwa kumtaka kimapenzi” alisema mwalimu huyu wa nidhamu, na mwalimu mkuu akadakia, “tena bila kujari kuwa ni sister” aliongea mwalimu mkuu kwa sauti iliyo jaa hasira, “anaonyesha ni jinsi gani amekubuhu katika uzinzi, yani akuweza kuwaona ata washana wa songea girls, mpaka uwafwate watawa wakanisani?” aliongea mwalimu wa nidhamu, na hapo, waka mshambulia Michael kwa dakika kadhaa, kabla ya kumtangazia hukumu yake, “sasa Mzee Eric, tunamsimaisha shule Michael kwa muda usio julikana, huku anasubiri bodi ya shule ikae na kutoa maamuzi juu ya hatima yake, kama aendelee na shule au fukuzwe kabisa” mpaka hapo mzee Eric, ambae alikuwa njia panda asijuwe kama alahumu mwanae kwa kutongoza sister, au achukulie kwamba ni moja ya hatua za ukuwaji wa kijana wake, ambae kwa umri alionao, angepaswa kuwa na Rafiki wa kike, “mwalimu nimewasikia na sina la kuwachagulia, kuhusu hukumu, ila ninaombi moja, sababu bado hamja mfukuza kazi Michael, naomba mnipe uhamisho, ili akasome shule binafsi” ili ndilo lilikuwa ombi la mzee ambae siyo tu kuwa Tajiri na kufahamika hapa mkoani, pia alikuwa anaheshimika sana, walimu awakupinga ombi lake, hivyo Michael akaandikiwa uhamisho na kuamia Namtumbo secondary, huku baba na mama yake kila mmoja akimpa onyo na maelezo tofauti.

Wakati mama akimsisitiza kuachana na habari za mapenzi, na kuweka hakiri yake kwenye masomo, huku baba akimweleza kijana wake kuhusu, umakini pale anapotaja kufanya jambo flani, “najuwa kwa sasa unaitaji kuwa na mwanamke, sababu umri wako una luhusu, lakini unapo amua kuwa na mwanamke, ebu jaribu kuchagua mwanamke ambae, ata ikitokea bahati mbaya ume mpatia ujauzito, basi anaweza kuwa mke au mchumba kwa hapo baadae, siyo unaanza kujilahumu, na kumtelekeza, kwamaana uwezi ata kumwonyesha mbele za watu wengine” alisema mzee Eric, ambae akuishia hapo, alizidi kumweleza mwanae kuwa, ajitaidi kufanya mambo yake kwa siri, na kwakutumia hakiri, huku anazingatia masomo kwa huo mwaka mmoja uliobakia, wa kumaliza kidato cha sita.*****

Hiyo ndiyo sababu ya kijana Michael kuamia Namtumbo sekondari, msimu huu mpya, wa kidato cha sita, ambae siku yake ya kwanza kushiriki mechi ya kirafiki ilimfanya afahamike na kujichukulia umaarufu mkubwa sana, huku wanafunzi wenzake wakimtoa uwanjani, kwa kumbabe juu juu, kwa shangwe na vifijo, huku kelele na nyimbo za ushindi zikisikika, wanafunzi wakike nao awakubakia nyuma, walisindikiza msaafara huo mpaka kwenye mabweni ya wavurana, na kurudi kwenye mabweni yao kwaajili ya kujiandaa kwa chakura cha jioni, kisha wange elekea bwaloni, kwaajili ya music ambao ungeushia saa sita za usiku.******

Eneo la makazi ya walimu wa shule hii ya namatumbo, yalitenganishwa kwa barabara na eneo la madarasa ya shule hii kongwe, pamoja na bwalo la shule na bweni ya wafurana, huku upande wa magharibi mwa eneo la makazi ya walimu, kukiwa na mabweni ya wanafunzi wakike, na jiko la shule.

Nyumba za walimu zipatazo saba, zilikuwa zime jengwa kwa kuachiana nafasi kubwa, ya kati ya mita hamasini kila nyumba, hivyo ilifanya kila baada ya nyumba ungekuta kichaka au shamba dogo la maindi au viazi na mihogo, ukweli eneo ili lilikuwa tulivu kidogo, maana ukiachilia kukosekana kwa umeme, pia baadhi ya nyumba azikuwa zikikaliwa na watu, ni nyumba nne tu! kati ya saba ndizo zilikuwa zinakaliwa na walimu, huku nyumba mbili pekee, ndizo zilikuwa zina kaliwa na walimu wenye familia, ikiwa ni nyumba ya mwalimu mkuu, na mwalimu wa nidhamu, yani mwalimu Haule, au Njwanga kama walivyo mbatiza wanafunzi wake, ambao walikuwa wanalithishana jina hilo kila mwaka.

Nyumba nyingine kati ya zile nne, ni nyumba ya mwalimu Nyoni (charanga) na mwalimu Mbele, mtu na mpenzi wake walio amua kukaa nyumba moja, huku nyumba ya nne ukiachia hii ya walimu Jackline, alikuwa anaishi mwalimu Charles Kambuzi, walimu wengine wengi ambao walikuwa ni wenyeji wa hapa Namtumbo, walikuwa wanakaa Namtumbo mjini, idadi kubwa ikiwa ni walimu waliostaafu serikalini, na kuamua kujishikiza hapa Nandungutu.

Mwalimu Jackline Peter akiwa amebanwa na mkojo toka uwanjani, alifika nyumbani kwake, akipanga kuwa akajiandae kwenda kuoga kisha, akishaoga, avute muda kidogo mpaka kwenye saa mbili za usiku, ndipo ale chakura chake alicho akiandaa kabla ya kwenda kwenye mpira, kisha akalale, maana akuwa na mpango wa kwenda kwenye disco, aliingia ndani, ambako aliweka lile box la huduma yakwanza mezani, pale sebuleni, sebule ambayo ukiachilia, meza ile ndogo, kulikuwa na sturi mbili moja ikiwa imewekewa meseni lililoifadhiwa vyombo vya kulia vhakura, yani sahani vikombe vijiko bakuri nk, usingeshangaa wala kujiuliza kuwa mwenyenyumba alikuwa anaanza Maisha, Zaidi ya hapo akukuwa na kitu chochote ambacho kiliongezeka pale sebuleni, labda mkeka, ambao mwalimu Jackline aliuweka pale sebuleni, kwaajili ya kupunzikia mchana, wakati kura au kujipunzisha kawaida.

Naam Jackline ambae akuwa na mpango wa kwenda disco usiku ule, alichukuwa ndoo ya maji ambayo ilikuwa na majinusu, huku akitafakari mchezo wa mpira wamiguu, aliokuwa ametoka kuutazama, hakika ulimvutia sana, na akutegemea kuvutiwa na mchezo ule, “bila yule mwanafunzi, tunge bugizwa mengi sana” aliwaza Jackline huku anawai mlango wa uwani, na mdoo yake ya maji, kwaajili ya kukimbilia chooni, maana mkojo ulisha mbana toka akiwa njiani, na alifanikiwa kufika chooni, ambako kulikuwa na choo cha nje peke yake, akapandisha gauni lake haraka, na kushusha nguo yake ya ndani, kisha akachuchumaa kwenye sink la choo, ambapo kilifwatia, “mwaaaaaaaaa!” na ndio wakati ambao, mwalimu huyu mschana mrembo alipogundua kuwa bado alikuwa ameshikilia karatasi mkoni mwake, akaona itakuwa vyema akitumia muda huo kuliangalia lile karatasi, lililotoka kwa mwalimu wake wa nidhamu.

Naam ile analikunjua na kuanza kulisoma, mwalimu Jackline ambae alisha tegemea ujumbe ule ndani ya karatasi, alijikuta ana kunja sura kwa mshangao na fadhaa, “mwalimu nitakuja baadae, nyumbani kwako, mida ya saa mbili za usiku, kuna jambo lina nisumbua juu yako, naitaji tulijadiri kwa pamoja, naimani wewe ni mtu mzima na unaelewa ninacho maanisha” Jackiline alijikuta ana ishiwa nguvu za miguu, kwa ujumbe ule………. endelea………… kufwatilia hadithi hii ya 



ITAENDELEA



0 comments:

Post a Comment

Blog