Search This Blog

Monday 19 December 2022

KITU MNATO - 4

  



Chombezo : Kitu Mnato 


Sehemu Ya Nne (4)






"Je una miadi naye?!"




"Hapana sina miadi naye"




"Ok!, bosi kabanwa na kazi!"




Karibu muhtasar wake akamwambia akiwa kaikunja sura ipasavyo ni wazi akuridhika na ujio wake!


Usilplijua moyoni mwa mtu ni sawa na usiku wa kiza!






Baada ya Shamim kushindwa kuonana na bosi wa super market ile akashkuru na kujiinua ile anataka kupiga hatua kutoka!




Ghafla akasikia sauti ya mlio wa kufunguliwa kwa mlango wa ofisi ya bosi HAKEEM wote yeye na "secretary " macho yao wakayaelekezea kule




Hakeem akatoka koti akiwa kalipachika mabegani!, ni wazi ndo alikuwa anataka kuondoka!,mshtuko alioupata sitoweza kuuelezea hapa kwa maandishi!




"Ni...ni...ni..we.we!"




Akauliza Hakeem akiumbuliwa na kigugumizi!, wote wakashangaa,hali iliyompata kijana yule,Shamim akaachia tabasamu na kusema




"Ni Mimi mr shikamoo, nimekuja kukushukur...."




Kabla ajamaliza akakatishwa!




"Njoo ofisini tafadhali" akamkaribisha ofisini kwa unyenyekevu akimwacha Dada yule wa mapokezi katika mshangao mkuu na wivu ukichanua katika moyo wake!




Shamim na Hakeem wakarudi ofisini!...




"Mmmh una bahati ndo nilikuwa natoka" Hakeem akaanza kuongea,Shamim hakujibu kitu zaidi ya kuachia tabasamu jepesi lililozidi kumuumiza kijana yule




Hakeem akashika simu na kuipiga




"Juice embe mbili tafadhali"




Akaagiza na muda ule ule "secretary" Yule akaingia nazo!


"Karibuni" akawakaribisha na kutoka!




Shamim bado alisitajabishwa na mapokezi Yale,hakuyategemea!, ni mapema sana aliutambua udhaifu wa Hakeem! Au ndo sijui mapenzi hayafichiki! Ila kwa muda mchache tu naye akajikuta amevutiwa naye




Ni kwa wanawake wachache sana,wanaotokea kupenda wakati wakiwa wametokea katika maumivu ya kusalitiwa Shamim akiwa mmoja wapo!




"Kwanza pole kwa kile kilichotokea majuma kadhaa nyuma moyo uliniuma sana nikaapa kukusaidia ndo mapenzi yalivyo Dada yangu!"




"Nashkuru sana Kaka yangu sikutegemea kama angetokea mwokozi katika kipindi hiki kigumu nilimpenda sana Denis ila...




" sssssh Umesema unaitwa Shamim?!,usikumbuke mateso ya moyo wako,ganga sasa yajayo wanaume wako wengi wazuri tu utampata ambaye atakuwa furaha ya maisha yako!"




"Sure?! Ambaye hatonisaliti?!"




"Hakika yupo ambaye hatokusaliti"




Hakeem alijibu kwa kumaanisha,furaha aliyokuwa nayo Shamim akajikuta akijinyanyua na kwenda kumkumbatia mwanaume yule,waliongozwa sasa na hisia na waliziacha ziwaongoze...




Akapokewa na joto la haja,Hakeem naye alifurahia kukumbatiwa kule chuchu dodo zile zikamchoma na kuamsha hisia,akawa akiupapasa mgongo wa binti yule




"Wewe ni mwanaume ambaye umenirejesha katika furaha yangu" Shamim aliongea huku machozi yakimtiririka




hawakujua ni sangapi waliikutanisha midomo yao! Ila walipozinduka SHAMIM




Akatanguliza "Sorry," ambayo hata ivyo Hakeem aliikataa alisema yeye ndo mwenye makosa!,mchezo ukaanzia hapo,ikawa kama wamekutana siku nyingi!




"Mficha maradhi mauti humuumbua" naye Shamim hakutaka afike huko, akamweleza wazi jamaa yake kwamba ana pa kukaa amefukuzwa kwao kutokana na sekeseke lile!




Hakeem akamwomba akaishi kwake,Shamim hakuamini,alikuwa ni kama kashamloga kijana yule,wakatoka wakijua kabisa ni wapi wanapoelekea




****


Lilikuwa ni bonge la nyumba,mitaa ya matajiri Shamim alikaribiswa HAKEEM aliishi peke yake katika jumba ilo!




Jambo hilo likamstaajabisha sana binti yule!


'Sasa ni wakati wa kuyatumia mafunzo niliyoyapata' Shamim aliwaza akikitazama kitanda cha futi sita kwa sita alicho kikuta mule chumbani!


Bafu na choo pia vilikuwa ndani kwa ndani!,




"Sasa mpz we endelea kupika mi natoka dakika kumi tu ntakuwa hapa!"


Hakeem akaaga! hakuwa na ratiba tena ya kurudi kazini!




Shamim akaingia jikoni! , alipokuja kutoka akaingia bafuni kwani toka atoke mahabusu hakupata kuoga!




Huo ukawa ndiyo mwanzo wa mahusiano kati ya Shamim na Hakeem.


Waliishi kama mume na mke kwa Amani,furaha na upendo hadi Mzre Said baba yake Shamimu alipogundua na kuanza kumletea fujo hakeem(tulisoma mwanzo) akihitaji amuoe mwanae kwa ndoa inayokubaliwa na dini yao.




HAKEEM ANAKUBALI KUMUOA SHAMIM




Mipango ya harusi ikaendelea sambamba na kumfunda mwali "jinsi ya kuishi na mwanaume! Kipi umfanyie kipi usimfanyie


Kwa kuwa vingi alishafundwa utotoni mpaka anakuwa vingi havikuwa vipya!




Siku ya siku ikafika! HAKEEM akamchukua SHAMIM na kwenda kuyaanza maisha mapya kama mke na mume!,miezi sita ya awali waliishi kwa amani Shamim akifata mafunzo yote aliyopewa hawakufarakana ila upweke ulimsumbua sana binti yule




Kuishi mwenyewe katika jumba lile




Wivu! Ulimsakama pengine akiwa na msichana wa kazi angemwingiza majaribuni mumewe , vivyo hivyo hata kwa Hakeem hakutaka kijana wa kazi akijua fika angeweza Ku mshawishi mke wake




Si kwamba hawakuaminiana ila mapenzi yalipitiliza na wivu ni sehemu ya mapenzi!




Siku hiyo Shamim akiwa ameenda kusalimia kwao baba yake mzee Said akapeleka ombi!,


Ombi ambalo Shamim hakuwa na ubavu wa kulipinga!




"Kwa kuwa mumeo ana kazi nzuri na nyinyi hamna mfanyakazi kwa nini usimchukue mdogo wako SAMERA mkaishi naye awasaidie kazi za nyumbani huku mumeo akimtafutia kazi ya kufanya hata huko katika super market?!"




Angeanzaje kukataa kwa mfano!...




Damu ni nzito kuliko maji tena lile lilikuwa ndilo wazo lake hakuwa na ubavu wa kukataa, akamchukua mdogo wake yule ambaye naye alikuwa si haba,wowowo la maana ,mvuto wa kimapenzi, mpaka katika jumba lake




Katu Shamim hakujua kuwa kaingiza sumu katika maisha yake,kaingiza dosari katika furaha yake!,Samera alikuwa ni Malaya wa kutupwa na si kwamba Shamim hakulijua hilo


Yeye alijua pengine ni ufukara wa familia yake na akikaa naye pale akawa anafanya kazi na kumlipa vizuri angebadilika


Shamimu alijidanganya!


Umalaya ni tabia!,nayo ilisha ota mizizi katika moyo wa binti Yule,




Hakeem alifurahi kumuona shemeji yake,kikubwa alifurah mke wake kupata msaada! Ila moyoni KWA Samira alifikiria vingine


Ku mmiliki Hakeem awe wake, hata kwa kukosana na Dada yake kama ikibidi!


'Ntatumia vitendo mpaka atanielewa tu,ntamtega mpaka atategeka'


Lilikuwa ni wazo baya lililokuwa katika kichwa chake, wazo la hatari


Ila yeye akujali!




****


Ilikuwa ni kama bahati nasibu tu na siku hiyo shetani pengine alikuwa upande wake!


Kutokana na kuhisi kuumwa kwa maumivu makali ya Kichwa Shamimu akajiinua kwenye kochi na kuelekea ndani kulala!


Akimuacha mtu na shemeji yake sebuleni wakiendelea kuangalia "TV" ndo nafasi ambayo Samera aliisubiri kwa hamu!




Wabaki wawili!,naye hakutaka kuichezea rafu!


"Mmmh shemeji usije ukaenda kulala nakuja!" Akaongea kwa sauti laini na kujinyanyua akakatisha pembeni ya shemeji yake na kuelekea kilipo chumba chake,kuchukua dhana za kazi,tayari alikuwa katika muwasho mkali , vitu vikimnyevua nyevua na mkunaji alikuwepo




"Mmmmmh!" HAKEEM akaguna huku akimsindikiza kwa macho na kulifaidi wowowowo lile ambalo naye alijua kulitingisha!




Akameza mate,koo lilikauka ghafla!




Daaah ni nini tena ichi?! Kimeingilia furaha ya SHAMIMU?! Au ndo kikulacho kinguoni mwako hapana ni kwamba umdhaniaye ndiye kumbe siyo


******




SEHEMU YA 10




Baada ya Samira kuingia chumbani kwake hakukawia akatoka,alikuwa kavaa kamtandio kalicholichora umbo lake,bila haya akaenda kuketi katika mkono wa kochi alilokaa shemeji yake




Hakeem akashikwa na mshangao,mkono wake akauweka katika shingo ya shemeji yake na kuanza kuipapasa taratibu!


Akili ya Hakeem taratibu ikaanza kuama,Samera alikosa haya




"Shemeji MUNGU kakujalia kwa kukupa uzuri wa ajabu katika wanaume wote unaongoza Shem mpaka namuonea Dada yangu wivu"




Bila kukosa Aibu Samera akaanza "kumtongoza" shemeji yake! Akijidondosha kabisa kwenye kochi




"Mmmmh mbona Mimi wa kawaida tu Shem" Hakeem akajibu huku akianza kubabaika,alijua yupo katika mtego na ni wazi alishanasa,alitamani kunyanyuka lakini ibilisi alimshika mkono na kumpa moyo mgumu




"Sioni ubaya ni kukupa na wewe shemeji mwenzio na hamu sijafanywa siku nyingi kuliko nikatoe nje nakupa wewe mpz wangu" wakati anaongea maneno hayo tayari mkono wake ulishazama katika suruali ya Hakeem na kuanza kumchezea mwanandani ambaye hakukawia kutuna kwa hasira




Bila kuona hatari iliyokuwa mbele yao ikiwa wangekutwa,Hakeem akaamua kumpa ushirikiano binti yule kwa kumpa mdomo,sasa ni milio ya miguno ilitawala,kila mmoja akiushambulia mwili wa mwenzake!




Kwa kuwa wote walikuwa katika wizi na eneo la hatari ilikuwa lazima waharakishe kusudi wasikutwe




Penzi La uwizi ni tamu,kwa Mara ya kwanza ikiwa hata hajamaliza week Sameera akamsaliti Dada yake kwa kutembea na shemeji yake,




Baada ya kutoshelezana kwa dakika zisizozidi 30 wakahitimisha kwa kila mmoja kuelekea katika chumba chake!,moyoni kwa Hakeem alijihisi mwingi wa hatia,na hakuacha kujilaumu kwa kitendo alichofanya,akajua ni kuteleza kufanya kosa siyo kosa ila kosa kulirudia lile kosa!




Kijana yule akajifariji,kwa malengo kwamba asingerudia,naaam alijidanganya kwani mlamba asali huwa halambi Mara moja!,kwa kuwa mkewe alikuwa katika maumivu makali ya kichwa wala hakukuwa na maongezi mengi baina yao hatimaye wakalala




Kwa upande wa Samera aliingia bafuni katika chumba chake na kujisafisha,alijiona ni mshindi kwa kutotumia nguvu na akili nyingi kumpata shemeji yake yule!


'Sasa hapa ni mwendo wa kumchuna,penzi ntakalompa hata Dada haliwezi'


Wazo hilo likapita katika kichwa chake akijipindua pindua katika kitanda kile,mzigo wake wote ukiwa juu




***




Asubui ya siku iliyofatia Samera alikuwa amechangamka kuliko siku zote, Dada yake hakuijua sababu ya kuchangamka kwake ,aliandaa chai na wote wakaketi mezani


Macho yake Mara kwa Mara yalimtazama shemeji yake yalipogongana aliangalia pembeni kwa aibu akiangua kicheko




' mmmh sasa huyu si atafanya mpaka tutashtukiwa?!'




Hakeem akawaza,ni wazi hakupendezwa na tabia ile, mbaya zaid pasina kumuogopa Dada yake akawa akiingiza mguu chini kwa chini na kumtekenya shemeji yake,kitendo kilichofanya Hakeem ashtuke Mara kwa mara.




'Lazima nifanye kitu kabla mambo hayaja haribika'


Wazo ilo likapita katika kichwa chake,na ili ainusuru ndoa yake hakuwa na budi kutekeleza ilo!Baada ya kumaliza kunywa chai akajinyanyua na kutaka kutoka




"Hakeeeeem"


Hakeem aligeuka nyuma mara baada ya kusikia ikimuita nyuma yake.








JINSI YA KUTUMIA MAFUTA YA ALIZETI KUKUZA UUME




Kutokana na maombi ya wasomaji wengi kuitaji kujua ni jinsi gani wanaweza kukuza uume zao kwa kutumia mafuta ya alizeti




Leo ningependa kuwaletea hapa!




Jua mafunzo haya na mengine mengi yapo katika kitabu hiki changu cha online so si vibaya ukijipatia kwa sh 3000 tu utapata kujifunza mambo mbalimbali




Ikiwemo kuufanya utamu wa wanawake uwe mnato kwa njia za asili ikiwa unamajimaji jinsi ya kuyakausha


INAWEZEKANA!




JINSI YA KURUDISHA NGUVU KWA WALOATHIRIKA NA PUNYETO




Pamoja na mafunzo mengi ya kisaikolojia




Mpz wako ananuna muda wote je ni namna gani ya kuishi naye ndani ya kurasa za kitabu icho utajua juu ya hili!




Ok twendelee na darasa!




Ukiwa utaitaj kukuza uume wako kwa mafuta ya alizeti




Loweka kitambaa chako katika maji ya uvugu vugu kisha anza kwa kuusafisha uume wako kwa kitambaa laini cheye maji ya uvugu vugu kama unauchua uume kwa kuuvuta mbele.




Ili likiwemo kama moja wapo ya zoezi Fanya zoezi hili kwa dakika tatu.




Pakaa mafuta yako kwenye viganja vyako viwili vya mikono yako kama vile unataka kujipaka mafuta mwilini.




Weka viganja vyako ili vipate mvuke wa moto kutoka katika ama jiko la mchina, stove au kitu chochote utakachotumia.




Ukiona viganja vimepata joto kiasi cha kutosha siyo mpaka uungue mikono, kisha


Kamata uume wako ukiwa unauchua kwa kuuvuta mbele kwa nguvu kidogo sana ukianza na mkono wa kulia alafu wa kushoto au kushoto halafu kulia vile utakavyoona inafaa.




Joto kwenye mikono likiisha rudisha mikono yako uipashe tena ili ipate joto kisha rudia kuuvuta vuta tena uume kwa muda wa dakika kumi.




Kumbuka


Mazoezi haya hufanywa mara mbili asubuhi tu mtu ukiamka na wakati ukitaka kwenda kulala na ni kwa muda wa wiki tatu utanambia majibu:










"mmmh sasa huyu si atafanya mpaka tutashtukiwa?!'




Hakeem akawaza,ni wazi hakupendezwa na tabia ile, mbaya zaidi pasina kumuogopa Dada Yake Samira akawa akiingiza mguu chini kwa chini na kumtekenya shemeji yake,kitendo kilichofanya Hakeem ashtuke Mara kwa mara.




'Lazima nifanye kitu kabla mambo hayaja haribika'


Wazo hilo likapita katika kichwa chake,na ili ainusuru ndoa yake hakuwa na budi kutekeleza hilo!




Baada ya kumaliza kunywa chai akajinyanyua na kutaka kutoka


"Hakeeeeem"




Akashtushwa na sauti ya mke wake kwa haraka akageuka kurudi alipo mkewe,wakati huo huo Samera akachukua vyombo na kutoka navyo nje ,akiwa na lengo kwamba amtege shemeji yake wakati akiwa anatoka amuage hata kwa kumpa mate yake!




Hakeem alipomfikia mkewe , Shamim akamweka kola ya shati lake vizuri na kumuaga kwa kumpa busu jepesi katika shavu lake!


"Kazi njema mume wangu jitahidi kuwa makini" akamuaga kwa mapenzi mazito


"Nawe pia mke wangu ukae salama nakupenda sana!"


Akapiga hatua kwenda ulipo mlango wa kutokea nje huku akisindikizwa na macho ya mkewe




Akaufungua mlango na kutoka,akapokelewa na Samera aliyekuuwa akimsubiria kwa hamu,machozi yalitawala katika uso wake akamkumbatia kwa nguvu , HAKEEM akabaki ameganda Kama sanamu


Katu hawakujua juu ya SHAMIMU aliyekuwa akija kutoka ndani lengo amsaidie mdogo wake kuosha vyombo!




Wakabaki wamekumbatiana vile vile, huku Samera akianza kuupapasa mgongo wa shemeji yake yule!


Ghafla wakashtuka baada ya mlango kufunguliwa wakageuka




"HAKEEEEEEM na SAMERAAAA?!!!"


Wote walipigwa na butwaa,ni wazi walijisahau,wakabaki wakimshangaa Shamimu aliyekuwa akiwafata!


"Samera umekumbwa na nini mdogo wangu?!"


Akauliza huku akionekana wazi kuwa na wasiwasi,




"Ni furaha mke wangu! Alafu kutokana na hali yako nimesahau kukujulisha kuwa nimempatia kazi katika supermarket yangu ndio kinachomtoa machozi'




Ikabidi Hakeem aongope kujiokoa katika kitanzi kile,mke wake hakuamini lilikuwa ni jambo la kufurahisha kwake kwamba mdogo wake kupata kazi akamkumbatia mdogo wake kwa furaha,ile hali ya wasiwasi sasa iliwatoka wote




" mdogo wangu na ukafanye kazi!,tuisaidie familia yetu fahamu tumezaliwa wawili tu hivyo tunaotegemewa na wazazi wetu ni sisi tu"


Shamim akaongea kwa mapenzi mazito alimwambia samira




"Sawa dada usijali kwa hilo" Samera naye akaitikia akiufurahia uongo huo walioutunga, uongo ambao ungekuwa na faida kwake kwa kumuweka karibu na shemeji yake yule,


"Ivyo acha niwai kazini nikakuwekee mazingira sawa kesho tutaongozana ukaanze kazi"hakeem alitia neno




"Nitashukuru mno Shemeji"




Hakeem akaongoza zake kuelekea kazini,bado kichwani kwake aliongeza rundo la mawazo,sasa aliiona hatari ya ndoa yake nje nje


'Kikubwa ni kumuonya tu lazima atanisikia,siwezi kuendelea kulikalia kimya swala hili'




Aliendelea kuwaza akiwa ndani ya gari lake akielekea kazini, moyoni hakuwa na amani kabisa,alijua kiendelea na kitendo kile ni kumkosea mkewe na siku za mwizi sio nyingi ni arobaini Ipo siku yake ingefika,hivyo alipania kuacha Mara moja kabla hajashtukiwa!




Ingewezekanaje?!




ITAENDELEA



0 comments:

Post a Comment

Blog