
Chombezo : Beki Tatu McharukoSehemu Ya : Tano (5)Kitendo cha kusikia mumewe anaenda kushtakiwa kilimtisha sana mama jonson, ikabidi apige magoti aanze kumuombea mumewe msamaha akimuomba yule dada asimshtaki mumewe kwani itamharibia maisha kabisa skendo hiyo.“No mimi sitaki kujua, inabidi tabia hii iishe kwani inaonekana ndio mazoea...