Search This Blog

Thursday 9 March 2023

UNO LA MASIKINI - 3

   


Chombezo : Uno La Masikini

Sehemu Ya Tatu (3)


Asubuhi saa mbili kamili katika lile eneo ambalo Tino alikuwa amehifadhiwa, alikuwa na njaa sana.


Kwa nje ya jengo lile ilipaki bonge ya gari Mara akashuka Muheshimiwa, kumbe ndiyo aliamuru mtaalam atekwe kwa sababu anakula chombo yake


Wale vijana waliomteka walimsujudia, akapita na kuingia ndani


"Naombeni wote mtoke nje nibaki mimi na kijana huyu tu" Alisema mheshimiwa na kuchomoa bastola yake iliyokuwa kwenye kiuno halafu akaikoki krrraaa! 


"Sawa mkuu" walisema kina Tony na kutoka nje. 


Walipofika nje mzee alibaki ndani akiongea na Tino


"daaaah asije akamuua mshikaji" alisema Tony maana japo alimteka Tino ni rafiki yake sema tu mkwanja ndiyo tatizo la usaliti. 


Ndani Tino na Mheshimiwa Regnald Mwasoka walizidi kuongea mambo ambayo hayakusikika nje na wala haikujulikana wanaongea mambo gani


"paah,........paaaaaah.... ... Paaah....... Paaaah" Sauti za bastola zilisikika mara nne ndani alipokuwa Mheshimiwa na Tino


"Mungu wangu" Tony alisema kwa mshtuko. 


Halafu muheshimiwa alitoka ndani na kupanda gari yake akasepa......



#Ilipoishia

"paah,........paaaaaah.... ... Paaah....... Paaaah" Sauti za bastola zilisikika mara nne ndani alipokuwa Mheshimiwa na Tino


"Mungu wangu" Tony alisema kwa mshtuko. 


Halafu muheshimiwa alitoka ndani na kupanda gari yake akasepa.


#Endeleaaaa

Kina Tony walipagawa hawakuamini kilichotokea, kila mmoja aliogopa kwenda ndani kushuhudia kile kilichokuwa kimetokea


Ghafla waliona Tino ametoka kule ndani akiwa mzima wa afya kabisa na wala hakujali.


"Tino mwanangu" Tony alisema "Hajakushuti?"


"Hahaaaha hamna kapiga zile risasi ili kukata kamba mlizonifunga nazo"


"Ok daaah niliogopa sana"


"Haina noma, nipeleke geto mwanangu" Tino alimuomba Tony 


Uso wa Tino ulionekana usiokuwa na wasiwasi hata kidogo, kukutana na muheshimiwa wala yeye hakujali,


Tony alimpeleka hadi nyumbani "Samahani mwanangu kwa kukuteka ni suala la mkwanja tu shika hii" alimpooza na elfu hamsini Tino akashukuru na kuzama ndani


Muda huo huo Tina alikuwa akimsumbukia Tino, hakujua ameishia wapi


"Jane naomba unisaidie kumpigia Dickson halafu umzuge kama yupo karibu na Tino" aliomba binti Tina 


"Haaaaah, leta namba yake"


Tina alimtajia Jane namba ya Dickson ili aweze kumsaidia kupiga simu ajue kama Tino yupo


"Dickson, mambooo" alisalimia Jane


"Safi niajeee" Dick alifurahi kuisikia sauti ya kike


"Pouwa jomoni mbona kimya sanaaa" Alimzuga ili apate gia ya kumuingia aseme ukweli kama yupo na Tino 


"Aaah mbona nipo jamani, vipi pande gani?" Alisema 


"Niko Basihaya jamani, hata rafiki yako Tino simuoni sijui yuko wapi, mpo naye hapo au leo upo peke yako Dickiiii" aliongea kimahaba sana mpaka Dickson akasahau kumuuliza jina


"Aaah, Tino bwana tangu jana asubuhi hayupo na sijui yuko wapi simu pia hana ningempigia" alisema Dickson


"Haya bwanaa natamani nikuoneee" Jane aliongeza mbwembwe ili Dick asishtuke 


"Aaaah utaniona tu aamhhhhh samahani lakini. Unajua mpaka mda huu bado sijakupata lakini" alisema Dick


"Utanijua tu, subiri nitakucheki" Alisema Jane na kukata simu wote wakacheka kwa nguvu


"Anasemaje?" aliuliza Tina


"Tino eti hajamuona Tangu jana asubuhi"


"mmmmmh Jane, kweli kasema hivyo?" aliuliza


"Ndiyo wallahi vile"


"Sasa atakuwa ameenda wapi jamani huyu mwanaume?"


"Mh halafu vipi jana ulimpa?" Jane aliuliza


"Mmmh ninaachaje kwa mfano, niliona anazubaa zubaa nikaingiza mwenyewe...... Tamu hiyo" alisema binti


"hahahahaaaaaa huuuuuu" walicheka na kugonga kwa nguvu


"Ana mauno mwanaume yule ni kimoja tu lakini weeeeeee..... Haki siwezi kumnyima haki yake yaani mh"


"ni wa Tangaa nini" aliuliza Jane


"Haswaaaa, wa kule kule"


"Lazima awe mtamu wee"

Simu ya jane iliita na aliyekuwa akipiga ni muheshimiwa


"Christina Daudi Mwaipopo" aliita mheshimiwa majina yote matatu ya binti yule


"Yes Baby" Binti aliitikia style ya kumchanganya mheshimiwa


"Jana ukaona haina haja ya kujibu sms yangu mimi"


"Samahani mpenzi niliogopa sana balafu baadaye nikaishiwa na kifurushi ndiyo maana sikujibu"


"Sawa, lakini, naomba leo tuwe wote chumva 061 JingoMoja"


"Sawa mpenzi" aliongea binti na mheshimiwa alikata simu


Haikuisha dakika nyingi SMS ikaingia kwamba ameungwa na kufurushi cha mwezi ni kubonga, kuchat na kuperuzi tu


Dakika tano baadaye simu iliita tena na sasa ilikuwa ni namba mpya


"Hallow" Alianza Tina


"Hallo mambo vipi Tina"


"Jamaaani sauti nimeshaijua hiyo mpenzi jaman jaman jaman jamani, ulipotelea wapi kwanzaa" aliongea binti kwa uchangamfu baada ya kusikia sauti ya Tino


"Hahaha, Jana wale washkaji wakanipeleka bar, nilikunywa mpaka nikasizi" alisema Tino kwa kudanganya kwani hakutaka binti ajue kwamba alitekwa


"Jamani babe T, usinywe pombe sana" 


"Usijali, sinywagi mara kwa mara mpenzi


"Sawa mpenzi namba yako hii?".


"Ndiyo honey asante kwa kunirudisha hewani" alisema Tino


"Sawa baby upo wapi maana mi naenda zangu Kijitonyama kutembea ntarudi baadaye" alisema


"Niko home tu leo, nataka nifuatilie ishu ya kusajili laini ili nipate hata kazi na mi"


"Sawa baby lakini kazi kama hiyo mh, ila sawa......"


"Ok baby sikiliza, hivi unamfahamu mdada mmoja anaitwa Mido Baby?" Tino aliuliza


"si ndo msanii aliyeimba nyimbo ya Utandu Uzandu?"


"Yaaaap ndiyo"


"Kwani kafanyaje sasa"


"Aaaah samahani naomba unisaidie, nipate ukaribu naye" alisema


"Ukaribu gani, na wewe umeshaanza sitaki" alisema binti kwa wivu


"Sio wa kimapenzi nataka tu hata kwenye kushuti video na mimi niwepo napenda sana nyimbo zake" alisema


"Haya bana basi nitakuambia nikionana naye maana, mi sinaga mazoea naye"


"Sawa dear sitakusaliti nakuahidi" alisema


"Poa mpenzi baadaye nitakucheki" alisema 


Baada ya kukata simu Tino alikuwa amejilaza anatafakari.


"Mido Baby, Mido Baby.." alimtafakari huyo msanii wa kike haijulikani ni kwanini..... TUTAFAHAMU UKWELI KWENYE SEHEMU INAYOFATA





Wiki moja baadaye Tina alikuwa katika kasino moja huko Sinza Mori, alikuwa amesimama na msichana mmoja aliyekuwa akifahamika kwa jina la Ritha huku wakipiga story


“Ritha unajua mimi nina uwezo wa kucheza video vizuri sana sema tu msanii wako huyu anaonekana hataki nicheze naye video”


“anataka sana tena jana alikuwa anasifia umbo lako na mambo yako ni hatari”


“haya bwana vipi lakini naweza nikaongea naye sasa hivi”


“ndiyo utaongea naye subiri kwanza amalize kuperform nyimbo hii ya mwisho” alisema binti


“Ok powa” Tina aliongea na kusogea pembeni kidogo akiwa ameshikilia simu akiwa anampigia simu Tino 


“baby Tino mambo”


“safi tu mambo vipi?”


“powa umenisusa hata kunitembelea hutaki kabisa, vipi?”


“hapana naogopa kuja nyumbani kwako Tina sijui ninakuogopa fulani hivi kwa sababu ya vitu fulani fulani”


“unaniona Malaya Tino ndiyo maana unasema hivo, mimi nina kipi cha kutisha?”


“Tina mimi kesho asubuhi na mapema nitakuja mpaka hapo geto kwako kuna kitu nitakuambia mpenzi”


“sawa uje, siku hizi ninaishi peke yangu rafiki yangu Jane amehama ameenda kupanga kwake mwenyewe….. halafu kuna zawadi kibao nimekununulia ziko pale nyumbani nimekuwekea dear”


“kwani wewe uko wapi?”


“niko sinza nafuatilia ile ishu yako ya kuonana na Mido Baby” alisema binti


“ok sawa mpenzi, asubuhi nitakucheki


Basi walikata simu na Tino akaenda kula kwa mama ntilie halafu baadaye akarudi na kulala ila upande wa Tina yeye alikuwa akiongea na Mido Baby ambaye alimaliza kuperform kidogo.


“inabidi Tina uchukue namba yangu na tutaongea maana hapa hatutaweza kuongea vizuri”


“sawa sawa kabisa, embu nitajie” Tina aliongea huku akiitoa simu yake mfukoni na kuandika namba ya msanii huyo ambaye Tino alitaka kuongea naye haijulikani ni kwanini


Tino yeye akiwa amelala alikuwa anakumbuka ilikuwaje hadi akataka kuwa karibu na Mido

Wakati Tino alipotekwa na kina Tony anakumbuka muheshimiwa alikuja akiwa ameshikilia bastola na alimfuata Tino na kuchuchumaa mbele yake


"Nchi yetu ni nchi ya amani sana, haya masuala ya kutekana tekana ni ya nje huko, nisamehe kwa hili" alisema muheshimiwa na kutikisa kichwa kwa kusikitika

"Mheshimiwa sikujua kama nitakuona hapa"


"Hahaa, usijali mimi ni mtu wa kawaida sana, hivi Agustino Benjamin Clement, haujui mapenzi yanauma" haijulikan jina alilijulia wap


"Najua muheshimiwa"


"sasa yule binti unahisi ni nani anamtunza halafu wewe unamtumia tu burebure bila hata mia, au ndo kipaji chako cha kuimba, umemuimbia akakolea, au ni sababu ya nywele ulizomsuka?" alisema mheshimiwa


"Wewe umejuaje haya yote baba" aliuliza mtaalam


"Samahani kidogo, mi nakufahamu sana, sasa nikuambie tu, roho inaniuma yule binti ni wa kwangu wewe achana naye labda umfuate kwa ajili ya vitu vingine sio mapenzi"


"Sawa mkuu"


"Haya, sikiliza kinachofuata mtafute Mido Baby yule binti anakufaa" alisema mzee


"Kimapenzi au kivipi mheshimiwa"


"Jiongeze wewe ni mtu mzima" mzee alisema na kuinuka akazipiga zile kamba walizomfungia mtaalamu kwa risasi, na kutoka nje


Tino naye alijitoa pale kwenye kile kiti kisha akatoka nje na kuwakuta kina Tony wamesimama kwa uoga wakijua ameuawa ndani kule. 

**


Hata hivyo asubuhi haikuwa mbali Tino alipanda gari na kuelekea Mbezi kwa ajili ya kwenda kuonana na Tina ambaye alikuwa ni mpenzi wake tayari


Hakutaka kumpa taarifa yoyote kwamba anamtembelea binti yule kwani alitaka amfanyie surprise japo aliogopa mzee Regnald akijua kwamba bado jamaa ana ukaribu naye anaweza kumfanyia kitu kibaya


“ngongongongo” aligonga mlango wa Tina kwa fujo


“nani?” aliuliza Tina akiwa anakaanga karanga


“njoo unione” alisema Tino akiwa nje, binti akaelewa kabisa kwamba ni jamaa ake.


Alitoka taratibu kwa kunyata akamrukia na Tino alimdaka wakawa wamekumbatiana

“wooooow Tinoooo” binti aliongea kwa furaha


“mambo” aliongea kwa sauti nzito sana


“safiiii, karibu ndani jamani” alisema binti na kumuachia akaingia ndani na Tino akaingia


Binti alipofika ndani alikuta karanga zinaungua “uwi Mungu wangue” alisema na kuzima jiko “Tino unaona umeniunguzia karanga zangu” alisema binti


“hahaahaha pole sana Tina” alisema mtaalam akaketi kwenye sofa na kuangalia huku na kule.


Basi binti alimimina kahawa kwenye chupa na kumpatia karanga kidogo “samahani zimeungua kidogo ila zinafaa kula” alisema mtaalam


“usijali, Tina, halafu sikai” aliongea sura ikiwa imeshabadilika kidogo kwa uoga wa hali ya juu alikumbuka maneno ya Muheshimiwa


“kwanini Tino unanifanyia hivi? Unataka niteseke basi sawa bwana unaringa sana now” alisema kwa hasira huku akisusa kula


“nisamehe” alisema mtaalam


“sasa nikusamehe nini, kama wewe hunitaki basi niambie mimi nfuate mambo yangu sio kunifanyia hivyo kila siku bana aaah” aliongea kwa hasira na kujikung’uta kidogo


“Tina vipi ulipata ukaribu na Mido? Maana nina kazi muhimu ya kwenda kufanya naye?” alisema


“kazi gani ya muhimu Tino, najua unampenda yule mwanamke"


“hapana mimi ninaimbaga pia ila natafuta namna ya kutoka so lazima nitafute msanii kwanza” alisema Tino


“mmmh uimbe wewe, embu niimbie” alisema binti huku akitabasamu na kusahau maneno ya jamaa yote aliyomuambia ya kukatisha tamaa


“usijali nakuimbia ngoja nimalize kula kwanza” alisema mtaalam “na wewe ule sasa au ndo umesusa?” alisema


“jamani Tino nakula lakini please naomba usiondoke nataka tukae hapa mpaka jioni” alisema binti


“na je nikikutwa hapa?” alisema jamaa


“ukutwe na nani?” binti aliuliza


“Mheshimiwa Regnald Mwasoka” alisema maneno hayo yaliyomshtua binti kidogo ajiunguze na chai


“Tino!!!” aliita kwa mshangao na kuweka chai kwenye stuli


“nini sasa au unafikiri sijui kwamba unatoka naye?” aliuliza


“Tino jamani” binti alisema huku akilengwa na machozi “umeyajulia wapi haya yote” aliuliza


“we unafikiri kwanini sitaki kuja kwako? Ni kwamba mimi ninahofia maisha yangu, sina mtoto hata mmoja unataka nife mapema hivi?”


“Tino” binti aliita kumsogelea Tino akamlalia kwenye bega “naomba unisamehe, mimi simpendi yule mzee kweli, ila tu ni masilahi nikuambie ukweli, halafu pia Tino mimi niko tayari kuachana naye niwe na wewe” alisema binti


“Tina, tatizo sio kwamba wewe utamuacha, ila ni kwamba unaniweka kwenye hatari kubwa sana”


“kivipi?” 


“Siku ile nilipotoka hapa kwako unakumbuka ile gari iliyonipa lift?” alisema mtaalam


“ndiyo ninaikumbuka”


“waliniteka”


“nini?” aliuliza


“Waliniteka, nakumbuka kesho yake nilikudanganya kwamba nilienda kunywa pombe lakini sio kweli ni kwamba waliniteka wakanifunga kamba mpaka asubuhi ndipo muheshimiwa alikuja na kuniambia kwamba niachane na wewe la sivyo atanifanyia kitu kibaya sana”


“Tino jamani Tino jamani Tino” alisema binti kwa hasira


“lakini please usimuambie” alisema jamaaa


“sawa Tino” 


“ndiyo sasa mimi ninaondoka naenda zangu nyumbani kilichonileta kwako nishakuambia” Tino alisema na kumalizia kahawa halafu akainuka na kuanza kuondoka.


“Tino sawa unaondoka lakini ngoja nikupe zawadi yako nilikuwa nimekununulia huko Sinza, naomba uchukue maana sina pa kuzipeleka tafadhali” alisema binti na kuinuka akachukua mfuko na kumkabidhi mtaalamu


Tino alipoufungua ule mfuko kutazama ndani alikutana na Nguo kali za maana, T Shirt tatu na jeans 3 na shati moja la kisasa, halafu ndani kukiwa pia na raba moja ya maana sana


“Tina ni vya kwangu hivi?”


“ndiyo, embu jipime maana mimi siamini kama vitakutosha” alisema binti


Tino alivua shati lake na kuweka pembeni, halafu akavaa tisheti mpya moja ikamkaa “Imenitosha jamani ni nzuri sana” alisema kwa furaha

Aliivua ili ajipime ya pili lakini binti alishindwa kuvumilia baada ya kukiona kifua cha jamaa alimfuata na kuegesha mkono kifuani mwa Tino


“Tino usiondoke, nimekimiss kifua chako” alisema binti kwa hisia na kuendelea kukipapasa


Kwa kuwa Tino pia alikuwa ashaanza kupata hisia na binti basi naye alibaki akimtazama tu usoni mtoto wa kike


Taratiibu alimsogezea mdomo wakaanza kukulana mate kwa mara ya pili…





Tulipoishia

Kwa kuwa Tino pia alikuwa ashaanza kupata hisia na binti basi naye alibaki akimtazama tu usoni mtoto wa kike


Taratiibu alimsogezea mdomo wakaanza kukulana mate kwa mara ya pili


#KARIBU EP 9

Binti alianza kumkumbatia Tino kwa hisia huku akihema sana, bado mtoto wa kike alikuwa anatamani sana apate fursa ya kuwa karibu na kijana Tino


Alianza kuhema kwa nguvu huku akionyesha utamu wa hali ya juu, Tino alimnyanyua miguu yake na kumbeba huku wakiwa bado wananyonyana ndimi, hata hivyo alijikuta akimlaza kitandani na kuanza kumvua chupi taratibu bila hata kufunga mlango


“aaaasssss” binti alisema kwa hisia huku akipanua mapaja yake ili Tino avue chupi yake.


Tino aliitupa ile chupi pembeni halafu naye aliushika mkanda wa suruali yake akaanza kuuvua na kuitupa kule dudu ilikuwa imesimama na kuingia katikati ya mapaja ya binti


“kafunge basi mlaa……. Aaaaashshshhh” binti alishindwa kumalizia senteni baada ya kusikia dudu la Tino limezama katika kitumbua chake “aaaah ooooh beiiibiii” alimkumbatia kwa nguvu na kunyanyua kiuno chake huku akiisikilizia ilivyokuwa inapenya katika kuta za kitumbua chake


Tino alianza kukata uno lake la kisambaa na kumnyonya ulimi binti wakaendelea kupeana raha “AAASH” binti alihema kwa hisia “Tino…..baby Tino” alisema baada ya kutoa ulimi wake mdomoni mwa mtaalamu


“mmh” mtaalamu aliitika kwa hisia


“hivi wewe una nini jamani ….mbona mtamu kuliko wanaume wote aaash ssssh ooooh shit taaamu haaaaah” alisema binti kwa hisia naye akaanza kukata uno lake la kinyakyusa mdogo mdogo


Tino alianza kupiga kwa fujo alimzamishia yote kwa raha zote na kumuingizia ulimi kwenye masikio


“aaah” ilikuwa sauti ya binti kila mara Tino alipokuwa akiitoa na kuiingiza tena “aaah, Mapenzi ya tanga matamu Tino” alisema mtoto wa kike


“Una k*ma kavu sana mpenzi, ni tamu” alisema mtaalam


“we mwenyewe ub*o wako mtamu sana baby, tena ni saizi yangu kabisa” binti alisema huku akikinyanyua kino ikazama yote aaaah haahah aah aaah aaah…….nakoj,….oa” alisema bint kwa hisia huku akimvuta Tino karibu zaidi


Tino naye alichochea haraka haraka maana alikaribia kukojoa na mwisho wakafika wote kwa pamoja


“baby inatosha” alisema binti


“mmmh, jamani Tina naumia hata kukuacha maana una utamu wa ajabu” Tino alimsifia binti


“usiniache Tino, please mimi nitamuambia muheshimiwa aniache” alisema binti


“sawa Tina mi mwenyewe nimeshakupenda muda sana ila tu vipingamizi mpenzi, ningekuwa na kazi naamini haya yote yasingekuwepo tungetoroka tuende hata Tanga huko tukaishi baby”


“hata sa hivi tunaweza baby” 


“subiri basi mambo yakae sawa” Tino alisema “mimi niondoke sasa”


“mmmmh kimoja tu kila siku?” binti aliuliza kwa hisia huku akimtazama kwa aibu 


“sasa unataka tena jamani?” aliuliza 


“ndiyo nataka chuma tembele sa hivi” alisema binti na kumkumbatia Tino halafu akaanza kumnyonya shingoni 


Baadaye Tino alishuka kitandani na kumuinamisha binti akaanza kumpapasa makalio huku binti akiyazungusha kwa hisia akitamaani iiiingizwe tena


Tino hakufanya makosa, aliichukua mashine yake akailengesha na kushikilia kiuno cha binti akaanza kujizungusha kiuno chake taratibu huku akiitazama inavyoingia na kuchomoka kidog


“ooosssh” binti alisema kwa hisia na kujisukumiza nyuma akaanza kuipiga paaah paaah paaah ikawa inampa raha sana.


“mmmmh” Tino alibaki anaguna tu kwa hisia mara akainama na kumbusu binti mgongoni halafu akaendelea kukata na kupapasa kalio lile “ni la kichina au la kwako baby” alisema mtaaalam huku akifanya taratiiibu” alisema Tino


“mmmh thsaaa, ni la kwangu beiby” binti alisema akiwa amefumba macho kwa hisia


Tino alianza kuchochea kwa kasi ya aajabu “aaaah sshsshhs aaaahuuuu beiby mi nawahi kufika pleaaase aah” alisema binti mara kitumbua chote kikaloa maana alikuwa ameshafika tena


“hhahaaa, umekojoa baby” Tino alisema huku akiitoa na kuitazama ikiwa imelowa


“aaah jamani sasa kama ni tamu mi nifanyeje” alisema akiwa anatabasamu kwa hisia


Simu ya Tino iliita ikabidi aifuate ili aweze kusikiliza kitu ambacho anaambiwa, ilikuwa ni namba mpya

“hallo” aliipokea na kwenda mlangoni kwa ajili ya kuufunga maana mda wote walikuwa hawajafunga mlango


“hallo Agustino” aliongea aliyepiga


“ndiyo nani anaongea”


“haina haja ya kunijua zaidi ya unavyonijua, ni kwamba nakupa onyo mara ya mwisho achana na Tina” ilitoka sauti ya onyo halafu simu ikakatwa.


Tino alibaki akiwa ameduwaa, hakuamini kwamba inakuwaje mpaka siri iwe inajulikana na namba yake hajui imepatikana vipi


“Tino mbona umeduwaa” binti alisema


“mh Tina, kuna mtu ananifuatilia nimepigiwa simu nimepewa onyo mara ya mwisho kwamba niachane na wewe” alisema mtaalamu


Tina alishtuka mpaka akashuka kitandani na kuelekea mtaalamu alipokuwa amesimama


“embu hyo namba?” alisema binti na kuitazama namba iliyompigia mtaalamu, alivyoitazama hivi alikuta ni ya muheshimiwa “Mungu wangu” aliongea kwa mshtuko

“ni ya nani?” aliuliza mtaalam


“ni ya Mheshimiwa” alisema


“duuuuh… basi sawa mi naomba niondoke” alisema kwa hisia huku akiwa anaenda kutafuta nguo zake zilipo akavaa bila hata kuoga na kuanza kutoka


“chukua basi hizi nilizokununulia” alisema binti Tino akarudi na kuuchukua ule mfuko akasepa kwa speed ya hali ya juu


Hivyo hivyo Tina alibaki akiwa na mawazo sana, muda wote aliwaza kwamba nini nani anatoboa siri. Ghafla naye simu yake iliita na aliyekuwa akipiga ni muheshimiwa, aliipokea akiwa anatetemeka


“haaaloo” alisema binti


“hallo Christina uko wapi?” aliuliza mheshimiwa


“nipo nyumbani” alijibu


“basi, sawa nilijua umetoka vipi mbona kama vile unanisaliti sana lakini Tina” alisema


“samahani mheshimiwa, mimi ni kijana najua wewe hautanioa utanitumia tu then utaniacha naomba uniachie fursa nipate mchumba wa rika langu ili aje kunioa lakini pia hata wewe sitokuacha” alisema binti


“mmmmh sawa, mimi sitakuoa lakini ninakutunza vizuri sana” 


“unanitunza ndiyo, naomba pia unipe fursa ya kuolewa na mimi nilee familia yangu”


“huyo kijana najua hatoweza kukutunza, fanya hivi, nizalie mtoto mmoja Christina” aliongea


“unasemaje??”


“inabidi unizalie mtoto mmoja Tina” alisema Mheshimiwa ikabidi Tina asite kujibu mzee akaendelea “umekubali au hautaki Christina?” aliuliza…………




Tulipoishia

“huyo kijana najua hatoweza kukutunza, fanya hivi, nizalie mtoto mmoja Christina” aliongea


“unasemaje”


“inabidi unizalie mtoto mmoja Tina” alisema ikabidi Tina asite kujibu mzee akaendelea “umekubali au hautaki Christina” aliuliza


Endelea

“mheshimiwa naomba nifikirie halafu nitakupa jibu jioni” alisema binti


“sawa unipe jibu jioni ili nielewe ni kipi nitafanya juu yako” alisema mheshimiwa “halafu usiniite muheshimiwa niite mpenzi kama ilivyo”


“sawa baby” alisema Tina na kukata simu. 


Alipomaliza kukata simu akamuandikia Tino message “please Tino ukifika naomba unipe taarifa nina wasiwasi sana juu yako” binti alisema


“usijali, nipo kwenye daladala sasa hivi” alisema mtaalam


Baada ya Tino kufika nyumbani alimkuta Dickson akiwa anaongea na simu pale chumbani na alikuwa anabembeleza haswa


“ina maana kweli J mapenzi ndiyo unayajua hivi?” Dickson aliongea


“jamani ni kawaida tu, natamani uyapate mapenzi yangu uinjoy zaidi kipenzi, sitakubali wewe nikupoteze” alisema binti ambaye Dickson alikuwa anaongea naye, kwani alikuwa ameweka loud speaker kwenye simu


“daaah jamani sawa basi jioni utakuja Boko tuonane tafadhali kipenzi natamani kuwa karibu na wewe leo” alisema Dick 


“sawa honey usijali, naomba unitumie 5000 nijiunge kifurushi basi” 


“sawa usijali natuma sasa hivi?”alisema Dick na kukata simu “oy Tino vipi mzee ndo unafika now” aliuliza baada ya kumuona Tino


“yaaah boy, vipi lakini” alisema


“poa mwamba, mi natoka nimeopoa chombo yangu mpya mzee jioni itakuja huku Boko naomba leo uniachie geto kidogo” alisema Dick


“usiwaze mwamba nakukubali sana” Tino alisema na kuchukua simu akamuandikia Tina sms “Nimeshafika nyumbani Tina, ngoja nioge halafu nitakucheki basi


“powa baby please ukae makini sana roho yangu, usije ukauawa bure” alisema Tina


*

Mida ya jioni jioni alikuja demu wa Dickson nyumbani, alikuwa sio mwingine ni Jane, kumbe kitendo cha siku ile Tina kumuomba apige simu ili aongee na mtaalamu ilipelekea kuwa na mazoea ambayo kidogo yalileta mkanganyiko hadi kufanya wakaja wakaingia katika mapenzi mazito sana


Lakini Tino hakumuona binti kwa sababu alikuwa ameshatoka tayari.


Leo Tino alikuwa amevalia ile nguo mpya aliyonunuliwa na binti Tina alikuwa amependeza hasa, alipanda gari taratibu na kuelekea mitaa ya Mwenge ITV ambapo ndipo aliposhuka kwenye gari akapanda bajaji na kupelekewa katika eneo moja ambalo lilikuwa na nyumba nzuri sana yenye geti jekundu


Tino alitoa rimoti mfukoni bila kujulikana ameitoa wapi na alipoinyooshea katika lile geti lilifunguka naye akazama ndani


Ndani ya jumba lile kulikuwa na vijana wawili mabishoo walikuwa wameketi nje kwenye sofa huku wakichezea tablet


“bossssss” walimchangamkia


“inakuwaje” alisema mtaalam wote wakainuka na kumpa tano


“safi mwamba mbona leo umeng’aa sana mzee” alisema mmoja wa vijana hao aliyefahamika kwa jina la Dullah


“hahhaa mwenyewe najishtukia mzee” aliongea huku akijitazama mara ghafla alitokea Tony akiwa amebeba Muwa na kisu


“oy oi oi oi” alisema na kumpiga begani kidogo halafu akagonga tano na kucheka kwa nguvu “mzee umevaaa, najua ni Tina huyu amefanya mambo” alisema Tony wote haijulikani walimjuaje yule binti kwamba anaitwa Tina


“kawaida mzee, vipi naweza nikazama ndani?” aliuliza Tino 


“yap key ipo juu ya kabati hapo sebleni” alisema Tony na Tino alizama ndani akiwa kidogo uso sio wa furaha


Tino alipozama ndani alichukua ufunguo na kuzama katika chumba kimoja kizuri. Ndani kulikuwa na kila aina ya kitu.


Kulikuwa na kitanda cha tano kwa sita kizuri chenye godoro la Tanfoam la nchi nane. Pembeni kulikuwa na Flat Screen ya nchi 32 aina ya Samsung, halafu pia kulikuwa na sofa moja ya kukaa watu wawili pamoja na stuli mbili za vioo


Kulikuwa na redio ya sabufa aina ya Boss halafu kulikuwa pia na gitaa pamoja na kinanda kidogo vyote viliegeshwa ukutani


Nyuma ya mlango kulikuwa na Kabati la nguo la rangi nyeupe ambalo pia lilikuwa na droo nne pembeni yake kwa ajili ya kuweka vitu fulani. Halafu pia kulikuwa na Friji ndogo pembeni mwa sofa


Ukutani kulikuwa na picha ya Tino kubwa iliyokuwa na frame nzuri nyeupe alionekana Tino akiwa amevalia suti halafu pia kulikuwa na Zulia lililorembwa sana chini.


Tino alivua viatu vyake halafu akavua tisheti aliyokuwa amevaa, akabonyeza rimoti iliyokuwa kwenye stuli ikawasha AC nyumba nzima ikaanza kupata baridi halafu akafunga mlango


Baada ya dakika moja Tino aliketi kwenye sofa akafungua friji na kutoa Redbull kisha akaiweka kwenye stuli halafu akaichukua gitaa na kuanza kuipiga gitaa taratibu na baada ya dakika moja akachukua redbull na kufunua akanywa kidogo


Kuna sms iliingia kwenye simu yake akaifungua na kusoma ilikuwa ni ya Tina “Jamani Tino ina maana mda wote tangu saa ile we unaoga tu?” aliuliza ila Tino akaipotezea ile message na kuendelea kupiga guitar kumbe jamaa ni fundi mzuri sana wa kupiga guitar bwana


Alianza kuimba ule wimbo wa MEDDY uitwao Slowly taratibu kwa kubembeleza huku akitafakari mambo fulani fulani. Halafu ghafla simu yake ikaita alikuwa anapigiwa na Mheshimiwa


“Agustino vipi”


“salama shikamoo mkuu” alisema mtaalam 


“marahaba, upo Mwenge?” aliuliza 


“Ndiyo mkuu” alisema jamaa


ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog