Search This Blog

Thursday 9 March 2023

JIRANI - 5

   


Chombezo : Jirani

Sehemu Ya Tano (5)


“ Nisaidie zakia, nisaidie..” Aliniambia. Hali yake ilikuwa mbaya, nyoka wake alivimba na kutisha. Nilijikuta najuta kwenda. Kimoyo moyo nilimuomba MUNGU aniepushe na balaa lililokuwa mbele yangu.


“ Sijafika kwa ajili ya haya Michael, nimekuja kuomba msaada wako. Kahaba uliyemnunua hali yake sio nzuri, anahali mbaya. Tukichelewa anaweza kufa. Naomba vaa nguo zako twende tukamsaidie.” Nilimwambia.


Maneno yangu yaliingia sikio moja na kutokea lingine, Michael alinitazama kana kwamba hajasikia lolote. Akiwa amenishika miguu, aliivuta mbele nikaanguka, lakini kabla sijatua chini alinidaka. Alinishika vizuri na kunilaza kwenye sofa, aliinua miguu yangu juu na pale pale alimleta nyoka wake kisimani.


“ Mama yangu..” Nilitamka.


“ Sa…sa…ma….ha….ni…..” Aliongea Michael huku akimuingiza nyoka wake. Hakuingia aligonga kwenye kingo za kisima changu, hakufanikiwa kuingia ndani, Michael alimlazimisha, taratibu akapita na kuingia.


“ Aaaaa…aaaaaa…” Niligumia. Tofauti na nilivyotegema, uke wangu haukuchanika, wala sikusikia maumvivu makali kama nilivyozani ningesikia, badala yake nilisikia utamu usiokuwa wa kawaida.


Pale pale mawazo ya yule kahaba aliyezimia yalinitoka, nilijikuta nakatika, nilijikuta nazungusha kiuno kwa mbwembwe zote, naniliu yake ilienea ikulu kwangu . Michael bila hajizi alinipa dozi bila ya kunipa nafasi ya kupumzika.


“ Ooooo…ooooooo…” Aligumia Michael.


“ Tamu…tamu….tamu….” Nilitamka.


“ Aa….aaaaaaa….aaaaaaaa….” Alilalamika Michael.


……………………………………….


Nusu saa mbele, Michael alimaliza mchezo.


“ Hivi nini kimetokea?” Aliniuliza Michael.


“ Mwenyewe sijui, hivi nini kimetokea?” Nilimuuliza .


“ Mmmmmh! Haya maajabu. Toka nianze haya mambo hakuna mwanamke niliyekutana naye ikawa hivi ilivyokuwa wewe. Maungo yako yanaonekana yapo kawaida, wala sio makubwa na wala hayatishi! lakini umenihimili bila ya shida.” Aliniambia.


Sikumjibu, niliinama kukitazma kisima changu.


“ Mmmmmmh!’ Niliguna. Kilikuwa kawaida, kilikuwa vile vile bila ya majeraha yoyote.


“ Hivi naota au? Hii ni ndoto Michael, inawezakana vipi? Inakuwaje hivi, hiki ni nini? Inawezekanaje uniingie halafu niwe poa tu?” Nilimuuliza.


“ Ulizaliwa kwa ajili yangu. Wewe ni wangu, wewe ni mwanamke pekee unayeweza kunihimili. Nitakupenda milele, ukikubali natakuoa kabisa.” Aliniambia.


Tuliongea mengi, Wakati Michael sura yake ilijaa furaha, yangu haikuwa na furaha, nilikuwa na mshangao wa kile kilichotokea. Bado sikuwa na uhakika kama nimeweza kumuhimili Michael bila ya kuharibiwa, nilivuta kumbukumbu ya Maua.


“ Lakini imewezekana vipi? Mbona Maua kaharibiwa vibaya vile?” Nilijiuliza, baada ya kujiuliza hilo nilimkumbuka Maua. Nilikurupuka na kuvaa nguo zangu haraka.


“ Tumuwaishe Maua Hospital.”’ Nilimuambia. Nilikurupuka kutoka nje, naye alinifata kwa nyuma.


……………………


“ Maua…maua…” Niliita nikiwa naingia nyumbani kwangu, Michael alikuwa kwa nyuma yangu. Niliingia ndani, nilimkuta maua pale pale nilipomlaza, hali yake haikuwa sawa hata kidogo.


“ Tumuwaishe hospitali.” Nilimwambia Michael. Michael alipiga simu kuita Tax. Nusu saa mbele lilifika, tulimpakiza na kumuwaisha hospital.


…………………….


Haraka sana alianza matibabu.


“ Omba MUNGU mtoto wa watu apone.’ Nilimwambia Michael.


“ Atapona tu, usijali.” Alinijibu.


“ Nyie ndio ndugu wa huyu binti?” Daktari alituuliza. Tuliangaliana na Michael bila ya kujibu lolote, nilimpa ishara Michael hajibu lakini hakujibu, badala yake naye alinipa ishara nisijibu. Dokta alitusogelea mpaka tulipo.


“ Naongea na nyie! Kwanini hamnijibu maswali yangu?’ Alituuliza.


“ Kwanza hali ya mgonjwa ipoje?” Aliuliza Michael.


“ Kabla sijawaambia nataka nijue mnauhusino gani na yule binti, siwezi nikatoa taarifa za mgonjwa kwa watu baki tu.” Alituambia.


“ Sisi ni wasamaria wema tu. Tumemuokota katika hali ile na kumleta hospitali.’ Aliongea Michael.


“ Ok sawa, basi mgonjwa wenu kafanyiwa mchezo mbaya, aliingizwa kitu kisichoeleweka sehemu zake za siri.Nazani ni Mti.” Aliongea Daktari.


“ Mti?” Niliuliza kwa mshangao.


Nikiwa kwenye mshangao mkali, simu yangu iliingia ujumbe, ulitoka kwa jenifer, niliufungua na kuusoma, ulimuhusu Michael, baada ya kuusoma tu, nilijikuta namtazama Michael mara mbili mbili, kwa hofu nilirudi nyuma. 



Nikiwa kwenye mshangao mkali, simu yangu iliingia ujumbe, ulitoka kwa jenifer, niliufungua na kuusoma, ulimuhusu Michael, baada ya kuusoma tu, nilijikuta namtazama Michael mara mbili mbili, kwa hofu nilirudi nyuma.


“ Mbona hivyo?” Aliniuliza Michael huku akinisogelea.


“ Usinishike tafadhali.” Nilimwambia huku nikirudi nyuma.


“ Mnanini nyinyi, sijamaliza kuongea na nyie mnaanza mambo yenu.” Alifoka Daktari.


“ Aaaah! tusamehe dokta. Nazani mwenzangu hapa kapata taarifa mbaya, hivyo akili yake haijawa sawa. Sasa dokta kuhusu hili swala naomba huyu binti atibiwe vile inavyotakiwa, mimi nitalipa kila kitu. Hili swala kwanza lisiwahusishe polisi.” Aliongea Michael. Aliingiza mkono mfukoni na kutoa noti kadhaa za elfu kumi kumi.


“ Ahsante sana, ahsante sana.” Alitamka Daktari na kuondoka.


………………………………


Baada ya daktari kuondoka, Michael alinifata na kunishika mkono.


“ Una nini wewe?” Aliniuliza.


“ Naomba niambie ukweli Michael, nini kinaendelea?” Nilimuuliza.


“ Unamanisha nini kuniuliza hivyo? Kwani kinachoendelea wewe hukijui! Hapa tupo hospitali, maua kaharibikiwa hivyo tumemleta apate matibabu.” Aliniambia.


“ Michael usiongee kana kwamba haujui namaanisha nini? Kuna kitu hakipo sawa hapa. Nimejua ukweli wote, kama dokta alivyosema, huyu bnti ameingizwa kipande cha kuni, na mtu aliyemuingiza ni wewe.” Nilimwambia nikiwa nimemkazia macho.


Michael aliduwaaa. Alinishika mkono na kunisogeza pembeni.


“ Unaongea nini wewe? Nimuingize kipande cha kuni ili iweje? Napata raha gani kumuharibu mtoto wa watu vile?” Aliniuliza.


“ Sijui, na kama hujamuingiza kipande cha kuni kitu gani kimefanya yeye aharibike halafu mimi nisiharibike, kitu gani cha ajabu ninacho ambacho yeye hana?”


“ MMmmmh! Nashindwa nikuambie nini? Lakini haya yote bila shaka yametokana na ujumbe uliotumiwa . Naomba niambie huo ujumbe unamaanisha nini? Kuna kitu gani kimejificha kwenye huo ujumbe?” Nilimuuliza.


“ Aliyekuwa mkeo kanieleza ukweli.”


“ Aliyekuwa mke wangu? Nani , jenifer au?”


“ Ndio, jenifer kanieleza kila kitu. Kaniambia unatabia hiyo ya kuwaingiza watu ukuni. Ameniambia pamoja na nyoka wako kuwa mkubwa hivyo mara nyingi uwa unashiriki mapenzi ya kuleta madhara, ameniambia hata yeye mara nyingi umefanya naye lakini haukumuharibu vile.” Nilimweleza.


Maneno yangu yalimchosha Michael, nilimuona akiwa kaishiwa pozi kabisa, alikuwa mpole kama kamwagiwa maji.


“ Kuwa hivyo haisaidiii, naomba niambie kwanini umekuwa unayafanya haya? Kwanini uwa unawaingiza watu kipande cha mti?” Nilimuuliza.


“ Nashindwa nitumie maneno gani kukushawishi ukubaliane na mimi! Lakini ukweli sijawahi wala sitakuja kuwahi kumuingiza mwanamke kipande cha kuni. Nawapenda na kuwaheshimu wanawake wote. Kamwe sitakuja kuwadharilisha kwa kiasi hicho, kamwe sitakuja kufanya huo upuzi.” Aliniambia.


Maneno yake hayakuniingi akilini, bado nilimuona anajambo lililojificha. Nilimbana zaidi ili aniweke wazi ,Lakini bila ya kunipa maelezo ya kutosha, Michael aliondoka na kuniacha hospitali, nami sikukaaa, niliondoka kuelekea nyumbani.


……………………………………….


Nikiwa nyumbani, mlango wangu ulibishwa hodi. Nilienda kufungua nikakutana na yule kijana muosha miguuu na mpaka rangi za kucha.


“ Kuna usalama?” Nilimuuliza.


“ Usalama upo dada! Nimefika nina ombi dada yangu.” Aliniambia.


“ Ombi gani?”


“ Naomba uniruhusu niingie ndani. Nitakueleza tukiwa ndani.” Aliniambia. Bila hiyana, nilimfungulia mlango akaingia ndani.


“ Unasemaje kaka yangu?’


“ Ni hivi dada, kama nilivyokueleza siku ile, mwenzio hapa toka utoto wangu simjui mwanamke. Nilizaliwa na ulemavu wa hii naniliu yangu, ni kama ulivyoiona siku ile, imepinda.” Aliniambia. Aliniangalia kwa wizi kwa sekunde kadhaa kisha akaendelea.


“ Nimefika hapa kuhitaji msaada wako, japo naniliu yangu ni ndogo na imepinda, naomba unisaidie. Nataka kujaribu kufanya mapenzi. Nataka nione radha ya hayo mambo.” Aliniambia.


Kwa sekunde kadhaaa nilimuangalia nikajikuta namuonea huruma, bila kujiuliza mara mbili nilimsogelea na kumvua suruali yake.


“ Nitajaribu kukusaidia, lakini ikishindikana basi.” Nilimwambia. Nilimvua surulai yake na kumshika nyoka wake, nyoka wake alikuwa mdogo sana, pia alikuwa kapinda. Nilimshika na kumchezea kwa sekunde kadhaaaa.


“ Kwa huyu nyoka wako uwezo wa kushiriki utakuwa mdogo, naomba nenda hospital wakakufanyie upasuaji, nina uhakika wanaweza kumuweka sawa huyu.” Nilimwambia.


“ Hapana dada, wewe endelea tu kumshika, ulivyomshika kuna kitu nimekihisi. Hivyo endelea tu kumshika tuone nini kitatokea.” Aliniambia.


Nami bila kusita niliendelea kumchezea, nilimshika nyoka wake na kumbinya binya kwa madaha, lakini kati kati, gafla, nyoka wake ali… 






Nami bila kusita niliendelea kumchezea, nilimshika nyoka wake na kumbinya binya kwa madaha, lakini kati kati, gafla, nyoka wake alivimba.


“ Oooo…ooooo…” Aligumia yule kijana. Nikiwa nimeduwaa nyoka wake alijivurugua na kunyoka kisha akatoa maji meupe.


“ Eeeeeh!’ Niliduwaaa. Wote wawili tulitoa macho ya mshangao, mwenzangu alitoa macho yaliyoambatana na utamu. Alikuwa amefika mshindo kwa mara ya kwanza.


“ Eeeeh! Kumbe inakuwaga hivi? Nikichezewa kumbe uwa ananyooka na mshindo nafika.” Aliniambia. Sura yake ilijaa furaha.


“ Nafurahi kuona kupitia mimi umeweza kugundua jambo Fulani kuhusu mwili wako. Nenda kajichunguze vizuri utakuja kugundua makubwa zaidi.” Nilimwambia. Akiwa anafuraha sana, yule kijana aliondoka na kuniacha peke yangu, wakati yeye anatoka tu, aliingia jenifer.


“ Afadhali umefika, hapa nilikuwa na mpango wa kukutafuta.” Nilimwambia.


“Najua kuna mengi unataka kujua.” Aliniambia. Alipitiliza mpaka ndani na kwenda kukaa kwenye sofa.


“ Naomba tusipoteze muda, naomba niambie kitu gani kilichokufanya useme Michael uwa anawaingiza wanawake kipande cha mti? Kwa muonekano Michael hawezi kufanya ukatili wa aina hiyo. Naomba niambie sababu ya wewe kusema hivyo ni nini?” Nilimuuliza.


“ Uuuuuuh” Alihema juu juu. Alinishika paja kisha akanitazma machoni.


“ Mimi na Michael mapenzi hatujaanza leo, tumeanza kitambo sana, na mara zote nilizokuwa nakutana na Michael, hakuna hata siku moja ambayo nilisikia maumvi makali au maungo yangu yalichanika. Tulikuwa tunafanya kistaarabu tu bila madhara, lakini mwaka juzi kuna jambo la ajabu sana lilitokea, tukiwa tunafanya mapenzi Michael alinichana vibaya sana, maungo yangu yote yaliharibika, yaani hata hayatamaniki. Na toka siku hiyo hadi leo, siwezi kutembea vizuri”


“ Eeeeh! Yaani huko nyuma mfanye safi halafu gafla tu hiyo siku moja akuchane?”


“ Ndio, na sio mimi tu, wanawake wengi aliokuwa anakutana nao Michael, mara za kwanza wote alikuwa anafanya nao safi tu, lakini huko mbele ndio uwa anawachana vibaya sana. Hii ni kwasababu anatumia kiungo bandia. Hatumii naniliu yake ya kawaida.”


“ Maneno yako yananifikirisha sana, yananipa maswali yasiyokuwa na majibu, ukute hata mimi kwakuwa ilikuwa siku ya kwanza ndio mana hakukuwa na madhara. Ukute huko mbele atakuja kunifanyia ubaya.”


“ Ndio, ipo hivyo. Kuwa naye makini.” Aliniambia. Nilitikisa kichwa kumkubalia. Tuliongea megi kuhusu Michael kisha akaniaga na kuondoka.


……………………………………


Nikiwa nimelala, majira ya saa tatu usiku, simu yangu iliita. Niliipokea. Aikuwa ni Michael.


“ Unasemaje usiku huu?” Nilimuuliza.


“ Nimekupigia kukupa taarifa mbili, moja ni kuhusu Maua, anaendelea vizuri sana. Daktari kanipigia simu na kuniambia kesho MUNGU akipenda wanaweza kumruhusu arudi nyumbani.” Aliniambia.


“ Na taarifa ya pili , ni kuhusu mimi na wewe. Naomba tukutane tuongeee. Nataka tuyaweke wazi yote yaliyotokea. Najua Jenifer kakuambia meneno mengi ya uongo.” Aliniambia.


“ Ameniambia ukweli, hakuna uwongo alioniambia.”


“ Naomba tuongee, kama hautajali naomba nije nikuambie swala ambalo jenifer na wanwake wote nililala nao hawalijui, nitakueleza kila kitu bila kificho kwakuwa nataka uwe mke wangu.” Aliniambia.


Bila ya kumjibu, nilikata simu yake na kujifunika shuka gubi gubi.


……………………………….


 Saa moja mbele, niliamka, akili yangu yote ilikuwa kwa Michael, nilipata shauku kubwa ya kujua ukweli wa yale mambo. Nilikuwa nimeshampenda Michael, hivyo kuachana naye bila ya kujua ukweli lilikuwa ni swala ngumu. Nilichukua simu yangu na kumpigia.


“ Moyo wangu…..moyo wangu..moyo mama…” Iliimba nyimbo kwenye simu yake. Simu iliita hadi ikakatika bila ya kupokelewa.


“ Huyu nae kwanini hapokei simu?” Nilijiuliza. Nilimpigia tena. Simu iliita tena kama mwanzo hadi ikakatika bila ya kupokelewa. Nilikata tamaaa. Nilipanda kitandani , kabla sijajifunika shuka, simu yangu iliita. Alikuwa Michael. Alinieleza alikuwa bafuni akioga ndio mana hakupokea simu yangu.


“ Sawa haina shida, naomba uje tuongeee.” Nilimwambia na kukata simu.


Hazikupita dakika mbili, Michael alikuja.


“ Nitakueleza ukweli wote, kwanza kuhusu Mti, hakuna mwanamke niliyewahi kumuingiza mti.” Aliniambia.


“ Sasa kwanini inakuwa vile? Mfano jenifer, kwanini kipindi cha kwanza mlikuwa mnakutana bila ya mtatizo halafu kipndi kingine ukamchana vile?” Nilimuuliza.


“ Ok kuhusu hilo jibu lake ni hili.” Aliongea Michael na kuingiza mkono mfukoni, alitoa kitu kilichoniacha mdomo wazi.


 “ Aaaaaah! Sasa hiko kinawezaje kuwa jibu?” Nilimuuliza 






“ Aaaaaah! Sasa hiko kinawezaje kuwa jibu?” Nilimuuliza.


“ Kwanza hiko ni nini?” Nilimuuliza kwa mshangao.


“ Huu ni uume bandia.”


“ Sasa uume bandia unahusikaje na haya yote tunayoyazungumza? Au huu ndio uwa unawaingizaga wanawake hadi wanachanika vile? Lakini mbona unaonekana mdogo au uwa unaujaza hewa?” Nilimuuliza maswali mfululizo.


“Huuu niliununua baada ya kuona maungo yangu ni makubwa na hayawezi kumuingia mwanamke. Niliununua nikawa kila ninapokutana na mwanamke naufunga kwenye nyeti zangu halafu huu wa ukweli naubana pembeni, wakati wa mchezo nakuwa makni sana kuhakikisha huu wa ukweli hauonekani, hivyo nakuwa nafanya mapenzi na uume wa bandia na sio huu wa ukweli.”


“ Eeeeh kwahiyo ulikuwa unafanya hivyo kwakuwa ulikuwa hutaki kuwaharibu watoto wa watu?’


“ Ndio, mfano jenifer mara zote nilizokuwa nakutana naye nilikuwa namuingiza huu bandia, ila siku hamu zangu zilipokuwa juu nikashindwa kuvumilia ndipo nikamuingiza huu wa kweli, na matokeo yake ndio yale, nilimvunja vibaya sana”


“ Mmmmh! sasa vipi kuhusu mimi, mbona mimi umeniingiza hiyo ya kweli na wala sijavunjika?”


“ Hilo hata mimi mwenyewe nashangaaa. Nazani umeletwa makusudi kwa ajili yangu. Nazani ulizaliwa ili uolewe na mimi, maana hakuna mwanamke aliyeweza kuhimili naniliu yangu zaidi yako, ajabu baada ya tukio naniliu yako inarudi na kuwa kama zamani, umeumbwa tofauti sana.’ Aliniambia.


Maelezo yake yaliniingia akili, niliamini, ilikuwa ni kweli, kwa jinsi mambo yalivyotokea kwa mwanamke yeyote ni lazima angehisi kaingizwa kitu tofauti kwakuwa mara zote alikuwa anakutana naye na hakukuwa na baya lilitokea sababu alikuwa anatumia uume mdogo wa bandia.


“ Nimekuelewa.” Nilimjibu.


“ Nafurahi kusikia hivyo, lakini nilikuwa naombi, kwakuwa jana tulishirikiana bila ya madhara yoyote, na kisima chako kilifanya maajabu sana. Naomba na leo tujaribu tena.” Aliniambia. Alinisogelea na kuninyonya shingo.


Alinichombeza na kuniweka katika hali ya utayari.


Baada ya bingili bingili, nusu saa mbele tulikuwa kama tulivyozaliwa, kama ilivyokuwa jana, pamoja na Michael kuwa na naniliu kubwa ya ajabu, kwangu iliingia bila ya madhara yoyote, tulienjoy na kufurahia penzi letu.


……………….


 Siku zilikatika penzi letu lilizidi kukolea, Michael alileta barua kwetu tukaoana rasmi. Nilimfata Jenifer na kumuondoa mawazo potofu aliyokuwa nayo kuhusu kuingizwa ukuni, nilimweleza akaelewa.


 Penzi langu na Michael lilishamiri.


“ Nilijua sitakuja kupata mpenzi wa kuweza kunihimili.” Aliniambia Michael.


‘ Aliyekuumba anaakili, mpango wake ulikuwa uolewe na mimi. Alituandaa ili tuoane.” Nilimwambia. Nilimsogela na kumbusu usoni.


……………………….


Siku moja nikiwa mtaani, nilikutana na yule mpaka rangi akiwa kaongozana na mdada, kwa mwonekano tu, walionekana ni wapenzi. Sikutaka kumshtua, niliangalia pembeni na kutaka kuwapita, lakini kabla sijawapita mpaka rangi aliniona. Aliniwahi na kunishika mkono.


“ Ahsante sana dada. Ushauri wako nimeufanyia kazi na saizi nimempata mchumba wangu. Kma ulivyonishauri,nilienda kujichunguza zaidi, kumbe pamoja na naniliu yangu kupinda na kuwa ndogo kumbe ikicheweza inajinyosha na kuwa na uwezo wa kushiriki tendo. Saizi nashiriki tena bila ya shida. Na huyu ni mpenzi wangu” Alinimbia huku akimuoneshea kidole mwenzake.


“ Hongereni sana.” Niliwaambia.


………………….


Siku zilikatika, penzi langu na michael lilinoga, Michael alinikuna na kunifanya nijisikie vile ambavyo sikuwahi kujisikia, mapenzi yake moto moto yalinipagawisha kabisa. Mpka sasa tupo pamoja. ananipenda, name nampenda.


MWISHO. 



0 comments:

Post a Comment

Blog