Search This Blog

Wednesday 15 March 2023

PISI KALI - 1

 

IMEANDIKWA NA: UNKNOWN

**************************************

Chombezo : Pisi Kali

Sehemu Ya : Kwanza (1)


“Kaka nimeshafika sa hivi tupo hosteli nimepumzika maana nahisi uchovu balaa.Mwambie mama aondoe hofu bana mi najielewa”.

“Sawa dogo langu ila kuwa serias na masomo si unajua umepata bahati ya mkopo si huku hatuna kitu ukifeli shauri yako, sisi hatutataka kujua kitu” Yalikuwa maongezi kati ya msichana Brenda aliyekuwa ndio amefika tu jijini Dar es salaam kwa ajili ya kuanza masomo ya elimu stashahada.

Alifika kwa ajili ya kuchukua digrii yake katika chuo kimoja maarufu sana jijini Dar es salaam UD.Alikuwa msichana mrembo aliyekamilika kila kona,kuanzia sura nzuri ya kitoto, rangi nyeupe ya ngozi yake lakini hasa shepu lake lililojazwa kwa tako kubwa na mapajani kukiwa na hipsi pana zilizojikunja ama kwa kiingereza wanaita curves.

Msichana huyo wa kimbulu alivutia, alikuwa na midomo laini mekundu na iliyojengeka katika hali ambayo basi mwanaume yoyote akiitazama lazima avute picha anailamba.Masaa machache tu aliyokuwa ameyatumia pale hosteli tangu kufika alishapata umaarufu.

Wakaka wengi wa chuo walishampachika jina la pisi kali na kila alipopita vidume waligeuka kuangalia sambwanda la mrembo huyo aliyekuwa kavaa pensi.Kwake Brenda vazi lile la pensi hakulizoea kwahiyo alikuwa akionaona aibu kutokana na jinsin umbo lake lilivyobaki wazi, lakini rafiki yake aitwaye mercy ambaye naye hakuwa haba alimwambia asihofu.Mercy alikuwa mtoto wa mjini, aliijua Dar vizuri kuanzia sehemu za bata mpaka sehemu za kusali.

Baada ya hela ya boom kuingia kwenye akaunti zao mercy akamshawishi Brenda wakafanye shopping ambapo waliingia mlimani na kununua kila walichohitaji.” Kuna hizi chupi zinaitwa lingerie, mwanamke yoyote akivaa anakuwa sexy balaa tena na huu mshepu wako ndo sjui itakuwaje” Mercy alimuambia Brenda ambapo walinunua vinguo vingi vinavyouacha mwili wazi wazi kiasi kwamba wakajikuta ndani ya siku moja wamebakiwa na elfu sabini na elfu hamsini kati ya lakin saba waliyokuwa wamepewa.

“ Shogaa hapa sijui itakuwaje, mi nmebakiwa na sabini tu hapa kati ya laki saba” Alisema Brenda lakini mercy akamtuliza na kumuambia asihofu.Basi mercy akamtoa Brenda mpaka kantini ambapo waliagiza chipsi kuku zao na kuanza kula pale.Baada ya kula ambapo walikuja wakaka wawili wakakaa nao pale na kuwatongoza ambapo Brenda alitaka kuwapa namba lakini mercy kwa ujanja akawachomolea.

“ Achana na hawa washamba washamba wa chuo wewe twende nikakuonyeshe wanaume wewe”Alisema mercy na kumshika mkono Brenda wakarudi hosteli na kubadili nguo ikiwa ilishafika saa nne usiku.

Basi wakavaa vinguo vyao vifuni lakini vinavyoiweka miili yao wazi kisha wakaingia kwenye baa moja ya kifahari iliyokuwa pale mlimani.Walikaa Mercy akaagiza bia laini tu ambayo alijua Brenda angekuwa nywa isingemsumbua.

“ Mzee mwenzangu umeona ile pisi…wohh!! Mamae mtoto ni mali huyo chek mkund ule sasa alafu anaonekana bado sana huyu lazima nimtefune na itakuwa wa UD huyu”.Yalikuwa maneno yaliyomtoka Ibra kijana wa umri wa makamo kati ya miaka ishirini na saba mpaka thelathini.

Alikuwa mzoefu wa kuchukua wanawake sehemu za stareh na kuwatumia.Kilic

homuwezesha kufanikiwa katika hilo ni muonekano wake wakitanashati, muda wote akivaa suti kali kama boss lakini akinukia lakini hasa sura yake ya kuvutia basi wadada wakawa wanachanganykiw

a kabisa.Alichofanya Ibra ni kunyanyuka kwenye kiti alichokuwa amekaa kisha akafika sehemu walipokuwa wamekaa Brenda na Mercy.

Akaanza kumwaga sera zake pale akijitambulisha kama mkurugenzi wa bodi katika benki kubwa sana mjini.Kwa muonekano wake tu, Brenda na Mercy wakapagawa.Mercy akaanza kujisogeza, Ibra akasanuka kwahiyo akamstua Alfa Mshkaji wake akimwambia apite na Mercy.Basi Ibra akamchakaza Brenda kwa swaga akimpa ahadi kibao mtoto wa kike akachanganyikiwa na pombe kidogo aliyokunywa na jinsi jamaa alivyomsifia akajiona malkia kapata bonge la bwana.

Haikuchukua muda Ibra alimaliza kazi aliyokuwa amepanga kuifanya na Brenda aliyekuwa kalewa kiasi alishaingia laini.Wote pamoja na Mercy walikuwa ndani ya gari ya Ibra pamoja na alfa ambapo katika siti ya nyuma mecy aliyekuwa ashaanza kuwashwa kwa nyege za pombe iliyoshuka chini.Alikuwa akinyonywa denda na jamaa alishazamisha mkono ndani ya ki tyt cha Mecry na sasa alikuwa akichezea kisimi na kupima oil.Mercy kapagawa anahemea mdomoni kwa jamaa.

ITAENDELEA


0 comments:

Post a Comment

Blog