Search This Blog

Thursday 2 March 2023

SHOGA FEKI - 5

    

Chombezo : Shoga Feki

Sehemu Ya : Tano (5)


“Umenipa raha ambayo nilikuwa naitafuta kitambo sana,”

“Kweli? Kwani umemwaga?”

“Ndiyo!”

“Mbona sijashtukia,”

“Haukuwa makini tu.” Hata dakika kumi hazikuisha, joka likainuka tena, mtoto akagoma kwenda kama mbuzi, basi nikamsukumia joka ndani na kuanza kumng’ata, baada ya hapo nilimweka kiubavu, bilingebilinge liliendelea ndani ya saa nzima mtoto alikuwa anazungusha viuno kama amefungwa mota, alilikatikia joka mpaka kuna muda nilihisi sina joka. Nilipommwagia kwa mara ya pili, yeye ndio alikuwa amechoka hasa,

“Fan naomba nipepee!” nikashika shuka na kuanza kumpepea usoni

“Sio huko, huku chini,” kumbe alimaanisha nimepepee kule kati kwake

“Kwani vipi tena!”

“Yaani nahisi kama kunawaka moto, endelea kupepea.” Alikuwa siriazi alipokuwa akiongea hivyo, nilitamani kucheka maana nilikuwa nasikia tu mwanamke anaweza kung’atwa mpaka akahisi huko kati kwake kunawaka moto. 

Katika wote, Zawadi ndiye aliyekuwa amedata na Joka langu kuliko wote. Mpaka asubuhi tulikuwa tumelala kwa kukumbatiana. Cha asubuhi kama kawaida, nilimmwagia ndio tukaenda kuoga. Tulipotoka nje, Salma na Josefina hawakuwa wameamka, chai ilikuwa mezani, tukafungua kinywa,

“Yaani nimewachungulia chumbani wamelala kama wamekufa,” alisema Zawadi

“Na wakiamka hapo lazima wanywe supu,”

“La sivyo watatapika mpaka watoe nyongo,”

“Ila ule mchezo tusirudie tena,”

“Kwanini Fan, mbona unataka kunitesa sasa?”

“Watu wengine watajua,”

“Hawawezi kujua, sitomwambia yeyote nakuahidi,”

“Kweli?”

“Ndiyo.”

Basi baada ya kunywa chai tulikuwa tukicheza kimahaba hapo mezani. Ghafla simu yangu ya kiganjani ikaita, kuangalia jina alikuwa ni baba, nikapokea,

“Hujambo mwanangu!”

“Sijambo shikamoo baba,”

“Marhaba, mko salama?”

“Tuko salama kabisa, sijui huko wewe na mama,”

“Tumekukumbuka tu mwanangu, kwenye saa tisa tutakuwa hapo, tutasafiri kwa ndege,”

“Jamani, nimefurahi kusikia hivyo,”

“Sawa mwanangu, ongea na mama yako hapa.” Basi nikaongea na mama ambaye alizoea kunidekeza kweli, ila Jamani mtoto kwa mama hakui, nilivyokuwa nikiongea na mama nilijihisi wa tofauti. Simu ilipokatwa nililaumu kweli maana nilitamani kamchezo katamu kaendelee.

Salma na Josefina ndiyo muda huo waliamka, yalikuwa ni majira ya saa mbili na nusu. Walipokunywa supu, taarifa ya ujio wa wazazi wangu iliwasikitisha kweli na wao lakini hakukuwa na namna zaidi ya kuondoka. Yalipofika majira ya saa sita mchana, niliagana nao huku wakitoa machozi wakidai watanikumbuka sana. Kama kawaida yangu niliwasisitiza kuwa wasije wakatoa siri yangu kuwa ni shoga…ITAENDELEA

SHOGA FEKI-19

MTUNZI:GEOFREY MALWA

MAWASILIANO:0712507115

Nyumba ikapoa, kukawa kimya kwa masaa kadhaa kabla ya wazazi wangu kurudi. Waliporejea niliigiza tu furaha ya kuwaona lakini nilitamani kama itokee safari nyingine waendoke. Yalibaki mawasiliano tu ya kwenye simu, kila mmoja kwa muda wake alinitafuta na kunikumbushia ule habari ya kamchezo katamu. Ilikuwa ngumu kugunduana kwasababu kila mmoja alirejea nyumbani kwao ambako walikuwa geti kali masaa ishirini na nne. 

Wakinamama ni watu wa ajabu sana. Sijui huwa wanatumia kitu gani kugundua mabadiliko ya watoto zao. Ilinishangaza siku moja asubuhi tulipokuwa tunakunywa chai, aliniambia,

“Umekua sasa!”

“Kwa hizi siku mbili tu mama?” nilizuga

“Jifanye hujanielewa tu, usinizeeshe niitwe bibi mapema,”

“Mama bwana, mimi sifanyi mambo hayo,”

“Nimeanza kuliona jua, shauri yako,”

“Usijali mama yangu.” Maongezi yetu yaliishia hapo ambapo aliendelea kunisimulia kuhusu safari yao na baba. 

Yalipofika majira ya saa tisa alasiri, alioniomba nimsindikize kwa mama mzungu, ni mama aliyeolewa na mzungu nyumba ya jirani, japokuwa alikuwa na mtoto lakini alifahamika zaidi kama mama mzungu. Kilichonifanya nikubali kwenda ni huyo mtoto mzuri wa mama mzungu aliyeitwa Suzan. Ilikuwa ni nyumba kali kama yetu, mlinzi alitufungulia geti kisha tukaingia ndani, wala hata dakika hatukuchukua kufika nyumbani kwa mama mzungu.

Basi mama mzungu asianze kunishambulia kwa mabusu, yalinisisimua na ukizingatia nishajua utamu wa pale kati. Muda huo Suzan alikuwa chumbani kwake. Basi wakutanapo wamama wawili mtoto ukiwa nao wanakuona kama unawanyima uhuru w akuongea mambo yao,

“Suzan ebu njoo!” mama mzungu alipaza sauti yake akimwita mwanaye

“Nakuja,” alijibu kwa mbali, baada ya sekunde kadhaa alifika

“MWenzio huyo kaja kukusalimia,”

“Yeye huwa anajifungia ndani kama mwali bwana.” Kauli hiyo ilinifanya nimfuate kama nataka kumpiga naye akakimbilia chumbani kwake ambako name nilimfuata huko. 

Mtoto alikuwa amevalia trakisuti Fulani laini kama skini zinazofanana, Jamani sio kwamba alikuwa bonge wala modo, mtoto alibaki hapo katikati, chura ya kichokozi kama mama yake, hilo jicho sasa, kama alikuwa mkesha wa mwaka mpya sasa amechoka na anajisikia usingizi, kwenye kuongea ndio ungezimia, alivuta maneno na alijaaliwa kuongea taratibu, ongea iliyohamasisha hasa mtu kusimama kwa miguu mitatu.

Baada ya kupiga stori mbili tatu, kuna macho Fulani aliniangalia, yaliniambia kitu Fulani hakiko sawa na amekijua, 

“Kuna kitu unahitaji kuniambia?”

“Kipi, acha umbea!”

“Hivi Suzan mbona unanizungusha tu wakati sisi majirani,” nilipomwambia hivyo ndio nilimtibua

“Haya nimekukubalia,” alijibu hivyo mpaka nikajua ni masihara. Nilimwangalia usoni naye akanikazia macho. Ni kitambo nilikuwa nikimfukuzia, na kila muda alinichomolea, sasa siku hiyo kunikubali kirahisi hivyo sikumwelewa,

“Unamaanisha unachokisema?” alitikisa kichwa kukubali huku akiubana mdomo wake na kusababisha dimpo zake zionekane

“Suzan, kutoka moyoni mwangu mi nakupenda sana, kama umekubali jua sitaweza kukuumiza, nitakupenda siku zote za maisha yangu,”

“Sawa nashukuru, mimi pia,” alikuwa akinijibu kifupi mpaka nikawa sijiamini kama nimekubaliwa kweli

“Naomba unibusu.” Nilipoomba jambo hilo, alinisogezea mdomo kisha nikambusu. Baada ya hapo akawa yuko makini kuangalia runinga, mambo yangu hayakuisha kumtazama, sikuamini kama Suzan amenikubalia. Kilipita kimya kama cha dakika mbili hivi, lakini kuna kijicho Fulani alikuwa akiniangalia kisichokuwa cha kawaida,

“Nikuulize kitu Fan?”

“Niulize!”

“Una mpango wa kuwa na familia hapo baadaye?”

“Ndiyo, hilo ni muhimu mpenzi wangu,”

“Ulipanga utimize hilo lengo na nani?”

“Wewe, kwani kuna mwingine tena?”

“Sijui!”

“Kwanini umeniuliza hivyo?”

“Sijamaliza kukuuliza,”

“Kwahiyo tutapataje watoto?”

“Jamani kwani wengine wanapataje!”

“Kwani wewe upo kama wengine?” hilo swali lilinishtua, kabla sijajibu nikaongezwa lingine,

“Kwahiyo wewe utaitwa baba au mama?” ganzi ya mwili ikaanza kuniingia taratibu, sikujibu hilo swali nikatandikwa lingine,

“Unawezaje kuwa na ndoto za kuoa na kuolewa kwa wakati mmoja?” 

“Laki..” nilipotaka kujitetea nikaongezwa swali lingine,

“Wewe sio shoga?”…ITAENDELEASHOGA FEKI-21

MTUNZI:GEOFREY MALWA

MAWASILIANO:0712507115

“Kuna kitu najiuliza mpaka sasa hivi sipati majibu,”

“Kinahusu nini”

“Wewe hapo,”

“Niko hapa, nini kinakutatiza?”

“Naona hata aibu kukuuluiza,”

“Kuwa huru, sasa unanionea aibu ya nini?”

“Haya, eti…” mtoto si akaanza mapozi, kila aliponiangalia alishindwa kuniuliza kilichomtatiza, akawa anacheka tu huku akiangalia pembeni na kujiziba uso kwa mikono yake,

“Mbona humalizii sasa Jamani…”

“Naomba namba yako..” basi akaomba namba ya simu, nilipompatia akaniandikia ujumbe uliosomeka hivi,

“Hivi nanihii yako inafanya kazi au? Samahani kwa swali hilo lakini.” Alipotuma ujumbe huo yeye mwenyewe alijilaza kitandani hata asiweze kuniangalia, name nikamjibu kupitia ujumbe mfupi,

“Nanihii ndio nini?” sasa mchezo ukawa ni wa kujibizana kupitia jumbe fupi

“Hiyo MB,”

“MB ndio nini?”

“Umeificha kwenye suruali, nijibu basi,”

“Inafanya kazi vizuri tu,” nilipomjibu hivyo alinigeukia na kuniangalia, wakati huo wote nilikuwa nikifanya utalii wa bure kwenye chura yake,

“Kwahiyo unaweza kumng’ata mdada?”

“Ndio, hata wewe ukitaka,”

“Nataka.” Alipojibu hivyo akadai amekosea kuandika na kunitumia mimi, eti alikuwa akimtumia rafiki yake aliyeitwa Konsolata. Nikamtolea uvivu, wazazi wote walishaondoka, kwahiyo nilijiamini.

“Wewe unakuja wapi sasa?” aliniuliza baada ya kuniona nimesimama, na sio na miguu miwili tu bali mitatu, alibaki akiushangaa mguu wangu wa tatu. Kwani nilimjibu! Nilijilaza juu yake, nilijua tu alihitaji kamchezo ka kutuliza hasira ila alijishaua. Aisee kuwepo juu yake nilijihisi raha ya ajabu maana ni kama nilikuwa juu ya sponchi, nikaanza kumbana huku nikishambulia masikio na ulimi wangu,

“Acha bwana ndio nini, wewe si umesema ni shoga?”

“Na wewe si umesema unataka nanihii yangu,”

“Hapana nilikoseee….aaah bwana wewe Faaan..” alianza kutafuta maneno na mimi ndipo nilipopataka. Kadri muda ulivyozidi kwenda ndivyo upinzani ulipungua, ilifika muda aliamua kujiachia maana angeendelea kujichelewesha basi wazazi wangetukuta maana hakutukjua wameenda wapi na watatumia muda gani mpaka kurudi.

“Una kinga?” aliniuliza akimaanisha,

“Nini! Ninakinga maji au?” nilimjibu kwa utani akajikuta anacheka tu

“Acha utani, kuna kuvimba tumbo ujue!”

“Najua, nitamwagia nje,”

“Ole wako ujisahau.” Moyoni nilijisemea “Imesisha hiyoooo!” mtoto taratibu nilianza kumsaula nguo zake, nilipomtoa ile traki ndio niligundua kuwa alikuwa amevalia kufuri la kizungu. Nilimbakiza kama mtoto mwenye sekunde moja tangu aletwe duniani.

Nikaanza kushambulia kifua chake kilichoniita kwa sauti ya kimatendo, hiyo miiba hapo kifuani niliibugia utadhani pipi kodonge za zamani zilikuwa zikiuzwa shilingi tano kama unazikumbuka.

“Wewe pita tu mimi niko tayari,” aliongea kwa sauti ya chini sana

“Sawa mpenzi.” Nilijibu kwa adabu sana, yaani kwa mahali tulipofikia hata ungeniambia nyumba yetu inaungua moto nisingekuelewa kwakweli.

Miguu yake mashariki kwa magharibi niliitawanya ili nipaone vizuri kati palipokuwa pamesafishwa utadhani uwanja wa kukimbilia riadha. Kidume nikatoa joka langu, hapo nilikuwa na jinzi langu kama kawaida, nililishuka mpaka usawa wa magotini.

Joka nikalielekeza pale kati, taratibu nikalizamisha kichwa, mwili ukafuatia, yaani kati palikuwa panabana mpaka nikawa nahisi joka limeingia ile sehemu ya kutolea taka ngumu au! Nikaanza kumng’ata taratibu huku nikishambulia mdomo wake uliokaa kihasara. Ndani ya dakika kumi na tano mtoto akawa amenibana kupita maelezo, niliogopa kwani alikuwa kitetemeka kabisa mwili mzima, baada ya hapo akatulia kimya utadhani amekufa, mimi niliendelea kupampu kisha nikamalizia nje haja zangu juu ya tumbo lake. Suzan ni kama alisinzia kabisa, nilimtikisa lakini hakushtuka, mpaka dakika kama tatu zilipopita ndio akashtuka, aliniangalia kama mtu aliyedata, 

“Vipi umeridhika?” nilimuuliza


ashiria ameridhika. Akainuka na kujikokota mpaka bafuni, aliporejea sasa, kila wakati alitamani kuwa karibu yangu. Alijibebisha mara kunilalia kifuani, mara anishike kidevu kilichokuwa kama tako la iddiamini, hakikuwa hata na dalili ya ndevu. 

“Ota ndevu,” aliniambia hivyo

“Usijali, kesho tu utazikuta,”

“Mmmh!” yaani hapo mtoto alikuwa ndani ya mtandio bila chochote. Joka likainuka tena maana mtoto huku kifuani alikuwa wazi kabisa, mtoto akataka kulikagua vizuri,

“Mmh! Ni kubwa, ni kweli wewe ni shoga?”

“Ndio, ila usimwambie mtu kama tumefanya hivi,”

“Usijali, ila sharti moja,”

“Lipi hilo?”

“Nikikuhitaji unanituliza.” Sharti hilo ndio lile ambalo kila mwanaume rijali ana uwezo wa kulitimiza bila kukwepa hata siku moja, ukizingatia mtoto mwenyewe ni mzuri. Basi ili kuficha siri ilinibidi niondoke mapema kabla wazazi wetu hawajarudi. 

Baada ya kupita mwezi mzima, kamchezo kati yangu na Suzan kaliendelea, dada wetu wa kazi alikuwa shahidi. Siku zingine nilikwenda kwao tukijifanya tunasoma, na siku zinging alikuja nyumbani. Basi ikatokea tena safari baba na mama wakaondoka, ila ilikuwa ni kwa siku tatu tu. Nikamtaarifu Josefina maana niliumisi ule mchura aliojaaliwa. Wala hakupinga aliniambi aatakuja tena peke yake bila wenzake.

Kesho yake asubuhi alinipigia simu na kuniambia atakuja rafiki yake wa kiume, nimpokee kisha akishawasili yeye, huyo rafiki yake ataondoka. Kweli alikuja mbaba Fulani lakini alikuwa msela tu. pande la mtu, aliachia vifungo kadhaa kifuani na kuachia bustani yake iendelee kuonwa na watu. Nikamkaribisha sebuleni ambapo alikuwa akiniangalia kwa macho ya matamanio, si unajua siku hiyo nilikuwa nimejiremba ili kuendeleza ile swaga ya ushoga.

Mara jamaa akawa ananikonyeza, alipokuwa hapo sebuleni alichukua simu yake na kuiplei video ya pilau,

“Njoo tucheki hii,”

“Aah..” alinisisitiza nikajikuta nimesogea

Kumbe ilikuwa ni video ya pilau ya wanaume tupu, jicho likawa linanyonywa mpaka kuliwa. Jamaa sikumwelewa mara mkono wake unishike bega kimahaba,

“Vipi umeipenda hii au…ngoja niiplei nyingine,”

“Aah wanazingua hao.” Niliondoka zangu na kumwacha peke yake kwenye kochi

Baada ya kama nusu saa, Josefina alikuja akiwa amevalia kimitego sasa na lile umbo lake ndio kabisa! Aliingia hapo sebuleni kisha tukakumbatiana, yule jamaa sasa! Naye akamfuata Josefina kisha akaanza kufanya kama anataka kumng’ata shingoni vile, Josefina alikuwa akicheka kile kicheko Fulani cha kuonyesha kama anang’atwa. Roho iliniuma japo nilijikaza, kibaya zaidi jamaa alikuwa amemshikilia chura na kwa jinsi lile gauni alilovaa kuwa fupi, basi ni kama alikuwa anakaribia kushika nyama kabisa. Alipomwachia namimi ni kama moyo wangu uliachiwa upumue. Josefina alipokuwa anataka kukaa, jamaa akamuwahi tena na kumpakata, Josefina hakupinga, jamaa alimshika kiuno kabisa,

“Usijali Fan, huyu rafiki yangu sana,”

“Hamna shida,” nilijibu kinyonge huku shida ikiwepo kweli, nilijisikia vibaya mno

“Naomba maji Fan.” Josefina aliniambia hivyo, nikainuka kidume na kwenda kumchukulia maji, niliporejea roho ilizidi kuniuma, ilibaki kidogo nidondoshe glasi ya maji. Yaani Josefina alikuwa amejipinda kidogo kisha akawa anafanya kama anamkatikia huyo jamaa, hiyo chura alivyoinua kiasi kwamba mikono yake ilishikilia magoti ya huyo jamaa. 

‘Wacha wee! Mtoto chura,”

“Sasa je! Chezea!”

Nilimpa maji kisha akamnywesha yule jamaa, kwakweli bado sikuelewa mchezo niliokuwa nikichezewa, Josefina akaninong’oneza sikioni kuwa huyo jamaa ataondoka muda si mrefu, alinidanganya kuwa ni kaka yake ili nimpokee. Nikaitikia kishingo upande tu.

SHOGA FEKI-23

MTUNZI:GEOFREY MALWA

MAWASILIANO:0712507115

Basi jamaa akatoa simu yake na kuplei video ya pilau tena wakaweka sauti kubwa tu iliyosikika sebule nzima,

“Itoe bwana, wengine hasira zetu ziko karibu,”

“Kwani hatuna majoka ya kukung’ata?”

“Sitaki mimi nina mume wangu,”

“Mwingine zaidi yangu?”

“Mjinga wewe, niwe na kichaa kama wewe?”

“Kichaa eeh? Angalia basi.” Alipomlazimishia, Josefina akaanza kuangalia, kikatawala kimya cha kama dakika tatu hivi,

“Umeshasimamisha eeh?”

“Nini wenge lako tu,”

“Si hili hapa linanigusa!” Josefina akalishika kabisa joka la huyo jamaa kwa juu juu. Roho iliniuma kupita maelezo, Josefina alipotaka kunyanyuka jamaa alimng’ang’ania, kilichotokea sikuamini hata mimi, nilitamani kuzimia kama sio kulia mpaka machozi ya damu.

Josefina alipotulizwa, alipandishwa lile gauni lake mpaka meneo ya tumboni, alivalia kufuri la kizungu,lilisogezwa pembeni kisha jamaa akatoa joka lake,

“Wewe Jamani unataka kufanyaje!” Josefina alishangaa lakini sio ule mshangao wa kumaanisha

“Joka lilipoachiwa, lilikuwa halina tofauti na lile la kwangu, likazama kwa mtoto wa kike, Josefina kaanza kung’atwa mbele yangu. Lile jamaa na mwili wake mkubwa alimkamatia Josefina kama mtoto wake japokuwa alikuwa amenona, alimpachika vitu vya uykweli kiasi kwamba Josefina alipiga kelele, mechi hiyo mpaka dada wetu wa kazi alishuhudia, akawa anacheka tu. Niliondoka na kwenda chumbani kwangu.

Hazikupita dakika nyingi, hodi ilibishwa chumbani kwangu, nilikausha kwa kudhani ni Josefina, ile kwenda kufungua alikuwa ni Salma, mtoto mashaalah alivalia sketi Fulani ya uji uji, mitego mitupu,

“Yaani huyo Malaya anang’atiwa sebuleni loh!”

“Karibu Salama.” Nilimkaribisha mpaka ndani ambapo alidai amenimisi sana, karoho kakaanza kusuuzika, alikuja siku hiyo na staili ya kipekee, nilifungwa kamba mikono na miguu nikiwa nimelala kifudifudi kwa mtindo kama yesu msalabani hapo kitandani tena nikiwa kama nilivyozaliwa, alishanisaula kila kitu,

“Leo nataka nikuridhishe mpenzi wangu, achana na Malaya Josefina.” Sikumjibu kitu ila alianza kuchezea makalio yangu, kiunoni na mpaka maeneo ya mapajani, akachukua mafuta Fulani ya maji, akanimwagia kwenye makalio na kuyasambaza kwa mtindo wa kunipaka mpaka kwenye mpododo kabisa.

“Bwana wewe kuwa makini,” nilijisahau na kumwambia hivyo

“Jamani kwani huku hutaki kupatumia?”

“Natamani sana nimpate mtu,”

“Usijali iko siku utampata tu mtu,”

“Nitashukuru Mungu.”

Basi nilipomaliza kuongea hivyo, hodi ikabishwa, Salma alikuwa ameshafanana na mimi, utadhani tuko bustani ya edeni,

“Achana na hiyo hodi,” nilimsihi

“Labda kitu cha muhimu,”

“Msikilize urudi fasta bwana.” Mtoto wa kike akaenda kufungua mlango huku nyuma kukinesa hasa, e bwana eh! Aliingia jamaa mwembamba tu ila alikuwa an zinga la joka tena lilikuwa limenyooka linang’aa kweli. Sikuelewa kwakweli. Huyo jamaa mwembamba alianza kumshikashika Salma na kucheza naye mchezo wa njiwa, Salma akawa anafanya kama analisuuza rungu hilo kwa kiganja cha mkono wake,

“Mpenzi unaniongeza hasira,”

“Nataka isimame zaidi ili umshughulikie Fan,”

“Aisee mtoto mzuri huyo,”

“Leo nataka umtoe bikra,”

“Salma acha (Tusi) nilimtukana na kuanza kupiga kelele, yule jamaa akaniwekea vitambaa mdomoni kisha akafungulia muziki, niliogopa huku nikianza kutubu dhambi zangu,

“Mimi sio shoga Jamani nilikuwa nadanganya,”

“Nitawapa hela yeyote msinifanyie hivyo Jamani tafadhari,”

“Salma tafadhari nitakupa chochote utakachohitaji.” Nilipaza sauti hivyo ila hawakunielewa kutokana na vile vitambaa pamoja na sauti ya muziki. ITAENDELEA

SHOGA FEKI-24

MTUNZI:GEOFREY MALWA

MAWASILIANO:0712507115

Basi jamaa baada ya kushika joka lake na kunyooka barabara akawa ananifuata, nilikukuruka hapo kitandani utadhani kuku aliyekatwa kichwa halafu akaachiwa huru atembee. Huwezi amini joka la huyo jamaa likawa linanipitia kwenye makalio yangu, yaani jamaa alikuwa aliingiza pale kwenye msamba na kufanya kama analirudisha chini na kulipandisha juu, alikuwa akiugusa mpododo, kumbuka nilipakwa mafuta, ina maana akikosea kiodogo kitu na boksi. 

Kama kuna siku niliilaani siku niliyozaliwa ni siku hiyo, niliwaza kujiua kama kitendo hiko nitafanyiwa. Jamaa akaanza kutanguliza majeshi yake a.ka dole la kati, akawa ananitakua mpododo wangu, hapo nikasema basi jicho langu limeshaliwa. Nilijitahidi kukukuruka lakini sikuweza kutoka kwenye hizo kamba zaidi ya kujiumiza tu. 

“Mtoto mzuri wewe!”

“Kaka samahani, mimi ni kidume mwenzako sio shoga Jamani,” wakanitoa kile kitambaa ili wanisikilize vizuri, niliwaomba sana lakini hawakuelewa somo,

“Unajua nini Salma!”

“Siku ya kwanza huwa wanaiogopa sana,”

“Atazoea tu baada ya kufumuliwa marinda,”

“Nawaomba Jamani msinifumue marinda mimi sio shoga, niliitumia hiyo ili niwapate mabinamu zangu.”

Nikiwa naendelea kujitetea, Zawadi huyo akaingia, alicheka kweli huku akiuliza nacheleweshwa kitu gani, eti alifikiri nitakuwa nimeshafumuliwa marinda. 

“Eti wewe fan! Kutung’ata wote watatu na kutudanganya ulifikiri hatutojua?”

“Nisamaheni dada zangu wapenda katika yesu na maria,”

“Wewe ulijifanya shoga ili utunase, sasa leo lazima marinda yafumuliwe,”

“Bro ujue itapita kweli, bro nisameheni Jamani nawaomba Jamani niko chini ya miguu yenu.”

Yule jamaa kwa kupenda sifa akwa ananigusagusa kwenye mpodod wangu na kichwa cha joka lake, akawa anakandamiza kama anataka kuingiza. Kiukweli sikuwahi kusali kwa kumaanisha ila siku hiyo nilisali, kufumuliwa marinda sio jambo dogo kwa mwanaume rijali eti, nilimwomba mungu huku nikimuahidi kumtolea sadaka kubwa sana akinitetea. 

Yule aliyekuwa akimfumua Josefina akaja akiwa na josefina wake wameshikana viuno.

“Oya tayari ameshajifunza, mwacheni,” alisema yule bro mbavu nene

Zawadi na Salma walikufa kucheka, walinifungua kamba mkono mmoja kisha Josefina akaongea,

“Fan mdogo wangu, sio vizuri ulivyofanya, ni kweli na sisi tulikuwa wajinga, lakini una bahati umefanya hivyo kwa ndugu zako, ungekuwa umewafanyia hivyo watu baki wasio na udugu na wewe, leo hii nini kingekutokea?”

“Ningefumuliwa marinda,” nilijibu hivyo machozi yakinibubujika tu, Zawadi naye akaongea,

“Sio vizuri Fan, usirudie tena, kwanza ulituonaje? Ujue wewe ni mshenzi sana!”

“Ni kweli yaani mimi sio mshenzi tu, kila tusi duniani linanifaa, kwa kunisamehe jambo hili la kufumuliwa marinda, ninawaahidi sitafanya tena ujinga huu wa kujifanya ni shoga, naomba mnisamehe sana niko chini ya miguu yenu. Dada zangu ninawaheshimu sana nawaomba Jamani.” Maneno hayo yaliwaingia wote. 

“Sisi tunakwenda, naomba hata mawasiliano yasiwepo, utamalizia kujifungua mwenyewe.” Alisema hivyo Salma kisha wakavaa na kuondoka zao. 

Nilijifungua kamba haraka kisha nikajikagua vizuri kwenye mpododo, nikakuta ni salama. Nilimshukuru Mungu na kujutia sana hilo suala la kujifanya ni shoga. Kuanzia siku hiyo habari ya kujifanya shoga iliishia hapo. Nilibaki na Suzan ambaye nilimweleza ukweli, alikasirika lakini alinielewa, kwahioyo yeye ndiye alikuwa mpenzi wangu, na nilipanga kubaki naye tu, sikutaka kuchanganya mafaili. Laiti kama nisingeonywa na mabinadamu zangu pengine ningeendelea nao huo mtindo mpaka chuo halafu kile walichonitishia usikute ningefanyiwa kweli. Ushauri wangu kwenu wanaume wenzangu msije mkatumia mbinu hii maana ina hatari kubwa sana ya kufumuliwa marinda.


MWISHO.



 

0 comments:

Post a Comment

Blog