Search This Blog

Sunday 5 March 2023

NCHI YA DHAMBI - 3

  


Chombezo : Nchi Ya Dhambi

Sehemu Ya : Tatu (3)


"Sawa nitakupa zawadi nono utakapinisaidia kutoroka ndani ya jumba hili!" Cesy alitabasamu na askari huyo akatabasamu akiinamisha kichwa chake chini....



   Malkia Suze alikuwa akirejea ndani kutoka lango (geti) kuu baada ya mumewe mfalme Longe kuondoka na msafara wake akiwa na mdogo wake, Susi


"Unamaanisha nini Redo?" malkia Suze alimwuliza mtumishi wake huyo mkuu 

"Hamna nilikuwa nakusisitiza tu ni bora ungemtuma askari azifuatilie nyendo za mfalme Longe huko aendako!" bi Redo aliamua kutokazia sana suala hilo asije akaonekana mchonganishi baina ya wanandugu hao wawili jambo ambalo litaleta maafa mbeleni


"Sawa ngoja Susi aziangalie nyendo za shemeji yake, hawezi kunidanganya!" 


"Sawa mtukufu malkia!" bi Redo alimwitikia akiinamisha kichwa chake lakini huku akimsikitikia kwa kuwa hakujua kinachoendelea......



Upande mwingine ndani ya gari (la farasi) la mfalme Longe lililokuwa likitembea mwendo wa taratibu....


"Vipi dada yako hajahisi chochote kinachoendelea kati yetu?" mfalme Longe alimwuliza shemejie, Susi


"Hawezi kuhisi kwa jicho lile la hasira ulilonikata pale, anaona mh safari yangu mimi nawewe itakuwa nzito kumbe wala, nawewe ni msanii aisee!" Susi alimjibu mume huyo wa dada yake Suze huku akimshika shika ndevu zake ndani ya gari hilo ambalo madirisha yake yalifunikwa na mapazia na kufanya hata askari wanaosindikiza msafara wasiweze kujua kinachoendelea ndani


"Sasa je Susi!" mfalme Longe alipeleka mkono wake pajani mwa mwanadada huyo akimpapasa


"Jamani si hatujafika safari yetu kuwa na subira mpenzi!"


"Ngoja ngoja inaumiza matumbo!" mfalme Longe alijibu akamvuta mwanadada huyo akampakata mapajani mwake vifua vyao vikigusana, nyuso zao zikitazamana, taratibu wakaanza kupeana mate (denda) ndani ya gari, huku msafara huo wenye askari (walinzi) takribani thelathini (30) walio juu ya farasi ukisonga mbele kwa mwendo wa taratibu


  Mfalme Longe aliipitisha mikono yake mpaka ndani ya gauni la mwanadada huyo kifuani akalishusha na kuyachomoa matiti yaliyosimama ya shemejie huyo akaanza kuyashika shika na kuyatomasa tomasa taratibu huku wakiendelea kupeana mate (denda)


   Mfalme akaupeleka mdomo wake mpaka kwenye matiti ya mwanadada Susi na kuanza kuyanyonya kama mtoto mchanga, akizivuta vuta chuchu 'saa nae' za shemeji yake huyo bila hata aibu, mikono yake ikimpapasa mwanadada huyo mapajani mpaka kwenye makalio yake nyuma, mfalme Longe akaingiza kidole chake taratibu kwenye mkun.. wa Susi


"Aaaaasssss!" Susi aliguna akiinuka kidogo na kisha kukikalia kidole cha kati cha shemejie huyo kikazama chote kwenye mkun... wake kisha akaupeleka mkono na kumchomoa Jogoo' wa mfalme Longe ndani ya joho lake la kifalme na kuanza kumpapasa


"Unanonaje ukawa mke wangu kabisa wa pili?" mfalme Longe alimwuliza Susi huku akihema hema akiwa ameshapandwa na kichaa cha mapenzi kichwani huku kasi ya msafara wake ikiongezeka sasa farasi wakikimbia kutokana na njia ya pori waliyokuwa wakipita


"Mke wako wa pili tena?"

"Ndiyo!"

"Acha utani!"

"Sitanii Susi nachoka kupewa kwa kuonja onja kila siku na kwa kujificha mpaka tunapanga safari kama hii ya kwenda mbali kisa tu tupate pa kupeana mambo, wewe unaona sawa?"


"Sioni sawa lakini dada yangu hatokubali!"

"Hakubali au asikubali hawezi badilisha kitu na kunizuia maamuzi yangu!"


"Hapana, nitaisambaratisha familia, mimi nainjoi tunapokuwa pamoja kama hivi naridhika tu huko kwingine tusiende kwa sasa, tuandae mazingira kwanza!"


"Susi mbona unanifanyia hivyo kulikataa omb.....!"


"Shiiiii usizungumze chochote, ni muda wa kupeana raha!" Susi alimwekea mfalme Longe kidole kinywani kumkatisha maongezi, mfalme Longe kinyonge akatikisa kichwa, Susi akapandisha gauni lake kwa juu akainuka kidogo na kumkalia Jogoo' wa mfalme Longe ambae alizama wote kwenye uchi wake mfalme akamshikilia kiuno na kuanza kumsugua taratibu mwanadada huyo huku akimnyonya matiti yake kifuani


 "Aaaaaassssh oooooh!" mfalme alishusha pumzi akiguna kichini chini wakati huu akimsugua kwa kasi shemejie Susi ambae alikuwa amemshikilia shingoni akikisukuma kiuno chake ipasavyo kuhakikisha Jogoo' wa mfalme hachomoki ndani ya uchi wake na wala hapati nafasi ya kupumua


 Mfalme Longe alipagawa akabaki akimshika shika na kukipapasa kiuno cha mwanadada huyo huku akiendelea kumshindilia Jogoo' kwenye uchi kwa kasi huku kijasho chembamba kikiwatoka ndani ya gari hilo (la farasi) ambalo hewa ilipitia juu kwenye uwazi (mfuniko ulifunguliwa) huku msafara ukiwa kasi kwenye mwendo katikati ya pori askari wakiuongoza wakiwa hawana habari ya kinachoendelea ndani ya gari la mfalme ambalo madirisha yake yalifunikwa kwa mapazia maalumu


"Wruuruuuuuuuu!" mara farasi wa gari la mfalme walifunga breki kwa ghafla na kukunja kona na kusababisha gari la mfalme kuyumba mpaka mlango wa gari la mfalme ukafunguka na askari wakashuhudia mfalme Longe akiwa mtupu kama alivyozaliwa na shemejie Susi, wamepakatana wakila raha, askari ikabidi wazuge watazame pembeni, wakati huo mti )

mkubwa ulikatika na ukaangukia katikati ya barabara kuleta ajali kwenye msafara wa mfalme.......


Inaendelea!NCHI YA DHAMBI

SEHEMU YA ~ 08



   **********

  Waziri mkuu mzee Poso anafumbua macho taratibu na bado yakiwa mazito na kujikuta amezungukwa na walinzi wake waliokuwa wakimpepea pepea huku kichwa kikimuuma akijikuta amefunikwa tu shuka pale kwenye kochi alipolala maana alikuwa uchi


"Nini kimetokea?" alimuuliza mlinzi wake mkuu

"Ulipoteza fahamu mkuu!" mlinzi wake mkuu alimwambia


"Nilipoteza fahamu imekuwaje kuwaje?"

"Wale wanawake watatu nahisi kuna madawa wamekuwekea ya usingizi!"

"Wako wapi?"

"Wameshaondoka!"

"Wafuateni haraka washenzi sana wale makahaba!"

"Samahani mheshimiwa tumejaribu kuwafuata lakini tulishachelewa, wameshatokomea kusipojulikana!"


"Washenzi sana wale wanawake nia yao nini mpaka wanipe madawa yao na madawa yao waliniwekea kwenye nini mbona sijanywa kinywaji, mvinyo wala chakula chochote kile cha kwao?"


"Hatujajua bado walikuwekea madawa kwenye nini ila mwanamke ana silaha nyingi kwenye mwili wake yawezekana kwenye matiti yake wakati wa mahaba uliyanyony...."


"Ishia hapohapo wewe mimi sawa na baba yako!" waziri mkuu alimnyamazisha mlinzi wake huyo mkuu


"Samahani muheshimiwa!" akainamisha kichwa chini


"Kuna chochote walichoiba ama kuchukua, pesa au kitu changu chochote cha thamani?"


"Hamna mheshimiwa, pesa na vitu vyako vyote vya thamani vipo salama!"

"Sasa nia yao ni nini kama hawajachukua chochote?"


"Hatujajua muheshimiwa!" askari mmoja alimjibu


"Ramani, ramani itakuwa!" waziri mkuu alitoa macho alipokumbuka karatasi hiyo muhimu sana kwa Taifa na ya siri sana, ramani inayotafutwa na falme nyingi jirani kwa gharama yoyote ile, aliyokabidhiwa aitunze kwa siri


 Aliinuka haraka na kuingia chumbani kwake na kukuta kabati lake limefunguliwa kwa funguo 'malaya' iliyoachwa palepale na alipopekua aligundua ramani aliyoihifadhi kwenye sanduku la kabati lake haipo, waziri mkuu mzee Poso akabaki ametoa macho amejishika kichwani akisikitika tu mwenyewe


"Kulikoni muheshimiwa?" mlinzi wake mkuu alimwuliza


"Wamechukua kitu cha muhimu sana kwa taifa ambacho kukipata tena haiwezekani, ramani!" waziri mkuu aliongea akibaki ameduwaa kama sanamu asijue cha kufanya........



  Upande wa pili msichana Cesy, binti mfalme alifanikiwa kutoka ndani ya kasri kisirisiri kwa msaada wa askari Jeda, akimuweka kwenye sanduku akijifanya kama anapeleka mzigo nje ya kasri akafanikiwa kutoka nae nje ya kasri msichana huyo akiwa amejifunika uso wakaelekea mpaka kwenye pori moja kilomita kadhaa kulipokuwa na mto mkubwa wa maji ambapo ndipo msichana huyo alipotaka kwenda kuoga na kupunga upepo


"Asante sana Jeda!" Cesy alimshukuru askari huyo

"Usijali bintimfalme ila usikawie sana wasije wakagundua kuwa haupo ndani ya kasri nikajikuta nipo matatani!" Jeda alitabasamu


"Sitakawia, unaweza kunipisha na kwenda upande mwingine ule nioge?" 


"Haina shida binti mfalme!"

"Asante!" Cesy aliongea Jeda akaondoka upande huo na kwenda upande wa pili kwenye kichaka chenye nyasi ndefu ili kumpisha binti huyo aoge


  Cesy taratibu alianza kuvua gauni lake la kawaida alilovaa ili asijulikane likaanguka chini, akavua na nguo ya ndani na kuanza kuingia kwenye maji taratibu, maji safi na ya baridi yanayotiririka kutoka milimani, huku kukiwa tulivu, ndege tu wakisikika juu ya miti


  Lakini Jeda hakuwa pembeni kabisa, alikuwa akimchungulia msichana huyo kisiri siri alivyokuwa anaingia mtoni kuoga akiwa uchi, 


"Ooooshhh binti mfalme unanimaliza!" askari Jeda aliongea mwenyewe huku akiingiza mkono wake kwenye kanzu yake ya kiaskari akamchomoa Jogoo' wake na kumtoa nje akimpapasa taratibu huku macho yakimtazama binti mfalme Cesy ambae alikuwa ameanza kuoga ndani ya mto, kwenye maji ya usawa wa kiuno


"Acha ujinga mpo wawili tu hapo wewe na binti mfalme tumia fursa, haitatokea tena!" sauti ilimsemesha askari Jeda akilini


"Lakini ni bintimfalme naanzaje nitakuja kuuwawa ikijulikana!" Jeda alijiuliza


"Acha uwoga utamuacha mtoto wa kike huyo, tazama matiti yake yale yalivyosimama yanaita, angalia kiuno chake chembamba kinavyohitaji kushikwa na kupapaswa, au hutaki kuyagusa matako yake yale meupe yasiyo na kovu hata moja na kumnyonya mate (denda) kwenye midomo yake ile laini?" akili yake iliendelea kumsemesha Jeda akibaki anamtazama kwa makini binti mfalme Cesy huku akimpapasa papasa Jogoo wake kwa mkono aliyesimama tayari kwa kazi


"Ni kweli lakini siwezi kumuacha binti mfalme hivihivi leo liwalo na liwe, hata kama ni kuhama nchi nitahama!" Jeda alijisemesha mwenyewe kwa ujasiri na taratibu akavua mavazi yake ya kiaskari na kubaki uchi kama alivyozaliwa akaelekea kulekule mtoni ndani ya maji alipokuwamo msichana Cesy


  Binti mfalme Cesy hakuwa na habari ndiyo kwanza alikuwa amefumba macho yake akisikilizia utamu wa maji hayo baridi ndani ya mto na ndipo alipohisi mkono ukimpapasa kiunoni na mwingine kifuani kwenye matiti yake akashtuka na kugeuka haraka, uso kwa uso akakutana na askari Jeda aliyekuwa uchi hana nguo ndani ya maji Jogoo wake akining'inia kiunoni amesimama dede'


"Wewe!" alimshangaa jamaa huyo, bintimfalme akajaribu kujiziba kwa mkono kwenye uchi wake na kifuani kwenye matiti


"Usishangae bintimfalme sogea karibu yangu!" askari Jeda alimvuta

"Niacheee!!" bintimfalme alikuwa mkali akikataa kuguswa

"Kidogo tu binti mfalme!"

"Tena usinisogelee utakufa!" 

"Hahahaha hapa siyo ndani ya jumba la baba yako useme niogope chochote, tupo wawili tu naweza kukufanyia chochote hapa!" Jeda alicheka akimshika msichana huyo akazabwa kofi la shavu


"Nitakachokufanya utajuta!"

"Unanizaba kibao mimi ngoja niachane na demokrasia sasa nitumie nguvu!" askari huyo aliyejazia alimkumbatia Cesy kwa nguvu na kumbananisha kifuani akimbeba juu juu kumtoa ndani ya maji


"Niacheee niacheee!!" Cesy alipiga makelele akimpiga piga makofi mgongoni lakini haikusaidia, alitolewa ndani ya maji akiwa uchi na njemba huyo ambae Jogoo lake alikuwa amesimama, akamlaza msichana huyo chali akimbana mikono asifurukute na akamshika Jogoo wake akimlengesha kutaka kumuingiza kwenye uchi wa msichana huyo bila ridhaa yake, lakini kabla hajaimwingiza alishtukia kitu kizito kikimpiga mgongoni mwake, njemba huyo akashtuka na kugeuka kutazama ni nini hicho.....



Inaendelea!NCHI YA DHAMBI

SEHEMU YA ~ 09



    *************

 Msafara wa mfalme Longe ulikuwa umesimama askari wote wakiwa wamegeuza vichwa vyao pembeni ili kuepuka kumuona mfalme akiwa mtupu na shemejie Susi, baada ya mlango wa gari hilo (la farasi) kufunguka kwa bahati mbaya


"Mnatazama nini tena?" mfalme aliongea huku akiurudisha mlango taratibu kwa aibu na kuufunga, kisha akafungua baada ya kuwa amevaa joho lake la kifalme, akakohoa kidogo akiteremka kwenye gari, mwanadada Susi akimuacha ndani ya gari


"Mtukufu mfalme mti umeanguka katikati ya barabara na ni mkubwa sana!" mlinzi wake mkuu alimwambia


"Utoeni!" mfalme alimjibu

"Hatuwezi kuutoa tukiwa wenyewe hivi tupo wachache mtukufu mfalme!" jenerali alimwambia akiinamisha kichwa chake mfalme akatikisa kichwa kukubaliana nae alipoutazama mti huo


"Hakuna njia nyingine ya mkato nje ya hii?" aliuliza

"Hakuna labda mpaka turudi mjini tena!" jenerali alijibu mfalme akaliweka joho lake vyema na kurejea ndani ya gari lake


"Imekuwaje tena?" mwanadada Susi alimwuliza

"Mti umezuia hatuwezi kuendelea na safari!"


"Kwahiyo turudi ndani ya kasri?"

"Hakuna namna maana ukisema twende sehemu nyingine humuhumu ndani ya nchi ni rahisi kutambulika mimi ni mfalme kumbuka?"


"Ooopssss, subiri tusiende kwenye kasri, nitakupeleka mahali!"

"Wapi?"

"Nitakuonyesha subiri, amrisha msafara ugeuke!"


"Sawa nakusikiliza wewe mrembo!" mfalme Longe alimbusu mwanadada Susi na kuuamrisha msafara ugeuke kurejea nyuma walipotoka ili waelekee aliposhauri mwanadada huyo


  Walitembea na msafara mjini watu walipouona walisimama na kuinama wakati ukikatiza katikati ya soko, na kuliacha soko na kwenda mpaka mtaa mmoja wa ndani ndani msafara ukasimama, mwanadada Susi akashuka na mfalme Longe wakaingia kwenye nyumba moja ambayo ilikuwa haikaliwi na watu askari (walinzi) wakabaki nje wakiimarisha ulinzi


"Wapi hapa?" mfalme Longe alimwuliza shemejie Susi

"Hii ndiyo nyumba niliyoinunua uliponipa ile zawadi ya kidani cha kidani cha dhahabu nilikiuza nimenunua nyumba hii!"


"Waaooh una akili sana Susi!" mfalme Longe akamkumbatia mwanadada huyo


"Na ndiyo maana nipo nawewe mtukufu mfalme!" Susi alimjibu akiachia tabasamu jepesi mfalme Longe akasogeza uso wake wakaanza kupeana mate (denda) taratibu huku akianza kumpapasa papasa, 

  Susi akamvua mfalme Longe joho lake taratibu na nguo ya ndani kisha akachuchumaa mfalme huyo akiwa mtupu kama alivyozaliwa, akamkamata jogoo' wa shemejie huyo na kumtia kinywani akaanza kumnyonya kwa midomo yake akimmeza mzima mzima


"Aaaasssss Susi unanimaliza sana wewe mwanamke kubali nikufanye mke wangu hata dada yako ikiwezekana nitamuacha tu nawe utakuwa malkia wangu!" mfalme Longe aliguna huku akisikilizia mitekenyo aliyokuwa akipewa wakati akinyonywa Jogoo' wake aliyekuwa amesimama 


"Usijali mimi ni wako chochote utakacho kwangu utapata dada usimuharakishe taratibu tu tutamuondoa niachie mimi!" Susi alijibu akiendelea kumnyonya Jogoo' wa shemeji huyo ambae alibaki akimpapasa papasa tu mwanadada huyo huku akimvua gauni lake taratibu, wote wakabaki uchi kama walivyozaliwa


 Mfalme akiwa amepagawa na kichaa' cha mapenzi alimvuta mwanadada huyo mpaka ukutani akamgeuza na kumwinamisha 'chuma mboga wazungu wanaita 'doggystyle kisha akiwa kwa nyuma akamwingiza Jogoo' wake kwenye uchi wa mwanadada Susi


"Ooooooshhhhh...!" Susi aliguna alipoingizwa Jogoo.....



  Upande mwingine karibu kabisa na mto mkubwa uitwao mto Halti kijana askari Jeda akiwa katika juhudi za kutaka kumwingilia kinguvu binti mfalme Cesy alishtukia akipigwa na kitu kizito mgongoni kabla hajamwingiza jogoo' wake kwenye uchi' wa msichana huyo ambae alimbana ipasavyo, asifurukute


"Nani huyo ananiingilia kwenye himaya yangu?" Jeda aligeuza uso wake na kushangaa alipomwona kijana askari mwenzake Lari akiwa amesimama


"Unamfanya nini binti mfalme?" Lari alimwuliza

"Karibu nawewe tule chakula kitamu hahaha!" Jeda alijibu akisimama akiwa hana nguo, akauvuta upanga wake uliokuwa pembeni ili apambane na kijana Lari wakati huo msichana Cesy aliinuka na kwenda kuzichukua nguo zake pembeni mwa mto akazivaa haraka haraka


"Mbona unafanya kitu ambacho kitahatarisha kazi yako na maisha yako?" Lari alimwuliza

"Maisha siyo kitu kwangu nikiwa nimedhamiria kupata ninachokitaka!" Jeda alimjibu Lari akamrukia na kumwangusha chini akitaka amtandike upanga, Lari akauzuia upanga huo kwa upanga wake


  Jeda alizidi kumkandamiza Lari akiwa amedhamiria kumchoma upanga wa kifua Lari nae alizuia kwa upanga wake mpaka mkono wake ukawa unavuja damu baada ya makali ya upanga wa Jeda kumgusa mikononi


  Lari alichofanya ni kumpiga Jeda teke zito akaangukia pembeni na upanga wake ukaangukia pembeni, lakini jamaa huyo aliinuka na kumchota kijana Lari kifuani kwa kichwa, Lari akaanguka chali mzima mzima, kisha akamrukia mzima mzima na kuanza kumshushia Lari makonde mfululizo, mpaka kijana huyo akachanika mdomoni


  Lari alijitahidi kukinga kwa mikono yake baadhi ya makonde lakini kijana huyo ambae alikuwa akimchukia kwa muda mrefu alimzidi nguvu akamtwanga makonde mpaka Lari akaishiwa nguvu akajifanya amepoteza fahamu


"Larii!" Cesy aliyekuwa pembeni aliita akija kujaribu kumpiga kijana Jeda


"Ohoo mrembo njoo kwangu!" Jeda alitabasamu akimtazama binti mfalme Cesy na ndipo Lari alipotumia mwanya huo huo kulivuta jiwe lililokuwa pembeni akamtandika nalo Jeda kichwani kisogoni jamaa huyo akatoa macho na kuangukia pembeni baada ya ubongo wake kutikiswa


 Lari akainuka taratibu na kukaa kitako akiwa hajiwezi damu zikimtoka mikononi alimokatwa na makali ya upanga na mdomoni alipochanwa na ngumi


"Lari!" binti mfalme Cesy alimfuata pale chini na kumshikilia

"Upo sawa binti mfalme?"

"Nipo sawa, wewe je, jamani umeumia sana?"

"Nipo sawa!" Lari alijibu, binti mfalme akamtazama kinywani damu ikimchuruzika, akapeleka mdomo wake kwenye mdomo wa Lari bila kujali jeraha akaanza kumbusu na kunyonya damu yake isianguke chini, Lari akabaki ametoa macho akishangaa kitendo alichofanyiwa na msichana huyo asichokitarajia....


  Upande mwingine ndani ya jumba (kasri) la kifalme ugeni unaingia, ni mama mzazi wa malkia Suze akiwa amekuja kuwasalimia watoto wake hao wawili yaani malkia Suze mwenyewe na mdogo wake Susi, yeye akitokea nchi ya jirani, malkia Suze na mtumishi wake mkuu bi. Redo na wajakazi walishuka mpaka geti (lango) kuu ili kumlaki (kumpokea)


"Mama!" malkia Suze alimkumbatia mama yake kumkaribisha

"Abee binti yangu mpendwa nikidhani sitokukuta!" mama yake alimjibu wakikumbatiana

"Kwanini mama, karibu sana mama!"

"Asante binti yangu, nilitegemea kumuona Susi nae akinipokea, yupo wapi?"

"Ametoka safari ya kikazi na shemejie nimemtuma amfuatilie nyendo zake kimya kimya wameenda nchi ya mashariki!"

"Nchi ya mashariki, mbona wakati nakuja hapa nimeuona msafara wa mumeo mfalme sokoni ukielekea mtaa mmoja mjini sema sikuufuatilia sana niliona tu akiingia kwenye nyumba moja na mwanamke nikadhani niwewe ndo nimeshangaa kukukuta hapa?"


"Mama umesema?" malkia Suze alipigwa na butwaa akimgeukia mtumishi wake mkuu bi. Redo ambae aliinua mabega yake juu kumaanisha nae haelewi....


Inaendelea!NCHI YA DHAMBI

SEHEMU YA ~ 10



   ************

Lari alibaki ametulia tuli wakati msichana bintimfalme Cesy akimpa mate (denda) taratibu huku akimnyonya damu zilizokuwa zikimtoka mdomoni baada ya kuchanwa na makonde mazito ya askari mwenzake aitwae Jeda, aliyekusudia kumuingilia kimwili msichana huyo kinguvu (kumbaka) 


Wakabaki wakitazamana kwa sekunde kadhaa


"Cesy!" Lari alimuita

"Lari!" Cesy alimwitikia

"Asante!"

"Hapana asante wewe kwa kuja kunisaidia dhidi ya huyu mshenzi, kwani ulijuaje kama nimekuja huku wakati wewe ulinikatalia kuja namimi?"


"Nilipoona amekufuata na kuongea nawewe nilihisi atakuwa anakuleta huku, sikumuamini nikaamua kuwafuatilia nyumanyuma bila ya ninyi kujua!"


"Kweli unanipenda Lari!" Cesy alimwambia kijana huyo na kumbusu mdomoni tena wakati huo kulikuwa na bibi kizee amekuja mtoni kuchota maji peke yake, Lari na Cesy wakageuka kumtazama bibi huyo ambae baada ya kuchota maji akaanza kuhangaika kubeba maji yaliyomshinda nguvu kutokana na umri wake mkubwa, Lari akainuka akisaidiwa na bintimfalme Cesy kwenda kumsaidia bibi huyo


"Bibi lete nikubebee maji!" Lari aliongea bibi huyo akashtuka alipoona kumbe kuna watu akataka kukimbia


"Ninyi akina nani?" aliwauliza

"Usiogope bibi mimi naitwa Cesy huyu ni Lari!" Cesy alijitambulisha

"Lete bibi tukusaidie kubeba unaishi wapi?"

"Wajukuu zangu nitashukuru sana maana naishi peke yangu sina mtu wa kunisaidia hata kubeba maji asanteni sana!"


"Usijali bibi!" Lari alimwambia akitaka kumpokea ndoo ile ya maji Cesy akamzuia


"Wewe mgonjwa utabebaje acha mimi nibebe!" Cesy alimwambia

"Cesy siumwi kihivyo!"

"Angalia ulivyoumia na ulivyovimba mwendo wenyewe wa kuchechemea unafikiri utaweza kubeba niachie mimi!" Cesy alimjibu akijitwisha yeye ile ndoo



ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog