IMEANDIKWA NA : UNKNOWN
***************************************
Chombezo : Balaa La Mbuzi Kagoma
Sehemu Ya Kwanza (1)
“ Kaka upo sawa!” Amina alimuuliza Zuberi.
“ Ni..po…sa…wa….” Kwa tabu Zuberi alimjibu. Hisia zake zilikuwa mbali, mwili ulimchemka, alijaribu kujizuia alishindwa.
Kubanana walikobanana kwenye daladala kulimpa shida. Alijaribu kujigeuza pembeni ili kuyakwepa makalio ya Amina, lakini alishindwa. Nafasi ilikuwa hamna, walikuwa wamebanana haswa, bodi la Amina lilim-bambatila kwenye maungo yake.
Pamoja na kubanana sana, Konda hakujali, aliendelea kupakia abiria.Kadri watu walivyokuwa wanaingia ndivyo Amina na Zuberi walivyozidi kubanana. Hisia kali zilimshika Zuberi, akawa anambinya nyoka wake mfukoni , bahati mbaya alikurupuka.Vuuup!!!.
“ Eeeeh…nini hiki…” Alishtuka Amina baada ya kuhisi kitu kigumu kinamgusa makalioni. Aligeuka na kumuangalia Zuberi. Haraka Zuberi alimuwahi nyoka wake na kumbinyia pembeni tena.
“Kaka mbona sikuelewi?” Amina alimuuliza huku akiwa anajishika na kulipangusa bodi lake.
“ aaa…hamna….kitu…” Alijibu Zuberi baada ya kufanikiwa kumbinya nyoka pembeni. Haya yakitokea, kwenye lile daladala alikuwepo Wema ambae ni Mke wa Zuberi, pia walikuwepo wazazi wake,yaani wakwe wa Zubery.
“ Baby hiko kigugumizi vipi?” Wema alimuuliza Zuberi.
“ Wamenibana sana, ndio mana nashindwa kuongea vizuri.” Alijibu Zuberi.
“ Mmmmmh kwani wamekubana mdomo?” Aliuliza wema. Zuberi alikaa kimya, hakujibu.
Daladala ilizidi kuchanja mbuga, konda kama kawaida hakuacha mtu njiani,kila kituo alisimamisha na kupakia watu.
“ MUNGU nisaidie tufike salama, nisaidie nisijedharilika humu ndani mbele ya wakwe zangu na mke wangu .” Aliomba kimoyo moyo Zuberi. Alijaribu kutuliza hisia zake. Alijaribu kumtuliza nyoka wake lakini ilikuwa sifuri .Alizidi kusimama.
Gafla, “ Ndiii….ndiiii……” Daladala lilidunda kwenye matuta, abiria waliosimama waliyumba, Zuberi alitoa mkono mfukoni na kushika bomba ili asianguke..
“ vuuuuup…” Nyoka wake alikurupuka mfukoni na kuyagusa makalio ya Amina tena. Amina alihisi kitu kigumu tena.
“ Eeeee!” Alishtuka Amina, aligeuka na kumpiga kibao cha nguvu Zuberi. “ Paaaah!” Kibao kilitua shavuni. Haraka zuberi aliingiza mkono mfukoni na kumbana tena nyoka wake.
“ Hivi unajielewa kweli wewe?” Aliuliza Amina.
“ aaaah wewe dada vipi? Mbona unampiga Mume wangu?” Aliuliza Wema.
“ Muulize mwenyewe alichokifanya, Janaume nzima hovyooooo…mfyuuuuuuuuuuuu…” Alisonya Amina na kugeukia mbele.
“ Umemfanya nini huyu , kwanini anakudharilisha hivi??” Aliuliza Wema.
“ Achana naye, nimemkanyaga kwa bahati mbaya” Alidanganya Zuberi.
Safari iliendelea, kwenye siti ya pembeni yake Zuberi , alikuwepo Juma na Omary, Maongezi yao yalimzidishia mzuka Zuberi. Alitamani kuwaambia waache lakini alishindwa.Makalio na figa matata la Amina pamoja na maongezi ya wale vijana yalizidi kumchemsha mwili.
“ Jana nilikuwa na demu wa hamisi ghetto, nilichomfanya amejuta kunifahamu.” Aliongea Omary.
“ Daaah! We Jamaa noma umekula demu wa rafiki yako?” Aliuliza Juma.
“ Si alijileta mwenyewe, kama masihara hivi nilimchojoa nguo na kufanya asichowahi kufanywa.”
“ Mnaongea vitu gani nyie vijana? Hamuoni kama mnatuvunjia heshima , wengine tupo na wazazi wetu humu.” Aliongea Wema.
Maneno ya wema yalifanya wale vijana waache kuongea,Moyoni Zuberi alishukuru. Aliomba MUNGU na Amina ashuke ili hisia zake zitulie. Akiwaza hayo, gafla, gari lilizima. Dereva aliliwasha, lilishtuka na kwenda mbele kidogo kisha likazima tena. Kila akiliwasha lilienda mbele kidogo na kurudi nyuma kisha likazima . Kitendo hiki kikapelekea abiria wasukumane kwenda mbele na kurudi nyuma. Kusukumana kulileta Msuguano ambao ulipelekea hisia za Zuberi zivuke kiwango cha uvumilivu.
“ aaaaa…aaaaa…ooo…ooo…” Alilalamika Zuberi.
Daladala nzima waligeuka kumwangalia. Sauti ile ya Zuberi ilimshtua Wema, Mkewe.
“ Eeeeh huyu vipi? Hii sauti anaitoaga tukiwa faragha akiwa anataka kufika mshindo. Inamaana anataka kufika mshindo humu kwenye gari? Mmmmh! na jinsi anavyotoaga naniliu nyingi si atalowesha watu?” Aliwaza wema.
Wema akiwaza hayo, Zuberi aliendelea kulalamika, safari hii alilalamika kwa sauti ya juu zaidi. “ oooo…ooooooo….aaaaa….” Alilalamika Zuberi.
BALAAA LA MBUZI KAGOMA -02
Wema akiwaza hayo, Zuberi aliendelea kulalamika, safari hii alilalamika kwa sauti ya juu zaidi. “ oooo…ooooooo….aaaaa….” Alilalamika Zuberi.
Mzuka ulimpanda, kadri Utamu ulivyokuwa unakuja ndivyo Zubery alivyoshindwa kuvumilia, kwa nguvu alijikuta amemshika kiuno Amina.
“ oooo…ooooo…” Alilalamika.
Watu walimshangaa.
Ubongo wa Wema ulifanya kazi haraka, alimshika kichwa mumewe na kumbinya mshipa mdogo wa fahamu shingoni, pale pale Zuberi alianguka chini na kupoteza fahamu.
“ Mumeo ana nini?’ Wema aliulizwa na mama yake.
“ Nitakueleza nyumbani” Alijibu wema, aliwaomba watu wampisha ashuke. Dereva alisimamisha gari. Wema kwakushirikiana na wazazi wake walimtoa nje Zubery. Waiita bajaji na kupanda.
………………………….
“ Dada wewe mkatili sana.” Aliongea Omary Baada ya zubery kushushwa.
“ Kwanini unasema hivyo?” Aliuliza Amina.
“ Umemkatili sana yule jamaa, hapa tulikuwa tunaona kila kitu. Mlivyokuwa mnabanana jamaa nyoka wake alisimama. Alikuwa anajitahidi sana kumbana mfukoni lakini alishindwa.” Aliongea Omary.
“ Ndio maana nilikuwa nahisi kitu kigumu makalioni, ila shauri yake, ilibidi azicontrol hisia zake.” Aliongea Amina.
………………………….
Wakiwa na bajaji, Nusu saa mbele walifika nyumbani kwa Zubery, Walishuka na kumuingiza Zubery ndani akiwa hajitambui. Wema alimtaka dereva bajaji awapeleke wazazi wake nyumbani kwao.
“ Aaaah! Kwahiyo tunakuacha peke yako na Mgonjwa?” Aliuliza mama wema.
“ Msijali, huyu hana muda mrefu atazinduka, nyie nendeni tu.” Aliongea wema.
Wazazi wake waliondoka.
Wema alibaki peke yake akiwaza, “ Yaani mume wangu ndo yuko hivi? Anaanzaje kutaka kufika mshindo kwenye daladala?’ Alijiuliza Wema.
“ Yanipasa kufanya maandalizi ya Mbuzi kagoma . Ni mbuzi kagoma pekee itakayoweza kunisaidia.. ” Aliwaza Wema.
“ Ili mbuzi kagoma yangu ifanyike vizuri inabidi niwe na Maji safi, Asali na Nyanya zilizoiva.” Alijiambia Wema . Alisimama na kwenda kuvinunua sokoni. Alinunua maji safi ya Kilimanjaro, Asali mbichi na nyanya fungu moja kisha akageuza kurudi nyumbani.
Alimkuta Zubery bado hajitambui. Hakumjali. Aliviweka vitu chini. Kama mtu aliyekumbuka kitu alitoka nje haraka, alichuma majani ya mnyonyo na kurudi ndani. Aliwasha jiko na kuyapasha moto. Aliyapasha moto kwa dakika kadhaa kisha akayatoa na kuyaweka kwenye chupi yake. Aliyavaa kama pedi.
“ Kazi imeanza sasa.” Aliongea wema huku akiyaweka majani ya mnyonyo vizuri kwenye chupi yake.
Aliingia jikoni na kutia maji kwenye sufuria. Alizichukua nyanya na kuziweka, aliziosha vizuri sana, alikata vipande virefu virefu kadhaaa, aliviweka kwenye kisosa. Alichukua asali mbichi na kuilamba kidogo.
Taratibu alianza kuvua nguo zake. Alivua nguo zake zote akabaki na chupi tu.
Aliangalia saaa, zilikuwa zimepita dakika kumi tangu ajiweke majani ya mnyonyo.
“ Dakika kumi zinatosha.” Alijiambia. Aliivua chupi yake na kuyatoa majani ya mnyonyo. Baada ya kuyatoa, aliyachukua na kwenda naye alipo zubery, alimvua nguo zake na kumpangusa ikulu kwake na yale majani huku akinuia.
“ Inatosha sasa.”Alijiambia. Aliyaweka majani chini.Alichukua maji safi na kuanza kukisafisha kisima chake. Akiwa anakisafisha, alisikia mlio wa kitu nyuma yake, haraka aligeuka.
“ Eeeeh! Kumbe panya, afadhali , nilizani umezinduka. Haitakiwi uzinduke mpaka nimalize kazi yangu.” Alijisemea moyoni Wema. Alitandika kanga chini na kukaaa, alichukua asali na kuipaka kwenye vipande vya nyanya.
Baada ya kuipaka alikiingiza kile kipande cha nyanya taratibu kwenye kisima chake.
“ Mmmmmmm!” Aligumia.
Alitanua miguu yake, mguu mmoja kushoto na mwingine kulia.Kisima chote kilibaki wazi.Aliingiza tena kipande cha nyanya huku akigumia kwa mahaba.Aliikiingiza na kukitoa nje, kipande kimoja kilipoharibika alichukua kingine, alikipaka asali na kukiingiza. Aliikiingiza na kukitoa.
Wakati akifanya hayo muda wote aligumia kwa utamu.Pamoja na kugumia, alikuwa ananuwia maneno yasiyoeleweka.
“ mmmmm…mmmmmm…..” Aligumia.
Baada ya kumaliza vipande vyote, alichukua maji safi na kuyamiminia kidogo kwenye kitambaa, alikifuta kisima chake .
“ oooo…..mmmm….” Aligumia huku akikifuta, baada ya kumaliza, aliinuka, alimwangalia Zubery alikuwa hana fahamu bado, aliinama chini kutoa vitu vyake.
Akiwa kainama kuvichukua vitu vyake, Zubery fahamu zilimrejea, alimuona wema akiwa kainama akiwa uchi. Jinsi alivyoinama na jinsi makalio yake yalivyovutia yalimfanya ameze mate. Hisia zilimpanda, lakini pamoja na hisia kumpanda, alihisi kitu kisicho cha kawaida kwenye sehemu zake za siri. Aliingiza mkono kwenye suruali na kujaribu kuzipapasa.
“ eeeeeeh!” Alishtuka. Aligundua kitu kisicho cha kawaida. Sehemu zake za siri hazikuwa kawaida, nyoka wake ali….
BALAA LA MBUZI KAGOMA- 03
Aligundua kitu kisicho cha kawaida sehemu zake za Siri. Nyoka wake alikuwa tofauti sana, hakuwa kawaida. Tangu alipoanza kujitambua hakuwahi kuona kitu kama kile. Macho yake yalitanuka kwa mshangao.
Wema aligeuka kumwangalia mumewe. “ Unashangaa nini?” Alimuuliza.
“ hu…hu…..hu………” Alishikwa na kigugumizi cha gafla Zubery.
Wema alimsogelea na kumshika kiuno.
“ Unashangaa kujikuta hapa baada ya ujinga ulioufanya kwenye daladala au unashangaa kuniona hivi?” Aliuliza Wema kana kwamba haoni mabadiliko yaliyotokea kwa Zubery.
Zubery kwa mshangao alimwangalia Wema kisha akaziangalia nyeti zake tena.
“ ahaha..ahahaha…..ahaha………….” Alicheka Wema. Alimsogelea Zubery na kumshika nyoka wake .
“ Unashangaa nyoka wako kuwa ndogo hivi?” Aliuliza.
“ Umenifanyaje? Mbona amekuwa kama mtoto?” Aliuliza Zubery.
“ Kuhusu hilo usijali.” Aliongea Wema. Alichuchumaa chini na kuanza kumnyonya nyoka wa Zubery. Alimnyonya kwa umaridadi mkubwa huku akizichezea kengele zake. Alimuingiza nyoka mdomoni na kumtekenya kwa ulimi. Alimtoa na kumshika kwa mkono. Aliutemea mate kidogo na kuusugua sugua kwa mkono. Aliuamba, alizilamba kengele akaziiacha. Taratibu alianza kulinyoka shimo la taka la Zubery.
“ mmmm…mmmmm….oooo….” Alilalamika Zubery.
“ Ume..fa..nya…je…umeyajulia wapi haya….” Aliuliza Zubery kwa shida.
Kadri Wema alivyomfanyia utundu, ndivyo nyoka wa Zubery alivyorudi na kuwa kawaida, Kama rastiki nyoka wake alitanuka na kuwa mkubwa.
“Kwanini nyeti zangu zilikuwa vile? kwanini saizi zimebadilika na kuwa hivi?” Aliuliza Zubery.
“ Mmmmmh! Mambo gani haya baby, unaletaje maswali katikati ya shughuli?” Aliongea Wema. Alimsogelea usoni Zubery na kutaka kumnyonya ulimi. Zubery alikwepesha pembeni.
“ aaah yaani uninyonye nyuma halafu uje uunyonye ulimi wangu? Hapana aisee, sitaki.” Aliongea Zubery. Wema hakumjali, alimshika vizuri na kuanza kumnyonya shingo, alililamba kwa manjonjo yote. Zubery mwili wake wote ulisisimka. Damu ilimchemka. Nyoka wake alisimama na kukaza kama msumari.
“ mmmm…mmmmmm…..” Aligumia. Alimshika Wema na kumsukumia kitandani. Alimshika miguu na kuiinua juu,alimweka staili ya kifo cha mende. Alitaka kumuingiza nyoka wake.
“ Aaaah! Usifanye haraka hivyo?” Aliongea Wema huku akimsukuma Pembeni Zubery.
“ aaaa…haraka ipi baby, mbona tumeshaandaana.”
“ Hapana, mimi nimekuandaa wewe, lakini wewe haujaniandaa mimi.Hivi ulivyoniweka usiniingize kwanza, leo kuna kitu kikubwa nataka nikufundishe. Nataka ujue mapenzi yalivyo matamu, wengi wanasema mapenzi matamu lakini hawajui utamu wake .” Aliongea Wema.
Alimshika mkono Zubery , alikishika kidole cha kati na kukiingiza Ikulu kwake.Alikiingiza hadi ndani kabisa.
“ Yaaa hapo …ha..po…..kwa juuu…sugua iko kidole…” Alimwambia. Taratibu Zubery alianza kusugua kidole, alisugua upande wa juu mpaka akahisi vitu kama vipele .
Wema alilalamika kama mtoto.
“ aaaaa……aaaaayaaaaaa….i..ngi…zaa…..sa.a.a..s..aaaaa…….” Alimwambia
Zubery hakushangaaa, pale pale alifanya alichoambiwa.
“…Mmmmmmm…mmmmmm…” Aligumia kwa utamu Zubery.
“ paaaa…pa.a….paaaaaa…..” Alimfanya kwa spidi .
“ ooooo…ooooo…..yeaaaaaa…oooooo…” Alilalamika wema.
Kisima chake chote kilijaa maji laini ya utelezi, nyoka alipita bila shida. Tofauti na siku zote, Zubery alihisi utamu usiokuwa wa kawaida.
“ oooooo…ooooooooo….” Alilalamika .
“ na…ko….….…..na…ko…….”
“ mmmmmh….su…bi….ri……..” Aliongea Wema.
Alimshika kiuno Zubery na kujitoa mwilini mwa Zubery.
“ aaaaaaaah! Unanikatili baby?” Alilalamika Zubery. Alimshika miguu wema na kutaka kumuingiza nyoka, Wema alimtuliza.
“ Punguza makeke baby? Mchezo ndo kwanza unaanza, hivi unalijua balaa la mbuzi kagoma wewe?” Aliuliza Wema.
“ Najua, mbona ile ni staili ya kawaida tu.” Alijibu Zubery.
“ Hapana, ya kawaida kwa watu wasiojua mambo, jaribu kutuliza hisia zako kwanza. Mshindo wako wa kwanza inabidi uupige kwenye mbuzi kagoma. Ni kosa kubwa kuupiga kwenye kifo cha mende.” Aliongea Wema.
Zubery alitoa macho wa mshangao.
ITAENDELEA
0 comments:
Post a Comment