Chombezo : Dada Mamu
Sehemu Ya : Tatu (3)
Hivyo muda mchache alitozea kama vile alikuwepo pale zaidi ya wiki mbili hivi. Tuliendelea kumwonesha mazingira ya nyumbani kwetu pale ili aweze kujua kama atapa shida yoyote asishindwe kujua cha kufanya , mdogo mdogo huku nikiwa na mamu ambaye nilimuona wazi yu myonge juu ya ujio ule. Na hata sikujua shida nini ila mimi sikujali nilianza tu kumfikiria balaha lile lililokuja nyumbani muda mfupi “huyo dada sasa hizi lawama” ijapokuwa nilikuwa nawaogopa wanawake ila sijui kiroho gani cha ujasiri kilikuwa kimenishika
kumfikilia mgeni yule, wee! si masihara hata kidogo nilijiuliza uwenda na hiii ikawa tamu !!!! lakini sikupata jibu. Muda ulienda wakati huo dada mamu alishaivisha chakula tiyari hivyo alitupakulia chakula mezani na kutukaribisha mimi na mgeni , tulielekea mezani na kuanza kula niliendelea kula huku nikimtazama sana usoni mwake kama vile nashangaa kitu fulani niliendelea kupiga matonge huku nikiwa na mtazama hadi alijistukia nilivyokuwa na Mtazama alinishangaa “vipi wewe unashida gan?” aliniuliza dada Pammy ambaye kwa makamo alikuwa mdogo tu hata mimi uwenda nilikuwa nimempita ila siunajua tena watoto wakike wanakuwaga na miili mikubwa ukilinganisha na umri wao. Dah! Akiniambia neno lingine ambalo nalo lilinifanya ni tayari. Hata mkono ulishindwa kunyanyuka na tonge kwenye yangu sahani. “Mmh dada pammy yamekuwa hayo sasa unaonaje aibu wakati mimi mdogo wako” ,nilijisemea kimoyo wakati aliponiambia kuwa anaona aibu kwa jinsi nilivyokuwa nikimtazama . Nilibaki tu mdomo wazi hata hamu ya kula yote ilinishinda nilianza kuyafikiria maneno yake wakati huo da pammy alikuwa akiendelea kula.
Nilitulia tuli bila hata ya kusema neno lolote lile.
Mara dada mamu naye alikuja kujumuika nasi ,kufika tu mamu alitumbulia jicho la wivu akiashiria ajapendezea Na ukaribu wangu Na da Pammy Na kujua ataibiwa tamu yake nilijuwa wazi nikutokana hali ile hivyo niliamua kunawa tena hata sikutaka kuendelea na chakula. Kwa upole nilinyanyuka mahali pale, moja kwa moja nililekee chumbani kwangu.nilijifungia kimya sikutaka hata kufahamu nje kinaendelea nini kwa wakati ule.
Nilifika chumbani moja kwa moja nilijitupia kitandani kutokana na kuchoka na kale kamchezo nilichocheza jana karibia kutwa nzima na asubuhi ya leo hivyo kujitupa kule usingizi haukutaka kuniacha hivi hivi. Usingizi mzito ulinichukua hatima yake nilikuja kustuka kigiza kimeingia wakati huo kwa mbali nilizisikia sauti ambazo tiyari nilikuwa nimeshazielewa. Zilikuwa sauti ya aunty yangu na yule mdogo wake da pammy wakipaza sauti kwa furaha ilionekana watakuwa wanapiga soga za kwao chalinze .
Sikutaka kudadisi sana nilitoka kitandani na kuchukua taulo , na kuelekea bafuni ubaya sasa chumba changu mimi hakikuwa mbali na chumba cha da pammy sehemu ambayo ukimaliza tu unakutana na bafu hivyo.lazima upite eneo lile ndio ulifikie bafu. Hivyo na maongezi yao ya kikuda kuda niliyasikia vizuri ila sikutaka kusimama kuendelea kuyasikiliza mimi nilichapua hatua na kulifikia bafu nilioga dakika chache tu na kisha nilijifuta nakujifunga taulo langu. Nilifungua mlango wa bafuni na kutoka ahamadi sura yangu ilikutana ana kwa ana na Da pammy ambaye alionekana kuwa amebanwa na haja uwenda kama si ndogo basi kikubwa ,hivyo nilimpisha huku nikiwa kimya ila cha ajabu nilitazama maeneo ya mbele kulikuwa kumevimba aiseeh!!!. Sijui ndicho kilimfanya anitazame vile mimi sikuwa na habari hata sikumwangalia nilipisha tu nakuelekea chumbani kwangu.
Nilibadilisha nguo na kujiweka sawa vizuri , nilivyohakisha niko powa nilitoka na kuelekea sebuleni ambapo hakuwa na mtu
Nilibadilisha nguo na kujiweka sawa vizuri , nilivyohakisha niko powa nilitoka na kuelekea sebuleni ambapo hakuwa na mtu hivyo nilivofika niliwasha tv nakuanza kuuangalia taarifa ya habari nilijishangaa yani nimelala muda mrefu vile, nilijiona wa ajabu sana niliangalia taarifa mbili, aunty alikuja eneo lile akiwa na mdogo wake hivyo nilimsalimia wakati akiendelea kunifamisha vyema kwa yule mdogo ake na kisha akaketi na kuanza kuungalia tv. Punde taarifa ya habari ilivyoisha nilijipakulia chakula na kwenda nacho chumbani kwangu.
Nilikula ni katosheka, kwakuwa nilijipimia mwenyewe hata siku ubakisha , kama sikunyingine dada mamu akiniwekea chakula huwa ananipendelea hadi nakibakisha . Nilimaliza na kujitupa kitandani kwa mara nyingine ila usingizi ulichelewa kuja na hata ulipokuja sikujua ilikuwa saa ngapi nilishangaa tu asubuhi imewadia kimwanga nacho kimeanza kujitokeza hivyo nilijiinua kiuvivu uvivu hadi maeneo ya bafuni ila kabla sijagonga mlango wa bafuni iliniweze kujua kama kuna mtu au laha niliona tu mlango unafunguliwa mama weee!!!
Macho yangu iligongana uso kwa uso na Da Pammy, nilimpisha huku nikiwa namsindikiza kwa macho na yake kanga mkononi na kufuri lake hakutaka hata kunisemesha aliona aibu. Ila huku nyuma aliniachia lawama tako lake lilitikisika si masihara kiukweli ilileta usumbufu muda mfupi tu kwenye yangu boksa.
Nilingia bafuni na kujimwagia haraka tu sikutaka kuchelewa. Maji yenyewe yalikuwa ya baridi, nilioga haraka haraka na kujifuta maji na taulo langu sikutaka hali ile ya ubaridi initawale kwenye mwili wangu. Nilivyomaliza niliingia chumbani kwangu na kuvaa nguo alafu nikatoka kuelekea sebuleni.
Kutokana na nilichelewa kuamka uncle na aunty walikuwa wameshaenda kazini, hivyo ndani walibaki dada mamu ambaye na yule mgeni ambaye aunty ameniambia nimwite da Pammy. Taratibu nilipiga hatua kuelekea sebuleni kufika tu nilikutana na dada mamu wakati da Pammy sikujua alikuwa ndani maana hakuwepo pale wakati sielewi hili na lile nilishangaa dada mamu akinivutia kule maeneo ya jikoni.
Hii ..eeh.. aah! kujakutahamaki da mamu ameshafika kwenye mdomo wangu punde alipoingia jikoni mule yaani hata sikuelewa alining'an'gania vibaya ilinibidi tu nikubali ile hali. Duuh! grafla tulisikia kelele za mlango.
Nilijitoa haraka nakukimbilia sebuleni hazikupita dakika da pammy alifika maeneo yale. Nilistuka nilihisi kama uwenda alikuwa akiya shuhudia yale nilitulia kimya , tuli. Sekunde kadhaa da pammy akaniomba nimuwashie tv aangalie huku akiwa anakunywa chai ambayo tiyari dada Mamu alikuwa ameitenga mezani basi sikutaka kuchelewa nilifanya vile kama alivyoniambia huku nikiwa namuangalia kwa jicho la kutamani mautamu yake.
Niliendelea kumwangalia hata neno nilishindwa kutoa kwasababu mimi nilikuwa muoga sana linapokuja suala la wanawake na hata hivyo yule ni dada angu mdogo wa aunty yangu hivyo nilikubali kula kwa macho tu. Yaani tangia dada mamu anifundishe mchezo ule nimekuwa nikiwaza utamu tu muda wote “ Aisee!... Kumbe utamu huu wakubwa wanafaidi saana… hata sikomi mimi”, nilijiseme kimoyo moyo.
Niliendela kuangalia tv huku pamoja na dada pammy wakati huo dada mamu alikuwa yu jikoni akiendelea na kazi zake hapo hakuna aliyekuwa akimuongelesha mwenzake masikio yetu na macho yetu tulielekeza kwenye tv tu kimya kilitawala muda mrefu hatimaye nilisikia da pammy akiniambia jambo ambalo lilo nistua tena kwa mara nyingine. Sikuelewa kwa kitu gani kilimsukuma kuniambia vile akili yangu ilicheza na kutafuta jibu sahihi la kumjibu kwa wakati ule. "Sina Da pammy acha masihara mimi siwezi kufanya michezo hiyo mibaya mungu hapendi" nilimjibu kutokana na swali lake huku nikitabasamu kidogo.
Wakati huo akiniangalia namna nilivyokuwa nikimjibu lile swali lake la “eti kuwanina mchumba”, wazi niliona tu kunakitu da pammy ana kitaka kutoka kwangu kabisa si swali la kiniuliza mimi kabisa hila sikutaka kuonesha utofauti juu ya swali lile nilimjibu huku nayeye akianza kunihadithi stori za shemeji zangu yaani hata sikujua kimahesabu ni kwanini da pammy aliamua kuongea yale.
Dada Pammy akianza kunihadithi stori za shemeji zangu yaani hata sikujua kimesibu kwanini dada pammy aliamua kuongea yale. Aliendelea kuniambia huku akinitumbulia macho kama kuonesha msisitizo juu ya mambo yale huku vikifatiwa na vicheko kiukweli muda mfupi tu niliweza kubaini tabia ya dada pammy yule mdogo wake Aunty hakuwa ametulia kabisa yaani ni mapepe ile mbaya.
Tuliendelea kuzungumza kama nusu saa wakati tumejiziuka na mazungumzo mara dada mamu alifika eneo lile huku akinitumbulia jicho kali sana muonekano wake ule nilishaanza kuhisi kitu japo kuhisi si kitu kizuri. Maana dada mamu alionekana wazi wazi ndani ya fikra zangu hakufarisha hali ile na kama si maongezi basi ujio ule ulikuwa ukinyima raha vibaya.
Alitamani hata aseme kitu ila alibaki tu nacho ndani chake kinywa tuliendelea kuangalia tv huku muda ukiwa unaenda mbaya mpaka mida ya kula ilifika tukala huku tukiendelea na shughuli zingine kuna muda nilitamani niende kutembea ila mastori tulikuwa tukizungumza na da pammy haya kunifikirisha tena habari za kutembea niliendelea kubaki nyumbani huku nikiweka sawa nguo zangu za shule kwajili ya kesho.
Muda ulienda na hata pale ilipofika usiku niliendelea kuwa na da pammy tuliendelea kuongea tu huku dada Mamu akiwa anafanya shughuli zake hakutaka kabisa kuwa na sisi nilijuwa hilo wazi ila nilishindwa nifanyanye mpaka mida fulani nilipoona muda umeenda. Niliwaaga yeye na da pammy nikaingia zangu chumbani kulala si kutaka kuchelewa kwasababu kungenichelewesha kumka hivyo niliamua kulala mapema kwa maana kuchelewa shule maana kunawalimu hao niwatata sana pindi uchelewapo anakupa kipigo takatifu mpaka unakumbuka mizimu ya mababu Na mabibi zako kwahiyo ili
ITAENDELEA
0 comments:
Post a Comment