Search This Blog

Wednesday 15 March 2023

HAPPY BIRTHDAY SELINA - 2

  

Chombezo : Happy Birthday Selina

Sehemu Ya : Pili (2)



Alitafuna kwa mapozi mi nikawa namtazama tu bila kula. Alipomaliza kumeza akacheka.

Niliunyanyua mkono na kumpelekea nyama tena nikaona amegoma

"No nipe viepe kwa uma" Alisema Selina na mi sikusita nilirudisha nyama chini na kuchukua uma nikachoma viepe kadha wa kadha na kumpelekea

Alipanua mdomo wake na kuvipokea halafu akaanza kitafuna mdogo mdogo mi nikawa namuangalia.

Nilitazama pilao lililokuwa limetengenezwa kiufundi huku juu likiwa limepambwa na kachumbari.

Nilipeleka mkono kwenye pilao nikashika kijiko na kuchota chakula ila alinizuia

"Noooo..." Binti alikataa kata kata

"Sasa why?" Nilimuuliza

"Mgeni akinitembelea mimi hali, analishwa" Aliniambia mi nikatabasamu

"Selina" Nilimuita

"Nini?" niliita

"Nambie unataka nini maana sikuelewi elewi" Nilimuambia

"hamna kaka mi nataka birthday yangu nifurahi, unifanye nifurahi na wewe ufurahi pia, chakula ule ushibe"

"Sawa kama unataka nile mbona umenizuia nisile?" Niliuliza

"Kwa sababu nakulisha mimi, nataka uchague....nikulishe kwa njia gani?" Aliniuliza

"Kivipi?" Nilimuuliza maana sikuelewa

"Nikulishe kwa njia ipi Kijiko, mkono au kwa mdomo?" Aliniuliza

"Mmmh.....Vyovyote tu" Nilisema "Ila kwa mdomo si yatatotekea mengine?"

"Hahaa....hamna wala, ngoja nikulishe kwa mdomo uone kama litatokea jambo lolote"

Selina alichukua maji na kunawa halafu akashika paja la kuku na kuita mdomoni akatoa kipande cha mnofu akakinasa kwa meno halafu akaninyooshea mdomo na mimi nikamsogelea na kupokea kile kinyama mdomoni nikawa nakitafuna.

"safi sana, umeona raha ya kunitembelea kwenye birthday?" Aliniuliza

"Bado sijaona raha" Nilisema ndo nikaona amenyanyuka na kuninong'oneza

"Mgeni akilishwa anatakiwa akaliwe kwenye mapaja"

"Mh anakaliwaje?" Nilimuuliza

"Tulia hivyo hivyo ngoja nikuonyeshe"

Nilisubiri nionyeshwe maajabu maana alikuwa mtoto wa 2005 na hata sijui huo ujasiri aliupata wapi kwa mimi mtu wa 95 nimemzidi miaka 10 ??????

Selina alinyanyua kitenge halafu alinyanyua mguu wake wa kulia akaupitisha juu ya mapaja yangu ukatua upande wa pili halafu akanikalia kwa namna hiyo tulikuwa tunatazama akiwa amenikalia

Vipaja vyake vyembamba vilinipitia kiasi kwamba nilikuwa niko katikati yake halafu tulikuwa tukitazamana huku nikiwa nimempakata.

Alinisogelea kwa karibu zaidi mpaka akawae amekaa usawa wa kifimbo cheza changu halafu alipitisha mikono yake miwili juu ya mabega yangu akawa ananitazama kwa karibu halafu akaanza kujitikisa tikisa

Kitendo hicho kilifanya fimbo langu lianze kuinuka halafu akalisikia akaniambia

"Nimesikia nyoka wako akihangaika but please promise mi kwamba hatutafanya chochote maana mimi ni sawa na mdogo wako wa damu"

Niliwaza huku tukitazamana, alivyo na makusudi aliniwekea paji lake kwenye paji langu akaanza kunichokoza huku akikatika katika

"Promise bas ka Jof"

"Mh....I promise" Nilisema kwa kujiamini ila akili yangu ilikuwa ikijitahidi kukataa nilichokiongea

"Thanks....Chukua nyama hapo nikulishe kwa ulimi sasa" Alisema mtoto wa kike maana yeye alikuwa hawezi kuchukua coz kumbuka alikuwa amenigeukia tunatazamani hivyo aliipa mgongo meza ya msosi.

Nilinyanyua mkono wangu nikachukua nyama na kumuwekea mdomoni akang'ata kidogo na mi nikaiweka mezani.

Selina alinikumbatia kwa nguvu halafu akanilisha mdomoni huku akiniachia busu zito lililokutanisha mate yangu na ya kwake, yaani nilichanganyikiwa maana baada ya lile busu aliniachia akawa ananitazama huku akicheka Cheka

Mimi niliitafuna ile nyama mpaka nikameza halafu nikamvuta kwa nguvu halafu nikampa denda kama sekunde tatu na kumuachia

ITAENDELEA


0 comments:

Post a Comment

Blog