Search This Blog

Wednesday 15 March 2023

BIRINGANYA LA MWALIMU - 3

  

Chombezo : Biringanya La Mwalimu

Sehemu Ya : Tatu (3)


MIMI: kwasababu siwezi kuvumilia kabisa kuona mtu akikuchukua kutoka kwangu 

JANET: akinichukua kutoka kwako ?,Kwani Tunachumbiana?, Kwan mm ni mpenzi wako ?, Sisi si marafiki tu? **Bla bla bla.**

MIMI: **nikachanganyikiwa kitu gani niongee *** Nikamshika mikono yake miwili nikamtizama machoni kisha nikamwambia,  jackline tangu tumeanza kuwa karibu sio Siri nimejikuta nikianza kukupenda,  nimekuwa nikikufikiria kila wakati na siwez kufanya jambo lolote pasipo kufikiria japo kwa sekunde.

*** maneno matamu yakaendelea ****

JACKLINE:kwa hiyo point yako hapo ni ipi ? ?

MIMI: Nataka uwe Mpenzi wangu . Mtu pekee nitakaye mpenda kila wakati.

JACKLINE:*** akatabasamu ***, ila naomba unipe muda nilifikirie kiundani,, sawa?? 

MIMI: sawa! ? 

Nikamsogelea karibu kabisa nikamuinamia kidogo kisha Nikamnong'oneza sikioni "Nitakufa Kama utanambia HAPANA". Jackline alitabasamu na kisha akanikiss ?? hakuishia hapo... Akasogeza mdomo wake karibu kabisa na sikio langu kisha kwa sauti ya chiiiiiiini akanambia,. "kitu gani kilifanya uchelewe,  mbona umechukua muda mrefu "

Kwa kweli, Siku hiyo nilijikuta mwenye furaha Sana hasa baada ya kusikia maneno Yale lainiii kutoka kinywani mwa jackline , Tulikuwa wenye furaha kiasi kwamba hatukuweza kuendelea tena na vipindi siku hiyo. Muda wote tulikuwa tukipeana Denda,..tukawa tuna-kumbatiana tu na kuongelea stori za malavi davi. 

Baada ya sikitu kurudi,  nikavunga.. Nikajifanya Kama Hakuna chochote kilicho tokea . Kisha nikamwambia Jackline . "Nitakuja kesho, sijisikii vizuri"

..



Jackline na Mimi tuliendelea na mazungumzo yetu  whatsapp, huku jackline akinambia bado hajali-fikiria lile ombi langu. 

Na Mara zote  nilipokuwa namaliza kuchat nikawa nahakikisha nimefuta mazungumzo yote na jackline ili sikitu asije kuyaona.

**ijumamosi **??????

Asubuhi ya siku ya kuzaliwa jackline , nilianza kwa kumtumia sms ndefu na nzuri ya mapenzi .Na baada ya kuwa nimefikiria kwa muda Mrefu kuhusu zawadi gani niweze Kumpatia Siku hiyo muhimu kabisa ,  nikakumbuka ali-wahi kunambia kuwa anaipenda sana rangi ya pink, basi nikaamua nimunulie chup* 6 za dizaini tofauti na zote zenye rangi ya pink , 

Majira ya mchana tayari nilikuwa niko ndani ya white house na shughuli ikawa inaendelea, Ilipofika saa 10 jioni baada ya kuwa nimemaliza kucheza na kula pia, nikamwambia madam

na jackline kuwa Nahitaji  kuondoka, lakini wote wawili wakasisitiza kwamba itabidi nibaki nilale hapo.. Tena kwenye chumba changu kile maana Mara kwa Mara Nimekuwa sikitumii.

Sikuona sababu ya kukataa,  ikabidi nikubali.. Nikapokea funguo na moja kwa moja nikaelekea chumban kwangu,

**baada ya kuwa nimefika chumbani tu **????

Sikitu alinipigia simu na kuniuliza kama anaweza kuja, nikamjibu asijaribu kuja kwani tunaweza kukamatwa,alifikiria na kuamua asije. 

Baada ya chakula cha usiku , nilirudi chumbani kwangu, na moja kwa moja nikaelekea bafuni kuoga , baada ya hapo nikachukua simu yangu 

na kuanza kucheza Gemu . Saa nne nne hivi nikiwa nacheza zangu game... Mara ikaingia whatsapp message .. Kutoka kwa jackline,, message iliyosomeka "Asante sana kwa zawadi, Ni zawadi nzuri Sana Kati ya zawadi zote nilowahi kupokea,  nakupenda Sana Alvine "

**hapo,  biringanya likashtuka kidogo ??**

Kwa mzuka nilio kuwanao nikajikuta , ninapiga kelele "yeeeeess, ilifanya kazi"

**ile zawad ????????imesaidia **

Usiku huo, tulikuwa na mazungumzo yetu ya kwanza ya kimapenzi hadi saa nane na na nusu  huku nikimuomba avalie zile zawadi kisha anionyeshe,  basi akawa anavaa moja moja kisha anapiga picha Ananitumia , taratiibu uvumilivu ukaanza kunishnda,  biringanya langu likasimama mpka mwisho nikawa nahisi maumivu, nikaanza vuta picha vile ambavyo itakuwa.. Siku nikiwa kifuani kwa jackline.. Hapo Hali yangu ikazidi kuwa mbaya zaidi , nikatamani kwenda chumbani kwake  muda huo,  lakini nikakumbuka inabidi niwe makini sana na madam.. Basi Nikachukua simu yangu nakumtumia jackline message , nikimwmbia afungue mlango nataka kunyata niingie chumbani kwake. Akanijibu "Mamy sio mtu anayelala fofofo "??

nilijituliza na kuamua kubaki ndani ya

chumba changu.

Kwa wiki ya kwanza yote! Mapenzi yangu na jackline zalizidi kupamba moto ?? Sana , huku jackline Mara nyingi akiwa anafanya vituko  kwa kiwango ambacho kilikuwa kinamkera Sana sikitu. Na Siku moja katika moja ya mazungumzo yetu na jackline 

nikamwambia

MIMI: Jackline , ninataka Mahusiano yetu Yawe  siri , sikitu hatakiwi kujua kabisa!! 

Wala mtu yeyote hapa ndani pia.

JACKLINE: kwanini?

MIMI: unajua, anaweza kumwambia mama moja kwa moja,  au hata akatumia njia yoyote ile ili tu Mama afahamu ukweli. 

JACKLINE: hawezi na wala sidhani Kama anaweza akathubutu .

MIMI: hata Kama hawezi, mimi nataka iwe siri wakati wote niwapo humu ndani.

JACKLINE: sawa.

Tuliendelea na mambo yetu ya siri ndani ya white house. Na Baadaye nikaamua nimkaribishe jackline nyumbani kwangu. 

Akaniahidi kuwa atakuja,  nikawa nimempatia anuani yangu. 

Ilikuwa ni jumanne, Siku 2 kabla ya siku inayofuata ya soko. Jackline alikuwa amekwisha nitaarifu 

mapema kuwa atakuwa mgeni wangu saa Tano asubuhi.

***sikuwa na wasiwasi coz tayari nilikwisha mpa maelekezo..wapi napokaa ***

Nilikiandaa vizuri Sana chumba changu, nikaweka shuka safi kabisa kitandani  na baada ya kumaliza kila kitu nikapulizia pafyumu flani hivi amazing... Chumba kizima kikatapakaa harufu nzuri ya kuvutia.

Majira ya tatu asubuhi , nilienda kwenye duka la jirani nika-nunua mzinga Mmoja wa Konyagi baada ya kurudi,  nikavitoa nje viti viwili vya plastiki vilivyo kuwa ndani kwangu ilikusudi, jackline asiwe na sehemu yoyote ya kukaa zaidi ya kitandani.nilipo rudi ndani nikachukua CD flani hivi ya kikubwa nikaiweka kwenye deki... Ikaplay Kama dakika mbili hivi kisha nika-istopisha,  ili jackline akifika tu Niiachie iendelee ????

Baada ya hapo nikajitupa kitandani huku nikiwa nafikiria vitu vingi Sana,  nikawa nawaza jinsi ambavyo nitaanza kuzitoa nguo za jackline moja baada ya nyingine kisha nimpandie kifuani kwake. Niliwaza mambo mengi Sana,  yani kiufupi nilikuwa na asilimia 100% kuwa lazima jackline atauonja utamu wa biringanya Siku hiyo. Niliamua kucheza gemu la mpira kwenye simu Yangu "PES19" iliangalau muda usogee!! 

Majira ya saa nne Kama na nusu hivi.. Nikasikia mlango wa chumba changu ukigongwa. "Ko ko ko".

Nilishangaa jinsi jackline alivyoweza kulifikia eneo ninalo ishi na kukitambua chumba changu kwa urahisi ,  ukizingatia nilimpatia maelekezo machache tu kuhusu wapi napo kaa 

Taratibu biringanya langu likaanza kusimama .. nilikuwa na furaha sana ndani yangu, 

**nikajua bila Shaka jackline kafika ***?? 

Basi nikabonyeza kitufe flani kwenye remote na kuiruhusu ile CD iendelee kuplay 

Huku nikiuliza " Nani???  ..mlango uko wazi ingia.. "

Wakati mlango ukifunguliwa, nilishtuka Sana !

"Khaaa Sikitu!!!!!!!! Mbona hukunambia Kama unakuja " 

Nikamwambia sikitu kwa sauti ya juu wakati huo sikitu akiingia chumbani kwangu 

***chaii???????? ohooo 

..

..

..

•unadhani nini kitatokea? 

..



?? 

Wakati mlango ukifunguliwa, nilishtuka Sana !

"Sikitu!!! Mbona hukunambia Kama unakuja " 

Nikamwambia sikitu kwa sauti wakati huo sikitu akiingia chumbani kwangu 

..

<songa nayo episode 10>????

SIKITU: vipi mbona uso wako uko hivyo ? Inamaana hujafurahia kuniona? Au kuna mtu ulikuwa ukimtarajia??? 

MIMI: hapana , ndo nimeamka kutoka usingizi Mara tu niliposikia ukigonga , ukizingatia Leo sio Siku ya soko hivyo nimeshangaa sana kukuona!! 

SiKITU: aahhm una uhakika kuwa haumtarajii mtu?

MIMI: HAPANA, vipi unaenda wapi? *** nilimuuliza huku nimeishiwa pozi ***

SIKITU: aahhm tumeishiwa  mafuta ya karanga kule nyumbani , hivyo madam ali niachia pesa asubuhi Sana kwaajili ya kununua mafuta ya karanga. Ndo nilikuwa naelekea kuyanunua , nikaona nipitie hapa kidogo ili angalau nikuone. 

MIMI: A-haa Ni sawa, vipi jackline anaendeleaje ?, Yuko nyumbani?

SiKITU: ndiyo yupo nyumbani , lakini inaonekana kama kuna sehemu anataka Kuelekea coz nilimktuta akivaa wakati nilipo kwenda chumbani kwake.

MIMI: *** hapo, nikajikuta nashindwa kabisa kutulia sasa ??????*** kweli eeh ?, Anaenda wapi?

SIKITU: Sijui bwana , na wala hata hainihusu ?, ila nilipo mwona akijiandaa nikahisi ohoo atakuwa anakuja kwako nini ???????

MIMI: nyumbani kwangu..??, nadhani Unajua Fika kuwa hilo haliwezi kutokea.

SIKITU: Nakuamini Sana mpenzi wangu . ***** aliongea huku akijilaza kitandani ****, wacha nipumzike kidogo mpenzi, nimechoka.

MIMI: ****** Nikaishiwa pozi... Amani ikapotea kabisa,  ohooo *****, sawa mpenzi.

Muda Huo huo Kuna Ujumbe uliingia kupitia whatsapp , Nilipo-uangalia vizuri nikagundua ilikuwa ni text kutoka kwa jackline 

"mpenzi , nipo njiani nakuja  nyumbani kwako, nimeamua nichukue boda boda tu".

****mungu wangu.... Usije ohooooo*** , sasa Leo nitalimaliza vipi hili?? ????????

..




Sikuwa na utulivu kabisa,  kwa mbali nikawa nahisi Kama nafsi yangu imegawanyika,  upande mmoja wa nafsi ukinizomea ?? huku upande mwingine ukinitia moyo!  Moyo Wangu ulikuwa unadunda Sana, kichwa kikawa joto nikawa naona nimeharibu kila kitu, akili yangu muda wote huo ilikuwa ikitapa tapa..nikaanza kufikiria kitu gani nifanye? .Nikatamani akili  ifanye kazi zaidi Hata ya kompyuta Ghafla, nikiwa bado nafikiria , kuna wazo lika-katiza ndani ya akili yangu. 

***nadhani mungu,hakutaka Niaibike Siku hiyo ***?? ????????

Nikaichukua simu yangu, na moja kwa moja nikafungua faili lenye nyimbo , kisha nikabonyeza nyimbo ambayo huwa naitumia Kama muito(ringtone), ikaanza kulia.. Nikaiacha ilie  kwa muda ,kisha nikai-stopisha,nikainyanyua simu na kuiweka sikioni.

"Halloo!?, Nan Mwenzangu.. ?? ?"

"NANI !!!!!!, kutoka hospitali gani?"

"Ajali!!!?? , imetokeaje?? "

"OMG !!!, ni mbaya Sana???"

"SAWA!! ,Nakuja hapo sasa hivi !

**** sikitu alikuwa Amenikazia Macho muda wote huo**** Baby , kitu gani Kimetokea??

"Sikitu, nimepokea simu kutoka Bugando Hospital , wamenambia mmoja Kati ya majirani zangu amepata ajali mbaya,  na anatokwa na damu nyingi Sana hivyo niende haraka maana Muda wowote anaweza kufariki. 

SIKITU: ok mpenzi, wewe nenda haraka, mimi Nitakusubiria hapa.

MIMI: *** oohoo huyu naye cha kusubiria hapa ni nn sasa, ?? ****. Huwezi kunisubir,!! Naweza nisirudi kabisa Leo , Maana hata Hali yake sijui ni jinsi gani ilivyo baby! Nadhani Tutaonana Kesho white house.

Nikavaa shati langu na Aina flani ya ndala zilizokuwepo chumbani kwangu ,Nikatoka Nje kisha Nikafunga mlango na kufuri , kwa bahati nzuri kuna boda boda alikuwa anapita nikamsimamisha . Bado, sikitu alikuwa amesimama pale nje akisubiri boda iondoke , ***muda huo nilikuwa bado sijui cha kufanya **???? Nikamwambia dereva wa boda anipeleke bugando hospital . Wakati Boda ikiwa ishaanza kutembea , nikageuka nakumwona sikitu akiondoka huku akigeuka geuka nyuma kuniangalia.

**** "duuuh ,Huyu msichana naye...kama Li-mzimu!!  Ona sasa kidogo tu aharibu kila kitu***??????

Boda ilitembea mwendo kidogo tu na baada ya kula kona ya kwanza,  nikamwambia dereva " hebu.. Niache hapo.. Kuna kitu cha muhimu Sana nimekisahau mezani "

Chukua,hii buku  (tsh1000)..uende. .nisikucheleweshe! . Nilipita njia za mkato hadi nikatokezea nyumbani kwangu , nikatumia mlango wa nyumba kuingia ndani. Baada ya kuingia chumbani kwangu ile kutupa macho Kitandani   nikagundua kuwa sikitu alisahau hereni zake juu ya kitanda. Haraka haraka nikazichukua na kuzificha Mahali pengine.

Wakati nikiwa natandik vizur shuka la kitanda,  Mara simu yangu ikaita ..ilikuwa ni simu kutok kwa jackline... Nikasubir ikaita kidogo kisha nikaipokea....

MIMI: hello Jackline , uko wapi?

JACKLINE : Niko Hapa mbele ya nyumba yako.

MIMI: umejuaje kuwa ni nyumba yangu? ?

JACKLINE: Sijui, mimi najua tu niko mbele ya nyumba iliotajwa kwenye anuani yako.!

MIM: sawa mpenzi, nakuja sasa hivi 

Nilitoka nje na kumuona Jackline akiwa-amesimama mbele ya nyumba yangu akiwa amevalia  gauni flani fupi lenye rangi ya pinki lililo acha sehemu kubwa ya mapaja yake ionekane vilivyo.nikajikuta najisemea “daah leo ni leo” * 

Jackline aliingia, kisha nikafunga mlango na moja kwa moja akakaa kitandani kwangu akiitazama ile movie ya kikubwa 

**????haikuw video ya xx ila movie flani tu yenye mambo ya kikubwa ndani yake **??

Tuliongea kwa dakika chache kisha nikalala nyuma yake na kuungana naye kuitazama ile movie . Alionekana kuvutiwa Sana na ile movie maana wakati wote nilimshuhudia akibadilisha badilisha style za kukaa. Huwez amini wakati wote huo Akili yangu haikuwa kabisa Kwenye movie,  muda wote nilikuwa nikifikiria ni kwa jinsi gani nitalifanikisha lengo langu. 

Basi, nikamshika mikono yake na kuanza kuipapasa taratiiibu, Jackline  hakushtuka wala nini??  akawa busy tu akiangalia movie. 

***duh!  Nimekwama wapi? ???????? ikabidi nibadil style , nikajisogeza kidogo ***

Nikaanza kumpapasa kiuno huku nikitumia ncha za vidole na kucha zangu ipasavyo kuchora miduara midogo midogo na michoro Kama namba 8 ilivyo. Huku nikimwambia maneno matamu  Kama,  nikwa-kiasi gani alivyo mzuri na kwakiasi gani pia ningependa kuwanaye Siku zote za maisha yangu,  alitabasamu kisha anambia " una uhakika?? Nikamwambia  "ndio". Hapo akasogea kidogo kisha akaulaza mgongo wake kifuani kwangu. Huku akiendeela kuangalia TV! 

Nikaiweka mikono yangu kifuano kwake taratiibu nikawa nazibinya binya dodo zake. 

Nikawa nampapasa kuanzia chini tumboni  kisha napanda taratiiibu mpka kifuani,  muda huo ile video ikawa imefika penyewe sasa, nikaanza na kumkiss nyuma ya shingo lake , huwez amini muda wote huo jackline alikuwatuli!! akijifanya yuko bize anangalia movie.

Nikafungua vifungo vitatu vilivyo kuwa kwenye gauni lake,  kisha nikaingiza mikono yangu kwenye bra ** nakuzichomoa dodo nje... Nikaanza kuzikiss huku  nikiziminya kwa kasi... Hapo nikamsikia jackline akitoa miguno laini... Miguno iliyo nifanya niendelee kuwa bize na kazi yangu, nikaongeza mautundu ,nikawa nayasikia mapigo ya moyo wake...na Baada  Dakika chache kupita jackline akawa anapumua kwa kasi Sana. 

Nikamlaza kitandani kisha taratiibu nikawa napandisha gauni lake juu huku nikimkiss mapajani! Hatimaye Nilipandisha gauni lote kabisa 

Hapo nikakutana na papuchi ya jackline iliyo jazia vyema kwenye chup* ya pink 




Siku ya pili ilikuwa siku ya soko, Sikitu alifika nyumbani kwangu kama kawaida. Safari hii, hakuonekana kuwa na furaha kabisa.

MIMI: Baby Sikky!  , una shida gani?

SIKITU: Naomba uniache eeee 

MIMI: kuna nini Lakini ?, Au Kuna Kitu Nimekusoea Mpenzi wangu?

SIKITU: Nilimsikia aunty Jackline Akikupigia simu jana ,akikwambia kuwa ameshafika nyumbani. Inamaanisha kuwa Alikuwa hapa jana!.?? ?? ?? 

MIMI: kuna wakati alinipigia simu,  akanambia kuwa kuna mahali alihitaji kwenda,  hivyo nikamwambia anifahamishe atakapokuwa amerudi,  pengine naweza kwenda kumfundisha , ni hilo tu na Hakuna lingine. 

SIKITU: una uhakika?

MIMI: ndio mpenzi wangu . Kwahiyo Bado Tu Huniamini ?

SIKITU: **** akatabasamu*****, nilidhani amekuja hapa. Sitaki kabisa Kuchangia na mtu yeyote.

MIMI: Niamini mpenzi wangu .

****Alitabasamu***

Nikamfundisha Mathematics(Hesabu)! Kwa Takribani dakika  40, kisha tukapiga raundi 2 za moto! **Yani utamu Utamuni **??.. 

Baadaye akachukua hereni zake,  akaelekea sokoni.

Siku zilizidi kukatika kinoma .Ilikuwa Sikuu Mara ikawa wiki.! Bado Niliendelea na vipindi vyangu Kama kawaidia kule white house .sikutaka kufanya mapenzi na jackline mle mjongoni.Badala yake, nikawa nafanya hivyo kila atakapokuja nyumbani kwangu.Mara zote nilionekana serious niwapo white house . Na Mara kadhaa,  jackline akijihisi kuwa huru na mimi basi atamtuma sikitu mbali, kwasabab nilishawah mwambia kwamba sikitu akijua kuhusu ukaribu wetu... Hato kuwa na namna zaidi ya kumwambia madam.

Kama kawaida kila usiku  wa Ijumaa, tulikutana na sikitu kwa ajili ya kipindi kisha tunapeana utamu. Ukweli ni kwamba,  Nampenda sana Sikitu, kwa sababu ni mjuzi na mwenye akili, lakini kuna vitu pia vinanifanya nizidi kumpenda Jackline , ikiwemo umbo lake  zuri na ukubwa wa maziwa yake ??yaliyo simama vilivyo ?? 

***jackline anaumbo flani hivi,, !! AMAZING ????****

Muda mwingi sikitu Amekuwa akitutilia maShaka  mimi na Jackline, lakini nikaendelea kumuhakikishia kwamba hakuna kinachoendelea Kati yetu,Na hata Siku moja hakuthubutu kumuuliza jackline  kuhusu hilo. Basi Kila kitu kikawa  kinaendelea vizuri, 

Lakini,  Siku moja jumapili Madam Alinipigia simu,  akinitaka nifike white house haraka iwezekanavyo.. Huwezi amini ndo kwa mara ya kwanza nili-isikia sauti ya Madam ikiwa vile,  alikuwa akiongea kwa hasira Sana , sauti yake ilionyesha dhahiri kuwa kuna kitu kimemuuzi.

Baada yakuwa Nimetoka Kanisani Jumapili hiyo,kichwa changu hakikuwa sawa hata kidogo,,Muda wote nikawa najiuliza.. Ni kitu gani kitakuwa kimetokea?? Kwanini Madam Aongee na Mimi kwa sauti Kali kiasi kile? ? Kwanini ametaka kuniona haraka? Baada ya kufikiri kwa muda mrefu,  nikajitia ujasiri , nikashika zangu njia moja kwa moja mpka white house.

Kama kawaida mlinzi alinifungulia geti nikaingia , nikalisogelea lango kuu baadaye nikafika sebureni, nikawakuta Jackline,Sikitu na madam sebureni. Jackline alikuwa amekaa pembeni kidogo ya madam ,  wakati huo Sikitu akiwa kapigishwa magoti kwenye kona karibu na kochi.

Niliogopa sana , mapigo ya moyo wangu yakienda mbio kupita kawaida. Nilipo mtizama sikitu usoni,  sura yake iliashiria kabisa kwamba kuna tatizo na sio Dogo ?? Madam hakuwa akitabasamu hata punje,  jackline aliangalia kwa sura yenye ukauzu ,kitu ambacho  kilifanya nizidi kuogopa.

MADAMU: alvine , karibu.

MIMI: asante madam,!!

MADAM: Kuna kitu Nimesikia kuhusu wewe ndo MaanA nimekuita hapa ?? 

MIMI: *** moyo wangu nikahisi unachomoka, nikawa nahisi.. Wanayasikia mapigo yangu ya moyo!  Sikitu muda wote huo alikuwa kajiinamia machozi Yakimtililika tu ?? ***,,,,,natumai hakuna shida madam!?

MADAM:shida ipo 



Madam : ndio kuna tatizo, huyo sikitu unayemuona hapo pemben. 

MIMI: **ooohhoo,  mungu wangu naomba kisiwe nacho fikiria ??** *** Ndiyo Madam, kwani amekosea kitu gani? 

MADAM: ameanza tabia ya wizi,Yani kila wakati anapo enda sokoni Kama hakija potea kiasi cha pesa basi atakuja na vitu pungufu ya vile nilivyo mwandikia akanunue. Afu nimesikia Pia, Anamahusiamo ya kimapemz na kijana flani wa mtaa wa tatu.

MIMI:.****nikamtazama sikitu kwa Mara nyingine ,  maskini ukweli ni kwamba Mimi ndo sababu ya yeye kuleta vitu pungufu, nikajikuta namwonea Sana huruma ?? ***Madam plz naomba Umsamehe,  hatorudia Tena! 

***Mara,Jackline akaingilia Kati **

JACKLINE:  Sikitu ni mvivu na ni mpumbavu Sana .hata tabia aliyoianzisha hivi karibuni.. Imekuwa ikinishangaza Sana na Inaonekana kama ana unajauzito.

MIMI: *** KIBO!! ** ujau.... nini?

MADAM: Wewe Sikitu!!!!!!!!, ni kweli, Unaujazito.??

SIKITU: hapana madam, mimi si mjamzito mama 

MADAM: sasa Naomba unisikilize vizuri,  jambo la kwanza kesho asubuhi, nikukupeleka hospitalini ukachukue vipimo, na ikitokea ikawa kweli?? Eeehh eh

MIMI: **** oohoo ,Lakini mara zote huwa natumia kondom?? Au imewahi kutoboka au kupasuka? Au Sikitu ana mtu mwingine? Ninamuamini sana Sikitu,  sidhani Kama kama atakuwa na mtu mwingine .na Nina ukakika asilimia 100% kuwa Hana ujauzito *********Tafadhari Madam, Msamehe 

MADAM: unasema hivyo tu kwasababu huishi na sisi hapa.ungekuwa  unaishi hapa, ungejionea mwenyewe ni kwa kiasi gani lilivyo livivu,, Yani hasara tupu. Sikitu!!!!! Hebu Ondoka mbele ya macho yangu upesi , na utanieleza vizuri baadaye . Alvine 

Hebu tuongelee nilicho kuitia hapa! 

MIMI: ***nikahisi moyo umepasuka ****. Sawa Madam , aahm kitu gani kimetokea??

MADAM: Nimejaribu kupitia daftari za jackline!, na nimegundua,  kuna sehemu nyingi Sana hakuandika notice!! 

MIMI: kweli?

MADAM: ndio, na isitoshe , nilijaribu hata kumpatia zoezi kwa kile ulichomfundisha cha ajabu.. Amekosa maswali yote, kwa kifupi Hakuna alichokifanya zaidi ya madudu.

MIMI: haaaa!! 

MADAM: Na-amenambia hivi karibuni uhudhuriaji wako haukuwa wa kulizisha Kama mwanzo.

MIMI: *** Nikamuangalia jackline kwa macho flani hivi ya kuvunjwa moyo, akaniangalia kwa macho Kama ya mtu anayesema "sio hivyo sir " ,,ukweli ni kwamba.. Jackline ndiye aliyekuwa akikwepa vipindi Mara kwa Mara ,lakini naanzaje sasa kumwambia madam hilo ?? ****

MADAM: kwahiyo Ndo huwa nakulipa kwa hilo??? 

MIMI: sio hivyo Madam . Naweza kukuelezea, eeemmmm.

***kabla sijaongea neno,  Mara... 

JACKLINE:hapana mamy ,muda mwingi, huwa ananifunza kwa mdomo tu!  , ndo maana huwa naandika vichache mammy, sir anajitahidi Sana, hujui tu.

MADAM: lakini sijaridhika bado .Mitihani yako ya mwisho imekaribia ni Kama imebaki miezi mitatu tu,  na safari hii siwezi kuvumilia kuona ukifeli tena.

MIMI: Nitafany kila navyoweza madam!.

MADAM: na hivyo ndo nataka sasa,  yani ningependa uwe unamfundisha hata Siku nzima kabisa,  ikiwezekana jumamosi na jumapili umfundishe pia,  hata baada ya chakula cha jioni .. Ingekuwa vizur Kama ungekuwa ukimfundisha kabla hajaenda kulala. Kuhusu pesa tutaongea,  nachotaka awe bora kabisa.

MIMI: sawa Madam . Lakini kuhusu vipindi baada ya chakula cha jioni, itakuwa ngumu kidogo kwa sababu ya eneo nalo kaa . Isitoshe ni hatari Sana kutumbea Maeneo hayo usiku.

MADAM: basi anza kuishi hapa kwa muda wote, Kwanza tayari nimeisha kupa chumba hapa Sema tu ni wewe mwenyew hutaki kukitumia, alvine ninapendelea wewe ukae hapa ili angalau unisaidie kumnyoosha huyu sikitu kwa mkono wako mwenyewe maana naona jackline hawezi kumdhibiti bila mimi kuwepo.

MIMI: ok Madam , hakuna shida.



Sikitu alifika kama kawaida. Alikuwa ni Kama kuna kitu.. Anataka kuniuliza afu anapotezea!!  Nikajua kabisa.. Kitakuwa kinahusiana na lile tukio la Jana chumbani kwa jackline... Hivyo sikutaka kuliongelea kabisa nikawa Nasubiri aanze kuliongelea yeye! 

SIKITU: Alvine , hivi ni nini kinaendelea kati yako na aunty Jackline? Plz Naomba usinifiche.. Nambiee tu 

MIMI: Mimi ni mwalimu wake na yeye ni mwanafunzi wangu.

SIKITU: Nalijua hilo mbona , nataka unambie kile kilicho jificha!!  Kile ambacho mimi sikijui!! ?? 

MIMI: kilicho jificha!!!??? Kitakuwa kitu gani hicho labda?? 

SIKITU: unajifanya hukijui eeh?? , Nilijua tu lazima utajifanya hujui. Sasa ww usijali wala nini!! Endelea kuvunga tu!! Umenisikia??  *** aliongea huku akiwa kachukia Sana ***

MIMI: ** nikamsogoelea karibu,  kisha nikamshika begani!! Sikkybaby, ukweli,, sijui unaongelea kitu gani, plz labda Unifafanulie zaidi!!?

SIKITU: *** akakaa kimya kwa muda *** sawa, ni kitu gani kilitokea chumbani kwa aunty jackline jana? Kwa sababu nilimsikia akipiga kelele  na kugugumia Kama mtu aliyekuwa akifanya mapenzi!??? Kabla ya nyinyi wote wawili kutoka nje??  ?? 

MIMI: ** ohoo ..kumbe sikitu alisikia **. Hakuna kilichotokea mpenzi wangu . Aliniambia tu kompyuta yake ilikuwa na matatizo ,ndo nikawa nimeingia chumbani kwake kumtengenezea .

SIKITU: Enhe!  Ulipo ingia..!!?? 

MIMI: baada ya kuwa nimemaliza kuilekebisha akanambia.. Anataka kujiunga na bongo movie na akanambia kuna kampuni kubwa la movie alienda kufanyiwa usaili.(interview) 

SIKITU: endelea

MIMI: kisha nikamuuliza kilichotokea kwenye usaili , akaniambia waliambiwa Waigize kipande kidogo cha mapenzi 

SIKITU :Endelea, nakusikiliza..

MIMI: akasema alitakiwa kuigiza tukio la mapenzi na kijana mmoja hivi huku akipiga kelele za mahaba na kugugumia. Ndo nikamwambia aonyeshe jinsi alivyokuwa akifanya, na hicho ndo kikawa chanzo cha wewe kuzisikia zile kelele!!

SIKITU: una uhakika kwamba ni hicho tu ndo kilifanyika?

MIMI: niamini mpenzi wangu... Hakukuwa na kingine tofauti na hicho baby.

SIKITU: ok love, nimekusikia, nilidhani kuwa nyinyi wawili mlifanya mapenzi **** alinikumbatia na kunikiss ****. Kwahiyo unahamia lini ndani ya nyumba yetu?

MIMI: wikendi hii.

SIKITU: hiyo ni nzuri, tutakuwa tuna ibia ibia usiku wa manane.. Tunafanya mapenzi kwenye vyumba vyetu.. Sindiyo??  

MIMI:Hilo sio wazo zuri Sikitu. Madam hatatusamehe ikiwa tutakamatwa. Wacha tuendelee na ratiba yetu ile ya kila ijumaa usiku pamoja na Siku za soko ukija nyumbani kwangu. 

SIKITU: nilikuwa natania tu . Sawa nimekuelewa 

MIMI: ok Sikkybaby

SIKITU:  aahhmm jambo moja zaidi, hakitakiwi kutokea chochote Kati yako na aunty jackline ,, la sivyo!!!!! 

MIMI: " la sivyo "!! Nini sasa ?

SIKITU: Nitasema kila kitu. Yani Kama aunty Jackline akijaribu kunyakua mali yangu, ni bora niharibu kila kitu.. Na niko serious kwa hilo .

MIMI: ****mmh inonekan hatanii kabisa!! ***???? "

Basi sikitu aliondoka kwenda sokoni, huku nyuma mimi nikizidi kujiuliza nitawezaje kuishi white house.. Bila chochote kutibuka.

Ilipofika Ijumaa mchana , nikampigia simu madam na kumjulisha kuwa Siku hiyo ndo ningeamia white house rasmi!  

Nikachukua  baadhi ya mashati yangu,, suruali kadhaa, viatu na vitu vingine vidogo vidogo Kama pafyumu.



Nilifika White house  usiku Huo , nikapokelewa na Familia Nzima . Sikitu alinisaidia mizigo yangu Na Kuipeleka chumbani kwangu, kisha mimi nikabaki Nimekaa pale Sebureni kwenye sofa.

MADAM: Mr Alvine , natumai Unakumbuka kwanini uko hapa?

MIMI: ndio madam 

MADAM: jisikie Huru kabisa na ukihitaji chochote ,usisite kusema , Sikitu yupo hapa atakupatia!  Cha msingi tu hakikisha mwanangu jackline anapata elimu iliyo bora zaidi. Usisahau kuwa hatakiwi kufeli tena wakati huu .

MIMI: sawa madam,  nimekuelewa! 

Jackline alikuwa amekaa upande wa pili wa sofa akinikonyeza tu muda wote! 

Sikitu alirudi Toka jikoni,  kumtaarifu madam juu ya kile alicho kuwa akipika.

"Alvine, chakula cha jioni kitakuwa tayari hivi karibuni, kuwa na subira tu.  Unaweza Kwenda chumbani kwako ufanye kupumzika muda huo . Jackline ataanza masomo yake "baada ya chakula cha jioni" leo "alisema madam. Nilisimama kutoka pale kwenye sofa nilipo kuwa nimekaa , nikaondoka kuelekea... Kilipo chumba Ambacho kime-andaliwa kwa ajili yangu

        **Nikaingia chumbani ? ***

Chumba kilikuwa kimeandaliwa vizuri Sana!  Nikasogea mpka kitandani .. Ile nakaa tu hivi ,Mara ikaingia SMS kwenye simu yangu. Nilipochek vizur kwenye skrini ..ilikuwa ni sms kutoka kwa jackline "karibu Sana , nitakufanya ufurahie wakati wote utakao kuwa hapa ?? ". 

***ohoo, huyu msichan,  atanisabishia matatizo ?? ??????****

Saa Moja Kama na nusu hivi . Chakula cha jioni kilikuwa tayari, Sikitu alitumwa kuniita. "Ko ko ko ko" aligonga, ni Mimi sikitu , chakula cha jioni kiko tayari. Nilifungua mlango na kumkuta Sikitu bado kasimama pale mlangoni. Nilimtazama, akanitizama pia huku akitabasamu.. Kisha kwa sauti ya chini akasema  "asante Mungu leo ??ni Ijumaa".

Nilikwenda sehemu ya kulia chakula (dinning) , nikawakuta ,Jackline,, Brighton na madam wakiwa wameketi tayari, niligundua Sikitu hakuwepo pale mezani..ila Sikuweza kuuliza...Nikahisi tu labda kwasababu yeye ni mfanya kazi wa ndani.

 Wakati tukipata chakula, Madam akaanzisha mada kuhusu masuala ya kibenki na jinsi wanavyo wafunza watu wenye taaruma mbalibali  na jinsi wanafunzi wa uhandisi wanavyopata kazi kiurahisi kuliko hata wanafunzi wa benki Nikawa Nachangia na kujadili kwa busara juu ya hiyo mada , kiasi kamba madam mwenyewe alishangazwa na kufurahishwa sana na jinsi nilivyoongea na kuonyesha uelewa mkubwa Sana . Akanipiga kidogo kwenye paja huku akinambia "Good Boy " biringanya langu likashtuka kidogo. nilishangaa na kushtuka kwa sababu mkono wake ulikuwa kidogo tu.. Utue kwenye biringanya langu.

"Jackline , hebu fanya upesi na ujitayarishe na masomo" madam alimwambia Jackline.

Madam akasimama na kutembea taratibu kuelekea chumbani kwake. . "Ah! Mungu wangu, Madam anaonekana  mwenye mvuto Sana akiwa katika  yale mavazi ya usiku , alikuwa amevalia vazi flani jepesi fupi linalo ishia juu kidogo ya magoti!! Madam alikuwa Aina flani ya kinamama wale wenye mvuto! Alikuwa Mrefu Mrefu Mwenye sura nzuri,, macho mazuri.... Lips ndo usiseme!  Bila Kusahau rangi ya ngozi yake ???????? ?? 

**Madam ni Miongoni Mwa kina-mama,  ambao ni warembo haswaa!  Pengine hata mabinti, wasingeukaribia kabisa muonekano wake ******

Alikuwa na kifua kipana, Chenye Dodo Kubwa cha Ajabu zilikuwa Bado zimesimama! Afu Nyuma Kajaliwa Msambwanda Kama wote! Basi Wakati anatembea kuelekea chumbani kwake... Dodo zake zikawa zinanesa nesa taratibu huku msambwanda ukitikisika kushoto kulia..kushoto kulia!!  Nikawa nimemtolea macho kodo . Niliacha kumtazama pale Jackline alipogundua mwelekeo wa macho yangu. Nakunikata jicho Kali Sana ?? .. Huku akinikazia sura.

Nilimfundisha Jackline hadi majira ya saa tatu na nusu . Muda wote huo alikuwepo tu Kama mtu aliye lazimishwa kusoma.… kuna kitu kilitokea usiku huo. Majira Kama ya saa nne hivi Madam alitoka chumbani kwake akiwa amevalia vazi flani la mikono mirefu na sketi ndefu . Kisha Akamwita jackline  kumjulisha kuwa ulikuwa ni wakati wa kwenda mkesha., Jackline akasema hajisikii vizuri sana hivyo hatoweza kwenda.

Madam aliingia chumbani kwa Sikitu, akatumia Kama  dakika 15 hivi kabla ya kutoka na kutuaga! Kisha akaingia kwenye gari (jeep) yake na kwenda kanisani.

Mara tu baada ya Madam kuondoka, niligundua kuwa hakuenda na Brighton pia, hapo,  kwa mbali machale yakaanza kunicheza. Niliamini kuwa  lazima Madam atakuwa amemwambia sikitu atutizame mimi na jackline kwa ukaribu kabisa.nikajua pia atakuwa kamuacha Brighton kwa sababu ile ile. Wakati Nikiwa Sebureni  namalizia malizia kipindi na jackline, Sikitu akapita kutoka chumbani kwake akielekea (sehemu ya chakula) dinning ,,kupanga panga vyombo.

Nilimtazama huku yeye akanitizama kwa sura yenye hasira Sana. ?? ?? ?? 

****hapo.mzee baba ,, nikahisi kuna shida nyingine ***

Hasira za sikitu nadhani zilisababishwa na uwepo wa jackline usiku huo!  Akaelekea jikoni huku bado akiangalia ,Jackline Alinikutuliza nikiwa namtizama Sikitu. "Nimekuwa nikikushuku wewe na kijakazi wetu  hivi karibuni. Na Ndio maana nimeamua maksudi tu nisiende mkesha usiku huu .Maana ninajua ni hatari kiasi gani kuwaacha nyinyi wawili peke yenu humu ndani.

***ooohhoo ikabidi nivunge ili kuua soo**

"mimi ??, na house girl wenu?? Hivi kwanza unaongea upuuzi gani huu??  Tena naomba unikome ohoo , kisha nikanyanyuka na kumuacha Jackline akiwa peke yake pale kwenye sofa , nikaelekea chumbani kwangu.. Nikaingia kisha nikafunga mlango kwa ndani.Jackline akaamua kunipigia simu  mara kadhaa , nikawa naitizama simu ikiita tu na sikutaka kupokea kabisa.  Alipo ona nimegoma kupokea simu zake akaja mpka mlangoni.. Nakuanza kugonga.. Lakini sikufungua. ..nilipohisi ameondoka tu Mara ikaingia sms kwenye Simu yangu. Kutoka kwa jackline 

"Naomba unisamehe mpenzi wangu , sikuwa na nia ya kuku-kasirisha, nilikuwa natania tu,  nakupenda Sana Alvine " 

Nikaisoma ile sms kisha nikatabasamu.

Saa tano na nusu . Sikitu alinipigia simu, akinambia nifanye mpango niende chumbani kwake lasivyo atakuja chumbani kwangu. nikamkumbusha kuwa Jackline amekuwa akitushuku hivi karibuni hivyo anaweza kutukamata! Nikamuuliza ni kitu gani madam alijadili naye kabla ya kwenda kanisani lakini akakataa kusema lolote huku akisisitiza kuwa atanipigia simu baadaye.. saa sita na nusu.

Nikairusha simu  yangu pembeni ili angalau nijaribu kuutafuta usingizi , Mara ujumbe wa whatsapp ukaingia kutoka kwa Jackline , tukaanza kuchati.

JACKLINE: mpenzi, tafadhari nahitaji kuwa katika mikono yako muda huu, nahisi baridi na niko mpweke Sana.

MIMI: Pole Sana mpenzi wangu , hata Mimi pia huku!! 

ITAENDELEA



0 comments:

Post a Comment

Blog