Search This Blog

Thursday 2 March 2023

SHOGA YAKE MAMA - 4

  

 Chombezo : Shoga Yake Mama

Sehemu Ya : Nne (4)





"Njoo ukae kwa huku uandike niwe nakusomea". Niliinuka na kuhamia upande ambao yupo yeye Careen ambaye nilianza kumsaidia kuandika kazi ile. Badala ya kuwa ananisomea yale maandishi alikuwa akisoma huku ananiangalia usoni mwangu. Nilikuwa nipo naandika kazi bila kuangaza angaza nilipotoa macho yangu kwenye laptop yake na kuangalia chini ilipokuwa karatasi ya yale anayosoma, niliona ile sketi imepanda sana kiasi cha sehemu ya mapaja yake kuonekana hata kufuri lake la ndani nililiona likiwa na rangi ya ya pinki. Sikutaka kuingiwa na tamaa ilibidi nitoe macho yangu na kuyainua kwa juu ili nimtazame yeye ila nilijikuta nikiahindwa kutoa macho yangu mara baada ya kuona chuchu zake zikiwa zimeonekana kwa sehemu kubwa sana mara baada ya kishati alichokuwa amevaa kufungua baadhi ya vifungo....

SONGA NAYO......

Nilibaki nikiwa nimeduwaa mara baada ya kukutana na Chuchu zilizochongoka kiasi kama hazijaguswa. Hata ile kazi niliyokuwa naifanya nilijikuta nikiiahilishia kabisa na kushusha tena macho kwenye mapaja ya Careen ambaye hakuonyesha jambo lolote la kustuka. "Daaah joto la Dar nalo kero kweli hata usiku" Careen aliongea akinitazama usoni mwangu huku na mie nikavunga kama nipo naye pamoja wakati Tayari nimeshika ile laptop yake nikizuia mashine yangu kutokeza kwani tayari ilikuwa imepokea mawasiliano na kuanza kusumbua kwenye suruali. "Yeah ni kweli yaani unaweza ukatamani ubaki hata uchi maana hii hatari sasa". Aliishia kunipiga kwenye bega kwa kauli yangu ya kukaa uchi huku akiongezea tena kifungo kingine kufungua nikibaki kutazama sinema inayoendelea mbele yangu. "Kumuacha ni uzembe tena uliokithiri kabisa " Nilijiwazia huku nikimsogelea karibu zaidi na miili yetu kugusana ila niligusa upaja wake uliokuwa umeachwa wazi.Niliendelea kumwandikia hadi nilipochoka kwani majira yalikuwa yameenda sana tulianza kupiga story huku akiwa vilevile bila hata kujilekebisha.

"Wanaume nyie wapumbafu sana hamjui kupendeka kabisa yaani"

"KKwanini unaongea hivi Careen " Nilimjibu huku akinijibu

"Naweza kukuambia siku nyingine ila nahsi usingizi hatari, naomba nijilaze kwenye mapaja yako kama hutojali"

Kauli ya careen iliniacha mdomo wazi kwani fursa nyingine inajileta yenyewe ndani ya nyumba tukiwa wawili tuu. "Kawanini mama yako alikuambia nijekukulinda leo"

"Mama anakuamini sana kuliko hata mimi" Careen aliongea akiwa kajilaza tayari juu ya mapaja yangu. Mkono wangu uliokosa heshima uonapo maungo ya mwanamke mzuri mbele yangu yaligua juu ya chuchu za careen ambaye alibaki Kuwa kimya akionekana kama kalala. Nilifanya kama bahati mbaya niliingiza mikono yangu ndani ya kishati huku nikiipitisha katikati ya chuchu mchongoma za careen. Nilipoona hakuna anaye nizuia kwa sasa niliminya moja ya chuchu zake huku nikiwa nauoga kiasi. "Mmmmmh" Mguno wa puani alioutoa careen ulinipa ujasiri wa kuendelea na mchezo wangu wa kutomasa chuchu zake kwa mikono yote miwili. Niliutoa mkono mmoja nikaupeleka mpaka yalipo mapana yake na kuanza kuyaminya minya kama nayafinya hivi.

Careen alifumbua macho yake huku akinitazama kwa macho malegevu sana. Alinishika T-shirt yangu na kunivuta karibu na midomo yake na kuanza kubadilishana nae mate muda wote. Nilimuweka juu ya mapaja yangu huku akinifuata kichwa changu kilipo nilikipandisha zaidi kisketi chake huku nikimtazama tena usoni mwake. Nikipokea tena lips zake laini iliyonifanya kuanza kuinyonya. Nilishusha vidole vyangu vya mkono wa kushoto na kuanza kusugua juu ya ikulu yake mpaka alipoanza kuzungusha tena kiuno chake bila kujielewa. Sauti yake ya puani iliniongezea midadi kummalizia kumvua nguo zake na kubakiwa na kufuri lake la pinki. "Nilimuinua juu kidogo huku Nikimalizia kuishusha suruali yake na kumuweka juu ya upaja wangu huku nikipitisha mhogo wangu ndani ya ikulu yake.

Jinsi alivyokuwa anazungusha kiuno akijipimia utamu wake aliishia kunishika tuu mabega mara anikumbatie yaani ilikuwa ni zaidi ya fujo. Ilifika wakati nilimuona akizungusha kiuno kwa kasi kubwa sana huku akianza kunikumbatia Kwa nguvu baada ya muda mfupi alijikuta aking'ata begani huku akimalizia kupiga dafu. "Pole Muddy wangu ni utamu tuu ndio umesababisha" Alikuwa akinipulizia kwa kutumia midomo yake juu ya bega alilong'ata japo hakuniumiza sana. "Usijali" Nilimjibu nikiwa nimelala kwenye kochi huku naye akiwa juu yangu. "Chumba chako kikowapi" Nilimuuliza huku akinisontea moja ya mlango uliokuwa mbele yetu niliinuka na kumbeba hadi ndani ya chumba chake nilimtupia kitandani huku nikimfuata kwa juu kilichofuata ilikuwa ni kuepeana raha mpaka pale kila mmoja wetu alipotosheka na kufikia hatua ya kulala.

Asubuhi na mapema nilistuka nikakutana na sura ya Careen akiwa kalalia mkono wangu huku miguu yake ikiwa juu ya mapaja yangu na mkono wake mmoja akiwa kaupitisha kwenye kifua changu uku akiwa kasinzia. Nilimtazama kwa macho ya matamanio maana Careen alikuwa kajaliwa uzuri ambao nilihisi alikuwa nao mama yake kabla hajazeeka. Nilipotaka kuutoa mguu wake nilikuwa nimechelewa nilishangaa mtu akipanda juu yangu akiwa kaamuka tayali huku akileta lips zake kwangu na kuniomba nimpatie huduma ya Mate. Baada ya dakika chache hakuna aliyekuwa anakumbuka kuwa pamekucha kilichokuwa kinasikika ndani ni sauti tamu ya Careen iliyokuwa inanifanya niongeza kasi ya kupampu mashine yangu. Tulijikuta tumejitupa pembeni wote mara baada ya kifikishana kileleni wote. "Ahsante Muddy" Careen aliongea huku nikimuacha kalala na mie kwenda kuoga kabla sijaondoka kabisa eneo hili.

Ilikuwa kawaida yangu Tangu nimalize mtihani wangu wa kidato cha nne nilikuwa namsaidia mama kumsambazia vitenge vyake kila siku. Nikiwa natoka kusambaza vitenge vyangu maeneo ya Tegeta ambako nilipeleka mzigo kwa Dada mmoja aliyekuwa anachukua vitenge kwa mama simu yangu ilikuwa ikiita nilitazama nikakuta mtu Aliyekuwa anapiga ni Suddy, "oya mwana una zali hatari uko wapi muda huu", nilisikia suddy akitamuka maneno bila breki. "Ndio nafika Moroco natokea Tegeta" "Ukifika Ufundi ushuke uje gheto mara moja sawa mwanangu" Nilimkubalia huku akikata simu yake. Nilipofika Ufundi aikusita kushuka na kuchanja hadi yalipokuwa makazi ya Suddy na kupitiliza hadi mlangoni mwake nikingoja Afungue mlango. Ila kabla sijaingia ndani nilimuona yule dada tena akiwa anatoka bafuni kuoga akiwa anakanga moja tuu, hakuwa mgeni machoni pangu kwani tayari nakumbuka ndio yule tuliyekutana nae kwenye Shughuli hadi nikakimbizwa na bwana yake, Alinipungia mkono huku akiingia ndani kwake na mie nilikuta tayali nimeingia kwa Suddy aliyefungua mlango.

Nikimuona Suddy akitoka nje bila kuniaga ila baada ya dakika moja kupita mlango ukifunguliwa tena huku nikimuona yule dada akiingia ndani bila hata kupiga hodi na mlango akiufunga na kitenge alichokuwa amevaa akakidondosha . Alinifuata hadi kitandani na kunikalia kwa juu akiwa uchi kama alivyozaliwa huku akianza kunitomasa mwili wangu. Hata mie nilimpa ushirikiano mzuri lakini cha ajabu mpaka zinapita kama dakika kumi ukuni wangu hata kusema utikisike kusimama haukuonyesha dalili yeyote. "Mungu wangu nini hii tena" Nilijiuliza huku nikimtoa dada huyu juu ya mapaja yangu akionekana mwenye hamu za kusuguliwa...




Nikimuona Suddy akitoka nje bila kuniaga ila baada ya dakika moja kupita mlango ukifunguliwa tena huku nikimuona yule dada akiingia ndani bila hata kupiga hodi na mlango akiufunga na kitenge alichokuwa amevaa akakidondosha . Alinifuata hadi kitandani na kunikalia kwa juu akiwa uchi kama alivyozaliwa huku akianza kunitomasa mwili wangu. Hata mie nilimpa ushirikiano mzuri lakini cha ajabu mpaka zinapita kama dakika kumi ukuni wangu hata kusema utikisike kusimama haukuonyesha dalili yeyote. "Mungu wangu nini hii tena" Nilijiuliza huku nikimtoa dada huyu juu ya mapaja yangu akionekana mwenye hamu za kusuguliwa.

SONGA NAYO...

"tatizo nini" Binti aliangalia usawa wa mashine yangu ambako hakuona hata dalili ya kutuna kwa mashine yangu. Mpaka akabaki kaduwaa kama nilivyoduwaa mimi. Aliinama na kunivua suruali yangu na kumuingiza jogoo wangu mdomoni mwangu na kuanza kunyonya koki yangu huku akiichua lakini hapakuwa na mabadiliko yoyote yale zaidi ya kuendelea kulala tuu. "Mungu wangu nimefanya nini lakini hii inakuwa hivi katika siku ambayo sikutegemea kukutwa na hali kama hii. Sikuwa na ujanja zaidi ya kulala kitandani tuu huku nikiwaza hii hali inakuwaje nakuwa hivi mbele ya mwanamke mzuri tena mwenye mvuto wake. Dada huyu alichukua kanga yake mlangoni na kuanza kuondoka ndani huku nikiwa nimebaki pekew yangu ndani. "Nikiwa sawa atanijua mie nani, niliishia kuona tuu makalio yaliyopotea mbele ya macho yangu na mlango ukifungwa.

Niliona safari ya kwenda nyumbani ni kama Tegeta mpaka Kigamboni. Kiufupi nilikiwa ninechanganyikiwa kwa wakati huo sikujua hata napona vipi maana kheri ukaugua ugonjwa wowote mwilini lakini sio jogoo kutowika. Nilifika ndani nikapitiliza chumbani bila hata kunsalimia Mama mdogo niliyempita sebuleni kwa wakati huo, aliniangalia hadi nilipoingia chimbani kwangu hakujua hapo nilipo natamani hata miungu ine kunisaidia kabla ya mambo mengine kuvuma mtaani. "Au kwa kuwa nimefanya mfululizo nini" Nilijiuliza huku nikijitupa kitandani kwangu ilinibidi kuchukua simu yangu na kuanza kutafuta namba ya Suddy maana nimeondoka bila hata kumtaarifu kabisa. Mlango wa chumbani kwangu ulifungulia aliingia Mama mdogo akiwa kanuna nilijua kwa sababu siKumsalimia kabisa hata kumsemesha. "Ndio tabia gani hiyo Muddy jamani kama tumelala wote afu mwenzio nina hamu na wewe huku pananiwasha ujue" Alionge kwa kudeka mara baada ya kukaa na kujilaza mapajani mwangu huku akinishika shika kidevu changu ambacho hakina hata ndevu moja. "Tatizo nini mbona umepoa hivyo" Aliniuliza ila sikumjibu kitu zaidi ya kuanza kumpapasa nikijaribu huenda itasimama mashine yangu au lah. Kila nikijaribu hapakuwa na mafanikio yoyote yale hadi pale Mama mdogo naye aliposhitukia kwani hapakuwa na dalili yoyote mashine kusimama. "Wewe ndio nini sasa hii mbona sielewi" "Unavyoona hata mie sielewi hata kimoja ujue" Nilimjibu nikijua tayari maisha yangu tena yameanza kuharibika taratibu bila kutegemea. "Inuka twende hospital hapo Kambini pale Barracks haraka" Niliinuka haraka kwani nilichokuwa nakitafuta ni kumuonyesha mama mdogo kiakili asijue kama nilikuwa kudanga mtaani huku yakanifika shingoni. Niliinuka na kwenda mpaka Hospitalini kwani palikuwa sio mbali sana na nyumbani. Tulifika na kufuata huduma zote za pale Hospitalini hadi kumfikia dokta aliyemtoa mama mdogo na kubaki na mimi ili anisikilize maelezo yangu. Nilimuueleza tatizo lilipoanza hadi kufikia hapo nilipo kwa sasa. "Hili Tatizo limekuanza leo au lini" Limenianza leo hii mida ya mchana"

"Mdogo wangu punguza uhuni, tatizo hili huwakumba pale unapofanya ngono mfululizo kwa zaidi ya Siku nne tena ukifanya usiku na mchana, ila usijali utakaa sawa muda wowote utakuwa sawa na utapona maana sio ugonjwa"

"Ni kweli dokta uyasemayo ila nimejifunza kitu siwezi tena kurudia kosa"

"Kwanza unabahati tuu wengi huletwa wamezimia, ila ntakupa dawa ya kusafisha njia za damu maana mpaka inatokea hivi njia ya mfumo mzima imechafuka sawa kijana" Alinipa dawa ambayo hata sikujua inaitwaje huku akinisihi kunywa mara mbili kwasiku mpaka dozi itakapoisha.

Nilitoka kwenye chumba cha dokta na kumpitia mama yangu mdogo huku nikimwambia muda sio mrefu ntakuwa sawa, Tulianza kutembea kuelekea nyumbani ila wakati tunamalizia kushuka ngazi za Hospitalini nilihisi kizunguzungu kikali sana ambacho kilipelekea kuanguka chini huku nikipoteza fahamu.

******************

Mwanga ulionijaa machoni mwangu ndio ulikuwa wa kwanza kuuona nikikutana na taa nyeupe iliyokuwa juu ikimulika chumba hiki niliangalia pande zote nilipotaka kuinuka nilihisi mkono wangu kuwa mzito kiasi niliangalia pembeni na kuona dripu ya maji ikiongiza maji kupitia mkono wangu wa kushoto. "Niko hospitalini inamaana" Nilijiuliza mara kadhaa nikijiangalia mkono wangu uliwekewa sindano ya dripu ya maji. Nilianza kukumbuka taratibu ni kitu gani kumbukumbu yangu ilikoma pale nilipojihisi kizunguzungu na kuanguka nilipokuwa nashuka kuelekea nyumbani. Kilichonistua zaidi ni kukimbuka kuwa mashine yangu haiwiki. Nilipeleka mkono wangu nikishanga kukuta kuna boksa tuu wakati nilikuwa nimevaa suruali. Nilijaribu kuvuta hisia ili nione kama ntakuwa nimekaa sawa au bado. Baada ya sekunde kadhaa mara baada ya kujichua kidogo nilihisi hisia kuamuka na jogoo wangu kuinuka taratibu. "Waooooooooh Bingoooo" Nilitamani kuruka ila nilitulia mara baada ya nessi mmoja kuingia kwenye chumba nilicholazwa ila kwa bahati mbaya alikuta nikiwa nimeitoa koki yangu nje ikiwa imesimama dede. Macho ya Nesi huyu yaliishia kuitazama koki yangu ilivuosimama Dede nilishangaa kumuona kama kaganda ndipo nilipokumbuka nimeacha duka wazi. Nilirudishia haraka aisiendelee kutazama sinema ya kikubwa. "Oooh umeamukaa jamani, pole" Aliongea huku akinisogelea cha ajabu alikuwa aking'ata lips zake kana kwamba anataka huduma ya voda fasta. 

Aliniangalia kwa macho malegevu tofauti na ya mwanzo aliyokuwa anaingia nayo. Hakuongea chochote zaidi ya kunisogelea huku akichomoa ile dripu ya maji niliyokuwa nimetundikiwa na kutoa sindano mwilini mwangu. Aliinuka na kwenda kufunga mlango wa wodi kwa funguo ikimaanisha hakuna mtu kutoka wala kuingia. Alirudi hadi nilipokuwa nimelala huku akiniinua na kuniweka ukutani mwa hospitalini hii huku mkono wake akiuweka chini ya boksa yangu kwenye jogoo wangu aliyeanza kusimama mara baada ya kuguswa na mikono laini ya nesi huyu.........





Aliniangalia kwa macho malegevu tofauti na ya mwanzo aliyokuwa anaingia nayo. Hakuongea chochote zaidi ya kunisogelea huku akichomoa ile dripu ya maji niliyokuwa nimetundikiwa na kutoa sindano mwilini mwangu. Aliinuka na kwenda kufunga mlango wa wodi kwa funguo ikimaanisha hakuna mtu kutoka wala kuingia. Alirudi hadi nilipokuwa nimelala huku akiniinua na kuniweka ukutani mwa hospitalini hii huku mkono wake akiuweka chini ya boksa yangu kwenye jogoo wangu aliyeanza kusimama mara baada ya kuguswa na mikono laini ya nesi huyu.........

SONGA NAYO....

Nilijikuta nikiwa kama mtu aliyepigwa na shoti mwili mzma maana huyu nesi alijua wapi akinigusa ndio atakuwa kanikamata haswaa, nilibaki kumtazama akiendelea kuchua muhogo wangu kwa unaridadi mkubwa sana kwani nikijikuta nikitoa miguno ya haja tokana na utamu ninaoupata sikutaka niwe mshamba katika mchezo huu wakati mie mwenyewe fundi. Nilimshika na kumgeuza yeye ukutani huku akiniachia Kishundu chake kikichopanda kwa juu kidogo huku nikipitisha mkonono mmoja kwa mbele ilipokuwa kitumbua chake maridhawa kilitotaka huduma yangu. Nilikipansisha kile kinguo chake cha kazi wanachovaaga na kukuta kufuli likiwa limeweka ulinzi kwenye mlango wake wa kuingilia ikulu, niliingiza mkono wangu kwa kupitia juu ya kufuri lake na kuanza kuchezea kitumbua chake maridhawa mida wote nilikuwa kama ninechanganyikiwa kwani muda sio mrefu nimetoka kuzimia kwa tatizo ambalo najua chanzo ni nini. Hii kweli ndio inaitwa sikio la kufa halisikii dawa. Nilimuinamisha mara baada ya kuona kakaa sawa kwa ajili ya mechi nilikiinua kile kigauni chake mpaka kiunoni mwake na kupanua upande mmoja wa chupi yake ambao niliamini utanifa nafasi ya kuona kitumbua chake ili kiliwe. Nilipitisha mhogo wangu huku akishika ukuta kisawa sawa huku nikianza mechi ya kwichi kwichi ndani ya wodi hii bila hata uwoga. Hakuna akiyetambua kwamba hapo ni eneo la hatari na isitoshe kulikuwa na camera kwenye kila wodi ya hospital hii kwa ulinzi zaidi tuliendelea kujimwaga bila hata aibu.

Mpaka tunamaliza kufika kileleni wote wawili hakuna aliyekuwa na hamu na mwenzie nesi huyu alitoka nje ya chumba hiki na kuelekea nje ilabaada ya kama dakika 30 alirudi mkononi akiwa na kilambo mkononi mwake cheusi alinipa na kukuta chips zikiwa zimeletwa na juisi ya Energy. Nilizifakamia maana nilishikwa na njaa kali mara baada ya kumaliza lile limchezo. "Umeoteaje kama nina njaa" "Nilihisi maana sio kwa utamu ulionipa, hivi unaitwa nani vile" "Ooooh mie naitwa Muddy, jina lako nani na wewe" "Naitwa Lizzy... Unaweza nipa namba yako Muddy"

"Hilo halina shida, hii hapa 0754404151". " Ok powa ntakutafuta badae maana hapa umenichanganya mwenzio kwa mapigo hayo". Nesi huyu aliondoka na hakurudi tena mpaka nilipopitiwa usingizi usiku ule.

Nilikuja kushtuka Asubuhi mara ya mama kuingia ndani akiwa na mama mdogo waliokuja kuniona, mwili mzima ulikuwa umechoka sana kwani nimejikuta nikifanya tena mapenzi ila mtu wa tatu kuingia ndio alinishangaza alikuwa ni Careen na sikujua nani kampa hizi taarifa za uwepo wangu hapa hospitalini. "Careen umejuaje kama nipo huku" "Jana nilipokukosa ilibidi niende hadi nyumbani kwenu ndio nikakuta taarifa hii hata hivyo sikurudi tena nyumbani nilala hapo hapo kwenu mpaka pamekucha tumekuja wote kukuona". Mama alitoa mswaki na dawa ya meno aliyoniletea akinipa niende nikanawe ili nije ninywe chai waliyoniletea. Mama mdogo na Careen walijikuta wote wakitaka kunishika ili mmoja wapo anisindikize nje, ikabidi mama mdogo aniachie nilitoka na Careen kwenda kunawa nje. "Mpenzi nimemiss kukuona hatari hadi Leo nimeacha kwenda chuo kuna kipindi cha Asubuhi kwa ajili yako".. "Mmmh careen hujui hii inaweza kuwa hatari kwako kimasomo unavyoshindwa kuhuzulia masomo yako" Hapana hilo halina shida. Careen alinijibu huku akinishika usawa wa kiuno nakuanza kutembea hadi yalipokuwa mabafu ya hospital hii.

Tulirudi ndani ya wodi na kuwakuta mama na maMdogo wakiwa wanatusubiri ila tulikuta kuna mdada mmoja aliyevaa mavazi kama dokta huku machon mwake akiwa kavaa miwani. "Ooooh Muddy unajisikiaje kwa sasa" Aliongea kwa sauti ya upole sana akionyesha ni mtu anayependa kutoa huduma nzuri kwa wagonjwa. "Nashukuru mungu naendelea vizuri" Nilijibu huku nikimwangalia jinsi alivyojaliwa makalio ya wastani yaliyoendana na kimo chake cha urefu na kiuno kikitenganishwa vizuri haswaa.

"Mama Muddy, itabidi mwanao ataruhusiwa kesho majira kama haya sawa mama yangu" Mama aliishia kutikisa kichwa kukubaliana na dokta huyu aliyetoka ndani na Chumba hiki tukibaki na mama mdogo na careen kwani mama naye aliondoka na kwenda kazini kwake. Ilikuwa ni kupiga Story wakati huo dokta mkuu alikuja naye kuniona huku akinicheka kwani anajua chanzo cha tukio zima mpaka nilipofikia.

"Utakuja kufa mdogo wangu kwani ulitekwa nini" Niliishia kucheka tuu huku dokta akiondoka na kunikumUsha kunywa dawa aliyonipa jana yake. Mpaka inatimu saa kumi na mbili jioni Mama mdogo na careen waliondoka kwani muda wa wao kuwa hapo uneisha. Nilishika shuka langu na kuanza kuutafuta usingizi kwa nguvu ili angalau niwahi kusinzia. Nilkuja kushtuka usiku sikunua ni saa ngapi ila baada ya kama dakika kumi kupita tangu niamuke nilihisi kitasa cha wodi niliyolazwa kufunguliwa. Nilitazama ili nimuone ni nani aliyeingia muda huu. Aliingia yule dokta wa kike aliekuja asubuhi.

"Oooh Dokta mbona usiku sna huendi kulala maana muda huu militegemea upo kwa mmeo" Niliongea kwa utani iliyopelekea kucheka kwake. "Kumbe muddy una utani , hii mali haina mtumiaji ndio shida. " Ina maana hujaolewa au maana sikuelewi yaani" "Ninaye ila ndio hivyo kitambi kimemuathiri". Aliongea akija karibu yangu na kunionyesha simu yake alionigeuzia simu ile sikuamini macho Baada kuona video ikinionyesha mimi na Lizzy nesi niliyefanya nae mapenzi jana usiku. " Naomba tuu unionjeshe huu utamu maana naishi na mwanaume kibamia hanitoshelezi hamu yangu kiukweli"

"Hapana siwezi kufanya hivi"

"Kazi ya uyu binti ipo mikononi mwako ukikataa tuu nasambaza kwenye group la wakubwa wa kazi na atafukuzwa mara moja" Aliinuka na kutoa kikoti chake akibakiwa kimini chake akichoanza nacho kukitoa kwa kuanza kufungua zipu iliyokuwa pembeni Mwake.....




"Kumbe muddy una utani , hii mali haina mtumiaji ndio shida. " Ina maana hujaolewa au maana sikuelewi yaani" "Ninaye ila ndio hivyo kitambi kimemuathiri". Aliongea akija karibu yangu na kunionyesha simu yake alionigeuzia simu ile sikuamini macho Baada kuona video ikinionyesha mimi na Lizzy nesi niliyefanya nae mapenzi jana usiku. " Naomba tuu unionjeshe huu utamu maana naishi na mwanaume kibamia hanitoshelezi hamu yangu kiukweli" 

"Hapana siwezi kufanya hivi"

"Kazi ya uyu binti ipo mikononi mwako ukikataa tuu nasambaza kwenye group la wakubwa wa kazi na atafukuzwa mara moja" Aliinuka na kutoa kikoti chake akibakiwa kimini chake akichoanza nacho kukitoa kwa kuanza kufungua zipu iliyokuwa pembeni Mwake......

SONGA NAYO...

"hapana kwa sasa siwezi kufanya sababu bado naumwa nisamehe sana dada yangu fanya uvae nguo zako labda kama siku ingine" Niliongea huku nimekaza sura huku nikimwangalia Dokta huyu wa kike aliyekuwa anataka kushsha sketi yake ila nikamzuia kwani nisipojichnga mwenyewe afya yangu itanipa madhara. "Naomba hata kimoja tuu muddy unaonekana kama hunipendi pamoja na uzuri wangu wote huu" Aliongea akipandisha sketi yake ya kimini na kuvuka mapaja juu kidogo japo alikuwa alikuwa annipa hisia kali sana kuwa ngumu kuzikwepa hisia zake ila nilijitahidi sana kuzishinda. Hisia zake jambo ambalo nilifanikisha kwa asilimia kubwa. "Kwahiyo muddy ndio hutaki kweli" Aliongea kwa upole na mie nikiweka msimamo wangu. "Nikipona unitafute sawa" Aliniangalia kwa macho ya uchu nikayakwepa yasije niingiza kwwnyw ushawishi ambao sikutaka muda huo unikute pale hospitalini. "Ila niahiidi hutoweza vujisha hizo video" Niliongea kwa huku macho yangu nikiwa nimemkazia akimalizia kuvaa lile koti lake jeupe huku akiishia kutikisa tuu kichwa kikibaliana na mimi. 

Siku ile ikawa imepita na Asubuhi yake niliruhusiwa kutoka na mwenda nyumbani japo nilikuwa nikimkwepa sana Mama mdogo kuendelea na ule mchezo mchafu kabla hata hatujaahitukiwa. "Mama unaonaje ule mchezo tukaauacha kabisa isije ikawa aibu humu ndani" 

"Muddy kwa utamu wako huu hata mtu aniambie anipige risasi siwezi kuuachia unataka nani aufaidi sasa"

"Mama lakini hii ni hatari sana kwetu hukumbuki baba akivyomkali akija kujua atanitoa macho mimi"

"Kwani yeye hajui kuwa kuna hisia hazizuiliki kabisa nafuu hata akijua ntauwa huru kujilia utamu wanu bila hata kuingiliwa kwenye anga zangu tena nakuwa na Uhuru"

"Kwani huna mwanaume wa kukufanyia haya yote mpaka uje uning'ang'anie mie lakini, huoni hii ni dhambi mbele za mungu"

"Siku unakuja mbele yangu hukutambua kuwa ni dhambi asa mie nishaonja utamu nimenogewa staki hata kusikia harufu ya neno kukuacha". Nilijikuta nikishindwa hata kula hata ugali uliokuwa mezani kwani mama mdogo kachizika kabisa mbele yangu hataki hata kuaisikia sauti ya mimi na yeye kuachana. Nilimuangalia akiendelea kula ugali aliopika yeye mwenyewe ili niendelee kula chakula chake niliinuka nikiwa nimechoka kimawazo haswa kwani tayari nimeingia katika majaribu makubwa kwa sababu ya tamaa zangu za kufanya ngono. Simu yangu ilianza kuita nikaipokea na kukutana na sauti ya Dokta ambaye nimetoka kuachana naye jana usiku. "Kesho tukutane Mbagala rangi tatu ndio kuna uhuru mkubwa kwangu mimi kufanya kila kitu na wwe na usipofanya hivyo kesho lazima nipeleke hii video kwa mwajiri wake Lizzy ili afukuzwe kazi" "Usijali kesho tutafanya mwenyewe utafurahi" Nilimjibu kwa sauti ya upole kwani sina ujanja zaidi ya mimi kukubali ili kuokoa kazi ya Lizzy ambaye alijitoa kunipa utamu usiku ule. 

Sikutaka tena kuonana na mama mdogo mpaka ilipotimu usiku na mie nikaenda zangu kulala huku nikijatahidi kuyapunguza mazoea na mama mdogo ili mama asije kushtukia mchezo uliopo. 

Asubuhu iliyofuata mama alikuja kuniamusha huku akinijulia hali, nilimjibu nipo sawa kwani nilikuwa naweza hadi kwenda kusambaza mzigo wake mwingine tena. "Itabidi ukitoka Kariakoo uende kwa Mama said ukachukue zile pesa maana aliniambia baada ya siku tatu nifuate na leo hii ya nne" Nilimkubalia mama kwa kutikisa kichwa kukubaliana naye. Alipondoka tu nilivuta shuka langu na kulala mawazo yakiwa yamejaa kwani najikuta nakuwa mtumwa wa hisia za wanawake kibao tokana na tamaa zangu.

"Muddy hata kunikumbuka tuu hakuna jamani nimekumiss dia" Sms ya mdogo wake said Rahma iliingia na kunifanya nicheke kidogo na kumjibu nakuja leo nyumbani kwao. Alijibu sms iliyoonekana kumfanya afurahi kidogo. Kwa maelezo ya mama nilifanya alivyoniambia Kariakoo na kuchukua magari yaliyonifanya nipitilize hadi tandika alipokuwa mama said. Nilifika na kumkuta mama said siku hiyo alikiwapo huku akinipa ile pesa ambayo ni ya vitenge. "Rahma msindikize mgeni hata mpaka kule kituoni" Nikimuona Rahma akiinuka haraka maana kama alikuwa anasubiri tuu aambiwe hicho kitu. Baada ya hatua chache Rahma alianza kudokeza. "Muddy hunipendi hata salamu hakuna" "Hapana nilikuwa naumwa huoni hii sindano ya drip" Nilimuonyesha eneo nilipokuwa nimechomwa sindano. Aliushika mkono wangu na kuanza kuuangalia nilishangaa nikipigwa kikumbo cha nguvu na mikono yetu ikitawanywa na mtu aliyeingia kati yetu.

"Hivi Muddy umempa nini dada yangu, na wewe rudi nyumbani haraka"

"Jamani nilikuwa namwangalia tuu mkono wake alikuwa anaumwa"

"Kwani wewe ndio dokta mpka ,na wew nakupa onyo la mwisho nikija kukuta tena na dada yangu ntakufanya kitu kibaya. Said alikuwa kafula kwa hasira sikutaka kuvishana nae kabisa naniliamua kuondoka tusije jaza watu. 

Nilifika na kupanda gari za kuelekea mbagala ambako yule dokta aliniambia nikakutane naye nilifika muda muafaka kwani alipokuwa anashuka na mie nilikuwa nashuka kwenye daladala nilikutanisha macho yangu na yake huku akiachia tabasamu panasha lililoonyesba zuri wake. Tulikutana huku yeye akiwa mwenyeji wangu tulifika eneo kulikuwa na nyumba lakini hapakuwa na wakaaaji ndani yake alitoa funguo kwenye begi lake na kufungua. "Usihofu hii ni nyumba yangu japo mme wangu hafahamu" Kitendo cha kuingia tuu ndani hakuna aliywsubir mwamuzi aje kupiga filimbi nilimdaka kwa nguvu zote na kuanza kumnyonya lips zake kwa fujo huku nikipitisha mkono wangu kwenye matiti yake makubwa kiasi huku nikiyaminya minya kwa nguvu hadi kumfanya aanze kutoa ukelle wa haja mle ndani. Nilikishika kinguo alichovaa na kukipandisha juu na kukutana na kufuri ambalo tayari limeshaanza kuloa ndani kwa ndani. Sauti ya mlango kuvunjwa ilitusitua wote tukiwa tumekumbatiana macho yangu yakikutana na mabunsa wawili walioingia ndani na mtu kibonge kidogo akiingia ndani nilioomtazama dokta niliyeingia naye akishika mdomo wake kuonyesha yule ni mumewe....




Kitendo cha kuingia tuu ndani hakuna aliywsubir mwamuzi aje kupiga filimbi nilimdaka kwa nguvu zote na kuanza kumnyonya lips zake kwa fujo huku nikipitisha mkono wangu kwenye matiti yake makubwa kiasi huku nikiyaminya minya kwa nguvu hadi kumfanya aanze kutoa ukelle wa haja mle ndani. Nilikishika kinguo alichovaa na kukipandisha juu na kukutana na kufuri ambalo tayari limeshaanza kuloa ndani kwa ndani. Sauti ya mlango kuvunjwa ilitusitua wote tukiwa tumekumbatiana macho yangu yakikutana na mabunsa wawili walioingia ndani na mtu kibonge kidogo akiingia ndani nilioomtazama dokta niliyeingia naye akishika mdomo wake kuonyesha yule ni mumewe....

SONGA NAYOOO...

Mwili wote ulikuwa ukitetemeka kufuatia ujio wa watu watatu ndani kwa macho makali aliyokuwa ananiangalia Mzee huyu ambaye ni mumewe wa dokta. Niliinuka huku nikijikaza kuanza kuvaa nguo zangu ambazo nilikuwa nimeanza kuzipunguza mwilini kwa ajili ya mchezo uanze kati yetu. "Fanyeni mnavyotaka" Mzee huyu alitamka na kumshika mkono mkewe na kutoka naye nje nikibaki mimi ndani na wale jamaa wawili waliokuwa wamejaa kweli miili yao. Jamaa mmoja alikuja na kunishika shingo yangu na kunipandisha juu ya ukuta huku akinipiga ngumi usawa wa tumbo na kuniachia nikaanguka chini. Maumivu ya tumbo yalinifanya nijiinamie chini huku jamaa hawa wakinizuia kutoa ukelele wote. Nilijitahidi kuinuka nilipokuwa nimelala tokana na maumivu ila nilishtuka nikipigwa mtama ulioniudisha chini na kuanguka kiubavuubavu na kupelekea maumivu makali usawa wa mbavu zangu.

ITAENDELEA


0 comments:

Post a Comment

Blog