Search This Blog

Sunday 5 March 2023

NCHI YA DHAMBI - 2

  


Chombezo : Nchi Ya Dhambi

Sehemu Ya : Pili (2)



"Njoo tulale!" Mumewe alimnyooshea mkono, mkewe huyo hakuupokea, akapanda kitandani akilivua gauni lake la kulalia na kulala pembeni wakiachiana mita kadhaa bila kugusana


 Zilipita dakika kama tano (05) kila mtu akiwa kimya bila kumsemesha mwenzake, mfalme Longe akaanza kuupeleka mkono taratibu kwenye matako ya mkewe huyo aliyelala kifudifudi akaanza kumshika shika, lakini mkewe akautoa mkono wake, lakini hakukata tamaa, akaupeleka tena mkono ukakamatwa lakini safari hii mfalme Longe hakukubali mkono wake urudishwe akaukaza kisha akaukamata mkono wa mkewe kwa mkono mwingine akainuka alipokuwa amelala na kumlalia mkewe kwa juu, huku akimbananisha mikono yake kwa nyuma asifurukute


"Unataka nini niachee!!" Malkia Suze alifurukuta kujaribu kujinasua mikononi mwa mumewe huyo mwenye mabavu'


"Nataka chakula changu kilichokufanya mpaka sasa unaitwa malkia, hujanipa siku nyingi!" Mumewe alimnong'oneza sikioni


"Sikupendi sikupendi sikupendi, na sihitaji tendo nawewe naomba niachee??"


"Nataka nataka nataka hata kama hunipendi nitakula tu leo!" Mfalme Longe alijibu na kumchomeka Jogoo' wake ghafla na kwa lazima kwenye uchi wa mkewe huyo akiwa amemkamata mikono asifurukute


"Sitakiiiiiii!!!" Malkia Suze alipiga mayowe akijaribu kujinasua mikononi mwa mumewe huyo lakini asiweze, ndo kwanza mfalme Longe kwa nyuma akaanza kumsugua mkewe huyo kwa lazima bila ridhaa yake.....



.........

.......


 Hatimae kulikucha asubuhi ndani ya nchi ya Toro, asubuhi na mapema, mwanadada Susi mdogo wa malkia Suze alikuwa akizunguka zunguka tu na kutembea tembea kwenye ngazi, akiitafuta hereni yake moja, ya dhahabu, aliyopewa zawadi na mchumba wake, mfanyabiashara mkubwa wa madini


  Susi alishakumbuka kuwa huenda ilianguka chumbani kwa dada yake, malkia Suze na mumewe mfalme Longe, muda ule alipokuwa akifanya mapenzi na mume huyo wa dada yake, kabla dada yake hajarudi kutoka safari aliyoenda


  Mara mlango wa chumbani kwa malkia Suze ukafunguliwa, mwanadada Susi akiwa hachezi mbali na eneo hilo akivizia dada yake huyo atoke tu ili aingie ikiwezekana akachukue hereni yake hiyo moja


 Malkia Suze alitoka taratibu chumbani uso wake ukiwa umekunjamana kwa hasira na macho yamekuwa mekundu, Susi alipomwona ikabidi azuge tu na kujipendekeza kumfuata ili asigundue chochote


"Dada vipi unaumwa?" Alimfuata na kumshika

"Siumwi!" Malkia Suze alimjibu kwa mkato

"Sasa mbona uso huko hivyo na macho mekundu?"


"Nipo sawa tu, nimekuona unatembea tembea unatafuta nini?"


"Hapana dada kuna mambo tu natafakari!"

"Kweli??"

"Kweli, kwanini?"

"Nikahisi kuna kitu labda umepoteza!"


"Hapana dada!"


"Na hii hereni ni ya nani Susi??" Malkia Suze alimwonyesha mdogo wake huyo ambae alionekana kushtuka kidogo 


"Hereni yang....uu!" Susi (28) alibabaika mbele ya dada yake


"Imefikaje fikaje chumbani kwangu??!!" Malkia Suze alimwuliza mdogo wake huyo akimkazia macho.....



InaendeleaNCHI YA DHAMBI

SEHEMU YA ~ 05



   **********


  Kijana askari, Lari, leo zamu yake iliisha ya kukaa lindoni ndani ya jumba la mfalme (kasri) alikuwa nje akipewa posho ya siku na mkuu wake wa kazi, jenerali Isba, ili aruhusiwe kurudi nyumbani baada ya kumaliza siku zake tatu za kulinda jumba la mfalme, hasa upande wa ndani kabisa wa chumba cha mfalme Longe na mkewe Suze, bila kulala usiku na mchana


Wakati akipewa maelekezo kadhaa na jenerali huyo, bi. Tusa mama wa mfalme Longe alitokea na kuona Lari akiaga akitaka kuondoka


"Asiondoke huyo kijana!" Bi Tusa alimwambia jenerali Isba


"Kwanini mtukufu mama mfalme?" Jenerali Isba alishangaa na kijana Lari mwenyewe (26)


"Sihitaji maelezo mengi, aongezewe siku tatu za kazi!"


"Sawa mtukufu mama wa mfalme!" Jenerali Isba aliinamisha kichwa chake kukubaliana na amri ya mwanamke huyo, ambae taratibu aligeuka na Lari akamfuata nyumanyuma


"Mtukufu mama mfalme kwanini unanizuia nisirejee nyumbani?" Lari alimwuliza mwanamke huyo akageuka na kumtazama kwanza kwa sekunde kadhaa


"Sababu nakuhitaji, sipendi uwe mbali namimi!" Mama huyo (68) alimjibu kijana Lari (26) kisha akamkonyeza na kumpiga busu la hewani na kuendelea na safari yake, Lari akabaki amesimama tu asijue cha kufanya akabaki tu akitikisa kichwa, na mara ghafla mikono kutokea nyuma ikamfunika macho


"Nani??!!" Lari aliuliza akitaka kuitoa mikono hiyo


"Otea nani?" Sauti ya kike ilimwuliza 

"Cesy??" Lari alijibu

"Ndiye mimi!" Msichana huyo akaitoa mikono yake machoni mwa kijana Lari ambae aligeuka wakatazamana


  Hakuwa mwingine ila ni binti mfalme Cesy (22) msichana mrembo ambae alitokea kumpenda sana kijana Lari


"Unavyofanya hivyo mtu akituona utanitia matatizoni Cesy wakati tuna urafiki tu na hatulingani mimi ni mtumishi nawewe ni binti mfalme, matabaka mawili tofauti!" Lari alimwambia msichana huyo


"Matabaka ndiyo nini, mimi nakupenda Lari sana na nipo tayari kwa lolote lile!" Cesy alimjibu


"Cesy....!"

"Shiiiiii!" Msichana huyo alimnyamazisha Lari kwa kidole mdomoni na kumpiga busu zito la kinywani kijana huyo akabaki ameduwaa kama sanamu la kwenye duka la nguo, kisha Cesy akaondoka taratibu huku akizidi kumtazama Lari ambae nae alimtazama, wakawa wakitazamana


 Lakini kulikuwa na askari Jeda, adui mkubwa wa kijana Lari, ambae alikuwa anampenda sana bintimfalme Cesy, alikuwa amejibanza kwenye nguzo na akaona binti mfalme Cesy alivyombusu kijana Lari, kitendo hicho kilimuuma sana na kuongeza chuki dhidi ya askari mwenzake, Lari


"Tutaona kati ya mimi na wewe nani mjanja Lari, huwezi kuingia kwenye vita na Jeda, ukabaki salama!" Askari huyo alijisemesha kimoyomoyo akiufuta futa upanga wake huku akimtazama Lari....


  Upande wa pili malkia Suze alikuwa akitazamana uso kwa uso na mdogo wake Susi


"Hereni hii imefikaje chumbani kwangu?" Alimwuliza

"Mh dada nawewe umesahau gauni nililokuazima nikalirudisha yawezekana ilinasa humo maana nimeitafuta wala sijaiona!" Susi alitunga uwongo wa papo kwa hapo 'mwendokasi' ili kuushinda mtego huo wa dada yake


"Oooh nisamehe mdogo wangu kuna mambo yamenivuruga sijui ninawaza nini!"


"Usijali dada, nakuelewa na nipo pamoja nawewe!" Susi alimkumbatia dada yake huyo, malkia Suze, na wakati huo mlango wa chumbani kwa mfalme ulifunguliwa, akatoka mfalme Longe ambae alisimama mlangoni na kutupa jicho pembeni akamwona mkewe amekumbatiwa na mdogo wake, Susi, macho ya Susi yakagongana na mfalme Longe (shemejie) wakakonyezana na kupigana mabusu ya hewani, malkia Suze akiwa amempa mgongo' mfalme Longe mumewe asijue, kinachoendelea nyuma ya mgongo wake, lakini mtumishi wake mkuu, bi Redo alikuwa akikatiza pembeni akaona walichofanyiana mfalme Longe na shemejie, Susi


"Nakuonea huruma malkia, adui yako ni wa karibu yako kabisa tena damu moja!" Bi Redo alijisemesha kimoyomoyo akitikisa kichwa chake......


...


  Upande mwingine ndani ya jumba la waziri mkuu mzee Poso (50) wa pili kimamlaka katika nchi ya Toro, kutoka mfalme Longe, na mjomba wa mfalme huyo, kuna ugeni unaingia ndani mwake, si mwingine ni wa wanawake watatu, wakiongozana na dalali au wakala ambae waziri huyo mkuu umtumia kujitafutia wanawake wazuri na warembo wa kulala nao kila anapohitaji


 Waziri mkuu mzee Poso ni mtu mpenda wanawake sana, humuagiza dalali wake amletee kila siku wanawake wa kulala nao, akiwa ameachana na mkewe takribani miaka mitano (05) iliyopita kutokana na tabia zake hizo chafu'


"Mzee leo nimekuletea watoto wakali sana, watatu wakupe burudani mpaka ushindwe wewe!" Dalali wake huyo alimwambia alipoingia sebuleni na kumkuta waziri huyo mkuu amekaa kwenye kochi (asubuhi)


"Aisee kweli unajua ninachokitaka, watoto wametulia!" Waziri mkuu mzee Poso alisimama, mate yakimdondoka' baada ya kuona warembo watatu wakiwa mbele yake tena wamevaa nusu uchi,


"Sawa mimi nakuachia kazi hizo!" Wakala wake alimwambia waziri mkuu akampa sarafu za kutosha kama malipo, kisha wakala wake huyo akaondoka


 Wanawake hao watatu walitazamana kisha wakamvamia waziri huyo mkuu na kumsukuma akaangukia kwenye kochi lake, kila mmoja akavua nguo zake wakamsogelea kwenye kochi na kumvua mzee huyo kanzu (joho) aliyovaa akabaki kama alivyozaliwa kisha mmoja akamkamata jogoo' wa mzee huyo na kuanza kumnyonya taratibu 


"Aaaaaassss!!!" Waziri mkuu alipiga mayowe alipoanza kunyonywa jogoo (uume) wake huku akiwa amefumba macho akiskilizia utamu, wakati huo wanawake wawili walizunguka nyuma ya kochi mmoja akatoa kikaratasi kilichokuwa na unga unga alichokificha kwenye nywele zake akampa mwenzake


"Huu ndio muda muafaka!" Mwanamke huyo alimnong'oneza mwenzake kwa sauti ya chini sana, mwenzao akiendelea kumpagawisha waziri mkuu mzee Poso ambae sasa alimkalia Jogoo wa mzee huyo aliyezama kwenye uchi wake na kuanza kuzungusha kiuno chake taratibu


 Waziri mkuu mzee Poso alibaki amefumba macho na kuachama mdomo wake akisikilizia raha wakati akingonoka na mwanamke huyo ambae amekuja na wenzake hao wawili kumpa mapenzi, jumla wakiwa watatu


"Usijali, kazi lazima tuikamilishe tukipate tunachokitaka ngoja akishamaliza kumpa raha ikifika zamu yangu, kazi itakuwa imekwisha kabisa!" Mwenzake huyo alimjibu alipokopokea kikaratasi hicho akakifungua na kuutoa unga unga huo wa rangi ya maziwa, kisha akajipaka taratibu kwenye chuchu za matiti yake......





    **********


 Waziri mkuu mzee Poso alibaki akihemahema wakati amekaliwa na mrembo mmojawapo kati ya wale watatu alioletewa na wakala wake, akingonoka


"Aaaassss unaitwa naniii?" mzee Poso alimwuliza mwanadada huyo ambae alijua kukizungusha kiuno chake vyema na kumkunia Jogoo' wa mzee huyo kwa ndani


"Utalijua jina langu tukimaliza mchezo!" mwanadada huyo kahaba mzoefu alimjibu mzee Poso huku akiupeleka mdomo wake kwenye ndevu za mzee huyo waziri mkuu, akaanza kumpa mate (denda) huku wenzake wakiwa wamesimama, wote wapo uchi kama walivyozaliwa wakisubiri zamu yao, wamkalie na wao Jogoo wa mzee huyo


  Mwenzao huyo wakati akiendelea kumpa mzee Poso utamu kwenye kochi, yule aliyejipaka unga unga kwenye chuchu za matiti yake akasogea kwa pembeni na kumsogezea mzee huyo matiti


"Ooooh safi sanaa!" mzee Poso huku akiendelea kumsugua yule mwingine alinyoosha mkono wake na kuanza kuyapapasa matiti ya huyu mwingine aliyemsogezea pembeni


"Nyonya tu upendavyo ni yako haya!" mwanadada huyo alimsogezea taratibu chuchu mzee huyo mlafi akapeleka uso wake wenye madevu mengi kidevuni na kuanza kunyonya matiti taratibu mithili ya barafu (ice cream) huku akiwa amemshikilia kiuno yule mwingine akimshindilia Jogoo' wake 


  Mzee Poso alinogewa na matiti akinyonya kwa fujo mpaka yule mwanadada akainuka mzee huyo akimshika akimvuta mkono akihitaji kuendelea kunyonya zaidi lakini mzee huyo mara ghafla akajisikia kizungu zungu, macho yake yakipoteza nuru (vision) uwezo wa kuona, akiona ukungu ukungu mbele huku akiishiwa nguvu


"Naona imeanza kufanya kazi!" yule mwanadada aliyemkalia aliwaambia wenzake akijichomoa kutoka kwenye Jogoo' wa mzee huyo


"Mmenifanyia nini nyie makahaba?" mzee Poso aliongea akijaribu kutaka kuinuka, lakini mwili wake uliishiwa nguvu kabisa na giza tu lilitanda mbele ya macho yake


"Tumeamua tu kukupumzisha mpenzi wetu!" yule aliyepaka ule unga kwenye matiti na kumnyonyesha mzee huyo alimjibu, wakamnyanyua na kumlaza vyema waziri huyo mkuu kwenye kochi na alipoteza fahamu akalala mithili ya mlevi


"Tufanye haraka!" mmoja wa wale makahaba watatu aliwaambia wenzake, haraka haraka wakaanza kupekua kila kona ya sebule hiyo kujaribu kutafuta wanachokitaka, wawili wakibaki sebuleni, mmoja akienda chumbani kwa mzee huyo


"Nimepata hii hapa!" mwenzao huyo aliyeelekea chumbani aliwaambia wenzake akiwa ameshika karatasi moja ya kale yenye ramani, wenzake wakamsogelea na kuitazama kuthibitisha kama ndiyo yenyewe


"Ndiyo hii!" mmoja alithibitisha

"Sawa sasa kinachofuata ni kutafuta namna ya kutoka humu maana kuna walinzi wasije wakatushtukia!" mwingine aliongea, wote wakakubaliana, wakavaa nguo zao na taratibu wakaanza kutoka kwenye sebule ya mzee huyo waziri mkuu lakini mlangoni walikutana na walinzi


"Mmemaliza mlichokifuata?" mlinzi mkuu wa waziri mkuu, jenerali aliwauliza akiwa ameshikilia upanga wake mkali


"Ndiyo, ndiyo tunaenda sasa tumeshampa alichokitaka!" mwananadada mmoja alimjibu


"Subirini kwanza nikamtazame ndipo niwaruhusu!" jenerali huyo aliwaambia wanawake hao watatu akitaka kuingia ndani lakini mmoja akapeleka mkono wake na kumshika jenerali huyo sehemu nyeti


"Amepumzika sasa amesema hataki usumbufu na hajavaa, vipi nawewe hutuhitaji!?" mwanadada huyo alimwuliza jenerali huku akimtazama kwa jicho laini la kikahaba na kuilamba midomo yake (lips) akimkonyeza mwanaume huyo ambae alitazama pembeni kama askari wenzake wanamuona


"Nataka nikutane na nyie semeni wapi?" Jenerali mlinzi mkuu wa waziri mkuu alijikuta amepagawa kwa warembo hao makahaba wazoefu na pia wapelelezi


"Utatupata tu kwenye danguro mjini pale karibu!" mmoja alimjibu na kumbusu mdomoni jenerali huyo ambae alibaki kinywa wazi akiwatazama wakiondoka udenda ukimtoka huku akijishika shika kidevu, 


Wanawake hao watatu walipopotea kwenye upeo wa macho yake, mlinzi huyo mkuu akaamua kugonga mlango mkuu wa sebule ya waziri mkuu (bosi wake) lakini hakujibiwa kitu, mpaka akaingiwa na mashaka na kuamua kuingia bila ruhusa, na ndipo alipomkuta waziri mkuu mzee Poso akiwa amelala kwenye kochi akiwa mtupu kama alivyozaliwa, akamsogelea na kuanza kumwamsha lakini hakuamka, akamtikisa tikisa mzee huyo bila mafanikio


"Wale wanawake wamemfanya kitu huyu mzee!" jenerali aliongea mwenyewe, macho yake yakifumbuka sasa na kugundua mchezo uliofanyika, akasimama na kutoka haraka kujaribu kuwawahi wale wanawake watatu makahaba kabla hawajafika mbali..........



  Upande mwingine ndani ya jumba (kasri) la mfalme Longe,


 Mfalme huyo gari lake (la farasi) linaandaliwa vyema kwa ajili ya safari yake ya kikazi 


"Vipi dada unaenda na mume wako?" mwanadada Susi alimwuliza dada yake, malkia Suze


"Hapana sitaki kufuatana nae!" malkia Suze alimjibu

"Kwani safari yake ya siku ngapi?"

"Mbili!"

"Sasa dada huoni kama kumwacha peke yake anaweza akafanya anayoyataka akalala na wanawake wengine huko?"

"Mwache alale tu ni maisha yake mwenyewe!"

"Mh sikubaliani nawewe dada, mimi lazima niongozane na shemeji yangu nimfuatilie kila hatua asije akachepuka huko njiani, wewe kama hutaki nitafanya kwa niaba yako!" Susi alimwambia dada yake, malkia Suze


"Kakataa kuongozana namimi ndo akukubalie wewe thubutu!?" malkia Suze aliongea


"Hawezi kukataa niamini mimi, kama kakukatalia wewe basi huenda kuna mambo yake anayaficha....."


"Mnanijadili mimi?" mara mfalme Longe akawaingilia maongezi yao wakati wakizungumza


"Hapana shemeji!"

"Hapana mume wangu!" wote walikanusha 

"Ohoo sawa mimi naenda tutaonana keshokutwa nadhani!"


"Nataka tuongozane nawewe shemeji!" Susi alimwambia mfalme Longe


"Kwanini?"

"Hamna tuongozane tu nami nikajifunze mambo mengi huko!"

"Hapana utaenda wakati mwingine!" mfalme Longe alimjibu Susi


"Kuna mambo yako unaficha siyo?" malkia Suze alimwuliza

"Mambo gani tena?"

"Mimi umekataa tusifuatane na mpaka shemeji yangu unakataa msifuatane una ajenda gani huko za siri?"

"Ndo mawazo yako Suze, basi sawa nitakwenda na huyu mdogo wako moyo wako uridhike, ila sitafuatana nae kila mahali maana majukumu yangu hayamuhusu!" mfalme Longe aliongea kwa hasira akimkata jicho kali mwanadada Susi kisha akaelekea kwenye gari (la farasi) na kuingia


"Mh dada kwa jicho lile alilonikata mumeo hamu yote ya kufuatana nae sina, naogopa!" Susi aliongea


"Wewe nisikilize mimi mfuate na hakikisha unamfuatilia kila hatua nenda!" malkia Suze alimwambia mdogo wake huyo


"Sawa dada, nafanya tu kwa ajili nakupenda bila ya hivyo nisingejitoa muhanga namna hii!" Susi alimwambia dada yake


"Nakupenda pia mdogo wangu!" malkia Suze alimjibu wakapigana mabusu ya kuagana mashavuni, Susi akaelekea kwenye gari la mfalme akimpungia mkono mpaka alipoingia kwenye gari hilo (linaloongozwa na farasi) malkia Suze akabaki nje akitabasamu


"Mtukufu malkia upo kwenye hatari!" mtumishi mkuu wa malkia Suze, bi Redo alitokea nyuma yake akimtahadharisha


"Hatari ipi?" malkia Suze aligeuka na kumwuliza

"Sitakuambia ila agiza mtu aufuatilie huo msafara wa mtukufu mfalme!" 


"Mdogo wangu nimemwachia kazi hiyo usijali!" malkia Suze alimjibu kauli iliyomfanya bi. Redo acheke


"Mtukufu malkia fumbua macho usilale!"

"Sikuelewi Redo!???"........


Inaendelea!NCHI YA DHAMBI

SEHEMU YA ~ 07



     ************

 Kijana Lari alikuwa amesimama kwenye nguzo miongoni mwa nguzo nne zinazoshikilia baraza kubwa ya kifalme, akiendelea kufanya majukumu yake ya kiaskari kama kawaida na ndipo alipokuja msichana Cesy pembeni yake


"Lari!" alimwita

"Naam!" Lari aliitikia na kumtazama

"Nina safari nataka kwenda mtoni kwenye maji nikafurahie huko nataka nitoke humu nimechoka kukaa kaa ndani!"


"Umemuaga mama yako?"

"Sitaki kumuaga!"

"Sasa utatokaje humu?"

"Ndomaana nimekufuata wewe nisaidie unipe mbinu!"

"Hapana Secy utanitia matatizoni, omba ruhusa upewe ulinzi wa kutosha, mimi ni mlinzi tu wa mama yako, katika hilo siwezi kukusaidia chochote!"


"Lari jamani?"

"Nielewe binti mfalme!" Lari aliinamisha kichwa, Cesy akaondoka taratibu huku akiwa analalamika, maana ni kweli kama angeomba ruhusa asingeruhusiwa kuondoka ndani ya jumba hilo la kifalme, na askari Jeda alikuwa akimfuatilia mwanadada huyo kila hatua akagundua ana shida ambayo anahitaji mtu wa kumsaidia, Jeda akamfuata binti huyo anayemmezea mate kila siku


"Una tatizo lolote binti mfalme mbona kama haupo sawa?" Jeda alimwuliza Cesy


"Nipo sawa tu!" Cesy akamjibu akiendelea na safari yake

"Nahisi unatamani kutoka ndani ya kasri ubadilishe mazingira!" Jeda alimwambia mwanadada Cesy kauli ambayo ilimvutia na kumfanya asimame na ageuke ingawa mwanzoni alimpita tu askari huyo


"Umejuaje?" Cesy alimwuliza

"Nimeuona uso wako tu umepoteza nuru, nipo tayari kukusaidia!"

"Una uhakika?"

"Ndiyo!"


ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog