Search This Blog

Thursday 9 March 2023

CHUMVINII - 3

   

Chombezo : Chumvinii

Sehemu Ya Tatu (3)



Kesi ilifika hadi kwa mwalimu mkuu msaidizi.Madamu Rose.Bila ya aibu yoyote moja kati ya wanaugomvi hao.Akafunguka ukweli mtupu ila ndani ya ukweli huo alikuwa akimwaga sifa kibao kwa Joseph huku akisisitiza na kusema "alipewa mapenzi ambayo hajawahi kupewa akasaliti mpango wetu pamoja na utaratibu wetu."


Hii ilikuwa tofauti sana kwani ingelikuwa ni mwalimu wa kiume hao wote pamoja na Joseph shule wangekuwa hawana mpaka kufikia hapo.Ila Madam Rose alizima kila kitu na kulisuluhisha hilo.


Na hakika utulivu na amani hatimaye ilipatikana.Si kwamba Madam Rose alifanya hilo kwa amani kiasi hicho bila ya sababu ya msingi,laasha hakuwa mwalimu wa namna hiyo.Naye alitaka kujihakikisha hilo.Kwa maana moja kati ya wanafunzi waliokuwepo kwenye ugomvi.Alitaja sababu lukuki za kumsifia Joseph zilizofanya mpaka mwezao Isabela akawasaliti.


Sababu nyingi zilimtia nyege Madam Rose na wengineo na kumshawishi zaidi kumtafuta Joseph.Wanafunzi hao, waliambiwa.Warudi madarasani kwao kisha Joseph akaitwa na Madam Rose.


Na kumkarisha kwenye kiti kinyume kabisa na utaratibu wa shule hiyo.Kwani hairuhusiwi kwa mwanafunzi kukalia kiti cha mwalimu wake.Huo ndio uliokuwa utaratibu wa shule hiyo.


Ila Madam Rose aliuvunja utaratibu huo, kisha naye akaketi huku meza ikawatenganisha,hatimaye wakaanza kutazamana usoni.

Madam Rose alizungumza bila ya uwoga.


"Unaweza kunitia?"





Ilipoishia....


Na kumkarisha kwenye kiti kinyume kabisa na utaratibu wa shule hiyo.Kwani hairuhusiwi kwa mwanafunzi kukalia kiti cha mwalimu wake.Huo ndio uliokuwa utaratibu wa shule hiyo.


Ila Madam Rose aliuvunja utaratibu huo, kisha naye akaketi huku meza ikawatenganisha,hatimaye wakaanza kutazamana usoni.

Madam Rose alizungumza bila ya uwoga.


"Unaweza kunitia?"


Endelea nayo...


Joseph alipata wasi wasi mkubwa na kumfanya aingiwe na kitete cha kushindwa kujibu swali la Madam Rose.


Ila Madam huyo,akaamua kumuongezea ujasiri zaidi ikiwa ni ndani ya Ofisi yake,alishusha sketi yake na kubakiwa na chupi tu.Kisha nayo akaishusha.Hapo ndipo Joseph alipoiona papuchi safi ya Madam iliokuwa ikivutia kushuka Chumvini.Baada ya hayo yote Madam Rose alivaa nguo zake.


Kisha akarudi kuketi alipokuwa ameketi.Na kuendelea kumtazama Joseph usoni.Huku Joseph akitazama pembeni.Kisha Madam Rose akamuuliza Joseph kwa sauti ya ukali.


"Unaweza kunitia?"


"Ndi.....Ndi....Ndio."


"Ok, rudi darasani."


Mpaka kufikia muda huo.Joseph hakuweza kumsoma Madam alikuwa akihitaji nini..! Tofauti na kumzidishia Hofu.


Alivyofika darasani alijitenga peke yake kwa kusimama nyuma ya darasa huku akionekana dhahiri anamawazo.


Na muda huo aliokuwa amesimama.Ndio muda aliokuwa akitazama chini.


Jesca na Mwanahamisi waliinuka kwenye siti zao kisha wakaelekea hadi alipo Joseph na kuanza kumuuliza Maswali ambayo Joseph hakuyajibu ipasvyo.


"Kuna nini mbona umesimama hapa badala ya kuketi.!"


"Nipo tu."


"Jana ulitudharirisha sana,yani tunakuja kwenu,nakuletea nyama za kutosha,unamchangua Isabela.Harafu hata sisi waleta nyama unatukataa."Alizungumza Jesca kwa Sauti ya ukali ila ya chini kidogo.


"Ondokeni."


Joseph alizungumza kwa hasira huku akiwatazama kwenye paji zao za uso.Hii ilifanya wamuone dhahiri alivyokuwa.Kwani macho yake yalikuwa mekundu yote sababu ya hasira ziliokuwa zikimtawala.Hapo hapo waliondoka zao.


Isabela aliokuwa akisoma humo humo darasani mwao,ila kwa muda hakuwepo sababu alikuwa ameitwa na mwalimu wa zamu,kwaajili ya kuwajibika na maswala ya Shule.


Ila alivyorejea,alimuona Joseph hakuwa kwenye hali nzuri,utajiuliza vijana wa darasa hilo mbona hawana muda na Joseph,hii ni kwasababu wanajua Joseph ana mambo ya kike Pia ni muoga kwa wanawake.Na jambo ambalo hawakuweza kulitambua ni kila kinachotokeaga usiku kwao Joseph.Pia hawakujua kama Joseph ameshabadirika.


Hivyo hata alipokuwa amesimama hawakuweza kuwa na muda naye.


Isabela alipiga hatua na kuelekea alipo Joseph kisha akamtazama na kumuomba amtazame.Joseph alifanya hivyo kwani tayari alikuwa akimpenda Isabela naye Isabela alikuwa akimpenda.


Isabela aliweza kumwambia kila walichokutana nacho pindi alipoenda kuonana na Madam kisha naye Joseph akamueleza alichokutana nacho japo ye kwa asilimia zote alimficha kwani asingeweza kumwambia Madam Rose alimvulia nguo.Habari hiyo ingesambaa shule nzima.


Ila alimwambia yakuwa,Madam Rose kamuuliza kama ni kweli.Joseph alivyokataa Madam Rose akamruhusu aondoke.


"Sa kama ni hivyo kwanini unawaza Joseph wangu."


"Huwezi jua anafikiria nini.."


"Hii inshu inshaisha we usiwaze,leo nakuja kwenu kukupa utamu."


Isabela alizungumza hivyo kisha akaondoka huku akiachia tabasamu,uhusiano uliopo kati ya Joseph na Isabela walioweza kuutambua kwa haraka ni Jesca na Mwanahamisi.


Japo waliumizwa sana kwani hata wao walikuwa wakimpenda sana Joseph.Ila kutokana na hichi,walitokea sana kumchukia Isabela japo naye alikuwa ni rafiki yao lakini kwasababu ya Jambo hilo.


Walimuondoa kwenye idadi yao pendwa ya marafiki.


Hatimaye Joseph alipata furaha na kujikuta anaanza kusahau tukio la Madam Rose.


Aliketi na kuendelea na masomo huku walimu wakiendelea kupishana na vipindi vikiendelea mpaka ulipofika muda wa kutawanyika.Kila mtu akaenda kwao huku Joseph akijikuta anavuta pumzi kwani tayari Msala aliokuwa nao ulikuwa umeshaisha kwa imani yake.


Alielekea kwao,kisha akaanza kufanya maandalizi ya Chakula,baada ya kumaliza kupika alijilia na kupumzika kidogo.Mpaka majira ya saa kumi na mbili jioni ndipo alipoamka.


Alivyoamka tu,alianza kujichekia Movie,mpaka usiku ulipoingia,ilikuwa saa mbili usiku,akaamua kutoka nje kupunga hewa kwa muda.Baada ya kuchoka kukaa nje huku akiwa mpweke,alirejea ndani na kuendelea na Movie mpaka majira ya saa tatu.


Nyumba yao mtu akiwa anabisha geti kwa nje yani kwa kuminya Alamu,inasikika ndani.Hivyo Alamu ya mlango ilivyolia,alijua itakuwa ni ujio wa Isabela na kumfanya Joseph aachie tabasamu.


Alivyofika Getini na kufungua alikumbana na Madam Rose mlangoni.





Ilipoishia....


Alivyoamka tu,alianza kujichekia Movie,mpaka usiku ulipoingia,ilikuwa saa mbili usiku,akaamua kutoka nje kupunga hewa kwa muda.Baada ya kuchoka kukaa nje huku akiwa mpweke,alirejea ndani na kuendelea na Movie mpaka majira ya saa tatu.


Nyumba yao mtu akiwa anabisha geti kwa nje yani kwa kuminya Alamu,inasikika ndani.Hivyo Alamu ya mlango ilivyolia,alijua itakuwa ni ujio wa Isabela na kumfanya Joseph aachie tabasamu.


Alivyofika Getini na kufungua alikumbana na Madam Rose mlangoni.


Endelea nayo....


Madam Rose alionekana kutokutabasamu kabisa.! Aliingia ndani.Pasipo kujua wapi.! Anapoelekea.


Joseph kwa uoga uliopitiliza.Alifunga geti,kisha akaelekea ndani huku Madam Rose akiwa anamfuata kwa nyuma.


Kilichokuwa kikimuumiza zaidi akili Joseph ataelekea kwenye chumba gani.!


Aliona ni bora ampeleke Madam Rose Sebuleni.


"Humu ndimo unamo lala.!!" Madam Rose alimuuliza Joseph kwa mshangao baada ya kuwa amepelekwa Sebuleni.


"Hapana Mwalimu."


"Ok,Twende kwenye chumba chako."


Joseph alifungua mlango wa Sebuleni kisha akatoka huku Madam Rose akiwa anamfuata kwa nyuma.


Aliekea hadi kwenye chumba anacholala.Na kuingia na Madam Rose.Kisha Madam Rose akarusha pochi yake kwenye meza aliokuwa akiitumia Joseph kuwekea madaftari yake.


Utajiuliza,Madam Rose alipajuaje hapo na vipi?Hakuuliza kuhusu wazazi wake Joseph.Huwezi amini alimuita Jesca kwa muda wake pindi alipokuwa ofisi mwake na kumtishia viboko na kufukuzwa shule.Hapo ndipo Jesca alipofunguka kila kitu.Kumuhusu Joseph,na mpaka anaenda kwao Joseph alikuwa akijua kila kitu.


"Madam unatumia chakula gani?"


Joseph alimuhoji Madam Rose,aliokuwa ameinamisha nyuso yake,huku akiendelea kuminya minya Smartphone yake.


"Situmii chochote."


Madam Rose alimjibu Joseph huku akiendelea kuminya minya Simu yake.Joseph aliendelea kujiuliza sa itakuwa Madam Kafata nini.Kwa maana mpaka kufikia hapo.Hakuweza kumsoma kabisa.


Na kujikuta anajiuliza Maswali lukuki.


Akiwa amesimama huku akiendelea kutafakari kwa kina,Alamu ya Getini ilisikika na kumfanya Madam Rose ashtuke kwani kwa maelekezo ya Jesca hakutarajia ujio wa mtu yeyote.


ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog