Search This Blog

Wednesday 15 March 2023

HAPPY BIRTHDAY SELINA - 4

  

Chombezo : Happy Birthday Selina

Sehemu Ya : Nne (4)


"Si ntameza P2 jamani leo leo" Alisema

"P2?.....P2 inazuia?" Nilimuuliza

"Ndio, usijali kabisa"

"Inauza sh ngapi?" Nilimuuliza

"5000"

"Daah, basi nikifika home ntakutumia hiyo buku tano ukameze hiyo P2 maana, daah naogopa kufungwa mimi" Nilisema huku nikitabasamu kidogo moyo ulikuwa mwepesi

"usijali nitatumia pesa yangu wewe usiwe na wasiwasi"

"kweli?" Niliuliza

"Ndio"

Selina alichukua glass yake ya wine na kuanza kuninywesha "Kunywa basi kaka....I'm sorry maana tumefanya kwa bahati mbaya wewe bado ni kaka yangu tu" Aliniambia mtoto wa kike

"Nafurahi kusikia hivyo" Nilisema. Na kunywa kinywaji alichokuwa ananinywesha.

Tulikunywa tukanywa tukanywa na kunywa halafu mimi kwa njaa zangu niliinuka na kwenda mezani nikaanza kufakamia pilao, nililitafuna vibaya mnoo, yaani nilikula kama sitokula tena, yeye alibaki sofani anaendelea na simu yake.

Nilipomaliza kula vizuri nilipiga maji glass nzima halafu nikainuka kwenda kule alipokuwa.

Alipoona namfuata aliinuka na kunifuata akanikumbatia halafu mimi nikamnyanyua, kumbe bwana demu mwembamba raha sana unambeba unavyotaka.

Alinizungushia miguu mgongoni huku akisifia "Sijawahi kuinjoy kwenye birthday yangu kama leo, hata hivyo nashukuru sana, ila kuna kitu kimoja sijakufanyia."

"Kitu gani?" nilimuuliza

"Nataka ninyonye hiyo rungu yako maana hujaniletea zawadi hata ya big bom basi naomba ninyonye hiyo iwe ndo zawadi yangu ya pekee" Aliongea bila uoga

"Daaah....mbona mtihani?" Nilimuuliza

"Hamna twende chumbani kwangu" Alisema

"haya shuka basi"

"No kwani mimi ni mzito? Twende ukiwa umenibeba hivi hivi" Alisema na kunilazia kichwa begani mwangu

"Wapi sasa?" Nilimuuliza

"ingiia hivi varandani, halafu chumba cha pili kushoto" Alisema na mimi nikafanya hivyo nikiwa nimembeba.

Nilitembea naye nikahesabu vyumba moja mbili "Hapa au?" Nilimuuliza

"Ndio, hapo" Alijibu

Nilifungua mlango na kuingia ndani, tulipofika ndani nilijaribi kumdondosha kitandani lakini alizidi kuning'ang'ania amenikumbatia na miguu kanizungushia.

"Lala basi hapo kitandani?" Nilisema lakini kalikuwa hakataki.

Kaselina kadogo ila kakorofi, kaliniingizia ulimi sikioni kakanitekenya nikachanganyikiwa na kuhema halafu kaliushusha taratibu hadi mdomoni kakaanza kucheza na ulimi wangu

Fimbo yangu ilianza kusumbua kwenye suruali maana kila tulipoviringishana ndo kitenge kilikuwa kinamtoka.

Nilimpa denda ya uhakika, halafu nikawa namtekenya hadi akaniachia na kujisokota kama nyoka lakini ulimi wangu hauachii.

Mikono yake mitukutu ilisogoea kwenye mkanda wangu na kufungua suruali akaishusha pamoja na boxer halafu akaanza kuishika shika fimbo yangu huku akizidi kujisokota sokota na macho kafumba.

Kiukweli yule mtoto kwa raha alizokuwa ananipatia kila nikimtazama, yaani muda huo hata kumuoa nilikuwa tayari.

Alilipapasa mpaka nikalala kitandani chali lakini ulimi hauachii alinipanda juu yangu huku mate akizidi kunyonya.

Mtoto selina alifanya makusudi, alishuka kifuani akapabusu halafu akaishika tisheti yangu na kuivua mimi nilinyanyuka akavua tisheti yangu halafu akanilaza na kunishusha taratibu akaenda mpaka kwenye maiki akaishika kama Zuchu akiwa anataka kuperform jukwaani.

Aliizamisha mdomoni na kuiuma uma "Aaaaaah" Nilisema kwa hisia baada ya kulambishwa mate halafu aliitoa mdomoni ndo akaishika suruali na kuivua yote

Baada ya dakika moja tulikuwa wote uchi.

"Ka J" Aliniita



"Eeh" Niliitika

"Utulie hivyo mi ngoja ninyonye pipi yangu ya birthday" Aliniambia kwa hisia

Sikumjibu nilikaa kimya na kumuana afanye kile anachotaka. Aliinyonya akanyonya kama dakika mbili

Hisia zilianza kunipanda nikawa namzuia ili nisimmuwagie mdomoni.

Nilijaribu kujikunja huku na kule kuitoa mdomoni lakini kila nilipoelekea kiukweli aliifuata kila ilipoelekea

Nilikunja mgongo kurudi nyuma ukutani lakini hakuiachia aliifuata huko huko ukutani.

Niliendelea kuhangaika huku nikihema kwa nguvu feelings za haya mambo so mchezo

Nilinyanyuka kupiga magoti lakini naye alinyanyuka na mimi fimbo ipo mdomoni hataki kuiachia

"Baby.....acha si inatosha jamani?" Nilisema kwa hisia huku nikimshika mabega na kumsukuma ila alichofanya alishika mapaja yangu na kunipoga mueleka kama John Cena halafu nikadondoka chali, bado fimbo ipo mdomoni

"Hivi......aaash haya mambo mnajifunzia wapi?" Nilimuuliza huku nikishika kichwa chake na kukichochea ili inyonywe vizuri.

Baada ya dakika sita ilikuwa imelowa, na mimi nikasema ngoja nimuonyeshe sipo nyuma sana,.

"Inatosha acha na mimi nikunyonye" Nilisema ndo nikamvuta akakubali kuiachia akaja hadi kifuani na kunipa mate huku nikimgeuza taratibu na kumlaza chali.

Nilipomaliza kumlaza chali nilienda hadi kwenye vimaziwa vyake vidogo nikaanza kuvinyonya

"Aaaaasssssssh aaah" Alisema kwa hisia binti huyo halafu mimi Nikachukua dole langu na kulipeleka kunako nikapatekenya "Aaaash baby.....ach....a mume wa...ngu" Alisema kwa hisia sasa zile kelele ndo zilikuwa zinanifanya nizidi kupagawa.

Nilikichukua kitenge chake nikakitumia kufuta kitumbua chake vizuri halafu nikasogea nyuma na kupanua mapaja nikakitazama kimenyolewa muda sio mrefu "Mmmh ulinyoa leo leo bila shaka" Nilisema

"Ndio.....nilinyoa kwa sababu uliniambia utakuja...."

"Mmmmh" Niliguna na kutabasamu "Kwani tulipanga tunaniliu?"

"Mh, nisingekubali uondoke bila kupata utamu" Alisema maneno yaliyonipa hamu zaidi.

ITAENDELEA


0 comments:

Post a Comment

Blog