Search This Blog

Thursday 9 March 2023

UNO LA MASIKINI - 5

   


Chombezo : Uno La Masikini

Sehemu Ya Tano (5)



Katika pita pita za Christina akiwa na mashoga zake alipita maeneo ya ufukweni, ilikuwa mida ya usiku kabisa


"Tina tulipi

“noope siwezi Tina”


“Tino waziri anataka nimzalie mtoto, unajua mimi nataka nizae na wewe nimdanganye mimba ni kwake"


“hauko serious”


“kweli mpenzi naomba please mimi sipo tayari kumzalia mtoto”


“daaah siwezi kweli Tina huo ni mtihani, naamini siku moja utaelewa namaanisha nini Tina” alisema mtaalam


“Tino”


“naam” alisema


“Mi nakupenja” alisema binti


“hahha najua kipenzi najua sana na mimi nakupenda saaaana, sidhani kama nitakuacha” alisema mtaalamu


“haya bye usiku mwemaaa” alisema binti


Baada ya kukata simu binti alianza kuhesabu ni siku ngapi zimepita tangu atoke MP 


‘mh ni sita jamani tayari kabisa wewe ngoja kesho nimtege lazima nizae na Tino, ni mzuri huyu mkaka’ aliwaza na kuandika sms


“Baby Tino kesho uje tutombaneeee” alituma binti message, Tino alipoisoma akachanganyikiwa………TUONE KESHO YAKE ITAKUWAJE KWENYE SEHEMU INAYOFUATA 


UNO LA MASIKINI 16 ??


??©?™?

Kesho yake asubuhi na mapema Tino aliamka akiwa anawaza mapenzi tu, alitamani aende akamfinye mtoto maana alimuomba mwenyewe


“yaaani Tina mimi kukuacha ni ngumu sana waziri aniue tu” alianza kuwaza mtaalamu alikuwa ameshachanganyikiwa kwa mahaba anayoyapata kwa mtoto wa kike


“Oy niaaaje mzee Tino kuna ishu yako moja nimeisikia babu nataka uje unieleze kama ni kweli” alisema Dickson


“subiri niende kwa mtoto mzee masuala ya story baadaye kabisa” alisema mtaalam na kuvaa shati lake akasepa mia mia


Akiwa barabarani muheshimiwa alimuandikia message

“ABC” alimuita hivyo Tino akatabasamu kidogo maana hilo ni ambalo walizoea kutaniana na waziri yule


“niambie mkuu” alijibu ile sms


“malipo yako yameshatumwa kwenye akaunti yako, unaweza kuinjoy sasa” alisema mheshimiwa


“shukrani ziwe juu yako baba” Tino alifurahi sana kitendo cha muheshimiwa kumlipa hela yake katika ile shughuli ya kumkamata Mido Baby na mkurugenzi wake


“Tino uko wapi mpenzi mwenzako nakufa et” alituma sms binti


“unakufa kwanini mpenzi”


“mimi nina hamu halafu wewe haufiki, kinachoniuma zaidi ni kwamba nimeshaandaa kila kitu mpenzi wangu” alisema binti


“haya baby, vuwa na nguo kabisa nikija hapo sitaki story nyingi” alisema mtaalamu


“hahahaa, niko na kanga moja tu tena nimetoka bafuni now kunyoa yaani leo usiponinyonya mume wangu hunipendi” aliandika kwa hisia


“nitakunyonya mpaka kule kwingine”


“tinooooo, wa tanga wa Tanga tu” alisema binti kwa furaha


“haahaa, nna njaa lakini”


“usijali leo nimetengeneza Mayai, chapati na Supu ya kuku japo hupendi hivyo vitu” 


“sshhhhh eti sipendi..... kimya wewe mwanamke” aliandika mtaalamu na kushuka kwenye gari akaanza kutembea kwa miguu mpaka pale binti anapoishi, akasikia sauti ya nyimbo ya Meddy ndani ikipiga kwa mbali, alikuwa anaipenda sana halafu akazama ndani


“weee” alimshtua binti binti akashtuka na kumtazama 


“Tino utaniua kwa mshtuko” aliongea


Tino bado hakujua mtego ni mbaya, binti alitaka amzalie angalau mtoto kwa kupitia mgongo wa waziri akiamini roho yake itarizika kabisa


“Tina wa Tino” alisema huku akijiandaa kuimba wimbo huo wa meddy uliokuwa ukiimba kwenye Sub Woofer ya binti mara ukaisha


“Hahahaaa, umekoma kuimba nyimbo za watu” alisema binti, Tino naye akafunga mlango


“urudishe please nikuimbie” alisema Tino.


Tina aliurudisha ule wimbo ukaanza huku Tino akinesa nesa ndani kwa binti na kuzunguka, mapenzi yalikuwa yamepamba moto


“do you believe in love……..how crazy it could be……..baby baby stop……..take it easy” aliimba wimbo wa slowly vizuri binti akafurahi sana


“jamani woooow” alisema binti kwa hisia na kumfuata jamaa akamkumbatia “unaimba kama yeye jamaniiii mwa mwa mwa” alimbusu kwenye shavu na kumuachia Tino huku kanga ikifungua na kudondoka chini Tino akashindwa kuimba akabaki anamtazama tu binti kwa jinsi alivyokuwa amenona akiwa uchi


“mmmmh endelea kuimba mbona unanishangaa” binti alisema na kuokota khanga yake ili ajifungie.


Akiwa anafunga alishangangaa Tino amemvuta binti akazunguka kama pia na kujikuta ametua kifuani mwa Tino kwa style za nyimbo zile walizokuwa wakiimba wasanii wale wa Korea.


Style hii ilikuwa sio ya kawaida, ni mtu ambaye anajua kucheza haswa, na kulingana na uzoefu binti aliokuwa nao kwa muda mrefu alijua kabisa Tino ni mchezaji mzuri lakini anamficha.


“Tino nina kesi na wewe” binti alisema huku akiwa amejituliza kifuani mwa mtaalamu


Tino alimsogeza taratibu kinyume nyume hadi binti akafika mpaka kitandani akamlaza taratibu huku wakitazamana kwa karibu sana


“nini baby” Tina aliuliza kwa sauti ya kunong’oneza aliongea kwa mahaba yote yaani


Tino alimpa denda moja ndefu, halafu akaachia ulimi ukali ssstha, “aashshss” binti alihema kwa hisia


Tino alishuka taratibu na kulishika ziwa la binti la kulia kwa mkono wake wa kushoto akaanza kulisugua sugua juu kwenye chuchu halafu mdomo wake akaupeleka kwenye ziwa la kulia na kuanza kulinyonya taratibu


“beb….beeibyy” binti alilalamika kwa hisia hasa pale aliposikia kidole cha mkono wa kulia cha Tino kimeanza kuchezea kisimi chake taratibu “aahshhhsss ingiza kidole mp….enzii huuuh” alisema kwa hisia mtaalamu akatulia kimya hakutaka kukiingiza kwanza mpaka binti apagawe


Alimpandisha kitandani vizuri halafu yeye akapiga magoti pembeni mwa kitanda akaanza kumtekenya binti . Tina alizungusha kiuno huku akiwa anasikia raha za ajabu mwenywe akachukua mkono wake na kujaribu kukisugua kisimi chake mwenyewe


Tino aliushika ule mkono wa binti akautoa kwenye kitumbua cha binti akauweka pembeni “no no no noonono baby niache nichezee” alisema binti huku akinyanyua uso na kumtazama Tino kwa hisia


“sio jukumu lako kukichezea ni jukumu langu” alisema mtaalam na kuinama akaanza kumnyonya binti kwenye kitovu


“aahaaash beibyyyy” binti alilalamika kwa utamu


Tino aliushusha ulimi wake taratibu akiwa anaendelea kulamba mpaka juu ya kisimi cha binti alipanua mapaja ya binti na alipeleka ulimi kwenye kitumbua binti aliinuka kitandani bila kutarajia huku akiwa amefumba macho, akarudisha kichwa kitandani na kuanza kupagawa kwa utamu ule


“Tiiiiiiiiino unajua mume wanguuuu” alisema huku akibana mapaja yake alikuwa anapenda sana kufanya mapenzi yeye na Tino


Tino alinyonya kitumbua cha binti ndani ya dakika tatu, binti alikuwa amemshilia kichwa kwa mikono yake miwili huku akikatika kiuno na kusema maneno ya kila aina mpaka kiarabu


“baby inatosha, mi nataka naniliu” alisema binti na kunyanyuka na kumvuta Tino kwa nguvu, Tino aliinuka na kuingia katikati ya mapaja ya binti alikuwa hoi


Kwa haraka haraka alishika mkanda wa Tino akafungua suruali na kutoa uume huku akiwa anatetemeka mwili mzima kwa hamu


“mimi leo hauninyonyi” alisema mtaalamu


“kimoja kwanza beby please sijiwezi please hunie” alisema binti na kuushika mjeledi wa Tino akaulengesha mwenyewe ukazama mpaka mwisho 


“auwiiiiii shhhsssssh” alisema kwa hisia na kumkumbatia Tino huku akiwa anakata kiuno kama vile hana akili nzuri kabisa “nakupenda, huuuh nakupenda tinoooo mmmwah” alisema binti na kuanza kumnyonya ulimi Tino.


Tino naye alianza kukata kiuno chake akiwa anachochea kwa nguvu alifanya makusudi ili binti akojoea haraka lakini cha kushangaza yeye ndo alisikia wazungu wakija


Tino alitaka kuchomoa mashine ili akojoe nje lakini binti alimbana kwa nguvu ili tu akojoe ndani 


“baby tamu, usichomoe hhhhha naomba” alisema binti na kuzidi kukatika huku akiwa anazidi kumkumbatia mtaalam


“nakkkkkojoa ndani baby aash”” alisema mtaalamu


“usijali kojoa tu babe wangu usichomoe napenda mbegu zako” alisema binti Tino kwa kupagawa akaachia shahawa zake ndani


“aaah baby” alisema huku akiacha kuchochea


“asante mume wangu jifute” alisema binti na kumuachia jamaa yeye akainuka na kuchukua kanga akaanza kujifuta


“umefika kileleni baby” Tino aliuliza


“Nilifika mara ile tu ulipoingiza mume wangu asante sana na nakupenda” alisema binti


Tino aliifunga suruali yake na kumbusu demu mdomoni halafu akaangalia kule jikoni kama kuna chochote maana alikuwa na njaa.


Tina aliinuka na kufunga shuka la kimasai halafu akaenda kunawa mikono akaleta msosi binti yule akauweka mezani


“njoo huku kwenye sofa ule” alisema binti mara mlango ukagongwa wote wakashtuka maana penzi la wizi lilikuwa ni hatari sana


“Fungua mlango wewe mwanamke” sauti ilisikika nje bila kujua ni ya nani. Wote waliogopa……





Tino kwa uoga alioupata hasa pale alipokumbuka anatoka na demu wa boss wake, ilibidi ainuke 

“nijifiche au” alisema mtaalam kwa sauti ya kunong’oneza


“haina haja bwana kama ni yeye nitamuambia ukweli kwamba mi nakupenda wewe” alisema mtaalam


“we mwanamke hutaki kufungua au” ilizidi kusikika sauti ile iliyoonekana ya mzee mzee kidogo


Tina akaona liwalo na liwe ngoja tu akafungue aone tatizo nini, alipofungua mlango alikutana na sura mzee mmoja wa jirani pale


“shikamoo baba Abdul” alisalimia binti


“sitaki shikamoo yako”


“kwanini mzee wangu?”


“hivi mikelele yote unayotupigia kwenye redio yako hiyo unafikiri tunafurahi sana? Mimi mwenyewe ninaumwa hata sauti yangu nahisi unaisikia halafu unanikorofisha”


“naisikia sauti yenyewe kweli sikujua ni wewe mzee wangu, nisamehe napunguza sa hivi”


“ndiyo upunguze bwana, mikelele asubuhi asubuhi ya nini” aliuliza kwa hasira na kuondoka akiwa anaongea maneno mengi


Binti aliufunga mlango na kurudi chumbani, na kwenda kupunguza sauti ya redio


Alivyokuwa anatembea kwa madaha kule chumbani Tino alipagawa na maana kalio lilienda vizuri sana, kushoto kulia Singida Dodoma


“wazee wengine wasumbufu sana wanatutishia amani” alisema binti na kuketi pembeni ya Tino, kumtazama Tino anamalizia chapati ya tatu “mmmh ulikuwa na njaa mume wangu hata bila supu unakula haraka hivyo?” aliuliza binti na kumshika mtaalamu


“simama nikuambie” alisema mtaalam


Binti alisimama na kumtazama kimahaba Tino akamvuta binti akamdondokea akaketi kwenye mapaja yake na kucheka, yaani alimkalia mtaalamu


“hutaki ninywe chai baby?” aliuliza malikia


“mmmh kimoja please, yaani nataka uikalie hapa hapa” alisema mtaalamu na kumeza chapatti


“mmmmmh na nikisema sitaki” alisema binti huku akimtazama Tino kwa ukaribu Tino akamtekenya binti akacheka na kumpa denda


Wakiwa wanakulana denda mtaalamu alilishika lile shuka la kimaasai akalifungua kifuani halafu akaanza kumpapasa kifuani na sehemu zingine za mwili, aliivuta ile shuka binti akajinyanyua kidogo ikatoka na alibaki kama alivyozaliwa


Aliuachia ulimi “nyanyuka kidogo” alimuambia kwa sauti ya kunong’oneza na kumrudishia ulimi wakaanza binti akanyanyua kiuno na Tino naye akafungua suruali akaishusha kidogo halafu akatoa mjeledi wake na kuutegesha


Kitendo binti anarudisha kalio kwenye mapaja ya Tino alishangaa imezama yote “aaaash “ alisema na kuachia ulimi wa Tino wakaanza kupapasana huku ikiwa ndani


Tino alikuwa anachochea na kupapasa, mda wote alikuwa hata nguo hajavua vizuri, aliinjoy sana kitumbua cha binti maana ni binti ambaye alikuwa anampenda sana kipindi chote tangu walipokutana


Binti alizidi kumpa denda huku akilizungusha mpaka pale walipofika kileleni


“mi nahisi sijawahi kupenda kiasi hiki Tino” alisema binti


“mimi mwenyewe yaani isingekuwa waziri yani ningetamba na wewe kila mahali” alisema Tino


“one day yes, ipo siku tutakuwa free ntamletea visa mpaka aniache” aliongea Tina na kujifunga tena mshuka wake naye akaanza kunywa supu na chapatti


Sms iliingia kwenye simu ya Tino akaichukua na kuifungua bila binti kuona ilikuwa message ya mheshimiwa

“Acha mambo yote unayoyafanya tukutane Mwenge sasa hivi” alisema Mh R Mwasoka


Tino alishangaa sana kwani alishtuka na hakutarajia. Hakuelewa ni kitu gani anaenda kufanya Mwenge, akawaza labda mzee ameshtuka kwamba yupo na binti lakini akajitia moyo


“Tino naona kama umeduwaa hivi unawaza nini” alisema binti


“naondoka sa hivi mpenzi” alisema


“hapana bhana leo ni siku yangu tunapaswa tuwe wote mpaka jioni halafu baby si nimekuambia nina kesi na wewe” alisema binti kwa huzuni na kumshika Tino


“kweli inabidi niende Tonny amepata ajali yuko muhimbili inabidi nikamtizame” ilibidi adanganye ili binti amruhusu


“acha masihara Tino” binti alishtuka maana alimjua Tonny na alimsaidia siku sio nyingi


“kweli yaani hapa nimepewa taarifa sijui itakuwaje”


“embu niione hiyo message” alisema binti 


“bafu liko wapi nikaoge” Tino alipotezea mada ya message 


“nione sms mbona unanipotezea, ina maana bafu hujui lilipo” alisema binti kwa hasira tayari


“I am sorry babe, message nimefuta” 


“angalia sasa yaani mi sipendi tabia za wanaume……haya kesi nyingine hiyo kwanini ulinidanganya”


“baby mi sijakudanganya kweli nimeambiwa hivyo nikifanikiwa kurudi mapema nitakuja tulale huku wote basi ili…..”


“sio masuala ya huko bwana kesi yangu mi ipo hapa. Embu niambie kwanza kwanini ulinidanganya kwamba wewe hujui kiingereza wakati unakiongea vizuri namna hiyo hadi nyimbo ya Meddy slowly unaimba vizuri tu”


“samahani siku ile nilikutania babe, halafu nikirudi nina zawadi yako, mi naenda kuoga”


“ole wako usinipe zawadi yangu, ila msalimie sana Tonny jamani nimemmiss” binti alisema


“mmmmh kummiss huko vepee”


“nyoooo kumbe una wivu” walianza kutaniana na Tino akatoka akiwa anacheka akaingia hadi bafuni


*


Mnamo saa sita mchana Tino alikuwa Mwenge ITV katika lile jumba la kifahari, alikuwa ameketi mbele ya waziri R Mwasoka


“leo tunaenda zetu Kilimanjaro Hotel kujipongeza” alisema waziri kwamba wanaenda kujipongeza kwa kazi nzuri aliyokuwa ameifanya pale uwanja wa ndege na watu hawakushtuka


“nakukubali mnyamwezi” Dullah alimtania waziri maana walimzoea sana. Mheshimiwa alicheka


“sasa kazi inayofuata, kuna kiongozi mmoja wa chama pinzani anapaswa afe” alisema mheshimiwa wote wakashtuka


“mmmmh yupi tena muheshimiwa” aliuliza Tonny


“nitawatumia details na sababu ya kummaliza” alisema mheshimiwa “tujiandae tuondoke” alisema na kumgeukia Dullah, “umesikia mnyamwezi” naye alitania na kucheka


“mi nishajiandaa mheshimiwa tusepe tuwaache hawa” alisema Tino


“hahahaa halafu unaonekana kama vile una wasiwasi sana Tino, ila nitakutafuta kwa muda wangu” mheshimiwa alisema


“nope usikute unataka kunimaliza, mzee kule kwako mi nimeshapaacha sasa” alisema Tino kujitetea


“najua umepaacha maana hata dharau hana siku hizi, halafu bado siku chache sana tuende kwenye birthday yake na wewe lazima uwepo ili ajue ni karata tulikuwa tunamchezea”


“mmmh”


Basi wote waliondoka na kwenda mpaka Kilimanjaro Hotel maeneo ya posta jijini Dar es Salaam. Siku hiyo walijipongeza saana


Tino pia alipata muda wa kupiga picha kadhaa akiwa na waziri pamoja na washkaji wengine ambao alikuwa nao kwa karibu sana kina Tonny, Dullah pamoja na mshikaji mwingine aitwaye Ishengoma


Leo Tino alienda kuangalia kwenye akaunti yake akakuta kuna kibunda cha milioni kumi kimeingia, hata hivyo kilimfanya afurahi sana, halafu pia kuna mshahara wa kila mwezi maana kitendo cha kukaa mbali na mji na kuishi maisha ya taabu zote zilikuwa ni ajira hizo


Tino alirudi nyumbani mida ya saa saba usiku leo hakwenda Boko alilala tu maeneo ya Mwenge kwenye nyumba yake alipokuwa amewaacha washkaji


Asubuhi kesho yake Tino aliondoka kuelekea mbezi, alitamani akamuone binti wa watu maana tayari alishampenda binti huyo. Leo alienda na simu yake kubwa hadi kwa binti halafu pia alichukua guitar mkononi aliitaji akamuimbie kidogo


“baby Tina” aliita mtaalamu binti alikuwa amejilaza kitandani akasikia sauti nzito


“beibiiiii” aliendelea kuita ikabidi Tina akafungue mlango na kumtazma mtaalam nguo kila siku ni zile zile tu alizomnunuliaga


“Umenikatia usingizi wangu mtamu” binti alisema na kujirusha kitandani


“so niondoke sio” aliuliza mtaalam


“ondoka tu” binti alisema, Tino alipatwa na hasira akatoka nje…………………ITAENDELEA 


UNO LA MASIKINI 18 ??



Tulipoishia

“Umenikatia usingizi wangu mtamu” binti alisema na kujirusha kitandani


“so niondoke sio” aliuliza mtaalam


“ondoka tu” binti alisema, Tino alipatwa na hasira akatoka nje


Endelea

Binti hakuamini mtaalam anaondoka kweli, kumbe Tino alikuwa serious, ilbidi ashuke kitadani

“we Tino” aliita huku akitoka kwa kukimbia


“njoo bana acha mambo yako unaenda wapi” alisema binti


“unazingua wewe?” Tino alisema huku akiendela kutembea


“jamani njoo nimekutania tu mi sikuwa serious” alisema “njoo basi”


Kutokana na mapenzi mazito yaliyokuwepo kati yao, Tino alijikuta anarudi taratibu

“njoo bana kuna kitu ninataka nikushukuru sana” alisema binti


Tino aliingia hadi ndani

“kitu gani unishukuru mimi” alisema mtaalamu


“yani huku tumboni ninasikia kama panavuta vuta kidogo nahisi jana kitu kimeingiaa” binti alisema kwa kutania maana kitu hakiwezi kuwa kinasikika ndani ya siku moja tu


“mh wewe mwanamke wewe” alisema mtaalamu


“hahahahaa, hata haunipendi” alisema binti “haya naona umekuja na guitar lakini hauna zawadi yangu embu nieleze iko wapi” alisema binti


“zawadi yako kila siku huwa natembea nayo”


“mbona siionagi”alisema binti


“huionagi wakati kila mara huwa unainyonya”


“ahahahaaa, Tinooo nakupenda bure ukija yaani mi sikaukiwi tabasamu haya gitaa nayo wajua kupiga au ni ya Dickson” alisema binti


“tulia hapo jilaze vizuri nikuimbie nyimbo nzuuuuri ya mapenzi halafu mi napiga guitar” alisema Tino binti akajilaza kweli na kuanza kusikilizia nyimbo hiyo


Tino alianza kuivuruga guitar kama vile hana akili nzuri, aliituni mpaka binti akablow mapigo


“From the day that I met you girl………. I knew that our love would be, everything that I ever wanted in my life 

From the moment you spoke my name……. I knew everything had changed, because of you I felt my life would be complete


Ooh baby I need you……For the rest of my life girl…..I need you………to make everything right girl I love you…….and I would never deny that I need youuuuuu”,  


Aliimba shairi la kwanza la wimbo wa Marc Antony binti alipagawa, tena jamaa aliimba kwa mapozi matamu sana nyimbo aliifanya slow kidogo


“Tino wewe ni nani?” binti alimuuliza bila kuamini kile jamaa anachokifanya


“kwanini” aliuliza


“nahisi wewe sio mtu wa kawaida kama mimi ninavyodhani, kuna kitu umekuja kutafuta kwenye maisha yangu” alisema binti kwa wasiwasi mkubwa binti akiamini kwa vitu anavyovifanya kwenye maisha sio vitu vya uhalisia ni vitu vya kuigiza tu


“Kwanini unasema hivyo Tina” aliuliza Tino na kuacha kupiga gitaa


“kila kitu unachofanya ni kitu ambacho mimi binafsi sijawahi kutarajia kama unaweza kufanya ndiyo maana mimi ninapata wasiwasi zaidi kuhusu wewe, wewe sio mtu masikini kama ninavyodhani wewe mwenyewe swaga zako sio za kishamba kama vile nilivyokuwa nadhani mwanzo uko kama mtoto wa mjini kabisa mimi niambie ukweli who are you?” binti aliongea kwa wasiwasi


Maneno haya yalimpa wasiwasi sana Tino akahisi tayari ameshashtukiwa lakini akajitia moyo na kuingiza mkono mfukoni na kutoa simu yake ya Samsung A30


“baby niangalie” alisema mtaalamu huku akimnyooshea simu binti


“umenunua lini?” aliuliza binti


“jana”


“embu” binti aliipokea na kuitazama simu ile ya mtaalam kwa nje “Mbona sio mpya?” aliuliza


“hamna nimeinunua mkononi ndio mpya” alisema binti 


“haya bwana but Tino nina wasiwasi na wewe please niambie ukweli wewe ni nani mbona marafiki zako wenyewe wako classic na wanakula maisha halafu wewe unaonekana sio mtu msafi wala mwenye hela kwanini lakini usikute unaniigizia Tino


“Baby buana acha wasiwasi na mimi mi ni mtu wa kawaida, sana”


“mbona Tonny yeye nikitazama hata status zake whtsapp anakula maisha sana ina maana wewe marafiki zako hawawezi kukusaidia ukapata kazi nzuri tu mbona upo jobless Tino” binti aliendelea kulalamika


“Tina, kama ukiendelea na maswali yako haya mimi nahisi kamwe hatutafika popote, kama huniamini sawa tu”


“nakuamini Tino lakini naogopa, unajua mimi ninakupenda ile kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu, sitamani hata kidogo kukuacha lakini wewe unaonekana wa tofauti na Tino niliyemuona mwanzo kule beach”


“daaah, sawa bwana Tina ila mimi wewe ndo umenifanya mchangamfu mimi sikuwa hivi kutoka mwanzo” alisema mtaalamu


“haya Tino, sawa basi endelea kuniimbia nisikie raha”


“sasa mimi nakuimbia wewe halafu unahuzunika mi siimbi tena”


“imba Tino ila imba nyimbo ya Kiswahili ambayo inafaa kunifanya nipagawe” alisema binti


Tino alichukua gita akaanza kuicharaza na kuanza kuimba nyimbo ya Pete iliyoimbwa na Christian Bella pamoja na Mwana FA na AY hata hivyo nyimbo hii ilionekana nzuri akiwa anaiimba yeye binti akafumba macho na jamaa akaacha kupiga gitaa akampigia binti magoti na kutoa pete mfukoni


Tina alipofungua macho alishangaa kumuona Tino akiwa amepiga magoti amemnyooshea pete 


“haaa Tino, ndo nini hiii sasa” binti alisema lakini Tino akaendelea kuimba chorus ya wimbo huo


“namvisha pete…………….namvisha petee” aliimba Tino binti hakuamini “ninyooshee kidole Tina nimekupenda kutoka moyoni naomba usinikatalie ombi langu


Tina akiwa haamini alinyoosha kidole chake na kuweza kuvishwa pete ile japo ilikuwa ya bei rahisi sana hata hivyo muda haukupita wakiwa wanaendelea kusheherekea pale na kupigana mabusu, simu ya binti iliingia ujumbe kwa njia ya whtsapp Tino yeye akatoka na kwenda chooni kujisaidia


“Hello” ilitoka kwa muheshimiwa


“hello how are you”aliijibu ile message


Message ya binti kwa muheshimiwa haikujibiwa ikabidi binti aanze harakati nyingine huko huko whatsApp, aliangazia Status ya mheshimiwa akaona mheshimiwa ameweka picha akiwa na mmoja wa wale vijana marafiki wa Tino ambaye kijana huyo pia alimkuta kule bar akiwa na Tony, kijana huyo aliitwa Ishengoma maana ni Muhaya


Aliendele kuview status za mzee akaona nyingine mzee amepost na Tonny binti hakuamini macho yake akaanza kutetemeka akiendelea kuziangalia zile status. Lakini kwa bahati nzuri hakupost picha akiwa na Tino hata moja

“hawa watu wana mahusiano gani na mzee?” alijiuliza zaidi mara Tino akaingia ndani akamkuta binti ameshika simu lakini akiwaza


“vipi mke wangu” aliuliza Tino round hii alijirusha kitandani pembeni ya Tina


“hivi Tino kina Tonny wanafanya kazi gani na mzee mwasoka” aliuliza binti, Tino alishtuka sana binti akahisi kitu


“Mi sifahamu kwani vipi?” aliuliza mtaalamu kwa uoga


“yaaani mzee amewapost yeye na rafiki yake mmoja hivi sasa sielewi” 


Tino alishtuka akaanza kuhisi binti ndo anampigia mafumbo “embu hiyo simu nione” alisema mtaalam na kupokea simu akaanza kuziangalia status za mzee yule huku akiwa anatetemeka ‘mungu nisaidie asije akanipost’ aliwaza kwa uoga, ili apotezee mada ikabidi aanze kumnyonya mate binti


“mthwa mwnathaa ooosh” walianza kuchezea chumbani na kusumbuana kitandani, binti alikuwa akishikwaga na Tino hata kama hana hamu lazima hamu ilikuwa inampandaga, walianza kupapasana dakika mbili ameshaanza kumnyonya mb*o wako hoi…………..ITAENDELEA 


UNO LA MASIKINI 19 ??


??©?

Katika Hospitali ya mwananyamala kwa siri aliingia Mke wa waziri wa Sanaa na michezo Mama Matrida Mwasoka, alikuwa na mpambe wake mmoja ambaye alimsindikiza


Hata hivyo mama yule alivalia barakoa usoni akijikinga na watu wasimjue kirahisi, binti aliyekuwa mpambe wake alionekana mwenye ukakamavu wa hali ya juu ana alikuwa ni binti mmoja mwenye mafunzo ya kijeshi kwa hiyo alikuwa anamlinda mwanamama huyo bila watu kushtuka


Kutokana na kutokuwa na umaarufu mkubwa, mama huyo aliweza kupenya kirahisi bila kuzingirwa watu wa aina yoyote


Mwanamama huyu alipenya hadi kwenye wodi ya wanaume kwenda kumsalimia mtu fulani ndani kule. Hata hivyo alipofika katika kitanda kimoja alimkuta mgonjwa huyo amefumba macho ikabidi amguse na kumtikisa


Mgonjwa huyo alishtuka sana kumgeuzia uso mama huyo, uso huo ulikuwa umejazwa vitambaa vya kufungia vidonda, na alipomtazama mama, alivua mask yake ili mtu huyo amjue


“Jeff” mama alimuita kumbe alikuwa ni yule kijana aliyemlewesha Tina na kumpeleka guest ili akambake


“mama” kijana yule alimuita kwa mshtuko huku sauti ikiwa hafifu yenye huzuni kubwa sana, machozi yalianza kumtiririka Jeff


“pole sana mwanangu” alisema mama yule


“asante mama” alijibu 


“vipi ulifanikiwa kuchukua video hata kidogo?” aliuliza mwanamke yule e bwana ee kumbe ndiye alimtuma kijana akambake binti na kumrekodi video


“Hapana mama, nilirekodi lakini wale vijana walionivamia walichukua simu yangu” alisema kijana yule


“sawa mwanangu pole sana” alisema mwanamama yule na kuingiza mkono kwenye maziwa yake akatoa kifaa fulani hivi


“asante sana ma…” kabla Jeff hajamalizia sentensi ile alisikia kile kifaa kimemchoma katika sehemu yake ya shingo na kukandamizwa kwa nguvu bila kuweza kuhema au kutoa sauti yoyote


“utanisamehe hii siri haitakiwi kufahamika na mtu yeyote zaidi” alisema mwanamama akimalizia kumuua yule kijana


Yeye na mpambe wake walitoka taratibu wakiacha msiba nyuma na kupanda gari hao, wakasepa


Vivyo hivyo ikiwa ni majira ya saa moja jioni taarifa zilianza kusambaa katika vyombo vyote vya habari na hata katika mitandao yote ya kijamii


“Mwenyekiti wa chama cha Uzalendo Tanzania (C.U.T) kanda ya pwani, Mh Juma Abdalah Minihaj amefariki dunia.

Hii ni baada ya kukutwa kwa mwili wa kiongozi huyo wa upinzani katika daraja la Salenda Jijini Dar es Salaam” 


Ilikuwa ni mambo ya kutisha yalikuwa yanaendelea nchini wakati huo taarifa zikisambaa namna hiyo pia Tino alikuwa ameketi pembeni kidogo mwa sehemu moja iitwayo Gengeni katika barabara kuelekea huko Bunju B


Sms iliingia kwenye simu yake “Hongereni sana nimeona kazi yenu” hii ilikuwa message kutokwa kwa waziri Mwasoka


“asante baba” Tino alijibu na kuanza kutembea tembea kwa miguu.


Hata hivyo Tina naye alimpigia Tino simu kwani ni muda mrefu kidogo walikuwa hawajaonana


“Tino mambo” alisema binti kwa sauti nyororo


“niambie maa” alisema


“safi tu Tino wangu nimekumiss sana” alisema binti


“nitakuja kesho nahisi, yaani nina mambo mengi sana rafiki yangu”


“sawa wangu” alisema binti


“lakini sauti mbona ni ya uchovu sana unaongea kama vile unaumwa eti sweetie” aliuliza Tino


“tumbo linauma uma mpenzi halafu kichefu chefu kwa sana” alisema binti


“mmmm wewe”alisema mtaalamu


“kweli mpenzi kesho nataka nikacheki kama nina mimba yako yaani nitafurahi sana Tino”


“Tina mbona mkorofi sana lakini”


“ina maana Tino hupendi kuzaa na mimi, au niitoe hii mimba maana nina uhakika kwamba nina mimba yako” alisema binti


“Usitoe mimba yangu nitaitunza”


“asanteee, hapo leo umenifurahisha baby lakini pia nisisahau kesho ni birthday yangu” alisema binti


“wow kwa hiyo kesho wapi tunaitafunia mrembo” alisema mtaalamu


“kesho nitukuwa home tu baby halafu pia nataka nihame hapa, masuala ya kuwa video queen sitaki tena nataka nilee familia yangu” alisema binti


“uende wapi sasa” aliuliza mwamba


“nataman niende mbali sana lakini penzi lako linanifanya nisiende mbali kipenzi changu” alisema binti


“usijali baby soon nitakamilisha mambo yangu machache hapa mjini natafuta hela kidogo halafu tuondoke zetu tuende mbali ili tuishi kwa amani maana nahofia sana waziri akishtuka tunaendelea na mapenzi”


“sawa baby uwahi kukamilisha basi sweetie, mi nakata simu mheshimiwa ananipigia” binti alisema na kupokea simu ya muheshimiwa


“Christina” alimuita


“Niambie baby”


“una agenda gani na Agustino?” aliuliza


“kwanin baby lakini mbona mimi simjui huyo mtu” alisema binti


“humjui? Nakupigia upo bize nampigia yeye pia yupo bize nikajua tu bado mnawasiliana japo nilishamuonya” alisema kwa hasira


“hapana baby wangu mimi nilikuwa naongea na mama yangu tu, labda naye huyo uliyempigia alikuwa anaongea na mtu mwingine huko sio mimi


“embu subiri” alisema na kukata simu akampigia Tino, kwa bahati nzuri Tino alikuwa bize anaongea na Dickson


“Una bahati nimemkuta kweli yuko bize” mzee alituma sms


“Ndiyo baby mi sikusaliti nakupenda sana” binti aliongea maneno ya uongo kabisa


“sawa baby halafu kesho najua ni birthday yako, hivyo inabidi tuonane maeneo ya Gasto Ufalme Masaki ni sehemu iliyotulia sana tutaweka kasherehe kadogo” alisema mzee


“wow, halafu umelengea siku nzuri kweli mpenzi, kesho nitakuwa kwenye siku ya kushika mimba kabisa hivyo nitafurahi kama tutalala wote pia” alisema binti


“safi sana, kesho tutalala wote mpaka asubuhi Christina”


“sawa baby mwaaah nakupenda” alisema Christina lakini nafsi ilimsuta maana alimpenda sana Tino kutoka moyoni

*******************

Ni kweli siku ya birthday ya binti binti alimuaga Tino vizuri kwa kumtumia sms


“Tino samahani mpenzi ninaenda kuonana na Waziri Mwasoka kwa mara ya mwisho, naomba uwe mvumilivu kidogo tu naahid hautaumia kwa mara nyingine zaidi ya leo” binti alipomaliza kumtumia SMS alizima simu


Vivyo hivyo Tino alikuwa ameketi katika daraja moja huko mjini huku akiwaza usaliti ambao anazidi kuufanya


Kijana Tino alikitoa kitambulisho chake cha kuonyesha yeye ni usalama wa taifa halafu akasikitika kidogo na kukirudisha mfukoni, akainuka na kuondoka kwa miguu

*****


Usiku katika ukumbi wa kishua ufahamikao kwa jina la Gasto Mfalme, iliingia gari moja kali sana akashuka waziri na kuingia katika ukumbi ule akiwa ana boardguard wake


Hata hivyo alipofika ndani alimkuta binti akiwa ameketi kwenye meza akiwa na rafiki yake Jane, mheshimiwa alifurahi sana akaamuru milango yote ifungwe na kisha hairuhusiwi mtu kupiga picha au kurekodi video ya aina yoyote


“Tino” binti alimuwaza mpenzi wake akiamini anamkosea “mtoto wetu atanisamehe ila nakupenda sana huko ulipo” alisema binti kwa hisia kali


Baada ya shamra shamra kuanza pale na kumpa binti zawadi za kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa, waziri aliamua kufanya makusudi ili kama kuna mapenzi yanaendelea kati ya Tino na Tina yaweze kuisha moja kwa moja


“Sasa nawakaribisha vijana wangu wa kazi waweze kumjua mama yao” waziri aliongea kwa sauti ya kawaida bila maiki maana alihofia sauti kusikika nje “Abdallah, Tonny na wenzenu njooni huku” alizidi kuongea


Kweli walijitokeza vijana watatu Abdallah, Tonny pamoja na Ishengoma pale mbele ya binti na kumpigia makofi kwa ajili ya kumpongeza huku wakimpa zawadi. Binti alianza kuogopa sana maana aliwajuwa wawili kati yao na wote walifahamu kwamba anatoka na Tino


“Tonny” waziri aliita


“Agostino yuko wapi mbona hajajitokeza” alisema waziri


Moyo wa binti ulimpiga paah paaah , Tonny akainuka na kwenda nje kidogo, baadaye akarudi akiwa amemshika mkono mtaalamu Tino anamvuta kwa nguvu


Tina alipomuona Tino alishtuka maana, hakujua kama pia Tino ana ukaribu na mzee 


“Huyu ni kijana wangu mwingine tena ambaye ninamkubali sana katika harakati” alisema waziri


Kichefuchefu kilizidi kumsumbua binti akainuka na kwenda chooni kwa uoga akatapika huku akilalamika

“Huyu Tino ni nani?” alijiuliza…………




Tulipoishia

Tina alipomuona Tino alishtuka maana, hakujua kama pia Tino ana ukaribu na mzee


“Huyu ni kijana wangu mwingine tena ambaye ninamkubali sana katika harakati” alisema waziri


Kichefuchefu kilizidi kumsumbua binti akainuka na kwenda chooni kwa uoga akatapika huku akilalamika

“Huyu Tino ni nani?” alijiuliza……


Sepa nayo


Jane ilibidi amfuate Tina chooni akamkuta akiwa ameduwaa anajiangalia kwenye kioo


“Tina” alisema binti Jane


“abee” alisema


“usifadhaike ni jambo la kawaida mbona nilijua mda kwamba waziri ni mkuu wake turudi kule tukamalizie sherehe bwana “ Jane aliongea


“mwanaume muongo sana yule” alisema binti


“twende kwanza uongo wake nini bwana we twende” alisema Jane


Basi wote walitoka chooni wakiwa wameshikana mikono, wakarudi ukumbini na kuketi

“Christina vipi unaumwa” aliuliza mheshimiwa


“hapana siumwi” alisema binti


“haya tuendelee kutambulishana “huyu kijana wangu anaitwa Agustino Benjamin Clement yaani ABC kwa kifupi, ni msaidizi wa kazi zangu namkubali sana” alisema waziri


Tino aliponyanyua uso na kumtazama binti alikuta binti anamuangalia kwa macho yanayomkanya asimzoee lakini Tino alisikitika kidogo na kuinamisha kichwa tena


Shamra shamra za sherehe ziliendelea mpaka muda wa saa tisa usiku ambapo waligana lakini waziri alibaki pale na binti kwa ajili ya kutimiza ahadi yao kwamba wangelala usiku kucha ili kutafuta mtoto


Tino alipofika nje alisimama nje ya gari huku akitafakari sana namna ambavyo mpenzi wake anaenda kutandikwa na muheshimiwa, nafsi ilimuuma sana akaendelea kufikiria akisikitika


“mwanangu Tino tusepe mzee” Tonny alisema


“nendeni nyie mimi nakuja ngoja kwanza nipate moja mbili hapa” alisema mtaalamu na kuingia ndani ya ukumbi ule akaona binti anaeleka chumbani na waziri, roho ilimuuma, binti naye aligeuka akamuona Tino akiwa amesimama pale kwenye ukumbi macho yakiwa yamebadilika rangi na kuwa mekundu kama nyanya alionekana alikuwa na mapenzi ya dhati sana kwa binti


Alimfanyia kwa ishara kwamba wakimbie lakini binti alizidi kuingia hadi chumbani na waziri


Tino aliwafuatilia nyuma akaenda kusimama nje ya chumba kile huku mabodiguard wote wakiwa nje ya ukumbi kama waziri alivyowaamuru

Tino kutokana na stress aljikuta amesimama kwenye mlango wa chumba kile akiwa na mawazo sana.


Baada ya dakika tano alishangaa binti ametoka, Tino alishtuka

“Tina” aliita kwa mshangao maana binti alishika viatu na pochi mkononi


“shshshhshh” binti alimuambia jamaa kwamba atulie na kumshika mkono akaanza kumvuta kuelekea sehemu ambayo hata hawazijui, walipita mlango mwingine wakaingia barabara nyembamba ya lami na kuanza kukimbia


“Tina tunaenda wapi?” aliuliza mshikaji 


“mimi mwenyewe hata sielewi Tino we twende tukimbie” alisema binti kwa hisia sana


“daaah waziri umemuambia unaenda wapi” aliuliza huku wakizidi kukimbia 


“nimemdanganya naenda kuongea na Jane nakuonea aibu Tino siwezi nikakusaliti ukiwa unaona, bora nikose hela mpenzi”


Walikmbia wakafika mahali binti akachoka na kuanza kutapika


“sasa itakuwaje mbona unatapika” alisema mtaalam


Mara ghafla zilitokea pikipiki mbili zikikimbizwa hasa na walizipaki watu wawili wakiwa wakiwa wameshikilia bastola kubwa za maana na kuwapiga kichwani Tina n Tino wote wakapoteza fahamu


******

Mida ya asubuhi Tina alishtuka akiwa amefungwa na kamba kwenye jumba moja asilojua liko wapi

Alipoangalia pembeni alikuta pia Tino amefungwa pembeni ila bado alikuwa amepoteza fahamu,


“Tino, wee Tino” binti aliita kwa sauti ya chini ili kama kuna adui pale asisikie


Tino naye alishtuka akatazama na kuanza kukumbuka tukio lilivyokuwa


“Tina” aliita baada ya kumuona Tina pembeni yake “tuko wapi hapa?” aliuliza


“sijui Tino, wewe ndiyo chanzo cha yote haya kwanini usiniambie ukweli toka mwanzo” aliuliza binti


“nisamehe Tina mimi nilishindwa kusema ukweli kwa sababu nilitumwa kukuchunguza wewe maana tulihisi unajihusisha na madawa ya kulevya” alisema Tino


“kwa hiyo wewe ni nani hasa” aliuliza Tina


“mimi ni usalama wa taifa Tina” alisema mtaalam


“kwa hiyo yale maisha yote uliniigizia Tino lakini” alisema binti huku machozi yakimtiririka


“naomba unisamehe Tina, ndiyo kazi yangu ilivyohitaji kwa kipindi chote cha maisha lakini mapenzi yangu kwako yalifanya nishindwe kutimiza kiapo changu kwa serikali”


Mara aliingia mmoja wa mabodigadi wa muheshimimiwa “shsssshit kumbe mmeshafufuka” alisema na kurudi nje akasimama huku akiwa anasubiri wenzake waje


Baada ya dakika kumi ilitokea gari kali na kupaki pale akashuka muheshimiwa lakini dereva akabaki ndani huku akiwa ameshika bastola


“wako wapi?” muheshimiwa aliuliza


“huku ndani mkuu” alisema na kupiga saluti halafu muheshimiwa akazama ndani


Kitendo cha kufika ndani alishangaa kukuta ni peupe ni kamba tu zimebaki kwenye viti pale walipowafungia


“Godfreyyyyy” Waziri aliita kwa hasira na kutoa bastola yake huku akimuita yule mlinzi wake


Mlinzi aliingia naye akapigwa na butwaa haoni watu pale alipowaacha “Muheshimiwa” alisema mtaalam kwa uoga maana alijua lazima wachezee paipu


“Tino na Tina wako wapi?” leo aliyataja majina kwa kifupi huku akimnyooshea bastola


“muheshimiwa walikuwa hapo sijui wametoroka saa ngapi”


“umewatorosha wewe halafu uniletea mambo mengi mimi...hujui mimi nwanajeshi ee?” aliuliza kwa hasira mpaka akajikuta amemshuti yule jamaa akafia pale pale na muheshimiwa akatoka na kwenda kwenye gari akampigia Tonny


“Naomba mumtafute Tino sasa hivi umlete akiwa mzima yeye na Tina” aliongea


“sawa muheshimiwa” Tonny alijibu


Kumbe wakati huo huo Tonny na Dullah ndiyo walikuwa na Tino na ndiyo wamemtorosha kutoka kule alipokuwa ametekwa, na walikuwa maeneo ya Bunju B wakikata tiketi ya mabasi ya Nairobi


“Tino mwanangu tumeambiwa tukukamate sasa shikeni hizi tiketi pandeni gari la kuelekea Nairobi mkatafute maisha yenu” alisema Tonny


“Tina achana na lile lizee lina wanawake kibao, na hawezi kuwa na malengo na wewe” waliongea pale kwa bahati nzuri basi la Nairobi likafika pale pale wakapanda


Tina alichoweza kufanya ni kumpa ufunguo Tonny tu

“Naomba vitu vyangu uviuze unitumie hela yake please shemeji” alisema binti


“sawa shemeji kwaherini”


“poa jamani” alisema gari nayo ikapigwa moto hao wakapotea kuelekea Nairobi wakasake maisha yao.


**

Baadaye Tonny na Dullah walirudi kwa waziri wakamuambia kwamba hawajampata lakini watamfuatilia mpaka pale watakapopata taarifa kwamba wameenda wapi


“Pumbavuuuu” mzee alipiga ngumi kwenye meza akiwa na hasira kali sana


***

Ni muda ulipita sana na maisha ya Tina na Tino yaliendelea vyema huko jijini Nairobi bila kifuatiliwa na mtu yeyote.

Asanteni kwa kuwa na mimi mwanzo hadi mwisho


MWISHO 

0 comments:

Post a Comment

Blog