Search This Blog

Thursday 2 March 2023

SHOGA YAKE MAMA - 5

  

 Chombezo : Shoga Yake Mama

Sehemu Ya : Tano (5)


Hakika ilikuwa ni siku mbaya sana kwangu nilipigwa vya kutosha bila huruma wala watu walifanya walichoagizwa. Sikuwa Muddy yule bali mwili mzima ulijaa alama na makovu kovu ya kupigwa mwili mzima. Nilijitahidi kutoka nje ya nyumba ile mara baada ya wale jamaa kutoka na kuniacha nikita siwezi hata kutembea. Badae mama mmoja alikuja kunibeba na kunichukulia Bajaji iliyonipeleka mpaka Hospitalini maeneo ya Mbagala Rangi 3. Nilikuwa nimechakazwa haswa kila kiungo kilihitaji kutibiwa kwa wakati huo. "Siwezi kurudia tena huu upuuzi" Niliongea nikijigeuza upande mwingine kwani nilihisi kulalia sehemu ambayo palikuwa na mbavu inayouma. "Unakaa wapi wewe kijana" Mama huyu aliniuliza akitaka kujua wapi nnapokaa ili awasiliane na mama yangu aje kunichukua. Nilimkabidhi simu yangu baada ya kufungua ile simu na kumuwekea sehemu ya majina. "Mama" Nilitamka hivyo kwa shida nilijua nini namaanisha alinikabizisha simu yangu mara baada ya kuchukua namba ile kwenye simu yake. "Nipo hospitalini hapa Mbagala rangi tatu nimemkuta akijivuluta huko mtaani na damu zimetapakaa mwilini mwake ikabidi nimkimbize huku haraka....ila kwa sasa kazinduka mwanzo alikuwa kazimia mara baada ya kumfikisha hapa hospitalini" Mama huyu alikata simu na kuniambia mama yangu anakuja. Nilikuwa mpole kabisa nikimshukuru mungu kwa kuniponya kwenye huu msala ambao sikutegemea kukumbana nao.

Baada ya saa zima kupita nilimuona mama akija akiwa anakimbia kwa kasi kubwa kuja kwangu huku akifika na kunishika mikono yangu "mwanangu shida ni nini mpaka upo hivi" Mama aliongea huku machozi yakimtoka alinitazama kwa muda mrefu sana huku akiniangalia sehemu ya majeraha yangu ambayo nimeumia. "Pole sana Muddy" Nilitikisa kichwa tuu kuonyesha nimepokea pole yake. "Ungejua chanzo cha mimi kuwa hapa usingethubutu hata kuja kuniona. Baadaya nusu saa na Mama mdogo alikuja akiwa na chupa ya chai alifika na kuchufungua mfuniko wa ule mfuniko wa chupa ya chai na kuanza kuninywesha uji aliokuja nao toka nyumbani. Nilikuwa nimejilaza juu ya mapaja yake wakati niliokuwa ninakunywa uji huo nikimuona mama mdogo kutokuwa na furaha kabisa nilijua kwanini maana hapendi niwe katika hali Kama hii hata sikumoja.

Zilipita siku takribani ya nne kabla sijaruhusiwa kurudi nyumbani nilijitahidi kufuata maelezo ya dokta ili kurudisha mwili wangu uwe sawa muda wote. Nilikuwa najilaumu sana kwa mambo nioiyoyaenedekeza ambayo yananifanya niwe mtumwa nilihisi kuwanimelogwa au nimetupiwa jini mahaba. Dokta aliyekuwa ananiuguza alikuja na kuniambia kwamba kesho yake ntaruhusiwa kuondoka nyumbani kwetu mwani mwili ushaanza kukaa sawa. "Kwa hiyo dokta kesho ndio tutaondoka na mtu wetu" Mama aliuliza akiwa wamesimama pembeni yangu mara baada ya dokta kutoka kunichoma sindano. "Ndio kesho inatakiwa kuruhusiwa japo matibabu mengine yatamfuata akiwa nyumbani maana maumivu kwa ndani hayajampata" Majira ya jioni mama aliondoka zake majira hayo hayakuruhusiwa mtu tofauti na Mgonjwa kuwa Wodini. Nilibaki pekee yangu nikiwasiliana na marafiki zangu kwa njia ya simu huku nikiwapa taarifa ya kuumia kwangu. Nesi mmoja alipita karibu yangu kwa bahati mbaya alijikwaa na kuangusha dawa alizokuwa nazo mkononi wakati akiinama macho yangu yaligota hadi usawa wa mapaja yake ambayo yalionekana tokana na nguo yake ya kazi kuwa fupi kiasi. "Mmmmmmh" Niliguna mara baada ya kuona jogoo wangu aking'atuka ghafla na kufula kwa hasira akitaka huduma muda huo. "Hii sasa hatari" Niliongea huku nikipitisha mkono wangu hadi ndani ya boksa na kugusa mashine iliyokuwa imesimama dede muda wote. Wakati nikimuona nesi akikatisha na kwenda kwa mgonjwa mwingine niliinua shingo na kumtazama Nesi alipokuwa anamtibu mgonjwa huyu hamu ya kufanya ngono iliendelea kuishinda nafsi yangu nikijishauli mara kadhaa nifanye nini kupunguza haya mateso. "Liwalo na Liwe" Niliongea nikimtazama nesi huyu aliyekuwa anamalizia kutoa huduma kwa wengine. Nilipomuona anakuja nilifanya kama naumwa tumbo limenikaba alikuja nilipokuwa nikilalamika maumivu ya tumbo na ndio lilikuwa lengo langu alikuja na kuinama karibu yangu huku akiniuliza Tatizo nini. Nilimnyoshea tuu kwa kidole kwenye usawa wa tumbo.

Sikujua kama ni shetani au ni jini la aina gani linanisumbua wakati huo kwani nilijikuta nikipeleka mkono wangu hadi usawa wa mapaja ya nesi huyu huku nikiwa kama nalalamika maumivu hakuonesha hali ya kushtuka niliongeza kwa kuyashika kabisa nikiwa naonekana kama tumbo limenizidia huku naye nesi akihisi ni hali ya kawaida. Sikusita kuyapapasa mapaja yake huku nikijisahau yakuwa mashine yangu kule imeshika mtandao niliona macho yake yakiwa yameganda usawa wa mashine yangu na mikono yake ikisimama kushika shika tumbo langu......



Sikujua kama ni shetani au ni jini la aina gani linanisumbua wakati huo kwani nilijikuta nikipeleka mkono wangu hadi usawnakip mapaja ya nesi huyu huku nikiwa kama nalalamika maumivu hakuonesha hali ya kushtuka niliongeza kwa kuyashika kabisa nikiwa naonekana kama tumbo limenizidia huku naye nesi akihisi ni hali ya kawaida. Sikusita kuyapapasa mapaja yake huku nikijisahau yakuwa mashine yangu kule imeshika mtandao niliona macho yake yakiwa yameganda usawa wa mashine yangu na mikono yake ikisimama kushika shika tumbo langu......

SONGA NAYOO....

Aliniangalia kwa muda sana huku nikianza kutoa mkono wangu sehemu nilipouweka nikijua hapa ninapoelekea ni kuzalilishwa hospitalini mbele za wagonjwa usiku huu. Cha ajabu kabla ya kusema mkono ule utoke nilishangaa ukizuiliwa usawa wa magoti yake. "Utaweza au ndio unataka uniachie tuu nyeg* hapa!?" Nesi aliongea kwa sauti ya chini sana kiasi kwamba mtu aliyekaribu hata kwaumbali wa hatua moja hawez kusikia. Nilimuangalia nikaishia kutikisa kichwa kuonyesha nimekubaliana na kile anachokisema. Aliniinua akionekana kama amebeba mgonjwa aliyezidiwa. Alinishika usawa wa kiuno changu na mie nikipitisha mkono juu ya bega lake nikionekana kama nasunta fulani hivi mguu mmoja. Kwa uchokozi wangu niliokuwa nao nilipeleleka mkono wangu nilioupitisha kwenye titi la nesi huyu ambaye aliniangalia kwa macho ya huba ukichangia rasta alizokuwa amesuka alionekana uzuri wake wote. "Mimi ndio Muddy bwana sishindwi kitu na nyota yangu inanibeba" Niliongea kimoyo moyo nikiingia naye chumba cha sindano na kufunga mlango kwa funguo kabisaa. "Unataka kweli, ila mbona kama bado mdogo sana kwangu etii" Nesi huyu aliongea akiwa kasimama kwenye meza iliyokuwa inatumika mle ndani, sikutaka kumpa fursa ya kuendelea kunidhalau nilimvuta karibu yangu na kuzinasa lips zake na kuanza kuzinyonya kwa fujo, sikutaka kulemba katika mchezo huu kwani alikuwa analet dhalau japo mhogo wa jang'ombe anautaka. Nilimshika kisawa sawa nywele zake na kuendelea kunyonya lips zake huku nikishuka usawa wa shingo yake na kuendelea kufanya yangu nilimuoma jinsi anavyolegea mara baada ya kupandisha kigauni chake cha kijani mpauko na kupitisha vidole vyangu juu ya kitumbua chake huku nikivizamisha kwa kuunganisha na ch*p* yake iliyoingia kidogo sikutaka kulemba nilikuwa nachezesha vidole ndani kwa ndani mpaka nikimuona akizing'ata lips zake bila ya kujizuia kwani alikuwa anapata utamu anaoutaka muda wote. Mpaka nakuja kutoa vidole vyangu ndani na ile ch*p* yake ilikuwa imelowa chapa chapa kwa mabao kadhaa aliyopiga hewani ndani kwa ndani huku nikimbinua na kuniachia kishundu chake nyuma iliyoonyesha kitumbua chake vizuri ili kitumike. Nilishusha suruali na boksa yangu huku nikipitisha mkoma wangu ndani kwa ndani nilimuona akikunja sura huku akinigeukia nilipokuwa nyuma yake "mmmmmh...ku.mb

e..u...naaaa....na.niiii kub...." Hakumalizia kauli yake mara baada ya kupeleka nje ndani mara moja huku nikumona akifumba macho ka kichwa akikilaza juu ya meza. Hakunijua kwamba mie ndie Muddy niliekubuhu kwenye hii tasinia ya mapenzi kwani sitegemei kitAndani tuu ili mchezo niumalize.

"Unaitwa nani jina lako" Aliniuliza wakati akichukua kigauni chake na kukivaa na akijiweka sawa rasta zake kwani nilizisasambua kwa mikono yangu. "Naitwa Muddy vip unaitwa nani vile"

"Naitwa Halma, nipe namba yako maana sio kwa utamu huo ulionipa natamani hata nikutafune kama chakula maana sio kwa utamu huo wew mtoto" Aliongea akinipa simu yake na kumuandikia namba yangu ya simu sikujua hata ameiandika jina gani. Tulitoka kama tulivyoingia huku awamu hii nikikishika kiuno huku nakiiwa nakibinya binya mara kadhaa huku akitabasamu. "Nesi katibiwa namgonjwa wake" Niliongea kiutani akibaki kucheka tuu akiniangalia kwa macho yake makubwa na meupe. Alifika na kuniweka kwanye kitanda huku akiondoka ila alitaka kunipiga busu nikamzuia isije kuwa matatizo mengine kama niliyomuachia Lizzy na yamepelekea kuchezea kichapo cha haja toka kwa wa yule dokta wa kike.

Asubuhi na mapema mama alikuja na Mama mdogo kunichukua kwa ajili ya kwenda ntumbani. Tulitoka na kwenda hadi nyumbani kwetu nikiwa muda wote namdekea mama mdogo kwani nilikuwa nimemiss mambo yake ya chumbani kwani alijua kunifikisha pale napopatakaga hata mie kama kwake yeye alivyo. "Muddy nimekumiss hatari yaan hapa panawasha kila sehemu hakuna mkunaji tuu". " Mimi hapa nimerudi leo utaomba msada wa majirani maana sio kwa ny*g* hizi nilizonazo" Alinishika kichwani na kunishika kidevu tena. "Unashika nini hapo wakati hakuna ndevu" Aliishia kucheka tuu mpaka tunafika nyumbani majira ya saa tatu. Mama alipitiliza mpaka ndani na kubadili nguo na kutuacha tukiwa sebuleni na Mama mdogo alituaga na kuondoka. Kitendo cha mlango kufungwa mama mdogo alinirukia na kunikalia kwenye mapaja yangu na kuanza kunitomasa mwilini mwangu. Binafsi nilikuwa nimelimiss penzi la mama mdogo aliyekuwa mbele yangu akijipimia utamu. "Mlango ule hujafungwa lakini" Nilimkumbusha Mama mdogo lakini kama hakunisikia alianza kuendelea na mchezo wake alionifanya nimdaake na kumtoa kinguo alichokuwa kavaa na kuonyesha chuchu zake zikiwa zimenianagalia mbele yangu. Nilizifakamia kwa midomo yangu huku mikono yangu ikizunguka nyuma ya mgongo wake hakuna aliyejali kuwa hapo ni sehemu ambayo ni ya wazi tuliendelea kupeana raha.

"Hapo ni mama mdogo na mwanae" Sauti iliyosikika sote tukiiskia hatukujua kaingia saa ngapi alikuwa ni Careen akiwa anaangalia mchezo mzima. Alitoka mbio ndani nikiwa nimezuba nisijue nini cha kuongea kabisaa mbele yake. Kasi aliyotoka nayo nilisikia tuu geti likipigizwa kwa sauti ya nguvu. Tulibaki tukiwa tumeduwaa nilimuangalia mama mdogo aliyebaki na bumbu wazi asijue aipeleke wapi ile aibu. "Umeona sasa kilichotokea" Niliinuka na kwenda ndani kabisa kilipo chumba changu. Nikiwa na mawazo kwani nilijikuta katika mabinti niliyokuwa nimetembea nao mtu niliyekuwa nimeanza kumpenda alikuwa ni Careen. "Haina haja ya kubaki hapa duniani kwa kile nilichokishuhudia kwa mtu niliyeanza kumpenda japo hakuwa anajua hilo, Muddy mie sioni haja ya mie kuwa hapa maana sizani kama ntayavumilia haya maaumivu na Jambo la mama na wewe nilikuwa nalihisi tuu huenda kuna ukweli ndani yake" Ilikuwa sms ya utata toka kwa Careen sikutaka kubaki ndani niliinuka kwa kasi kutoka nje kwani nilijua atakuwa kachukua uamuzi wa kujiua kabisa. "Hapana" Nilikimbia huku nikikuta geti la kwao likiwa limefungwa kaa nje. Niliamua kurukaUkuta wao na kuingia ndani nikipitiliza hadi kilipochumba cha Careen lakini niliishia mlangoni mara baada kukuta mlango umefungwa kwa ndani nilijutahidi kuchungulia kwa kupitia tundu la funguo ila niliona Sturi tuu ikiwaimedondoka chini...




"Haina haja ya kubaki hapa duniani kwa kile nilichokishuhudia kwa mtu niliyeanza kumpenda japo hakuwa anajua hilo, Muddy mie sioni haja ya mie kuwa hapa maana sizani kama ntayavumilia haya maaumivu na Jambo la mama na wewe nilikuwa nalihisi tuu huenda kuna ukweli ndani yake" Ilikuwa sms ya utata toka kwa Careen sikutaka kubaki ndani niliinuka kwa kasi kutoka nje kwani nilijua atakuwa kachukua uamuzi wa kujiua kabisa. "Hapana" Nilikimbia huku nikikuta geti la kwao likiwa limefungwa kaa nje. Niliamua kurukaUkuta wao na kuingia ndani nikipitiliza hadi kilipochumba cha Careen lakini niliishia mlangoni mara baada kukuta mlango umefungwa kwa ndani nilijutahidi kuchungulia kwa kupitia tundu la funguo ila niliona Sturi tuu ikiwaimedondoka chini...

SONGA NAYO...

Sikutaka kabisa kupoteza muda nilitoka nje nikiwa nakimbia kwani nilijua uamuzi ambao ameuchukua kwa sasa ni mbaya zaidi. Niloenda mpaka kwa mlinzi wa nyumba hii na kunuuliza wapi ilipo stoo ya vifaa vyake vya usafi. Alinisontea na mie nilitoka nikiwa bakimbia nikijua kuwa hali ntakayoikuta ndani ni ya hatari. Nilichukua shoka iliyokuwa mwanzoni tuu wa mlango wa nyumba hii. Nilipita nakimbia mbele ya mlinzi aliyelazimu kunifuata kwa nyuma niliingia na kuelekea ulipokuwa mlango wa Careen ambapo nilianza kuvunja usawa wa kitasa kwa bahati ni hii milango ya kisasa zaidi nilifanikiwa kuufungua kwa kupasua kitasa na mie pamoja na Mlinzi tuliingia ndani na kukuta Careen akiwa juu ya kamba ambayo kaifunga shingoni mwake. Miguu yake ilikuwa inatikisika tuu na povu jeupe lilikuwa limeanza kumtoka nilichukua ile stuli ambayo ilikuwa imeanguka na kusimama. Juu yake huku nikishika miguu na kuipeleka juu ili kuzia isiendelee kuteseka nlinzi nae alipanda juu ya kitanda akishika kenchi na kuinfungua kamba iliyokuwa shingoni mwa Careen na wote tulimbeba kwani alikuwa katulia hatukujua kama kazimia au ndio kapoteza maisha mapigo ya moyo yalikuwa yananidunda hasa kwani sikujua kama careen atachukua uamuzi mzito kiasi hiki.

Tulitoka ndani na kumkimbiza Barracks haikuwa mbali sana hadi kufika hospitali wakati tunampeleka Careen ndani ya chumba nilipishana na yule Dokta aliyepelekea kutolewa ngeo na mmewe. Niliishia kumtazama kwa macho ya hasira kwa kiasi kwani toka mwanzo nilikuwa nimemugomea japo alinilazimisha sana. Careen alipelekwa kwenye chumba ambacho ni cha watu mahututi tulibaki kutazama mlango wa wodi hii uliofungwa ukingoja majibu yatolewe tujue je ni mzima. "Ndugu wa huyu ni nani" Dokta ambaye mara ya mwisho nikikutana nae siku nilipoanguka na kupoteza fahamu alikuja na kuniambia nimfuate maana alijua mie nina undugu naye kwani hata nilipokuwa naumwa alikuja kunisabahi na kina mama. "Binti huyu anabahati sana kwani mngechelewa tuu kwa muda mchache msingeweza kumkuta akiwa salama"

Dokta aliongea na kunipa matumaini mapya juu ya uzima wa Careen, wakati tunaongea tulishangaa kuona mlango ukisukumwa kwa nguvu kubwa sana na baba yake na Careen aliongia akiwa na Nguo zake za Jeshi. "Wewe ndio Muddy" Aliniuliza bila hata kumsalimia dokta ambaye alibaki ameduwaa. "Ndi....ooo...mim..i"

Alininyanyua kwa fujo zote bila hata huruma na kunitazama kwa macho makavu yenye uwekundu kidogo alinikandamiza ukutani na kulikunyata shati langu. "Yaaani wewe ndio sababu ya mwanangu kalala hivi hapo sio eeeh" Aliongea huku akinionyesha karatasi aliyokuwa imeandikwa na Mwandiko wa Careen. "Nimeikuta ndani ya chumba chake kwanini usingemwambia kama una mtu mwingine mpaka unasababisha mwanangu anateseka kitandani eeeh" Aliongea huku akinishushia kibao kizito kilichonifika sawasawa usawa wa shavu langu huku akiendelea kuongea maneno mengi kwa nguvu.

Nilimuona akichomoa bastola yake mara baada ya kuona mikono haitoshi kunihukumu "wewe mpumbafu mwanangu asipoamuka lazima umfate huko huko"

Tukiwa tunashangaa nilishangaa kuona mlango ukifunguliwa Careen aliingia ndani kwa msaada wa mlinzi na kumsukuma baba yake akikaa mbele yangu, alikuwa bado hajakaa sawa kwani alikuwa kama mlevi na mie nilibaki kutazama nini kinachoendelea kwani baba yake alitaka kunipiga tena kofi lakini akawahi kulikinga careen.

"Baba huyu nimempenda mwenyewe kwanini umpe kesi ambayo najua hausiki, ole wako umuuzuru najiua muda huu huu" Maneno ya careen aliyoyaongea alibaki mzee akipigwa na butwaa pamoja na kuja na dripu yake mkononi lakini anasubutu kuniambia maneno hayo mbele yake. Machozi ya uchungu alikuwa anayaongea careen mbele ya baba yake mzazi yalikuwa yanamaanisha hakutaka nione nazurika hakika.

"Mtoto ntakupasua ujue hujuijinsi navyojisikia kukuona upo katika hali hii na sitopenda kuona unaolewa na huyu malaya ambaye taarifa zake nnazo mtaani hachagui wakumgonga"

"Baba nimemchangua mwenyewe mimi niacheni kama maumivu nayapitia mimi mwenyewe sio nyinyi namjua ndio mpaka sasa nipo naye tafadhali usiingilie hisia zangu"

"Na lazima huyu mbwa wako nimzuru"

"Ukimpiga na kumuumiza Muddy wangu lazima ntakufanya na wewe kitu kibaya, kwanj baba mlipokutana na mama kuna mtu aliwachagulia eeeh"

"Nishasema sasa kama baba na wewe ni mwanangu"

"Na mimi nasema kama mwanao kama utanizuia kuolewa na huyu labda unioe mwenyewe sasa maana sikuelewi"

"Careen unanijibu nini mimi" Baba yake aliongea kwa hasira kali nilimuona akikunja ngumi mkononi mwake Careen alikuwa mbele yangu akiwa kanikinga nisipigwe na baba yake na mkononi akiwa na dripu zake za maji. Mzee kwa hasira alizokuwa nazo akiinua mkono wake uliokuwa umetengenezewa ngumi ili imfikie Careen ambaye kakosa Adabu mbele yake. Sikutaka hilo litokee kwa haraka kabla ngumi haijamfikia Careen nilimzungusha na ngumi ikinikuta usawa wa kisogo kwa uzito wa ngumi ile nilijkuta nikidondoka na Careen wote tukianguka na kwa mbalii mwanga uliokuwa machoni mwangu ulianza kupotea na kufanya kuanguka chini na kupoteza fahamu.




"Careen unanijibu nini mimi" Baba yake aliongea kwa hasira kali nilimuona akikunja ngumi mkononi mwake Careen alikuwa mbele yangu akiwa kanikinga nisipigwe na baba yake na mkononi akiwa na dripu zake za maji. Mzee kwa hasira alizokuwa nazo akiinua mkono wake uliokuwa umetengenezewa ngumi ili imfikie Careen ambaye kakosa Adabu mbele yake. Sikutaka hilo litokee kwa haraka kabla ngumi haijamfikia Careen nilimzungusha na ngumi ikinikuta usawa wa kisogo kwa uzito wa ngumi ile nilijkuta nikidondoka na Careen wote tukianguka na kwa mbalii mwanga uliokuwa machoni mwangu ulianza kupotea na kufanya kuanguka chini na kupoteza fahamu......

SONGA NAYO...

Mtu wa kwanza kumuona akiwa mbele yangu alikuwa dokta na pembeni yangu alikuwa amekaa mama yangu akiwa anatokwa tuu na machozi, Mbele yangu niliinuka na kumona Mama Careen akiwa kaja sikujua amefika muda gani kwani sikutaka wafahamu juu ya kile kinachoendelea mimi na Careen. Niliona jinsi machozi yanamtoka taratibu kulikuwa kumekaa kimya kila mmoja akiwa ananiangalia mimi niliinuka na kukaa na kuona mlango ukifunguliwa aliingia Mama mdogo akiwa na hotpot ya Kuwekeachakula nilipokea na kukuta ndizi mchnagnyiko na utumbo wa nyama na alikuwa na juisi ya embe ambayo nayo alinipa. "Careen anaendeleaje" Niliwauliza wote ila hakuna aliyenijibu swali langu, "Careen anaendelea vizuri ila kwa maneno ya baba yake mzazi hataki aonane na yeye hivyo kahamiahwa hospitali kapelekwa Agakhan" Dokta alinijibu anatoa sindano ya dripu niliyokuwa nimechomwa kwa ajili ya kupitisha maji. "Daaah Mama careen umerudi lini". Nilibadilisha mada na kumuuliza Mama careen swali lililomtoa kwenye dimbwi la mawazo ambayo sikuyajua".

" Nimekuja leo majira ya mchana na ndege mara bada ya kupokea taarifa za Careen"

"Mbona hujaenda kumuona sasa"

"Ndio natoka huko sasa" Kwakuwa nilikuwa nimepatwa na mshituko tuu niliinuka nikiwa nimechoka kiasi na safari ya kwenda nyumbani iliwadia. Njiani hakuna aliyethubutu kutamuka neno lolote juu ya hiki kinachoendelea majira haya. Tukitwmbea hadi kufika nyumbani.

"Nakuomba uje Nyumbani mara moja"

"Hapana siwezi Mama careen"

"Unaogopa nini sasa mwenzio lakini afu leo nipo pekee yangu hata Careen si hayupo"

"Nimea

"Nimeshasema sitaki ujue sitaki kweli, kwani sijipendi kiasi hicho"

"Haya bhana,umeona ummalizie na mwanangu Careen kabisaa ili ule kuku na mayai yake sema wewe ni mtamu kwa hiyo si shangai na careen kutaka kujiua, tambua kuwa mpango wangu uko pale pale lazima wiki ijayo tuondoke kwenda Afrika Kusini"

Mama careen alikata simu yake na mie kwa hasira nilijkuta nikizima simu kabisa maana watu hawachelewi kunipigia. 

Asubuhi nilishutuka mama mdogo akiwa chumbani kwangu akiwa Ananiangalia kwa macho yake malegevu huku akijishika shika matiti yake. "Muddy nimekumiss jamani wiki sasa imepita bila hata kunigusa nawashwa" Mama mdogo akiongea bila hata woga ila nilimsukuma huku nikisimama kwa miguu yangu miwili. "Sitaki na sikutaki na sihitaji ujinga huu uendelee inatakiwa utafute mume uolewe mama yangu"

"Simuoni mtu mwingine tofauti na wewe"

"Wewe mjinga eti toka humu chumbani" Nilijaribu kumfukuza mama yangu mdogo lakini alikuwa mgumu kuelewa niliinuka na kuanza kuvaa nguo zangu na kutoka kabisa chumbani hum. Sikuona hata haja ya kukaa ndani niliinuka na kuondoka na kuelekea lilipokuwa getoo la Suddy nilifika na kuchukua funguo kwa mama Sikujua alinipa na kuingia ndani na kujitupa nikalala nikiwa na mawazo kibao juu ya hali ya Careen sijui inaendeleaje maana baba yake alikuwa ananiogopesha huenda hata huko kampiga Careen. Nikijikuta nimelala tena ila nilikuja kushutsuhwa na  sauti ya mlango ukigongwa niliinuka kwa uppole nikiwa mchovu na kufungua mlango, nilishangaa kusukumwa na dada mmoja ambaye sikumjua mwanzo "aaah kumbe ni wewe" Niliongea nikiwa nafunga mlango, alikuwa ni yule yule ambaye siku mashine yangu iligoma kuwika na kumuacha ndani. Nilikuwa na hasira nae ili nimuonyoshe nini nikichotaka kumpa leo hii, "Nipe nina hamu na dude lako" Alionge akiwa kanikumbatia hata ule uchovu niliokuwa nao nilijikuta ukiniishia mara baada ya mikono binti huyu kupitisha chini ya Koki yangu. Alianza kwa kumchua jogoo wangu hali ikiyopelekea kumshika dadaa huyu aliyekuwa kaingia na gauni fuopi la kutenge. Nilimshika na kumkandamiza ukutani huku nikianza kuuchezea mwili wake wote kwa fujo ila kila nilipitisha vidole vyangu kwenye kitumbua chake alikuwa akivitoa na kuvipitisha kwenye tigo yake. Nilijua nini anataka nilihamisha mikono yangu na kurudi kwenye tig* yake alikuwa akitoa ukelele wa haja mpaka pale aliponiruhusu mhogo wangu kuupitisha kwenye Mtandao wake wa nyuma bila uwoga alikuwa akinikatiakia haswa, kweli hakuna nyama tamu kama ya bata japo wengi hawaipendi kwa sababu ya uchafu wake, nilishia kupiga ukelele wa goli nililofunga na kumchafua dada wa watu. Alikuwa anapumlia juu juu akiniangalia kwa macho yale yake ya matamanio ila hata yeye alikuwa hana hamu tena. "Muddy wewe mtamu sana" 

Aliongea akichukua gauni lake aliloangusha chini na kuvaa na kuanza kuondoka. "Umesahau" Nilimuonyesha chup* yake aliyoirudia akiwa mwenye aibu kwa mbali na kunilingishia macho yake. Alitoka huku na mie nikilala hadi nikioojihisi mkojo kunibana na kutoka nje kwenda kwenye bafu la nje. Nilikuwa najitahidi kuutoa mkojo lakini kila nikijaribu hautoki kwa mbali nilihisi maumivu makali kwenye njia ya mkojo na damu kidogo ikitoka ukifutiwa na mkojo... Nilibaki nimeduwaa haswa kwani ni dalili mbaya..




Aliongea akichukua gauni lake aliloangusha chini na kuvaa na kuanza kuondoka. "Umesahau" Nilimuonyesha chup* yake aliyoirudia akiwa mwenye aibu kwa mbali na kunilingishia macho yake. Alitoka huku na mie nikilala hadi nikioojihisi mkojo kunibana na kutoka nje kwenda kwenye bafu la nje. Nilikuwa najitahidi kuutoa mkojo lakini kila nikijaribu hautoki kwa mbali nilihisi maumivu makali kwenye njia ya mkojo na damu kidogo ikitoka ukifutiwa na mkojo... Nilibaki nimeduwaa haswa kwani ni dalili mbaya..

SONGA NAYO.....

Hata pale nilipomaliza kukojoa mkojo wa mwisho maumivu yalirudi pale pale nilitamani hata kupiga hata kelele kwa maumivu yale. Nilirudi chumbani kwa Suddy huku mapigo ya moyo yakienda kasi nisijue nimekutwa na nini. "Au bwana yake na huyu dada atakuwa kaniloga nini haiwezekani mbona ghafla hivi". Niliinuka na kumalizia kufunga mkanda wa suruali yangu ambao niliamua Kuufungua na Kutazama mashine yangu ambayo imeingiwa doa. Nilitooa na kufunga mlango na kukabidhisha funguo kwa Mama sikujua.

Safari yangu iliishia mpaka hospital kwa bahati nzuri sikukuta foleni upande wa maabara nilipoenda kuchukua vipimo mpaka nilipomaliza kupimwa majibu ambayo nilipokea aikuweza kuyaelewa. "Muddy pole sana najua upo na maswali kibao kichwani ila tumejaribu kukupima hakuna tatizo kwenye mfumo mzima wa nwili wako hasa kwenye sehemu za siri"

"Dokta vipi na kuhusu mkojo kuuma kiasi hicho mpaka damu zinatoka tatizo unaniambia hakuna kweli"

"Kuuma kwa mkojo inaweza ikawa ni mchafuko wa damu tuu"

Majibu ya dokta sikulizika nayo mpaka nafika nyumbani nilikuwa mnyonge zaidi japo nililipewa imani na dokta. "Muddy Miss you" Rahma alinitumia ujumbe mfupi kwani ilikuwa ni weekend ilikuwa kawaida yake kutaka kuonana na mimi kila weekend.

"Upo wapi mrembo wangu" Nilimjibu

"Nipo na mama hapa nyumbani nataka nimtoloke tuje twende bichi wote"

"Mmmmh akigundua si itakuwa hatari sasa"

"Hapana mbona nakuja muda si mrefu tuondoke sote" Nilishindwa kumzuia kwani niliona sehemu ya kwenda kupunguza mawazo ni kwenda kuzulula hata bichi kwani nilifahamu jinsi gani ninavyojihisi kwenye afya yangu. Nilianza kujiandaa huku nikiwa napishana mlangoni na mama mdogo ambaye sitaki hata kuongea naye wakati huo na sikutaka mazoea naye kabisa tena. Mpaka inafika mida ya saa 9 mchana nilikiwa namsubiri aje ili tuondoke sote kuelekea Coco Beach. Hakuchelewa akawa kafika na kuondoka zetu kuelekea coco.

Hakika Rahma alikuwa ananipenda kwani hakusita kunilalalia mapajani mwangu mbele za watu waliokuwa kwenye daladala hii. Nilibaki kumtazama tuu jinsi alivyozaliwa na uzuri wake asili kwa bahati hakupenda kutumia vipodozi vya kubadili ngozi yake. "Kwanini sijali hisia za wanaonipenda lakini" Nilijiuliza nikimwangalia rahma aliyekuwa kasinzia kabisa. Mpaka tunafika maeneo ya Coco Beach kila mmoja alikuwa na hamu kweli kweli ya kuogelea.

Tulifika na kubadili nguo zetu na kubakiwa na nguo ambazo zilistahili kutumika wakati huo, tulijitupa kwenye maji na kuanza kuoga wote Rahma alikuwa muoga wa maji japo alikuwa kila muda alikuwa ananiita nimshikilie au niogelee naye karibu. Nilimshika Rahma mkono na kuanza kumpeleka kwenye maji mengi alibaki kuning'an'gania mgongoni. Nilimgeuza na kushusha mikono yangu kiunoni mwake nilimuona alivyotulia nilijua nini anataka kwa wakati huo. Sikusita kunsogeza karibu yangu zaidi hadi miili yetu iligusana. Hapakuwa na aibu tena mbele yetu kila mmoja alijua haja ya mwenzi wake nini anataka. Kila mmoja alihakikisha anamfikisha anapopataka mwenzi wake kwa muda ule. Kilichobaki pale ni miguno ya haja haswa nilikuwa namtazama Rahma aliyekuwa akizungusha kiuno ndani ya maji ya bahari akijipimia mwenyewe mie nilibaki kushika tuu kiuno chake nilichohakikisha anapata kile alichohitaji muda mrefu. Mpaka tunafika kieleleni nilikuwa nimechoka haswa tokana Rahma alikuwa mtu wa pili kutembea naye mara baada ya kutoka kufanya na yule dada aliyekuwa kwa kina suddy. Muda ukikuwa umeenda haukuwa rafiki tena kwetu Sisi kuhbaki maeneo hayo tulitoka na kuchukua nguo zetu na kuondoka eneo la Coco Beach.

"Ahsante Muddy" Rahma alinubusu shavuni kwangu wakati tunatawanyika na kila mtu alienda alipostahili kwenda kwao.

*****************

Siku zilipita na ni mwezi sasa umepita bila hata kumona Careen sikujua ameenda wapi kwani nilikuwa najitahidi kila nikienda kwao nilimkuta Mama yake tuu aliyezidi kunilazimisha kufanya nae mapenzi huku akinishawishi kutoloka naye kwenda Afrika kusini lakini nilikuwa nimeanza kubadili mawazo yangu. Siku moja nikiwa nimeingia kwenda kumuangalia careen kama amerudi nilikutana na Mama Careen akiwa na Passport mbili mkononi cha kushangaza alikuwa ameweka begi lake mlangoni akiniambiwa tayari ameshakata tiketi za kutoloka na mimi ilibidi kumkatalia pale pale.

"Ukikataa najiua mbele yako Muddy" Mama careen alichomoa kisu kwenye mkoba wake huku akinitishia nisipomjibu wala kumuunga mkono swala la yeye kuondoka lazima ajiue na lazima aondoke na mie muda huu.

"Mama careen si una mume wewe, una mtoto wewe eeeh!?" Nilimuuliza nikiwa ninamsogelea lakini nikiwa namsogelea nilihisi muwasho mkali sehemu zangu za siri ambao kwa sasa imekuwa mara yake ya tatu unanitokea nilijishike sehemu zangu za siri na kuanza kujikuna kwa mikono yangu kila navyojikuna ndivyo nilivuozidi kuwasha. Hadi haja ya mkojo ilinibana ila nilipojaribu kwenda chooni kuupunguza mkojo yale maumivu ya kipindi kile yamerudi tena tena yameongezwa na muwasho. Nilibaki kupiga ukelele wa Maumivu ndani ya nyumba ya Mama careen nisijue nifanye nini kwani miwasho ule hukutaka kuisha kabisa.



"Mama careen si una mume wewe, una mtoto wewe eeeh!?" Nilimuuliza nikiwa ninamsogelea lakini nikiwa namsogelea nilihisi muwasho mkali sehemu zangu za siri ambao kwa sasa imekuwa mara yake ya tatu unanitokea nilijishike sehemu zangu za siri na kuanza kujikuna kwa mikono yangu kila navyojikuna ndivyo nilivuozidi kuwasha. Hadi haja ya mkojo ilinibana ila nilipojaribu kwenda chooni kuupunguza mkojo yale maumivu ya kipindi kile yamerudi tena tena yameongezwa na muwasho. Nilibaki kupiga ukelele wa Maumivu ndani ya nyumba ya Mama careen nisijue nifanye nini kwani miwasho ule hukutaka kuisha kabisa.........

SONGA NAYO...

Machozi yalikuwa yananitoka mfululizo nisijue wapi ntakimbilia kupunguza huu muwasho niliokuwa nao. Hata mama careen aliyekuwa anajiandaa kuondoka ilibidi anifuate mpaka kilipokuwa choo cha nje ya nyumba, alinikuta nikiwa nimekaa sehemu ya kupitishia haja huku nikikuna sehemu zangu za siri kwa nguvu kadri navyojikuna ndivyo muwasho ulizidi kuongozeka. "Muddy shida nini tena jamani" Sikuona hata aibu kujiachia kwani nilitamani hata ije feni kunipulizia huenda muwasho utapungua.

Binafsi sikujua ni ugonjwa gani michirizi ya mikojo ya damu iliyokuwa imesalia kwenye kichwa cha mashine yangu ilikuwa inamtisha hata Mama careen ambaye alitamani kujua tatizo ni nini. Aliniinua na kunivalisha nguo zangu haraka sana na kunipandisha kwenye gari lake haraka sana safari yetu iliishia hospitalini moja kwa moja hata kabla taarifa hazijwafikia nyumbani juu ya kile kilichonikuta sikujua ni ugonjwa gani au tatizo gani linanisumbua japo kwa Leo limeongezeka sana tofauti na siku zote.

Vipimo vilichukuliwa vya kila namna ili kujua ni nini tatizo daktari alimuita Mama careen huku akimuita pembeni kidogo japo ilikuwa soo mbali na mimi ila niliweza kuyasikia maongezi yao yaliyokuwa yanaendelea.

"Huyu ni mwanao ama!?"

"Hapana ila ni mtoto wa jirani yangu tunayekaa naye mtaa mmoja"

"Ooooh hilo halina shida kwa kuwa ni moja ya majirani ni vyema, mama yake yuko wapi kwani"

"Mama yake yupo kazini ila alikuja kwangu mara moja kuna kazi nilikiwa nimemuagiza"

"Sawa, Mama tumejaribu kuchukua kila aina ya vipimo ila hakuna tunachoona kwa mawanenu kabisa nilihisi labda fangasi lakini hapana kinachonishangaza zaidi ni hizi damu zinazomtoka nashindwa kuelewa ni ugonjwa gani umemkumba huyu kijana"

"Mmejaribu kila namna hamjagundua tatizo ni nini kweli"

"Ingali tungelikuwa na uwezo hafadhali tungekusaidia lakini kwa sasa tunashindwa hata tumpe dawa gani ila cha kuwasaidia jaribuni hata kuwasiliana na Mashekhe hata Wachungaji wamfanyie maombi"

Muda wote machozi yalikuwa yakinitoka nikijilaumu kwa anasa ambazo nilikuwa nafanya huenda zimesababisha haya kwani hakuna hata mtu mmoja niliwahi kutumia kondomu wakati wa tendo wote tulikuwa vile vile tuu. "Mungu wangu nisamehe mwanao" Niliongea maneno haya kwa ujasiri huku nikiyafuta machozi yangu "Najua nalipa kwa mabaya niliyoyafanya mungu wangu ninusuru katika haya" Muda ulipita mama alikuja akitoka kwa dokta kwani tayari alikuwa amekuja na Shekhe ambaye mama anafahamiana naye kwa ajili ya Dua. Hapakuwa na namna zaidi ya kumuomba mungu tuu ili aniponye katika kisanga hiki. Kila kukicha shekhe alikuwa anakuja kunipatia dua ambazo sikuona faida zake kilasiku kwani ule muwasho ulibaki kuwapo hata kukojoa nilikiwa siwezi tena, mashine yangu ilikuwa imejawa na vipele kibao ilikuwa haitamaniniki ule utamu uliokuwa unasifiwa kila muda haukuwepo tena. Binafsi nilijikatia tamaa nikijua hiki ndio kiama kwangu na ndio malipo ya dhambi nilizozichuma muda wote.

Nilitamani kuywa hata sumu ili nife au nijinyonge kabisa nisiwepo tena duniani kwani imekuwa chungu kwangu umri wangu wa Miaka 20 tuu umekuwa daraja gumu kuupitisha maisha yangu yakikuwa mkononi mwa mungu tuu kwani hata yale mapele yaliyokuwa sehemu zangu za siri yalikuwa vidonda tayari hakuna aliyetamani kuniona mashine yangu ilikuwa haitamaniki. Kilio ndio ilikuwa faraja yangu Mama yangu alikonda juu ya hali yangu sikutaka kabisa kuona Mama yangu anapata shida mbele yangu kwasbabu ya dhambi zangu. Ilifika kipindi hadi Shekhe huyu nilimzuia kuja lakini hakukoma kuja kunifanyia Dua nilijua kabisa ndio hatima yangu ni kifo tuu. Baba alirudi naye hakuatarajia kunikuta katika hali hii ilibadilika na kuwa familia ya majonzi familia iliyojaa huzuni muda wote furaha ilitutenga kabisa kadri siku zinavyokwenda hata Madokta walinakatia tamaa kuiniwekea dawa kwenye sehemu zangu za siri.

Miezi miwili ilipita nikipitia mateso hayo hayo nikiwa nimekata tamaa kabisa taratibu hali yangu tena ilianza kubadilika vile vidonda vyangu vilianza kuisha taratibu na kukauka hata uke uwezo wa kukojoa teana ulianza kurudi kama mwanzo japo ilichukua wiki nzima mpka kupitisha mkojo bila kuhisi maumivu tena hata vile vidonda vilianza kupona na ngozi yangu ya zamani ilianza kujirudi taratibu mpaka nilipoona nimepona kabisa. Hakuna siku ambayo nilikuwa ninafuraha nikipokuja kuamuka nikakuta mshine yangu ipo deede.

Tangu siku nimetoka hospitalini nimekuwa Mohamed sio Muddy tena kwani nimekuwa mtu wa swala tano sikutaka tena kurudia makosa ambayo nimeyapitia hakika kwangu yalikuwa zaidi ya mateso ambayo yamenifunza mengi. Nilijitahidi kujitunza hata nisiwe na tamaa tena kwa kumuogopa Allah nimekuwa muddy ninayependwa na kila mtu mtaani nimekuwa mie na kanzu, kanzu na mimi.

Mpaka naandika simulizi hii ni muda wa vijana kutokuendekeza tamaa za mapenzi ingali umri wao ni mdogo kwani taifa linawatehgemea katika utendaji wa kazi za kila namna. Wao ndoo nguvu kazi ya Taifa na taifa linawategemea wao ndio waje kuwa viongozi wa badae na washauri wa Taifa hili waepuke na Tamaa kwani magonjwa ni mengi kuna ya kulogwa na hata adhabu ya mungu ambayo mie ilinipata na mpaka sasa Najiandaa kwenda masomoni kwenye kambi ya Lugalo kusomea maswala ya Afya.



MWISHO



0 comments:

Post a Comment

Blog