Search This Blog

Sunday 5 March 2023

DADA MAMU - 4

   



Chombezo : Dada Mamu

Sehemu Ya : Nne (4)

kuepusha hilo Niliamua kulala zangu mapema tu.



Hivyo niliingia chumbani kwangu mapema kabla hata uncle na Aunty hawajarudi kutoka kazini kwao, niliingia ndani na kujibwaga kwenye changu kitanda huku nikiwa nimesindika mlango wangu niliona hata uvivu kuufunga moja kwa moja hazikupita nyingi dakika usingizi ukinichukua na hapo nikachukulika.


Wakati nipo usingizi nilihisi kama nacheza michezo ile mitamu na tena ya safari hii ilikuwa ni zaidi ya utamu maana namna yule mchezaji mwenzangu alivyokuwa akizungusha chake kiuno kuanzia sehemu zile za ulinzi hadi kuelekea maeneo ya katikati ya uwanja. Ilikuwa tofauti mno alikuwa mwepesi uwepesi ule ulikuwa ukinipa raha isiyokuwa na kifani kwenye ule wangu usingizi huku nikijikuta nageuka mshangiliaji wa mechi ile huku nikipiga mikelele ambayo sijui kama mashabiki wengine walikuwa wanasikia maana ilikuwa “raaah raaaha ooh yeah yeah !!!!ooh!!! Funga tu funga usiache kumbe raha hivi”, na vile na namna nilivyokuwa nikishangilia ndio mzuka ulikuwa ukimpata mpinzani wangu. Ahh!. jamani nilijikuta nikisema vile baada ya mchezaji yule kumpumzika sijui ndio ilikuwa mapumziko ama nini?. Mmh!, hapo nilistuka kutoka kwenye ule usingizi uwiiii kumbe haikuwa mechi ya kufikirika kumbe ilikuwa nigemu yenyewe tena iliyojaa wachezaji mafundi sikuamini kile nilichokiona baada ya kumwona capten wa ile timu uwiii kumbe wewe!!!


Capteni yule alikuwa amependeza vibaya japo mwanga mchache ulikuwa unapenya kwenye yangu macho ila niliweza kumwona vizuri jamani da pammy sikujuaa nini kilimsukuma kufanya vile wakati hata sijanyanyua wangu mdomo kuoji lile da pammy alirudi tena uwanjani kuendeleza mtanange ule ambao mwanzo alikuwa akicheza na timu yangu iliyokuwa imepaki basi sasa hapo niliamua kutoa wangu mchuma na mimi kumwonesha maujuzi nilio fundishwa na dada mamu mmh ..

kiukweli da pammy alikuwa mtamu balaha utamu niliokuwa nikiusikia mwanzo uliongezeka maradafu wakati huo da pammy akiingiza gia taratibu kwenye eneo lake lile la kujidai sikutaka kucheza taratibu niliongeza mashambulizi kuelekea upande ule kabla hata mpinzani ajaomba sub nilikuwa tiyari nishazifumania nyavu mara mbili kitendo ambacho kilifanya tuwe sawa kimagoli




Da pammy akiwa hoi niliona tu akiondoka ndani kwangu bila kusema kitu chochote huku akiwa amelisahau lake kufuri kwenye kitanda changu nilijikuta na tabasamu nikaamini ile ilikuwa tamu sana kwa upande wangu na hata kile kitendo cha da pammy kusahau kufuri lake kwenye kitanda changu ilinipa wazo kuamini kuwa mchezo niliucheza vizuri sana.. kwa sababu nilishawahi kumsikia rafiki yangu dullah akisema ukimwona mwanamke mbaka anasahau lake kufuri katika mambo haya ya kikubwa ujue wazi mchezo ulimkolea na hatakusahau atakusumbua huyo hivyo jambo lile lilinitamanisha hata kucheka kufurahia ile kazi yangu huku nikiwa na imani ule ndio ulikuwa mwanzo wa utamu ule na inavyoelekea nitakuwa ninaupata kila siku kama wa dada mamu..

Nahapo hata usingizi haukuja tena nilitikiria juu ya mapenzi yale niliopewa mpaka ikafika muda wote habari za dada mamu nilishaanza kuzipoteza hata nilivyofikilia habari za kuniambia jambo ambalo alikuwa anataka kuniambia siku ile nilijuwa wazi atakuwa niwivu wake hivyo hata sikujali mawazo yalitawala na hata usingizi uliponichukua sikujua japo nakumbuka vyema ulichelewa kuja na hata saa kumi na mbili ilitaka inipite nikiwa nimelala wakati si kawaida yangu siku za shule huwa na wahi mapema na si kama uncle kuja kunigongea nisinge amka mapema


Ila niliweza kuamka haraka na kujiandaa kwenda shule wakati huo dada mamu alikuwa ameshamka mapema hivyo nilivyoenda jikoni kunywa chai kama sikuzote ninavyofanya siku za kwenda shule nilionana nae huku nikiwa na ona aibu kumwangilia wakati nikitafuta maneno ya kumwambia nilishangaa tu

dada mamu akinipatia ujumbe ambao niliupokea na niliuweka kwenye mfuko wangu huku nikiwa ninahamu ya kujua kilichokuwemo mule ndani Nilikunywa chai haraka na kuondoka pale nyumbani nilipiga hatua kadhaa huku nikiwa nafikilia kile ambacho kimo ndani ya ule ujumbe niljivuta tena hatimaye uvumilivu ulinishinda nikaitoa ile barua na kuanza kuifungua


Macho yangu yaliweza kuona vyema yale maandishi ambayo yalikuwa makubwa kiasi kwamba kile kilichoandikwa kilionekana wazi mbele ya macho yangu yaani haikuwa kawaida kutoka kwenye ule ujumbe nilijiona wazi ni mkosefu wa kile nilichokuwa nakifanya na kwanini ?



Macho yangu yaliweza kuona vyema yale maandishi ambayo yalikuwa makubwa kiasi kwamba kile kilichoandikwa kilionekana wazi mbele ya macho yangu yaani haikuwa kawaida kutoka kwenye ule ujumbe nilijiona wazi ni mkosefu wa kile nilichokuwa nakifanya na kwanini ? Niliamua kuwa vile punde tu da pammy alipofika nyumbani kwetu ule ulikuwa usaliti wa wazi wazi mbele ya Dada mamu hata cha kufanya nilishindwa


Na hata hapo ndani ya ujumbe ule ambao ulionekana vyema umejaa maneno yenye hisia kali ndani yake niliokuwa kama namwona Dada mamu nilijikuta hata napoteza muelekeo wa njia hile ambayo nilikuwa naenda na hata kuingia kwenye majani kabla sijagutuka kama ule muelekeo ulikuwa si sahihi na kibaya zaidi dada mamu alisisitiza bado anajambo la muhimu anataka aniambie na kibaya zaidi amesema usiku wa leo atakuja ndani kwangu

jambo ambalo nilikuwa niliofia uwenda da pammy atakuja kuifata ile chupi pindi tu atakapo gutuka kuwa ameiyacha yake chupi ndani kwangu yaani hata nilishindwa cha kufanya nilibaki tu natembea njiani mule huku akili ikiwa mbali na pale na hata ile nilivyofika kwenye geti la shule sikujua nilishituliwa tu nakengele ya kuhesabu namba hapo ndio niliweza baani nipo ndani ya shule haraka haraka niliurudisha ule ujembe ndani ya mfuko wangu

Haraka haraka nilienda mahali usika mara moja na kufanya taratibu zote kabla hatajaingia darasani kama kawaida nusu saa tu ilitosha kukamilisha taratibu zote na kuruhusiwa kuingia darasani kwa upande wangu nilichelewa kuingia darasani kama dakika tano kutokana kuna mwalimu alinipa kazi yake hivyo nilivyoimaaliza nilielekea zangu darasani kama kawaida ila kwa siku hiyo ilikuwa tofauti nilikuta tu darasa linapiga kelele nilijuwa wazi kutokana na kikao cha walimu muda ule


hivyo na mimi nikaenda sehemu ile ya nyuma ya darasa ambayo tulishazoe kuita kamati ya ufundi hapo ni story tu na haswa story zenyewe za mapenzi na mara nyingi si wananijuaga mimi bwege sijui mapenzi hivyo wananitaniaga sana eti mimi ni bikra wa kiume hivyo nilivyofika tu na kukuta mada zao nikaona sasa ndio muda wakuonesha na mimi kama ni mjanja wa mambo hayo we!!!





Sikuhiyo niliwapoteza vibaya kila mtu alikuwa ananiskiliza mimi hakuna aliyetia neno walitulia kimya kama maji ya wapo mtungini na hata kengele ya mapumziko ilivyopigwa hakuna aliyetamani kuondoka waliendelea kunisikiliza tu na kilichokuja kuharibu baada ya mapumziko vipindi viliendelea kama kawaida hivyo hatukupata tena muda na nilivyotoka tu niliwakimbia niliogopa wataniganda tena Ila njiani mawazo yote yalikuwa kwa dada mamu nilijikaza tu hivyo hivyo na hata nilipolifikia geti la nyumbani nilikuwa naogopa mbaya niligonga kwa muda kabla geti alijafunguliwa ila ile kufunguliwa nilichokutana nacho hakielezeki


Tabasamu mwanana la dada mamu mboni zangu zilikumbana nalo huku akinipokea langu begi hata sikujua kwanini dada mamu aliamua kufanya vile wakati ni wazi alikuwa anahasira na mimi nilikumbuka ujumbe wake ila nikashindwa hata cha kufanya ilinibidi na mimi nioneshe uchangamfu juu ya jambo lile huku nikiwa nyuma Dada mamu akiwa mbele na yangu

yake kanga moja aliyonifanya nione vizuri sehemu za nyuma za Dada yule wa kazi niliona yake makusudi kabisa hata kama utamu ule ninaujua vyema ila ile ilikuwa ni jambo la kiuchokozi kabisa kuelekea kwenye yangu ikulu ila nilimezea tu kwa muda ule

Nilipiga hatua na hatimaye nilingia chumbani kwangu na hapo jambo lile linirudia punde tu nilipoingia ndani kwangu niliwaza na kuwazua uwenda dada mamu atakuja kweli chumbani kwangu kama alivyosoma kwenye ule ujumbe na ananini? Anachotaka kuniambia inaonekana amedhamiria katika hili huku machale yakiwa yamenicheza mno kwa upande wangu suala la da pammy nalo likinijia kama na yeye atamua kuja inakuwaje nilifikilia kwa muda kabla akili ile ya liwalo na liwe haijanijia kwenye kichwa changu


Hapo haraka haraka nilibadilisha nguo zangu za shule na kuelekea sebuleni ambapo nilikaribishwa na taswira ya da pammy ambaye alinipa salamu japo kwa shida shida kabla hajaizoe hali ile mmh nilibaki tu nikiguna kimya kimya nikiamini kweli kile nilichokuwa tumekifanya usiku wa kumkia leo hakikuwa cha kawaida kabisa kwa upande wangu angalau nilijona fundi katika gemu ile ila roho ilikuwa ikinisuta



ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog