Chombezo : Penzi La Jesca
Sehemu Ya : Nne (4)
ILIPOISHIA
Katika sehemu ya saba tuliishia pale Jesca na Mpenzi wake Mwalimu John walipokuwa wamefukuzwa wote chuoni hapo hiyo ni baada ya kufumaniwa wakifanya Mapenzi ndani ya Ofisi.
ENDELEA......
Jesca na Mwalimu John walitoka ofisini kwa Mkuu wa chuo huku nyuso zao zikiwa zimejawa na majonzi, Jesca alielekea moja kwa moja bwenini kwake ili kukusanya kila kilicho chake kwa ajili ya kuondoka chuoni hapo hiyo ni baada ya kufukuzwa,Wanachuo walipo muona Jesca akikusanya mizigo yake walimuuliza.
"""Jesca mbona unafungasha mizigo yako yote unaenda wapi? wakati bado siku mbili tufanye mitihani ya mwisho"" ,Hakika Jesca alikosa cha kuwajibu zaidi tu ya kutoa machozi na kulia kwa kuwa kitendo cha yeye kufukuzwa chuo bila kutimiza ndoto yake ikiwa ni kuwa Daktari kiliweza kumuumiza sana ila hakuwa na mtu wa kumulaumu alijilaumu mwenyewe kwakuweza kuugawa utamu wake ndani ya ofisi ya Mwalimu John.
Tukio la Jesca kufukuzwa chuo kisa kufumamiwa akifanya mapenzi na Mwalimu wake Ofisini kwake zilisambaa chuoni hapo,taarifa hizo hazikuishia chuoni tu hapo bali zilifika hata kwa Wazazi na Familia ya Jesca, kwakuwa Jesca hakutaka kuiweka Familia yake wazi juu ya tukio lililokuwa limemkuta na kumplekea kufukuzwa chuo,Mkuu wa chuo Amon Saimon aliwapigia Wazazi wa Jesca ili kuwapa taarifa kuhusu kitu kilichotokea kwa upande wa Jesca,Amon Saimon aliwapa taarifa wazazi wa Jesca akiwaambia kuwa.
"""" Jesca amekuwa ni Mtoto mwenye kuonyesha tabia mbaya katika muda wote huo aliokuwa hapo chuoni ,""Amon Saimon alisema kuwa mabadiliko ya Jesca kitabia yamekuja kujitokeza hii ni baada ya Jesca kujihusisha katika mahusiano ya kimapenzi na Mwalimu John , ambapo Mahusiano yao yaliwapelekea kufanya Mapenzi ndani ya Ofisi bila wao kuona aibu yoyote kwakuwa tamaa ilikuwa imesha watawala ndani ya mioyo yao.
Amon Saimon aliendelea kusema kuwa yeye Mwenyewe ndiye aliyeweza kuwafumania wakifanya Mapenzi ndani ya Ofisi, hivyo ndipo akaona awaafukuze chuo wote wawili katika Mazingira ya Chuo , baada ya wazazi wa Jesca kupata taarifa hizo hakika waliumua sana walijitahidi kadri ya uwezo kumuombea msamaha Jesca ili aweze kurudi chuoni kwa ajili ya kufanya mitihani yake ya mwisho ,ila Amon Saimon alikata katu! katu! akisema kwa kitendo alicho kionyesha cha kuwafukuza Jesca na Mwalimu John ndicho kitakuwa fundisho kwa Wanachuo wote ambao wanatabia kama ya Jesca ya kutembea kimapenzi na Walimu wao huku wengine wakidiliki kufanya Mapenzi ndani ya ofisi".
Tukirudi upande wa Jesca na Mwalimu John ,Jesca alimaliza kupanga vitu vyake vizuri akawa amevitoa nje ya geti huku machozi yakizidi kumtililika,katika chuo hicho wanachuo baadhi yao walimuonea huruma ila wengine walifurahia sana kwa kitendo cha Jesca kuweza kufukuzwa chuoni hapo ,hiyo ni baada ya Jesca kubadirika sana kitabia Jesca alipokuwa katika mahusiano na Mwalimu John ,Jesca alikuwa mtu mwenye kuwadharau wanachuo wenzake pia alikuwa ni mtu ambaye alikuwa hapendi kujichanganya na wenzake kwakuwa aliamini kuwa wenzake wanamuonea wivu, hivyo basi alijua endapo atajichanganya nao kuwa wangeweza kumshauri aachane na Mwalimu John bila kujua kama yangemkuta hayo.
Jesca katika wakati huo alitokea kumpenda sana Mwalimu John zaidi ya kitu chochote na hakuwa tayari kumpoteza hiyo ni baada ya kupewa utamu wa penzi lake ,na kutokana na umahili wa Mwalimu John katika kufanya Mapenzi,Mrembo Jesca alizidisha upendo kwake kila mara walipo fanya Mapenzi Jesca alilizishwa pia wote wawili walilizishana,na walipeana bila kubaniana hiyo iliwafanya wazidi kupendana zaidi na zaidi Mwalimu John alikuwa mtundu sana na alijua kumkuna vizuri Mrembo Jesca katika kitumbua chake,Jesca alianza kumsahau mpenzi wake wa zamani Mr Abby.
Mwalimu John na Jesca walipakia mizigo ndani ya gari na wakawa wameondoka moja kwa moja hadi Nyumbani alipokuwa akiishi Mwalimu John ,Jesca hakuwa mgeni nyumbani hapo hivyo hakupata tabu yoyote kwasababu ni mara kadhaa Mwalimu John alikuwa akimleta nyumbani kwake kabla wote hawajafukuzwa na Mkuu wa Chuo Amoni Saimon.
Mwalimu John alimkaribisha Jesca nyumbani kwake , baada ya kumkaribisha aliingiza mizigo yote aliyokuwa nayo na kuipeleka chumbani ,Jesca muda huo alikuwa ni mtu ambaye hakuwa na furaha kabisa kwani muda wote alikuwa ni mtu wa kulia na mwenye mawazo sanaa ""aliwaza jinsi gani Familia yake itakavyomchukulia kutokana na kitendo alichokuwa amekifanya wakati walikuwa wakimwamini na kumtegemea sana kama mkombozi wao,ukizingatia Jesca alikuwa ni kifungua mimba katika familia ya Mzee Adriano ,huku wakitumaini mara baada tu ya Jesca kumaliza chuo na kupata ajira kuwa Daktari hiyo ni kutokana na kozi aliyokuwa akiisoma.
Mwalimu John alimbembeleza Jesca huku akimtia Moyo na kumfariji akimwambia kuwa yeye yupo katika upande wake na alimuahidi kuwa muda si mrefu angeweza kumuoa kama Mke wake halari wa ndoa, Kimaisha Mwalimu John alikuwa na maisha mazuri tu kwakuwa alikua na gari moja ya kutembelea na nyumba nne kubwa ,nyumba moja ndiyo alikuwa akiishi yeye mwenyewe , nyingine tatu alikuwa amepangisha wapangaji katika jiji hilo la Dar es salaam..
Ilipita miezi mitatu Jesca alikuwa ameshasahau maumivu yote na uchungu aliokuwa ameupata na kumpelekea kufukuzwa chuo kama "Mbwa" siku moja Jesca aliwatafuta wazazi wake akawaambia kuwa yeye anataka kuolewa na Mwalimu John Charles,hivyo basi angependa kuwaalika wote na Familia yake kwa ujumla katika siku ya harusi yao,wazazi wake na Jesca hasaa Baba Jesca ambaye hakuweza kukubaliana na hilo kwakuwa alijuwa wazi kuwa mtoto wake hayupo katika mikono salama.
Mzee Adriano Emmanuel aliamini kuwa Mwalimu John asingemfaa Jesca kwakuwa alijua kuwa Mwalimu John angemtia tu mimba na mwisho wa siku kumtelekeza hiyo ni kutokana na tabia yake chafu aliyokuwa nayo,Mama Jesca alijitahidi kumbembeleza Mme wake ili aweze kukubaliana na ndoa hiyo ila bado Mzee Adriano aliendelea kukazania msimamo wake.
Ilipita miezi miwili Mwalimu John alitafuta kazi, Mungu si Athumani alifanikiwa kupata kazi katika chuo kimoja kilichokuwa kinapatikana Jijini Dodoma,hivyo alimuomba Mpenzi wake Jesca waweze kufunga ndoa haraka iwezekanavyo kwakuwa alikuwa amepewa muda wa Mwezi Mmoja tu awe amekwisha kuripoti chuoni hapo kwa ajili ya kuanza kazi rasmi, Tukija katika upande wa wazazi wa Jesca Mvutano mkubwa uliendelea kati ya Mama Jesca na Baba Jesca juu ya Ndoa ya Mtoto wao Jesca.
ILIPOISHIA..
Katika sehemu ya nane tuliishia pale ambapo Kulikuwa na Mvutano mkubwa sana kati ya Mama Jesca na Baba Jesca juu ya Ndoa ya Jesca.
ENDELEA.......
Baada ya Mvutano mkubwa kati ya Mama Jesca na Mzee Adriano kuendelea juu ya ndoa ya Jesca ,ilifika wakati Baba Jesca akawa amekubali,kwakuwa hakuwa na namna ya kufanya kwasababu muda huo Jesca alikuwa tayari mjamzito ,Baba Jesca aliona endapo ataendelea kuwa na msimamo ili Jesca asiolewe aliona dhahiri kuwa Jesca angeishia kuteseka tu na alijua endapo Jesca asingeweza kuolewa na Mwalimu John , hakuna kijana mwingine ambaye angeweza kumuoa tena katika wakati huo ,kwakuwa alikuwa tayari ana mimba tena ya miezi miwili na mimba hiyo ilikuwa ya Mwalimu John Charles.
Mzee Adriano alikubali ndoa ifanyike mahari ilitolewa katika Familia ya Mzee Adriano Emmanuel ,Mahari ilipokelewa ili kuwaruhusu wapendanao hao waweze kuoana,Jesca baada ya ombi lake kukubaliwa na Baba yake juu ya yeye kuolewa na Mwalimu John alifurahi sana na aliamini muda si mrefu atakuwa Mke halali ""tena wa ndoa wa Mwalimu John"" ambaye muda wote alikuwa akimpa kila kitu alichokuwa akikihitaji huku wakizidi kuonyeshana Mapenzi ya dhati kwa kupeana utamu na kulizishana kila muda waliokuwa wakifanya Mapenzi, Jesca kila wakati hakukosa kumsifia Mwalimu John kwani Mwalimu John alikuwa fundi haswaa kitandani na alijua kumkuna na kumpagawisha vizuri .
Maandalizi ya Harusi kati ya Jesca na Mwalimu John yaliendelea kufanyika huku kila mmoja akiwa na hamu kubwa sana yakuwa na mwenzake katika ndoa kwakuwa walipendana sana,Mzee Adriano alialika watu wengi ili waweze kuhudhuria katika ndoa hiyo, alialika marafiki zake na ndugu mbalimbali kutoka katika sehemu tofauti tofauti ili waweze kuhudhuria katika siku ya harusi ya binti yao ambayo ilikuwa imepangwa kufanyika Jijini Dar es Salaam.
Tukirudi Upande wa Mr Abby ambaye alikuwa akimpenda sana Jesca, kila alipokumbuka ahadi walizokuwa wameahidiana wakati wakiwa bado wapenzi alijikuta machozi yakimtoka ,hiyo ni baada ya Mr Abby kupata taarifa juu ya mpango wa Jesca kutaka kuolewa na Mwalimu John , aliumia sana kwani ndani ya moyo wake alikuwa bado anampenda ,alijaribu kumpigia Jesca simu ila Jesca hakuthubutu hata kuipokea simu yake na kila muda Mr Abby alipo jaribu kumtumia meseji, Jesca alizisoma tu meseji zake ila hakuthubutu kumjibu hata siku moja, zaidi tu Jesca alimpuuzia huku akisahau viapo na Ahadi walizokuwa wameahidiana kuwa wangekuwa pamoja milele na Daima wasingetengana ila katika muda huo ilikuwa tofauti sana kwa upande wa Mr Abby kila kitu katika wakati huo kilikuwa kimeshaharibika.
Ilikuwa siku ya Jumamosi siku ambayo ilikuwa imesubiliwa kwa hamu kubwa sana ili kushuhudia ndoa ya wapendanao hao kati ya Jesca na Mwalimu John ,Jesca alikuwa amesha waalika marafiki wake ili waweze kuhudhuria katika ndoa yake hususani Wanachuo aliokuwa akisoma nao chuoni "UDSM" ,Hakika wanandoa hao katika siku hiyo walikuwa wamependeza sanaa, kwani kila mtu aliye waona hakukosa kuwapongeza na kuwasifia kwani walikuwa wanaendana ikiwa ni kwa urefu walizidiana kidogo tu,katika ndoa yao watu wengi waliifurahia sana pia walikula na kunywa hadi wakasaza hakuna mtu aliyehudhuria sherehe hiyo na kutoka bila kula.
""Ndoa ilifanyika na kumaluzika salama salimini bila tatizo lolote kujitokeza wazazi wote wa pande zote mbili walionekana kulidhika na kufurahishwa sana na ndoa hiyo, baada ya ndoa hiyo Jesca na Mwalimu waliyaanza maisha yao ya ndao,Maisha ya ndoa kati ya Jesca na Mme wake yaliendelea kung'aa na hakuna hata siku moja wanandoa hao walipo pigana wala kugombani kwakuwa wote walikuwa wakipendana na kusikilizana kwa kila kitu, bila mmoja kumuonea mwenzake,Muda ulizidi kwenda hatimae ilifika wakati Mwalimu John kwenda kuripoti kazini kwake kwakuwa alikuwa amepewa mwezi mmoja tu wa maandalizi yake binafsi kabla ya kwenda kuripoti kazini.
Baada ya Mwezi kuisha Jesca na Mme wake waliagana vizuri sana,kwakuwa siku hiyo usiku walipeana Penzi la aina yake, kwanza siku hiyo walitoka nyumbani wakabadiri mazingira wakawa wametembea katika sehemu mbalimbali za vivutio vya utalii katika jiji hilo la Dar es salaam hata Zanzibar pia walifika, baadae waliingia hotelini kwa ajili ya kupata chakula cha jioni kwa pamoja,walipata chakula aina ya nyama choma, vinywaji, bia ,kuku mzima aliyechomwa na vyakula vya aina mbalimbali, meza yote katika siku hiyo ilikuwa imetapakaa vyakula tu, walikula hadi wakabakiza ila mwishoni Mwalimu John alimalizia kwa kushushia supu ya pweza ili kuweza kumuongezea nguvu wakati watakapofanya mapenzi usiku na Jesca kwani aliamini akitumia supu hiyo angeweza kumlidhisha Jesca vilivyo.
Ilifika Jioni wakawa wamerudi nyumbani huku wakiwa wameshiba na kwakuwa walikuwa wameshiba sanaa hawakuona haja ya kupika tena chakula kingine tena cha usiku,siku hiyo usiku Mwalimu John alimuandaa Mke wake kwa kuanza kwenda kuoga nae ,wakati wakioga alianza utundu wake wa kumtomasa na kuzichezea chuchu za Jesca ,Jesca alisisimka sana Mwalimu John alikuwa mtundu sana, siku hiyo alikuwa amepania kumuaga kisawa sawa Mke wake ,alimvua taulo huku akimuomba Jesca aweze kuinama alianza shughuli ya kukisugua kinembe cha Jesca kadri alivyo kisugua ndivyo Jesca alivyo zidi kupagawa,Jesca alilalamika uwiiiiiiiiiiiii,ashhhhhhhhh, ili aingiziwe Mtalimbo , na Mwalimu John hakutaka kumchosha sana ukizingatia Jesca alikuwa mjamzito, hakufanya makosa aliona ampe haki yake .
Mwalimu John alimshikisha Jesca ukuta wa hapo bafuni kisha akaanza kukisugua kitumbua chake,Miguno tu na kilele za mahaba ndizo zilisikika,Jesca alilalamika asssshh!!! Ingiza pole!! pole!! naumia!! uwiiiiiiiiiiiii!!! ashhh!! Baby chomoa jamani kitumbua changu kinawaka moto!!!! ashhh!! jamaan usiniacheee!!! kelele na miguno ya mahaba ilisikika kutoka bafuni waliendelea kupeana utamu hadi wote wote walipohakikisha wamelidhishana,iliwachukua raundi tano huku wote wakawa wameridhika kwa mapenzi aliyo pewa Jesca hakutamani ayakose tena!! alitamani kila siku awe anapewa Utamu kama huo ila siku hiyo ndiyo walikuwa wakiagana, baada ya kupeana utamu walioga na wakawa wameingia chumbani kujipumuzisha.
Mwalimu John usiku huo aliweza kumuaga Mke wake ambaye muda kwa kumwambia maneno matamu yaliyo ufanya moyo wake utulie huku akisema""Mpenzi mimi naenda huko kupambana natamani tungeenda wote huko ila kwa sasa hivi acha nikaandae mazingira kwanza, alafu kwa baadae nitakuja kukuchukua ila naomba usisahau hiki kama nakupenda sana Mke wangu na kamwe nakuahidi sitochoka kukupenda"",Jesca alifarijika sana kwa maneno aliyokuwa ameambiwa na Mme wake, ila Jesca alimuomba sana Mme wake aendapo huko asije akamsahau na asije akamsaliti kwakuwa Jesca alikuwa na wivu mkubwa sana wa Mapenzi juu yake,Mwalimu John alimtoa wasiwasi Mke wake huku akimuahidi kuwa huko aendako atamtunzia penzi lake na hatothubutu kumsaliti kwani na yeye anampenda kutoka moyoni.
Safari ya Mwalimu John ilianza Asubuhi na Mapema ya siku hiyo ,Jesca alimsindikiza Mme wake hadi stendi ili apande gari kwa ajili ya safari yake ya kikazi ya Kwenda Dodoma,katika safari yake Mwalimu John aliweza kuifurahia sana ,alifanikiwa kufika Jijini Dodoma salama ,aliweza kupokelewa vizuri na mwenyeji wake aliyekuwa ametumwa kuja kumpokea ambaye kwa jina aliitwa Abdul ,Abdul alimpeleka Mwalimu John moja kwa moja hadi katika cha UDOM kwa ajili ya kutambulshwa kwa Mkuu wa chuo hicho aliyeitwa Geofrey Bakingo ,ili siku inayofuata aweze kuanza kazi rasmi.
Mwalimu John alipelekwa chuoni hapo na alipofika chuoni alikaribishwa vizuri na Mkuu wa chuo aliyefahamika kama Geofrey Bakingo ,baadae wanachuo wote waliitwa ili kutambulishwa juu ya ujio wa Mwalimu mpya ambaye alikuwa Mwalimu John, baada ya wanachuo kukusanyika Mwalimu John alikaribishwa na Mkuu wa chuo ili aweze kujitambulishe mbele ya wanachuo wotw,alikaribishawa kwa furaha na makofi mengi akawa ameanza kujitambulisha akaanza kwa kuwasalimia wote Habari za mchana,wote waliitikia ""ni nzuri"" kisha akaendelea ""mimi naitwa Mwalimu John Charles natokea Dar es salaam,nitakuwa nanyi katika wakati wote nitakao kuwa hapa,""ila wakati akiendelea kujitambulisha macho yake yaliganda kwa Mrembo mmoja hivi wa kiarabu , Mrembo huyo alikuwa amevalia ushungi na kwa uvaaji wake tu ulimtambulisha kuwa ni muislamu, weupe wake tu ulitosha kumtofautisha na madada wengine,muda huo macho ya Mwalimu John yaliendelea kumuangalia Mrembo huyo ambaye alishindwa kujua ni kwa nini Mrembo huyo alikuwa akimuangalia sana huku akimkonyeza kichokozi.
Mwalimu John alikuja kushituka baada kuguswa na Mkuu wa Chuo akimwambia aendelee kujitambulisha kwakuwa alikuwa bado hajamaliza,Mwalimu John ndipo alipoendelea kujitambulisha akisema""Nashukuruni nyote kwa ukaribisho wenu nachohitaji kutoka kweni ni ushirikiano akamalizia kwa kusema ""Asanteni kwa kunisikiliza""baada ya kumaliza kijitambulisha wanachuo wote walimpigia makofi kama ishara ya kumkaribisha,kisha Mkuu wa chuo alibaki na wanachuo huku akiwasisitiza waendelee kusoma kwa bidii na kuonyesha ushirikiano kwa Mwalimu John ambaye ndiye alikuwa Mwalimu mpya chuoni hapo"".
Baada ya hapo wanachuo wote walitawanyika huku kila mmoja akiondoka kuendelea na shughuli zake, Mwalimu John baada ya wanachuo wote kutawanyika alijaribu kuangaza macho yake ili kuweza kumuona Mrembo huyo aliyeweza kumkonyeza wakati akijitambulisha ila hakubahatika kumuona tena ukizingatia wanachuo walikuwa wengi sana katika chuo hicho , Mwalimu John alijiuliza maswali mengi kichwani mwake "" kuwa ni kwa nini Mrembo huyo alikuwa akiniangalia sana wakati najitambulisha ""ila kilicho mshitua zaidi ni ""pale Mrembo huyo wa kiaribu alipomkonyeza'' ,Mwalimu John alianza kumfuatilia Mrembo huyo ili kuweza kumjua kiundani zaidi kwakuwa alimpotea ghafla katika macho yake hiyo ni baada ya wanachuo wote kutawanyika.
Usisite kulike na kukomenti ili kupata mwendelezo wake mapema zaidi.
ILIPOISHIA.. .
Katika sehemu ya tisa tuliishia pale Mwalimu John alipoanza kumfuatilia Mrembo wa kiarabu aliyekuwa amemuona wakati akijitambulisha akitaka kujua kiundani zaidi sababu ya Mrembo huyo kumkonyeza.
ENDELEA..
Baada ya mda kidogo kupita Mwalimu John alichukuliwa na Abdul kisha akapelekwa kuonyeshwa ofisi yake ambayo ataitumia kufanyia kazi zake za kila siku,baada ya hapo alitembezwa katika mazingira ya Chuo hicho hakika Mwalimu John aliyafurahia sana mazingira hayo kwani yalikuwa Mazuri na ya kuvutia,Baada ya kuonyeshwa mandhari ya chuo hicho alipelekwa moja kwa moja na kuonyeshwa nyumba ambayo atakuwa akiitumia,kwani chuoni hapo zilikuwepo nyumba nyingi tu za wafanyakazi wa chuo hicho, pia mabweni ya wanachuo yalikuwepo hivyo basi baadhi ya wanachuo waliishi chuoni hapo.
ITAENDELEA
0 comments:
Post a Comment