Search This Blog

Monday, 16 May 2022

HOUSEGIRL WA DADA - 2

  







    Chombezo : Housegirl Wa Dada

    Sehemu Ya Pili (2)





    baada ya kuona Alice amejigawa Mara tatu sikuamimi macho yangu niliamua kurudi ndani na kumkuta bado anadeki bila wasiwasi wowote nilimuuliz mbona uko hivi leo aliniangalia kwa jicho ambalo niliogopa baada ya muda kidogo niliona anaingia chumbani na aalirudi ameshajiunga sehemu moja.



    Ndio pale wazo likanijia itabidi nimuambie Dada maana hii nihatari na yeye nimjamzito huenda atakuja amuuwe Dada yangu huy sio mtu wa kawaida ni jini nilijisemea.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/Wakati najisemea hivyo nilisikia sauti ya kicheko ndani na sauti za ajabu ahahahahahaha, ahahahahahah; jaribu useme uone nitakuuwa,ulijileta mwenyew na kulala na mimi duuuuuuu ilibakia sasa ni Vita ya mimi na alice kwa muda ule.



    Nilikimbia nyumba na kwenda kuzulula ili kupunguza mawazo vinginevyo ningekuwa kichaa .



    Dada alirudi nyumbani jioni hakuweza kunikuta alimuuliza nilikoelekea na alimwambia nilipo kumbe alice alikuwa hata hajui.



    Nililudi usiku kidogo na kumwambia Dada nataka nirudi nyumbani aliniuliza kwa nini mapema hivyo nikasema nimemkumbuka tu mama maana nilikuwa naishi na mama yangu tu .



    Dada alinijibu hakuna kuondoka mdogo wangu we kaa hapa kwa muda huo nilitaka kumwambia ile ni meanza dada kuna kitu nataka mikwambke nilizibwa mdomo na kuwa kama bubu hapo ndipo sikuweza kuongea chochote kwa muda huo alice alininyoshea kidole tu,



    Dada alibaki ananiambia mdogo wangu niambie lakin sikuweza kutoa sauti kwa muda huo!!



    Usiku huo tulienda kulala mim nilielekea chumbani kwangu nililala hapo ndipo niliamua kulala na upanga kama atakuja kunichukua nimpige nalo maana ilikuwa imeshakuwa shida kwangu.



    Kwa bahati mbaya nilipitiwa na usingizi ilivyofika usiku sana nilihiasi kama nanyanyuliwa na mtu lakin sikuweza kuamka usingiz ulikuwa mzito.



    Tuliweza kupaa kwa usiku huo huku alice akiwa uchi wa mnyama na mimi nilikuwa nimevaa tu bukta na vest nyeupe tulifika sehemu tulitua na kuwakuta watu wengine wakubwa kwa watoto wakiwa wamekaa na kula nyama mbichi na kunywa damu



    Aiseee sikuamini niliwekwa katikati na yule Bibi alikuja alinichukia na kunihamisha eneo lile usiku ule alinipeleka eneo la hospital moja kubwa na kushuhudia watoto wamavyozaliwa na kuchukuliw na wao!



    Kiufupi mwanmke anapokuwa anajifungua huwa wamesubiria ili kuchukua mtoto yule lakn kuna baadhi ya kina mama hujifungua huku moto mkali ukiwa umewazunguka tulitembelea wodi nyingi siku hio hapo tulikuna nawachawi wengine wakiwa wanasubiria watoto pia,

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Bibi yule kwa muda wote hakuweza kuzungumza na mimi baada ya kumaliza tulipaaa na kurudi tulipokuwa tuliwakuta wakiwa bado wanakul na kunywa nilikalishwa tena katikati na kuambuwa kijanaaaaaaaaa ahahahahahaha unataka kufaaaaaaaa unataka kufaaAaaaaaaaa ulitaka umwambie Dada yako



    Tutamuuwaaaaaaaa tumesuburia ajifungue tuchukue mtoto wetu ndio maana alice hawez kuondoka kwenye nyumba ileeeeee alimaliza kuongea na nililurupuka kutoka usingizin na kumuita dadaaaaaaaa kwa usiku huo aliweza kusikia na alikuja chumbani kwangu .



    Na kuniuliza kuna nini baada ya kuniangalia vizuri aliona damu kweny vest yangu na kuniuliza na hizi damu umezitoa wapi nilianza kumwambua wakati naendelea kusema alice alikuj kimiujiza Dada hakueweza, kumuon.



    Alininyoshea mkono na alitoa miele iliyo kama radi aliweza kunifunga mdomo nisiseme Dada alibaki kushangaaa na hakuweza kunielewa nilichokuwa namuonesha mtu lakini yeye alikuwa hamuoni.



    Hapo ndipo alihisi mimi nimekuwa kichaa alinichukua na kunipeleka sebuleni nilitulia na kurudi kulala ten nilikaa kitandani kama dakika tano.



    Alice alikuja akiwa katika umbo la kibinadam nilomuogopa sana nilangalia panga langu liko wapi chaa ajabu alibaki kunicheka sikuweza kuliona hapo alisema Clifford nakupenda laiti ningelikuwa sikupendi ningekuwa nimeshakua mapema sana Siku ya kwanza tu ulivyofika.



    Alipanda kitandani na kuanza kunichezea lakin rungu langu halikuweza kusimama na alinishika kichwani woga wote uliisha na alishika rungu lilianza kusimama hapo sikuweza kukumbuka kitu alice alibaki anajiingiza dudu langu kwenye kitumbua chake mi namuangali tu



    Alijikakitia mimi ata sikuwa na mbwembwe zozote maan nilikuwa sijitambui baada ya yeye kunishika kichwani alinyonya rungu langu na alijiwekea mara nyingi ndani ya kitumbua chake alimwaga bao lake na alivyomaliza aliinuka na kuvaa



    Wakati amemaliza kujiwekea rungu langu na kulikatikia mwenyewe alinishika ten kichwani hapo niliweza kujitambua tena nilbaki nalia tu mwenyew kwa nini naendelea kulala na alice wakati ni mchawi kiasi kile lakin alifanya vyote hivyo mimi bila kujitambua.



    Niliinuka na kwenda kuoga alice aliandaa chai na kuja kuniita wakati ananiita niende kunywa chain niliikataa na kusema sitaki chai yako nitapik ya kwangu mchawi wew sikupendi wew!



    Duuuu alice alikasilika sana macho yake yalibadirika na kuwa kama ya pake gafla niliona meno yanamtoma na kuwa marefu duuuuuuu nilitoka na kukimbia ili kusalimisha maisha yangu!!





    Niliongea maneno makali kwa Alice yalimsababisha akasirike alichukia kiasi kwamba alianza kuota meno marefu hapo nilijua nimekufa maana ya nilikuwa sina sehemu ya kukimbilia milango yote ilikuwa imefungwa na alisimama mlango wa kutokea nje sikuweza kuwa na nguvu za kukimbia tena nilibaki namuangalia tu



    Baada ya kukaa na kuona kama ananisogelea nilianza kusogeasogea ili kumkwepa aisinikamate baada ya kumzungusha mle sebuleni nyuma ya TV niliona bible nikaifuata maana kwa muda ule alikuwa ananitisha hakuwa na nia ya kunidhuru nilichukua ile bible na kuishika mkononi tu.



    Bila kusema chochote lakin nilianza kumuona kama anaogopa hivi nikaanza kujipa moyo nilimsogelea na bible ile lak mimi nilikuwa sijui kuomba kusema ukweli alinipisha njia na kunipa nafasi ya kutoka nilitoka mbio sio za nchi hii sikuwa na kituo maalam cha kupumzika nilienda moja kwa moja kwa Dada yangu alikokuwa anafanyia biashara sake.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Alinishangaa nilikuwa napumua kwa kas na kutokwa na jasho mwili mzima nilitaka kumuelezea nilimuona alice amesimama mbele yangu na kuninyoshea kidole .



    Dada alibaki kuduwaaa kuna nini mdogo wangu ? Aliniuliza sikuweza kuongea maana nilikuwa kama bubu baada ya alice kunifuata kimiujiza.



    Dada yangu alikuwa hamuoni lakin mimi namuona anavyoninyoshea kidole nilikuwa bubu kwa mara nyingine tena.



    Dada yangu alizidi kuchanganyikiwa na watu walianza kunizunguka na kuniuliza kuliloni?



    Nilibaki kuwanyooshea mkono kuwaelekeza kuwa alice yuko pale walinishika na kuniingiza kwenye gari ya dada yangu na kunirudisha nyumbani wakati tuko kwenye gari alice aliweza kuingia pia na kukaa karibu na dereva.



    Nilimuona na alitaka kusababisha ajali lakin nilimuomba asifanye hivyo alitaka kumtoa derva kimiujiza lakin nilimpigia sana fujo alice aliniangalia na kuninyoshea kidole ishara ya kunikataza misiseme kitu.



    Tulivyokaribia kufika nyumbani alice alitoka haraka na kuyeyuka baada ya muda tulifika na tulimkuta alice akiwa anapika chakula



    Dada alimuita na kumuuliza mbona clifford ametoka huku anakimbia kuna nini?

    Alice alijibu bila woga na kusema nilikuwa niko busy sikumuona wakati anatoka na nilikuwa napika jikoni



    Mmmmmh!! Mdogo wangu umepatwa na nini? Nilitaka kumjibu alice alininyosehea tena kidole kwa ishara ili nisiseme nilikaa kimya na nilitulia sana sikuongea chochote.



    Usiku ulifika na nilimuomba dada tuombe kabla ya kwenda kulala dada yangu hakujali nilimshika na kumuomba dada tuombe alikataa na niliamua kuchukua Bible na kwenda nayo chumbani kwangu



    Usiku saa sita dada yangu alipatwa na uchungu wa kujifungua aliwez kuniita nikamtoa ndani na kumuingiza ndani ya gari na kuondoka hospital sikuweza kusahau bible yangu nilichukua na kuiweka pembeni yangu!CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/



    Niliendesha gari na kuelekea hospital tulifika na nurses walimchukua na kumuingiza ndani nilikuwa busy na kusahau ile bible ndani ya gari tulifika mlangoni nilimuona alice alikuwa ameshika mtoto mdogo na yule bibi nilimuona wamemzunguka dada yangu nilianza kulia sana na kumuomba alice asifanye anachotaka kufanya.



    Maana alitaka kumuuwa mama ili achukue mtoto nilimpigia magoti sana yule Bibi na alice kiasi kwamba hospital waliniona nimechizika.



    Doctor alitoka ndani na kuniita wew ndio ndugu wa huyu mama.

    Nikasema ndio,

    Kuzaa kwa kawaida haitowezekana inabidi afanyiwe operation

    Mama yanguuuu weeeee doctor kweli!.

    Ndio,

    .

    Nilitoka nje na kumpigia shemeji simu kuwa dada haliyake sio nzuri na doctor amesema kujifungua kawaida haiwezekani hivyo itabidi afanyiwe operation.



    Shemeji aliomba ruhusa kama kesho alianza safari ya kuja nyumbani alifika na kuja moja kwa moja hospital alikubali na dada yangu alienda kufanyiwa operation na nilichukua gari na kurudi nyumbani



    Nilimkuta alice nyumbani nilimpigia magoti na nakusema naomba unitese mimi dada yangu hana kosa mwenye makosa ni mimi nakuomba alice muachie dada yangu ajifungue salama.



    Fanya yote muachie dada yangu ajifungue kumbuka ule ndio uzao wake wa kwanza nakuomba nililia na kumuangukia alice baada ya muda alikubali na kunipa sherit moja tu alisema namuachia Dada yako ajifungue lakin Leo utalala na mimi



    Sikuwa na jinsi na nilikubali ili kuokoa maisha ya dada yangu na mtoto baada ya dakika kadhaa shemeji alinipigia na kusema Dada yako amejifungua mtoto wa kike bila operation japo walikuwa wamejianda kuanza kumfanyia!



    Kwa muda huo dada yangu hakuweza kuruhusiwa kuja nyumbani na nilibakia mimi na alice maana shemeji ilibidi achukue chumba guest kwa ajili ya kukaa karibu na mgonjwa usiku ulifika na alice alienda kulala kwake na mimi kwangu baada muda aliniita na kwenda chumbani kwake niliingia na kumkuta alice amegeuka kuwa nyoka!CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/



    Niliingia chumbani kwa alice usiku maana nilimuahidi amsadie dada yangu asimuuwe nitaenda kulala naye kama alivyonipa shert lake lakin kitandani kwake nilikuta nyoka ndio amejikunja .



    Nilipiga kelele usiku ule nyingi sana na kuanguka chini nilipoteza faham nilipata fahamu baada ya siku tatu nikiwa hospital na dada yangu alikuwa amesharuhusiwa yupo nyumbani!



    Baada ya kupata fahamu sikuweza kutulia nilikuwa kama nimechanganyikiwa maana sikutaka kumuuamini binadam yeyeto nilihisi wote wako kama alice lakin kwa muda huo nilikuwa siwezi kuongea badala yake nilikuwa bubu tu!



    Dada yangu alilia sana maan walishindwa kujua naumwa nini walikuwa wakipima ugonjwa wanaona Niko sawa sina ugonjwa mwilini mwangu



    Hapo ndipo walizidi kuchanganyikiwa kwa muda ule alice alikuwa anakuja hospital akiwa na mtoto wake mkononi pamoja na yule bibi cha ajabu alianza kulia na kumuomba bibi yule aweze kunitoa kwenye hali ya ububu



    Bibi alimsikiliza na kunitoa ububu hapohapo niliongea na alice alikaa kitandani kwangu nakusema anajutia kuwa vile maana alikuwa hataki kuishi maisha Yale alilazimishwa na baba yake mzazi hapo



    sikuweza kumjibu kwa muda japo pale walikuwa hawamuoni nilimuangalia tu na alianza kuniomba msamaha kuwa nimsamehe lakin sikutaka



    Bibi alimpiga alice kibao cha shavuni alidondoka chini sikuweza kumuinua na Bibi alisepa baada ya dakika kadhaa alice aliinuka na kuondoka myumbani



    Na mim nilinuomba daktari aniruhusu na kwenda nyumban wakati niko njiani mama yangu alinipigia simu na kuniambia mwanangu matokeo ya kidato cha sita yametoka na umefaulu hivyo inakupasa urudi nyumbani kwa ajili ya kujiandaa na chuo



    Nilishangilia na nilikuwa nafuraha kubwa siku hio nilifika nyumbani kwa Dada na kuwapa habari hiyo wote walifurahi na alice alikuja kunikumbatia bila ya kumuogopa dada na aalininong' oneza sikioni nakupenda napenda sana tuoane Clifford alivyosema hivyo nilistukia nimesema tu ushindweeeeeeee!! .

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Duuuu alice alianguka chini na kuanza kujigalagaza dada na shemeji walikuwa hawaelewi kinachoendelea mimi nilikaa pembeni tu baada ya dakika kadhaa aliinuka na kwenda chumbani kwake



    Alilia sana ! dada yangu alienda chumbani kwake na kumuuliza kulikoni imetokea vile alice hakujibu chochote alibaki kuduwaaa!



    Usiku uliingia na chakula kiliandaliwa wakati tumekaa tunataka kula alice alikaa karibu yangu na aliniomba nimpakulie chakula wakati napakua Dada alisema mmmmmh! ,siku hizi mnapakuliana chakula angalieni ohoooo



    Shemji nae alimdakia na kusem kwani tatizo liko wapi wakipendana poa ndoa itafungwa ahahahahahaha kilikuwa ni kicheko cha watu wote pale mezani



    Tulianza kula kwa muda huo sikuweza kuhisi chochote kwenye chakula lakin kadri nilivyoendelea kula nilikuwa nahisi radha tofauti ya chakula mdomoni nilishindwa kula lakin watu wote waliiendelea kula chakula kasoro mimi



    Niliwaza kulikoni wakati nawaza alice alinikanyaga mguuni na kusema Clifford kula au hujapenda chakula changu leo?



    Nilisema nimekipenda lakin nimewahi kushiba nilijiinamia na kutaka kuondoka lakin alice alinikanyanga tena hapo niliona sahani mbili tofauti yenye vyakula moja ilikuwa na nyamba mbichi na glass yangu ilikuwa imejaa damu



    Nikajua moja kwa moja nilikuwa nakula vyakula vile niliinuka na kuondoka kulala nilifika mle chumbani na kwenda kuoga nilivyorudi chumbani kwangu nilikutana na mtu amevalia ngui nyeupeeee zinang'aa lakin alikuwa haonekani machoni



    Sikuweza kumjua ni nani alichokisema ni neno moja tu alisema tunakuhitaji kuzimu tunataka tukukabidh Mali zako!



    Hapo aliondoka nilibaki nashangaa nisijue cha kufanya baada ya muda kidogo alice alingia chumbani kwangu na kunishika bega

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Sikuweza kumsemesha ila yeye alisema clifirod umependwa sana kwetu hivyo unahitajika ukakabidhiwe utajili na safari itaanza leo kwenda kuzimu na alisema mimi so binadam wa kawaida nimekupanda napenda tuishi wote .



    Alisema aliyekuja kukwambia amevalia nguo nyeupe ni baba yangu na palepale alice alitoweka sikuweza kushituka maana nilikuwa mimeshatishwa vya kutosha



    Nilijiandaa kulala na nikajitupia kitandani pale nilikaa kwa muda ule nikiwa nawaza maneno ya alice na yule mtu mweupe kabla usingizi haujanipitia alice aliingia chumbani kwangu kwa kupitia kwenye kona ya chumba changu



    Alikuja kukaa kitandani na kunishika mkono alianza kusema twende kwa wazaz wangu na ukabidhiwe Mali zako pale alice alisema nifumbe macho na baada ya kufumba macho gafla ulivuma upepo chumbani kwangu na akaniambia hatupitii mlangoni tunapitia ukutani



    Ukuta ulijigawa Mara mbili tulipita na kuanza safari nyingine baada ya muda kidogo tulifika baharini hapo aliniambia nifumbue macho nilifumbua na kujikuta tuko baharini



    Nilishangaa sana wakati nazubaa alitoke msichana mwingine wa kiarabu alianza kunivuta mkono na kunipeleka chini ya maji!.





    Tulivyofika baharin mimi na alice alikuja mwamke wa kiarabu na kunishika mkono na kuingia ndaji ya maji kwa muda ule niliona mlango unafunguliwa ilikuwa ni barabara nzuri sana



    Tulizama ndani ya maji kulikuwepo na nyumba nzuri sana inakila kitu ndani tuliingia na nilikalishwa kwenye kiti na kusubiria nilichoitiwa



    Wakati nimekaa pale alikatiza msichan mmoja sebulen na kunisalimia nilimuangalia lakin sikuweza kujua anaelekea wapi.



    Nilijiona niko pekee yangu mle ndani nilisimama na kuchungulia dirishani na niliona maji tu ndio yameizunguka nyumba aisee nilishanga sana!

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Alikuja yule Bibi akiwa ameshika fimbo ya kung'aa sana inatoa miale ya kuumiza macho alikaa kwenye kiti chake na kuanza kunielezea!



    Wakati nimekaa alice alikuja na yeye lakin utofauti niliouna kwa alice siku hio nikwamba miguu yake ilikuwa kama kwato sikuweza kushituka nilitulia na alikuja kukaa karibu yangu!



    Bibi alianza kusema sasa ni muda wa wew Clifford kuhama ulimwenguni na kuja kuishi na sisi huku chini ya bahari mkeo ndio huyo na duniani unamali nyingi sana ukikubali zitakuwa zako



    Kuanzia sasa na kuendelea hivyo utaishi na mkeo na pia utakuwa unakuja kututembelea kila usiku ukiwa na mkeo alice.



    Bibi yule aliniinua pale na kunipeleka chumba kimoja alikifungua na niliambiwa nikae alimuita binti yule aliyekatiza sebuleni nilipofika na alikuja na kusema nimekuita hapa umtambue huyu nisipokuwepo yeye ndiye atakuwa anaruhusiwa kuingia chumba hiki cha siri.



    Kwa muda ule sikuona kitu chochote ndani ya kile chumba zaid ya viti tulivyokuwa tumekalia mim na yule bibi kizee alinyoosha fimbo yake na nilikua naona kinachoendelea nyumbani ni kipi kwa usiku ule



    Nyumba nzima na kona za nyumba niliziona kama Niko duniani hapo tilimaliza alinyoosha tena upande mwingine niliona pesa nyingi sana nadhan ilikuw kila pesa ya nchi ilikuwepo pale ..



    Na alinyoosha upande mwingine na zilitokea nyumba za kifahari nzuri mno zinakilakitu ndani kila samani unayoijua wew ilikuwemo ndani ya nyumba hii na kusema clifford utakuwa mmiliki wa Mali hizi zote na kuishi na mtoto wangu!.



    Duuuu niliwaza sana maana nilikuwa siongei chochote zaidi ya kuelekezwa vitu mle ndani bibi yule alimaliza kunionesha Mali zile alianza kunizungusha sehemu za starehe mle ndani duuuu kumbi zilikuwa zimepabwa zina kila aina ya kinywaji wanawake vyote vilikuwepo kiasi kwamba kwa duniani ni sehemu chache sana

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Tulikaa pale na watu walianza kutumbuiza cha ajabu waliimba nyimbo za matusi na nilikuwa sioni sura zao wale wanaoimba pale jukwaani na walikuwa uchi wa mnyama kabisa



    Baada ya kumaliza kuimba chakula kililetwa na kuwekwa mbele yetu!



    Duuuu chakula kile nilkuwa sijui ni chakula cha aina gani nilikiangalia na nilkataa kula alice alikuja kunilisha lakin nilikataa na alianza kuchukia maan ilikuwa mbele ya watu wake wengi sana





    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog