Search This Blog

Thursday 19 May 2022

AAH!! SEIF NIKUNE - 3

 





    Chombezo : Aah!! Seif Nikune

    Sehemu Ya Tatu (3)



    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/



     Nilimfikisha kitandani nikamlaza "pumuzika janety "asante seif "unajisikiaje kwa sasa "najisikia vizur. nilikaa kitandani nikamuangalia kama dk 2 "vp seif mbona kama una mawazo? "toka cku ile unipige teke la tumbo mpaka leo nackia maumivu "pole seif "asante. akaamka kitandani "ngoja nikuchue na dawa moja hv utakuwa fresh. nililala chari kitandani huku nimevua shati, alikaa pembeni mwa kitanda akaaza kunichua baada ya dk2 na mm nikapitisha mkono kwenye blauz yake "seif nin tena? "na mm acha niwe nakuchua kwenye mbavu. alinyamanza tukaendelea baada ya dk5 nikapanda nikaanza kumshikashika chuchu "seif usinikasirishe "aah!! janety "seif acha bwana. alilegea nikamvuta nikamlaza juu yangu nikampelekea ulimi huku nikizidi kumpapasa mwili mzima nilimvua blauzi nikatupa kule nikaanza kumnyonya chuchu "seif seif ash!!! seif niache "janety nakupenda ilove you, akanijibu kwa sauti tamu sana "i love you 2, taratibu nikaanza kumvua kaptura aliyokuwa amevaa "seif sijawahi kufanya.





    Seif mimi sijawahi kufanya mapenz "nitakufundisha. nilipomvua kaptura aliyokuwa amevaa nilipanda juu yake nikachuku msumari wangu nikaingiza kwenye tundu ila nikakutana na kizuizi kweli alikuwa bikira taratibu nikazamisha msumari nikafanikiwa kuingiza kichwa "seif unaniumiza seif seif naumia "pole baby. nikazamishwa kwa nguvu robo ya msumari ikaingia "seif nihurumie naumia seif ayii mama nakufa "jikaze baby "seif ngoja nipumzike. niliamua nimuachie kwani na mda ulikuwa umeenda nilihofia naima asinikute nilivaa nikamuaga "sasa baadae "mbona umekasirika seif? "kawaida tu. nikatoka nikaenda mojamoja geto nikachukua frash nikaenda chumbani kwa naima nikaingiza video zote kutoka kwenye raptop alafu nikafuta ile recodi yangu na janety nikatoka ile natoka nikakutana na naima anaingia "seif vp? "poa nilikuwa nimepumzika kwako "unaenda wap sasa "naenda kwangu wewe si ulienda jumla? "nisamehe mme wangu? "ok baadae "nitakuja kwako, nilienda kwangu gafla naima akaja kakasilika.



    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/



    nilishangaa kuona damu nyingi sana sakafuni "naima kuna nini? "sijui na sisi tumekuta hv. nilifuatilia zile damu mpaka stoo nikakutana na maiti nilishituka sana "naima nyie siyo mlioua kweli "hapana seif siyo sisi, nilipoangalia vizuri nilimgundua mtu yule alikuwa ni yule kijana aliyekuja kuwaulzia janety na jesca nikajiulza nani kamuuwa na ni kwanin kamuua? gafla janety na jesca wakaingia nao wakashituka kuziona zile damu "seif kuna nn? "tumekuta maiti hapa stoo hatujui ni nan kafanya hivyo, wakasogea wakaangalia ile maiti alafu wakaangaliana walionekana kuifam "vp mnajua? "hapana. ok safisheni hii damu alafu wote mje chumbanini kwangu, niliingia ndani wakabaki wanasafisha walipomaliza wakaja ndani kwangu wakiwa wapole "tumekuja "nazani wote tunafahamiana wote wakaitika "ndio "jesca na janety nyie muuaji mnamjua "seif hatumjui muuaji sisi "inabidi kutoa taarifa polisi, janety akohoji "hyo taarifa inatolewaje? "kama ilivyo, walikaa kimya "kuna cku niliwaona na marehe





     kuna siku niliwaona na marehem? wakaangaliana janety akaniambia

    "seif naomba tuongee pembeni "wap? "chumbani kwangu. niliondoka naye mpaka chumbani kwake "seif nikweli marehem tunamfaham ni mnigeria mwenzetu ila hatuhusiki na kifo chake "kama sio nyie unahisi atakuwa nani? "kuna watu tunawahisi "kuna watu tuna wahic "watu gani ? "wanaishi mkulanga "kesho utanipeleka "ndio "haya turudi kwenye mkutano. nilisimama ili niondoke janety akanishika mkono "seif mi najisikia vibaya. aliongea huku anavua nguo na mm nilipoona kifua chake tu jogoo akawika nilivua fasta fasta nikamtupia kitandani nikapanda juu yake nikamuwekea msumari ila msumari ukawa mgumu kuzama nilifosi nikatumia nguvu mashine ikazama ki ukweli aliumia sana ndani ya dk8 damu zikuwa zimejaa kitandani "seif unaniua seif nakufa niachie. nilimucha baada ya bao moja kutoka "pole janety "seif umeniua "ngoja nije janety "nipeleke hospital "nakuja. niliva nikaenda kwangu nikakuta bado wanatusubili "mbona umechelewa







    "Vp mbona umechelewa? "sikilizeni hapa hamna usalama kwa hyo wewe naima nenda nyuma ya nyumba wewe nasma nenda nyuma ya nyumba upande wa kuliya alafu we jesca nenda upande wa kushoto mimi nitakuwa hapa getini alafu na janety atakuwa ndani zikipita dk15 bila kuona chochote tukutane hapo getini nazani nimeeleweka?. wote wakaitika "ndio. wakatawanyika na mm nikaenda kumuangalia janety nilikuta yuko hoi sana, ikanidi nitoke nikaangalie dawa dukani duka lilikuwa jirani na nyumba "dada habari yako? "nzur karbu "nauliza dawa za kupunguza maumivu? "maumivu gani? kuna kadada nimekatoa bikira sasa kako hoi "zipo. alinipatia dawa nikamlipa sh.15000 nikaenda nikampa dawa janety akanywa nikaleta maji kwenye beseni nikamsafisha vizuri maeneo ya utamu' nikiangalia saa ni saa bado dk3 tukutane kama tulivyopana nilitoka nikaenda chumbani kwa naima nikatoa ile video iliyokuwemo nikaiweka kwenye frash alaf nikaifuta, nikarudi kwa janety "vp unajisikiaje? "afadhari kidogo. tukatoka

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/





     Tulitoka ili kukutana na wenzetu ila janety hakujiweza nilimpa kiti akaa baada ya naima na nasma wakarudi pamoja na jesca "jaman sikilzeni inabidi tuangalie namna ya kwenda kuzika hyo maiti cjui mnasemaje? "sawa tunakusikilza ww "subirini nikaombe gari kwa rafiki yangu. nilienda nikaazma gari nikarudi tukatengeneza ile maiti vizuri tukaiweka kwenye gari tukachukua vifaa vya kuchimbia tukaondoka tulielekea maene ya mbezi ndani ndani sehem inaitwa msumi maeneo ya makaburi, siri wadada hawa majasiri sana fikiria mtu kupakata maiti mpaka msumi, tulifika ilikuwa saa 6usiku watu wa msumi hawalali kwa sababu ya shida ya maji tulikutana na watu wakiwa wamebeba ndoo za maji, nilishuka mpaka makaburini nikatafta nafasi nikaipata hapo iliisha fika saa7 uck tukachukua vifaa tukachimba kaburi kisha tukarudi tukapeleka ule mwili gafla nikaona mwanga kama wa picha "kuna mtu anatupiga picha "ni ile pikipiki imepita, mala mvua ikashuka kubwa gafla nikaona mwanga tena mala3.





     Baada ya mwanga kumulika mala 3 mfululizo wote tulishituka naima akasema "jama kuna kitu hapa "si nimewambia mkabisha, jesca akaniita "seif upande ule kuna watu nimewaona, nasma akadakia "sikilizeni we naima na janety telemkeani kama mnaenda kwenye gari alafu mzunguuke mtokee upande ule wenye watu, "huo mpango umetulia ila naima aende na jesca, wakatekeleza wakaenda niliamua janety abaki kwasabu najua hayuko sawa, kweli naima na jesca walitokea nyuma ya wale watu gafla ikatokea pulukushani naima na jesca waliwakabili wale watu kumbe na polisi walikuwemo walitembeza mkono watoto wa kike upande mwingine mimi na nasma tunaendelea kuzika polisi na raia wake walipozidiwa walipiga mwano watu wakaitika lakini tulikuwa tumemalza kazi yetu "jamani twendeni, niliwamulu twende lakini watu walizidi kujaa ile nafika kwenye gari naona watu wanakuja na mapanga wengine malungu mashoka mimi na nasma pamoja na janety tulingia kwenye nikawasha gari lakini ikagoma kwenda tukazingirwa.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/





    gari iligoma kwenda kutoka na matope raia wasiopungua 100 walijaa wakalizunguuka gari "tokeni kwa usalama wenu la sivyo tunawachomea kwenye gari, tuligoma kutoka naima na jesca walikuwa juu kilimani wakishuhudia tumezingirwa na raia wenye hasira "tunahesabu mpaka 3 kama hamjatoka tunachoma gari moto 1 2, kabla ya tatu naima alichomoa bastora yenye tundu mbili na kupiga risasi moja hewan watu wakatahamaki ila hawakukimbia naima ikabidi awapige wa 2 risasi za miguu hapo ndipo raia wakakimbia, naima na jesca wakaja wakasaidiana na nasma kusukuma gari bahati yetu gari ikatoka tukarudi nyumbani tukiwa hoi tumechafuka naima akatoa wazo "jaman hakuna kulala mjuwe tumepigwa picha mambo bado ni magumu, nikadakia "msiwe na hofu saa moja narudi eneo la tukio aliyekuwa na kamera nilimuona katika wale watu ni msichana mdogo mdogo hvyo inanibidi nimuingilie kwa gia ya kumtongoza, nasma:mpango wako uko sawa, naima:aah wap?, jesca:jamani wivu wa mapenz hauna nafas hapa. like 250 tunaendelea sasa hv.



    ITAENDELEA



0 comments:

Post a Comment

Blog