Search This Blog

Thursday 19 May 2022

JAMBO NA VIJAMBO - 1

 





    IMEANDIKWA NA : JUNIOR GADYSON





    *********************************************************************************





    Chombezo: Jambo Na Vijambo

    Sehemu Ya Kwanza (1)



    Baada ya kukamilisha taratibu zote nilihamia rasmi katika nyumba ile ya kupanga kama mpangaji mpya kabisa nikiwa simjui mtu yeyote yule katika mtaa ule.

    Mara ya kwanza nilikuwa nikiishi Tandale ila tabia yangu ya kutembea na wake za watu ilisababisha niondoke kule usiku usiku huku nikiwa nimeacha balaaa la kutosha kwa wenye wake zao na familia zao.

    Niliingia mtaa huu nikiwa sina hili wala lile lakini nikiwa nimejiwekea malengo ya kutotembea tena na mke wa mtu hata anishikie upanga.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    " Itabidi nitafute kademu kamoja ambako katakuwa tayali kuniburudisha kila ninapohitaji ili nisije kurudia tabia yangu mbaya ya kutembea na wake za watu,,,ntakuja kufa bure" niliwaza wakati napanga vitu ndani ya chumba changu.

    " Ila wake za watu watam sana,afu wanajua kuyakata mauno balaa,tatizo la vibinti vingi ni kutokuwa na nafasi unapokahitaji na vingine kutokuwa vifundi kunako tukio,,,ila wake za watu,hasa hawa wapwani mama yangu ni balaa, dah Allaah atanisaidia niiache tabia hii" niliendelea kuwaza

    Baada ya kumaliza kupanga vile vitu vyangu,nilipiga simu ofisini kwangu na kuomba ruhusa ya kutohudhulia kazin na nikapewa ruhusa.

    Baada ya hapo nikajitupa kitandani na kujalibu kutafuta usingizi ila haukupattikana,nilibaki nikiwaza viuno ambavyo nimekuwa nikivipata kutoka kwa wake za watu

    " Dah! Itabidi niwe najitahidi mara moja moja namta4uta Mama kiboga ingawa niko mbali ananipa mambo,anayaweza sana kwa kweli na nitammis sana" alimkumbuka mpangaji mwenzake kule alikokimbia ambaye alikuw anajua kumpagawisha sana kitandani.

    Usingizi ulimpitia na nilikuja kushtuka saa sita mchana.

    Nilipoamka nilibeba ndoo na kutoka nje nikakinga maji na kwenda kuoga.

    Nilipokuwa nikitoka kuoga pale nje nilikuta wanawake saba wamesimama kwenye milango ya vyumba vyao wakiniangalia wote kwa zamu

    " Habari zenu wapendwa?" nilisalimia

    " Nzuri,kalibu jirani" wakajibu kwa pamoja

    Nikapitiliza mpaka chumbani kwangu,nikasikia kule nje kicheko cha umbea

    "Heheeeee! Lazima tushikane mashati mwaka huu" walisema baada ya kucheka

    Nilianza kuona kosa kubwa nililofanya la kupanga chumba bila kuuliza kama kuna wanawake!



    Sikujali vile vicheko vyao kwa sababu niliamin wana mambo yao wanayocheka na wala sio mimi.

    Nilijiandaa kisha nikawasha jiko langu la gesi nikapika wali kidogo na kutoka mpaka mgahawa uliokuwa jirani nikachukua maharage na nyama nikarud na kula chakula hicho.

    Jioni ya siku hiyo nilipotaka kutoka mama mwenye nyumba alikuja na kuiita

    " Baba njoo nikutambulishe kwa wenzako bas" aliniambua.

    Nikatoka na kukaa kwenye kibaraza changu na wale wanawake wakawa wamekaa kwenye vibaraza vyao,nyumba ilikuwa ya mzunguko hivyo wote tulikuwa tukionana.

    " Jaman,huyu mkaka ni mpangaji mwenzenu,amehamia hapa kutoka huko Tandale,hana mke,ila mchumba sijui kama anaye..." aliongea na kuachia nafasi wakaangaliana wote pale na kisha wakaguna.

    " Kaka Junior,hawa wote unaowaona hapa ni wapangaji wenzako,wote waliokaa hapa ni wake za watu,ila hapa ndani kuna mpangaji mmoja binti ambaye hana mme,bado yuko kibaruani kwake,naomba mshilikiane vizur,masharti mengine ni kama nilivyokweleza jana" alimaliza

    " Nashukulu kuwafahamu jamanq niliongea

    " Na sisi pia Jun,kalibu sana,jisikie upo nyumbani,jisikie huru kwa shida yoyote kutuona" akajibu mmoja huku wenzake wakiachia kicheko cha kishangingi.

    Baada ya kufahamiana wengine walibaki tukipiga stor huku wengine wakiendelea na mishe zao.

    Wakati tukipiga stor kuna binti aliingia pale mzuri sana mpaka moyo wangu ukashtuka

    " Habari zenu?" alisalimia akiingia ndani kwake.

    Kuna kitu nilikiona kwake na kikanichanganya akili yangu,alikuwa na meno machafu kama ya gold

    " Atakuwa mchaga huyu" niliwaza ,

    Tayali moyo wangu ukabaki ukimuwaza yule mdada.

    Usiku wa siku hiyo mara baada ya kumaliza kula niliunganisha king'amuzi changu na kuanza kuangalia tv chumbani kwangu

    Muda mfupi baada ya kuanza kuangalia tv,yule mdada aliingia

    " Mambo kaka? Me hujanifaham,nimeambiwa wenzangu wote umeshatambulishwa,naitwa Manka sijui mwenzangu?" alisema

    " Naitwa Junior,kalibu best" nikasema huku nikimpa mkono,nikakutana na mkono lain sana

    " Hapa siachi kitu,lazima nifaidi mtoto" niliwaza

    " Usijali,tena ndo una king'amuzi,mbona ntakuwa nashindia humu kwako,nyumba nzima hakuna mwenye nacho bana" alisema

    Tuliongea kidogo kisha akaaga na kwenda kulala huku akiniacha na malengo ya kumpata hata akwepe vipi!

    Usiku wa siku hiyo sitausahau maishani mwangu,

    Ulianza kama utani vyumba vya jilani nikaanza kusikia maandalizi ya mechi yakifanyika.

    Nyumba hii haikuwa na celling board hivyo vyumba vyote tulikuwa tukisikilizana.

    Muda mfupi baadae nilitaman kufa kwa nilichokuwa nikisikia,

    Utafikili kulikuwa na mashindano,wale wanawake walikuwa na kelele za ajabu wakati wakishughulikiwa



    Hali ilizidi kuwa mbaya zaidi ilipofika saa sita za usiku kwani kila chumba kilikuwa kwenye shughuli nzito sana.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Nakumbuka chumba kilichokuwa jilani na changu upande wa kushoto kilipitiliza kwa fujo.

    Yule mwanamke alikuwa na kelele nyingi sana mpaka nikajikuta napandwa mzuka wa tendo.

    Niliposhindwa kuvumilia ilibidi niunganishe stuli zangu mbili na kupiga chabo kwenye kile chumba nione shughuli hiyo.

    Mama yangu!!!!! Yule mwanamke alikuwa anayaweza balaa!! Mpaka nikamkumbuka mama kiboga wa kule Tandale.

    Nilipagawa jaman,nikajikuta najichafua pale pale darini,yule ama nikama alijua nachungulia kwani alikuwa akimpeleka puta mmewe mpaka nikaona jamaa ameshindwa kazi.aligeuzwa mikao ambayo sijawahi kuona

    " Eee baba niepushie hili balaa,kweli haya mauno niwe nayachungulia tu bila kuyajalibu? Sijui kwa kweli" nilijikuta nawaza.

    Baada ya muda kelele zilipungua na hatimaye zikaisha na mimi nikapata nafasi ya kulala kidogo

    Kama nilidhani wamemaliza ili nilale basi nilijidanganya

    Saa kumi asubuh shughuli ilianza, tena upande wa kulia wa chumba changu sasa,nilidhani yule ndo mwenye kelele ila huyu sasa nahsi kulikuwa na maksudi ndani yake

    " aaaashhh!!.......aaashhhh!....peeleka kulia....kushoto.....kulia.....kushoto....zamisha....kasi..kasi.....endeleea......geuka.....usichoke....aaaash!" kelele zilizidi jamn

    Ilipofika saa kumi na moja uvumilivu ukanishinda nikafungua mlango na kutoka nje.

    Nilikaa pale kwa muda nikarud ndani na kutoa nguo zangu chafu nikazifua fua pale ili kupoteza muda kukuche.

    Muda mfupi baadae,yule mpangaji mdada naye akatoka,nilipomwangalia usoni nikaona na yeye hajalala kabisa

    " Pole mwenzangu,haya ndo maisha ya humu" aliniambia

    " Dah! Kwa kweli hapa nitashindwa uzalendo" nikamjibu

    " Vumilia tu,huna jinsi" akajibu

    " Hapana,usishangae nikikugongea leo usiku kwa kweli" niliongea kimasihara

    " Me mwenyewe kidogo nikugongee mlango,nimehisi nachanganyikiwa vile,na leo wamezidisha baada ya kukuona wewe" akajibu

    Nikapata nguvu baada ya yeye kunujibu vile nikamsogelea na kumshika mkono,hakuleta ubishi,nikamvuta mwilini na yeye akaja mzima mzima

    Kwa sababu ya kigiza hakuna aliyeogopa,nikaanza kumpa romance pale pale nje



    Nilimvuta yule binti na kuanza kupata romance kutoka kwake

    Wakati tunataka kukolea,tukasikia mlango ukifunguliwa taratibu ikabidi tusitishe zoezi lile

    Alitoka mwanamke wa chumba cha jilani na changu wakati huo yule mdada akazuga alikuwa ananiuliza kitu kisha akaondoka kueelekea bafuni

    Yule mwanamke alinipita na wakati ananipita akaniachia neno

    " Pole sana,ila usijal ongea tu" alisema

    Alivyoongea hivyo nikakumbuka kuwa kuna timbwili nililisikia usiku,nilipoangalia mlango aliotokea nikakumbuka ndo yule niliyempiga chabo kwa kuunganisha stuli zangu

    Kumbe huyu ndo yule aliyekuwa na mauno kama ya mama kiboga wa Tandale,nikapata picha ila maneno yake yakawa yameniacha njia panda

    " Hivi hawa nikiwaonjesha si patachimbika hapa jaman" niliwaza.

    Niliendelea kufua mpaka nilipomaliza nikaingia chumbani kwangu na kujipumzisha

    Nilipitiwa na usingizi mpaka saa moja na nusu,nilikuja kushtuliwa na Manka akiwa anataka kwenda kazin

    " Baby naenda kazini,ila nina maongezi na wewe naomba namba yako ya simu nikitulia nitakupigia" akasema

    Niliwaza mara hii nimeshakuwa baby tayali!

    " Usijal 0755957515 ila sibep coz sina credit" nikamtania nikimpa no yangu

    Akaja na kuinama akanibusu shavuni na kisha akaondoka

    Niliamka baada ya muda mfupi na kuchukua mswaki wangu nikatoka kwenda kunawa uso.

    Nilipofika pale nje nilimuona yule dada waa chumba cha jilan aliyepewa shughuli asubuh na kupiga kelele za ajabu

    Nilishangaa ni kabinti kadogo tu,ila nilipokiangalia kiuno chake nikakibulani

    " Dah! Kwa nini nimepanga hapa? Haya majalibu,haka kakiuno kaliko binuka ndo ugonjwa wangu! Sikuachi dogo hata mmeo awe bausha kias gani" niliwaza mwenyewe

    Alipokutanisha macho yake na yangu akanikonyeza kisha akacheka

    Nilikishangaa kitendo kile" ina maana na kenyewe kamesha kufa?" nilijiuliza

    Nikaelekea kupigwa mswaki na nilipomaliza nikawa narudi chumbani kwangu

    Nilipokabia mlango wa chumba changu alitoka mpangaji mwingine chumba cha pili kutoka changu

    Aliponiangalia na yeye alinikonyeza kisha akaniambia

    " Pole sana jilani" nikashangaa pole ya nini

    Alipogeuka kuondoka nikaangalia mgongo

    Mashalaaah!! Alijaliwa mgongo wa haja! Naamin hata wewe unayesoma ungemuona ungepatwa na wakati mgumu!





    Niliingia chumbani kwangu nikiwa sielew elew tabia za wale wanawake pale niliona moto nitakaouanzisha unaweza kuniletea balaa

    Nilifata vitafunwa na kuchemsha chai kisha nikatulia nakunywa huku nikichek movie moja ya kanumba kwenye zuku swahili

    " Hodi jilan" mlango uligongwa

    " Kalibu mlango uko wazi" nikajibu

    Akaingia yule mdada wa kile chumba cha mkono wa kushoto na chumba changu ambaye alikuwa na kelele asubuh mpaka nikashindwa kulala

    Alipoingia aligeuka ili kufunga mlango,nikapata nafasi ya kukatazama vizur kale kakiuno mbinuko kake mpaka nikajikuta namtaman

    " Jilan nimemaliza vikazi nikaona nije kuangalia kwako vipindi vya tv kwa sababu hapa hakuna mwenye king'amuzi" aliniambia

    " Kalibu usijal" nikamjibu

    Pale chumbani kulikuwa na sofa la watu wawili peke yake na vistuli vyangu hivyo ikambidi aje kukaa pembeni yangu kwenye lile sofa

    Alipokaa kanga iliacha paja wazi ndipo nikagundua amevaa kanga peke yake au na kyupi pekee ndani

    Hakujishughulisha kuitengeneza, sana sana alianzisha story za kumhusu kanumba na anavyomhusudu

    Muda huo akawa mpaka anageuza mikao huku kanga ikiendela kuacha sehemu kubwa wazi

    Wakati mwingine alianzisha kitu cha kuchekesha ,akicheka mpaka ananilalia

    Hali ikawa mbaya saana kwangu mr akachachamaa sana nikawa nabadili mikao pale na yeye akashtukia

    " Usiumie tafadhali,sema tu, jilan mbona hutulii" akaniambia

    " aaah...aamna,,,amna" nikashikwa kigugumiz

    Akageuka ili aniangalie na pale ile kanga ikapanda mpaka nikagundua ndani hakuna kitu kwani niliona vinywele kwa mbali

    Nikaona huu sasa ujinga

    Nikamvvaa na kumkumbatia kwa nguvu na yeye akatoa ushilikiano.

    Nikaanza kumuandaa pale kwa fujo,ila kumbe kama nilidhani nimempata nilikosea akakomaa kuniandaa kwa fujo huku akimeza mhogo mzima mzima nikapiga yowe kubwa mpaka wa nje wakasikia na nikasikia wakipiga vicheko.

    Akajivua ile kanga yake na pale pale nikauona msitu wa solondo

    Nikakumbuka style ya mzee wa topaz yule wa joseph shaluwa nikaona ngoja niijalibu na mimi

    " Kalete wembe tafadhali" nikamuomba

    " wembe ya nini bana wakati huu?" akauliza kwa hamaki

    " we kama unataka mchezo kalete" nikamwambia

    Akavaa kanga na kuingia chumbani kwake sekunde chache akarudi nayo

    Nikamlaza kwenye ile sofa vizuri kisha nikaanza kumnyoa huku nikichezea kwa ustadi sehemu zake

    Alipiga yowe kubwa sana huku akitetemeka

    Nikajua hapo nimemshika!!

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Nilimnyoa taratibu ule msitu wake wa Solondo huku vidole vyangu vya mkono wa kushoto vikichezea ikulu yake kwa hali ya juu iliyomfanya apige kelele kuliko zile alizopiga asubuh akiwa na mmewe!

    Niliendelea na zoezi langu kiufund sana mpaka nikaona keshalowa sana na kila wakati akinivutia kwake kwa nguvu sana

    " Me t-a-y-a-l-i bwana" alisema kwa shida sana

    Me mwenyewe nilivyoangalia alivyolowa nikajua huyu kwisha habari yake

    Nikamnyenyua na kumuinamisha kwenye ile sofa

    " Naomba nikupe taarifa mapema,kama umezoea kulala basi hapa umeingia choo cha kike,hapa mwendo mdundo style mpaka chee sawa?" nikampa taarifa

    " Sawa bana anza unanichelewesha" akajibu

    Nikaona ili kuwaakomesha hawa wanawake inabidi nimpe mziki ambao hatarudi kwangu kamwe.

    Niliingiza ala na kuanza kumshughulikia kwa kasi sana.

    Kwenye swala la nguvu nilikuwa najiamin sana hivyo nilipanga kumpa mziki wa uhakika.

    Kama nilidhani yeye ni mwepesi basi nilikosea,pamoja na kutokukiona kitanda il bado mauno yalizungushwa hukohuko hewani kwa speed ya ajabu

    Mtoo alijua kukatumia kale kakiuno mbinuko kake vizur sana huku ppia sauti yake ikiwa kichombezo kikubwa kwenye mahaba yale

    Mzigo ulipigwa na ndani ya saa nzima mdada wa watu akawa keshahalibu zaidi ya mara tatu.

    Ila kwa upande wangu nilikuwa bado mzima kabisa na shughuli ilikuwa vilevile na speed kali

    Ngoja niwaibie siri kidogo,kwa mwanamme anayejua mapenzi sana inapofika kwenye swala la muda wa kufika kilelen yeye ndo mwamuzi ila kwa asiyejua mapenz anamaliza wakati wowote ule

    Wale tunaojua mapenzi ikifika hatua ukasikia dalili za kufika mwisho unachofanya ni kuacha kazi kwa kisingizio kuwa mnabadili style ila kumbe unazirudisha na zikisharud unaanza mziki upya

    Na ndivyo nilivyomfanya yule dada,nilirudisha zaidi ya mara nne huku yeye akibaki akishangaa kwa nini simalizi

    Kuna kipindi alihisi kunawaka moto akaomba mapumziko ila sikumpa nafasi hiyo

    " Umeyataka mwenyewe,iweje uombe pol? Hapa mwendo mdundo mpaka mnikome wote humu ndani" nilimwambia alipoomba msamaha

    Mziki ukaendelea tena kwa speed ile ile,ilifika hatua akalia machozi ya kweli na mimi kumuonea huruma na ndipo nikajiandaa na kufika kileleni

    Nilipomwachia alikimbilia feni pale ndani na kuiwasha kisha kujipulizia ili ule aliosikia kama moto upoe

    " Hatarudi tena huyu" niliwaza

    Nikiwa namwangalia huku nacheka simu yangu liita,nilipoangalia nikakuta ni yule binti mpangaji Manka!



    Nilipokea ile simu huku nikimuangalia yule mdada anavyojipepea na feni ili ule moto wangu pungue

    MIMI : haloo

    MANKA : nambie bby wangu,nimekumic

    MIMI : hata mimi

    MANKA : unafanya nini bby wangu?

    MIMI : nimekaa tu naangalia series

    MANKA : poa bby kuna kitu nilitaka kukutahadharisha

    MIMI : kipi hicho bby?

    MANKA : bby hao wadada wa hapo ni malaya sana,kuna mkaka alishawah kupanga hapo alikaa siku tano pekee akahama,yaan utafikili waume zao hawawaridhishi,najua hata wewe watakutaka,naomba ukatae bby mimi nahitaj tuoane hata leo ningependa nikirud nihamie chumban kwako,naogopa wataniibia,me siwaamin af nahisi wa UKIMWI jiangalie sana bby

    " angejua kuwa nimeshakunyula mmoja hapa anajipepea kwa sababu cha moto wala asingesema" niiwaza

    Sikutishika aliponambia wana UKIMWI kwa sababu najua hiyo ni tabia ya watu wengi kuwasingizia wenzao ili wafaidi wenyewe na isitoshe yule mdada nilimkunyula ppeku

    MIMI : usijal kwa hilo bby,siwez kukusaliti ila swala la wewe kuhamia tuliache kwanza mpaka tujuane vizur

    MANKA : poa bby ila leo nitalala kwako

    MIMI : tutaangalia ukija bby,usijal

    MANKA : yaan nilivyokumic nataman niondoke sa hizi na kuja huko

    MIMI: fanya kazi bby,mapenzi yapo utanikuta

    MANKA : utaanza lini kwenda kazin?

    MIMI : nina likizo ya wiki nzima bby

    MANKA : poa baadae bby love u sana

    MIMI : poa me 2

    "Ulikuwa unaongea na nan?" akaniuliza kiuno mbinuko

    " Hayakuhusu bana, we shida yako ilikuwa dozi ushapata bas" nikajibu kwa nyodo

    Akaniangalia wee kisha akanyenyuka huku akichechemea kuelekea chumbani kwake.

    Nilikusanya zile nywele zake na uchafu mwingine kisha nikaondoka navyo kuelekea bafuni

    Nilipopita pale nje nikawakuta wote wamekaa pamoja wakitazama chumbani kwangu.

    Nikaelekea toilet na kuvitupa kisha nikarud chumbani ili nibebe ndoo na kwenda kuoga

    " Heheeeeee! Mwanamme kazi unaiweza,mpaka kachechemea? Balaa hili" nikasikia wakicheka na kuongea

    " Mwenzangu,anasugua kuua,ila huo ndo mziki tunaoutaka acha hawa vijeba wanaotukuna na kutuachia uvundo! Heheeeee" waliendelea kuongea

    Niliona aibu ila kwa jinsi nilivyochoka ikabidi nielekee bafuni hivyo hivyo

    Walinyamaza wakawa wananiangalia pale nikipita,nilipoingia bafuni

    " Jaman,hata hajapumzika? Mwache bana avute pumzi,halaf lazima tuwekeane zamu naona kuna watu wanataka kufaidi wao tuuu" niliwasikia wanaongea ingawa sikuwaelewa

    Wakati nimejimwagia maji na nikiwa na sabuni usoni nikasikia mtu ananipapasa mwilini

    Nikanawa uso

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Nilishtuka sana kusikia mtu ananipapasa wakati nikiwa naoga

    Nikanawa uso ili nimuone vizur ni nan?

    Niligeuka na kushangaa kumuona yule mdada wa chumba cha kulia ambaye alikuwa kafungashia mgongo wa haja(tigo)

    Najua mtashangaa kujiuliza aliingiaje ila wale tunaoishi uswahilin tunayajua mabafu yetu kuwa huwa yanafunikwa na gunia na si mlango

    " Wee vip ? Mbona unaingia naoga?" nikamuuliza

    " Nimeshindwa kuvumilia Jun,naomba japo kidogo" akasema huku akiachia kanga aliyokuwa kavaa

    " Lakin si unajua nimechoka,nimetoka kwenye shughuli nzito muda huu?" nikamjibu

    " Hata kama bana,naomba japo kiduchu bas" akasema

    " Bana ee toka na utafute muda mzur ndo uje" nikamjibu

    " me humu sitoki bila kuonjeshwa" akajibu huku akinikumbatia kwa nguvu

    Nilijalibu kujinasua kutoka kwake ila sikuweza kutokana na mwili mkubwa aliokuwa nao na nguvu

    " Kwa hiyo unataka voda fasta?" nikamuuliza

    Ndiyo,iwe voda fasta au tigo rusha,me nataka bana" akajibu

    Nikamgeuza ili nimpe voda fasta nikashangaa akipinga

    " Mbona mimi huninyoi? Unataka nisipate raha?" akaniuliza

    " Bana eee! Ungetaka ya kukwangua ungetafuta muda wa kutosha ila umetaka voda fasta we geuka upewe usepe" nikamjibu

    Kama alidhan masihara basi alikosea,nilipomwambia voda fasta nilimaanisha

    Nilimuinamisha na kumpa ile wajanja tunayoita tako tatu bao

    Akbaki akishangaa nimemaliza au bado

    " Sasa ndo tayal?" aliniuliza baada ya kuona najiondoa

    " We ulizan voda fasta ni nini? Angalia kama sijakuchafua" nikamwambia

    Alipojiangalia alicheka mwenyewe

    " Aisee wewe ni balaa, dah! Hata siamin,sa ndo nini hicho? Si ungesema hutak" akaongea

    " Bana ee naomba usepe,ukipata nafasi njoo,ila umeomba Voda fasta nimekupa" nikaongea nikiwa serious

    Alipoondoka nilioga fasta na kuingia chumbani kulala

    Nilikuja kushtuka mlango ukigongwa kwa nguvu sana

    " Nyie vip? Mbona wasumbufu hivyo? Niachen nipumzke bana" niliongea kwa hasira

    " Ni mimi baby" akajibu Manka

    Nikaenda na kumfungulia alipoingia kule nje kikapigwa kicheko cha haja

    " Hheheheeehe! Et baby?!! Utabaki kunawa sisi tukila" walisema

    Manka alishtuka sana kusikia vile,akaniangalia kwa jicho baya kisha machozi yakaanza kumtoka

    " Manka mbona umelia?" nikamuuliza

    " Baby umeshawagonga hawa?" alimiuliza kama ananiambia

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    ITAENDELEA



0 comments:

Post a Comment

Blog