Search This Blog

Thursday 19 May 2022

TOTO LA KIMANGA - 4

 





    Chombezo : Toto La Kimanga

    Sehemu Ya Nne (4)



    "Nesi hebu fanya hivi nenda pale mapokezi uniletee bili ya shemsa,



    "sawa dokta ngoja nikailete,



    Ndani ya chumba cha wagonjwa mahututi walikuwemo madokta wawili wa kwanza ni yule dokta wa kiume aliyempokea shemsa usiku wa jana na wa pili alikuwa ni binti wa kipemba aliyeitwa dokta Nasra,

    Wakiwa wamebaki humo ndani walizidi kujadili hali ya wagojwa wao,

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "unavyoona huyu binti wa kiarabu atapona na kuridi Katika hali yake ya kawaida?



    "itakuwa ngumu kwani ubongo wake umecheza sana kwa majibu ya hii picha,



    "leo nikiwa na dokta lameck tulijalibu kuchunguza hii picha tukaona kuwa ataweza kupata fahamu vizuri akizinduka ila Baada ya siku zisizozidi 30 atapata hitirafu ya kuwa na upungufu wa hakili,



    "mlichoona ni kweli kwani hata mimi nilikiona ulipo nikabidhi zamu asubuhi ya leo,



    "sasa dokta Nasra cha kufanya ni kuwa binti huyu atahitaji dawa za kusafisha mishipa ya fahamu ili kupunguza ukubwa wa tatizo kwa siku za usoni,



    "ngoja nijaribu kuipitia vizuri hii picha alafu ili nijue tatizo kwa undani zaidi alafu ndipo nitakwambia tufanye nini kama tutatumia dawa au kufanya upasuaji mdogo,



    "sawa, basi acha mimi nikapumzike tunaonana kwa majariwa yake mungu,



    "sawa, mapumziko mema dokta,



    Dokta alitoka zamu akaenda zake kupumzika aliyeshika zamu alikuwa ni dokta Nasra,



    ***** ***** *****

    Upande wa pili,



    Nikiwa na mtoto wa kihindi huku nikijaribu kuzivuta hisia zake karibu zifanane na zangu kwa kumunyonya chuchu moja ya upande wa kushoto huku ya upande wa kulia nikiwa naipapasa na kuichezea kwa kutumia vidole viwili na mfumo niliotumia ulikuwa wa kuchezea kale ka kichwa ka kwenye chuchu,



    Kwa kutumia uzoefu wangu na utundu wangu binti wa kihindi alianza kutoa milio kama mfano wa ndege zikiwa kwenye viota zikicheza na vitoto vyao,



    Oooopssiiii............ aaaaaxxxiiiiii.........

    Mijiseee oooohiii Mijiseee........... Tuibahiiii..........



    Alianza kulalama kwa kuongea kihindi hapo mwanaume sikujua nasifiwa au napondwa hata kama nilikuwa natukanwa nilikuwa sijui,



    Niliendelea kumlainisha mpaka pale nilipoona amelegea na kukubali sheria yeye mwenyewe,

    Taratibu Nilianza kumsogeza mkuu wa majeshi kwenye tundu la hasali nilipomfikisha mlangoni alikuta mlango umefungwa hali hiyo ilinijulisha kuwa mlango ulikuwa mpya hakuna mgeni yeyote aliye wahi kuingia ndani hata chelewa ilionekana haikuwahi kuingia ndani,

    Nilichofanya Nilianza kuipiga mlango randa ili kuondoa uzibe niweze kuchungulia ndani,

    Nilipo jaribu kupiga randa kwa juu mtoto wa kike alishituka kwani mambo hayo yalionekana mageni kwake,

    Nikiwa najaribu kupasua nazi gafla mlango ulisukumwa na gafla tukasikia sauti ya baba yake..

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    ***** ***** *****

    Hospital tena...



    Nesi alifikisha bili ya shemsa kwa dokta Nasra akamkabidhi,



    "anadaiwa laki nne na nusu, sasa ngoja nikupe ukailipe alafu uende ukalete hizo dawa Tuanze tiba sawa,



    "sawa dokta,



    Nesi alipewa pesa akalipie bili ya shemsa ili matibabu yaendelelee kama kawaida,

    Dokta Nasra akiwa anasubili dawa gafla akaona kitanda kinacheza cheza alipomsogelea mgonjwa aliona mashine ya kupumlia imeanguka chini alishituka alipo muangalia vizuri alitisa kichwa,

    "inamaana Jitihada zangu zimegonga ukuta?..



    Nasra alifanya kila awezalo ili aweze kuona hali ya mgonjwa wake inarudi kwenye kiwango chake,



    Kazi ya udaktari ni wito ila madokta waliowengi hawatekelezi huo wito,

    Kwa Nasra kazi ya udaktari ilikuwa ni wito kweli kwani alifanya kila mbinu aijuwayo na awezayo kuhakikisha mgonjwa wake anamtibu na kupona,



    Nesi alikuja na dawa za kumtibu shemsa kama alivyokuwa ameagizwa na dokta Nasra,



    "nesi leta bomba la sindano haraka haraka alafu upime presha ya mgonjwa iko ngapi,



    Nasra alizidi kumhangaikia shemsa kwa ukaribu na pia alizidi kutoa malekezo kwa nesi ili kazi yao imalizike haraka salama salimini na ndani ya mda muafaka,



    Baada ya pilika za matibabu mgonjwa mwingine aliyekuwa chumba cha wagonjwa mahututi alirudishwa odini baada ya hali yake kuonekana inaendelea vizuri,



    "Nesi fanya hivi huyu mgonjwa mrudishe Odini kwani naona anaendelea vizuri,



    "sawa dokta,



    Yule mgonjwa mwingine alirudishwa Odini ila shemsa alibaki kwenye chumba cha wagonjwa mahututi akiwa chini ya uangalizi wa dokta Nasra,



    ***** ***** *****

    Gafla tulisikia sauti ya baba yake, Binti wa kihindi aliposikia sauti ya baba yake alijitoa kwangu haraka huku akisema kwa kihindi,



    "dady navaa nguo nakuja,



    Baada ya baba yake kusikia hivyo aliacha kuingia ndani kwani tayari alikuwa amefungua mlango,

    Nilijiuliza inakuwaje mlango umefunguka wakati mimi niliiufunga?.

    Sikuwa na jibu Nilibaki kumuangalia binti kihindi alivyokuwa anavaa nguo, Baada ya kumaliza kuvaa alinifuata kitandani na kuniambia,

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "jifiche pale nakujaa baba hadabu yake ndogo anaweza kuingia ndani bila hodi,



    Baada ya kunieleza hayo alitoka chumbani kuitika wito wa baba yake,

    Alipofika sebureni baba yake alimwambia,



    "sisi tunaenda hospital mama yako anaumwa kwa hiyo atarudi baadae,



    "sawa baba,



    "alafu mbona hujala chakula wewe chumbani unafanya nini?.



    "Hakuna nachofanya baba,



    "Alafu huko chumbani kwako una radio?



    "hapana dady,



    "mbona nimesikia sauti ya kiume huko?



    Purya mke wa mzee walikutanisha uso na binti wa kihindi yaani mtoto na mama yake wa kambo waliangaliana kila mmoja akabaki ameduwaa Purya alipata wasi wasi na mwanaye wa kambo kuwa anaweza kuwa alikuwa anakula raha na mtoto wake wa kambo,

    Pia na mtoto wa kihindi alihisi kuwa chirs alikuwa humo ndani kwa ajiri ya mama yake wa kambo,



    "nyie vipi mbona mnaangaliana hivyo?





    "nyie vipi mbona mnaangaliana hivyo?.

    Purya alimuangalia mtoto wake wa kambo kisha na yeye akamtupia swali,

    "Nelha mbona unaniangalia hivyo kulikoni?.

    Nelha alimuangalia mama yake wa kambo kisha akamuuluza na yeye swali,

    "sisi wote baba katuuliza kwanini tunaangaliana? Kwa hiyo jibu lilitakiwa litoke kwetu sisi wote kumjibu baba,

    Purya alimuangalia mtoto wake wa kambo akaona kama anataka kumuumbua kwa mume wake alichofanya alimjibu Nelha na kumuuliza swali,

    "haya asante kwa kunijulisha hilo, Ila kwa wewe uliyeelewa swali basi mjibu baba yako,

    Nelha swali lilimbana akamuangalia mama yake wa kambo kambo kisha akafikilia atajibu nini,

    *sasa nifanyeje niseme ukweli ili niluke hii kesi? Nikisema ukweli yule kijana atakuwa matatani alafu moyo wangu umeisha mpenda,

    Nampenda sana yule kaka siwezi kumfanyia hivyo,

    Nelha akiwa Katika mawazo debe alishitushwa na ukali wa sauti kutoka kwa baba yake,

    "wewe Nelha unawaza wa nini baadala ya kunipa jibu nililokuuliza?

    Nelha alionesha kubaha kutokana na ukali wa baba yake,

    Purya alipoona hivyo aliingilia kati ili Nelha asiogope akamtaja chirs,

    "mume wangu hebu twende hospital mimi hali yangu siyo nzuri kabisa,

    "haya pita hapa twende , Ila wewe Nelha siku ukiingia kwenye kumi na nane utajuta kuzaliwa,

    Purya na mume wake waliondoka kuelekea hospital, Nelha alipakuwa chakula akaenda kula na chirs ndani chumbani,

    "hivi kaka unaitwa nani?

    "Naitwa chirs,

    Walikula baada ya kula wakarudi kitandani alicho fanya chirs alihalakisha kula tunda ili atoke pale ndani kabla mzee mwenye nyumba hajarudi,

    "chiiiiiirssss aaapsss!!!!........ Chiiiiiirssss apooooo naumiaaaa..........,

    "Tulia basiiiiiii Nelhaaaaa........ Namaliziaaa..........,

    "kolhaaaa..... Chiiiiiirssss kolhaaaa...... Aaaaaxxxiiiiii......

    Nilikula tunda baada ya kumaliza nilibaini kuwa nimemuumiza Nelha Katika sehemu yake ya utamu,

    "pole Nelha sikukusudia kukuumiza ila utazoeya tu tukiwa tunafanya mala kwa mala,

    "kwa nilizoeya nitakuwa nasikia raha kuliko hii ya leo?

    "Ndio alafu siku nyingine utasikia raha mwanzo mpaka mwisho kuliko leo,

    Baada ya kuongea mengi nilimwambia shida yangu kuwa nina mgonjwa hospital ila sikumwambia ukweli wa mgonjwa mwenyewe,

    Nelha alitoa dola za kimarekani Dora 700 ambazo ni sawa na Shilingi million moja na laki saba,

    Nelha aliniletea nguo zangu kutoka chumbani kwa mama yake wa kambo akaniletea mimi nikaondoka kurudi hospital kujua hali ya shemsa na kulipia pesa za matibabu na kutoa pesa ya kununua zile dawa nilizoambiwa na dokta lameck,



    Nilipotoka hapo kwa kina Nelha moja kwa moja nilielekea hospital kwenda kumjulia hali shemsa,

    Nikiwa njiani Niliwaza mengi sana haswa kikubwa nilichokuwa nawaza nilikuwa nawaza hali ya shemsa ikoje tangu nilipomuacha hospital asubuhi akiwa hajarudiwa na fahamu zake,



    *sijui atakuwa ameisha pata fahamu masikini wa mungu? Nasikitika kuchelewa kwangu ila Itabidi anisamehe kwani sikukusudia, Na pia nimedhini ila nimefanya hivyo ili kupata pesa za kumlipia hospital na hilo nalo Itabidi anisamehe kwani sikukusudia starehe, waswahili wanasema mtu akifumba macho kwa kupoteza fahamu eti nafsi yake inakuwa inazunguuka kama ni kweli na umenishudia naomba radhi shemsa wangu,



    Mawazo yalizidi kutawala kichwa changu na pia wasi wasi ulikuwa ni mwingi sana kama vile nimefumaniwa,

    Hii yote ilitokana na mimi kutokuwa na tabia mbaya za kutembea na wanawake ovyo, Kwa hiyo kutokana na kutokuwa na tabia hizo ndio maana nilikuwa najishitukia sana,



    ***** **** *****

    Nilifika hospital huku nikionekane ni mwenye wasi wasi sana hata nesi aliponiona alilijuwa hilo,



    "chirs habari yako, Alafu mbona umechelewa sana?.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "Samahani nesi naombeni radhi sana kwa kuchelewa kwangu nilikuwa kwenye pilika za kutafta pesa ndio maana nimechelewa,



    "pole sana, sawa basi acha mimi niendelee na kazi,



    "sawa nesi, Ila vipi kuhusu hali ya mke wangu?.



    "kidogo yuko vizuri na kwa sasa hivi yuko Odini nenda namba sabaA,



    "sawa asante sana nesi mungu awalipe kwa wema wenu na ukarimu wenu,



    "asante na wewe pia tunakushukuru kwa kuwa mvumilivu,



    Nilitembea mwendo wa haraka haraka ili kwenda kumuona shemsa Odini anaendeleaje,

    Haaaa nimesahau kumuuliza kama alilejewa na fahamu zake au laaaa,

    Ila hayo nitayajulia huko huko ndani ya Odi,



    Nilifika nje Odi nikabonyeza kiaramu cha kuuliza kama niingie ndani au laa,

    Hiyo alarm waliyiweka ili kama huenda mgojwa amekaa vibaya basi akae vizuri au kama dokta anatoa huduma basi upate taarifa,

    Baada ya kubonyeza alarm nilijibiwa kuwa niingie na wao kwa kubonyeza batani iliyosema welcone kama hawajakuruhusu wanabonyeza batani ya stop,



    Niliingia ndani moja kwa moja nikaona vitanda viwili ila alicholazwa shemsa nilikiona,

    Nilianza kumsalimia mgojwa mwingine aliyekuwemo humo Odini,



    "Shikamo mama?



    "Marahaba hujambo mwanangu?



    "sijambo mama vipi hali yako kwa sasa?.



    "sasa hivi nashukuru mungu napata ahuweni,



    "sawa ugua pole mama yangu allah atakuponya,



    Baada ya salamu Nilienda mpaka kwenye kitanda alicholazwa shemsa pembeni yake alikuwepo Binti mrembo sana mweupe kiasi alionekana mwenye nywele nyingi sana japo alikuwa na ushungi kichwani kutokana na muonekano wake alionekana ni Dokta,



    "asalam aleykum, Habari zenu,



    Binti huyo aliitikia na kuniuliza swali,



    "waleykumsalam, Wewe ndie chirs mume wa shemsa?



    "Ndio mimi dokta,



    "mbona umechelewa kiasi gani hiki toka asubuhi mpaka sasa hivi ndio unarudi?



    "Nilienda kutafta pesa dokta wangu, Maisha yangu ni ya kubangaiza,



    "sawa tuyaache hayo, sasa mkeo amebainika ana maradhi mengine makubwa,



    "Maradhi gani hayo??.....



    "mke wangu anaumwa ugonjwa gani huo mkubwa?



    "Ni kwamba Katika uchunguzi tumebaini kuwa ataweza kupata fahamu zake ila kwa siku za usoni atapata tatizo la upungufu wa hakiri,



    Nilimuangalia shemsa kisha nikasogea mpaka karibu nikamshika mkono,



    "nakupenda mke wangu nitakupenda kwa hali yoyote ile hata upate maradhi gani,

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Japo alikuwa hajapata fahamu zake shemsa ila nilimwambia kama kuonesha kuwa tuko pamoja popote pale na hata kwa maradhi yoyote yale,



    Dokta Nasra aliniangalia kisha akanishika begani na kuniambia,



    "Acha kuliya haya ni ya dunia na yanapita tu kwa hiyo usiyape kipaumbele sana yaone niyakawaida tu,



    Yule mama mwingine aliyekuwa amelala kitanda cha pili na yeye alianza kuliya tena alilia kwa hisia sana mpaka mimi na dokta tunashangaa sana,



    "mama usilie si unajua hali yako ya mgongo hutakiwi kuuchezesha, nyamanza mama yangu acha kuliya hali yako siyo nzuri, Mama mamaaaa......



    Nilimuangalia yule mama nikamuonea huruma ikanibidi nimsogelee na mimi nikaanza kumbembeleza kwani alikuwa analia sana mpaka kwikwi,



    "mama........ Mamaaaa acha kuliya haya ni mapito tu sawa mama yangu?



    "Nimekuelewa mwanangu nimekuelewa nanyamanza,



    Mama yule alinyamanza ila alionekana ni mwenye mawazo mengi sana na alionekana ameguswa sana na ugonjwa wa shemsa,



    ***** *f**f ******

    Dada yake na shemsa baada ya mda kupita alianza kuhaha asijue nini cha kufanya kuhusu kupata pesa za yule mwanaume aliyempa shemsa kwa makubaliano ya kumuoa,

    *nimeambiwa nichague mawili kufa ama kurudisha pesa za watu au kumpeleka shemsa akaolewe,

    Nifanyeje mimi jamani shemsa mwenyewe sijui yuko Katika hali gani toka siku ile apokuwa hoi kwa kupigwa na baba mdogo,



    Akiwa Katika mawazo mia kidogo gafla simu yake iliita kuangalia aliona ni Mr john bosi wake na shemsa,



    "hallow habari yako?



    "nzuri bosi vipi hali yako?



    "mbaya kwangu kwani simuoni kabisa mdogo wako sijui yuko wapi,



    "ni marefu ndugu yangu labda tuonane nikwambie,



    "sawa, basi njoo hapa ofisini kwangu,



    "sawa nakuja,



    *huyu boya akiingia mkenge nampiga pesa za kumlipa yule jamaa ili aache kunifuatilia kabisa maana nahisi harufu ya roho yangu kunyofolewa,



    Baada ya dada yake na shemsa kujiandaa alitoka kuelekea ofisini kwa Mr John ili aone kama ataweza kutumia uongo wowote ule apate pesa ya kulipa deni.



    Najma dada yake shemsa alitoka nyumbani na kwenda kuonana na bosi john,

    *lazima nifanye kila niwezalo nimtoe pesa bosi john nilipe pesa za yule jamaa la sivyo zitanitokea puani *



    Najma alifika ofisini kwa jonh ila akabadili muonekano wa sura yake na kuwa kama mtu aliye pata msiba,



    "Najma mbona hivyo unaonekana mwenye huzuni sana?



    "john matatizo yamenifika shingoni sina pa kukimbilia hapa unaponiona ili nipate msaada,



    "una matatizo gani tena Najma maana nilikuwa najua lile la kuuguliwa na mama yenu tu,

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "Ndio na bado anaumwa ila kuna tatizo ambalo limejitokeza tena,



    "tatizo gani tena hebu nijuze nijue nini kina kusibu?.



    "john ni kwamba shemsa ametekwa na watu wasiojulikana watu hao wanataka million 500 ili wamuachie yaani hapa sina hamu matatizo yameniandama sana,



    "duhh!!... Pole sana Najma vipi umejaribu kuwasiliana na polisi kuona kama wanaweza kukusaidia?



    "wameniambia nikitoa taarifa polisi basi watamuuwa bila kupoteza mda,



    *mmhhh masikini shemsa tufanye nini arudi akiwa mzima? Pesa wanayotaka ni nyingi sana, Najma mpaka sasa hivi umepata kiasi gani?



    "yaani hapa nina million 50 tu na kuna shangazi yetu wa kimara kuniambia niende kimara nikachukue million 50 kwa hiyo zitakuwa million 100,



    "sasa Najma mimi hapa nina million 200 ila ziko kwenye bajeti ya ofisi, Sijui nitafanyaje mimi ili tusaidiane kwenye hili tatizo maana shemsa mwenyewe nilikuwa nampenda kweli,



    Najma aliposikia maneno hayo aliona hapo ndio penyewe pa kulia pesa,



    "sasa kama ulikuwa unampenda fanya tumtoe huko ili umuowe sasa,



    "mhhh Najma unaona shemsa atakubali kweli?



    "Basi leo wakinipigia nitawambia wanipe simu nimuulize mimi najua anakubali tu maana kwanza shemsa alikuwaga anakusifia sana ulipoowa alihuzunika ila hakukuonyesha tu,



    "ila inaweza kuwa kweli maana hata kwenye harusi hakuja,



    "Siyo inaweza kuwa kweli ni kweli na kwenye harusi alikataa makusudi aliniambia ataweza kulia watu wakamshangaa,



    "masikini shemsa kwanini hakuniambiaga si ningelimuowa mimi jamaniiiii......



    John aliingia mkenge kwani alianza kujilaumu sana mpaka Najma akapata uhakika wa kupiga pesa million kadhaa,



    "tena sikia john hizo pesa tutasainishana makubaliano na shemsa atasaini sawa.?



    "sawa itakuwa vizuri sasa wewe kaongee naye alafu utanijuza atakacho sema,



    "sawa kwaheli mr john,



    ***** **** ******

    Najma wakati anatoka hapo ofisi alikutana na chaz yule aliyeiba

0 comments:

Post a Comment

Blog