Search This Blog

Thursday 19 May 2022

TOTO LA KIMANGA - 3

 





    Chombezo : Toto La Kimanga

    Sehemu Ya Tatu (3)





    Shemsa alizidi kugala gala chini huku akiwa anaugulia maumivu makali aliyokuwa amepata baada ya kupigwa teke la mbavu,



    "mama mamaaaa nakufa naaaa kufaaaa.....



    Shemsa alizidi kulalama kwa kulia kutokana na maumivu makali aliyozidi kuyasikia,

    Wakati shemsa akizidi kulalamika baba yake mdogo alikuwa akifoka kwa kuongea maneno ya ajabu,



    "yaani leo lazima nikutoe roho mshenzi mkubwa wewe,



    Alipotoa kauli hiyo alimfuata shemsa chini alipokuwa amejilaza akilalamika kwa maumivu alipomkamata alianza kumnyonga kwa kutumia kitamba kilichokuwa mezani,



    "mamaaaa nakufaaaa

    Maaama nisaidieee....



    Shemsa alianza kuhaha na kutupa tupa miguu huku na kule huku akiwa anatumia mikono kuhangaika kutoa kitambaa kilichokuwa shingoni kwake kikimnyonga,



    Ilikuwa kama bahati kwa shemsa kwani chirs alifika kumbe hakuwa mbali alikuwa maeneo ya jirani na kwake,

    Chirs alipoingia hakuuliza chochote wala hakumuangalia mtu usoni alianza kutoa kichapo fasta kwa baba mdogo na rafiki yake,

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Japo walikuwa wawili ila hawakuweza kufurukuta mbele ya chirs,

    Chirs alitoa kichapo kwa wote wawili mpaka kila mmoja akawa hoi bini taabani,



    Dada yake shemsa alipoona hivyo aliponyoka akakimbia na kutokomoeya,

    Baba mdogo alipoona mambo ni magumu yeye na rafiki yake walikimbia na wao wakatokomea chirs alipoona wamekimbia alienda kumnyanyua shemsa chini na kumkalisha juu ya kitanda,



    "shemsa vipi unajisikaje na hali?.



    "mbavu zinauma na shingo inaniuma sana,



    "basi jikaze twende nikupeleke hospital ukatibiwe,



    Chirs alichofanya alimshika mkono shemsa akaupitisha begani kwake kisha mkono wake chirs yeye akaupitisha kwenye nyonga za TOTO LA KIMANGA japo walikuwa katika matatizo chirs alijisikia burudani kumshika mtoto wa kike vile,

    Walipofika nje shemsa alimuuliza chirs kuwa kama anaweza kuendesha gari,



    "Ndio naweza kuendesha kwani vipi?



    "Chukua ufunguo wa gari mfukoni uendeshe hiyo gari twende hospital,



    Chirs alizidi kufurahia zile hali za kumpapasa shemsa kwenye mwili wake,

    Kwani alipoingiza mkono mfukoni alipapasa kutafta ufunguo japo alikuwa anaugusa nia yake alikuwa amguse guse mapaja,



    Chirs aliwasha gari akaondoka kumpeleka hospital shemsa,

    Walipofika hospital walifuata mpangilio mzima kisha shemsa akaingia kwenye,

    Baada ya vipimo ilionekana kuwa shemsa alazwe ili awe chini uangalizi wa doctor,

    Shemsa aliwekwa kwenye wili chea na nesi akaanza kuisukuma kumpeleka wodini shemsa,

    Shemsa alipokuwa kwenye wili chea aliona kitanda cha wagonjwa kikisukumwa kutoka kwenye chumba alichokuwa amelazwa mama yake,

    Kitanda hicho kwa juu kulikuwa na mwili wa mtu umelalapo juu umefunikwa na shuka nyeupe kwa muonekano ilikuwa inaonekana ni mati,



    Shemsa alipoona hali hiyo hakutaka kushanga tena akiwa juu ya kiti cha wagonjwa alijinyanyua kwenye kile kiti akaanza kukimbilia kile kitanda chenye maiti ili aweze kubaini kama mama yake ndie aliye poteza maisha,



    Shemsa alijaribu kukimbilia kile kitanda ila hakuweza kumudu mwendo wa kile kitanda kwani manesi walikuwa mbio sana kuwaisha maiti mochwari,

    Shemsa kutokana na maumivu aliyokuwa nayo alijikuta anaanguka chini na kupoteza fahamu,

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Nikishirikiana na nesi tulimnyanyua na kuipeleka chumba cha daktari akalazwa juu ya kitanda na vipimo vikaanza kuchukuliwa ili kubaini ni nini tatizo?



    Baada ya vipimo kupimwa madokta walizidi kuongezeka kwenye chumba cha vipimo huku kila mmoja akijaribu kueleza nini cha kufanya ili kurudisha Uzima wa TOTO LA KIMANGA,



    hatimae palikucha asubuhi ikawasili nikiwa bado niko hospital kutaka kujua hali ya shemsa itafikia wapi kwani mpaka dakika hiyo alikuwa hajazinduka (fahamu zilikuwa bado hazijalejea),

    Nikiwa bado nje ya chumba cha vipimo gafla madokta walitoka wakiongozana na mimi bila kupoteza dakika nikamuita dokta mhusika aliyempokea,



    "dokta samahani naomba kuuliza vipi hali ya mke wangu?



    Nilichofanya nilijimilikisha shemsa kwa kumuita mke wangu dokta aliniangalia kuanzia unyayoni mpaka utosini kisha akaniuliza,



    "Kijana yule dada ni mkeo kabisa ama unatania wewe?



    "Ni mke wangu dokta ni kwani vipi?.



    Nilimjibu dokta kwa kujiamini asilimia mia kwa mia akarudia kuniangalia tena kisha akanena,



    "Kijana Hongera kwa kuwa na mke mzuri saba aliyekizi viwango vyote vya uzuri ila najiuliza ulimpata vipi?



    "dokta tuachane na hayo hebu niambie vipi hali ya mke wangu?.



    "njoo ofisini kwangu tuambiane,



    ***** ***** *****



    Upande wa pili Najima ambaye ni dada yake na shemsa alipigiwa simu na yule mwanaume aliyempa pesa shemsa,



    "najma habari za siku nyingi?



    "nzuri tu sijui wewe mwenzangu hali yako huko ulipo?

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "mimi naendelea vizuri nilitaka kujua mipango inaendeleaje kuhusu kumuowa mtoto huyo wa kike maana si unajua makubaliano yetu jinsi yalivyo?.



    "najua yote hakuna nililosahau ila kuna tatizo limejitokeza hapa Katika,



    "tatizo lipi tena?



    "zile pesa ulizo mtumia shemsa ziliibiwa zote kwa wakati mmoja na mama bado yuko hospital,



    "Najma sikia upuuzi siyo mahara pake wala matani siyo mahara pake angalia nisije kukutoa roho bila kupanda,

    Sikia niwambie kitu kimoja Najima ni kuwa chagueni moja mimi kumuowa Shemsa au mimi kutoa roho zenu?



    Najma alibaki mdomo wazi asijue cha kujibu.............



    ***** ***** *****



    Niliingia ofisini kwa dokta kupata kujua hali ya shemsa inaendeleaje,



    "Kijana inabidi ujikaze kwa haya ninayo kwenda kukwambia kwani kukuficha hatuwezi kukuficha tena,

    Ni kwamba mkeo alipoanguka aliweza kupata hitirafu kwenye ubongo kwa hiyo mke wako ni kuwa amee...



    "dokta amekuwaje mke wangu amefariki? Niambie dokta niambie ukweli usinifiche dokta,



    Dokta uso ulikuwa umemshuka kabisa akionesha kuwa anachotaka kunieleza ni kizito,



    "Kijana ni kuwa mkeo amepata hitirafu Katika ubongo yaani sehemu ya kubwa imepata hitirafu kwa hiyo mkeo hatoweza...



    Kwa hiyo mkeo hatoweza kupata fahamu haraka na kama atapata fahamu haraka basi juwa baada ya siku chache atapata tatizo la akiri,



    "dokta sijakuelewa vizuri umesema kuwa kama atarudiwa na fahamu haraka basi atakaa siku chache akiwa na fahamu zake ila akageuka kuwa mwehu yaani kichaa?.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "Ndio hivyo mr chirs kwa hiyo Itabidi ujiandae na hali hiyo kwa kuwa ni lazima itakuwa hivyo,

    La sivyo tumuombe mungu atusaidie achelewe kurudiwa na fahamu zake ili akiri ipate mda wa kujipanga,



    "dokta ni mda gani akikaa bila fahamu fahamu ndio atakuwa sawa?



    "Kwa makadilio ni kama kama siku zisizo punguwa kama kumi na tano hivi,



    "dokta hakuna njia ya kuepusha hali hiyo ya kuwa na ukichaa baada ya kurudiwa fahamu?



    "sikia chirs fanya kitu kimoja kuna dawa zitaitajika baada ya kurudiwa na fahamu dawa hizo zina garama kidogo zinagarimu kiasi kama laki tano akizipata hizo zitamsaidia hata akiwa kichaa kitakuwa siyo kichaa cha kucharuka sana,



    Baada ya kuambiwa garama za dawa nilihisi kichwa kupasuka nikahisi uzito kama vile nimebeba dunia,

    Nilichofanya Niliona bora nitoke hapo hospital niende kutafta hizo pesa kuliko kuendelea kukaa hapo,

    Hakiri ilinituma niende kumtafta chaz angalau nione kama ataweza kunipa hata mil. 1,



    "sawa dokta acha niende kutafta pesa nakuja labda dawa hizo zinaweza kumsaidia,



    "sawa ila pia kumbuka kuwa unadaiwa pesa za hapa hospital kuhusu vipimo na dawa tunazo endelea kutumia kwa ajiri ya mgonjwa,



    "sawa dokta haina shida acha nifanye mishe mishe za kupata hizo pesa, pesa,



    Niliona haina haja ya kupoteza mda Niliondoka nikaingia mjini kaliakoo nikaanza kuuliza washikaji waliokuwa wanamjua chaz na mimi,

    Nilifanya kazi hiyo kwa masaa matano mpaka nikapata mwanga kidogo wa kumpata chaz,



    Nilielekezwa kuwa anaishi kwenye magorofa ya wahindi post na mimi bila kusita nilielekea huko huko huku nikifuata ramani Niliyoelekezwa,



    Nilifanikiwa kufika post nikaliona jengo nililoelekezwa nikaingia nikaanza kuzipanda ngazi kuelekea upande wa juu nikiwa nazipanda ngazi Nilichofanya niligonga hodi kwenye gorofa ya tano ili kuuliza kama kweli chaz anaishi kwenye huo mjengo,



    Niligonga hodi pasipo na matumaini nikakata tamaa nikaona bora nipande juu nilipofika gorofa ya sita nikagonga hodi kwenye mlango mmoja,



    Niligonga ila kama nilisikia sauti ya milio ya vinanda ikichombeza taratibu, sikusita Niligonga hodi hodiii... Hakuna aliyeitika Niligonga hodi huku natega sikio mlangoni kusikia kinachoendelea ndani nilisikia sauti za mahaba nikashindwa kuelewa kama live au ni video,



    aaaxxxuuu...... ooooshiii.. Psssiiiiii....... 😳😳😳 mmmmhhh

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Niliposikia hayo Niliona haina bidi kuchungulia niliamuwa kuchungulia nione kinacho endelea ndani kama ni watu wanabanjuana ama ni mtu akaangalia xx,

    Nilipenyeza jicho kwenye tundu la kitasa nikachungulia nikamuona mdada akiwa kwenye sofa anasugua sehemu yake ya utamu kwa kutumia kidole cha kati kati,



    Nilitoa jicho nikaondoka zangu nikapanda juu nikakutana na chaz uso kwa uso akiwa anafungua mlango wake aingie ndani,



    "chaz ni wewe? Ama naota?



    Chaz hakuamini kuniona aliishilia kushika kitasa bila kufungua mlango akanijibu ila alinijibu kwa dharau,



    "ni mimi ndio kwani unaona nimebadilika nini?



    "chaz tuachane na yote yaliyopita tugange haya ya sasa, Ni kuwa mimi ndugu yako nina mgonjwa hospital yuko Katika hali mbaya inahitajika mil. 1 tu hospital naomba msaada wako ndugu yangu,



    "acha kupoteza mda wako na pumzi zako kuongea maneno mengi wewe ondoka zako, kukusaidia bora hiyo pesa nikaitupa chooni,



    Chaz aliingia ndani kwake akabana mlango,

    Sikuwa na najinsi niliamuwa niondoke kurudi nilikotoka huku Niliwaza pesa nitatoa wapi nikiwa katika mawazo nilisikia sauti yenye rafudhi ya kihindi ikiniita,



    "wewe wewe kaka kuya mala moja unisaidie hapa,



    Nilipogeuka nilimuona yule mtoto wa kike aliye kuwa anajipa raha ndani kwake kwa kusugua G sport yake,



    Nilipomuona niliitikia wake kwa kumfuata kusikiliza anacho hitaji,



    "Habari yako?

    Alionesha uugwana kwa kunisalimia na mimi nikamuitikia,



    "Nzuri habari yako na wewe mrembo?



    "nzuri, Nilikuwa nina shida kidogo naomba msaada wako kama itawezekana,



    "una shida gani dada yangu?.



    "Shida yangu ni ndogo tu kama hautojari, Nilikuwa naomba unibadilishie taa yangu ya ndani umeungua,



    "sawa usijari nitakusaidia kwa hilo,



    Tuliongozana mpaka ndani kwake ila nilishangaa kuona anazidi kupiga hatua kuelekea ndani zaidi,

    Kwa kuwa nilikuwa sijui mazingira ya pale sikujua nakwenda wapi mpaka tulipofika nje ya mlango mmoja akaufungua yeye akatangulia kuingia chumbani na mimi nilifuata mpaka ndani ya hicho chumba,

    Nilishangaa baada ya kuona kitanda cha kifari ndani ya chumba hicho nikabaini kuwa chumba hicho kilikuwa cha mwenye nyumba kwani niliona suruali zinaninginia na mashati,

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Baada ya kuona hali ilikuwa ndani ya chumba hicho, Nilijikuta natetemeka kwani nilijua kama mwenye nyumba akiniona basi nitakuwa nimeisha,

    Mtoto wa kihindi alinifuata nilipokuwa nimesimama akanisogelea kwa ukaribu zaidi kisha akaniambia,



    "kaka naomba unishikie hii sturi nipande niitoe hiyo taa sawa?



    "sawa wewe panda hakuna shida,

    Niliitikia apande ili atoe hiyo taa iliyokuwa imeungua,



    Nilishangaa sana kwani hata taa yenyewe haikuwa na dalili ya kuungua na pia hata sturi haikuwa na haja ya kushikwa kwani kama unavyojuwa sturi ina miguu minne kwa hiyo kumuangusha mtu inakuwa siyo rahisi,



    Nilichofanya nilitekeleza wajibu wa kushika sturi ili atoe taa yake,

    Mmhhh ama kweli mitego ipo ipo mingi ila huu wa huyu mtoto wa kihindi ulikuwa mtego wa mamba,

    Alipopanda sturi kutokana na ufupi wa sketi yake nilikuwa naona mpaka nguo ya ndani aliyovaa,



    "kaka shida yangu mimi mfupi sana kufikia taa inakuwa taabu sana,



    "basi shuka mimi niikutolee kama umeshindwa,



    "sawa, Hapo utakuwa umenisaidia sana,



    Mtoto wa kihindi alianza kushuka juu ya ile sturi huku akinishika begani ili asianguke,

    Alipomaliza kutelemka mimi Nilipanda nikaitoa taa ile nashuka nilipatwa na mshangao baada ya kumuona mtoto wa kihindi akiwa utupu kama alivyo zaliwa kutoka tumboni kwa mama yake,



    "sikia mvulana usipofanya kile nataka basi nitakuitia polisi kuwa unataka kunibaka,



    Nilimuangalia mtoto wa kihindi kuanzia chini mpaka juu sikuamini hayo anayofanya kwangu,

    Ugumu niliokuwa nao sikuhitaji hata kujitetea nilitamani nimdake nimtupie kitandani nile vyangu na mimi nitoe shombo ya ugumu wa miaka mingi ila niliogopa kukutwa na mwenye mali,



    Nikiwa nawaza nifanye nini gafla binti wa kihindi alinivaa kama nguo akajilaza kifuani kwangu akaanza kuchezea ndevu zangu huku akiniambua maneno matamu ili niweze kulegea nikubaliane naye,



    "kaka nionee huruma ni miaka naishi hivi bila kukutana mwanaume na mimi ni binaadamu mwili wangu unapopata chakula unahitaji kutoa,





    Mtoto wa kihindi alizidi kujieleza kwangu ili nimuonee huruma nikubali ombi lake,

    Moyo wangu ulikuwa unahitaji ila uliogopa kufumaniwa,

    Wakati nikiwa nawaza cha kufanya mtoto wa kihindi alizidi kunichezea kidevu changu huku akiwa mtupu,

    Siyo siri kwa mwanaume rijali kuvumilia hali kama hiyo inakuwa ni asilimia chache sana,,, mwili wangu ulishindwa kuvumilia hali ile nikajikuta napeleka mkono kiunoni kwa mtoto wa kihindi na kuanza kuchezea nyonga kwa mtindo wa pekecha pekecha,



    Mtoto wa kihindi alianza kupata radha ya ndimu na yeye bila kuchelewa alitumia mikono yake kunogesha mchezo kama unavyo juwa utamu wa ngoma ingia uichezee,



    Taratibu nilimvuta mtoto wa kihindi mpaka juu ya kitanda kilichofuata nilisaula na mimi nguo zangu zote kisha tukaanza harakati za kutaka kula tunda kama unavyo juwa kabla ya kula lazima unawe mikono hata kama unakula kwa kutumia kijiko lazima ukisafishe basi mimi kabla ya kula tunda Nilianza maandalizi ili nisije nikajikuta napaka shombo alimasi,

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Nilipeleka mkono mpaka kifuani na kuanza kuchezea chakula cha mtoto kwa madoido,

    Nilitumia vidole viwili kuchezea sehemu ile nyeusi iliyopo kwenye chuchu ya mtoto wa kihindi,

    Wakati huo nikifanya hayo yote mdomo wangu na mdomo wa mtoto wa kike ilikuwa ikinyonyana midhiri ya mdomo unaokula muwa mtamu wenye sukari nyingi kama miwa ya kagera,



    "aaapssiiiii........ Ooooshhhii....... Bangraaa hotaheeee.....



    Mtoto wa kihindi kadiri maandalizi yalivyo zidi kunoga alijikuta anaanza kulalama kwa kutoa milio ambayo ilikuwa vigumu kuyielewa inamaana gani ila ndani ya hiyo milio alichanganya na maneno ya ya ruga ya kihindi yaliyoniacha njia panda kwani sikujua maana yake zaidi ya kusikiliza kwa makini ili yaninogeshe kupata hamu ya mchezo,



    Baada ya kuhakikisha nimemnogesha mtoto wa kihindi kilicho fuata nilimvuta kwa karibu zaidi Katika mwili kisha nikamkunja kwa kumuweka tayari kwa kupokea risasi za moyo na sikuoni stairi nzuri zaidi ya kutumia zaidi ya stairi inayoitwa MKASI ✂ stairi hii ni tamu sana ila inaendana na umbo la mwanamke na mwanaume siyo kila mwanamke atafurahia stairi hii,

    Nikiwa nimemkoki naelekea kushambulia gafla kengele ilitushitua kwani iliashiria kuna mgeni mlangoni alichofanya mtoto wa kihindi aliangalia mlangoni kupitia tv iliyokuwa chumbani ni mambo ya kisasa kwani kulikuwa na camera mlangoni inayo onyesha mtu aliyeko mlangoni,"Haaa ni mume wangu amerudi...............



    Yule binti wa kihindi akiwa ameinama alishitushwa na mlango kufunguliwa na alipoangalia alikuwa mume ndie aliye kuwa ameingia chumbani,

    Baada ya kuona vile alichofanya alibeba zile nguo na kuzipeleka moja kwa moja kwenye kapu la nguo,



    "Purya mosamu kotariha? (purya mbona kama hauko sawa?)



    Mume alimuuliza baada ya kuona kama hajiamini kama siku zote,

    Purya alijibu kwa unyonge kwa kutumia ruga ya kihindi,



    "reja omilihigahe (nahisi naumwa)



    "umekwenda hospital?



    "Ni lini uliwahi kuniruhusu kutoka humu ndani nikiwa peke yangu?



    "Basi jiandae nikupeleke hospital ila nikakuacha hapo hospital Ukimaliza vipimo nitatuma mtu aje akachukue akuridishe nyumbani sawa?



    "sawa,



    Purya alianza kujiandaa kwa ajiri ya kwenda hospital,



    ***** **** ******



    Nikiwa ndani chumba Nilicho jificha gafla nilisikia na kuona mlango umefunguliwa nilipoangalia vizuri Niliona msichana mdogo mdogo wa umri kama miaka 17 akiingia Katika chumba kile ila alikuwa amevalia sale ya shule alionekana ni mwanafunzi wa secondary,



    Nilipomuona nilibana pale pale nilipokuwa hata kupumua Nilianza kupumua kwa taabu sana kwani nilikuwa nabana pumzi ili asiweze kunisikia napumua,

    Nikiwa katika mawazo yangu gafla Nilkutanisha uso kwa uso na yule binti pale alipotoa nguo kwa ajiri ya kuvaa na nguo hiyo ndio ilikuwa imenikinga mimi,

    Binti aliponiona alipiga uyowe mkubwa sana ila nikawahi kumziba mdomo kabla hajapaza sauti tena,



    Nilimkamatilia vizuri nikaanza kuusogelea mlango ili niufunge na kitasa na ndivyo nilivyo fanya mlango niliutia roki kisha nikamrudisha binti yule mpaka kitandani na wakati huo wote sisi wote tulikuwa watupu hakuna aliyekuwa amevaa hata ch*p kwani binti huyo alipoingia chumbani alivua nguo zake za shule ili abadilishe nguo ila ikawa bahati mbaya nguo aliyochagua ndiyo iliyokuwa imenikinga kwa hiyo hakuweza kuiva na mimi nilikuwa nimesahau nguo zangu chumbani kwa Purya,



    Kama nilivyotangulia kukwambia nyuma kuwa penye aridhi nzuri lazima mazao yachipukie,

    Kutokana na ugumu wa kutokufanya mapenzi kwa mda mrefu nikijikuta hali yangu inakuwa mbaya na uvumilivu unanishinda Nilichofanya nilumgeukia binti mdogo wa kihindi nikapeleka mdomo wangu mpaka kwenye chuchu ya upande wa kushoto nikaanza kuinyonya kama vile mimi nikichanga,



    ***** ***** ******



    Hospital madokta waliendelea kutibu wagojwa ila Katika chumba cha wagonjwa mahututi aliongezeka mgonjwa mmoja na yeye alionekana kuwa hoi Bin taabani,

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "dokta msogeze hapa fanya upesi,



    "Nesi lete kipimo umpime presha yake tuone iko ngapi?



    Walianza kumpima presha haraka haraka sana ili kubaini presha kama iko juu sana au iko chini,



    "Nesi fanya haraka sana lete mashine ya oksijeni haraka upumuaji wake uko chini sana,



    Jitihada za kumuokoa mgonjwa zilizidi ila hazikuonyesha matunda yoyote yale kwani matumaini ya madokta nayo yalianza kufifia,



    "Mume wa huyu mgonjwa bado hajawasili hapa tu mpaka dakika hii?



    "Ndio dokta,



    Binti wa kipemba aliyekuwa hapo ICU ndie aliyekuwa anauliza alipoambiwa bado sijafika aliinama akatikisa kichwa kisha akamuita nesi amsogelee,



    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog