Search This Blog

Thursday 19 May 2022

JAMBO NA VIJAMBO - 2

 







    Chombezo: Jambo Na Vijambo

    Sehemu Ya Pili (2)



    Nilishikwa na kigugumizi na kukosa cha kumjibu binti wa kichaga Manka

    " Niambie tu ukweli nifaham,umeshatembea nao?" aliuliza tena

    " Nani kakwambia hayo? Mbona sikuelewelew? Nimefika jana humu ndani na sisi pia uhusiano umeanza jana iweje tuanze kutuhumiana hivyo?" nikapata ujasiri na kuhoji kwa ghadhabu

    " Lakin mbona umeshtuka na kukosa aman ghafla?" akauliza

    " Nikwambie kitu Manka,huwa siendeshwi kwenye mapenzi,mimi ni mtu mzima,ninajua nini nifanye,najua baya na zuri kama kutembea na hawa wanawake ni jambo zur nitafanya,ila kama ni baya siytafanya,umenielewa? Sijafata mapenzi kwenye nyumba hii,kama na wewe unanizingua kata kona" nilifoka

    Nilimuona akinywea sana kama aliyenyeshewa mvua

    " Nisamehe Junior" akasema

    " Hapa hakuna cha kusameheana,cha msingi una chumba chao,nakuomba usepe" niliongea huku nimenyenyuka na kumfungulia mlango

    Alipojalibu kujitetea nilikataa

    Kkwa aibu akanyenyuka na kuyondoka kimya kimya huku machozi yakimtoka

    Alipoondoka nilifunga mlango na kwenda kwa mchoma chipsi na kupata msosi kwa sababu usiku ulishaingia

    Nilipotoka pale nilipitia duka lililokuwa jilani na pale tunapoishi na kununua pakti tatu za wembe aina ya gillet

    " Hawa wanawake sikuwa na mpango nao ila inabidi niwaoneshe mimi ni nani" niliwaza wakati nikiziweka zile nyembe mfukoni

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    " Ila mimi bwege sana,badala ya kununua kinga,ninanunua nyembe" niliendelea kuwaza

    Nilielekea nyumbani na kukuta waume wa wale wapangaji wamerudi wote kutoka kwenye mizunguko yao

    Baada ya kusalimiana nao niliingia chumbani na kuwasha tv kisha nikawa naangalia

    Wakati nimetulia pale ghafla mlango ukagongwa

    " Pita uko wazi" nikasema

    Wakaingia wanaume wanne kati ya wale saba waliopanga pale na wake zao

    " Mheshimiwa,tunaona una king'amuzi bana" alisema mmoja

    " Ndiyo mkubwa kalibu" nikasema

    " asante bana naona tumepata sehemu tutakayokuwa tunaangalia taarifa bana unajua serikali hii haijali maisha yetu maskin wameleta ving'amuzi na ni gharama" akaendelea kusema

    " we naye una porojo,kaka tunaomba tufahamiane,Mimi naitwa Ally,huyu ni Juma,huyu Abdalla na yule ni Hassan wote ni wapangaji humu ndani" akasema mmoja

    " Mimi naitwa Junior,,,kifup Jun" nikajibu

    " Sasa kaka kuna kitu tunaomba kukuuliza" akasema Abdallah

    " Ongea ndugu zangu" nikajibu kwa kujiamin

    " Hivi unawaonaje hawa wake zetu hasa?" aliuliza

    Nilihisi mkojo unataka kupita!



    " bwana Junior,nimekuuliza unawaonaje hawa wake zetu?"

    Nilitulia na kufikilia sana hawa jamaa wana maana gan kuniuliza hivyo

    " Mna maana gan lakin? Sijawaelewa" nikajibu

    " We tujibu tu kijana," akasem Abdallah

    " Nimehamia hapa hata siku mbili sijamaliza mmeanza kuniulizia wake zenu,nyie vip? Mnanichukuliaje?" nilijitutumua na kufoka

    " Hatujauliza kwa ubaya kaka, wewe ni mpangaj mwenzetu lazima tujadiliane juu ya hili na isitoshe umeshashinda hapa siku mbili tukiwa hatupo" aakasema

    " Siwez kulijibu swali lenu,nimewaona kama wastaarabu mlipoingia ila naona tunavunjiana heshima,mnanifikiliaje? Na hao wake zenu mnawaona wazur sana ee? Naomba mtoke chumban kwangu naona mmevuka mipaka" niliendelea kufoka

    " Bwana Junior sisi hatuna ubaya na wewe na wala hatujaja kwa ubaya tunaomba upunguze hasira ili tujadiliane" akasema Ally

    " Mngekuja kwa wema msingeniuliza maswal ya kipuuz hivyo,nina siku mbili mmeanza matatizo je nikimaliza wiki" niliongea kwa nguvu mpaka wale wadada kule nje wakasikia

    " Basi tunaomba msamaha kwa yaliyotokea" wakasema

    " Nimesema hivi uungwana ni vitendo naomba muondoke" nikazid kufoka

    Wakaondoka taratibu na kwenda nje,huko nikasikia wakijadiliana

    " Sisi ndo tuna makosa,Abdallah umemwingia vibaya,hata wewe mtu una siku mbili nije kukuuliza hivyo utajibuje? Af nasikia ni mkurya bana hivyo hasira nje nje" walikuwa wakijadiliana

    Huku ndani nilianza kupatwa na wasi wasi na ile hali inayoendelea pale,niliona dhahiri nisipokuwa makini ninakoelekea ni kubaya

    Nilimpigia simu Manka na kumtaka aje chumbani kwangu

    " Samahani Manka kwa kilichotokea,nilikuwa na asira sana,nafikili umeona hata walipokuja hawa nimewajibu vibaya" nikamwambia

    " Usijal baby hayo ni mambo madogo,nina amin hata hawa wapangaj hawakuwa na lengo baya wanakutahadharisha tu,hawa wanawake ni mapepe sana" akasema

    Nikanyenyuka na kumfata pale kwenye sofa na kumbeba moja kwa moja mpaka kitandani

    Manka naye hakuwa nyuma pale pale akaingiza ulimi wake kwenye mdomo wangu na kuanza kubadilishana radha

    Nilianzisha mashambulizi kwa Manka kwa speed kubwa,nilipopeleka mkono kiunoni nikakutana na cheni

    Nikawa naitekenya ile cheki kwa kukisugua kiuno chake taratibu

    Nikaanza kuona mtoto wa kimarangu akilegea mwenyewe na kushindwa kujibu mapigo

    " Huyu anaonekana cha mtoto" niloijiambia

    " Manka nenda ukaoge basi ukija tutaendelea" nilimwambia

    Wakati anatoka pale nje nikasikia vicheko kutoka kwa wale wadada kule nje

    " Heheeheeee! Utakula makombo bibie" walisema

    Nilichukia sana kwa sababu niliona wanaweza niletea balaa hasa ikizingatiwa waume zao walishaanza kushtukia mchezo

    Nilitoka na kuwaangalia kwa jicho la hasira kisha nikasonya sana,niliwaona wamenywea sana

    Nikarudi ndani na kumsubiri Manka

    Manka aliporudi nikaanzisha upya mashambulizi

    " Huwa una kelele ukinogewa?" nilimuuliza

    " Sio sana" akajibu

    " Basi naomba leo upige kelele kama umetumwa,nataka nikomeshe watu humu ndani" nilimwambia

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Nilianza kumwandaa yule mchaga wangu ila nikili wazi alinifurahisaha sana kutokana na kale nacheni alikokavaa kiunoni kwani mara kwa mara nilikuwa nakazungusha kiunoni kwake na kakawa kanamtekenya mpaka anacheka.

    Baada ya kumvua nguo zote ndipo nilipoona tofauti ya hawa wachaga na kabila zingine.

    Yule demu alikuwa na paja jeupeee na halikuwa na hata alama moja tofaut na wengine mapaja yao ni meupe ila ya kutengeneza hivyo ukipanda kidogo kuelekea msitu wa solondo unakuta rangi nyeusi utafikili mjaluo

    Manka alikuwa na paja mpaka basi nilijikuta naifata asali yangu niliyotunza kwenye kabati langu na kumpaka kwenye yale mapaja laini na kwenye tumbo kalibu na kitovu chake kidogo

    Baada ya kumaliza kumpaka ile asali nilianza kuilamba taratibu ila kwa ufundi wa hali ya juu ambao hauelezeki kabisa

    Manka alijikuta akitetemeka kama mtoto mdogo mpaka nikamwonea huruma

    " Vip Manka unaumwa?" nilimuuliza kinafiki

    " A-a-a-A-A-A" nilishangaa kumuona akiongea huku akichanganya herufi ndog na kubwa

    Nikacheka mwenyewe kwa vituko vya Manka

    Ila cha ajabu mpaka muda huo alikuwa hajatoa sauti yeyote ile nikaona huyu anataka kuniigizia

    Ikumbukwe muda huo watu wote kwenye vyumba vyao walikuwa hawajalala hivyo wengine walikuwa wanakula na wengine wanapika na mimi nilitaka kuwakomoa kwa walichonifanyia usiku mpaka nikashindwa kulala

    Nilipoona Manka anavunga gaidi nikahamia kwenye kitovu na kumwaga asali kisha nikaaanza kuiramba huku mikono yangu ikiwa kule kwenye msitu wa solondo ukicheza na kisimi chake

    Taratibu akaanza kutoa miguno na mimi nikaongeza kasi na mwishowe nikaingiza kidole changu ndani kabisa na kuitafuta G-sport na kuanza kuisugua

    " Kama kuna sehemu inamfanya mwanamke ataje hata siri zake za ndani basi ni kwenye G-sport,ukimgusa pale anachanganyikiwa,anaweza kujihisi yuko kwa Obama" nilikumbuka maneno ya mshaur wangu kwenye swala la mapenzi

    Nikaongeza speed ya kusugua kwenye ile G-sport yake mpaka nikamuona amenyamaza kimya hatikisiki wala kutoa sauti

    Nilishtuka sana ikabidi nijiondoe kwake na kuogopa isijekuwa nimeua mtoto wa watu.

    Wakati nashangaashangaa pale nikaona kama ananiita na vidole vyake nikamsogelea sikion kumsikia anasemaje

    " i-n-g-i-z-a u-t-a-n-iua" alisema kwa taabu sana

    Na kweli nilipomchek kunako nikakuta kaeshahalibu vibaya mno

    Nikachomeka panga kwenye ala yake na kuanza shughuli

    Niliamua kumpa vitu adimu sana ambavyo huwa navitoa mara chache sana

    Gemu ilipoanza kuchanganyia ndipo niliposhangaa kuona Manka akianza yowe za ajabu

    Nakwambia alikuwa anaongea mpka lugha nisizozielewa sijui kichina? Sijui kichaga au kipare

    Ila alipiga kelele hasa neno nililoambulia ni moja tu

    " Yesu na Maria" nikashangaa anakujaje hapa?

    Wakati Manka amechanganywa nikasikia nje mtu anasema

    " Usenge gani huu? Tunaanza kupandishana ny....e hata hatujala? Au watu hawataki tule" akasema mmoja wa wapangaji wa kiume

    Nilifurahi kuona lengo langu linatimia!



    Nilimpa mambo mazito Manka mpaka nikaona naweza kumuua kwa sababu sikumpa nafasi ya kupumzika kwa muda wa masaa mawili na nusu kutokana na kutumia ile mbinu ya kuzirudisha.

    Nilipompa nafasi ya kupumzika alinyenyuka bila kuaga na moja kwa moja mpaka chumbani kwake na kulala

    Huko nje nikasikia vicheko kutoka kwa wale wadad

    " Chezea mtoto mkubwa wewe,utaungua" walisema

    Nilibaki najiuliza mtoto mkubwa huyo ni nani? Au ndo nilishabatizwa jina bila kujijua

    Ukweli nilikuwa nimechoka sana hasa kutokana na kazi kubwa niliyoifanya siku hiyo kwa Manka na yule kiuno mbinuko

    Nilipitiwa na usingizi na hata kelele zao za usiku sikuzisikia na wala sijui kama siku hiyo walifanya chochote.

    Asubuh Manka alikuwa wa kwanza kuja kuniamsha,nilimuona akiona aibu sana ila alijikaza

    " Baby amka basi japo ukaoge" akaniambia

    " Usijal baby we nenda tu kazini mimi bado likizo yangu haijaisha nitaamka baaadae" nikamjibu

    " Ila baby ulitaka kuniua jana" akasema kwa utan huku akiondoka

    Siku hiyo nilichelewa sana kuamka kutokana na uchovu na nilikuwa nimeamua nipumzike na nisifanye kazi yeyote

    Nilipoamka na kwenda kupiga mswaki nilirudi na kuwakuta wale wanawake baadhi wakiwa pale nje

    Nilipita bila kuwasalimia

    " Jaman jilan,hata kama jaman ndo utunyime salam" akasema mmoja wao

    " Sitaki mazoea na nyie mmesikia? Waume zenu wamekuja kuniuliza ujinga ujinga,naomba mniheshimu" nilifoka

    Nilishangaa kuwaona wote wakinywea sana utafikili wamekutana na simba

    Nilipoingia ndani nikasikia wanaongea kule nje

    " Imekula kwenu,bora mimi nimeshaonjeshwa" akasema kiuno mbinuko

    " Unafikili tutakubali kirahisi hivyo? Subir uone" akajibu mwenzake

    Nilitoka na kwenda kwenye bar kupata supu na chapati ili japo niongeze nguvu

    Baada ya kumalizaniliona nizunguke zunguke pale mtaani nikatokea kwa Mangi muuza duka na kupiga naye stor kidogo

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Baadae nikaamua kurudi gheto ili niiangalie tamthilia ya " A man called god" niliyoinunua siku hiyo

    Baada ya kufika geto nikawakuta wale wanawake wote wamekaa pale nje kama wanamsubiri mtu

    Nikapita ili niingie ndani

    " Jilan tuna mazungumzo na wewe" akasema mmoja

    Nikarud na kutulia

    " Jilan tunahitaji kumwambia mme wa Amina kuwa jana umefanya mapenzi na mkewe" wakasema

    Nilishtuka sana kwanza ndipo nikafaham jina la kiuno mbinuko kuwa ni Amina kisha nikashangaa walichoniambia

    " Nyie mna akili? Mmwambieje?" nikauliza

    " Umetusikia vizur,usijifanye kiziwi,na kuvunga mbabe! Kama ni wakurya tulishakutana nao akina Mura wengi,tunataka kumwambia mme wa Amina kuwa jana umemgonga mkewe,unasemaje?" akasema kwa msisitizo

    Niligwaya sana!!!!





    " jaman kwa nini tufike huko kote? Nini kosa langu nilekebishe ili msifikishe hizi taarifa kwa mme wa Amin?" nikauliza

    " Tatizo wewe unavunga mjanja,unatufokeaje sisi watu wazima?" akaongea

    " Bas jaman samahan,naomba yaishe" nikajibu

    " Yaisheje sasa?" wakauliza

    " Nimekosa naomba mnisamehe na yaishe tafadhali" nikasema

    " Hapa muafaka ni mmoja pekee" akasema mmoja

    " Mwafaka gan?" nikauliza

    " Huduma aliyopata mama Amina inabidi na sisi kila mmoja awe anaipata,tuko tayali kupangiana zamu na hakuna atakayeingilia zamu ya mwenzie " akasema

    " Jaman yamekuwa hayo tena?"

    " Tena unapotupa huduma iwe kama ile ile ya Amina,shughuli hasa mpaka moto na sisi uwake kunako" akasema

    " Hilo halitawezekana jaman" nikajitutumua kusema

    " Kama hilo haliwezekani basi nenda usubiri moto wa mme wa Amina nafikili humjui,uliza Manka akwambie alishashusha mtu mshipa kwa sababu ya Amina,unaujua mshipa wewe?" akaendelea kutamba

    " Hapana siujui" nikajibu

    " Hahahahaaaah! Utajiju,mananii yako yanakshuka na kuwa makubwa kama ndoo ya maji wanaita busha" akasema

    Niiliogopa sana kusikia vile,nikaona nisipoelewana na hawa wanawake basi yanaweza kunikuta mabaya hasa ikizingatiwa nimeshazinguana na waume zao tangu mchana

    Wakati natafakari cha kuwajibu ghafla nikamuona mmoja wa waume zao akiingia pale

    " Vip jaman? Mbona vikao asubuh yote hii?" akauliza

    Nilitetemeka sana nikahisi sasa naenda kulipuliwa pale pale,ila nikashangaa jibu alilopewa

    " Tunampasha huyu mpangaji mwenzetu shemeji aache tabia yake aliyofanya jana jion,anaanza mambo watu hatujala wala kulala sio vizur kijana badilika" akasema mmoja wao

    " Kweli kijana,jana hukufanya sawa inabidi unasubir watu tunalala ndo unalianzisha" na yeye akasema

    Nilikosa cha kujibu nikabaki nimetulia kimya

    Yule jamaa aliyeonekana kuwa kajazia sana mwili wa mazoezi nilikuja kushtuka kuwa ndiye mme wa Amina baada ya kumuita na wakaelekea chumbani.

    Niliingia chumbani kwangu nikiwa nimechoka balaa.

    Nikawaza sana juu ya hawa wadada nikakosa jibu

    " Hata nikisema nihame pesa niliyolipa hapa ni nyingi na miez kumi na mbili na sitegemei kupata pesa kama ile ya kunisaidia kuhama,nifanyeje? Niwakabali? Lakin ni wengi sana" nilikuwa nawaza

    Nikatoka na kuelekea dukani kwa mangi kupiga story.

    Wakati tumekaa pale tukipiga story na Mangi mme wa Amina akapita

    " Unamuona huyu mpangaji mwenzako?" akasema Mangi

    " Ndiyo" nikajibu

    " Uwe naye makini sana,hasa na mke wake,ni mbaya sana huyu,ana majini yanayomwambia kila kitu anachofanya mkewe na yakishamwambia anatoa adhabu mbaya sana,hapa mtaan mkewe haguswi kabisa" alisema

    " Una uhakika?" nikauliza

    " Sio uhakika pke yake,alishapoteza watu hapa mtaan,kuna jamaa alshushwa busha na wengine wawili walipotea katika mazingira ya kutatanisha na watu tunaamin walishakuwa chakula cha majini akasema

    Nilitetemeka vibaya mno,nikahisi mkojo na haja kubwa zinataka kupita hasa ikizingatiwa kuwa Amina nilishatembea naye!



    Maneno aliyoniambia Mangi nikiongeza na vitisho walivyonipa wale wanawake wapangaji vilinifanya nikose aman sana

    Niliondoka na kurudi pale geto nikiwa sina amani kabisa ndani ya nafsi yangu.

    Nilivyofika pale geto nikashangaa kuona wale wanawake wakiitana tena

    " Oyaa! Kinyozi karudi" waliambiana

    Nilipotaka kupitiliza kuingia ndani nikashangaa wakinizuia njia nisiingie ndani.

    " Kinyozi hatujamaliza maongezi bana" akasema mmoja

    Nilinyamaza bila kuongea chochote kile nikiwaangalia

    " Tunataka ufate masharti yetu" wakasema

    " Masharti gan tena?" nikauliza

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    " Utuhudumie kwa sababu waume zetu hawawezi kama wewe kinyozi" wakasema

    " Sikien,tena mnisikilize vizuri sana,nimetoka kwa mangi kaniambia maneno mabaya sana na ya vitisho,kaniambia mme wa Amina alishawafanyia mambo mabaya sana watu waliojalibu kutembea na mkewe,hamlion hilo bado mnataka kuniingiza kwenye kesi" nikasema kwa kujiamin

    " Hayo ndo tunayataka uyajue,lazima utunyoe la sivyo tunamwambia" wakatamba

    " Hata msipomwambia ameshajua,hivyo msiniitishe" nikasema

    " Ameshajua? Nani kamwambia?" wakauliza

    " Mangi kaniambia ana majini yanayomfanya ajue kila kitu anachokifanya Amina" nikawaambia

    " Kakushika,na yawezekana mme wa Amina ndo kamwambia akutishe ili usije ukamwibia,sikia hapa hakuna mjadala,we ingia ndani ila jiandae kwani leo ni zamu ya Fatuma cheusi,itabidi ujiandae kwa sababu ndo tunayemkubali humu ndani" wakasema

    Kila mmoja akasambaa na kuendelea na mambo yake

    Nikaingia ndani na kujipumzisha kwa muda,usingizi ulinipitia

    Nilikuja kushtuka nikipapaswa taratibu na kucha ndefu zisizoumiza

    Nkaamka na kukaa ili nijue ni nani huyo?

    Nilishtuka kukuta ni yule mpangaji mwenye kiuno cha uhakika akiwa kavaa kanga peke yake

    " Vip? Mbona sikuelew?" nikamwambia

    " Wee vip? Si umeambiwa leo zamu yangu?" akasema

    " Naomba uondoke tafadhali,sitaki ujinga wenu" nikafoka

    Nilijidanganya sana,kwani pale pale alitoa simu yake na kunionesha namba ya mme wa Amina na kuniambia nikibisha anampigia pale pale

    Nilinywea sana,nikawa sina cha kufanya zaidi ya kutimiza anachokitaka

    " Tena usipotoa dozi kama ile ya Amina napiga simu" akasema

    Pale pale akaitoa ile kanga yake na kunifata pale kitandani,cha ajabu nikaona na yeye ana msitu wa solondo,nilijiuliza kwa nini hawa wanawake wote wanaufuga?

    Alipoona nimetazama ulipo msitu wa solondo akaongea

    " Usiogope kinyozi nimejiandaa vya kutosha gilette hii hapa" akasema akinionesha

    Sikua na ujanja zaidi ya kuamua kupiga kazi

    Nilimlaza vizuri kitandani kisha nikaanza kuukwangua ule msitu taratibu

    Vidole vyangu vilikuwa havichezi mbali na ile ikulumnilichezea kinembe chake taratibu mpaka akawa anashtuka na kurudi nyuma

    " Tulia basi unyonyolewe wewe! Itasababisha nikukate bure" nikamwambia

    Niliendelea kuchezesha vidole vyangu ikulu huku nikiendelea na kazi yangu kama kinyozi

    Alitetemeka kama mgonjwa aliyezidiwa sana

    Niliinama taratibu na kumpiga busu moja kali sana maeneo yale mpaka nikaona hali imeshachafuka tayali eneo lile!



    Nilikomaa na ule msitu wa solondo wa yule mama mpaka ukawa msafi sana huku nikiwa nimeshamlowanisha sana kunako

    " Jaman tuanze bas,mbona me nishakuwa hoi?" akalalamika

    " Bado sana inabdi utulie kwa sababu umeyataka mwenyewe" nikamjibu

    Nikamgeuza na kumpaka asali tumboni mpaka kitovuni na kisha kwenye mapaja yake meusi yakang'aa sana

    Sikupendezwa nayo kwa sababu nilikuwa nimeshaonja mapaja meupe ya Manka

    Nikaanza kuilamba ile asali kitaalam sana huku kucha zangu zikiendelea kupapasa sehemu mbali mbali za mwili wake

    Nilipoona analegea sana nkaona nipeleke shambulizi la mwisho

    " G-sport kaka ndo sehemu ya mwisho kwenye kummaliza mwanamke" nikakumbuka ushaur wa profesa wangu wa mapenzi

    Wakati nikitaka kuelekea kule nikakosea na kumgusa makalio yake

    Alishtuka sana,na pale pale nikajua huyu hisia zake ziko huko

    Nikaanza kuyapapasa taratibu huku nikitembeza kucha zangu taratibu kwenye makalio yake

    Akaanza kupiga kelele taratibu na kadri muda ulivyoenda ndivyo alivyozidi kupagawa

    Nikaigawia mikono yangu kazi,mmoja ukabaki kwenye yale makalio yake makubwa na mwingine ukaelekea sehemu husika kuisaka G-sport

    Nilipohakikisha nimeishika nikaacha mikono yangu ifanye kazi

    Ni vigumu kwa mwanamke yeyote kuvumilia mapigo matatu kama yale,mdomo uwe kifuani ukinyonya taratibu nyonyo zake,mkono mmoja ukicheza na sehemu yenye msisimko yake na mwingine umekatalia kwa G-sport

    Alilia sana kama mtoto mdogo,wakati mwingine nilihisi namuonea sana kwani alikuwa kama kapigwa vile

    " Utaniua mtoto wa mwenzio,sijiwez jaman,kinyozi nipe mambo jaman" akasema kwa shida sana

    Nikaona isiwe kesi sana,nikaandaa mazingira na kuanza kumshughulikia

    Yule dada alipania ule mchezo sana hivyo akajibu mapigo kwa speed kubwa sana mpaka nikahisi kwa kamwili kangu haka kadogo nitaenda kuumbuka

    Nikaamua kuuvaa uprofesional wangu kwenye kazi kama hii

    Alipozidisha manjonjo yake kias kwamba akatawala mchezo nikapiga filimbi ya kufanya sub

    Pale pale nikamtoa kitandani na kumpeleka kwenye kona ya mlango na kumuinamisha pale na kuanza kumpa mambo

    Kama nilidha ni nimemuweza nilijidanganya,bado hata pale kwenye kona alinipeleka vilivyo

    Nilipoona bado ananizidia nikambeba na kumpeleka kwenye kona ya kitanda na kumbana ukutani kias kwamba akashindwa kufurukuta kabia,akabaki kusikilizia uta

    Hapo hapo nikazidisha mashambulizi yangu sana kias kwamba akabaki kupiga yowe kama anapigwa vile

    Nakwambia dada yule alikuwa na kelele kama hana akili na kwa bahati mbaya sikuwasha redio na sikutaka kumpa upenyo

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Nilimpa mambo kwa speed kubwa sana bila kupumzika kwa dakika kama hamsini nikamuona akihemea juujuu kama anayetaka kukata roho

    " Nakufa,nakufa,nakufa" akasema kwa sauti ya chini

    " Kufa" nikajibu

    Nikaongeza speed zaidi ya mwanzo huku nikishuhudia akizidi kulegea

    Ghafla nikasikia sauti ya kiume huko nje ikiunguruma

    " Shemeji mke wangu ameenda wapi??" sauti ya kiume ikasema

    Nilikahisi presure imepanda ghafla mpaka nikataka kuanguka!





    Niliishiwa nguvu baada ya kumsikia jamaa anamuulizia mkewe pale

    " Au ndo huyu niliyenaye humu?" Niliwaza

    " Endelea bana,,,me sijatosheka" Aliongea bila kujua kinachoenddea

    Niliwahi kumziba mdomo ili asiendelea kuropoka mme wake akasikia kule nje

    Alijalibu kupambana kunitoa mkono wangu ila nikamzidia nguvu

    " Jaman mbona mpo kimya? Ina maana hamjui mke wangu alikoenda?" akaongea jamaa kule nje

    Sauti ya jamaa ikapenya mpaka kumfikia huku ndani huyu demu,alishtuka sana,nkaona nguvu zinamuishia kabisa

    " Shem bana,we naye upunguze wivu,mwanamke unataka awe anakaa nyumbani peke yake?" akasema mmoja wa wale wanawake

    " Sijasema wivu hapa,mimi nataka kujua alikoelekea mke wangu basi" akasema jamaa

    " Mkeo katoka kuelekea sokoni shemeji" wakamjibu

    " Mna uhakika?" akauliza

    " Wee vip? Unatuonaje? Acha hizo na usituchulie hapa kama mkeo humuamin sepa usituzingue na hatukulazimishi kuamin sasa" nikasikia mmoja wao anafoka

    " Na nyie achaneni na mimi,mmekalia umbeya na umalaya tu hapa" akawapa makavu

    Yule jamaa ni kama alifungulia bomba la mvua ya matusi,walimtukana mpaka akaondoka bila kuaga

    " Na wewe unajiita mwanamme? Hatujawah kusilia japo anatoa mguno usiku! Hiloooooo! Pole sana,na mwaka huu watakumegea sana kijana" akasema mmoja

    " Ungekuwa mwanamme ungenitongoza nikukatae? Au na mimi nimwambie mme wangu? Hilooooo! Loh! Huna haya umejaa shombo tu hapa" wakaendelea kumpaka

    Alipoondoka nikasikia wanajadiliana kimya kimya

    " Wee mama Lily kula raha zako,huyu mbayuwayu wako hawezi kutulete ujinga,kula raha,kinyozi fanya mambo" waksema kwa nguvu kisha wakacheka kicheko cha kishangingi

    Kumbe yule jamaa alipotoka pale hakuridhika na majibu ya wale akina mama,na alichukizwa na yale matusi yao

    Akaelekea dukani kwa Mangi ili amsubiri mke wake atoke huko sokoni

    " Hivi Mangi umemuona mke wangu akielekea sokon?" akamuuliza Mangi

    " Mke!! Mmmh! Hapana,hajapita hapa kwakweli" akajibu Mangi

    " Kwani Mangi kuna njia nyingine ya kuelekea sokoni tofauti na kupitia hapa kwako?" akauliza jamaa

    " Hakuna njia yeyote shehe,kila wakienda sokoni lazima wapitie hapa,kwani vip hayupo nyumbani?" akauliza Mangi

    " Hayupo na wale wanawake wanadai kaenda sokoni"akasema

    " Nakuhakikishia mkeo hajaenda sokoni" akajibu Mangi

    " Sasa atakuwa wapi huyu?" akauliza jamaa

    "Mmmmh! Una mtihani kaka,na ikizingatiwa mmesajili mshambuliaji hatari" akasema kimbea Mangi

    " Mshambuliaji hatari? Una maana gani?" jamaa akauliza

    " Si huyo handsome mliyempangisha hapo,naona alivyomzur lazima awagongee" akasema kimbea

    " Kwa hiyo yawezekana mke wangu yuko kwa jamaa?" akauliza

    " Mimi sijasema hivyo,hayo yako" akasema Mangi

    Pale pale Jamaa akatoka speed kuelekea kwake,alipofika akaingia chumbani kwake na kuzunguka zunguka kisha akatoka na kuja kusimama mlangoni kwangu na kutoa simu yake kisha akapiga namba ya mkewe

    Cha ajabu ile simu ikaitia chumani kwangu!!!

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    ITAENDELEA





0 comments:

Post a Comment

Blog