Search This Blog

Thursday 19 May 2022

MY SECRET DIARY - 4

 





    Chombezo : My Secret Diary

    Sehemu Ya Nne (4)



    Mama alizuka kila kona kuangalia uwezekano wa kuchangiwa damu bila mafanikio, alikodi vijana wawakamate watu walionekana kuranda randa mtaani waje wapime damu kama ikiwezekana ikiwa salama wanichangie lakini hadi watano hapakupatikana hata mmoja.



    Hali ilizidi kuwa mbaya zaidi nikawekwa kwenye life support machine na ili hali mama ameficha siri nzito katika # secret_diary . WHO ONE CAN SAVE MY LIFE?

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    SONGA MBELE..

    Hapo paliitajika kudra za mwenyezi mungu kupona, nilikumbuka niliwahi kuchangia damu salama mara mbili nikiwa shule nilikuwa na card yangu kwenye kabati alipokuja dada mary mtoto wa mjomba nikamuandikia kwenye kikaratasi "nenda chumbani kwangu fungua kabati tafuta kadi ya uchangiaji damu salama ilete dada yangu huu ndo msahada wako wa mwis" nilishindwa kumalizia kutokana na hali kuzidi kuwa mbaya kuna kipindi nilikuwa napoteza fahamu kabisa na wakati mwingne kama huu ninakuwa sawa na ninaweza kumtambua kila anayekuja.

    ***



    Namshukuru mungu nilianza kupata afuheni baada ya kuchangiwa damu, nakumbuka kuna siku walikuja watumishi wa mungu ambao ufanyakazi ya kuwatembelea wagonjwa mahospitalini na kuwaombea au kwa wale wahitaji upewa mahitaji madogo madogo. Walikuja hadi kule ICU na kunikuta bado napumulia machine huku damu ikiingia mwilini mama aliwaruhusu waniombee na walipomaliza wakatoa namba zao wakaondoka.



    Mambo yalienda vizuri nikaanza kupata afya na kuruhusiwa kurudi nyumbani sikuwa na nguvu kabisa nilikuwa napepesuka na aliyeniona angejua tu mimi naumwa sana. Nilikuwa ni mtu wa kulala tu na mara chache nilianza kufanya mazoezi ya mwili madogomadogo, sikuwai kumuona dadie akija kuniona na hata familia aliisusa na kuamia kwa demu wake mamdogo jane.



    Nakumbuka siku moja wanafamilia waliandaa kikao kujaribu kupatanisha ili mamie na dadie warudiane kama zamani na kumaliza tofauti zao. Kweli dadie alikuja japo kwa kuchelewa na kama bahati wale watumishi nao walikuja kututembelea wakakuta kikao nao wakawa sehemu ya kile kikao, yaliongeleka mengi sana kila mtu akimlaumu mwenzie. Sijui alitokea wapi sister mary alikuwa na ile diary yangu nilitamani kumzuia asisome mbele ya hadhira lakini nilishindwa kumzuia akaanza kusoma yale yote yaliyo ndani ya

    # my_secret_diary nilikuwa situlíi kwenye kiti hasa mambo ya mama ya kutembea na mfanyakazi wa garden, mzée pia kutembea na ashura, kumjengea nyumba mamdogo jane na kumsomesha mdogo wake princes wote walishika vichwa baada ya kuwepo hadi tarehe ya matukio yaliyofanyika na mahali yalipofanyikia. Yalianza ya kwangu watu walingua vilio na hakuna aliyeamini kwa umri wangu huu ningeweza kufanya niliyoyafanya nilitembea na ashura, mamdogo jane mdogo wake princes, mfanyakazi wa dukani kwetu/ lisah, kibaya zaidi nilipotembea na wanafunzi wa masasi girls wasiopungua 20 na huo ndo ulikuwa mwanzo wa kuumwa nikaamua kuokoka napo sikusimama nikatembea na wasichana wengine wawili na wa mwisho alikuwa ni matroni sikujui huu ugonjwa niliupata kutoka kwa nani hapo, nilipiga magoti nikalia machozi mengi, mama na baba pia wakaungana na mimi kisha ashura na makele wote tukatubu mbele za mungu kwa kuongozwa sala ya toba.

    ***



    Namshukuru mungu kwa sasa nasoma shule ya seminary huku natumia muda wangu kuwahubiri vijana wenzangu juu ya nguvu za mungu na kuwapa ushuhuda kwa yaliyonitokea wengi wao wameamini japo wengne wamekuwa wakinikejeri bado nasonga mbele. Mama ni mwinjilisti pale kanisani calvary assemblies of God na dadie sasa anasomea uchungaji dodoma. Nimejifunza mengi sana kuwa mungu akiamua kukubadilisha hata kwa dakika moja utabadilika kama alivyokuwa sauli ambae hapo baadae aliitwa mtume paulo.

    ¤GOD MAKES THE WAY FOR THE SEEMS TO BE NO WAY¤



    ***MWISHO WA SEASON 1*** FUATILIA SEASON 2



    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "jacob kuna kitabu nimekipata library/maktaba ni cha mambo ya magic sana ebu kiangalie"



    "wow steve unajua me napenda sana kusoma kama hivyo maana natamani siku moja nije kuwa mchungaji kama baba yangu na pia nataka nitoe nakala nyingi juu ya kile nitakachokifanyia utafiti"



    "vipi juu ya nguvu za giza unaamini zinatenda kazi? Maana hapo pananipa shda"



    "sikiliza nikwambie steve na hii ni siri nakwambia wewe kama rafiki yangu wa pekee, kumtegemea mungu kuna faida hapa nilipo nimeshafanya uchafu wa kila aina ebu ngoja nikuletee diary yangu ilikuwa ni # my_secret_diary hakuna mtu aliijua"



    Niliinama na kufungua tranka langu la vitabu na kufunua kifuko kilichokuwa chini ya tranka na kutoa diary mbili moja ilikuwa mpya na nyingne ilikuwa ya zamani ambyo ndio yenye historia ya maisha yangu ya shule nikamkabidhi steve akaanza kuisoma kwa takribani dakika kumi.



    "dah kaka ni wewe huyu au ni ndugu yako!!!!;"



    "kaka ni mimi si unaona hata mwandiko si wa kwangu?"



    "ndio wa kwako kweli mungu yupo leo unahubiri mstalini unaimba na watu wanaokoka unasifika una tabia njema hadi shule nzima wanakujua hadi wakurugenzi wa shule mr&mrs laurance kumbe umetoka mbali kaka mungu akusaidia kaka"



    "amen! Tena kaka hapa nilipo ni muathirika na ndio maana nimeamua kutoa maisha yangu yaliyobaki kwa mungu"



    "dah kaka bado siamini kabisa na huo ni ushuhuda mkubwa sana utakaobadilisha maisha ya wengi me nakuahidi nitakuwa na wewe bega kwa bega"



    "nitashukuru sana kaka na ndio maana nimekuja hapa mungu ana makusudi yake"



    Nilirudisha ile diary kisha nikaitoa ile mpya "sasa steve hii ni diary yangu mpya ya maisha yangu mapya" steve alicheka sana na kuniachia kile kitabu kilichoandikwa juu "the magic island" nilipomaliza kupanga vitu vyangu nikavuta kiti na meza mulemule bwenini nikaanza kusoma.



    Kadiri nilivyoanza kukisoma kile kitabu nilijikuta kama nipo ndani ya kile kitabu maana mwandish aliyeandika kile kitabu alifanya wewe unayesoma uwe muhusika katika kile kitabu, ni kitabu cha mambo ya kale na kilitisha mno nami nilijikuta akili zangu zinaama kuna sehemu nilisoma "baada ya kuingia kwenye kile chumba ambacho manahodha wa ile meli walikufa kila mmoja kwa wakati tofauti nilistajabu kukuta ile meli inaenda bila kuwepo kwa nahodha mwili ulinisisimka na upepo mkali ukavuma ndani ya kile chumba hadi nywele zikasisimka" nilichokuwa nakisoma kwenye kitabu kilikuwa kinatokea pia katika hali ya kawaida nywele zilinisisimka sana nikajikuta nimejawa na uoga sana.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "hey jacob! Jacob! We jb vipi?"



    Alikuja pascal na kunitikisa baada ya kuona kama naweweseka vile. Kitendo kile kilinirudisha katika hali ya kawaida.



    "vipi paschal?"



    "safi mbna ulikuwa unatetemeka sana?"



    "paschal we acha tu ebu ngoja niandike kumbukumbu hiki kitabu sitakuja kukisahau"



    Nilitoa diary ile mpya nikaandika kwenye page ya mwanzo kabisa 15/09-the magic island book sitakuja kusahau namna nilivyoyajua mambo mengi ya nguvu za gíza yanavyotenda kazi" nilimaliza kurekodi nikawa namsikiliza paschal.



    "kaka mchungaji anakuita amina zodo amepandwa na mashetani uende ukamuombe ofisini kwake"



    Nilivaa tshirt harakaharaka nikawa napandisha ngazi kuelekea ofisini kwa mchungaji, nilipofungua mlango nilimkuta mchungaji kalowa tepetepe kwa jasho kwa ajiri ya kumuombea amina zodo. Nilimfata hadi karibu hapo ndo mchungaji akaniambia.



    "sasa jacob wewe mfanyie maombi me naenda kubadilisha nguo nakuja humu ndani ufunge atakiwi kuingia mtu wasilete dhihaka"



    "sawa mchungaji"



    Kitendo cha mchungaji kutoka nikafunga mlango kwa ndani ile nageuka amina alikuwa amevua nguo zote hadi nguo ya ndani na kubakiwa mtupu.



    Nilihisi ili jaribu ni kubwa na mwanaume rijali kama mimi kulishnda inahitajika roho wa mungu haswaa kwani alikuwa anavutia sana na maeneo yote yenye kumfanya mwanaume yeyote adate yalikuwa wazi kabisa roho mbili zikawa zinakindhana ndani yangu.



    "wewe fanya ebu ona pale chni ya kitovu palivyonona?



    "jacob wewe ni mtumish wa mungu usifanye ikimbie dhambi kumbuka dhambi yeyote haifanyayo mwanadamu ni nje ya mwili lakini dhambi ya uzinifu unaifanya ndani ya mwili wako na tena unalichafua hekalu la mungu, kumbuka pia wewe ni muathirika unataka kumuambukiza hata huyu nae ni innocent?"

    Zile roho zilikidhana sana nikakumbuka ile stori ya yusufu aliyeikimbia dhambi ya kuzini na mke wa bosi wake{mwanzo18/26} na mimi nikalipoona vile nikaona ndo wakati wangu wa kukimbia nikafungua mlango na kutoka nje kama bahati nikakutana na patricia kiongozi wa dini/spiritual leader nikamwambia waende na rafiki yake wakamvalishe amina huku mimi nikiwafata kwa nyuma.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "mama yangu wee frora umeona amina alichofanya?"



    "ooh my Godnes kweli jacob una roho wa mungu angekuwa kijana mwingne asingemuasha hivihivi huyu ana pepo la ngono sio bure"



    Nilibaki nje mpaka walipomvalisha nguo wakaniruhusu niingie sasa, nilipoingia nilianza maombi ya kujitakasa kwanza mimi mwenyewe kisha nikaanza kupiga fire pale huku patricia na frola wakiimba wimbo wa kuabudu yale mapepo yalifulumuka yakawa yanataja mambo yangu ya nyuma ili kunimaliza nguvu nisifanye maombi lakini nilisimama imara mpaka yakatoka muda huo amina hajiwezi kwani alishagalagala na kujibamiza ukutani sana.



    "amina"



    "abee"



    "unajisikiaje sasa hivi?"



    "najisikia mwili wote unauma hasa kwanzia kichwani"



    "ebu nikuulize swali katika familia yenu kuna mtu anapandishaga mashetani"



    "ndio yani mama yangu na mimi pia na hata nilipokuwa o-level ubungo islamic niliwahi kujirusha kama lotion moja mpaka chni na mara zote nikipandisha mpaka waje wa kama nane ndo wanaweza kunituliza nashangaa nyie mpo watatu tu"



    "ni mungu wala sio sisi watatu ukimwamini mungu hayatakurudia tena, unaamini?"



    "naamini tena siyapendi maana kila mara nikipandisha lazima nikalazwe maana huwa naumia alafu mama atajua tu kama mmeyatoa nahisi atapiga simu kuulizia"

    "we usiogope yatakwisha"

    ***



    Nilipata umaarufu wa ghafla kila sehemu niliyokuwa napita utasikia pastor Jb kutokana na ile skendo ya kumkimbia amina akiwa uchi kuna walio niona mjinga kwani amina anavutia na anashepu nzuri hapo akivaa nguo sasa ilikuaje alipotoa nguo? Kuna walionisifia hasa walimu, uongozi wa juu na mchungaji alimpigia simu baba na mama mbele yangu.



    "yani mchungaji hongera kweli umemlea mtoto vizuri"



    "yani mchungaji namshukuru mungu jacob hakuwa hvyo alivyo leo ni mungu tu ukisimuliwa mambo aliyoyafanya huko ndanda boys na masasi girls ameasha historia mpaka leo wananipiaga simu kumuulizia nawaambia jacob amebadilika"

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Waliongea pale nikamuaga mchungaji kwakuwa ilikuwa mida ya jioni jioni nilienda darasani kuchukua begi langu ili nilipeleke bwenini kwa bahati mbaya nilimkuta msichana mmoja anaitwa azinaeli yupo combi ya ECA nilimsalimia kisha nikafungua meza yangu na kutoa begi na kufunga tena wakati nafika mlango nilisikia naitwa.



    Nilipogeuka alikuwa azinael tena amefunua sketi yake na kunionyesha nyeti zake huku akiniita kwa kidole niende "ooh my God"



    Mwili wote ulisisimka na maenéo yalisimama wima nikajikuta navutika hasa ukimuangalia jinsi azinael alivyonona paja kubwa nyeti zake kama lulu nikawa najisogeza pale taratibu huku natetemeka mwili mzima.

    "kweli leo nakubali kumtenda mungu dhambi tena nirudi kwenye yale maisha, hapana naweza kumshinda shetani mbona niliweza kufanya hivyo nikiwa na amina tena aliyevua nguo zote tukiwa wawili hapana"



    Nilijipa ujasiri nikamsogelea aznael nikamshka kichwa na kuanza kukemea "baba katika jina la yesu ninasweka kazi zote za ibilisi na madhabahu yake yote katika jina la yesu muache binti huyu kwa jina la yesu wa nazareti" nilikuwa rohoni kabisa hata sikutambua aznael anaendelea lakini nilihisi tofauti mwilini mwangu nilifumbua macho kumbe tayari maumbile yangu yalikutana na ya aznael na ule ulaini wake jinsi alivyokuwa anasugua kwa kwenda mbele na nyuma ukanifanya nidate tena hapo nikaasha na maombi yenyewe nikajikuta narudi zama za masasi girl na wakina faustina.



    Nilijivuta uzuri nikaakikisha imebaki zero distance nikamkamata kiuno kwa nguvu zote nikambinya kisawasawa kisha nikaanza kusugua kinena mpaka ndani kwenye gspot niligusa "uuh uuh uuh utamu jb niongezee dozi mpnz aah aah dudu lako tamu jb sugua taratibu jb nahisi raha utaniua kwa raha jb aah uwiii uwiii" nilijua kumshika na nilimshika vizuri nilikamata ziwa la kushoto aliregea tepetepe kama bamia au nyanya masalo wakati naendelea kusugua mtoto alianza kuiva hata ile rangi ikabidilika akawa mwekundu tena alikuwa hatulii akapitisha mikono yake kuzunguka kiuno changu kisha akawa amefumba macho analia kwa sauti ya juu uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!! Akamwaga maji mwepesi kisha akakaa kidogo na kushusha pumzi aaaaaasaanteee! Huku akinirembulia jicho si jicho hoi.

    "azinael tafadhari iwe siri asijue mtu unajua wewe ndo umelazimisha mwenzio hapa nilipo nimemtenda mungu dhambi yanipasa kutubu kwani mimi ni mtumishi nawe unalijua hilo"



    "ndio jb siwezi kumwambia mtu nimwambia halafu siku nyingne nikose utamu, akuu, tena kwa wasichana ukiwaambia nao watataka kuja kukuonja hata sitaki mie bahati ya mtende imeniangukia mie kamwe sitaki kuipoteza"



    "ndio hvyo azinael me naondoka tusije kukutwa hapa maana ulipiga kelele ya hatari hapa nahisi kama kuna mtu karibu atakuwa amesikia yote"



    "haya mchungaji wa mie na mimi ndo mama mchungaji kwanzia leo kumbe wachungaji mpo vizuri nilijuaga wachovu"



    Nilimuasha anajisemea pale huku anaweka sketi yake sawa mimi nikaondoka zangu wakati napandisha ngazi nilisikia naitwa na msichana tena nikajua huyu azinael msumbufu ile kugeuka alikuwa Rose mwanamaombi mwenzangu.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "shalom kaka jb"



    "maranatha habari yako rose?"



    "salama kaka, kumbe wewe ndo umetokea darasa hilo la PGM?"



    "Ndio kama unavyoniona kuna nini tena?"



    "yani nilisikia watu wanalia kimahaba nikasogea kuona lakini mwanaume sikumuona vizuri maana alinipa mgongo ila mwanamke alikuwa ni azinael nikasema ngoja nikae hapa nione nani atakayetoka kumbe ni wewe mtumish"



    "haa a apa a na rose nilikuwa namfanyia maombezi"



    "mmmh hayo maombezi! Basi makubwa"





    "jamani dah usinifikirie hvyo dada rose najua sisi ni watumishi wa mungu"

    "aah hamna shda mbona usijari, haya baadae ila tambua mungu anakuona"

    Alisema ile kauli akaondoka na kuniasha kwenye wakati mgumu na muda huo dhamiri ilinisuta sana nikaona hapana nikamkimbilia rose aliyeanza kuishia mbali kidogo.



    "Rose! Rose! Rose! Tafadhari kidogo nakuomba simama"



    "bila shida, haya nakusikiliza mtumishi"



    "rose nilikuwa naitaji kuzungumza na wewe tafadhari"

    "lini hiyo tena?"



    "nadhani baada ya maombi ya usiku japo kwa dakika kumi sio mbya"



    "sawa nimekuelewa basi baadae ngoja niwahi kuoga si unajua tena yale maswali ya divinity teacher aliyotoa nataka nikajadili na kundi letu na wakina christina"

    "sawa hamna tabu basi sawa baadae"

    Nilimuasha rose haondoke huku nikizubaa kumuangalia makalio yake pamoja na kuvaa sketi ile ya shule lakini mmh. "shindwa shetani" nilikemea ile roho nikajua zile zilikuwa mbinu za shetani kuniangusha kihuduma. Nilirudi mule darasani nilipomuasha aznael na lengo lilikuwa ni kumkanya lile jambo asimwambie mtu yeyote.



    "mbona sikuelewi lakini jb"



    "utanielewa tu, nimekwambia mimi na wewe yale mambo yaishie hapa sitaki tuharibiane shule na pia sipndi kumkosea mungu wangu"



    "hahaha mchungaji jb mpaka hapo tu umemkosea mungu umkosee mara ngapi kwani kuna ubaya nikiwa mama mchungaji? Me nipo tayari kuokoka ili mradi niwe karibu na penzi langu, yani we mwanaume upo vizuri yani umenisugua mpaka nikajisikia kweli leo nimekutana na mwanaume usinifanyie hvyo basi mtoto wa mwanaume mwenzio"

    "hivi aznael unajua unazidi kuniudh kwahyo unanipanda kichwani? Mbona si muelewa wewe?"

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "nisamehe jb wangu lakini nimenogewa mwenzako"



    "samahani me mtumishi ile ilitokea kama emergence ila usizoee"



    "siwezi kukuasha jb sijui itakuwaje iwe hvyo"



    Niliöndoka pale nikiwa na hasira kwani nilishajua fika nimemkosea mungu na hata dhamiri yangu ilinishuhudia hivyo. Nijitupa kitandani kisha nikachanganua mambo nikiwa kweñye tafakari nzito.

    "hivi mimi jacob naelekea wapi? Kwanini nashndwa kuwa na msimamo? Yani narudia yalè yalinitokea kule ndanda boys mpaka nikaumwa nusura ya kufa ni mungu huyu ameniponya leo nasura ya kufa tena leo narudia dhambi baba, mchungaji, wanafunzi na uongozi wa shule wanajua mimi nimeokoka leo yanatokea yaleyale? Mimi sasa hivi ni muathirika nitawakuwa nazidi kuwåambukiza watoto wa watu wasio na hatia"

    Niliwaza mpaka nikajikuta natokwa na machozi nikienda kuoga na Kula kisia nikarudi darasani kwenye majadiliano ya kikundi juu ya geography maswali.

    ***

    Tulibaki wawili baada ya wanamaombi wote kuondoka baada ya kumaliza maombi.

    "sasa rose unajua lile suala la ile jioni linaniumiza sana tafadhari nakuomb usimweleze mtu"

    "usijari jb mimi mwenyewe najua madhara yake kwani endapo nitasema sitakuchafua wewe tu wõte sisi tutaonekana wababaishaji, sema la msingi unatakiwa kuwa makini"



    "nashukuru sana rose basi naomba tuombee ili pia pamoja mimi na wewe"



    Tulishkana mikono tukawa tunaimba wimbo wa kuabudu wakati huo nilidhamiria kuitubia ile dhambi lakini tukiwa katika nyimbo mara rose alinishka kifuani na kuninong'oneza sikioni.



    "jb wewe ni mwanaume mzuri please fuck me!



    Nilimsukuma rose mpaka ukutani na kuanza kuongea kwa jazba huku rose akiwa ameegemea ukuta nusura aanguke chini.



    "rose huu ni uchenzi hatuwezi kuujenga mwili wa kristo kwa namna hii mbona unaleta umalaya ndani ya kanisa la mungu jua miili yetu ni hekalu takatifu la mungu"

    "jb umenisukuma? Nakuambia jb unanitukana mimi malaya? Jb wewe uliyesafi ebu simama na ujisifu sasa! Sasa nakwambia uchafu wako wote naenda kuuweka hadharani kumbe unaniona mimi toy kweli wewe"

    Aliongea Rose kwa kupanic na kuanza kuondoka akionyesha amekasirika sana hata mimi pia nilikasirika ila kwa lile nililazimika kucalm down nimbembeleza rose ili mambo yasiharibike zaidi nikaja kuumbuka.



    "jb ebu niache nimekwambia sitaki niache niende na umalaya wangu wewe si mtakatifu"



    "hapana rose usichukulie hasira kaa chini tuyamalize hizi kelele zitajaza watu na kujenga picha mbaya nakuomba calm down"



    "sitaki we niache sitaki jb ebu niachee mi malaya jb hiiiii"



    "usilie basi nyamaza rose nakupenda"



    Nilijikuta naongea ile kauli iliyomnyamazisha kabisa rose akatulia tuli wakati huo nimezungusha mikono yangu kwenye kiuno chake sasa pumzi zake zikawa zinaongezeka yani alikuwa anahema haraka mno.

    "nakupenda sana jb"



    "me pia nakupenda rose"



    "jb naomba nishike kifuani"



    "mmh jamani rose sehemu hii si salama ebu ngoja nikarudishie mlango basi"



    Nilimuasha rose ameegemea ukuta nikawa napiga hatua kuelekea ulipo mlango huku hapa mbele kwenye zip pamevimba sana yani utasema nimekula amila. Nilirudishia mlango kisha nikaenda mpaka mbele nikawasha kibodi aina ya yamaha psr 1500 ambacho mara zote tunakitumia kwenye ibada kusifu na kuabudu pamoja na beats za kwaya na baadhi ya beats za nyimbo kama nataka ushirika-christina shusho, niguse-grorious celebration, my God is good- uche, nina baba yangu-the whispers band. Pale nikaweka beat ya niguse kisha nikamvuta rose na kuanza kumpa romance muda huo ule mziki ukigonga taratibu na kuzidi kunogesha yani nilikuwa sikumbuki ya nyuma tena{my secret diary-season1} ambapo nilinusurika kufa kama sio huyu mungu na nikaweka nadhiri/ahadi kuwa huyu mungu nitamtumikia maisha yangu yote yaliyosalia lakini taratibu dhambi za uzinzi ilianza kunitafuna na kujikuta naona ni hali ya kawaida kwani nilijua baadae nitatubu.

    Tuliendelea kugeuzana na hapo nilipandisha tshirt ya rose nikabinjua sidiria na kuanza kuramba nido zake mpaka akawa anajigeuza kama anataka kuanguka nikawa namshikilia nilienda mbali nikampiga mtama wa kiaina kisha nikaja juu yake na kuanza kuchezea ki**m* chake akawa analia kimahaba na kutanua miguu nilitoa rungu langu nikaliingiza nusu kisha nikatoa "jamani baby utaniua chomeka basi yote" nikazama mtamboni kikazi zaidi nikaanza kusugua gaga ilikuwa kama igizo vile kumbe kweli rose mwenyewe ni bonge la demu sema mambo yetu ya kitumishi si ruhusa kuchokonoa hayo mambo.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Nilitumia takribani nusu saa kumvunjisha dafu wote tukapumua kwanza huku tunatazama na rose akawa anacheka kwa aibu fulani "toka huko usiniangalie" nami nikamwambia "ngoja nikuchungulie" alibana miguu fasta wakati tunafanya hivyo mlango ulifunguliwa ghafla na mimi nikachange ghafla.



    "nasema pepo la ugonjwa unayeleta udhaifu juu ya binti huyu na kumfanya hashindwe kusoma ninakukemea toka toka toka toka una mamlaka"



    "pepo nakuamuru toka toka muashie binti huyu hauna mamlaka muache asome nakuamuru toka toka toka"

    SHUKA CHINI..

    Nilireact haraka sana na sura yangu, mikono yangu na mwili wangu kiujumla vilidhihirisha kuwa kile ninachokifanya nilikuwa serias nacho.

    Unajua nini? Sikutaka kugeuka ili nimjue aliyeingia kwa wakati huo kwani kufanya hivyo kungemfanya aliyeingia mahali pale haisi jambo linaendelea japokuwa tayari nilijenga hali ya kuaminiwa sana pale shule kuliko mtu yeyote na ndio maana niliweza kubaki na rose tukiwa wawili kwenye lile hall.



    Baada ya dakika kumi nilimaliza yale maombi japokuwa kiuhalisia hayakuwa maombi ila ilikuwa ni hali flani ya kuepusha soo lililotaka kulipuka. Sasa kwa muda ambao nilikuwa najifanya kumuombea rose kwakuwa yule anayekuja haikuwa rahisi kutuona kwakuwa nilimpa mgongo na isitoshe alikuwa mbali kidogo kutuona haikuwa rahisi sasa kwa muda ule rose aliweza kuvaa vizuri nguo zake na pia mimi nilipata fursa ya kumrudisha kasuku wangu pangoni kisha tuliendelea na maombi kabla ya kumaliza.



    "vipi unajisikiaje sasa?"



    "najisikia vizuri ila kichwa kama kizito"



    "haya nenda kapumzike nadhani utakuwa sawa"

    Tuliongea mimi na rose na kumfanya aliyekuwa pale aamini kabisa kuwa tulikuwa kwenye maombezi kumbe we acha tu. Ile kugeuza shingo alikuwa mchungaji akatabasamu huku akiwa ameweka mikono yake nyuma.



    "kazi nzuri sana jacob"



    "sifa kwa mungu"



    "haya me naenda usiku mwema" aliaaga rose na kutuasha na mchungaji.



    "haya rose ubarikiwe"



    "amina mchungaji"



    Rose alipopotelea nje kabisa nikabaki mimi na mchungaji kisha mchungaji atoa ile mikoño yake nyuma na kunipa dairy ni mfano wa dairy kama yangu.

    Nilíipokea kwa kusita sita kidogo ila nilifanikiwa kuishika kiganjani kwangu juu kabisa iliandikwa "MY SECRET DIARY" nilishtuka maana diary zangu zote niliziandika hivyo nilihisi kutetemeka mwili mzima.

    "jacob my sin usiogope ebu fungua na ndani uone"

    "mchungaji hii diary yangu umeipata wapi?"

    "jacob fungua kwanza ndani"

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Nilitii amri nikafungua na kutoka gamba la juu paliandikwa JINSI YA KUPATA NGUVU TIMILIFU NA KUUTANUA UFALME WAKO" Nilishangaa sana diary ni kama yangu vilevile ila kilichomo ndani ni tofauti.

    ***



    Kama saa sita na nusu nilikuwa naangalia vile diary mbili zote zimeandikwa my secret diary ila ile ya kwanza niliandika "LIFE AFTER RECEIVE CHRIST IN MY LIFE" Na nyingine iliandikwa "LIFE BEFORE RECEIVE CHRIST" nilitetemeka mwili mzima na nakumbuka kauli ya mwisho pale hallini aliniambia "jacob nataka uwe mtu mwingine" nilijaribu kumuuliza kivipi hakunijibu zaidi aliniambia nijiandae.



    "sasa hapa nashndwa kumuelewa mchungaji ana maana gani nipo njia panda" niliwaza na kuwazua kabla sijapitiwa na usingizi.



    Nilikuja kushtuka pamekucha nami nilikuwa wa kwanza kuamka pale roöm kwetu yapata saa kumi na moja kasoro nilikumbuka napaswa kwenda morning grory/maombi ya asubuhi. Nilivuta sweta langu pale juu kisha nikawa napiga hatua kuelekea ofisi ya mchungaji.

    Nilipofika pale nje taa ilikuwa inawaka ndani ya ofisi na nilienda moja kwa moja na kufungua mlango looo! Alikuwa mchungaji akifanya mapenzi na rose na ni jana tu nimetoka kufanya nae mimi. Nilishangaa sana kiongozi wa dini nae anafanya hivi kweli!!!

    Usidanganyike mungu adhihakiwi chochote apandacho mtu ndicho atakachovuna.



    Nilitaamaki kwa muda baada ya kumuona mchungaji akiwa anazini na rose mwana maombi mwenzetu nilitokea kumchukia yule mchungaji nikatoka nje kwa hasira na kubamiza mlango kwa nguvu sikujua kilichoendelea kule ndani maana huyo rose hakuniona ila mchungaji.



    Nilikutana na spiritual leader/kiongozi wa kiroho wa kike patricia akiwa na joan, pendo, Amina, justina na leah. Wote hawa walikuwa wanakuja kwenye maombi ya asubuhi na wasichana wengne kama kumi na mbili.



    "vipi tena kaka mchungaji hayupo?



    "patricia we acha tu mchungaji yupo ndani uko?"



    "anafanya nini ina maana maombi hamna au?"



    "muandaa neno yupo wapi?"



    "khaa rose tumemtafuta dom hatujamuona tukajua ameshatangulia"



    "patricia hapa cha muhimu twende madarasani tukafanye maombi naona leo ofisini kwa mchungaji haitawezekana"



    "mmh madarasani utakuta kuna watu wanajisomea tutakuwa tunawasumbua"



    "sawa mungu yupo popote ebu hapahapa tufanye maombi isijekuwa kuamka kwetu kukawa ni bure tu"

    ***



    Maisha yalisonga na nilijitahidi kumkwepa mchungaji nisionane nae lakini nae kumbe alikuwa ananitafuta tulimalize lile jambo kukwepa aibu.



    "jacob mbona unanikimbia sana na siku hizi unafanya mambo bila kunishirikisha"



    "mmh mchungaji unajua unanichanganya wewe ndie unayepaswa kurekebisha tabia za watoto lakini unawaharibu me nashindwa kukuelewa"



    "hahaha utanielewa tu jacob ebu njoo ofisini tuzungumze kwanza"



    Nilikubali na kuingia nae ofisini uku nikimtazama vizuri huyu mchungaji wa kusomea tena chuo cha biblia dodoma na mara zote akisimama kuubiri alikuwa anahubiri upendo na kukemea dhambi hasa uzinzi leo hii anafanya uasherati yani nilimchukia kweli.

    "sikiliza jacob wewe bado kijana mdogo ila nataka nikwambie siri moja"



    Nilitulia kimya kumsikiliza mchungaji wangu ambaye ndio alikuwa mlezi wangu kiroho kwa muda wote pale shule.



    "kuna wakati huwa ni ngumu sana kushinda vishawishi hasa unapojikuta unamfanyia delivarise/uponyaji mwanamke mzuri tena hasa kwa sisi wachungaji tusiooa ni ngumu umenikuta na rose sawa lakini nina mpango wa kumuoa rose na si kumchezea" nilikisa kichwa na hapo nikaanza kumpima huyu mchungaji uwezo wake wa akili.



    "kwahiyo hata wewe jacob upo nakuona mungu anakutumia sawa lakini wewe ni kijana ni lazima utajikuta majaribu sasa ili usíingie uko tafuta eeh kabinti kazuri kuwa nacho"



    "nimekusikiliza sana mchungaji lakini neno la mungu linasema ole wao wachungaji waovu wanaoshindwa kulikusanya kundi la kondoo bali kulitawanya, mchungaji yafaa nini mtu kuzitii tamaa za mwili na kufanya kitu ambacho ni chukizo kwa mungu? Me sipo tayari kufanya hayo uliyoyafanya wewe kwaheri"

    Nilimuasha mchungaji paul na kuondoka hadi darasani nikavuta kiti na kukaa nikiwa natafakari sana juu ya hayo yaliyotokea.

    ***

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Baada ya mwezi mmoja kupita na mimi kutokuwa na mahusiano mazuri na mchungaji mara leo ananisemea kwa walimu mimi simuheshimu mara kwa baba kuwa sasa hivi nimebadilika ni kweli inaweza kuwa kweli lakini halikuwa jambo sahiihi kwa sasa.



    Neno la mungu liñasema "dhambi ikitungwa uzaa mimba na mimba ikikomaa uzaa mauti" nilikuwa sifahamu hili lakini siku ambayo wasichana walishtukizwa na kufanyiwa vipimo vya ujauzito hapo ndipo ilipojulikana rose ni miongoni mwa wasichana watatu waliopata ujauzito.



    Mahusiano kati ya mimi na mchungaji yalianza kuwa mabaya kwani alianza kunitolea kauli mbaya kwa walimu na mara zote amekuwa akimpigia baba na kumwambia siku hizi nina tabia mbaya simuheshimu wala ibadani sihudhurii sikumjali kabisa na hata kipindi nimeongea na baba nikamwambia asimzingatie kabisa.

    Kweli biblia inasema "dhambi ikikomaa utunga mimba na kisha mimba hiyo huzaa mauti" ndicho kilichotokea kwa baada ya mwezi mmoja wasichana walienda kupima mimba na kati yao watatu walikuwa na ujauzito akiwemo rose wote tulikuwa tumbo joto sikujua ni mimi au mchungaji.



    MWENDELEZO WAKE.



    Sikutulia kipindi ambacho wanatoka kwenye vipimo ili uamuzi mwingine uchukuliwe mimi moja kwa moja nilimfata rose nikamvuta mkono kichochoroni.

    "nini lakini jb niache hapa nimechanganyikiwa sijui baba akijua itakuwaje"

    "rose ebu niambie hiyo mimba ni ya nani?"

    "kusema ule ukweli mimba hii ni yako jb yule mkaka alikuja baada ya yako kuingia"



    "hivi rose kwanini wewe ni malaya namna hii ona umeamua kulisambalatisha kanisa sijui tutaonekanaje hapa"



    "jb wewe sio malaya? Aznael umemfanyaje na mimi ndo nimekutunzia siri wewe endelea kunitibua mambo yako ntayaweka adhalani wajue ushenzi wako"



    "aaah rose uko mbali lakini rose wewe ulijua fika upo katka kipindi kile kwanini uliniseduce/

    kushawishi tufanye Vile ona sasa"



    "jb sikiliza kuna wakati ambao sisi wasichana yai linapopevuka kwa wakati huo mwili unakuwa na joto kali na unatamani yani uwe na mwanaume karibu na ukishafanya hivyo taap mimba ndo kilichonikuta mimi lakini sawa tu najua ntafukuzwa shule na bila ya uamisho"



    "rose niokoe basi baba yangu mchungaji na wanafunzi wote wanajua nitamtia aibu na fedheha"



    "wewe rose ebu njoo haraka hapa"



    Alitokea mchungaji na kumuita rose huku sura yake imekunjamana kama ramani ya taanzania na mimi nikawa nimesimama palepale.



    "ebu rose nakuomba usinitaje ntaumbuka mimi mtu mzima nisaidie nakuahidi tukitoka hapa ntakuoa"

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "fyooo we kumbe una akili uniharibie maisha kisha uniambie utanioa mimi nimekuja kutafuta mume shule sasa jiandae mimi nikifukuzwa shule na wewe hauna kazi shenzi"



    Rose aliondoka pale na mimi nikabaki uso kwa uso na mchungaji ambaye alikuwa best yangu sana sana zamani kabla ya mambo haya kutokea. Aliangalia kwa kitisho sana.



    "wewe unanifatilia sana sasa subiri utaona usidhani naondoka hapa ukajua sitakupa kuna watu wangu nimewaasha hapa mpuuzi na mapembe yake wee"



    Nilibaki mwenyewe pale na nilimshukuru mungu sikumjibu kitu chochote hadi alipoondoka. Nikiwa nimesimama pale nachezea tai yangu mara nikasikia kengele imegongwa palepale nikajua ni kuhusu kufukuzwa shule kwa watu yani nilitetemeka sana. Ilikuwa cabinet yote ya shule na mkuu wa shule ndo alikuwa anahutubia wote tulikuwa kimya kama tupo gwaride.



    "shule yetu imejengwa kwenye misingi ya dini na hata sheria zetu pia sasa endapo utakwenda kinyume na maadili yetu hapa hautakuwa rafiki yetu tena. Ni kosa la jinai kama katiba ya nchi inavyosema mwalimu au mfanyakazi yeyote kumpa mimba mwanafunzi pia hapa shule utakutwa hatiani endapo utakutwa na mahusiano kati yako na mwalimu au mwanafunzi kwa mwanafunzi hivyo napenda kuwatangazia wanafunzi wafuatao si wanafunzi tena wa shule ya st. Laurance"

    Moyo ulipasuka paah nikajua shule ndo basi.



    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog