Search This Blog

Thursday 19 May 2022

JAMBO NA VIJAMBO - 4

 







    Chombezo: Jambo Na Vijambo

    Sehemu Ya Nne (4)



    Nilinyenyuka kitandani na kumwacha Manka akilalamika bila kujua kinachoendelea na kuvaa kanga yake kisha nikaenda kufungua mlango

    " Hivi nyie majamaa mna shida gan na mimi?" nikauliza kwa ghadhabu

    " Hatuna nia mbaya kaka" akajibu mme wa Amina

    " Hivi nilishawahi kuwagongea milango kuwaambia mpunguze kelele za wake zenu usiku? Au mnadhan mimi sichoshwi na mambo yenu?" nikafoka tena

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    " Kaka hayo yote yanatoka wap?" akasema

    Muda huo wenzake wote walikuwa kimya wakiniangalia kwa uoga

    " Kama sivyo ni nini? Mbona wewe ni mmbea sana kazi kuangalia ya wenzako? Asubuh umeanza kuniletea ujinga hapa kuwa niwe nasubir mnamaliza kula ndo naanza kura raha za mpenzi wangu,,,sasa sa hizi mnakula? Mbona mnakuwa kama wanawake nyie? Jiheshimu na mtaheshimiwa" nikafoka tena

    "Samahan mkubwa tunaomba utusikilize" akasema mwingine

    " Nisikilizen sasa,kuanzia sasa natangaza ugomvi na nyie wote humu,mkiwa mnafanya mapenzi na wake zenu sijawahi kuwaambia japo mpunguze kelele ila nyie mmekalia umbeya,sasa hapa mlitaka kujua Manka ana nan? Ni demu wenu? Mbona mna tabia za kike?" nikazid kufoka

    Walianza kutawanyika mmoja mmjoa kutoka pale na kuingia chumbani kwake

    Wake zao walibaki kushangilia pale kwa vicheko vya kimbea

    " Naona hapa ndani itabidi dam ya mtu imwagike ndo heshima iwepo,na kesho naenda kununua panga jipya hili la zaman halitaweza kazi" nikasema na kufunga mlango kwa nguvu

    " Baby kuna nini? Mbona kelele?" akauliza Manka

    " Si hawa wanaume kama mabinti,kazi kufatilia mambo ya wenzao,wao wakiwa wanatupigia makelele tulishawahai kuwagongea milango? Kazi umbea tu,walitaka kujua uko na nan?" nikasema

    " Washenzi nini? Wakishajua niko na nani? Itawasaidia nini? Kumbe hawanijui ee? Subir" akasema Manka

    Pale pale akafunga kanga na kutoka nje

    " Hivi nyie wanaume ni washenzi hivyo? Kuna mwanamme wangu kati yenu? Mnafatilia mambo yangu ili iweje? Was...nge wakubwa nyie na mna..... Na mbwa,sikujua mna akili mbovu hivyo, wanawake nyie mnavaa suruali" alitoa matusi mengi sana pale nje

    Nilipoona hali inaweza kuwa mbaya nikamfata na kumrudisha ndani.

    Hali ya hewa ilitulia kwenye vyumba vyao kama hawapo vile,hakuna hata aliyekohoa

    Nikamrudisha Manka kwenye mud na kisha tukamalizia gemu yetu na kulala kwa aman kwani kelele zilipungua kabisa

    Asubuh baada ya Manka kwenda kazini nilitoka nje ili kunawa uso na nikawakuta wale wanawake wamekaa nje wanapiga soga

    " Aisee we ni jembe,umecheza kama pele" wakasema

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/



    " Jembe kivip?" nikawauliza

    " Wee ile gem ya nyt umeichezaje? Unajua hata Amina haamin!" akasema

    " Ukweli jana nilijua ndo mwisho wangu,,sijui ulifanyaje jaman! Dah! Uliniokoa balaa" pale pale Amina akawa amedakia

    " Unajua nyie mtakuja kuniletea balaa hapa ndani,waume zenu washanishtukia naomba tupumzike kidogo jaman,itakuja kuamka hapa bonge la kesi" nikawaambia

    " Waume zetu ndo nini? Dogo mziki wako hakuna anayeukalibia kwa wote walioko hapa,sema Amina naye sio pa mwanangu,,wee wenzako hatujafika zamu zetu unarudia,umeshatuzid sana" akalalamika mmoja

    " Jaman niachen haya mambo yapite ndo tuendelee,kuna siku mtu atauawa hapa kwa sababu ya huu ujinga" nikasema

    Majadiliano yakaendelea kwa muda huku mimi nikitaka kuachwa kwanza ili waume zao wasije kuleta balaa na wao wakisitiza zamu zao lazima zifike.

    Nilipoona mzozo unazidi kuwa mlubwa nilifunga mlango wa chumba changu na kutoka.

    Nilienda mpaka kwa Mangi tukawa tunapiga stor mbili tatu na yeye pale kwake

    Mangi alikuwa akiniuliza maswali ambayo dhahiri niliona kama ananiwekea mtego ilio nijichanganye apate umbea wa kuwaambia wale wapangaji.

    Wakati stor zimenoga pale kuna gari ilipita aina ya Escuudo ndani yake akiwemo mmama ambaye hakuwa mkubwa sana wala mdogo sana

    " Habari zenu?" alitusalimia

    " Nzur mama Aisha,kalibu" akaitikia Mangi

    " Nipe zantel ya elfu tano"akasema

    Alioomba Zantel ndipo akili yangu ikakaa mkao wa udadis.

    Nikamwangalia vizur na kugundua kuwa ana asili ya usia ndani yake

    Alipopewa vocha akaondoka na mimi nikabaki na Mangi

    " Mangi hicho kifaa cha wapi?" nilijikuta namuuliza

    " Wee mke wa Kanjibai huyo,atakuua anabastola" akasema Mangi

    " Hayo yanatoka wapi? We mimi nimeuliza habari zake we ushaenda kwingine" nikaongea kwa ghadhabu

    " Huyo ni mke wa mhindi mmoja anakaa nyumba ya tatu hapo mbele kwenye geti jekundu" akasema

    Sijui ni shetan au ni nini? Nilijikuta naanza kumfikia huyo mmama pale pale huku nikisahau kuwa naye ni mke wa mtu

    Baada ya stor za hapa na pale na Mangi niliaga na kutembeatembea.

    Kwa bahati nzuri wakati napita mitaa ile ya yule mama nikashangaa geti linafunguliwa.

    Akatoka yule mama na ndoo ya uchafu na kuuweka pale nje ili mzoa taka akija aupitie.

    Nilijikuta mwili ukinisisimka sana baada ya kuchek yule mama alivyoumbika,kumbe kwenye gari sikumuona vizur

    Mashallaaaah! Alibalikiwa sana,nikajikuta nikitamani kuwa naye.

    Nilijikuta pale pale akili ikihama na kuanza kumuangalia kama yuko uchi,nikaanza kupiga picha kama ninamshika sehemu mbali mbali za mwili wake

    " Na weye? Vi? Mbona wanitazama sana?" alinishtua na swali baada ya kuona nimemwangalia kwa muda mrefu

    Nikajikuta napata ujasiri na kuanza kumsogelea pale

    " Samahani kama nitakukwaza" nikaanza kuongea!



    Nilimsogelea yule mama wa kihindi na nikajikuta ujasiri unanishika hsa kwa sababu nilikuwa na uhakika mmewe hatakuwepo

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    " Samahan kwa usumbufu" nikamwambia

    " Bila samahan nimekuona umeniangalia muda murefu ndo nikashangaa,kwani una shida gan?" akasema

    " Unakumbuka umenipita pale kwa Mangi ukanunua vocha?" nikasema

    " Yah! Nakumbuka nimekuona pale kwani kuna shida?" akauliza

    Kitendo bila kuchelewa nilimkalibia na kumpiga busu shavuni

    Kilikuwa kitendo cha ghafla sana ambacho hakukitegemea kabisa,akabaki ananishangaa

    " Najua mmeo hakuridhishi,ukiwa na shida nitafute" nikamwambia

    Pale pale sikusubiria ajibu chochote nikaondoka

    Yule mmama alibaki kaganda ananiangalia nilivyokuwa natokomea machoni pale

    Ngoja nikwibie siri moja hawa wamama walioko kwenye ndoa wengi wao hawaridhishwi kimapenzi kutokana na waume zao kuwa busy sana

    Na pia kutokana na tabia ya waume zao kuwaona wapo tu,hata siporidhika basi anaamin atamridhisha siku nyingine hivyo asilimia kubwa hawaridhiki

    Hasa wake za wafanya biashara,madaktar na wahandisi kwa sababu ya ubusy wa kazi zao

    Na mimi nilitumia nafasi ile ya mmewe kuwa mfanya biashara kumchanganya

    " Na uhakika hilo busu utaliota kila siku mpaka unitafute" niliwaza wakati narudi home

    Nilipofika nikawakuta wale wadada wapangaji wenzangu wako nje kama kawaida wakisogoa

    " Afadhali umekuja,leo ni zamu yangu jaman" akasema mmoja

    " Sikia,leo ni mapumziko kwangu,hata wacheza mpira wana half time,kesho nitawapa dozi hata mje kumi" nikawaambia na kuigia ndani kwangu na kufunga mlango

    Nilikaa ndani kwa muda nikiangalia tv kisha nikaamua kulala

    Niliposhtuka nilichukua vifaa vya kuogea na kuelekeabafuni

    Nikaoga taratibu na kwa uhakika mpaka nilipotakata

    Nikarudi chumbani kwangu kwa ajili ya kubadili nguo kisha nitoke

    Ghafla nikiwa nipo uchi akaingia yule mdada aliyesema leo ni zamu yake.

    Nilishtuka yuko mwilini kwangu akanirusha kitandani na kumshika baba kisha akambugia mdomon kisha akaanza kumnyonya

    Nilishindwa kumzuia kwa sababu tangu nimehamia nyumba hii sikuwahi kupewa kitu adimu kama hiki.

    Nilipagawa ndani ya muda mfupi na yule dada alinipania haswa haswa

    " Unavunga kinyozi leo nataka nikunyoe" akasema

    Alinifanyia vitua adimu mpaka nguvu zikaniishia kabisa nikashindwa japo kusogeza kidole

    Ghafla nikashangaa anachomoa wembe na kuanza kuufyeka msitu wangu wa solondo uliokuwa umeanza kuchipua

    Wakati akiunyoa alikuwa akinigusa sehemu ambazo sijawahi kuguswa kwa sababu nilizoea kuwaandaa mimi lakini siku hiyo nilipatikana

    Aisee mtu asikudanganye kunyolewa msitu wa solondo ni raha ajabu,kama hujawahi jalibu uone

    Baada ya muda nkawa msafi ila tayali nikawa nimeshajihalibia .

    Alipoona nnimeshakuwa tayali alinilaza kwenye kapeti na kuja juu yangu kisha akanikalia na kuanza kushugulika

    Nilipatikana kwa kweli,alikuwa mtaalam ajabu





    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Nilichanganyikiwa kutokana na yale mautundu ya yule mdada

    Katika maisha yangu sikutegemea kuwa kuna siku naweza kupatika kwa kiwango kile.

    Hakika yule mdada alikuwa mtundu.

    Nilizoea kubana wadada kwenye kona na kuwapelekesha mpaka wanatoa machozi ila huyu sikuthubutu na hata hizo nguvu sikuwa nazo

    Alinitembeza anavyotaka,kwenye stul,kwenye meza ndogo ya kioo,kwenye sofa na mwisho alinibinua nikaweka kichwa chini miguu juu na yeye akafanya hivyo na kukutanisha viuno vyetu

    Shughuli ilikuwa na uhakika

    " Hi-yo-style n-do inaitwaje?" nilimuuliza huku nikiwa hoi kwa ile shughuli

    " Hiyo ya kuweka kichwa chini miguu juu?" akauliza

    Niliitikia kwa kichwa kwa sababu hata nguvu sa kuongea sikuwa nazo

    " Inaitwa kalichumbage,hiyo inapatikana kwa watu wachache tu sio ukamfanyie Manka wako utamuua" akajibu

    Ila ukweli style hiyo ya kalichumbage ilikuwa tamu balaa sikusikia maumivu yeyote wakati wa shughuli kutokana na utam wa kalichumbage

    Ndani ya dakika hamsini nilikuwa nishaharibu mara mbili

    Wakati mimi ndo nilikuwa bingwa wa kuzirudisha na kutokumaliza hata kwa saa nzima mpaka nipende ila siku hiyo sikuwa na ujanja

    Baada ya gemu nilijitupa kitandabi na kupitiwa na usingizi mzito sana

    Kwenye huo usingizi nilijikuta nikiota ndoto tam sana

    Niliota nikiwa na huyo mdada aliyetoka muda mfupi hapo ndani huku tukiwa tumetambiana kupeana mambo mazito huku kila mmoja akitamba kumfunika mwenzake

    Siku hiyo nilijitoa wazimu na mimi nikajalibu kuonesha kila aina ya utaalam wangu ilimradi nimfunike yule mdada ila mwisho wa gemu bado alinizidi mbali sana

    " Dah! Nahisi nacheza na Manchester city,sio bure" nilimwambia

    " Wee uliona huu mziki wa Man U au Arsenal? Wabovu wale hawawezi kitu hapa kalichumbage kwa kwenda mbele"alisema kisha akanipiga kofi dogo

    Nilishtuka kutoka kwenye ndoto na kumkuta Manka akiwa pembeni yangu,kumbe yeye ndo aliyenipiga kofi

    " Vip? Mbona unaweweseka sana,nasikia tu kalichumbage,kalichumbage ndo nini hicho?" akauliza

    Nilishtuka kusikia kuwa nikiwa ndotoni sikuisahau kalichumbage

    " Hapana me sijaota na wala sijui kama nimeota" nikajitetea

    " Acha ubishi wako wewe nimesikia kwa masikio yangu mawili kalichumbage" akasema

    " Sasa unapobisha na hilo neno lako sijui kali nini? Unalijua? Me ndo nasikia hilo jina kama wewe ulishawahi kulisikia ndo useme" nikaongea kwa hasira ili mjadala uishe

    " Poa, yaishe,vip baby wangu umeshindaje?" akauliza

    "Niko poa baby nambie za kazi?" nikamhoji

    " Nzuri,ngoja nikaoge kwanza ndo nije" akasema

    Alipobeba vifaa vya kuogea na kisha akaondoka ndipo na mimi nikatoka ili japo ninawe uso

    Pale nje nikamkuta yule mdada aliyenifungia kazi kakaa na wenzake

    " Dah! Kalichumbage noma" nikasema kimasihara

    " Heheeeee! Na bado chezea kalichumbage wewe" wakajibu

    " Sijakubali,sijawahi kushindwa kwenye mechi naomba wenzako watupe nafasi ya mechi ya pili nakuhakikishia nitalipa kisasi" nikamjibu

    Wakacheka kicheko kikubwa na cha kishangigi mpaka Manka akachungulia kutoka bafuni



    Walicheka kicheko cha kimbea mpaka Manka akachungulia kutoka kule bafuni

    " Wee naye punguza umbeya,unachungulia nini?" mmoja wao alimpandia Manka

    Manka akarudi taratibu bafuni na kuendelea kuoga mpaka alipomaliza

    Niliendelea kunawa pale nje nikiwatania wale wadada pale nje mpaka waume zao walipoanza kurejea kutoka kazini

    Nikaingia ndani na kujiandaa kisha nikamshtua Manka

    " Twende kula kule baby,leo usipike" nilimwambia

    " Poa baby" akasema

    Tuliondoka pale na kuelekea sehemu flani jilani na pale tunapoishi ili tupate chakula

    Tulipofika pale kwa Mangi akaniita

    "Nisubir baby nimsikilize huyu" nikamwambia Manka na kutoka

    " Mwanangu wewe ni noma sana nimekukubali" akasema Mangi

    " Kwa nini Mangi" nikamuuliza

    " Yule mama amekuja hapa na kuniuliza hapa kuhusu wewe nikajua ameshadata" akasema

    " Mama yupi tena?" nikauliza

    " Yule mama wa machana bana mhindi kaja hapa" akasema

    " Aaah! Kasemaje mwanangu" nikauliza

    " Ameniomba namba yako ya simu nikawa sina" akasema Mangi

    Pale pale nikamtajia mangi namba yangu ya simu na kumuaga

    " Utawamaliza mwaka huu mwanangu" akasema kwa utani wakati natoka

    Niliendelea na Manka mpaka kwenye mgahawa mmoja na kupata chakula kisha tukaondoka kurudi home

    Tulipofika tuliingia chumbani kwangu na kuangalia tv kwa muda kisha mimi usingizi ukaanza kunipitia kwa sababu ya ile shighuli ya mchna

    Manka akaja kulala na kuanza kunipapasa

    " Baby naomba leo nipumzike tafadhali" nikamwambia

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    " Kwa nini baby? Me na ham sana baby" akalalamika

    Nilijitahid kujitetea sana ila bado Manka hakunielewa,

    Kwa hasira akaondoka kwenda kulala chumbani kwake.

    Nilipitiwa na usingizi sana hata zile kelele zao sikuzisikia kabisa

    Nilikuja kushtuka mlango wangu ukigongwa kwa nguvu

    Nikaamka kichovu na kwenda kufungua nikamkuta Manka

    Akaingia chumbani

    " Baby mimi nimeshimdwa kuvumilia kelele za wenzangu naomba na mimi jaman" akalalamika

    Nilijitahdi kujitetea lakini Manka hakunipa nafasi hiyo.

    Sikuwa na jinsi nikakubali na kuanza kuandaana naye

    Baada ya maandalizi nikaanza shuguli bado nikiwa na maruweruwe ya usingizi

    Kati kati ya gemu nikajikuta nikichnganyia

    " Itabidi nimpige Kalichumbage huyu ili nimkate mzizi wa fitina" niliwaza

    Nilimgeuza na kumuweka kichwa chini miguu juu

    " Jaman,ndo nini tena hiki?" akauliza

    " Kalichumbage" nikajibu



    Nilishtuka nimeshatamka neno Kalichumbage wakati Manka aliniuliza kabla na nikadai sielew

    Kwa bahati nzuri Manka alikuwa kazidiwa na utam hivyo hakupata nafasi ya kusikia na kuliuzia hilo.

    Nilimpeleka mpaka ukutani baada ya kuona hana uwezo wa kuvumilia kukaa kwa muda mrefu kwenye Kalichumbage

    Hivyo nilimuegemeza ukutani ili awe na balance na mambo yakaendelea

    Nilimsugua sana siku hiyo ingawa nilikuwa nimechoka lakini cha moto alikipata

    " Jun naungua jaman,nipumzishe" aliongea baada ya kuona kazi imekuwa kubwa tofaut na alivyotegemea

    " Nikupumzishe nini? We si ulidai nakuonea kutokukupa raha,tulia unyonyolewe wewe" nikamjibu

    Baada ya kuona kalichumbage imemuumiza vya kutosha nilimbeba mzimamzima na kumpeleka kwenye tendegu ya kitanda

    Nikamkunja mkunjo Mtunduge na kuendelea na shughuli

    " Utaniua Jun,nini hiki jaman" alilalama

    " Hapa kazi mpela mpela hakuna kupumzika" nikamwambia

    Nilipania kumpa kazi ya uhakika Manka kwa sababu siku mbili baadae nilitegemea kuanza kazi hivyo nilihitaji kupumzika

    Kazi haikuwa ya kitoto kwani Manka alilia kwa lugha zote anazozijua

    " Yesu na maria utani-ua Jun" alilalama

    Nikajiandaa na mimi kufika kileleni kabisa kisha kila mmoja akageukia upande wake na kulala

    Kutokana na kazi ya mchana na hiyo ya usiku nilipitiwa na usingizi mzito sana.

    Nilikuja kushtuka saaa nne asubuh na Manka ndiye aliyenishtua baada ya kumaliza kuandaa chai

    Kwa sababu ilikuwa weekend kila mmoja alikuwepo pale nyumbani

    " Baby naomba ukatafute supu ndo itaturudishia nguvu" nikasema

    Manka alitoka na kwenda bar ya jilani na kufata supu kisha akaleta tukapata kifungua kinywa kwa pamoja

    Baada ya chai tulitulia chumbani tukiangalia tamthilia kwenye tv

    Muda wa saa tano nilianza kushangaa wale wapangaji wakiume wakija mmoja mmoja na kuingia ndani kwangu kwa kisingizio kikiwa hawana king'amuzi.

    " Kaka kuhamia kwako hapa kutatukomboa bana wengine hatuna mpango wa kununua king'amuzi" akasema mmoja

    " Msijali" Nikawajibu

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Nilidhani ni wanaume pekee ndo wanakuja kumbe najidanganya

    Muda si mrefu wake zao nao wakaanza kuingia mmoja mmoja wakiwa na vistuli vyao.

    Wote walikaa na tukaendelea kuangalia ile tamthilia kwa pamoja huku maongezi yakizidi kunoga.

    Muda huo Manka alikuwa kanilalia pale kitandani akaanza kunifanyia utundu pale pale wale wageni wakiwepo

    " Jun,unamwona Nchunchu?" alisema Amina kiuno mbinuko akimwongelea mmoja wa washili wa ile tamthilia ya The great quuen Seondeok

    " Namuona bana,kafanyaje?" nikauliza kwa sababu sikuona kilichotokea

    " Jaman tuseme ukweli huyu kijana ni Hb wa ukweli,yaani utafikili kama msichana" akasema tena Amina

    " Umeona Amina? Yaan kama Junior" akaropoka mwingine

    " Huo ni ukweli jaman" akadakia wa tatu

    " Jaman,achen ujinga mtamsifiaje mwanamme mwingie tukiwepo hapa?" akafoka mme wa Amina

    " Hapa hatusemi uongo Nchunchu ni Hb kama Junior,we kama sura yako nzito pole," akasema yule aliyeniletea style ya kalichumbage

    Ghafla mme wa Amina alinyenyuka kwa hasira pale

    " Na nyie msikae kama mabwege hapa,wake zetu watamsifiaje huyu dogo tukiwa hapa? Haiwezekan" akasema

    Pale pale na wenzake nao wakanyenyuka!



    Wale wapangaji walikuja juu sana wakitaka kunipiga,wakati me nilitulia nikiwaangalia bila kufanya chochote

    " Huu ni us..ng.. Huyu atakuwa anawagonga tu,haiwezekan mmsifie wakati tupo hapa,je tusipokuwepo? Si mnampa bure?" akafoka mmoja wao

    " Kwani tukitaka kumpa tunashindwa? Achen wivu wa kimama" akajibu Amina kiuno

    Mme wa yule mdada aliyeniletea style ya kalichumbage alinyenyuka kwa hasira na kumpifa mkewe vibao vya haraka haraka usoni kisha akanigeukia na mimi

    " Leo tunataka tukwoneshe kuwa hata sisi ni wanaume" akasema

    Kwanza kabisa kitendo cha kumpiga mkewe kiliniuma sana,nilikumbuka mambo mazito aliyonipatia jana yake na mpaka ile style ya kalichumbage nikaona huu ujinga

    Kwa ujinga wao wakaanza kunifata pale kitandani,nilimsukuma Manka akaangukia chiniya kitanda.

    Nikainama na kutoa panga langu uvunguni kisha nikampiga bapa la panga mme wa yule mdada mwenye style ya kalichumbage

    " Mamaaaaa! Nakufaaaaa" alipiga kelele

    Kwa style niliyompiga nayo alijua nimemkata ila me nilimpiga kitaalam bila kuacha alama ingawa aliumia sana

    Vurugu kubwa ikaanza pale ndani kila mmoja akijalibu kutafuta mlango ulipo ili kuokoa uhai wake.

    Nikanyenyuka na kumkuta mme wa Amina hajatoka bado anapambambana pale mlangoni nikampa bapa mbili za mgongo akajampa pale pale mpaka nikajikuta nacheka mwenyewe

    Hata Manka alipatwa na wasi wasi na kukimbia kutoka pale ndani

    Kule nje kila mmoja alipita njia yake na kutokomea wanakojua wenyewe

    Nilipotoka pale nje sikukuta mtu tofauti na Manka

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Nikarud ndani na kutulia,taratibu wake zao wakaanza kurudi

    Niliendelea na mishe zangu ila kila mtu aliniogopa na waume zao hawakukalibia kabisa pale,walikuwa wakichungulia na wakiniona wanarud mafichoni.

    Manka alirud nikamwomba msamaha yaishe na tendelee

    " Nisamehe Manka,hupaswi kuogopa,nilitaka niwaonye wasiwe wananisumbua" nikamwambia

    " Usijal baby ila jion nitaenda kwa dada bugurun ameniita huko" akasema

    " Utalala?" nikauliza

    " Ndiyo baby" akasema

    Nikajua tayali ameshaniogopa hivyo anaenda kutulia huko kwanza haya mambo yapoe ndo arudi

    Sikutaka kumzuia,jioni aliondoka na kuelekea aliponiaga

    Mpaka muda wa saa moja na nusu usiku wakati giza limeingia ndo wale wanaume wakawa wanarudi kimya kimya

    Nilijua kuwa wamerudi wakati wakula niliwasikia wakiongea na wake zao

    Baada ya nusu saa nilipohakikisha wameshashiba nikachukua panga na kutoka nje

    " Naomba wapangaji wote na wake zao mtoke nje,sihitaji kumfata mtu humo ndani" nikafoka kwa kibur

    Ilikuwa mshike mshike ila nashukuru wote walitoka kwa woga sana,wanaume wazima walikuwa wanatetemeka

    " Kaeni tuongee" nikasema

    " Tangu nimehamia hapa nyie wanaume mmeyafanya maisha yangu kuwa magumu sna,sasa natangaza kuanzia leo hapa tuishi kwa aman,ila ujinga sitaki,mambo ya usiku kunipigia kelele sitaki" nikasema

    " Kuanzia leo,ukitaka kula raha na mkeo basi anza saa moja,nitakuwa naondoka saa moja narudi saa tatu,huo muda unawatosha sana,sitaki kelele nimelala,ambaye anataka usiku anunue sling board aweke na ale raha kwa aman,sitak ujinga kabisa" nikafoka kwa mkwara!



    ITAENDELEA







0 comments:

Post a Comment

Blog