Search This Blog

Thursday 19 May 2022

MY SECRET DIARY - 5

 





    Chombezo : My Secret Diary

    Sehemu Ya Tano (5)



    Ndugu mpenzi msomaji tunaomba radhi kutokana na simulizi hii kuchelewa kutokana na sababu za hapa na pale. Sasa tusonge mbele na historia ya kijana jacob.

    **



    Haikuwa hali ya kawaida pale shule kwa matukio kama yale ya wanafunzi kufukuzwa shule kisa ujauzito lakini siku hiyo mambo yalikuwa ni tofauti.

    Tukiwa bado assemble/mstarini wazazi wa watoto waliofukuzwa shule kwa ujauzito walikwisha fika na kutukutia assmble wakati mkuu wa shule pastor michael mugarura akiwataja hao wanafunzi watatu yani jessica male, upendo mongi na rose kimario moyo ulipasuka kama radi pindi rose anatoka mbele nikajua kwa vyovyote vile mambo yanaweza kubadilika.



    "jamani nyie wasichana mnaona jinsi wanaume walivyokuwa wabaya haya sembuse mmoja kati ya hawa kapewa mimba na hao wanaume miöngoni mwenu mnachotakiwa ni kuwa makini haswa mmenielewa?



    "ndiooøoooo"



    "nadhani tumemaliza kama kuna jipya nadhani tutawajulisha au walimu wenu watakuja kuwatangazia"



    Tulikuwa tunajiandaa kuondoka hapo nikawa napumua na kusema "asante mungu" mara tukaitwa tena. "jamani rudini kuna mwenzenu anataka kuwaambia neno" Wote tulirejea mimi nikiwa nyuma kujificha nisije kuonekana akasimama rose kwenye umati wa wanafunzi 2500 akaanza kuongea kwa kwikwi.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "jamani me napenda kuwashukuru wanafunzi wenzangu kwa upendo wenu hasa team ya maombi mlikuwa msaada mkubwa kwangu, roho inaniuma kuwaasha lakini siwezi kuzirudisha siku nyuma nalia mie kwa kutokuwa na msimamo hadi mchungaji emma aliponilaghai na kunipa mimba hii najuta mie leo nawaasha wenzangu, jamani nawahasa someni yasiwakute kama yaliyonikuta mimi na kibaya zaidi kaniambukiza na ukimwi kwani niliomba nifanyie kipimo hicho pia eeh yesu wangu"



    Rose alianguka na kupoteza fahamu Wanafunzi wote walisikitika sana na wengi walitoa machozi hata mimi nilishndwa kujizuia kulia kila aliyepata nafasi ya kusema alisema lake hata sikuwa na furaha tena wakati wenzangu wanaenda madarasani mimi na patricia, prisca na joan tulienda kumsaidia rose kumpeleka ofisini wakati huo namuangalia mtoto wa watu huku na uchungu mkubwa moyoni.



    Baada ya dakika 15 alizinduka huku mama yake akilia kama mwendawazimu wakati wakina patricia wapo nje nilizungumza na rose mule ndani.



    "jb haya yote niliyatafuta wacha nife tu ila nakuomba umshike huyo yesu kisawasawa mimi nilishndwa najua nitakufa ila Wewe utatoa ushuhuda wa haya yote"



    "hapana rose utakufa bali utaishi na utayasimulia matendo makuu ya mungu hata biblia inasema"

    "najua hivyo jb lakini these is written in

    # my_secret_diary /hili limeandikwa kwenye kitabu changu cha siri."



    "una maanisha nini rose jamani?



    "utajua mbele ya safari jb we niache tu kwasasa"



    Wakati tunaendelea kuongea mara nilisikia gari linaingia kisha wakachuka polisi wawili wa kiume walivaa nguo za ffu wakaja mpaka kule ofisini wakawa wanaongea na mama yake rose.



    "ndio afande amefungiwa kule stoo eti anajiita mchungaji kumbe anatia mimba watoto za watu mimba na ukimwi juu aki ya mungu mimi simuachi ntakula nae sahani moja"



    Mama yule alimvuta mwanae wakawa wanaondoka nae uku yule mchungaji akifungwa pingu za mikononi.



    Wakati ule nilikuwa kama mlingoti nikishuhudia mchungaji akifungwa pingu na kuingizwa kwenye defender, roho ya huruma ilinijaa wakati naendelea kutafakari rose alisogea mpaka nilipokuwa.



    "wewe unawazawaza nini?" Huku ananitikisa mabega.



    "yani hapa hata siamini kinachotokea naona kama igizo"



    "ndo uamini lakini jb nataka nikwambie kitu kimoja" aliongea na sura ilibadilika kuonyesha umakini zaidi



    "khe kitu gani tena!

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "usiogope bwana nataka kukwambia kuwa hii mimba ni ya kwako na ningependa kuzaa na wewe uje kuwa baba nami mama mimi nikishajifungua nitaendelea na shule na wewe ukiingia six me nitakuwa five" alinishangaza mnoo



    "rose naomba hayo mawazo yafute mimi ni mtoto wa mchungaji na kama haitoshi mimi sina mpango wa kuishi maisha ya ndoa kwa sasa"



    "uuuuh jb nina matani na wewe? Unajua kwanini huu ujauzito nimemsingizia yule mchungaji wenu? Sasa subiri" alibadilika na kuwa mbogo



    "we rose unataka kufanya nini? Ebu tulia bwana nilikuwa nakutania"



    "unajua jb nakupenda sana na ndio maana nipo tayari kufanya lolote kwa ajiri yako mama huyo anakuja nadhani tutawasiliane namba yako si 0716082149 na 0685682375?"



    "mmh yeah yeah" niliitikia kwa namna ile baada ya kumuona mama yake



    "bye best yangu, mama huyu alikuwa mwanamaombi mwenzangu"



    "mpuûzi twende uko maombi maombi unaniletea mamimba na ngoja uko utajua kwa baba yako"



    Rose na mama yake waliongozana na kuniasha nimesimama tu nawaza çha kufanya wakati naanza kuondoka mara nikasikia naitwa.



    "jb jb subiri mara moja"



    "nini tena wewe?" Alikuwa rose



    "shika hii elfu hamsini nakuomba jb kuwa makini si unazijua hali zetu usije ukawaambukiza wengne byee"



    Nilimtazama rose alivyokuwa anaondoka nikajikuta nang'ata midomo kutokana na lile furushi kiunoni nikajipiga kichwa "wewe mimacho nawe unatamaa kweli Pumbafu uoni haya majanga haya"



    Nilitembea taratibu kurudi darasani na huku nafungua kile kikaratasi kuangalia ile hela aliyoniweka daa ilikuwa hamsini net niliamini huyu mtoto ananipenda lakini haya yanataka kutokea kama ya faustina naye ilikuwa kama hivi mwishowe yeye akaendelea na form six me nikarudia form five na leo tena leo rose nae anarudi nyuma kisa ujauzito?



    Nilizama darasani na kumkuta mwalimu chemistry anafundisha "inoraganic chemistry" nalitoa daftari na kitabu nikaanza kupitia wakati mwalimu anafundisha.

    ***

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Likizo ilifika mzee akanitumia tiketi ya ndege mpaka nyumbani mwanza nilikuwa ni mwenye furaha kupumzika na shuruba za shule nilifika airport nikamkuta mama yeye ndo amekuja kunipokea ilikuwa furaha maana mama yangu sijamuona muda mrefu.

    "vipi masomo mwanangu?"



    "nashukuru mungu tunapambana nayo vipi huduma?"



    "yani tunamshukuru mungu tumepata ufadhili sasa kanisa ni kubwa mno jioni tutaenda leo ni mazoezi ya kwaya"



    Niliposikia kuna kwaya nilifurahi maana napenda sana kuimba na tayari nilishaweka nadhili ya kumtumikia mungu.



    Siku hiyo jioni kama saa moja tulienda kanisani na mama na kuwakuta wanakwaya pale wanafanya mazoezi walipotuona walitusalimia pale.



    "jamani kila siku mnaniita mama jacob jacob mwenyewe ndo huyu kitinda mimba changu"



    "khe kumbe mama mchungaji una mtoto mkubwa"



    Tulicheka pale nikawasalimia kisha wakaendelea na mazoezi mimi na mama tulikuwa tunazunguka mule kanisani. Wakati tunarudi tukiwa njiani nilimuona mtu kama faustina nikamwambia mama asimamishe gari.

    "khe jacob mambo wangu!



    "poa yani faustina kitambo sana umeshamaliza?"



    "yeah nimemaliza kulekule masasi wewe upo wapi?



    "nipo st. Laurance tanga"



    "ila unajua jb bado nakupenda"



    "khee jamani jb upo jamani"



    "nipo my vipi umemaliza shule tayari?"



    "yeah ndo nimemaliza juzi juzi hapo tu"



    "umemaliza palepale masasi girls?"



    "yeah, vipi wewe unasoma wapi?"



    "me nipo st. Laurance tanga"



    "ila jb nilikumbuka mambo yako yale jamani"

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "yeah yeah vipi pamebadilika sana mtwara?"



    "mh papo kama ulivyopaasha lakini mbona"



    Nilimfinya na kumstopisha asiendelee kuongea sana maana mama alikuwa akitusikia maöngezi yote halafu mama anamjua faustina vizuri toka kipindi kile nilipoumwa nikarudishwa nyumbani hoi, nilimkonyeza na kuashiria mama yupo pale ndani ya gari maana sisi tulikuwa nyuma nje ya gari.



    "mama yangu mzazi! Amesikia? Alishangaa faustina



    "hata sijui kama amesikia na kama amesikia ni lazima ataniuliza tu, cha kufanya we ondoka taratibu"



    "sawa my number zngu ni 0655085519 unitafute basi my"



    Faustina akaondoka kama ananyata hata kabla hajafika mbali "we binti we binti ebu njøø" aliita mama



    "bee shikamoo mama" alisalimia kwa woga.



    "marahaba haujambo? Jacob na wewe njoo"



    "sijambo"



    "unajua nikwambie kitu binti yangu, katika umri wako huo vijana huwa mnafanya mambo mengi ambyo kwa wakati huo mnaona mnakwenda na wakati lakini mwisho wake mnakuja kulia, me nakukumbuka sasa mnataka kuyarudia maisha yale si ndio?"



    "ha.a.pana mama" tulijibu kwa pamoja.



    "jamani nyie wote mnajua afya zenu na mungu amewaepusha na meng kama mna mambo mnataka mfanye ebu angalieni si chukizo kwa mungu, me nawapenda wanangu lakini ebu jitunzeni wakati utafika tu me najua mnapendana na angalau siku moja muwe kama sisi"



    manenö ya mama yalituingia na kutufanya tuwe kimya sana na taratibu nikaanza kuvuta kumbukumbu mungu aliponitoa kule. Nakumbuka nilikuwa malaya sana na nilitembea na wanawake hata idadi sikumbuki na ndipo nilipopata maambukizo ya ukimwi na niliumwa nusu ya kufa lakini mungu alinisaidia na huyu faustina shahidi wa yote. Pia nakumbuka wazazi wangu wote wawili walivyokuwa wanatoka nje ya ndoa lakini mimi ndo nilisababisha wao kuokoka mpaka leo ni wachungaji.



    "wewe jacob, jacob unawaza nini?"



    Nilishtuka kutoka kwenye lindi la mawazo na mama alitwambia tuingie wote ndani ya gari.

    ***

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Nilimshawishi faustina tukawa tunaimba wote kwaya na mimi nikawafundisha nyimbo kama mbili nilizowahi kuzitunga kipindi cha nyuma kidogo kila mtu alikuwa mwenye furaha kwa uwepo wangu japokuwa walikuwa na mwalimu wao wa kwaya lakini mimi niliongeza vitu ving vipya.



    "mwalimu tunashukuru jamani yani mambo yako mazuri"



    Wanakwaya wengi walikuwa wananifata na kuniambia wanavyoona ujio wangu. Nilikuwa kuwa na mazoea na wakina dada wengi na kipindi hicho nilikuwa kwenye kikundi cha maombi na kushuhudia nyumba kwa nyumba.



    Kuna jumamosi moja wakati tunamaliza mazoezi ya kwaya kuna dada mmoja tunaimba nae kwaya yeye ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha st.augustino kila siku alikuwa ananiomba nikafanye nae maombi kule hostel kwao kwani kuna mambo ya giza siku hiyo niliona bora niitikie wito wake tukaenda wote.



    Jamani kuna watu wengne wanakuja tu makanisani kuficha makucha yao sikuamini yule dada na wenzake wa hostel walivyonifanyia.





    Nilikaribia kwenye chumba wanachoishi wanafunzi wa chuo cha st.augustino nikiwa na mwenyeji wangu dada magreth aliye mwaka wa pili anachukua shahada ya udhamili.



    "eeh karibu sana jb" rydia



    "nashukuru nimekaribia"



    "lucy jamani kaeni vizuri basi mgeni amekuja kufanya maombi jamani"



    "hee kwani tumekaa vibaya au?" Alijibu mdada alikuwa amelaza makalio juu yani bwiduu



    "jamani ryidia sipendi majibu yako kama hauwezi toka nje basi"



    "mh achana nae bwana hivi huyu ndo yule mtoto wa mchungaji edwin?" aliuliza mdada nilisikia akiitwa rehema.



    "yeah ndio si unamkumbuka siku ileeee" alijibu yule aliyenibua makalio bwiduu



    "yeah nimemkumbuka ni anaimba huyu mkaka, za kwako kaka" rehema



    Alinisalimia na mimi nikiwa navunga kuchezea simu yangu kama hujuavyo wanafunzi wa chuo walivyokuwa open yani walikaa na tait tu hata bila chembe ya aibu labda huyo rehema ndio alinyanyua upinde wa kanga akajisitiri lakini huyo ryidia na lucy walikuwa hawana wasiwasi waliendelea kuchat na simu zao nilipatwa na wasiwasi huenda kuna michezo ya kusuguana gaga mule ndani.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "nzuri tu dada sijui wewe!" Nilijibu



    "poa tu karibu karibu sana"



    "asante nimeshakaribia"



    "utatumia kinywaji gani sijui?"



    "aah wala usijari siku nyingne nitakapokuja nadhani itakuwa poa"



    "khee! Ryidia Ryidia video ya marry you ya neyo na chibu imeshatoka kumbe" rehema



    "khee! We kupiga kote kelele nikajua sijui nini kumbe hiyo nyimbo me nimeiona tokea jana"



    "jamani lucy, ryidia kimya kidogo basi tuna maongezi jamani mbona mpo hivyo" aling'aka magreth baada ya kuona shoga zake wanapiga kelele na kiukweli wana fujo na yote ni kutokana na mitandao ya kijamii ilivyowachanganya.



    "haya basi mama punguza gubu basi"



    Kidogo walitulia nikamuona huyu ryidia akichuka kutoka kitanda cha juu akiwa na tait yake ya pink na kiblauzia cheupe akachukua kanga na kujifunga kisha akachomeka chaji simu yake.

    "mwenzangu ngoja niweke chaji maana hizi smart hata hazikai na chaji"



    "khe umenikumbusha na mimi ngoja nizime data niweke chaji maana si unajua mida mida ndo vile"

    lucy nae akanyanyuka alikuwa na mapaja makubwa halafu blackbeauty hivi amazing!! Kiukweli dunia inavutia sana nae akajifanya eti hajui kuwa kuna mgeni ameingia.



    "khe eti nimekaa vibaya kumbe kuna mgeni me nae!"

    ****

    Hakuna aliyekuwa na hamu ya kutoka japo kila mtu alikuwa na safari kipindi nafika pale niliweka flash yangu yenye movie kali kwenye laptop ya ryidia.

    Baada ya muda muda flani niliona mage na lucy wakitoka nje kama kuna jambo walitaka kuteta jambo nikabaki na ryidia na mwenzake.



    "movie zote niwekee kwenye laptop yangu mwenzangu nimezipenda"



    "usijari ntakuwekea ngoja nianze kuweka huku tunatazama hii"



    "sema nini kaka ngoja mara moja tunakuja tupo nje mara moja usione kama tumekuasha mpweke"

    "hata msijari"



    Walipotoka niliminimize ile movie na kupiga stop kisha nikazama kwenye mafaili ya ile laptop nikafungua file limeandikwa "more incredibles" nikafungua na kukuta video kibao nikafungua VLC nikaweka video mama yangu mzazi!! Nilikuta jamaa jeusi lipo na midada wanafanya mambo na sauti ilitoka kubwa na kufanya wote wazame ndani nikiwa naangaika kuipunguza.

    "kheee!" wote walishangaa.. Nami niliikata palepale.

    "ooh no usikate jamani ni nzuri mbele hiyo" alisema ryidia.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "usitoe jb hiyo mbele ni nzuri kweli"



    Alisema dada ryidia huku amenishika mabegani nilisikia jiñsi mikono yake ilivyokuwa laini na ukijumlisha na ile clip ya kikubwa ya mablack msumari ulisimama hatari.

    Basi lile jamaa kwenye movie lilikuwa na dick kubwa jeusi mdada mmoja alikuwa analinyonya na wa pili aliweka pussy yake mdomoni mwa yule nigga akawa analambwa kama mchuzi kwenye bakuli muda huo sikutaka kabisa kufanya lolote na wale wadada wanne japokuwa ndicho walichoonekana kukiitaji kwa muda huo.



    Nilimtazama ryidia alikuwa anarembua na kuanza kunitekenya mabegani, wale wawili ukimtoa magreth walianza kujichua/punyeto huku wanatoa sauti za vilio magreth kuona hivyo alichukua kanga akavaa akaelekea kwenye beg lake akatoa kitu kama unga unga akachana daftari lake na kuweka huo unga kisha akatoka nje. Muda huo ryidia alianza kulegea na kuegemeza shingo yake mabegani mwangu nilianza kumzuia "no no no ryidia stop"



    "aah acha ushamba mtoto wa kiume ebu angalia chepu kama hivi utavipata wapi au mpaka uvizia vitoto vya shule ebu nisugue mdogo wangu"



    "aah dada ryidia me siwezi na sipendi"

    "mradi umekuja humu ndani utaweza na utapenda eeh jamani njooni tumshughulikie"

    Basi wale wawili walinyanyuka wakaja wakanikamata wakaanza kunivua nguo wakati nikifurukuta kujitetea. Jambo kama hilo limewahi kunikuta nilipokuwa nasoma ndanda boy tulipotembelea masasi girls nikaashwa na gari{secret diary-season1}.



    "khee hee jamani msitumie nguvu huyu twende nae taratibu"



    Alitokea dada magreth ambaye ni muumini wa pale kanisani kwetu anayejivika vazi la kondoo kumbe ni mbwa mwitu mkali. Alikuwa amekuja na juice ya boksi iliyofunguliwa tokea nje akamimina kwenye glass kisha akanipa mkononi.



    "jb mdogo wangu kunywa samahani sana kwa yote yaliyotokea tusamehe"



    "tafadhari naomba mniashe niende nyumbani"

    "kunywa basi nikusindikize"



    Sikutaka kunywa ila kule kulia kwake na kujuta kwa makosa waliyonifanyia ikabidi ninywe, sikuwa nafahamu lolote zaidi ya kuhisi jambo baada ya kuona mabadiliko ya mwili wangu, jointi zilianza kuuma shingo, mikono na nilianza kusikia usingizi nikawa naona watu wawiliwawili. Image ya vitu katika upeo wa macho yangu ilianza kupungua japokuwa nilijaribu kupigana na hiyo hali. Mara nikasikia kwa mbali wakicheka.



    "hahaha chezea mage weyee hapa mbuzi kafia kwa muuza supu hallooo"



    "shoga wewe fundi aki ya mama sikuwa na hilo wazo kabisa yani"



    Sikuwa na uhakika wa huyu wa pili aliyezungumza, ila ghafla mlango ukafunguliwa akaingia mdada mmoja bonge ana mitako kweli haswaa.



    "agnes mbona nakupigia simu unakata unazima simu, eeh looh! Jamani mmekatoa wapi haka katoto?"

    Fahamu zangu zilipotea palepale na sikujua kilichotokea ila nilikuwa kwenye usingizi mzito sana kiasi cha kutojielewa.



    Nilianza kusikia baridi kali mwilini na mwili uliniuma hamna mfano hasa sehemu za kiuno na miguu nilikuwa uchi na nilifunikwa na shuka tu tena la kaki jepesi kama sanda nilihisi kufa kufa na kwa hali ile usiku ule tena peke yangu sikudhani kama ningeiona asubuhi.



    Ule ubaridi ulinishtua sana na niligundua kuwa nilikuwa uchi nimefunikwa na shuka jepesi mfano wa sanda na mwili wote ulikuwa unauma hasa sehemu za kiuno.

    Nilijikuta hospitali baada ya kupoteza fahamu. Kwa jicho la ukakasi nilifanikiwa kuiona ile taswira kwa mara ya pili niliona watu wawili mbele yangu kuna mzee wa makamo na kijana wa rika kama langu au mkubwa kidogo kwangu nikaunganisha na yale ya jana nikajua tayari wale ndio walioniokoa.



    "vipi mjukuu wangu unaendleaje?



    "namshukuru mungu shikamoo"



    "marahaba.. Unakumbuka mara ya mwisho ulikuwa wapi?



    "mzee sikumbuki zaidi nakumbuka mara ya mwisho nilikuwa na rafki zangu sijui kilichotokea. Kwani nyie mmenikuta wapi?"

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "mjukuu wangu tumekukuta kando ya ziwa ukiwa uchi wa mnyama mahutti ndio unavyoona mjukuu wangu"

    Kwakweli nilipata shida sana.



    Nilirudi nyumbani na kuanza dozi na nakumbuka dokta aliniambia kuwa sipaswi kufanya mapenzi mpaka nitakapomaliza dozi yangu.



    Asubuhi ya tatu toka niwe pale nyumbni kwa babu nilidamka asubuhi na mapema nikawafungulia kuku bandani kisha nikarudi kulala tena, wakati huo halima alikuja mpaka mlangoni na kuniambia maneno flani nilimuitikia japokuwa sikumsikia vizuri kutokana na usingzi. Kusema ule ukweli nilikuwa nalala sana kutokana na vile dawa kuwa na nguvu sana.

    Mwanga ulipenya dirishani na kunifanya niamini sasa kumekucha nilinyanyuka ili nikaswaki na saa mbili ndio ulikuwa muda wa kunywa dawa, niliweka dawa kwenye mswaki na kuchota maji kwenye kopo yaliyokuwa yameifadhiwa kwenye mtungi nilibeba na kigoda changu nikakaa chini ya mti.



    "hee we mtu umeshaamka?



    "nimeamka ulitaka nilale2"



    "hahaha hapana bora umeamka unisaidie kuosha vyombo".



    "kalete vyombo nikusaidie"



    "aah wewe hapo kunyanyuka tu shda nikutese mtoto wa watu nini"



    "halima halima me jembe wewe sema naumwa tu"

    "una lolote wewe swaga tu"



    "haya wewe endelea kunidharau tu"



    Halima alienda ndani nikawa namuangalia tu huo mzgo uliochini ya mgongo nikajikuta nameza funda la mate lililoambatana na utamu wa dawa ya meno. Halima alirudi na rundo la vyombo vichafu na kuviweka pale chni.



    "sasa babaa inabidi unywe chai alafu nikupe dawa"

    "dah halima unacare mpaka raha sema bahati mbaya sina dada"



    "eeh mpo wanaume tupu kwenu?



    "nipo mimi kama mimi vipi nyie?

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "duh hadi raha sisi tupo wawili kaka sued na mimi halima bin hussein"



    "wow! Jike moja dume moja raha iliyoje"



    "hahaaa toka uko ukanywe dawa"



    "mmh haya uambiwi, hivi hapa tulipo na mwanza kuna umbali?



    "hahaa wewe siku zote ujui kama hapa tupo ukerewe kutoka hapa mpaka mwanza ni elfu sita"



    "duu kuna umbali kumbe, sasa tunafanyaje kadadaa?

    "bwana sipendi hilo jina bwana ila cha kufanya ni hivi unapaswa kunywa dawa na chai ndo ulale"



    "nilale tena ntakuwa bonge wewe, sasa halima kwenye pensi yangu pale juu kuna buku kachukue ukanunue chapati zako na zangu"



    "eh wewe bwana mihogo ipo, samaki kuna njugu mawe chapati ya nini sasa?



    "haaa aya kanunue soda yako basi au sio?

    ***



    Maisha yalisonga nakumbuka kesho yake jioni tulikaa nje mimi, halima, sued na babu wakati huo bbu alikuwa anatuhadithia kuhusu vita vya idd amin dada wakati huo yeye alikuwa ni mwanajeshi kwa wakati huo.



    "duu babu kumbe mlipitia mambo magumu lakini nasikia watu wachache walipoteza maisha"



    "hahaha jb mjukuu wangu hzo ni hadithi mimi nilikuwepo watu wengi walipoteza maisha na nchi ilitumia pesa nyingi katika ile vita sasa haya mambo mtayajua wapi na wakati vijana wa leo mnajifanya wajuaji sana hampendi kukaa na wazee"



    "khee mzee tuwahi kushusha nyavu ziwani huu ndio muda"



    Walinyanyuka na kuondoka taratibu huku mimi na halima tukabaki tunaendlea na stori za hapa na pale mpaka muda ulipofika tukaagana na kwenda kulala.



    "wewe usisahau kunywa dawa saa nne na robo eeh"



    "wewe kichwa hiki kipo active nitakumbuka"



    Kutokuwa na simu kulinifanya niwe mpweke sana nilishazoea kuchat na watoto wazuri kule fb, instra, Snapchat viber, imo na whatsaap lakini huku na nokia obama sikuwa nayo.



    Nilipitiwa na usingzi mzito huku kutokana na zile dawa. Sasa kwa mbali nilisikia kama maji yanamiminwa niliamka na nilipotazama nilimuona halima kwenye meza, alikuwa amevaa kanga staili ya lubega nilinyanyuka taratibu nikaanza kusogea mpaka pale alipokuwa nikamshka kiuno taratibu nashangaa sikuwa na woga wowote mtto akuvaa chochote ndani na mwili wake ulikuwa laini sana.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "jb nini tena wewe?"

    Nilishtuka mnoo



    Sikujari kusema kwa halima wala sauti yake haikuwa ya kitisho au ya kunifanya niashe kuchezea ngozi yake laini yenye mafuta. Nilishka ule upinde wa kanga na kuivuta yote ikabaki mikononi mwangu na halima alibaki mtupu kama alivyozaliwa nilimtazama kama atakuwa na pingamizi lolote lakini haikuwa hvyo alikuwa anatetemeka mwili mzima na kiukweli bila kumshikiria kwa nguvu basi angeanguka.



    Ulaini wa kifua chake, nyonga na sehemu zenyewe pamoja na lile joto kulinifanya nizidi kupata amasa kubwa ya kuuchezea mwili wake japokuwa nilichogundua halima alikuwa mgeni sana kwa jinsi alivyokuwa anatetemeka. Unene wa k*n*n chake ulizidi kunifanya nipate nguvu za mikono ila nikakumbuka kauli moja ya kaka yake sued alishawahi kuniambia

    Nukuu..



    "halima ni mtoto wa kike siwezi kumzuia kuwa na mwanaume ila nikimkuta mtu anamchezea mdogo wangu nitatoa shingo na kama akikimbia basi mimi na yeye tutakuwa swala na chui" kauli ile ilinitoa woga kiasi na kujikuta nasimamisha zoezi kwa muda japokuwa mwili ulishachemka. Nilimuasha halima na kujilaza pembeni, halima alipoona kimya alinyanyuka akautoa ndani ya boksa na kuukalia sasa hapo niliwehuka mawazo nikatupa kule na kumshikiria kiuno halima.

    ***



    Usiku ule sikulala nililia kiuno kama mtoto mdgo yani halima kila aliponishka niliona kama ananiumiza kiuno kiuno kiuno.



    "umekuwaje jb jamani mbona hvyo lakini ooh jamani"



    "halima halima nakufa nimevunja masharti ya daktari aliyosema nisifanye ngono mpaka nitakapo maliza dozi ooh mungu wangu nakufa mie nakufa"



    Sikumbuki ilikuwaje ila nilirudishwa hospitali tena na kufanyiwa matibabu tena kama asubuh ndio fahamu zilirudi na kujigundua nipo hospitali japo babu na sued walijua bado sijazinduka hapo hapo dokta akaingia na kuja moja kwa moja kwang akanifumbua macho kwa staili ya kuyabinua kisha akawageukea wale.



    "kwani huyu mgonjwa huwa anabaki na nani anayemuangalia?"



    "kuna mjukuu wangu wa kike ndiye anayebaki naye sisi huwa tunaenda miangaikoni"



    "inaonekana dawa hanywi kwa wakati na pia anaonekana anafanya sana mapenzi na mwanamke sasa hali yake imekuwa mbaya zaidi ya hapo awali" Kitendo cha dokta kusema nafanya sana mapenzi kilimshtua sana sued na alianza kushauti na aliondoka akiwa anasema maneno mabaya juu yangu.



    "yani mi najua tunafuga faida kumbe hasara tu watu tunaangaika usiku na mchana mtu analeta uchenzi nitamkomesha tu"



    Hofu ilinijaa nikamuona babu akifatana na sued angalau ambembeleze na mimi hofu ilinitanda maradufu nikatamani kutoroka pale.

    ***

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Sikuwa na amani tena na kutoroka nilishndwa kutokana na kutokuwa na nguvu ya kutembea kabisa sued baada ya kubembelezwa sana na babu akanisamehe japokuwa sikuamini kama ilitoka moyoni akawa ananihudumia kama kawaida na dawa nikawa nakunywa kwa wakati lakini.



    Siku moja alikuwa na furaha sana akaja pale akanichukua tukaenda ziwani kule tulipokwenda siku ile kwenye mawe makubwa tukakaa na kupiga stori mbili tatu na hapo nikajua sued amenisamehe kweli.



    "hivi sued hapo chini kuna kina kirefu sana?



    "yani hapo ni parefu kiasi kwamba hata ghorofa linazama kwa sisi wavuvi tunajua maana mara nyingi tunazama kama si kujua kuogelea aah tungekuwa tunakufa, hivi unajua kuogelea?



    "mmh hpana mimi sipendi maji kabisa yani na hata nilipokuwa shule wenzangu walikuwa wakiogelea na kupiga mbizi ila mimi huishia kunawa tu"



    Sued alicheka kidogo kisha akanyanyuka na kuniambia nimsubiri anaenda kukojoa nami nikafanya hvyo. Mara ghafla nilisukumwa kwa nguvu na kwakuwa sikushikiria popote nilijikuta naanguka majini moja kwa moja kisha nikamuona jabu.



    "Sued sued nisaidie nakufa nisaidie jabu"



    "mshenzi wee kufa unaleta umalaya wako na kutembea na dada yangu na umesahau kuwa wewe si ndugu yangu wala nini tulikuokota huko na nimeamua kukurudisha hukohukokafie huko na umalaya wako"



    Sikuweza tena kumjibu kwani kichwa kilishazama na tayari nilikunywa maji mengi na pumzi ilikata hapo roho ilianza kuuma kama nimechomwa mkuki wenye sumu kali na nilijìona kabisa nakufa na mbele yangu nikawa naona vitu vinakuja kwa kasi kubwa mfano wa umeme. Ndipo nikagundua tayari sipo katika dunia ya kawaida kwa huko nilipokuwa hapakuwa na ardhi kama hii bali chni ni makaa ya moto na kukaribishwa kwangu pia kulikuwa ni mateso. Nilikumbuka kumcha mungu lakini muda ulishakwisha na matendo yangu yalikuwa kama kioo mbele yangu yani ni mateso.



    SIKU ZOTE MUNGU ANATUPENDA NA MARA NYINGI UTUONEA HURUMA NA KUTUPA NAFASI YA KWANZA, YA PILI NA HATA MILLION YEYE UTUPATIA ILA USIMDHIHAKI MUNGU KWA KUWA WEWE NI MJA WAKE, KAMA UMEPEWA NAFASI ULIYONAYO ITUMIE IPASAVYO USIMJARIBU MUNGU.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    KUMBUKA.

    "kila nafsi itaonja mauti"

    EBU ITAZAME NAFSI YAKO NA MATENDO YAKO NI SAWA MBELE YA MUNGU WAKO USIJE UKAPATA RAHA ZA MUDA MFUPI MWISHOWE UKAJA KUJUTA.



    ***MWISHO***



0 comments:

Post a Comment

Blog