Search This Blog

Thursday 19 May 2022

JAMBO NA VIJAMBO - 3

 







    Chombezo: Jambo Na Vijambo

    Sehemu Ya Tatu (3)



    Nilishtuka sana baada ya simu ya yule mdada kuitia chumbani kwangu tena nikiwepo na yule mke wa jamaa.

    Yule dada niliyekuwa naye alitetemeka sana kiasi nikaona mambo yanaweza kuwa mabaya sana kwangu

    " Niliwauliza mke wangu alipomkaniletea pozi,haya njoon muone navyoua mtu" akasema jamaa

    Nilitetemeka vibaya mno baada ya kusikia kauli ile ya jamaa

    Wale wanawake walikusanyika pe ili kuona kinachoendelea

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    " Si niliawauliza alipo mke wangu mkaniletea nyodo? Sasa sikieni simu yake inapoitia?" akasema

    Akapiga tena simu na ikaendelea kuitia pale ndani kwangu

    " Akya mama huyu kijana tulishamhisi tangu mwanzo anatembea na nyie leo nimemfuma,ngoja niwapigie waume zenu waje tuue" akasema

    " Unasemaje? Uwapigie akina nan? Sasa sikia wewe unavunga mjanja,labda nikupe taarifa kuwa mkeo hayuko humo,na mimi na yeye tulimpa simu zetu huyu kijana atutengenezee, na zote ziko humio,kama unabisha piga namba yangu," akasema mmoja wao

    Jamaa akapiga kweli namba ya yule mama na ikaitia chumbani kwangu pia

    " Wewe unataka kuvunga mjanja,sasa subir nikuoneshe,Mama mashaka nipe simu yako nimpigie mme wangu na kumweleza unavyonitongoza kila siku nikikataa unaning'ang'aniza" akafoka tena yule mdada

    Jamaa kusikia vile alishtuka sana na kuanza kuwabembeleza wamsamehe

    " Kweli kakoma huyu fala,anajiona mjanja mtu mwenyewe nikimpa nitakohoa tu itoke,na kipisi chako,au unafikili hatujui kuwa una kipisi? Utamuweza nani hapa? Kama sio kututia shombo?" mwingine akadakia

    " Jaman hayo yote yanatoka wapi? Nisameheni tafadhali jaman yaishe" aliwabembeleza

    " Hakuna cha kusamehewa hapa,navunga mjanja sana bwege wewe,huna heshima,kijana wa watu kapumzika na demu wake kutoka huko alikohamia kutoka unataka kumletea upuuzi wako" akafoka tena mwingine

    " Jaman sikujua kama anampenzi wake,nilidhan ni mke wangu,nisamehen" akasema

    " Hupaswi kutomba sisi,ngoja tumuite mwenyewe,najua umeshamkatisha satarehe zake,aje umwombe"wakasema

    Wakaja na kunigongea mlango,nami nikatokeza kichwa peke yake

    " Mwacheni aende jaman,sio vizur kukatishiana starehe zetu,mbona nyie usiku mnakuwaga busy na sijalalamika,niachen bana" nikajidai kufoka

    " Ushukulu yuko busy,leo angekupiga, unamsikia? Mkurya huyo" wakamwambia

    " Haya potea,na kuanzia leo tusikuone mchana unaleta nyokonyoko zako hapa,na mkeo ukimletea upuuzi usiku tunakuumbua tabia yako ya kututongoza" wakamwambia

    Akatoka fasta na kurudi kazini kwake,nikasikia pale nje kicheko cha kimbea ikabidi na mimi nitoke nikiwa na yule dada

    " Jaman nawaambia ukweli mtaniletea balaa nyie" nikasema

    Wakacheka sana huku wakiniangalia

    " Acha uoga wewe,sisi wote bado tunahitaji dozi yako,hivyo jiamin,kwanza waume zetu tumewaweka hapa" wakasema wakipiga kiganja

    " Lakini jaman,si mnaona haya mambo yanaweza kutuletea balaa?" nikasema tena

    " Alaaah! Usilete utoto wako hapa,kwanza bi shost vip umeridhika au akamalizie?" wakamuuliza mwenzao niliyekuwa naye

    " Nitosheke wap mwenzenu wakati nimepewa vitu robo?" akasema

    Nilishtuka sana kusikia vile hasa ikizingatiwa shughuli niliyompa ni ya uhakika



    Nilishtuka kuona wale wanawake hawanionei huruma bali wanataka kuendelea kunikamua

    " Sikia naomba kwanza nikapate chakula,baadae nitakuja tumalizie ngwe iliyobaki" nikatoa udhuru

    Nilitumia uongo huo ili nitekeleze nilichopanga kichwani pangu

    " Haina tatizo,ila uwahi na usije ukavunja makubaliano yetu" nikapewa onyo

    Niliingia ndani kwangu na kuchukua ATM card yangu na kuondoka

    Moja kwa moja nikarudi Tandale ila safari hii sikufikia kule nilikokuwa nimepanga ila nilienda kwa mshikaji wangu.

    Baada ya kufika sikumkuta lakini kwa sababu nilikuwa najua funguo zinapotunzwa nikazichukua na kufungua,nikajipumzisha.

    Usingizi ulinipitia kutokana na shughuli kubwa niliyofanya kwa siku hizo mbili mfululizo.

    Nilikuja kushtuliwa saa kumi jioni na mshikaji wangu akiwa katoka kazini

    Baada ya salaam ikabidi nimweleze kila kitu nilichokutana nacho huko nilikohamia

    " Dah! Mwanangu pole sana ila mbona bora hapa mwanangu? Dah! Kama ndo hivyo huko hakufai" akasema

    " Kaka nahisi wale wanawake wana pepo la ngono,sio wazima,yaani kila mmoja wao anawaza kugongwa tu" nikamwambia mshikaj

    " Sasa utafanyaje?" akaniuliza

    " Kaka sijui! Na ndiyo sababu hasa iliyonileta hapa kwako ili unipatie ushaur" nikamwambia

    " Huyo mchaga wako umeshamwambia?" akaniuliza

    " Hapana,sijamwambia chochote na wala hajui ingawa alishaanza kushtukia mchezo" nikasema

    " Cha msingi tulia hapa ili siku zako za kuanza kazi zifike,ndo urudi kule,naamin ukiwa unaenda kazini utakuwa unakuwa busy na kurudi jion na demu wako atakuwepo hivyo utaepusha mengi" akashaur

    " Hata mimi nimefikilia hilo, mwanangu na njaa,twende kula" nikamwambia

    Tukaondoka na kuelkea kwenye genge ambalo tulizoea kupiga msosi kila mara

    Tulipewa msosi na kula mpaka nilipotosheka ndipo tukaanza kurudi geto

    " Junior????....we Jun" nilisikia nikiitwa

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Nikageuka kumwona aliyeniita

    Nilishangaa kumwona Lily chaurembo ( Huyu mdada ndiye hasa aliyesababisha nihame mtaa huu,na hiyo ilitokana baada ya kuwagonga wanawake za watu kibao hapa mtaani yeye alikuwa anajiheshimu sana

    Ila sifa zangu kitandani zikamfanya anitafute,na tulipokutana aiisee nilishangaa alivyokuwa mtam

    Kutokana na kuwa mtam kuliko wanawake wote niliowahi kupiga nilijikuta namng'ang'ania na yeye akahadaika na utam wangu na kunikatalia

    Hakuna aliyetaka kumwacha mwenzake mpaka mmewe ambaye alikuwa mwanajeshi alipopata habari na kuanza kunisaka,nilipojua natafutwa na mjeda nikahama mtaa)

    " Wee una tabia mbaya,ukahama jumla na kubadili namba ya simu,nilikufanya nini kibaya jaman?" akalalamika kike

    " Hapana,sikutaka mmeo aninase bana,ila usijali tuko pamoja" nikamwambia

    " Jun me nimemis mautam yako bana,fanya basi tuonje japo kidogo" akasema

    Nilisisimkwa sana mwili hasa nilipokumbuka alivyo mtam mpaka nikashindwa kumkatalia

    " Basi fanya ukipata chance utoloke uje pale kwa msela wangu nikupe kidogo" nikamwambia

    " Poa nashukulu,ntakuja muda si mrefu" akasema

    Baada ya kuaga na kuondoka,mshikaj akaniambia

    " Mwanangu nakushangaa sana,huachi haya majanga? Mme wa huyu dem si ndo kakuhamisha mtaa? Subir kiama chako kaka" akasema



    Mshikaji wangu aliendelea kunipa maushaur kibao juu ya kuachana na haka katabia kangu ka ukicheche

    " Me nakupenda mwanangu ndo maana nakupa maushauri ya ukweli,nataka kukuona ukiishi maisha ya aman,cheki kwa sasa unavyoishi kama digi digi,kwa nini usichukue mabinti?" akaniuliza baada ya kunipa ushaur

    " Nakusoma mwanangu sema mabinti wana majanga,wazinguaji sana af naogopa kudata" nikamjibu

    " Wewe si ulinambia umepata demi mchaga mtam? Si utulie naye?" akaniuliza

    " Dah ! Ntajitahidi basi mwanangu" nikamjibu

    " Mwanangu hivi wachaga unawajua vizur? Wana matatizo balaa" akasema jamaa

    " Kivip mwanangu ?" nikauliza

    " Wachaga bana akishakukubali yeye kamaliza kila kitu,hafikilii kukuonesha mapenzi ya dhati,yaani unaweza shangaa siku mbili hakufikilii,yaan unakuwa mtumwa wake kila wakati umtafute wewe,sms umtumie wewe,kiukweli wakishakukubali basi wanajua kwenye mioyo yao wanakupenda basi mambo ya kuoneshana mahaba hawana" akasema

    " Unajua sijakusoma mwanangu" nikamwambia

    " Nakwambia madem wa kichaga hawana mahaba ndugu,wao akishakukubali ndo kakupenda,kama unafikili kuna siku atakuonesha mahaba basi umepotea njia,ila kama unaweza kuvumilia poa" akasema

    " Sasa mahaba nitayapata wapi kama mpenzi wangu hanioneshi mahaba?" Nikauliza

    " Dah! Hapo jiongeze mwenyewe mwanangu" akasema

    " Kwa hilo acha niendelee na wake za watu bana" nikamjibu

    Tuliendelea kupiga stor mpaka tunafika geto.

    Wakati tunajiandaa kulala mlango ukagongwa

    " Nani?" jamaa akauliza

    " Fungua bana,me Lily" akajibu

    Tukaenda kufungua mlango na akaingia

    " Wee Lily utakuja kutuletea balaa hapa ndani,usiku huu unafata nini hapa? Na mmeo?" akauliza jamaa

    " Wee naye,unatuonea wivu bana" akajibu

    " Sio wivu, hata mimi unanichanganya,usiku huu unakujaje hapa?" na mimi nikaja juu

    " Mme wangu ameingia shift ya usiku jaman, hivyo niko free,ukitaka twende kulala kwangu" akajibu

    " Hapana siwezi kweda kwako" nikajibu

    Akaja na kunikalia mapajani huku akichekacheka

    " Mwanangu unaona mahaba? Haya yanapatikana kwa wake za watu pekee, mabinti hawana hizi" nikamwambia mshikaji wangu

    Palepale nikambeba Lily na kumpeleka chumbani,nikamtolea shuka jamaa utafikili niko kwangu na kumwacha alale pale sebuleni.

    Baada ya kuingia chumbani ni kama Lily alinipania sana kwani alikuwa kasi ajabu

    " Tulia basi,mambo mazur hayataki haraka,pole pole ndo mwendo mamaa" nikamwambia

    " Ushaanza mambo yako,leo sina msitu wa solondo sijui utanyoa nini?" akauliza



    Nikaendelea kumwandaa yule Lily cha urembo kwa kuchezea kila sehemu yenye msisimko kwenye mwili wake

    " Hivi Junior sisi ukitunyoa tunasikia raha sana,vip wewe unapata raha gan?" akaniuliza

    " Unataka kujua? Si nitakuwa nawaibia siri watu?" nikamwambia

    " Niambie mimi 2 bana,sa hao watu wanatoka wapi?" akaniambia

    " Unajua mimi ninawanyoa ili kuwapa raha nyie ila mimi ninasikiaga raha sana pale vile vinywele vinavyobakia vinavyokuwa vinanichomachoma wakati wa gemu" nikamjibu

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    " Ina maana vinapochoma choma vile vilivyoabakia ndo wewe unapata raha?" akaniuliza

    " Ndiyo,ila punguza maswali tuingie kazin bana,unajua we mtam sana" nikamwambia

    " Mtaam wap? Mbona mjeda wangu hajawah kunambia" akajibu

    " Hajui utam wako,unajua hata wanaoishi kalibu na sehem za ibada huwa hawaoni umuhimu wake ila wa mbali" nikamjibu

    Akaendeleza soga zake ila me nikaendelea kumwandaataratibu

    Nilipohakikisha ameshakuwa tayali nikaanza kushughulika tena upya mpaka nilipohakikisha ameongea kimasai

    " Oyoi lengai leihoorororo" aliongea baada ya maujanja kumkolea

    Nilipomaliza nikamsindikiza mpaka nyumbani kwake

    Tulisimama nje ya geti lake na kuanza kupiga stor kisha nikambusu ili aingie ndani

    Ghafla nilishangaa mjeda wake katokea kwenye maua yaliyokuwa pale pembeni kumbe alijificha pale

    Alinipiga mtama nikajikuta nalamba udongo!





    Nilipotaka kunyenyuka alinipiga mtama mwingine nikajikuta chini,nilijizoazoa pale na kufanikiwa kunyenyuka.

    Alikuja kichwa kichwa kwangu kwa sababu alijua siwezi kupigana naye akafanya kosa la kutoniogopa

    Nilitumia nafasi ile kumzimisha ngumi tatu za haraka haraka puani mpaka akadondoka chini

    " Mama yangu,unaniulia mme jaman!" Chaurembo alipiga kelele

    Wakati akiwa pale chini nikapata nafasi ya kukimbia na kutoloka.

    Kutokana na kumpa kipigo nilijua atanitafuta tu,nilichofanya ni kutorudi kwa mshikaji wangu.

    Nikaamua kumpigia simu na kumpa taarifa ya kila kilichotokea

    " Kalale gest kaka,ili urudi asubuh na akija kukuuliza mwambie wewe umekesha kazin na hujui chochote kile" nilimpa maelekezo jamaa angu

    Nikatafuta bajaji na kupanda moja kwa moja nikaelekea kwangu ingawa nilipakimbia ila nikapaona bora kuliko hapa.

    Nilipofika niliwakuta wale wanaume wapangaji wamekaa kama kakikao kwenye kibalaza cha pale.

    Niliwasalimia na kupita moja kwa moja kuelekea chumbani kwangu.

    Nilipakuta kama nilivyopaacha,nikachukua ndoo na moja kwa moja nikaelekea kuoga

    Saa nne ilinikuta chumbani kwangu nikiangalia tamthilia capital tv.

    " Hodi?,,,,,hodi?" nilisikia mtu akibisha

    Nikanyenyuka na kwenda kumfungulia mlango na kukuta ni Manka

    " Ingia" nikamwambia

    Akaingia na kukaa kitandani

    " Mbona unaonekana hauko sawa?" akaniuliza

    " We tangu asubuh umeshanitafuta? " nikamuuliza

    " Samahan mpenzi wangu nilijisahau" akasema

    Nilikumbuka alivyoniambia mshikaj wangu kuwa hawa wachaga hawana mahaaba,akishakupenda hana muda wa kukufatilia sijui umeshindaje? Sijui unafanya nini? Hawako hivyo

    " Hivi mtu unayempenda unaweza kumsahau? Hata kunijulia hali? We kweli unanipenda?" nikamuuliza

    " Baby ndo niko hivyo,nitabadilika basi taratibu" akasema

    " Sijawah ona mtu wa hivyo,yaan japo sms kwa mpenzi wako hakuna? Unamsahau kabisa" nikamuuliza

    " Jaman sasa me nikudanganye? Nilisahau bana yaishe" akasema

    " Kiwepesi wepesi tu,bana ee mimi siwez kuwa na mpenzi ambaye ananisahau,kaa vip sepa" nikamwambia ili nione kama ananipenda

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    " Poa kama ndiyo maamuzi yako" akajibu na kuondoka

    Kwa mara ya kwanza nilijikuta nashangaa,mtu unayempenda unaweza kukubali kumpoteza kirahsi hivyo? Nilibaki nawashangaa wachaga mpaka leo

    Hata kuomba msamaha yaishe tuendelee hakuna? Dah! Watu wa ajabu sana hawa!

    Nilizima tv na kuingia kulala kwani nilichoka sana

    Nilishtuka usiku wa saa sba kutokana na kelele za wale akina mama tena

    Nahisi siku hiyo waume zao waliamua kuwashugulikia ipasavyo

    Kelel zilipozidi nilijikuta napandwa na midadi vibaya mno,

    Nikabaki kugalagala pale kitandani,nilianza kujilaum kumpiga chini Manka kwani wakati kama huu angenisaidia.

    Jinsi muda ulivyozidi kwenda ndivyo manjonjo kwenye vile vyumba vingine yalivyozidi,

    Ikafikia hatua uzalendo ukaniishia!





    Nilihangaika sana kutokana na zile fujo za wale wapangaji na wake zao.

    Nilipoona hali inazidi nikaweka stuli zangu na kupanda darini nikaanza kuchungulia gemu

    Chumba nilichokuwa nachungulia gemu haikuwa tamu nikashuka na kuhamia chumba cha pili na kuendelea kula chabo

    Chumba hiki wao walijitahid sana kuoneshana uwezo.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Nilipoona wananipandihia tu bila sababu nikashuka na kuchukua simu

    Nilimpigia Manka lakini hakupokea simu yangu,nikaona nimtumie message

    " Tafadhali Manka nisamehe nakuomba chumbani" niliituma

    " Sitaki,wewe wakati umenifukuza uliwaza nini?" akajibu

    " Zilikuwa hasira tu naomba tafadhali njoo Manka wangu" nikatuma

    " Wee wa ajabu kweli,hapo umezidiwa na kelele za hawa maboya ndo unaona uniite! Siji" akajibu

    " Manka unanipenda?" nikamuuliza

    " Ndiyo nakupenda lakin siji mpaka kesho ndo tutaongea vizur" akasema

    " Manka nimekubembeleza uje umekataa?" nikamtumia

    " Ndiyo na usiku mwema" akajibu

    Nilipojalibu kupiga simu yake ikawa haipatikan tena

    Nikaingia kulala huku nikiwa nimechukia sana,zile kelele ndo zikazidi sana

    Nikiwa bado naendelea kuteseka na ile hali ya kelele za mahaba kutoka kwa wapangaji wenzangu

    Ghafla mlango ukagongwa taratibu

    Nikatoka na kwenda kuufungua nikijua ni Manka kaamua kuja kunifadhili kutokana na shida ninayoipata

    Nilishangaa sana kumkuta Amina kiuno mbinuko akiwa mlangoni pangu

    Hakunipa nafasi ya kujiuliza sana,alinisukumia ndani na yeye akazama

    Akafunga mlango na funguo na kuzitupa mezani kisha akanifata na kunisukumia kitandani

    Muda huo wote nilikuwa nimepigwa na taharuki nikishangaa kila kinachotokea

    Nilivyorudi katika hali yangu ya kawaida nikamvaa

    " Wee una akili kweli? Mme wako yupo umetoka kuja kufata nini huko?" nilimswali

    " Basi kama kuna mtu hana akili ni wewe,nimekuona unachungulia darin,nikajua umehangaika nikaona nije kukusaidia ila unavunga mjanja" akanijibu

    " Lakin Amina,mmeo si yupo?" nikamuuliza

    " Yupo ndiyo kwani tatizo nini?" akauliza

    " Tatizo tukifumaniwa hapa wapangaji hawa wataniua" nikamjibu

    " Sikia mme wangu namjua vizur baada ya mchezo husinzia sana,hivyo nimempa mziki wa uhakika hapo kushtuka mpaka asubuh naomba tupeane raha kwa uhuru" akajibu

    " Lakin....." sikumalizia

    Akanivamia mwilini na kunivua nguo zote na kisha akatupa pembeni kanga aliyovaa na kubaki mtupu

    Pale pale sikuona haja ya kumwandaa kwa jinsi nilivyokuwa mafuta kutokana na kelele zao

    Nikaaanza kumpa mambo ya uhakika mtoto wa kimburu yule

    Wakati wote tumekolea mchezoni nikasikia mlango ukigongwa!





    Tulishtuka sana kusikia mlango unagongwa

    " Atakuwa nani tena? Au mme wako?" nilimuuliza kimyakimya Amina

    " Hapa mimi sijui,ila bora tusifungue hata kama atakuwa mme wangu kuliko kufungua" akasema Amina

    Tuamua kuchuna na kusikilizia kitakachotokea,na mgongaji aliendelea kugonga taratibu

    Baada ya muda yule aliyekuwa anagonga aliacha na tukamsikia anaondoka.

    Ikabidi tuendelee na gemu yetu ingawa mudy haikuwa kama mwanzo

    Tulifanya kwa muda mfupi na tukamaliza na nikamwomba Amina aondoke

    " Nenda anaweza kuwa mmeo nd aliyekuwa anagonga" nikamwambia

    Alinyenyuka taratibu na kuondoka

    Nikabaki na aman sana hata zile kelele chache zilizobaki hazikunisumbua sana.

    Wakati nimelala nilianza kusikia malumbano kwenye chumba kimojawapo

    " Lazima useme ulikuwa wapi sio kuniletea ujinga hapa" alifoka

    pale pale nikajua Amina yuko kikaangoni,

    Niliogopa sana nikajua panachimbika leo kama Amina akibanwa sana akasema basi nitakipata cha moto

    Kelele chumba cha Amina ziliendelea kuzidi mpaka wakaanza kupigana

    Nilipata wazo na pale pale nikaomba nilitumie

    Nikanyenyuka taratibu na kwenda kwenye mlango wa Manka nikamgongea taratibu

    Dakika chache alikuja kufungua na mimi sikutaka kumpa nafasi ya maswali,nikalazomisha na kuzama chumbani kwake

    " Unataka nini? We si nilikuja kukugongea ukagoma kufungua?" alifoka

    Pale pale ndipo nikajua kuwa aliyekuwa anagonga mlango alikuwa Manka

    " Samahan nilipitiwa na usingizi baby" nikajitetea

    " Ulipitiwa na usingizi wakati muda mfupi tulikuwa tunachat?" akafoka

    " Nisamehe baby bana" nikaomba

    Sikutaka kumkawiza na pale pale nikamvamia na kuanza kumpapasa na kumpa mabusu ya mfululizo

    Hakuwa na namna ya kuleta upinzani ikabidi na yeye ajibu mapigo

    Tukaanza kuandaana pale ili tuanze mchezo

    Nilijua kuwa na yeye amepata wakati mgumu kutokana na kelele zilizokuwepo kwenye vyumba vingine

    Kwangu mimi nilikuja kwa Manka sio kwa shida ya penzi ila kuna mchezo nilikuwa naucheza pale

    Wakati nikiendelea kumwandaa Manka akili yangu ilikuwa chumba cha jilani ambacho mzozo ulikuwa unazidi kuwa mkubwa

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    " Wewe lazima ulikuwa kwa yule kijana,naomba twende kule" alifoka yule mme wa Amina

    Nikaziba vidole kwenye masikio ya Manka na kuamua kuanza mchezo

    Nilijitahidi kumpa Manka mambo mazito sana ili asijue kinachoendelea kule nje

    Yule jamaa alimchukua Amina na kuanza kumleta chumbani kwangu..

    Wapangaji wengine wakatoka vyumbani na kelele zikazidi kuwa kubwa pale nje

    Manka nikazidi kumshughulikia mpaka akaanza kupiga kelele za mahaba

    Pale nje walishangaa kusikia kwenye chumba cha Manka kelele za mahaba

    " Jaman huyu kijana sio anayefanya na Manka humu?" wakaulizana baada ya kugonga sana chumba changu hakifunguliwi

    Mimi akili ilikuwa nje ila shughuli nilikuwa natoa ya haja

    Mwishowe wakajadilioana na kuja kutugongea

    " Nani huyo msenge anayekatisha starehe za watu" nilifoka kutoka kule ndani huku nikijua nimecheza ule mchezo kama Pele



    ITAENDELEA 

0 comments:

Post a Comment

Blog