Search This Blog

Thursday 19 May 2022

MUWASHO - 4

 





    Chombezo : Muwasho

    Sehemu Ya Nne (4)

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    God alichofanya baada ya kumfunga mikono Monica alitumia kamba nyingine kumfunga miguu ila stairi aliyotumia kumfunga miguu in kuwa aliifunga kwa kuitawanya kila miguu ulifungwa kwenye mti wake,

    Wakati God akiendelea na pilika zake za kumfunga Monica yeye Monica alikuwa akilia huku akijuwa tayari anaenda kufa,



    *yaani naenda kufa bila hata kuacha husia wowote ule kwa familia yangu? Eehh mungu wangu wangu niliyekusahau katika maisha yangu naomba msaada wako nipone katika hatua hii*



    Monica alikumbuka kuomba mungu wake kwani alichokuwa anaona mbele yake kwa mda huo ni kiza cha umauti,



    *ehhh mungu wangu kumbe hiki ndio kifo? Nilihurumie kiumbe wako Mimi*



    God baada ya kuimaliza kumfunga kamba Monica vizuri alisogeza soda yake karibu ili kufanya kazi yake,

    (Katika eneo hilo walilikuwepo ilikuwa ni kijiwe cha wavuta bangi wa chuo hiko na bangi hizo walikuwa wakinunua kwa God mwenyewe kutokana na kuwa kijiwe cha wanafunzi wengi kuna sehemu walikuwa wakihifadhi soda na vitu mbali mbali ndio maana God alipata soda ya kutumia,



    God bila kupoteza mda wala dakika alipofungua ile soda aliipeleka chupa na kuichomeka katika uke wa Monica,

    Kutokana na maumivu aliyopata Monica alipiga ukelele wa nguvu na sauti yake kusafili moja kwa moja mpaka kwenye ngoma za masikio ya Mernah na kufanya mernah kujua alipo Monica na kuongeza mwendo ili kumuwahi,



    God aliizamisha chupa ya soda katika uke wa Monica huku chupa ikiwa imefunguliwa na kuleta maumivu makali sana kutokana na gesi ya coca cola,



    Hakuna kitu kinachooumiza kama hicho, Monica aliumia sana alisikia maumivu makali sana ambayo hajawahi kuyasikia tangu azaliwe,



    Mernah alijitahidi kuwahi ili kuona kama ataweza kuokoa maisha ya skola kwani ukelele aliosikia ulikuwa unaashilia kuwa yuko kwenye hali ngumu sana ya maumivu makali,



    God baada ya kumaliza alichokusudia aliondoka zake ila wakati anatoka tu bila hata dk1 kumalizika Mernah alifika na kukuta Monica yuko Kwenye hali ya sintofahamu akamsogelea akapigwa na butwaa kuona chupa ya coca cola iko kwenye sehemu ya siri kwa Monica,



    "Monica!?...... Monica!!!???.....,"



    R aliita awezavyo ila sauti ya Monica haikutoka kabisa kuitika wito,

    Mernah alijaribu kuigusa chupa ile ili atoe msaada ila alipoigusa tu mtoto wa kike Monica alipiga ukelele wa hali ya Juu sana na kutokana na kuwa alikuwa haongei ukelele ule ulifanya Mernah ajue kuwa maumivu aliyonayo Monica ni makari sana,



    Mernah alichukua simu akampiga Seif akamuomba amkute pale alipo na kweli ndivyo ilivyo kuwa seif alifanya vile alivyoambiwa akaenda na gari mpaka karibu na eneo lile alipokuwepo Mernah.



    "Mernah nipo hapa kwenye maji uko wapi?"



    " vuka maji uje moja kwa moja unafuata nyayo za miguu hujaziona?"



    "Nimeziona Mpenzi sekunde kadhaa nipo hapo,"



    "Sawa Mpenzi,"



    Seif alivuka maji yale kwa haraka sana alipoyamaliza aliona nyayo zingine mbele akajuwa zitamfikisha moja kwa moja mpaka alipo Mpenzi wake, na kweli ndivyo ilivyokuwa Seif aliongozwa na nyayo za miguu mpaka alipo kuwa Mernah,



    "Mernah kuna nini?"



    "Monica ..Monica.....,"



    Mernah aliishia kusema jina la Monica pasipokusema chochote kile Seif ikabidi amshike mkono ili amuulize kulikoni,



    "Kulikoni Mernah? Hebu niambie Monica amekuwaje?"



    "Monica ameumia ona... onaaa......,"



    Seif alipoangalia vizuri alibaini kuwa Monica alikuwa ana chupa ya soda katika uke wake?



    "Khaaa nani kafanya hivi?"



    "Ni mada ndefu kidogo seif kwanza tumsaidie tumpeleke hospital,"



    "Inabidi tupite kwanza Polisi,"

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "Kufanya nini?"



    "Hospital hawatampokea bila kupita polisi."



    Wakiwa katika kutafakali nini wafanye gafla walisikia kishindo kikitokea nyuma yao na kusikia hatua za miguu zikiwa zina kuja walipo.



    Baada ya kusikia hatua zile Seif na Mernah walikimbia ila kukimbia kwao walikimbia wakiwa Monica, Seif alimbeba Monica kisha wakaanza kutafta njia ya kutokea ili watu wale wasiwaone kwani walihisi huenda wakawa ni watu wabaya wanaotaka kuja kumumalizia Monica,

    Seif alikuwa ni kijana shupavu sana na mwenye nguvu kwa hiyo kumbeba Monica takribani Dk3 haikuwa kazi ngumu sana kwake alihangaika naye mpaka wakafika alipokuwa ameacha gari akamuingiza ndani ya gari na Mernah akaingia ndani ya gari kisha wakaianza safari wasiyoijuwa kwani hawakuwa na jibu lasimi watakapo mpereka mgonjwa wao,

    "Sasa hebu tushirikiane huyu mgonjwa tunampereka wapi?"

    Lilikuwa ni swali kutoka kwa Seif kwenda mernah,

    "Si Hospital au wapi?"

    "Nimeisha kwambia kuwa huyu mgonjwa kumpeleka hospital mpaka upite Polisi uchukue PF3."

    "Basi tupite huko polisi,"

    "Una maelezo ya kutosha?"

    "Kuhusu nini?"

    "Kuhusu tukio zima,"

    "Sina maelezo yakutosha,"

    "Sasa tufanye nini?"

    "Wewe utakacho niambia ndicho tutakacho fanya,"

    "Kuna rafiki ni Dokta Mkubwa sana katika Hospital ya tumbi sasa cha kufanya wacha tumpeleke tumbi,"

    "Ungemuuliza kwanza kama yupo,"

    Seif alifanya kama alivyoshauria na mernah alimpigia simu Dokta lvete aliyekuwa akifanya kazi katika Hospital ili kujua kama yupo au laa,

    "Hallow.....,"

    "Mhhhh ni Seif au naota?.."

    "Ni mimi mwwnyewe Seif,"

    "Mmmh leo umenikumbuka?"

    "Ndio, vipi upon kazini?"

    "Hapana nipo nyumbani?"

    "Oky bado unaishi kule kule Mbezi mwisho?"

    "Ndio, unataka uje kunisalimia,"

    "Ndio,"

    "Karibu Mimi nipo,"

    "Sawa, Dk kumi nitakuwa hapo,"

    "Sawa, karibu"

    Seif alijifikilia ataanzia wapi kumweleze Dokta Ivete tatizo walinalo ili hali alimaliza miaka bila kuwasaliana naye na kuna kipindi Dokta Ivete alikuwa akimpigia Seif ila seif akawa hapokei simu akimtumia meseji hajibu,

    *Nitaanzia wapi mbona ni haibu hii nilimkatia mawasiliano bila hata kosa na isitoshe akijua kama mimi na Mernah ni wapenzi atanisaidia kweli?*

    Seif akikuwa akiwaza sana ataanzia wapi kuongea na ila wakati akiwaza alikuwa anazidi kukaribia kufika kwa Dokta Ivete,

    "Mpenzi wangu mbona kama una mawazo sana?,"

    "Kawaida tu,"

    .

    "Nisamehe kwa anaumwaa kwenye matatizo yasiyo kuhusu,"

    "Usihofu haya ni masuala ya kawaida tu mpenzi wangu,"

    Safari iliendelea ya kwenda mbezi mwisho baada ya mda flani kukatika walijikuta wako nje ya Geti la Dokta Ivete,

    "Mernah ningoje kwanza nakuja sawa?"

    "Sawa,"

    Seif alingia ndani akakaribishwa na mwenyeji wake akakaa sebureni wakaanza kusalimiana kama unavyojua tena waliopoteana miaka zaidi ya miaka miwili mitatu salamu zao zinakuwa ndefu sana,"

    "Seif za siku? Za kunigaya?"

    "Nzuri vipi hujambo?"

    "Sijambo kabisa sijui wewe"

    "Na Mimi ni mzima mungu anajalia mdogo mdogo,"

    "Oky basi ngoja nikuandalie kichangamsha kinywa,"

    "Ohh!!! Ila niko na watu kwenye gari wananisubilia,"

    "Mbona hujawaleta ndani?"

    "Kuna kitu nataka niongee na wewe kwanza,"

    "Kitu gani?"

    "Nina tatizo na msaada ni wewe hapo?"

    "Tatizo gani?"

    "Nina mtu kwenye gari anaumwa tena yuko hoi taabani,"

    "Kwanini msimpeleke hospital?"

    "Nikimpeleka hospital itakuwa balaa maana itahitajika karatasi ya polisi na Mimi sina,"

    "Si upite polisi?"

    "Nina maelezo ya kutosha kuhusu mgonjwa kwa kuwa hata Mimi nimefanya kumsaidia tu,"

    "Anaumwa nini?"

    "Amebakwa kisha akawekewa chupa ya soda ukeni,"

    "Nini!!! Seif usiniletee balaa mwenziyo,!?"

    "Nisaidieee.....,"

    "Hapana sina msaada kabisa kwa hilo jambo,"



    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/



    "Kwa hilo jambo siwezi kutoa msaada wa aina yoyote ile,"

    Dokta Ivete alikataa kata kata kumsaidia Seif katika tatizo lililokuwa lina mkabili na kufanya seif kuwa na mawazo zaidi,"

    "Kweli umekataa kunisaidia Ivete?"

    "Seif umenikumbuka Leo kwa kuwa una shida?"

    "Siyo hivyo Ivete,"

    "Ila?"

    "Ivete hayo tngeyaacha kwanza,"

    "Unaumia moyo kwa kuacha kukusaidia? Hebu kumbuka Mimi ulivyoniumiza kipindi kile ulifikilia nina moyo wa chuma?"

    "Siyo hivyo wala nisingependa tufike huko,"

    "Basi yameisha ila msaada kwangu haupo."

    "Sawa, asante."

    Seif hakuwa na namna tena alimuaga Ivete kwa uzuri bila kuonesha chuki yoyote ile na kumwambia maneno mazuri,

    "Ivete wacha nikajaribu kutafta msaada pengine hapa siyo mahala pangu wacha niende mungu aliponipangia,

    "Sawa seif nakutakia mafanikio huko unakokwenda,"

    "Sawa basi tutazidi kuwasiliana,"

    Seif alitoka akafungua mlango hatua zikaanza kuelekea nje huku huku akiwa na mawazo tele kichwani, alipofika kwenye gari Mernah alimshangaa sana kumuona akiwa na mawazo mengi sana,

    "Seif kulikoni mbona hivyo,"

    "Wewe acha tu,"

    "Vipi amekataa huyo Dokta?"

    Kabla seif hajatoa sauti alisikia sauti ya Ivete.

    "Ingiza gari ndani umlete huyo mgonjwa,"

    "Sawa,"

    Seif alirudi katika hali ya kawaida baada ya kuona Ivete amekubali kutatua shida take,"

    Gari iliingizwa mpaka ndani kisha Seif alichofanya alimtoa kwenye gari Monica akampeleka mpaka ndani akaoneshwa chumba husika akamuingiza akamlaza Juu ya kitanda, Ivete alipofunua kitenge ili amuangalie mgojwa alibaki ametaharuki kwa kuona chupa aina ya coca cola ikiwa ndani ya uke.

    "Seif mbona kazi ipo?"

    "Ni hatarii,"

    Yamepita masaa mangapi tangu afanyiwe kitendo hiki?"

    "Masaa manner,"

    "Nipe kale kasanduku nikuoneshe,"

    "Sawa,

    Ivete alianza kazi yake ya utabibu kwa kumtabibu Monica ili kuona kama atachomoka kwenye hatua ya umauti,

    "SEIF, Kazi ni kutoa hii chupa kwanza kisha ndio mambo mengine yatafanikiwa,"

    "Au niivute?"

    "Siyo hivyo unavyofikilia wewe,"

    Ivete alichofanya alimchoma sindano ya kumsinzirisha ili Monica asiendelee kupata maumivu wakati wautoaji wa chupa ile japo Monica alikuwa hakitambui,

    "Seif kazi imekuwa nyepesi kwa mtazamo wangu maana chupa ndio tayari imetoka,"

    "Kwa hiyo sasa hivi yuko poa akimka tunaweza kwenda,"

    "Sikia Seif hili tatizo ni kubwa saba maana soda ile ina gesi sana na imepenyeza mpaka kwa viungo vya uzazi hapa cha kufanya ndani ya siku mbili ili apoteze maumivu kabisa kisha nyie mtakaa naye mumshauri mumpeleke hospital kubwa kwa matibabu zaidi,"

    "Sawa ninekuelewa ulichokisema Ivete nitafanya hivyo,"

    "Sawa,"

    ******* ******* *******

    Upande wa pili God alitoka akaenda ghetto kwake akiwa anaamini kuwa Monica hatapona atakuwa amekufa na hakuna MTU aliyeona,

    Ila kwa upande wa Chuo habari zilikuwa zimetapakaa kuwa Monica alionekana sehemu akiwa amekufa, na Monica zilimfikia habari hizo akaenda kumtafta Monica chumbani kwake ila hakumuona alipopiga simu yake ilikuwa inaita bila kutoa majibu,

    *Mungu wangu Monica amekufa? Hapana au wamemuona Mermah? Ngoja nimtafte Mernah kwenye simu,"*

    Alimpigia na Mernah ila nayo haikupokelewa kabisa akabaki anawaza sana,

    *mhhh mbona sielewi Mimi wote kwanini hawapatikani? Mbona ni mtihani huu jamani ngoja nimpigie God nimuulize,*

    Mernah alimpigia God kutaka kupata uhakika wa mambo mawili kwanza kujua Monica kama ameuuwa pili kujua kama Mernah kaisha uliwa pia,

    "God niambie kwanza hivi wewe ndie uliyemuuwa Monica?"

    "Monica yupi?"

    "Sikia nijibu kwanza hili swali jingine Mernah umemuuwa?"

    "Mernah? Hapana, kwani amekufaMo

    "Ina hisiwa hivyo,"

    "Hapana, alafu uliniuliza mdada mwingine nani vilee??."

    "Monica,"

    "Mrefu mwenye umbo la mkato mkato macho yake ya mviringo?"

    "Ndio,"

    "Huyoo nimemuuwa,"

    "Nini? Mke wangu umemuuwa?"

    "Mke wako?"





    "Mke wako?"

    "AAA!!!... Niambie umemuuwa kweli!?"

    "Ndio ilaa..ilaaa....,"

    "Ila nini?"

    "Sikia nikwambiee yule binti alijua mipango yetu alikuwa nyuma ya dirisha wakati tunaongea kuhusu kumuuwa Mernah,"

    "Hata kama alijua hakufaa kuuliwa yule ni mtu mhimu kwangu,"

    "Ndio hivyo imeisha tokea sasa hakuna uwezo kurudisha roho yake,"

    ****** ********* ********

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Upande wa pili Ivete alikuwa akiendelea kutoa huduma kwa Monica ili aone kama anaweza kuwa kurudi katika hali ya kawaida japo kwa asilimia 50%, baadhi ya vifaa vingine alimtuma SEIF akavilete katika hospital aliyokuwa anafanyia kazi ili kujaribu kurahisisha matibabu,

    "Seif mtu aliyefanya haya nini?"

    "Kufanya nini?"

    "Kumchoma huyu binti chupa katika sehemu zake za siri?"

    "Sifahamu chochote kwakeli,"

    "Kama hufahamu umemleta vipi hapa"

    "Anaye fahamu ni yule binti aliyeko sebureni,"

    "Seif hebu niambie kitu kimoja hivi bado unanipenda kweli?"

    "Ivete tumalize kumganga kwanza huyu mgojwa hayo tutayaongea baadaye,"

    "Mgonjwa inabidi apumzike kwanza mpaka hiyo dripu imalizike,"

    "aahh!!"

    "Niambie kitu Seif,"

    "Lakini Iteve miaka yote miwili iliyopita hatuko pamoja hujapata mwanaume mwingine,"

    "Sijamkosa, ila sijapata ninayempenda kama wewe ninavyo kupenda,"

    "Ivete hayo tutayazungumza siku nyinine au mda mwingine,"

    "Mimi nataka sasa hivi,"

    "Ivete nielewe basi,"

    Ivete hakuelewa alichofa alimdaka Seif mdomo akaanza kuunyonya huku mikono yake ikiwa katika sehemu mbali mbali za mwili,"

    "Ivete hebu acha basis,"

    Seif alimtoa Ivete asiendelee kumnyonya nyonya,"

    "Seif miaka miwili yote iliyopita sikuwahi kuwa na mwanaume tafadhali badili karenda yangu,"

    Ivete alikuwa moto tena moto wenyewe wa kifuu, alikuwa kama mtu mwenye njaa ya wiki ameona siku hiyo chakula,

    Ivete alirudi tena kwenye mwili wa Seif na kuanza kumnyonya ila safari hii na seif akimpokea wakaanza kudendeka huku wakipapasana kimahaba ili kuongeza chachu ya mamaneno

    Hali hiyo ya kudendeka ili hali kuna mgonjwa mahututi mbele yao ilinifanya nimkumbuke Mtunzi wa mashairi wa zama za kale aliyeitwa Seif Jabu alitunga shairi hili,

    *mapenzi ni upofu......mapenziii....

    *Mpenzi nipe dira......mpenziii.....

    *nitakosa muelekeo..Mpenzi wee...

    *mbele sionii nyuma sihisiii.......

    Hayo maneno ya Mtunzi yalikuwa kweli kabisa kwani mapenzi yalimfanya Ivete asione mbele kama kuna mgonjwa mahututi wala asihisi kama Mernah yuko sebureni anaweza kuingia ndani wakati wowote,

    Denda ziliendelea na kushikana shikana kulizidi mala dufu mpaka ikafika hali ya kuanza kupunguziana nguo katika miili ya,

    Dakika kumi ni nyingi sana kila mmoja alikuwa kama alivozaliwa na mama yake na kiwanja cha Iteve kilianza kutoa umaji maji kuashilia kuwa kiwanja kiko tayari kwa michuano, Seif naye aliona akikaguwe kwa kukishika kwa kutumia mkono wake ila katika kukikaguwa alitumia ujuzi wa vidole haswa kidole cha kati kwani alikuwa kama anaandika jina la muwekezaji katika kiwanja hicho,

    Kiwanja kilizidi kutota na Seif naye akazidi kukifanyia maboresho kwa kutumia kidole chake cha kati,

    Seif alitumia kidole kuchezea kila kona ya kiwanja alienda zaidi mpaka kwenye kuta za ndani na kuanza kuzichonoa kana kwamba anatafta mchanga mdogo uliokwama humo,

    Ivete aliona wapi subira ilimuuwa fikira, alichofanya alianza kufanya utundu wake ili seif amalize mambo,

    "Seeee....if, axciiii.....ohhhuueee....ingizaaa...,

    Ivete alianza kuomba timu iingie uwanjani kwani maandalizi aliyofanya aliona yanatosha kabisa,

    " Seiiifff.....awuuueee ..... Hapooo seif....seif....ashiiiii......usitoeee kidole hapooo..... Ayiweee,

    Seif alikuwa amefikisha kidole katika ukuta wa tatu akakutana na tugoroli akaanza kutupiga na kidole chake kwa mfano wa kijiji cha katelero,

    "Seee.....if seif......sitokuachaaa....uchukuwa vyoteee mpaka moyo wanguu.....,"

    Ivete alianza kutema cheche ya maneno kwa seif mpaka kufikia kumwambia na moyo auchukuee..

    "Seiiiiif... Ahuuuu....wweee.... Ayii....



    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Wakati yote hayo yakiendelea kumbe tayari mgonjwa alikuwa ameisha pata fahamu,

    Monica aliposhituka kutoka usingizini alijionea mambo ambayo yalimshangaza cha kwanza alishangaa hapo alipo kafikaje? Pili alijiuliza kuhusu kile kitenda kinachoendelea pale kwa nini kinafanywa mbele yake?

    *Mbona sielewi kinachoendelea hapa? Niko wapi hapa? Nimefikaje hapa?*

    Monica alijiuliza maswali ila katika yote alikosa majibu take akabaki kushangaa kinachoendelea pale katika chumba hicho alimocho,

    Seif alizidi kumchezea mtoto wa kike mpaka akakosa cha kufanya kwani kadiri seif alivyozidi kuchezea groli zile ndio akishi zilizidi na kumfanya mtoto wa kike kukosa mwelekeo akabaki akitoa miungurumo ya kila aina,

    "Seif....seeee......iiiiiif.....axsssiiiii......hapoooo.....aaahhh.....,"

    Seif aliona wazungu wasitoke bila sapoti ya mtalimbo ikabidi amtaftie pozisheni ya kumbanjua ili waende sawa sawiya,

    Seif aliona hakuna sehemu nyingine ya kufanya tendo lile bali ni nikumshikisha kitanda cha mgonjwa kisha wamalize haja zao,

    "Shika vizuri hapo nikuoneshe,"

    "Wapi?

    " kwenye kimgonjwa

    Hali ilikuwa ngumu kwa mgonjwa kwani jinsi mchezo ulivyonoga ndivyo na yeye alikuwa akipata hisia,

    Seif alibuni stairi aina ya Kobe katika kumkunja Dokta Ivete, Ivete aliisikia ikiwemmlangooingia alishindwa kujizuiya akapiga ka ukelele kaliko safiri mpaka kwenye masikio ya Monica na haikuishia sauti hapo kwani ilipasua mpaka kwenye kitasa cha mlango ikaenda moja kwa moja mpaka kwa Mermah aliyekuwa sebuMernah

    *mhhh kuna nini huko mbona hii sauti siyo Monica kusema analia kutokana na maumivu*

    Mernah aliwaza akawazua akaona hata ngoja akaangalie kuna nini huko,

    Mernah alikimbia mpaka kwenye mlango wa chumba akapiga chabo ila alishindwa kuona lakini wakati anatoa jicho pale kwenye kitasa gafla alisikia sauti miguno akaweka sikio kusikiliza na alichosikia hakuamini,

    "Seeee.....if weeeeee.......axsiiiiiii.... Naisikiaaa.....aaaa..... naiii...sii...kiaaa...,

    *mhhh ni masikio yangu au nasikia vibaya? Hapana lazima niingie nijue nini kinachoendelea*

    Mernah alishika kitasa cha mlango akakiminya kisha akasukuma mlango taratibu bila mtu kusikia, ila wakati anaufungua mlango tayari Monica aliisha ona mlango unafunguliwa akatoa macho vizuri ili ajue nani anayeingia ndani ya chumba hicho kwa kunyata,

    Monica alikuwa makini kuangalia mlangoni ili ajue ni nani anayetala kuingia humo ndani kwa kunyatia kwa upande wa pili seif na mwenziye hawakuwa na habari kabisa walikuwa wakiendelea na mikandamizo kwa kwenda mbele,

    Wakiwa wana endelea na makamuzi yao upande wa mlangoni mlango ulifunguliwa na Mernah akaingia ndani ila kabla hajaona vizuri nini kinachoendelea Monica alimuona Mernah na bila kuchelewa alipiga kelele,

    " muuajiiiii......ananiuwaaa.......,"

    Ukelelewa ule ndio ulio washitua Iveteali Seif na kuacha kuendekea na mchezo wakatoa macho ili kuona nini kinacho endelea,

    Seif alishituka sana kumuona Mernah akajua hali imeharibika, ila kwa upande wa Monica aliendelea kupiga kelele ya kuomba msaada,

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Monica alikuwa alikuwa akijuwa kuwa mpangaji wa mauaji Juu yake au aliyefanya akaata mateso yote yale ni Mernah hakuna mwongine,

    Seif na Ivete walianza kumtuliza Monica ila haikuwa kazi rahisi kwani fikira zake zilikuwa zikimtuma kuwa Mernah ndie anaye taka kumuuwa,

    Hisia hizo zilikuja namna hiyo kutokana na kusikia maneno kutoka kwa God na Skola wakimsema Mernah ila alinukuu vibaya kwani alivyosikia alisikia ya mhitasari hakusikia habari kamili,

    "Seif ulikuwa unafanya nini?"

    "Hakuna kitu,"

    "Seif kweli kwenye matatizo unaendekeza mapenzi? Unanisariti nikiwepo? Kwanini basi hukuniambia mimi nirudi chuo ili upate mwanya wa kufanya mambo yako kwa huru?"

    "Siyo hivyo?"

    "Seif unata kuniambia nini? Kuwa hunipendi? Niambie kwa maneno na siyo kwa vitendo,"

    "Usifikiliye mbali hivyo,"

    Wakati wakiongea Monica Alizikusanya nguvu kisha akataka kujiinua pale alipo kuwa amelala na mkononi akiwa na kitu chenye ncha kali,







    Monica alijitahidi ili kuona kama ataweza kufanikisha zoezi lake la kumjeruhi Mernah aliyekuwa ana amini kuwa ndiye aliyetaka kumuuwa,

    "Seif naomba tuachane kwa amani wala sihitaji matatizo mengine tena kwani matatizo niliyoyapata kwa sababu nahisi yanatosha."

    Dokta Ivete aliingilia kati na kuanza kuongea maneno yaliyokuwa siyo ya kumtia moyo Mernah japo aliyaongea kwa upole na mafumbo.

    "Siku zote ngazi ina mwisho na siyo kama tunavyosikia kuwa Dunia haina mwisho, kingine nataka nikwambie kuwa kukata tamaa saa nyongine ni vizuri kuliko kutaka ushindi utakaokuweka katika shimo la Giza milele."

    "Asante kwa maneno yako mazuri na yaliyo ujenga moyo wangu kwa zege,"

    Baada ya kuongea maneno hayo Mernah aligeuka na kuangalia mlango kisha akajiweka tayari kuondoka ila kabla bata hajapiga hatua alisikia kitu chenye ncha Kali kimemchoma ile kugeuka aliona ni Monica ameshikilia bomba la sindano akajua kuwa kilichomchomo ni sindano,

    "Monica siwezi kukuchukia wala kuona vibaya kwani mzigo wa mawazo ulioubeba Juu yangu huna ukweli nao,"

    Baada ya kuongea hivyo Mernah aliondoka zake na maumivu yake huku akiwa na mawazo tele Juu ya ya kuvunjika penzi lake na seif.

    ************

    Mambo yalikuwa mambo mkorogano ulikuwa mkubwa japo Mernah aliamuwa kujitenga Seif ila misuguano bado ilikuwa mikubwa kwani Dokta Ivete aliona bado ana kazi ngumu ya kujihakikishia kuwa Seif ni wake peke yake,

    "Seif mbona kama una mawazo ya mbali sana."

    "Nitaachaje kuwa na mawazo wakati siku tatu zimekatika bila kujua alipo Mernah,"

    "Sasa unataka ujue alipo ili iweje?"

    "Ili nijue kama yuko salama,"

    "Na ukiisha jua kama Yuko salama inakuwaje?"

    "Nitafurahi kama takuwa mzima kwani sipendi apate shida."

    "Atazipata tu shida mwaka Juu kwani kakutana na mkono wa Upanga,"

    "Hivi kakufanyaje mtoto wa watu mbona unamuombea mabaya,"

    "Alichonikosea nakijuwa mwenyewe,

    Maisha yaliendelea na hali ya Monica ilizidi kutengamaa na kurudi katika hali yake ya zamani, katika siku alizokaa pale kwa Dokta Ivete alikuwa akimuuliza ni nani aliyemleta hapo,

    " Dokta hivi ni nani aliyenisaidia mpaka nikafika hapa ukaanza kunitibu?"

    "Tulikuogota Mimi na Seif,"

    "Mlipajuaje pale nilipokuwa?"

    "Ni hadithi ndefu sana tuyaache tumshukuru mungu kuona unaendelea vizuri,"

    ************

    Upande wa uongozi ulikuwa ukihojiwa Juu ya taarifa za kapotea kwa mabinti wawili pale chuoni,

    "Sema ukweli hatujapata habari yoyote iliyo ya kweli kuhusu walipo Monica na Mernah,"

    "Hata funu funu hamna?"

    "Fununu zilizopo ni kuwa Monica aliuawa ila hatuna taarifa hizo kiundani zaitukn

    "Aliyeongea taarifa hizo ni nani huenda tukimuona tukafanya naye maongezi tutapata muongozo wa kupata ukweli,"

    "Tunashindwa kumsema kwa kuwa polisi tunawajua mnavyomchukulia mtu hatua hata kama hana kosa,"

    "Basi kama ni hivyo hamtaki kutuambia mhusika tutaondoka na wewe mkuu wa shule mpaka pale upelelezi utakapo kamilika,"

    "Mkitaka kufanya hivyo sawa si mko Juu ya sheria,"

    "Basi bila kutumia nguvu nyanyuka tuongozane,"

    Mkuu wa chuo hakubisha alitii kile alicho ambiwa akaongozana na maofisa wale wa jeshi,

    Wakati polisi wakitoka katika ofisi ya mkuu wa chuo tayari huko nje wanafunzi walikuwa na taarifa zote kuhusu mazungumzo yaliyofanyika huko ndani wakajipanga kuzuiya Mkuu wa Chuo asipelekwe polisi,

    "Hatukubaliiii..........."

    " hatukubaliiii..........."

    "Hatukubaliiii..........."

    Zilikuwa ni sauti za wanafunzi wakipinga mkuu wao wa chuo kupelekwa polisi,

    Polisi baada ya kuona wingi ule wa wanafunzi na kelele zao walitumia hakili ndogo wakafyatua risasi hewani kilichotokea ni kuwa wanafunzi walivaa polisi bila uoga na kuanza kuwapinga huku bunduki zao wakizitupa pembeni na kuziharibu haribu.

    Taarifa zilifika kituo kikuu cha polisi FFU wapatao mia moja wakatumwa chuoni ili kutuliza fujo na kuokoa Askari wenzao waliokuwa wakipokea kipigo cha umbwa mwizi.

    FFU walitumia nguvu kubwa sana kutuliza gasia katika eneo la chuo ila jitihada ziligonga ukuta kwani wanafunzi walikuwa moto zaidi moto wa kifuu.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog