Search This Blog

Thursday 19 May 2022

TOTO LA KIMANGA - 5

 





    Chombezo : Toto La Kimanga

    Sehemu Ya Tano (5)





    Nilibaki Odini nikimuangalia shemsa ili kuona kama ataweza atarudiwa na fahamu zake,

    Nikiwa pembeni mwa kitanda alicho lalapo shemsa nilikuwa nikifanya maombi kwa mungu ili shemsa aweze kurudi Katika hali yake,



    "Kijana huyo mgonjwa ni nani yako?

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "Ni mke wangu huyu mama,



    "pole kwa matatizo mwanangu,



    "asante mama yangu,



    "kwani alipatwa na nini huyo binti?



    "Ni historia ndefu mama yangu labda nikueleze kwa kifupi,



    Nilimsimlia yule mama kwa kifupi matatizo yalipoanzia mpaka alipopatwa na matatizo shemsa,



    "pole sana mwanangu sasa huyo dada yake hajaja hata kumjulia hali mdogo wake?



    "hapana sijamuona kuja hapa hospital na siku ya kwanza namleta huyu mke wangu hapa hospital nilimpa taarifa kwani nilipata namba yake kwenye simu ya mdogo wake,



    "pole sana vipi kuhusu ndugu zake wengine hujawataalifu?



    "Niluwataalifu mama ila ndugu wa siku hizi si unawajua Tena?



    "Na mama yake ulimpa taarifa au baba yake?



    "mama yake naye naye anaumwa yuk

    [1/15, 18:02] Lazima maisha yaendelee: Yuko hospital ila sijui anaumwa nini na amelazwa wapi ila mungu akipenda kesho nataka nimtafte shangazi yao aniambie mama yao atakuwa amelazwa wapi ili nikamjulie hali niangalie ana tatizo gani ili niweze kumsaidia na yeye kwani najua na yeye atakuwa kwenye wakati mgumu,



    "Hongera sana mwanangu kwa roho nzuri ya kuwatendea mazuri wenzako,



    "asante mama ila ni wajibu wa kila mwanadam kumsaidia binaadamu mwenzie,



    Tuliongea mengi mama yule akaniambia ugonjwa wake unaomsumbua wa mgongo,



    "pole sana mama kwa kuugua ila naahidi kuku saidia hilo tatizo lako na utapona kabisa,

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "nitashukuru sana kama utafanikiwa kunirudisha Katika hali yangu ya zamani maana hapa sinyanyuki wala sitembei kwa sababu ya mgongo,



    "sasa mama acha mimi niende kukutaftia dawa kuanzia sasa hivi usinywe dawa za hapa hospital nisubili niende kuku letea dawa uanze dozi,



    Niliondoka ili kuelekea kwa mzee mmoja niliyekuwa namuamini kwa kutibu kwa kutumia mitishamba na istoshe kuna mtu nilikuwa namfahamu alimtibu uti mgongo,



    ***** **** *****

    Upande wa pili Najma na chaz,



    Najma alikuwa akimjibu kwa nyodo chaz kwani alikuwa hamjuwi na pia alikuwa hajui kama ndie mwizi wa zile pesa yeye anazozihangaikia,



    "dada ukali hausaidii kitu kwani sisi wote ni binaadamu,



    "unajuwa kuna kuwa mtu ana mawazo mpaka anahisi dunia Nzima ameibeba kwa hiyo lazima mtu uwe mkali,



    "Una maswahibu gani mpaka unahisi umebeba dunia?



    "mdogo wangu ametekwa na mama yangu amelazwa hospital,

    Waliomteka mdogo wangu wanahitaji pesa million 500, Mama anahitaji kupelekwa India kwa matibabu, Kwa hiyo lazima nichanganyikiwe,



    "pole sana dada yangu, duhh Itabidi nikusaidie japo mchango wa pesa kidogo,



    "nitashukuru sana kaka yangu,



    "sawa ila tufahamiane kwanza hata kwa majina,



    "mimi naitwa Najma sijui wewe hapo?



    "mimi naitwa chaz jina langu,



    "chaz chaz umesema chaz?....

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Najma alionesha kushituka sana na jina hilo sijui alibaini nini?





    "chaz chaz umesema chaz?

    Alioneshwa kushitushwa na jina hilo,,

    "Ndio naitwa chozi, kwani vipi unanifahamu.?.

    "hapana jina hilo nalifananisha tu kama vile Niliwahi kulisikia sehemu,

    "ok, duniani majina ya chaz ni mengi sana sio mimi peke yangu,

    "sawa, Kwa hiyo kaka yangu utanisaidiaje Katika hayo matatizo yangu?.

    "twende kwenye gari kwanza tuongee vizuri,

    Waliongozana mpaka kwenye gari walipofika waliingia na chaz akamuomba Najma waende kuongelea nyumbani kwake, Najma alikubali bila kusita kwani tayari aliona anaweza kupata pesa kutoka kwa chaz,

    ***** **** ******

    Upande wa pili......

    Chirs alihangaika kumtafta yule mzee ili aone kama anaweza kumpa dawa za kumtibu yule mama uti wa mgongo,

    Alifika kwake akaambiwa ametoka ila alipoelekezwa alipokwenda mzee yule chirs alimfuatilia huko huko mpaka hatimae alimuona,

    "mzee wangu Shikamo,

    "Marahaba hujambo mjukuu wangu?.

    "sijambo mzee wangu habari za masiku mengi mzee wangu?..

    "sijambo mjukuu wangu, Nashukuru kwa msaada wako kipindi kile wakati nina hali ngumu ulinisaidia sana sijawahi kumuuona kijana kama wewe hata wanangu wa kunizaa walinitelekeza kipindi kile ila wewe nisiye jua hata kitovu chako kilichimbiwa wapi ndie Ulinisaidi mungu akuzidishie sana mwanangu,

    "asante sana mzee wangu kwa dua nzuri vipi lakini hali yako kwa sasa?.

    "sasa hivi namshukuru mungu kwani dawa nilizo gundua kama tatu hivi zinaniingizia kuna dawa kutibu mtu aliye palalaizi, uti wa mgongo, Na zinginezo ila hizo mbili ndio zimenisaidia sana kwenye group kupata kipato,

    "Hongera kwa ubunifu mzee wangu mungu akuweke miaka mingi sana,

    "amina,

    Baada ya kuongea mengi nilimsimlia matatizo niliyokumbana nayo mpaka hapo nilipo, zikumficha hata moja hata namna nilivyo pata pesa kwa wale wahindi nilimuelezea mpaka nilivyokutana na shemsa na kuibiwa pesa kila kitu nilimusimulia,

    "Pole sana mjukuu wangu kabla ya yote Chukua pesa laki tano itatusaidia nilikuwa naenda kununua mabati ila nikanunua kesho, Alafu Chukua hii dawa ya mti wa mgongo ukampake huyo mgonjwa kwenye zile pingili za mgongo umpake huku unasugua kidogo leo jioni hii na usiku saa sita alafu na kesho asubuhi Ukimaliza utanipa majibu,

    "sawa mzee wangu nashukuru sana,

    "usihofu maisha kusaidiana, Saa mimi acha nirudi nyumbani nikachukue dawa nyingine maana hiyo niliyokupa kuna mtu nilikuwa nampelekea,

    "sawa mzee wangu asante sana,

    "saa mjukuu wangu wewe wahisha hizo dawa ila usisahau shemsa akipata fahamu njoo nikupe dawa kuhusu hilo tatizo madokta wanalolisema atapata baada kupata fahamu,

    Nilirudi hospital ila nilijiuliza nitampaka vipi mimi yule mama dawa?. Nitamuomba nesi anisaidie,

    Nilifika nikamweleza kuhusu ile dawa na masaa yake,

    "mda si ndio huu nipake basi hiyo dawa,

    Mama aliacha mgongo wazi ili nimpake ile dawa

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Haibu niliziweka pembeni nikampaka dawa baada ya kumaliza nilirudi kwenye kitanda cha shemsa nikamuangalia kwa jicho la huzuni sana huku nikiongea mwenyewe,



    *nakupenda sana shemsa wewe ni binti wa ndoto zangu wewe ni kila kitu kwangu nitakupenda kwenye uzima na maradhi wala sitokutenga*



    Mama yule alikuwa akisikia maneno yangu ninayo mwambia shemsa machozi yakawa yana Mtoka kwa wingi,

    Nilikuwa najiuliza kwani nini yule mama alikuwa anaonekana ni mwenye mapenzi makubwa kwa shemsa kwani alikuwa akilia sana kila alipokuwa akimuangalia,



    ***** **** *****

    Upande wa pili............

    Najma akiwa na chaz walifika kwa chaz wakaanza maongezi,



    "kwa hiyo Najma ulikuwa unahitaji kiasi gani cha pesa?



    "shida tangu ni kupata million 500 ili niweze kupata pesa za kumkomboa mdogo wangu,



    "million 500 sina ila cha kufanya nitakupa million 300 ila sijui utazilipa vipi?



    "kuna mchongo wa pesa nafuatilia nikipata tu nakupa pesa yako,



    "ukikosa je maana pesa kama haiko mkononi huwa haina asilimia 100 kuipata,



    "nitauza nyumba yetu nikulipe pesa zako,



    Chaz alichukua kitabu chake akamuandikia cheki ya million 300 Najma kisha akamkabidhi,

    Najma hakuamini kama kweli alikuwa na wasi wasi huenda ikawa cheki feki,

    Baada ya kupata cheki Najma aliaga ila chaz akamzuiya,



    Chaz alipeleka mkono wake mpaka kwenye kiuno cha Najma na kumvutia kwake,



    "Najma roho mbaya hiyo yaani uondoke bila hata kunipa joto?.



    Najma macho yalimtoka kwani hakutegemea kukumbana na hiyo kabisa,



    "chaz kwani hayo ndio makubaliano yetu?.



    "Siyo makubaliano yetu ila hata wewe mwenye unajiongeza tu,



    Wakati chaz akiongea hayo yote alikuwa akizidi kumpapasa Najma maeneo ya kiuno mpaka mgongoni,

    Najma alijiuliza kukubali au kukataa n pia alikuwa na wasi wasi huenda cheki ile ikawa feki,



    "mtoto mzuri sikia basi sikia wewe kwani ukinipa nitaibandua si nafanya tu alafu unaondoka nayo,



    "chaz mimi haya mambo sikuyazoeya kabisa wala siyo flani yangu kabisa,



    "ukisema hivyo unakosea kabisa hii ndio fani ya kila mmoja hapa duniani mpaka wanyama,



    Hali ilikuwa tete kwa Najma kwani pesa anazitaka ila kutoa utamu hataki,

    Chaz aliendelea kumchezea hivyo hivyo hatimae Najma akaona potelea mbali acha nitoe tu kwani nitapungukiwa nini nikimpa si itabaki kuwepo tu,



    Najma alisaula baada ya kumaliza chaz naye akasaula akambeba Najma mpaka chumbani,



    "soohhuu Aaahhhhh..... Taratibu basiiii chazzzz..... Siyo plasitiki hii......



    ***** ***** ******

    Ilifika usiku nikaenda kununua chakula kizuri nikamletea yule mama akala na mimi nikala, Tukiwa tunaongea mawili matatu gafla akatokea akaingia dokta Nasra,



    "Jamani mimi natoka zamu tutaonana kesho mungu akitupa uzima,



    "sawa na wewe ufike salama nyumbani na kesho tuonane tukiwa wazima,



    "asante kwa DUA, Alafu niliwambia uongozi kuwa uendelee kuwepo hapa odini kama mama alivyoomba na wamekubali kwa hiyo chirs kuwa huru,



    "sawa asante dada yangu,

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Usiku ulifika mda wa saa sita nikampaka dawa tena yule mama,

    Asubuhi palipokucha nilirudia kumpaka tena dawa,

    Mida ya saa mbili nikatoka kwenda kununua chai ula niliporudi Nilisitaajabu kumuona yule mama hayupo kitandani kwake yuko kwenye kitanda cha shemsa alafu amemshikilia shingo,





    Nilisitaajabu kama siyo kushangaa kuona mama yule kasimama wakati alikuwa ni mtu wa kitandani tu,

    Kitu kungine kilicho nishangaza nikumuona akiwa pembezoni mwa kitanda cha shemsa huku amemshika shingo,



    Nilisogea karibu kabisa na kitanda nikaangalia ni nini mama yule anachokifanya,

    Sikuamini kuona shemsa amerejewa na fahamu zake kumbe wakati mama yule amemshika shingo alikuwa amemuinua kichwa ana ongea naye,



    "maaa.... maaamaaa.... Maaa..... maaamaaa....



    Shemsa alikuwa akijaribu kuita mama mama.... Kwa tabu sana,

    Nilisogea karibu yao nakumuangalia usoni shemsa alionekana ni mwenye maumivu makali sana ila sikujuwa anaumia wapi haswa,



    "chirs hebu nenda kamwite dokta haraka maana hali yake siyo nzuri,



    "sawa mama ngoja niende kumwita,



    Ile natoka tu kabla sijafungua mlango mala dokta nasra akawa ameingia ndani,



    "karibu dokta habari ya asubuhi?...



    "Nzuri, vipi unaendeleaje na wagonjwa maana umekuwa muuguzi,



    "wagonjwa wanaendelea vizuri sana dokta Nasra kapata fahamu ila anaonekana ni mtu mwenye maumivu makali sana,



    "kama kapata fahamu ngoja nije,



    DOKTA alitoka mbio sana mpaka nikajiuliza kulikoni?

    Baada ya dakika chache dokta Alirudi akiwa na sindano,



    Alipomuangalia Shemsa alitikisa kichwa kilicho fuata alimchoma sindano Baada ya dakika moja isiyozidi Shemsa alilala usingizi makali,



    "mwacheni alale akiamka atakuwa vizuri sana na mtaongea naye,



    "sawa dokta ngoja tuvute subila,..



    "heee nilikuwa sijakuona mama unatembea?



    "ndio, mwanangu natembea jana mwanangu huyu kaniletea dawa nilishangaa asubuhi nasikia nina nguvu Shemsa alipopata fahamu alianza kuita chirs chirs ndipo na mimi nikajaribu kutembea nashukuru mungu niliweza kila dakika napata nafuu najisikia vizuri kwa kweli,

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "chirs hongera kwakweli kwa kumtibu mama,



    "asante sana na wewe hongera kwa kututibia mgonjwa watu,



    ***** **** ******

    Chaz alizidi kukamatilia mzigo wa najma kihaswa akatia madoido na kachumbali nyingi ili kumnogesha mtoto wa kike,

    "chazzzz basiiiiii bwanaaaa..... Aaaaahhh...... Chazzzz chazzzz,

    Najma alionekana kunogewa na mchezo akaanza kupiga filimbi utazani mlinzi,

    Jinsi dakika zilivyo katika Najma naye alianza kuonesha ushirikiano kwa Chaz kwa kukata kiuno kama anacheza dogori la kikelewe,



    Hatimae asubuhi palikucha najma alijikuta analala kwa Chaz bila kukusudia,

    Asubuhi palipo kucha Chaz akiwa bafuni Najma alianza kupekuwa mle ndani juu ya meza alishituka alipo kutana na karatasi ya bank iliyokuwa imeandikwa jina la Shemsa ambaye ni mdogo wake,

    "haaa inamaana huyu ndiye aliyeiba zile pesa za Shemsa?



    Najma alishitukia mchezo ila wakati anajaribu kuangalia vizuri ile karatasi chaz alirudi kutoka bafuni Najma aliacha kuendelea kufuatilia ile karatasi akarudi haraka akakaa kitandani,



    "vipi mbona umeamka mapema sana Najma?



    "Si kumekucha ulitaka nilale mpaka saa ngapi?.



    "kwa hiyo sasa hivi unaenda wapi nyumbani au wapi?.



    "naenda nyumbani kwanza kwani hujui nimekuja kwako saa ngapi?



    "Najma mbona umekuwa na hasira hivyo? Unanitolea majibu makari,



    "kwa hiyo unataka nicheke cheke kama tahira flani hivi, yaani nilale nje ya nyumbani alafu nifurahie?



    "sijasema hivyo naomba unisamehe kama nimekosea sikutaka kukuudhi,



    Najma hakujibu chochote alinyanyuka na kuelekea bafuni akaoga, Alipomaliza kuoga alivaa kisha akaaga,



    "mimi naenda nyumbani tutaonana mungu akipenda,



    "Najma umenisamehe lakini? Maana naona umekunja ndita?.



    "hayo yameisha isha wala hayako akilini mwangu sasa hivi nawaza kufika nyumbani tu,



    "basi ngoja nikupeleka nyumbani sawa?



    Najma hakujibu kwa kuitika ila alijibu kwa kutikisa kichwa,

    chaz alitoka na Najma wakaingia kwenye gari na kuanza safari ya kwenda kwao na Najma,



    ***** **** *****

    Hali ya shemsa ilinipa matumaini kabisa kuwa atapona,

    Kwa upande wa yule mama hali yake ilizidi kuwa nzuri na kila nesi aliyeingia Odini alishanga sana kwani hakuna aliyeamini kuwa mama yule anatembea na kufanya mazoezi madogo madogo,

    Nilikaa pembeni ya kitanda cha shemsa nikamshika mkono nikaanza kuongea kama naongea naye,



    "shemsa nakupenda sana naomba ukipona usinisahau kumbuka kipindi kile kabla hujapatwa na maradhi nilikwambia kuwa mimi ni masikini ila ni tajiri wa penzi lako, ukija kuishi na mimi kamwe hutojutia,



    Wakati naongea yote hayo kumbe yule mama alikuwa mlangoni amerejea kutoka kufanya mazoezi ya kutembea alisimama mlangoni akasikiliza yote niliyokuwa naongea,



    "chirs mwanangu Usiwe na mawazo mengi sana kiasi hicho shemsa ni wako tu,



    Nilishitushwa na sauti ya yule mama kwani sikujuwa kama alikuwa nyuma,

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Niligeuka nikamuangalia yule mama kisha nikainama chini, hakujuwa nini nawaza ila mimi nilikuwa nawaza kama kweli shemsa atakubali kuolewa na mimi kwani hakuwahi kunikubalia kuwa ananipenda,

    Nikiwa katika mawazo mengi nesi aliingia akaniita,



    "Chirs unahitajika kwa dokta Nasra,



    "sawa nakuja,



    Nilitoka na kwenda kumuona dokta Nasra ofisini kwake kusikia anataka kuniambia nini?.



    "dokta nimekuja kwako kuitika wito wako,



    "karibu kaka yangu wala sina mengi ya kukwambia nilitaka kukwambia hivi kuwa naomba ukamuoshe shemsa,



    "nitamuosha vipi ili hali mtu mwenyewe hana fahamu?.



    "utachukua kitambaa uwe unakiroweka kwenye maji alafu unamfta sehemu zote za mwili,



    "sawa ila si unajuwa yule mama yuko pale nitamuosha vipi?



    "Nenda umwambie namuita alafu wewe uanze kazi yako Ukimaliza Chukua hizi namba zangu tutawasiliana,



    Nilishituka sana kusikia maneno ya dokta kuwa nikamuoshe shemsa Nilisitaajabu sana ila sikumuonesha dokta Nasra wasi wasi wangu kwani walikuwa wakijuwa ni mke wangu,



    Baada ya kupewa utaratibu huo nilitoka nikaenda odini nilipofika nilikuta mama yule anafanya ibada nikaona nimsubili kwanza amalize ibada,

    Baada ya dk15 alimaliza kufanya ibada nikamsemesha,



    "naona unafanya ibada mama yangu?.



    "Ndio mwanangu nilikuwa nina miezi miwili sijafanya ibada kutokana na maradhi yangu,



    "nikumshukuru mungu sana kwani yeye ndie muweza wa yote,



    "ni kweli mwanangu kila jambo mungu ndie anaye lijua,



    "sasa mama dokta Nasra anakuita ofisini kwake,



    "sawa ngoja nikamsikilize anasemaje,



    ***** **** ******

    Baada ya mama yule kutoka nilisogelea kitanda cha shemsa nikamuangalia kisha nikashika nguo yake ambao ilikuwa ni dela nikaipandisha kwa ajiri ya kuivua kutoka mwilini mwake ila kabla sijaitoa niliacha kwanza nikawaza sana,



    *hivi hiki kitu nachofanya ni haki kweli kwa shemsa? Ila Itabidi nifanye tu maana nimeisha kubali kuyavulia maji nguo shariti ni yaoge tu *



    Baada ya kujiridhisha na mawazo yangu nilitoka nikaingia bafuni nikachuku maji kwenye ndoo na kitambaa nikarudi mpaka kitandani kwa shemsa nilipomfikia Nilimvua nguo yake nikaiweka pembeni nikamvua na ch*pi nikaiweka pembeni akabaki kama alivyo zaliwa,

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Mate yalinitoka mdomoni kama vile nimeona ndimu ikiwekwa kwenye kachumbali,

    Nilianza kumfta na kweli nilifanikisha kumfta mwili mzima ila nilipomaliza wakati namvalisha ch*pi tamaa iliniingia nikapeleka mkono wangu kwenye sehemu zake za siri,



    ***** **** ******

    Upande wa pili,

    Wakati chaz akimpeleka Najma kwao Najma alipigiwa simu na bosi john,



    "hallow habari yako Najma?



    "nzuri za wewe bosi wangu?



    "Na mimi mzima vipi ulifanya mawasiliano na shemsa ili tujue tunafanya nini?.



    "yaani nakwambia amefurahi sana aliomba kuongea na wewe nikamwambia sipo na wewe akahuzunika sana na wale jamaa wakasema mwisho ni leo mimi kuongea naye,



    "basi fanya hivi njoo ofisi uchukue zile pesa na akiachiwa tu mimi baada ya siku mbili namuowa anakuwa mke wa pili,



    "sawa usijari utamuoa tu wala hakuna kipingamizi,



    "hivi ni kiasi gani million Miambili au miatatu?



    "million 300 bosi wangu,



    "sawa njoo haraka uchukue,



    "sawa,



    Wakati anaongea na simu pochi yake ilianguka picha ya shemsa ikatoka kwenye pochi na moja kwa moja chaz akayiona akaiogota na kuiangalia akamkumbuka,



    *huyu si yule demu niliyechukua pesa zake million 500 kutoka kwa rafiki yangu chirs? Ni yeye lazima nimnase,



    "mbona unaiangalia sana hiyo picha wewe?



    "huyu anaitwa nani?



    "shemsa kwani vipi,



    "ni msichana ninaye mpenda sana,



    "ni wewe mbona ukitaka nakuoza tu maana ni mdogo wangu ndiye aliyekamatwa ukifanikiwa kumtoa mikononi mwa wale watekaji mali inakuwa yako,



    "sasa si nimekupa million 300 za kwenda kulipa acha nimuowe,



    "kwa hiyo hizi pesa hutonidai?. Mimi nifanye mpango tu wewe uowe?



    "Ndio maana yake,



    Najma alimfanya shemsa mtaji wa kupata pesa kwa vibopa wenye pesa, alienda kwa bosi john akachukua million miatatu na kwa chaz akachukua million 300, Shemsa aliyefanywa mtaji alikuwa hospital akiwa hata fahamu hana,

    Je nini kitatokea?... Nani atamuowa?..

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    ***** **** *****

    Nilipeleka mkono sehemu za siri za shemsa ili kupapasapo kawaida ya binaadamu kutamani,

    Siyo siri kwa uzuri wa mtoto wa kike shemsa hata angekuwa baba yake mzazi lazima angetaka kutachi hata kula kabisa mzigo maana TOTO LA KIMANGA lilikuwa vizuri umbo lake lilikuwa tata kiuno kilionekana kivyake, mgogo ulionekana kivyake, hips na tako vilijigawa na kufanya mwili wake kuchambuka kama mchele wa kiarabu,

    Kwa uzuri sijui nisemeje alikuwa vizuri mtoto wa kike,

    Nilimpapasa nikaona haitoshi nikavua suruali na boxa yangu hapo mnyamwezi wangu alikuwa amesimama wima kama fimbo ya mmasai,

    Nilipanda kitandani ili nizamishe mnyamwezi ndani ya chungu apime kina cha maji,



    ***** **** ******

    Mama yule akiwa na dokta Nasra walikuwa wakiongea yao ila dokta alimweleza mama yule,



    "sasa mama leo tutakuruhusu uende nyumbani maana naona dawa ya chirs imekusaidia,



    "dokta naomba unielewe naomba kuachwa odini mpaka nione hali ya shemsa unaendeleaje?



    "Si Yupo chirs mama kwa hiyo hamna shida na chirs ni kijana mzuri mwema mwenye roho ya pekee na istoshe ni mumewe na shemsa kwa hiyo atabaki ma mkewe kama sasa hivi ameenda kumuosha kwa huduma zote atapata,



    Mama yule alishitushwa na neno kuwa mimi nimeenda kumuosha shemsa,

    Na akavuta kumbukumbu wakati shemsa alipopata fahamu wakati mimi sipo,

    "shemsa umepata fahamu mwanangu mimi ni mama yako hapa,



    "chirs.... Chirsss..... Chirsss........



    "chirs mume wako Katoka,



    "chirs siyo mume wangu ila amenisaidia tu.....



    "mbona anasema mumeo?...



    "hapana sina hata wiki nimejuana naye mama yangu huyo chirs,,



    Baada ya maneno hayo shemsa alishindwa kuongea tena,



    "mama mbona una mawazo sana vipi kulikoni?



    "dokta shemsa ni mwanangu wa kumzaa sema kipindi anakuja kuniona wewe ulikuwa haupo hapa hospital,



    Baada ya maneno yale mama shemsa aliondoka na kwenda odini kwani hakufurahishwa na kusikia mimi nimeenda kumuosha mwanaye dokta Nasra alifata kwa nyuma,

    Walipofika walifungua mlango wakaingia ndani ya Odi,



    Mwisho wa sehemu ya kwanza ya hadithi hii......



    Ungana na mimi kufuatilia sehemu ya pili ya hadithi hii ya TOTO LA KIMANGA.........

    Je chirs alipofumwa akila tunda hali ilikuwaje?.. Mama shemsa alifanya nini?...

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Na je nani alimuowa shemsa TOTO LA KIMANGA?????...



    Mwisho wa chaz na chirs ulikuwa vipi je malengo yao yalikamilika???........



    MWISHO

0 comments:

Post a Comment

Blog