JAMANI MAMA MARO - 4
Chombezo : Jamani Mama Maro
Sehemu Ya Nne (4)
Dakika kadhaa mbele alipata wazo la kupiga simu ya ofisini kwa Oscar, iliita kidogo na kupokelewa.
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"Haloo habari yako"
"Nzuri tu habari"
"Ni njema tafadhali naongea na nani"
"Mrs Oscar"
"Oh una shida gani"
"Nilikuwa na shida ya kuzungumza nae kama yupo"
"Alitoka tangu asubuhi, alidai kuna dharura, kama hupo nyumbani huenda ametangulia huko"
"Asante kazi njema"
"Nakwako pia"
Michelle alizidi kuchanganyikiwa iweje Oscar aamue kurudi nyumbani bila kumtaarifu?
"haiwezekani huyu anahisi tu, Oscar hawezi kuwa nyumbani"(aliwaza Michellle)
…………
Wakwanza kushtuka ni Rozina baada ya kusikia mlio wa Simu. Alijua kabisa kuwa sio simu yake kwani yakwake alishaizima zamani baada ya mumewe kupiga sana.
Alizama kwenye mfuko wa suruali ya Oscar na kutoa simu kisha akatazama jina akajua anayepiga ni Michelle. Alisonya kisha akaizima huku akisindikiza na tusi.
Alipogeuka alimshuhufia Oacar akiwa anakoroma kisha akaamua kumnyonya tena uume wake.
Japo Oscar alikuwa usingizini lakini mashine ilisimama hadi Rozina akaimezea mate.
Aliamua kuipandia na kuanza kukizungusha tena kiuno chake juu ya chuma cha Oscar.
Ghafla alikumbuka kitu na kushuka juu ya mwili wa Oscar, alienda akachukua simu yake kisha akaiwasha na kuanza kuchukua video huku akiwa juu ya Oscar.
Alichofanya ni kuwa alijitahidi kutokuchukua sura yake isipokuwa mwili wake mweupe na laini aliuweka kwenye video.
Mpaka oscar anashtuka mwenzake alikuwa amechukua video mpaka picha za mnato huku akiwa ameshazima simu na anendelea na kabumbu.
Mchezo uliendela kwa kasi mpaka wakamaliza kisha kila mtu akawahi kwake.
Rozina alikuwa na amani sana kwa kufanikiwa lengo lake lakini hali ilikuwa tofauti sana kwa Oscar.
Alijutia sana na hakujua atamuangaliaje Michelle. Alitamani siku irudi nyuma iwe hilo jambo halijatokea lakini haikuwezekana. Alikuwa kwenye gari akielekea Kariakoo kumchukua mkewe na kuamua kuandika meseji kwa Rozina.
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"Tafadhali sana Rozina, kilichotokea leo kimeniuma sana japo siwezi kurekebisha kosa, naomba leo iwe mwisho na tusijuane kimapenzi, kila mmoja amtunze mwenza wake kwani sisi wote tuna wapendwa wetu"
Baada ya kutuma meseji alikaa kama dakika tano akajibiwa kwa…
"hahahahahaaaaa, too late (umeshachelewa)"
Aliwaza Rozina anamaanisha nini ila hakupata jibu na kuishia kutukana.
Alipotaka kuweka simu yake mfukoni alisikia mlio wa meseji kisha akaifungua na kugundua kuwa ilikuwa ni meseji ya WhattsApp na ilikuwa imetoka kwa Rozina
Alishtuka kujua kuwa ni video imetumwa na ilikuwa na ukubwa wa MB 70 lakini hata hivyo akaigungua huku roho ikimwenda mbio.
Aliona mtandao ukizunguka kwa dakika moja kisha akakutana na Video ambayo ilimuacha kinywa wazi hadi akatka kupata ajali.
Hajakaa sawa picha mfululizo ziliingia huku zikisindikizwa na sentensi moja…"mpaka sasa kwangu hutochomoka."
Oscar kidogo achanganyikiwe baada ya kuona zile picha na video, alijilaumu sana kukubali kuitwa na Rozina lakini hakuwa na namna nyingine.
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Alitafakari lengo la Rozina lakini hakuelewa, alijilaumu na kujiona mkosaji sana mbele ya Michelle aliyekuwa amembebea Mimba yake.
Aliendelea kuendesha gari mpaka alipofika mnazi mmoja, aliiacha barabara ya Lumumba na kuikamata barabara ya Uhuru, alipita mtaa wa sikukuu, swahili na kukutana na mtaa wa jamhuri ambapo alikunja kuelekea juu ambapo aliipita Bank ya NMB tawi la Kariakoo.
Alikunja gari na kupita kushoto kisha akapaki pembeni ya KEYS HOTEL kwani kwa upande wa Kulia ndipo lilikuwepo duka lake kubwa la nguo za watoto.
Alishangaa kuona makufuli yakiwa yamening'inia huku mlinzi akiwa kakaa na bunduki yake. Kawaida walinzi wa maduka hapa kariakoo huwa wanaajiriwa kulinda maduka karibia ya mtaa mzima na matajiri huchangia malipo.
"Abdallah mbona mapema kumefungwa?"
"Sijui, shemeji katoka saivi akidai anaumwa "
"Kama mda gani umepita tangu aondoke"
"Masaa matatu"
"Ulimuonaje, alikuwa sirias sana?"
"Ninachokumbuka alionekana kuwa mnyonge sana na macho yalikuwa mekundu"
Oscar alipata wasiwasi sana huku roho ya majuto ikimuandama.
Aliamua kumpigia mke wake simu ila alipotafuta namba ya mkewe ili apige alikuta ile namba ilipiga mara nyingi sana ila missed call zote zilifunguliwa.
Alipotazama zaidi aliona sms kibao kutoka kwa mkewe lakini na zenyewe zilikuwa zimeshasomwa.
Hapo ndipo alijua kuwa Rozina ndie alifanya hivyo tena mkausudi bila kumwambia, hasira juu ya Rozina zilipanda mara dufu hadi akang'ata meno.
Alinyanyua simu yake kumpigia mkewe na haikuita zaidi ya mara mbili mkewe akapokea.
"hallow honey mbona umefunga duka "
"Niko nyumbani sijisikii vizuri"
Haraka haraka Oscar alikimbiza gari mpaka kwake akapiga honi getini na kufunguliwa.
Aliacha gari ikiwa silenser kisha akazama chumbani, alimkuta mkewe akiwa amejilalia huku akionekana kuwa mchovu sana.
"Pole mamy, unajisikiaje!"
Michelle hakujibu kitu, alijikuta machozi yakimtiririka, hakutaka kabisa kumhoji mme wake ila roho ilikuwa inamuuma.
"Oscar ulikuwa wapi nimepiga simu hupokei"
"Dah nilibanwa sana leo kazini na vikao"
"Nini? Vikao kazini!"
"Ndio d"
"Unaongea ukweli mme wangu?"
"Kwanini, au huamini honey…Ngoja nije twende hospitali"
"Wala siendi, kaa kwanza tuongee"
"Yani leo kila saa wanakuja wageni ofisini mpaka yani tukachoka"
"Ila nilipiga simu ofisini kwako
nikaambiwa haupo"CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"Ulipiga kwa nani"
"Ofisini kwako akapokea sekretari"
"ah vikao vya leo hatujafanyia ofisini, tulikuwa hotelini kwasababu tulikuwa na wageni wa ubalozi wa kenya nchini tanzania."
"Kweli sikuwepo, kikao tulifanyia nje ya ofisi ila nikasahau kukwambia"
"Mbona kuna wakati nilipiga simu yako ikakatwa"
"Ikakatwa? Ooh nimekumbuka nilikuwa nawasilisha mada ikabidi niikate kwanza ili nikimaliza nikutafute lakini nikasahau"
"Nisamehe mke wangu haitojirudia tena "
"Nilishakusamehe ila nahisi kukosa amani ndani ya moyo wangu na sijui ni kwanini"
"Usiseme hivyo mamy kwanini ukose amani"
"Kwakweli sijui ila nafsi yangu inaniambia kuna kitu hakipo sawa, Mungu anisaidie tu kwakweli"
Mazungumzo yaliisha na ikafika wakati Oscar akaanza kujikomba kwa mkewe kwa kufanya mambo ambayo alikuwa hayafanyi siku zote.
Mara asafishe chumba, mara anyooshe nguo za mkewe, mara apike ili mradi tu kujikosha ila ajabu moyo wake ulikosa amani sana, alijiona mwenye dhambi sana.
………………
Mateso ya mapenzi yaliutafuna sana moyo wa Ansbert, asikudanganye mtu yeyote hakuna watu wanaumizwa na kusalitiwa kama wanaume,kitendo cha kushirikiana mke na mwanaume mwingine kina waumiza wanaume kupitiliza.
Ndio maana wengine wakijua hivyo hudiriki hata kuua familia yake yote na yeye mwenyewe kujiua, wengine huua mke na hata mgoni wake kinyama kabisa.
Kwanza wanahisi kudharauliwa, wanahisi wanaupoteza uanaume wao.
Lakini pia huhisi kwamba akilala na mkewe analalia makombo ya mwanaume mwingine.
Hali hii alikuwa anakutana nayo Ansbert, kilichokuwa kinamsaidia ni kuwa yeye alikuwa bosi na kazi nyingi alikuwa anaagiza waandamizi wake lakini kama isingekuwa hivyo angeharibu kazi.
Alitamani kuwasimulia marafiki zake yanayomsibu lakini aliona atadharaulika hivyo akaamua kukaa kimya.
"I must do something(lazima nifanye jambo)"
Alijisemea Ansbert,
alifanya kazi zake zikaisha na hatimaye safari ya kurudi ikawadia, ilipofika jioni wakawa tayari wako uwanja wa ndege wa Dar es salaam.
Hakutaka kwenda nyumbani moja kwa moja bali alipitia mitaa yake akapata mbili tatu kisha akaelekea kwake.
Alipofika alimkuta mkewe ambaye alimpokea japo hakuona uchangamfu wowote, ukweli ni kwamba Rozina alikuwa hana mapenzi na mumewe tena ndio maana awepo ama asiwepo yeye aliona sawa tu!
Ansbert aliingia ndani akaoga akapata chakula lakini kuna kitu kilimshitua pale nyumbani, hakumuona Amina.
Alitamani kuuliza lakini akajua hatapata jibu linaloeleweka kulingana na mazingira yaliyotokea siku za nyuma.
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Kila alupoangalia na kusubiri kuwa huenda atamuona hakumuona.
Alisubiria mkewe akalala kisha akaelekea kwenye chumba cha Amina akakifungua na kuzama ndani.
Kilichomshitua hakuona hata nguo moja ya Amina hali iliyoashiria kuwa huenda amefukuzwa.
Ansbert aliwaza sana lakini mwisho akaamua kushughulika na moja baada ya jingine.
Kesho yake kulipokucha aliamkia kwenye kampuni moja ya huduma za mitandao ya simu iliyokuwepo mjini.
Alipofika alielekea moja kwa moja mapokezi na kukutana na dada mmoja mrembo.
"Karibu kaka"
"Asante habari za kazi"
"Nzuri nikusaidie nini"
"Nina shida na meneja wenu"
"Kaa hapo usubiri ana mgeni ndani, akitoka tu uingie"
"Asante sana"
Ansbert aliketi akisubiri kwa dakika kadhaa kisha mama mmoja akatoka pale kwa meneja na yeye akapata nafasi akazama ndani.
"Habari yako bosi"
"Nzuri tu karibu sana"
"Asante sana"
Ansbert alijitambulisha na kutoa vitambulisho vyake kwa uthibitisho ambapo yule meneja alipotafakari vyema aligundua kuwa yule aliye nae pale ni mtu ambaye mara kwa mara jina lake analisikia kulingana na cheo chake serikalini.
Ansbert alikuwa ni Mkurugenzi wa habari ikulu.
"Shida yangu mimi nataka kupata mawasiliano yote ya mke wangu"
"Nini?"
"Hiyo ndio shida yangu"
"Mh kwanini umefikia hatua hiyo bosi"
"Ni kwasababu kuna mambo nahitaji kujua ukweli wake"
"Mh ni sawa bosi lakini hili jambo liko kisheria sana, unaruhusiwa kupatiwa huo msaada lakini kuna taratibu lazima zifuatwe "
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"Taratibu gani"
"Unatakiwa uwasilishe cheti cha ndoa na uthibitisho kuwa huyo mkeo ndio mwenye hiyo namba unayoifwatilia"
"Lakini pia uwe na hati ya polisi ya kukuruhusu kufanya hivyo"
"Kuna kingine zaidi ya hivyo?"
"Hakuna ila kingine unapaswa kuwa na uhakika na unachotaka kufanya kwani unaweza ukajutia maamuzi yako maana unaweza kukutana na mambo ya kukuumiza ambayo yanaweza yakahatarisha amani"
"kwa hilo usijali, ngoja nifwatilie hizo taratibu zingine"
Maoja kwa moja Ansbert alielekea kwake akachukua cheti cha ndoa na kuelekea polisi, alipofika alijitambulisha na kueleza azima yake ya kuwa pale kisha akahudumiwa ila baada ya kupewa ushauri nasaha.
"Unajua kaka sisi huwa tunaelewa kuwa mtu anayetaka kufwatilia mawasiliano ya mme au mkewe kuna mambo ameyahisi, sasa endapo akigundua kuwa mambo hayo yapo kweli kuna uwezekano wa kutokea uvunjifu wa amani"
"Kwahiyo sasa tufanyeje?"
"Kuna kiapo ambacho lazima ukisaini kuwa hutafanya ovu lolote hata baada ya kugundua usiyoyapenda"
"Usijali nipe nisaini"
Taratibu zilipokamilika Ansbert alirudi kule kwenye ofisi za mitandao ya simu na kukabidhiwa mawasiliano yote ya mkewe kwa miezi mitatu mfululizo ambayo yalijumuisha meseji za kawaida, wasap, instagram, twitter na facebook kisha mawasiliano ya sauti na kuwekewa kwenye cd na karatasi.
Alilipa gharama zote kisha akaenda akakodi chumba gesti akawasha komputa yake na kuanza kupitia kimoja baada ya kingine.
***************
Simu yake iliita sana lakini hakupokea kwasababu alimjua mpigaji ni Rozina.
Hakutaka tena mawasiliano nae hata kidogo, alimuona ni mtu mbaya ambaye hana nia njema na maisha yake hivyo aliamua kumuepeuka.
Wakati huo Rozina hasira ziliwaka kweli na kuamua kuwa lazima amkomeshe Oscar kama hataki kuwa nae kwa hiari yake. Wakati huo tayari alikuwa ameshajipodoa vya kutosha na alikuwa anajiandaa kutoka.
Alipoona Oscar hapokei simu alimpigia Dr Mgweno.
Ndani ya sekunde za kuhesabu Dr Mgweno alipokea simu.
"Mambo dada"
"Poa uko wapi"
"Niko wodini"
"Nina shida na wewe nje ya ofisi"
"Kama wapi"
"hotelini"
Dr Mgweni kusikia hotelini mapigo ya moyo yakaanza kukimbia kwa kasi.
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Alikuwa anamtamani sana Rozina lakini Rozina alikuwa anamtega na kumuacha njia panda, leo kusikia habari za hotelini anajikuta akichanganyikiwa kabisa.
Bila wasiwasi aliamua kuacha kazi na kuelekea hotelini ili kukutana na Rozina.
Rozina nae alikuwa nje ya geti anaelekea kwenye miadi, kila alipopita watu walishangaa kwa jinsi mdada mrembo alivyovaa.
Alishuka kwenye duka moja kwa ajili ya kununua vocha.
Aliposhusha tu mguu mmoja mapaja yote yakawa nje, vijana na akina mama waluomjua waliishia kushika midomo huku wakijisemea "JAMANI MAMA MARO!"
Yeye wala hakujali, alinyoosha mpaka hotelini ambapo alipokata jicho kaunta alikutana na mwanaume mfupi tii, mweusi, mwembamba na mwenye sura mbaya akiwa amekaa anakunywa konyagi.
Alijua fika kuwa ni Dr Mgweno hivyo akamuendea na kuelekea nae hotelini.
Walipofika chumbani Dr Mgweno hakuamini alipomuona Rozina akianza kusaula.
Akiwa anashangaa alifwatwa mdomoni na kunza kunyonywa mate.
"Nimeona nimekutesa sana sasa leo ni zamu yako kufaidi. "
Walichezeana kwa uchu huku Dr Mgweno akihema juu juu kwani hakuamini kuwa mwanamke mrembo kama Rozina leo yupo mikononi mwake.
Waliporidhika na kupasha dr Mgweno alimlaza Rozina kitandani na kumuendea.
"Dr mbona sasa huvui nguo?"
"Navua usijali"
"Au una ulemavu wewe, Njoo nikunyonye"
"Hapana mimi sipendi kunyonywa"
"Rozina alishangazwa sana na DR Mgweno lakini aliamua kutulia"
Dr Mgweno alivua nguo akiwa kajibanza pembeni kisha akaelekea juu ya mwili wa Rozina na kuanza kuingiza mashine pole pole.
"Wee Dr unaingiza nini?"
"Kwanini?"
"Hapana, ngoja nione kwanza"
Rozina alinyanyuka ili aangalie lakini hakupewa nafasi, Dr mgweno alizamisha uume wake wote kwa nguvu ukazama wote.
Rozina alipiga kelele kali akijaribu kumsukuma Dr mgweno lakini hakutoka.
Dr Mgweno alikuwa na uume mkubwa mno, hakumuonea huruma Rozina, aliendelea kushambulia kwa kasi huku akihisi kabisa kugonga ukuta wa uke lakini hakujali.
Dr Mgweno alishambulia kwa nusu saa nzima pasipo kukojoa na hata alipokojoa aliendelea tena.
Rozina alikuwa anapiga makelele mpaka akawashtua wateja wengine.
Mteja mmoja aliamua kutoka na kwenda kugonga kwenye kile chumba.
Huku DR Mgweno akijua kuwa anayegonga ni mhudumu alenda kufungua mlango lakini mtu aliyekutana nae mlangoni kidogo aanguke kwa woga.
Ansbert alikuwa yuko kwenye chumba chake akikagua taarifa alizopewa kule kwenye kampuni ya simu. Alikagua moja baada ya Nyingine na kugundua kuwa mkewe alikuwa na mahusiano yasiyoeleweka na rafiki yake wa siku nyingi Oscar.
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Kilichomuumiza zaidi ni baada ya kugundua kuwa Mkewe ndie alikuwa anambembeleza Oscar awe nae ki mapenzi, Hiki kilimuuma zaidi na kujikuta chuki zidi ya Oscar zikipungua kidogo na kuhamia kwa Rozina.
Kingine alichogundua ni kwamba mkewe alikuwa pia na mawasiliano yanayotia shaka kati yake na Dr Mgweno, hapa ndipo alipoumia zaidi.
alijiuliza mkewe amekosa nini kwake hadi awe na mtu kama Dr Mgweno, licha ya kuwa Dr Mgweno alikuwa ni mwana taaluma mzuri tena daktari bingwa na alikuwa na ofisi binafsi kubwa tu lakini hakuonekana kuwa mwanaume mwenye mvuto kiasi cha kuingia kwenye ndoa ya mtu na kuchukua mke, tena mwanamke mwenyewe awe mrembo kama Rozina.
Ansbert aliumia sana, wakati akijaribu kutafuta suluhu ya matatizo yanayomsibu alikuwa anakatishwa na kelele zilizokuwa zinatokea chumba cha pili.
kelele hizi zilimkera sana kwani alikuwa anashindwa kufikiria mambo yake kwa umakini. alitamani watu hao wanyamaze lakini hawakunyamaza.
Alichoamua ni kwenda mapokezi na kuonana na meneja ili ikiwezekana akawaambie hao watu wafanye starehe zao kwa ustaarabu.
alipofika mapokezi aliambiwa meneja ametoka na wao wasingeweza kufanya hicho anachotaka.
"hivi wewe dada unashindwa nini kwenda kuwaambia wanasumbua wateja wengine"
"kwani wewe kaka, huna mwanamke wako huko ndani na wewe ukampigishe makelele? kama wenzio wamenogewa unawaonea wivu ama?"
"kumbe nawewe hamnazo, sasa mimi naenda kuwatoa kama mnakosa wateja mtajua wenyewe"
"hahahaaaaa kaka kama huna demu kamchukue hata mkeo nyumbani nawewe usumbue humu, tatizo lako umeingia mwenyewe ndio maana unapata nafasi ya kuwasikiliza wenzako, kama vipi tangaza dau uletewe mtoto mzuri sasa hivi"
Huku akiwa na hasira tele Ansbert aliachana na yule dada na kuelekea kwenye kile chumba.
Alichofanya ni kuanza kugonga mlango, aligonga mara kadhaa bila kufunguliwa lakini kwa mbali akasikia kama mtu anashuka kitandani.
Alisikilizia mpaka aliposikia hatua za mtu kuusogelea mlango. alisikia kitasa kikinyongwa kushiria mlango unafunguliwa na hatimaye ukafunguliwa kweli.
Kwa hasira aliyakazia mcho yake kwa atakayetokeza sura yake ampe vidonge vyake.
Alishtuka kumuona Dr Mgweno akiutokeza uso wake...
" Haa Rozina tumefumaniwa" (Aliropoka Dr Mgweno)
"Umeita nani?"
"ah hapana kaka, ah u.. u..nasemaje kwani?"
Dr Mgweno alishikwa na kigugumizi cha ghafla kilichomfanya Ansbert ashtuke na kuamua kuingia ndani.
"Kaka usiingie kwanza hebu subiri"
"Nisubiri nini, nipishe huko"
"Subiri kwanza niko na demu wangu wewe unataka nini kwani?"
walianza kusukumana huku Ansbert akilazimisha kuingia na Dr Mgweno akimzuia asiingie.
Ansbert alimzidi nguvu Dr Mgweno na kufanikiwa kuingia ndani, alipofika ndani alitembeza macho yake pale chumbani lakini hakuona mtu.
Alielekea mpaka bafuni lakini nako hakuona mtu yeyote, alichungulia uvunguni mwa kitanda lakini nako hakuona mtu pia.
Kilichomshtua ni baada ya kuangalia kitandani na kukuta mtandio wa mke wake, aliuchukua akauangalia kwa umakini na kubaini kuwa ni wa mkewe kwani hata marashi uliokuwa unanukia ni yaleyale anayoyapendelea Rozina.
Haikuishia hapo, alipopiga jicho chini ya kitanda alikutana na sendo za mkewe ambazo alimnunulia yeye mwenyewe.
Ansbert alijikuta akiumia moyo kupita maelezo, hakutaka kuamini kuwa yale makelele aliyokuwa anayasikia ni ya mkewe.
Cha ajabu Dr Mgweno hakuondoka, alikuwa yuko pale pale chumbani akimuangalia Ansbert anachokifanya.
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Wakati huu machozi yalikuwa yanatiririka kwenye mashavu ya Ansbert kwa uchungu alio nao, hakuamini kuwa yale aliyokuwa anayasikia kwenye vyombo vya habari na kusimuliwa na wanaume wengine mitaani nae leo yamemkuta, mkewe aliyempenda tena akafunga nae ndoa alikuwa anamsaliti kwa kutembea na wanaume wengine.
"Dr ukitaka nikuelewe njoo ukae hapa kitandani"
"Unataka unifanyeje kaka"
"Njoo tu hapa kuna mambo nataka tuongee"
"Kaka lakini usinifanye kitu kibaya"
"We njoo tu, kama ukinijibu vizuri nitakusamehe"
Dr Mgweno alishawahi kusikia habari za wanaume waliofumaniwa na kulawitiwa, hiyo ndio ilikuwa hofu yake, alijua Ansbert anataka kumlawiti.
Taratibu huku akiwa na wasiwasi alijisogeza mpaka akakaa pale kitandani.
" Naomba tuongee mambo kiume, sitotaka unidanganye kwa lolote"
"Sawa kaka"
"Kwanini umemlala mke wangu?"
"Ha.. ha .. hapana sio yeye kaka"
Dr mgweno alishtukia ngumi nzito ya kichwa na kuachia ukelele.
"Tulielewana tusidanganyane, niambie kwanini unatembea na mke wangu "
" Kaka mkeo amenitaka mwenyewe, angalia ni yeye mwenyewe amenipigia simu lelo"
"Una uhakika?"
" ndio kaka sidanganyi"
"Umemlala mara ngapi"
"Ni leo tu kaka"
"Una uhakika?"
"Sidanganyi kaka"
"Kwanini alikuwa anapiga sana makelele"
"Kaka mimi sijui ila wanawake wote niliolala nao huwa wanapiga makelele sana wanadai wanaumia"
"Kwanini wanaumia, huwa unawafanyaje"
"Wanasema eti nina naniliu kubwa"
Ansbert alitupa jicho lake kwenye sehemu za siri za Dr Mgweno na kuzitathmini.
"Hebu funua hilo taulo lako".
Dr mgweno alilifunua taulo lake na kumuonyesha Ansbert, Ansbert alishtuka na kushika mdomo.
"Haa yani hapo ndio imelala?"
"Ndio kaka"
"Sasa ikisimama inakuwaje?"
"Inakuwa kubwa zaidi"
"Mshenzi wewe paaaaa(kofi la uso) sitaki unijibu"
"Ina maana hilo dude lako lote umemuingizia mke wangu? Mungu wangu eeee"
Ansbert alishtuka sana kwani kusema ukweli Dr Mgweno alikuwa mlemavu wa maumbile, alikuwa na uume mkubwa mno na ndio maana wanawake wengi akishatembea nao mara moja hawarudi tena na mpaka wakati huo hajafanikiwa kupata mke wa kumuoa.
Ansbert alinyanyuka na kutoka taratibu ndani ya chumba huku akiwa na maumivu mengi moyoni mwake.
Aliingia kwenye chumba chake na kuchukua begi lake kwa ajili ya kuondoka, hasira zilikuwa zinamkaba sana kila alipokuwa anaondoka pale chumbani kwake.
Alipokuwa anakipita Chumba alichokuwa analalwa mkewe alijikuta hasira zikipanda mara dufu, aliamua kuingia tena lakini kabla hajaingia alitia mkono mfukoni na kutoa kitu flani.
Alikishika vizuri kisha akasukuma mlango na kuingia ndani. Wakti anaingia Dr Mgweno alikuwa bafuni anaoga.
Ansbert alikaa kitandani akimsubiri Dr Mgweno aje, Dr mgweno bila kujua lolote alitoka akiwa anajifuta maji usoni na taulo.
paa, paaa....Milio ya Risasi ilisikika huku Dr Mgweno akianguka chini kama mzigo.
Ansbert aliweka bunduki yake na kuondoka eneo la hii hoteli.
..................................
Rozina alikuwa chini ya dirisha kwa nje akisikiliza kila kitu kilichokuwa kinaendelea kule ndani.
Alitamani akimbie lakini hakuwa na namna kwani mazingira ya hii hoteli yalikuwa hayaruhusu, hakukuwa na njia ya kupitia kwa nyuma.
Alishtuka sana aliposikia milio ya Risasi akajua tayari Ansbert ameua.
Aliposikia hatua za mtu kuondoka akajua huyo ni Ansbert anaondoka.
Alichungulia Dirishani na kukuta mwili wa Dr mgweno ukiwa chini na unavuja damu.
Alichokifanya aliingia tena kupitia dirishani kisha akachukua vitu vyake na kuondoka huku akiwa na wasiwasi mwingi.
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Roho ilimuuma sana kumuacha Dr Mgweno kwenye hali ile, alichokifanya alitafuta mtu mwenye simu kisha akaomba apige.
Alipopewa alipiga simu polisi na kuwajulisha kuwa kuna mtu amepigwa Risasi kwenye gesti fulani chumba fulani. kisha akamkabizi mwenye simu na kuondoka huku mwenye simu akiwa hajui kwamba simu ilipigwa wapi na kwa ajili gani.
............................................
Ansbert alikuwa kwenye gari yake akielekea Tanga Mkinga kwa akina Amina.
Alikuwa amechukua pesa nyingi sana kwenye akaunti yake na alidhamiria kukimbia kabisa jiji la Dar es salaa kwa kuhofia mkono wa dola.
Alifika kijiji cha Duga usiku na kumkuta Amina akiwa anasukwa na mwanamama mmoja.
Amina alishtuka sana baada ya kumuona Ansbert, alijikuta akiamka haraka na kumkimbilia kisha akamkumbatia.
Wakiwa wamekumbatiana alitokea Mama mmoja akiwa ameshika chupa yenye maji ndani ambayo yalionekana kama juisi ya ukwaju.
Amina dawa hii hapa, ukinywa leo tu kesho kila kitu kinakuwa kimeisha.
"Dawa ya nini hiyo Amina"
"Ya Kutoa Mimba, nina Mimba yako na nataka kuitoa."
"Haa usiitoe Amina, nataka kukuoa na nimekuja kukuchukua tuishi wote"
"Namkeo umemuachia nani"
"Ni stori ndefu ila nataka tuhamie Mombasa tukafanye bishara huko"
Njia nzima Rozina alikiwa analia chini chini, moyo wake ulikuwa kwenye maumivu makali sana ya kujutia.
Alijuta kufanya yale ambayo yamemfikisha hapo alipo, dhambi ya zinaa ilikuwa imesababisha mauti.
Alitamani siku zirudi nyuma ili asifanye kile alichokifanya lakini siku zote waswahili wanasema neno "Ninge" huja baada ya kukosea na "majuto siku zote ni mjukuu."
Kila alipokuwa anapita alikuwa amejaa hofu ya kukamatwa na polisi. Alikuwa na uhakika kuwa watu wa ile hoteli wanamfahamu sura yake kwani yeye ndie alienda kukodi chumba.
Japo jina aliandika la uongo kwenye daftari la mapokezi lakini sura yake ilionekana vyema.
Alikiwa anahaha, mara apande bajaji ya kuelekea kwake na kushuka njiani, alikuwa anaingia baa hii anatoka na kwenda nyingine alikosa kabisa amani ya moyo.
Kuna wakati lilimjia wazo la kujiua lakini aliogopa sana kufa ,kingine aliogopa kuhusu mwanae kuwa atapata shida.
Wazo la kwenda kwake alilipinga kwa asilimia zote akijua kuwa endapo atatafutwa basi watafutaji wataanzia kwake.
Alichokifanya alienda kwenye super market yake na kukutana na mhasibu ili ampe hela.
"Hans hebu nipe hela za mauzo ya wiki hii"
"Jamani bosi hata salam "
"Ah we nipe kwanza ninachotaka"
"Mbona baba kesha chukua kasema anaenda kuweka benki"
"Nini?"
Rozina hakuamini masikio yake, alienda moja kwa moja nyumbani huku akiingia kwa machale.
Alipofika alifungua kwenye kabati na kufungua droo ambayo Ansbert huwa anaweka fedha na nyaraka mbalimbali za benki.
Aliishia tu kushika kichwa kwani kulikuwa kweupe kabisa.
pona yake ni kwasababu alikuwa na akaunti yake binafsi japo haikuwa na hela nyingi sana.
Alichukua kadi yake akatoka mkuku mkuku huku akiwa amebeba vidani mbalimbali alivyokuwa ananunuliwa na mme wake kama zawadi kwa lengo la kwenda kuviuza.
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Harakati zake zilifanikiwa na ndani ya muda mfupi tayari alikuwa na fedha ya kutosha mkononi.
………………
Polisi aliyekuwa mapokezi alipokea simu iliyomjulisha kitendo cha mauaji kilichofanyika kwenye moja ya hoteli zilizokuwepo pembeni kidogo ya mji.
Hoteli hii polisi waliifahamu sana kwani ilikuwa inamilikiwa na bosi wao wa mkoa kitengo cha uhasibu.
Wasingeweza kwenda kufanya upekuzi bila ya kumtaarifu kwanza mmiliki ambaye ni bosi wao.
"Bosi shkamoo"
"Marahaba Afande vipi"
"Safi, kuna taarifa ya mauaji imetufikia hapa kwamba kuna mtu ameuawa pale hotelini kwako"
"Taarifa ya lini hiyo"
"Imetufikia mda huu huu"
"Basi msifanye chochote, naenda mwenyewe huko"
Alichohofia Afande huyu ni kwamba endapo tukio lile litatangazwa litasababisha hoteli yake ikose soko kwani wateja wangebaini sio Sehemu salama.
Aliamua kulimaliza jambo hilo kimya kimya.
Kwakuwa alikiuwa na cheo kikubwa ,aliita askari kadhaa anaowaamini akawashikisha kitita kila mmoja kisha akawatuma kule hotelini.
Wahudumu wa hoteli walikuwa hawajui chochote kuhusu mauaji hadi pale walipoona askari wakitoka na mwili wa mtu anayevuja damu.
"Bosi wenu amesema taarifa hizi msiziseme kokote"
(Wahudumu walichimbwa mkwala)
Wakiwa kwenye gari walibaini kuwa yule jamaa aliyepigwa risasi hajafa ila amezimia tu kwasababu ya kuvuja damu sana.
Walimkimbiza Hospitali wakadai kuwa ni askari mwenzao amejeruhiwa wakati wanafanya mazoezi.
Dr Mgweno alitibiwa haraka haraka na kwa umakini mkubwa na ndani ya siku mbili akawa amepata fahamu na mkono wake ukiwa umefungwa P.O.P.O kubwa baada ya kufanyiwa upasuaji wa kutoa risasi chini ya bega.
Alipopona vyema na kupata uwezo wa kutembea aliomba kutuhusiwa ili arudi kwake lakini alikataliwa kwa madai kuwa bosi wake amesema asiondoke kwanza.
Aliwaza sana kuwa ni bosi gani aliyetoa amri bila kujua kuwa pale ametambulishwa kama yeye ni afande.
"Afande unajisikiaje?"
Dr Mgweno alishangaa sana kuitwa afande akabaki ametoa macho tu.
"Afande unajisikiaje?"
""Unaongea na mimi?""
"ndio kwani kuna Afande mwingine hapa?"
"Mbona mimi sio afande"
"Mimi ni Dokta"
Madakatari walishangaa yale majibu na kunongo'nezana kuwa mgonjwa wao atakuwa amepata tatizo la akili.
Ndani ya muda mfupi waliingia ma askari watatu wakiongozana na yule Askari Mkuu ambapo waliwaomba madaktari wawapishe kidogo.
Walianza kumhoji Dr Mgweno kuhusu jina lake mpaka kazi yake.
Walimhoji pia kuwa ni nini kilisababosha apigwe Risasi na hakusita kueleza ukweli wote.
"Sasa sikiliza, swala hili liwe siri yenu na kamwe usije ukadiriki kwenda na wake za watu kwenye hoteli yangu sawa?"
"Sawa afande"
"Kingine nataka unilipe gharama zangu za matibabu yako, sawa?"
"Sawa afande naomba unipeleke ofisini kwangu nikakulipe"
Waliingizana kwenye gari mpaka dukani kwa Dr Mgweno, walipofika walishuka na kuingia ndani.
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Wale askari walishangaa kumuona Dr Mgweno akisalimiwa kwa adabu mno huku wakimuita bosi.
"Hii ni ofisi yako mwenyewe?"
"Ndio afande"
"Kwahiyo wewe ndio Dr Mgweno"
"Ndio mimi"
Wale askari walishangaa sana, hawakutarajia kuwa kwa muonekano wa Dr Mgweno anaweza akawa anamiliki duka kubwa la dawa kama lile ambalo ni maarufu mji mzima huku yeye mwenyewe akiwa daktari bingwa.
Muonekano wa Dr Mgweno ulikuwa ukimhukumu mara kwa mara, alikuwa haendani na Sifa yake.
Mara nyingi amekuwa akiishia kupewa siti za nyuma mpaka anapotokea mtu anayemfahamu ndio anahamishiwa mbele.
Tangu siku hiyo Askari wale waligeuka marafiki wakubwa kwa Dr Mgweno, hata kazi zao za siri wakawa wanashirikiana.
………………
""Namshukuru Mungu kuwa niko hai na nimenusurika kufa kwa mara ya pili baada ya kujuana na wewe. ""
""Nakuomba usinijue na mimi sitakujua kwa lolote, tufanye kama hatujawahi kuonana hata siku moja. ""
"Nayapenda maisha yangu na sitotaka uyakatishe. Nitakachofanya nitamtafuta mme wako ili kwa hali na mali nimuombe msamaha ili niishi kwa amani. "
……Rozina akiwa hotelini huku akisubiria kusikia taarifa za msiba wa Dr mgweno alishangaa kupokea ujumbe ambao ulionekana umetoka kwa Dr Mgweno.
Hakuamini macho yake kuwa Dr Mgweno alikuwa hai.
Alijikuta akilipuka kwa furaha asiamini kuwa hajasababisha mauaji.
…Oooh Ahsante Mungu! (Alijisemea Rozina)
…………
Ansbert na Amina walikuwa kwenye mji wa Mombasa ambapo tayari alikuwa ameshapata nyumba ya kuishi na sasa walikuwa wanashughulikia kufungua biashara.
Alishtuka siku moja alipofungua e-mail yake na kukutana na ujumbe mzito na mrefu kutoka kwa Dr Mgweno akiomba msamaha wa yote aliyoyafanya.
Alistaajabu sana kwani ilikuwa sio rahisi kuamini kuwa kwa Risasi zile bado mtu anaweza akabaki hai.
Ndani ya moyo wake alijiskia amani sana kwa kuondokewa na mzigo wa kuua na tayari alishatangaza msamaha kwa Dr Mgweno.
Jambo ambalo lilifwatia kwenye akili yake ni mali zake alizoacha Tanzania.
Alipiga mahesabu ya nyumba zake nne, gari tatu, supermarket aliyomfungulia Rozina, mashamba manne ya ekari mia kila moja na kiasi cha fedha alizokopesha watu.
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Kikubwa zaidi Ni Mwanae Maro ambaye alikuwa anasoma boarding. Alikuwa amemmisi sana na hakutaka hata siku moja mwanae aishi kwa shida.
"Nitamfwata nimchukue na kumhamishia huku, nitauza mali zangu zote na nitahamishia makazi yangu huku"
Baada ya wiki moja Ansbert alikuwa amefungua baa kubwa Mombasa kwa kununua nyumba nzuri kisha akaikarabati na kuitengeneza kuwa baa.
ITAENDELEA
0 comments:
Post a Comment