Chombezo : Kiapo Cha Maumivu
Sehemu Ya Nne (4)
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Ilipoishia iliishia pale...
Nilianza kutazama nilipokuwa nilishang'aaa sana baada ya kujikuta niko kitandani huku nikiwa nimetazamana na merry!!??...
Sasa endelea nayo....
'Umekuwaje,mbona huko hivyo'!?.
Merry maswali hayo yalimtoka akiwa amelaza kichwa changu kwenye mapaja yake....
'Ndoto,ndoto,ndoto'!?
Nilisema hivyo ilimradi tu nimlizishe maana niliogopa sana hasije akakasirika.
Kipindi tukiendelea kuongea mara mama aliingia chumbani kwangu tulimuamkia baada ya kumuamkia Merry aliaga na kutaka kuondoka lakini Mama alimzuia uku akidai hasubili chakula!!!???....
Merry alisubili chakula ambacho kilipikwa na mama na hatimaye chakula kiliiva tulikula sote ila Baba akuwepo alikuwa amehenda mjini lakini sikujua kaenda kufanya nini!!???...
Baada ya kumaliza kula merry alitoa vyombo na kwenda kuviosha huku mama akinitazama kwa kuniibia baada ya Merry kutoka nje na kwenda kuosha vyombo mama alianza kuninihoji
'Mwanangu huyu binti anakufahaa ukienda huko Mwanza japokuwa kunasifika kuna mabinti wazuri na pia mabinti wa watoto wenye hela usidanganyike mwanangu huyu ndo chaguo lako hakika mwanangu'!!!???..
Mama aliongea huku akiwa anachokonoa meno yake na kimti na pia akinitazama..
'Mama,mama, huyu ni rafiki angu mama'!?!.
Hilinibidi nimdanganye maana mama alikuwa amenigusa kabsaa pa kumsaliti Merry..
'Mwanangu mimi nimeona dunia kabla yako naomba usirudie tena kunambia hivyo au unamchezea mtoto wa watu wakati yeye anakupenda''!!???..
Mama aliongea akiwa amegadhibika sana maana alivuta mdomo..
'Mama samahani hata kutaniwa kidogo mama unachukia'!??..
Ilinibidi nimwambie hivyo ilimradi asichukie...
Mama alifurahi na kunishika mkono na kusema
'Mwanangu huyu binti ndie nimempenda ukimleta binti mwingine hapa heti unataka kumuoa usiniite mama ako utaenda kumtafuta mama ako mwingine''!!???...
Mama aliyaongea hayo maneno akiwa anamaanisha kwani aliyaongea bila kupepesa macho..
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Nilitikisa kichwa kwa kumaanisha siwezi kuleta msichana mwingine, baada mda kidogo Merry alikuwa akipanga vyombo baada ya kupanga vyombo aliaga na kutaka kuondoka Mama alimkubalia na mimi ilinibidi kuamka na kumsindikiza....
Nilimsindikiza tukiwa njiani tuliongea mambo ya hapa na pale baada ya kufika katika sehemu fulani Merry alinishika kunako na kuanza kulalama kuwa anahamu ya kufanya mapenzi ilinibidi tuingia katika kichaka fulani!!???....
Tuliingia katika kichaka mara Merry alianza kunipapasa kila sehemu bendera yangu ahikuwa ikichelewa kusimama na kuanza kupiga indiketa mara Merrya alianza kunirembulia nilianza kumtomasatomasa kila sehemu nilifikia kwenye chungwa nilianza kuzinyonya vilivyo Merry alianza kulalama kwa mahaba na huku macho yakiwa yanasinzia!!!??...
Baada ya hapo nilianza kutafuna chakula mara hii merry alionekana mjanja sana maana alinikatikia nikiwa nakula chakula mara nikiwa nakula chakula nikaisi mkojo Merry alinichomoa mkono wangu kwenye chakula na kuuweka nje lakini nilihisi raha ajabu sana!!??....
Baada ya hapo Merry alivaa na kusema neno ambalo lilikuwa la kuniumiza kichwa
'Unanichezea au unanipenda'!???...
Nilianza kubabaika na kuumauma mdomo
'Miimii ninakukupependa wewe tu'!?
Niliongea maneno hayo kwa kutetemeka..
Merry aliniangalia machoni na kunikumbatia na kusema kweli nakupenda wewe ukinisaliti kumbuka kile kiapo na huko unakoenda nikumbuke mimi, Nilitikisa kichwa huku nikisema
'Siwezi kukusaliti Merry'!!??..
Baada ya kusema hivyo Merry alitoa kitu kikiwa kwenye bahasha na kunikabidhi huku akinipa mate yake(kubadilishana mate).
'Hii bahasha kuna zawadi yako ila usiangalizie hapa utaiangalia huko kwenu na pia sijui kama tutaonana tena maana shuleni wamesema kesho mnaweza kwenda mjini kwanza ilimsubilie waziri akiwa anapita kuelekea jijini Mwanza awachukue'!!!??.....
Kiroho kirinidunda sana baada ya kusikia kuwa kesho tunaenda ila mawazo mengine yalibaki kuniumiza kichwa
'Hivi ni kwanini nikilala na msichana mwingine lazima apate matatizo ila merry hapati tatizo lolote lile'!!???..
Nilishtuka na kutoka katika wazo hilo baada ya merry kunishika mkono na kutoka na mimi katika kichaka hicho...
Tulitoka katika kichaka hicho baada ya kutoka katika kichaka hicho Merry aliniaga na kuondoka na mimi nilishika njia ya kurudi nyumbani nilirudi nyumbani huku nikiwa najiuliza yaleyale maswali!!??...
Baada ya kufika nyumbani niliingia chumbani na kutoka nimevaa taulo na kwenda kuoga nilipomaliza kuoga nilijilaza kitandani nikawa nataka kufungua bahasha mara nikasikia Baba akiniita ilinibidi niache bahasha na kutoka nje ya chumba changu na niliweza kumkuta baba akiwa sebuleni nilimsalimia na kunipa furushi na kusema
'Mwanangu kesho unaenda mjini maana waziri kasema hivyo kwamaana mjini alikuwa na mkutano hivyo mtaenda nae'!?
Baba aliongea akiwa anakunywa maji ya kunywa!!??..
Niliamka kwa furaha niliingia chumbani na kukaa kitandani nilianza kutoa zawadi alizokuwa ameniletea Baba macho yalinitoka baada ya kuona
'Begi nguo nzuri na pia zilikuwa za kisasa nilirukaruka nikiwa chumbani'!?!..
Ilinibidi nitoke chumbani na kumrukia Baba huku nikiwa na furaha kubwa sana na mara mama nae akawa anaingia kwamaana alikuwa ametoka nayeye pia alifurahi sku hiyo ilikuwa ya furaha sana...
Nilirudi chumbani kwangu na kushika bahasha aliyokuwa amenipa Merry na kuiweka kwenye Begi na kuweka baadhi ya vitu vyangu vya muhimu baada ya takribani masaa manne tulikuwa mezani tunakula chakula cha usiku.
Tulimaliza kula Baba aliniita
'Mwanangu Nelly huko unakoenda nakuomba mwanangu usije ukajiunge na makundi ya vijana wahuni na sisi ukawa umetuharibia furaha yetu'!!?
Baba aliyongea maneno hayo akiwa anaoneka waziwazi kuwa ananipendea mafanikio ya maisha yangu..
'Baba sitaweza kufanya hivyo maana najua nilichoenda kutafuta'!!?
Ilinibidi niseme hivyo kwamaana sikuwa na tabia ya kuwa na marafiki ambao walikuwa mataputapu. Baada ya Baba kusema hivyo mama nae akusema maneno mengi bali alisema
'Yakumbuke kila siku maneno yangu nikiyokuwa nikikwambia'!!??..
Akuendelea tena kuongea mama..
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Baada ya maongezi ya takribani dakika ishirini nilienda chumbani nilianza kuwazia mwanza usingizi ulikosa kabsaa lakini baada ya kukaa sana sikujua usingizi ulinipataje nilikuja kuamka Baba akiniamsha niliamka na kujiandaa baada ya kujiandaa nilikunywa chai!!??....
SAFARI YA MWANZA...
Baba na Mama walianza kunisindikiza shuleni huku tukiongea maneno ya hapa na pale tuliweza kufika shuleni na kuweza kuwakuta wanafunzi wengine japokuwa ilikuwa ni saa kumi na moja tuliweza kuwakuta wanafunzi sita wakiwa na wazazi wao wakiwa wanasubili utaratibu wa kufanya na hatimae sote kumi na tano tulitimia na mkuu wa shule alikuja na gari fulani alishuka na kusalimia wazazi wetu baada ya kuwasalimia sisi tulipanda gari hilo Wazazi walituaga kwa mikono..
Mara gari lilianza safari ya kutoka katika kijiji chetu sote tulionekana wenye furaha sana Mimi naisi niliwazidi wote kwamaana nilikuwa na furaha sana?!!..
Japokuwa barabara ya kijiji chetu ilikuwa mbaya tulienda hivyohivyo huku tukipiga kelele na mkuu wa shule akiwa kwenye gari akuwa anaongea, tulichukua masaa manne tukawa tumefika katika mji fulani nikawa nazani tumefika lo nilikuja kushang'aa baada ya kusoma kibao fulani kilichokuwa kimeandikwa
'KARIBU BUKOBA MJINI'
Nilishang'aa kwa uzuri wake wa barabara na pia majumba yaliyokuwa pembezoni mwa barabara yalivyokuwa mazuri. Hatimaye tulifika katika sehemu ambayo kulikuwa na magari mengi nikiwa nashang'aa mara sauti ya mkuu wa shule ilinifanya niache kushang'aa kwa kupepesa macho
'Wanangu hapa ni stendi ya mji wa BUKOBA ndo maana mnaona magari mengi'!!???
Mkuu wa shule aliongea hivyo huku akitoa miwani yake na kupangusa macho yake.
Tulikaa kama saa moja mara tuliweza kuona magari meusi yakipaki katika sehemu fulani mkuu wa shule alitupeleka na kutuingiza katika magari hayo na yeye pia alirudi na kutuaga!!??...
Tulipopanda gari kila mtu alijiona yuko juu sana maana gari lilikuwa linaonekana la watu wenye hela nilipotazama mbele nilimuona dereva tu!!?,,...
Sote tulimuakia baada ya kumuakia aliitikia na mara safari ikaanza ulikuwa ni msururu wa magari kama kumi na tano na yote yalifanana kwa weusi wake!!!???...
Tulienda kama masaa mawili tuliweza kufika katika hoteli fulani magari yote yalisimama walituamuru na sisi kushuka tulishuka na kwenda katika hoteli hiyo. Tulipofika kila mtu walimletea chakula chake tulikula baada ya kula mtu aliyeonekana wa makamo alitufuata na kuanza kutuongelesha
'Vijana mko vizuri'!??..
Tulimwitikia na kumsalimia baada ya kumsalimia alijitambulisha kuwa yeye ndie waziri na kusema
'Nimeamua kuwapeleka katika shule ya michezo maana suala la kukimbia katika nchi yetu hawalitilii maanani wengi wametilia maanani mpira tu"!???..
Waziri aliongea huku akiwa anaenda na sisi tulimfuata baada ya kupanda gari lake na sisi tulipanda gari tulilokuwemo!!!???
Baada ya kuingia kwenye gari sote tulikuwa wenye furaha na kwa safari hii niliweza kukaa na rafiki yangu Alfred
Rafiki yangu Alfredi tulianxa kuongea mambo ya hapa na pale baada ya takribani masaa matatu tuliweza kuona bango lililokuwa limeandika
'KARIBU MWANZA'
Sote tuliokuwemo kwenye gari hilo tulifurahi sana baada ya kuona tumefika!!...
Baada ya takribani dakika kumi magari yalikuwa yamejongea mpaka kwenye stendi ya Mwanza, stendi ya Mwanza ilizidi ya Bukoba kwa uzuri wake na pia kwa magari yaliyokuwemo kwenye stendi hiyo!!???...
Tuliipita stendi hiyo na mara tulifika katika sehemu ambayo ilikuwa ina kila kitu ndani kwa juu ilikuwa imeandikwa Supermarket, baada ya kufika Waziri alitununulia jezi za kukimbilia na pia sare za shule na kila mtu aliimpa hela ya matumizi baada ya kumaliza kumpa kila mtu alituaga na kusema
'Vijana onyesheni juhudi zenu ili mkishamaliza shule nitawapeleka nje ya nchi kushindana mimi naelekea Dar es salaam kwa shughuli zangu ila nikiwa napata mda nitakuwa nakuja kuwaona maana kuna wanafunzi wengi ninao wadhamini mimi'!!!???...
Waziri aliongea hivyo akiwa anavaa
Miwani yake na kuanza safari ya kuingia kwenye gari!?...
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Waziri baada ya kuingia kwenye gari magari yalimfuata na jingine moja lilitusubiri na sisi tulilipanda baada ya kulipanda gari ilo lilishika njia yake na kuanza safari ya kuelekea shule ilipokuwa....
Aikuchuka muda mwingi tulifika katika shule fulani iliyohonekana waziwazi kuwa ni shule ya matajiri tu wanaosomea hapo kwani ilikuwa na mvuto sana na pia ilikuwa ya ghorofa kwa juu iliandikwa
'SHULE YA SECONDARY YA MICHEZO NA MASOMO'.
Baada ya kushuka dereva aliyekuwa ametuleta alianza kujitambulisha huku akiwa anabofya namba kadhaa kwenye simu yake
'Hallo tuko hapa nje tunaomba mtufumgulie geiti'!?...
Dereva aliongea hivyo kwenye simu..
Mara ileile geti lilifunguliwa tulirusiwa kuingia ndani macho yalitutoka zaidi baada ya kuona shule ilivyokuwa imepambwa kwa rangi na pia kwa huzuri wa majengo yalivyokuwa yamejengwa.
Baada ya kuzidi kusogea mara kengele ilingongwa wanafunzi walitoka darasani na kuja tulipokuwa baada ya kutoka madarasani wanafunzi walijipanga katika msitari na kuanza kututazama sisi!!??....
Mwalimu aliyeonekana ni wa makamo alianza kuongea
'Wanafunzi hawa ni wageni ambao tuliwaambia kipindi fulani kuwa watakuja na hawa wanadhaminiwa na waziri wetu'!!!???...
Mwalimu baada ya kusema hivyo mara ileile wanafunzi walipiga makofi...
Mimi macho yalikuwa yamenitoka baada ya kuona watoto wa kike ambao walionekana waziwazi kuwa sio weusi kwa sura zao pia hata nywele zao hazikuonekana kama ni watu weusi kipindi nikiwa nashang'aa mara macho taligong'ana na msichana wa jinsia hiyo nilikwepesha macho kwa haraka sana ilitusije angaliana!..
Baada ya kumaliza kusema hayo mwalimu aliyekuwa akionekana wa makamo na pia hakiwa anaonekana ni mwalimu mkuu wa shule ile alitukabizi kwa dereva ambaye alikuwa ametuleta na kumwambia kuwa hatupeleke 'dom'!!??..
Tulimfuata baada ya kutunyooshea mkono kuwa tumfuate...
Tulianza kumfuata mara tulianza kupanda ngazi baada ya kupanda ngazi mara tuliingia katika kitu fulani na kujifunga na baada ya kujifunga baadhi ya wenzangu walimuuliza kuwa ni kitu gani hicho dereva huyo kwanza alitabasamu na kusema ni
'Lifti inayotumia umeme'!!!??...
Sote macho yalitutoka baada ya dakika tatu tulitoka katika
'Lifti'.
Na kuanza kuambaa tukiwa tunaongozana na dereva baadae tulifiika katika chumba fulani kilichokuwa na vitanda vya aina yake alituingiza ndani na kuanza kusema huyo dereva
'Najua wengi mnagikilia mimi ni dereva ila mimi sio dereva mimi ni mwalimu wa michezo naitwa Mwalimu Nicksoni na pia hivi ni vitanda kumi na tano kila mtu atachukua kitanda chake na huko kwa nyuma kuna bafu na choo hivyo mkiwa mnatoka kwenye masomo mtakuwa mnakuja mnahifadhi miili yenu hapa'!!??..
Mwalimu Nicksoni aliyaongea hayo akiwa anabofya simu yake..
Mimi nilichagua kitanda kilichokuwa mwisho niliweka vitu vyangu baada ya kuweka vitu vyangu na begi langu nilienda bafuni lo nilistaajabu baada ya kukuta bafu ilikuwa kubwa sana watu kama ishirini walikuwa wanauwezo wa kuogea mle niliwaita marafiki zangu tulioga haraka baada ya kuoga haraka tukivaa sare za shule ambazo waziri alikuwa ametununulia!!???...
Baada ya kumaliza kuvaa tulimfuata mwalimu Nickson aliyekuwa akiongea na simu alitutoa nje na kupanda
'Lifti'
Alibofya namba kadhaa zilizokuwa pale hatukuchukua dakika nyingi tulikuwa chini baada ya kufika chini tulianza kuambaambaa huku tukiwa tunaelekea katika darasa fulani??...
Tukifika darasa fulani ambalo kwa juu liliandikwa
'Form one A'
Baadhi ya marafiki zangu walichaguliwa watano na sisi wengine tulibaki nje baada ya takribani dakika saba Mwalimu nickson alitoka nje na kuanza kutembea mara tulifika katika jengo fulani lililoandikwa juu ya mlango
'Form one B'
Na hapa mwalimu nickson alichagua wanafunzi watano hakiwemo na mimi tuliingia ndani ya darasa hilo??..
Macho ya wanafunzi yalinifanya nitazame chini maana kila mwanafunzi alitutazama mwalimu aliyekuwa akifundisha aliacha na kumsikiliza mwalimu nicksoni
'Wanafunzi nadhani hawa bado mnawakumbuka sasa naomba muwape ushirikiano wa masomo na pia nani anataka kukaa nae mmoja'!!??..
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Wanafunzi karibia wote walinyoosha mikono yao hakika wanafunzi hao walikuwa wakarimu sana mwalimu nickson alianza kutupeleka katika siti ambazo tutatumia kukaa kila rafiki angu alikalishwa na msichana pembeni yake na mimi pia nilikarishwa na msichana fulani aliyekuwa akionekana ni mzungu maana nywele zake zilionekana waziwazi na sura yake ikivutia mno baada ya kutupanga mwalimu nickson aliondoka na mwalimu aliyekuwa akifundisha aliendelea kufundisha alimaliza kufundisha na kutoka darasani Mara ileile yule msichana alinitazama kwa hasira huku akionekana wazi kuwa alikuwa na dharau sikutilia maanani rafiki yangu Alfredi alinifuata nilipokuwa na kuanza kuninong'oneza
'Kijana hapa kuna visu tunaua maana kuna waarabu, wazungu yaani mimi niliokaa nae kashaanza kunielewa mcheki anavyonitazama kwasasa maana mwalimu alivyokuwa anafundisha mimi nilikuwa namfundisha binti mengine'!!??...
Alfredi hakika alikuwa kichwa kingine kwa wasichana maana alipenda sana wasichana..
Nilimtazama yule binti aliyekuwa akimsema moyo ulinidunda baada ya kuona ni mwarabu huku akionekana akiwa anamnyoshea kidole alfred amfuate
'Mmmmmhhh'!!!???...
Ilinibidi nigume kwamaana nilijawa na wivu sana kumuona rafiki yangu akiwa na binti ambaye ni mwarabu.
Tukiwa hapo mara kengele iligongwa tulitoka nje baada ya kutoka tulifuata wenyeji walipokuwa wakienda tuliwafuata baada ya kuwafuata waliingia katika bwalo fulani na kuchukua sahani na sisi tulichukua sahani tulipita katika sehemu fulani tulipakuliwa baada ya kupakuliwa tulikaa kwenye viti vilivyokuwa kwenye bwalo hilo!!!???.....
Kipindi tukiwa tunakula mara mwalimu wa michezo aliingia akiwa na karatasi fulani mkononi na kuanza kusoma
'Wanafunzi baada ya wiki moja kutakuwa na michezo ya aina mbalimbali hususani kukimbia'!!??..
Baada ya kusoma hayo yaliyokuwa yameandikwa kwenye karatasi hiyo alitoka nje..
Mimi na marafiki zangu tulikula baada ya kumaliza kula kila mwanafunzi hakuonekana kuingia darasani mimi na wenzangu tulienda kuchukua mabegi yetu baada ya kuchukua mabegi tulienda mpaka
'Dom'!?
Letu baada ya kufika nilikaa kwenye kitanda changu nilivua sare hizo za shule na kukaa na kifua wazi nilienda kuoga baada ya kumaliza kuoga niliikumbuka barua ambayo merry alikuwa amenipa niliifungua na kuanza kuisoma nilishang'aa sana mambo ambayo yalikuwemo humo ndani
'Mme wangu kumbuka ahadi yetu na pia kumbuka kiapo tulichopeana nadhani umeshayaona yaliyokuwa yakikutokea''!!!???...
Barua ilisema hivyo nilianza kujiuliza yapi ambayo yalikuwa yananitokea kwahiyo yeye alikuwa anayona nikiwa najiukiza hivyo mara niliweza kuona picha..
Niliishika na kuitazama alikuwa ni Merry nilipoigeuza kwa nyuma nilishang'aa sana baada ya kukuta majina ya watu yaliyosomeka
'Editha,Ester'!!??
Moyo ulinidunda sana niliamua kushika picha hiyo na kuiweka kwenye bahasha na barua niliruhudisha kwenye bahasha!!??...
Baada ya kuhifadhi bahasha hiyo nilijilaza kitandani baada ya takribani dakika ishirini nilipitiwa na usingizi nilijikuta niko sehemu fulan
Nilijikuta niko uwanjani huku nikiwa nakimbia mara nilidondoka kwa kujikwaa mahara fulani nilivyodondoka washiriki wangu ambao tulikuwa tunakimbia walinipita nilivyogeuza macho yangu kutazama pembeni nilishang'aa sana baada ya macho yangu kugong'ana binti niliyekuwa nikimfahama japokuwa sio sana!!??..
Nilizidi kumtazama na yeye alinitazama na mara ileile alianza kuniita jina langu na kuniimiza kukimbia aliong'ea na rafudhi ya deko sana ambayo wazazi wake walikuwa wamempa
'Nelly,nelly kimbia ukimaliza kukimbia nitakwambia jina langu'!!!??...
Binti huyo aliongea hivyo huku akiruruka kuashiria niamke ili nianze kukimbia..
Nilipigwa na butwaa baada ya kumtafakari huyo binti ambaye alikuwa ananiomba niamke kukimbia maana darasani akutaka niongee nae nikiwa namtafari mara binti huyo alitamkia
'Mimi ni mirry sasa amka ukimbie'!!!??....
Kweli baada ya kutamka jina lake nilipata nguvu ya kuamka na kuanza kukimbia nikiwa nakimbia mara niliweza kumfikia rafiki angu Alfred alitazama na kutabasamu kidogo na kisha alianza kuniita kwa nguvu!!!??...
Niliitika na mara nilishang'aa nikiwa kitandani na Alfredi akiwa pembeni yangu alinitazama na kusema
'Vipi mirry kafanyaje harafu hilo jina sijawai kulisikia au ndo demu anakupagawisha nini mpaka unaota ukiwa nyevuni'!!??....
Alfredi aliongea hivyo kwa hutani ambao kwa undani ulikuwa ni ukweli mtupu..
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Niliamka baada ya kuona ilikuwa ni hasubui tulienda kuoga baada ya kwenda kuoga tulivaa sare za shule na hatimae tukashika njia ya kwenda darasani hakika shule ile ilikuwa ni ya watoto wenye hela maana wanafunzi hawakuwa wanafanya usafi bali watu waliokuwa wameajiriwa ndo walikuwa wakifanya usafi na mashine za kufanyia usafi, nilipokumbuka shule ya kijijini nilicheka sana!!!....
Baada ya kukumbuka walimu waliokuwa zamu tulikuwa tunakimbizana nao kuhusu suala la usafi hakika kila kwenye maisha kuna wenye nacho na wasiokuwa nacho na hii ilijionesha kabsaa!!???...
Tuliingia darasani baada ya kuingia darasani aikuchukua dakika nyingi mara kengele iligong'wa wanafunzi walitoka nje na sisi ilitubidi kutoka nje tulitoka baada ya kutoka nje tuliweza kuwaona wanafunzi wakiwa wanaelekea kwenye 'hall' tuliwafuata baada ya kufika katika 'hall' hilo mara tulikaa katika meza fulani!!????...
Sikupenda kuamini nilichokiona maana niliweza kuona chupa ya chai ikiwa mezani kwetu na hiyo meza wanafunzi watano tu ndo walikuwa wanaikalia tu!!!??..
Kijana mmoja alianza kutumiminia chai yaani chai ilikuwa mubashara sana kila kitu kilikuwemo kwenye chai, yaani sio kila kitu bali vitu ambavyo vinapaswa kustahili kuwemo kwenye chai vilikuwemo na vitavinwa vilikuwepo vya aina mbalimbali nitajaribu kutaja baadhi yaani vilikuwepo
'Chapati,andazi,ndizi zilizokaangwa,mkate ukiwa na blue band'!?.
Yaani nikitaja vyote sitalizia story yangu ila kwa ujumla kila kirafunwa kilikuwepo sehemu hiyo...
Nikiwa naendelea kunywa chai mara macho yangu yaligong'ana na binti mrembo sana, Alikuwa ni binti niliyekuwa nimemuota ndotoni!?.
Binti huyohuyo na yeye alinitazama na mara alibinya jicho lake moja yaani alinikonyeza mimi nilipokuwa macho yalinitoka kiroho kilinidunda kwa kasi sana!!??...
Najua kwa mvulana yoyote yule angeweza kumuona binti huyo alivyokuwa lazima kiroho kingekudunda kama mimi na mlingoti ungeanza kupiga endiketa baada ya kukomyezwa tu!!!???....
Tulimaliza kunywa chai baada ya kumaliza kunywa chai tulirudi darasani nilienda moja kwa moja nilipokuwa nimechaguliwa kukaa kipindi nikienda mara nilijigong'a kwenye dawati fulani baada ya kujigong'a nilidondoka chini nikiwa chini baadhi ya wanafunzi wenzangu walikuwa wakinicheka kwa dhihaka na wengine wakinikashifu kwa kusema
'Nilikuwa naenda nimetazama mbingu utafikiri mimi nina undugu na Mungu'!!??..
Nilijihisi aibu sana baada ya kukashifiwa vile..
Nikiwa bado nimekaa chini Alfredi alikuwa anataka kunishika mkono na mara alikuja binti ambaye nilikuwa namfahamu alimzuia Alfredi asinishike bali yeye alinishika na kunivuta niliamka nilipokuwa hakika darasa zima lilipigwa na butwaa baada ya kuona binti huyo akinisaidia kunivuta ili niamke!!!??...
Macho yaliwatoka waliokuwa wananikashifu hisusani wavulana baada ya kunivuta alizidi kuwapagawisha waliokuwa wananicheka alinipangusa katika shati langu kwa kutumia leso aliyokuwa nayo!!!??...
Vijana waliokuwa wakinicheka walionekana waziwazi kuwa walipatwa na wivu sana, kijana mmoja aliyekuwa na vituko darasani aliyejipatia umaarufu huo aliyekuwa anaitwa kwa jina la utani
'Kifupi'
Na yeye alitoa kali baada ya kujifanya amejikwaa na kudondoka darasa zima lilicheka sana baada ya binti aliyekuwa akimpenda
'kifupi'
Alimsogelea na kumvuta baada ya kumvuta walipagana busu hakika siku ile ilikuwa ya furaha sana!!!???....
Baada ya kunifuta tulienda moja kwa moja tulipokuwa tunakaa nilimuomba daftari lake huyo binti, Binti huyo hakuwa na kipingamizi chochote aliweza kunipa bila ya kuniuliza swali lolote baada ya kunipa nilisoma jina lake kwa sauti ya kawaida
'Mirry George'!!?
Alitikia kwa kunitazama baada ya kusikia jina lake nilianza kumuongelesha mambo ya hapa na pale ya shule ile alinipa utaratibu wa shule hiyo!!???...
Tukiwa tunaendelea kuzungumza mara mwalimu aliingia na kuanza kufundisha baada ya kufundisha alitoka na mwalimu mwingime aliingia baada ya kuingia na yeye alifundisha baada ya kufundisha alitoka baada ya kutoka kengele iligongwa na mara tulianza kutoka darasani Mirry alinishika bega na kuanza kusema maneno yaliyonifanya nianze kuogopa sana!!!??..
'Nelly unajua wewe ni mzuri na pia nataka tukienda kula tule sote na baada ya siku ya leo siku ya kesho itakuwa wikendi tutakuwa beach ndani ya siku mbili nataka niwe na wewe''!!!??...
Mirry aliongea akiwa sikioni kwangu na kwa bahati mbaya zaidi mdomo uligusa sikio langu hakika kama wewe ni mvulana au mwanaume unajua kilichokuwa kikiendelea ilinibidi nishike mfukoni ili nisije nikamwaga radhi mbele ya wanafunzi na mbele yangu niliweka begi!!??....
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Tulienda sote, tukiwa tunaenda mara
'kifupi'
Aliniita kwa mkono nilimfuata baada ya kumfuata alinambia neno moja tu
'Kigogo'!!!?...
Baada ya kusema hivyo aliondoka sikuelewa maana yake nilfuata tena Mirry na hapo sikuwa na mawazo ya kumkubuka Merry bali mawazo yalitua kwa Mirry tu...
Baada ya kufika mezani Alfredi alitoka na kwenda kwa binti yake hivyo basi mimi niliweza kukaa vizuri na Mirry tulikula chakula sote kwa furaha sana ila nikiwa na wasiwasi ya waalimu kumkuta pale!!??.
Hakika shule ile ilikuwa ya aina yake maana hata waalimu hawakuwa wakizuia mapenzi shuleni japokuwa walizuia kumtwisha binti mimba na waliokuwa wakiitaji condom walikuwa wanapewa kwamaana mkuu wa shule aliweka sheria yake ya kusema
'Huwezi ingilia hisia za mtu'!!??...
Ila hisia zitaingiliwa baada ya mwalimu kuwa na mapenzi na mwalimu kwamaana mwalimu akiwa na mapenzi na mwanafunzi hawezi kufundisha akaeleweka kwa wanafunzi hakika sheria ya mkuu wa shule waliipenda sana wanafunzi hususani wale waliokuwa wanamahusiano!!!???...
Baada ya kumaliza kula mimi niliweza kumuaga Mirry na kwenda tulipokuwa tunalala nilipofika kitandani nilitafuta taulo yangu baada ya kuipata nilienda kuoga nikiwa na Alfred tulienda kuoga baada ya kumaliza kuoga mara Alfred alianza kunidadisi kuhusu kuwa na ukaribu na Mirry!!!??...
'Kijana nakuona uliota kweli maana leo hii uliamka unamtaja mirry na leo hii nimeona maajabu yake na wewe ila tuache masihala huyo demu ni kisu sio wembe'!!??..
Alfred aliongea hivyo huku akiwa anajipaka mafuta..
'Mbona nilikuwa na mazoea nae toka jana tumefika'.
Nilimjibu hivyo ili asiendelee kuniuliza maswali na kweli akuendelea kuniuliza aliondoka na kwenda kitandani kwake na kuanza kuandika notice ambazo alikuwa ajaziandika!!???...
Na mimk baada ya kumuona ameenda kuandika notice na mimi nilipata wazo la kuandika notice kwa maana nilikuwa nimemuomba daftari Mirry aikuwa na tabu nilitoa daftari langu la history na la Mirry nililitoa baada ya kulitoa nilitafuta peni iliyokuwa kwenye daftari langu sikuona hivyo ikanibidi nitafute mfuko mwingine ambao nilikuwa naweka peni!!??...
Niliutafuta baada ya kuupata nilitafuta peni moja nikiwa naitafuta mara bahasha ilidondoka ikanibidi niokote kipindi naikota nafsi ilinambia nisome tena!!??..
Niliokota baada ya kuiokota nilianza kuisoma macho yalinitoka baada ya kukuta maneno mengine yaliyokuwa yameandikwa maneno hayo yaliandikwa hivi
'Nakupenda sana nina imani utanioa ni mimi Merry wako'!?.
'Mmmmh'
Niliguna baada ya kukuta maneno mengine ilinibidi nishike na picha,picha hiyo ndo ilinitoa macho yakawa kodo kabsaa baada ya kuigeuza iliandikwa
'I love you'!!??.
Nilishtuka baada ya kuona maruerue hayo ilinibidi nishike barua na picha nizirudishe kwenye bahasha baada ya kuzirudisha nilianza kuandika notice!!?...
RAHA YA SHULE YETU YA MICHEZO...
Takribani masaa matatu mbele kengele iligongwa tulivaa harakahara sare za shule za kushindia baada ya kupewa na mwalimu wa michezo mwalimu nicksoni tulifika msitarini mkuu wa shule alianza kwa kusema
'Samahani wanafunzi kwa kuwaaribia ratiba zenu ila nataka wanafunzi wangu mmfurahi zaidi chakula cha jioni amtakula hapa mtakula mkienda sehemu ambayo uwa mnaenda kila jumamosi na jumapili leo ni ijumaa sawa ila kumbuka jumatatu kuna mashindano hivyo nataka muwe mmeshafanya mazoezi na kila mchezo utachezwa na nina wapa dakika mbili muende mjiandae'!!??..
Mkuu wa shule baada ya kusema vile wanafunzi walifurahi sana...
Mimi na marafiki zangu tulienda kujiandaa kwa kuchukua nguo mbili tatu baada ya kumaliza tulitoka faster sana tuliweza kuwakuta wanafunzi wengine wakiwa tayari mara magari ya costar ndo yalikuwa yanaingia!!??...
Baada ya kuingia mkuu wa shule alianza kutoa utaratibu wa kupanda kwenye gari
'Nadhani wenyeji utaratibu wa kuingia kwenye gari ila kwa wageni ni kwamba unakaa karibu na unakaa nae darasani''!??...
Baada ya kusema hivyo kila mtu alimtufuta ambaye anakaa nae darasani mimi nikiwa nashang'aa mara Mirry alinishika na kuingia kwenye gari...
Asikwambie mtu raha niliyokuwa nayo baada ya kushikwa na Mirry mkono tuliingia na kukaa siti ya nyuma kabsaa
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Baada ya kukaa mazungumzo yalianza kushika nafasi
'Hivi ulishawai kuwa na msichana'!!??...
Mirry aliuliza huku akisugusugua mkono wangu kwake nilikurupuka na kusema
'Haapana sijawai'!!??..
Nilijawa na presha ya binti huyo..
Nadhani kila mtu ambaye ni mvulana au mwanaume akiwa na binti mzuri huwa hata umakini,uimala wa uanaume upotea kabsaa ndo mimi yaliyonitokea kipindi hiko!!??...
Mirry aliendelea kuniuliza maswali ya chang'amoto
'Je hapa shule unaweza ukawa na msichana'!!???..
Niliitikisa kichwa kumaanisha siwezi Mirry alizidi kunishika mkono na kunibana zaidi na zaidi!!??...
Nilimtazama usoni kipindi cha dakika mbili harafu baada ya kumtazama usoni nilikwepesha macho na kutazama mbele sikuamini macho yangu kila mwanafunzi alikuwa akiwa bize na mwenzie yaani kila mtu alikuwa akimpa mwenzie denda na wengine walikuwa wakishikanashikana sehemu ambazo uwa wanashikana wakiwa faragha lakini pale palikuwa si pa faragha hata kidogo!!??..
Nilitazama sehemu nyingine niliweza kumuona Alfredi akiwa anampiga denda aliyekuwa naye
'Mmmmmmm'!!??...
Niliguna kitendo cha kuguna tu..
Mirry alipitisha mkono na kushika bendera iliyokuwa ikipeperushwa na upepo kila kona sikuwa na ujanja nilimtazama usoni na mara macho yangu yalipoteza mwanga nikawa naona maruerue!!???..
Nilimsogelea baada na kuanza kumpiga denda
'Aiseee ninadiriki kusema wa mjini waache waitwe wa mjini''!??.
Maana binti huyo Mirry alinipepeta kwa busu mpaka nikahisi nataka kujikojolea kwenye suruali...
Ila na mimi sikuwa mshamba kiasi hicho namimi nilipitisha mkono na kugusa kaburi na kuanza kusawazisha mchanga kwa mkono wangu kuna sehemu ilinibidi niwe naweka mkono wangu kwenye kaburi kabsaa ili nijue kaburi lina futi ngapi kipindi nilivyokuwa naweka ndivyo binti aliendelea kuugulia kwa raha sana!!??...
Kitendo hicho kilichukua muda wa dakika kumi kila mtu alikuwa hoi taabani na ndipo gari lilikuwa linafika beach tulishuka baada ya kushuka mwalimu mkuu alitoa pakiti na kuiweka sehemu fulani ya gari na kuanza kuongea
'Najua mmekuja huku kupata starehe ila kumbuka mimba hatutaki nyie bado wanafunzi hivyo kila mty hata kama una msichana na wala msichana akiwa ana mvulana yawapasa kuchukua condom tatutatu'!!??....
Mkuu wa shule aliongea hivyo kwa kumaanisha kwani niliweza kuona wanafunzi wakijipanga msitari...
Hakika shule hiyo ilikuwa shule ya aina yake maana shule ilikuwa inaheshimu hisia za mtu yoyote!!??...
Kitendo hicho kilichukua takribani dakika kumi kila mtu alikuwa na condom zake baada ya kupata mwalimu Nickson aliita wachezaji wote!!?..
Tulimfuata mwalimu huyo na kuanza kufanya mazoezi ya viungo tulifanya mazoezi mpaka tukajihisi kuchoka mwalimu baada na yeye kuchoka alituruhusu kwenda kuoga!!??...
Nikiwa naenda mara niliweza kumuona Alfredi nilimkimbilia huku nikimwita baada ya kunisikia alisimama, Nilipomfikia safari ya kwenda kuoga iliendelea kila mtu akiwaza la kwake maana hatukuwa tunaongea jambo lolote lile!!??...
Baada ya kuchukua takribani dakika mbili tulikuwa bafuni tukioga nilivyokuwa nikioga nilikuwa nikimkubuka Mirry alichokuwa ananifanyia sikuamini macho yangu bado nilikuwa nafikiri ni ndoto nilijaribu kujifinya ili niamke ila haikuwa hivyo basi ndo niliamini kuwa mambo yote yaliyokuwa yanatendeka ni kweli!!!??...
Baada ya kumaliza nilivaa nguo nyingine za michezo mara wanafunzi baadhi walituita kwa kusema
'Msosi tayari'!!!?..
Sikuelewa maana yake labda Alfred alinishika mkono na kunambia kuwa ni 'Chakula tayari'!!??...
Aisee nilijicheka sana na kujiona mjinga sana tena sana kushindwa kujua hilo neno....
Tulitoka katika chumba hicho tuliwafuata kwa nyuma wale wanafunzi waliokuwa wametuita tulipita vyumba kadhaa wa kadhaaa..
Tuliweza kufika katika sehemu iliyojaa viti vingi hakika hoteli hiyo ilikuwa ni ya aina yake maana ilikuwa kwanza kubwa kwa nje na pia kwa ndani ndo usiseme kwa uzuri wake ilivyokuwa imepambwa!!??...
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Tulikaa katika viti vilivyokuwa mbele yetu na mara ileile wanafunzi walizidi kumiminika zaidi na zaidi!!??..
Baada ya kuisha wanafunzi wahudumu walianza kazi zao kwa haraka maana kila muhudumu alifanya kazi yake kwa haraka sana na utaalamu wa hali ya juu sana!!??,.
Litendo cha dakika tano kila mtu alikuwa anakula mimi nilikula ila mawazo yalikuwa kwa Mirry yaani nilikula ila sikuisi radha yoyote ya chakula!!!??..
Baada ya kula chakula tulitoka nje ya eneo hilo nilianza kurandaranda huku na huku baada ya Alfred kumuona binti yake aliniaga na kumfuata hivyo nilibaki nikiwa peke angu...
Nilizunguka huku na huku na hatimaye nilifika katika sehemu fulani yenye kivuli nilikaa na kuanza kutazama mawimbi ya maji yalivyokuwa yakipiga ila kila nilipokuwa napiga macho kila sehemu kila mwanafunzi alikuwa na msichana wakiwa wanabisiana!!!??....
Niliendelea kujiuliza kwanini hii shule wanaruhusu hayo mambo mpaka wanaruhusu kumpa mwanafunzi condom nilijiapia kumuuliza mtu yoyote ile kuhusu sheria hiyo!!??...
Kipindi nikiwa natafakari mara nilishtuka baada ya kushikwa mbavu zangu nilicheka sana lo alikuwa ni Mirry, Mirry alianza mazungumzo
'Mmm umekuja hapa saa ngapi nimekutafuta nikajua umepata mwingine'!!?...
Mirry aliongea huku akitabasamu usoni..
'Hapana sina hiyo tabia ila kuna swali fulani nataka nikuulize mirry'!!??..
Nimuuliza hivyo ili haweze kunipa nafasi ya kumuuliza swali...
'Ukiwa na swali usiwe unauliza hivyo uliza moja kwa moja mimi ni wako'!!??..
Mirry aliongea neno ilo huku akinikumbatia nilihisi niko peponi maana raha niliyoipata asikwambie mtu!!??..
'Hivi hii shule inamilikiwa na nani maana sheria zake sizielewielewi na wewe ni wa nchi gani tena'!!!??...
Nilimuuliza binti huyo maswali ya harakaharaka...
Mirry alitabasamu kidogo
'Hii ni shule ya waingeleza ila inamilikiwa na wabongo kama wewe ila waingeleza waliweka sheria zao kuwa zifuate ndo unaona haya yote maana katika shule hii kuna watoto wao hivyo waliziweka sheria hizo ili watoto wao wasome kwa raha sio karaha'!!??...
Mirry aliongea hivyo huku akiwa ananitazama.....
'Asante kwa kunambia hayo je wewe ni wa wapi'!!??...
Nilimuuliza hivyo huku nikiwa nasubilia jibu lake kwa shauku...
Mirry alimeza funda la mate na kujikohoza kidogo na kuanza kuzungumza kipindi anataka kuzungumza ardhi ilianza kutikisika!!??...
Nilimshika Mirry mkono na kuanza kukimbia kila tulipokuwa tukimbilia tuliweza kukisikia kishindo hicho!!!??...
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
JE
Kishindo hicho kilikuwa ni nini na Mirru alikuwa ni wa wapi!!!???...
ITAENDELEA

0 comments:
Post a Comment