Search This Blog

Thursday, 19 May 2022

KIAPO CHA MAUMIVU - 3

 







    Chombezo : Kiapo Cha Maumivu

    Sehemu Ya Tatu (3)





    Ilipoishia iliishia pale...

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Nilienda nyumbani nikiwa na Furaha ya ajabu sana nikiwa naenda mara mbele yangu nikamuona mtu akiwa analia huku amejiegesha kwenye mti!!??....



    Sasa songa nayo....

    Ilinibidi nimsogelee huyo mtu aliyekuwa kwenye mti akilia nilimfikia na kuanza kumbebeleza alinitazama na akili yangu ikamkumbuka binti huyo kipindi nikiwa kwenye mchezo alikuwa akinitazama sana, baada ya kunirudia akilini nilianza kumbembeleza huku nikiwa nampigapiga begani "Sasa unalilia nini umekuwaje'!!??.

    Wakati huo nikiwa nambembeleza binti huyo alikuwa amefumba macho uku machozi yakimtoka!?...



    Nilichukua takribani dakika sita kumbebeleza ndipo alipokoma kulia aliniangalia kwa mtazamo wa kutaka kunambia kitu, Kwanza kabsa alitabasamu kidogo kisha akanishika mkono wangu na kuupeleka katika ziwa lake nilihishiwa nguvu kwa kupigwa na ganzi ya kutojihelewa kuwa nilikuwa wapi!?...

    Kweli shetani akikuteka kidogo kwa wanadamu wasio kuwa na huruma kwa wenza wao basi lazima utaisahau ndoa yako au mpenzi wako!!!???...



    Baada ya kunishikisha kwenye ziwa alinivuta mpaka kwenye kichaka fulani tuliingia katika kichaka hicho huku nikiwa sijielewi kabsaa, baada ya kufika kwenye kichaka hicho binti huyo mbaye nilikuwa sijafanikiwa kumjua jina alinirukia kama jogoo anavyofanya nilidondoka chini na kuanza kuninipapasa kila sehemu ya mwili wangu, chakula kilihitaji kuliwa maana kilikuwa kimeshapakuliwa!!!????....



    Baada ya chakula kuwa kimeshapakuliwa nilinawa mikono na kuanza kula hakika chakula kilikuwa kitamu sana maana binti huyo alionekana mtaalamu sana kwa kutengeneza chakula hicho kwamaana alinipagawisha vilivyo aligugumia kwa maumivu ya raha huku akiniita majina ya mbalimbali mengine ambayo nilikuwa siyafahamu

    'Sweet,honey,huba,lazizi"!?....



    Na majina mengimengi tu nilijihisi kukojoa nikataka kutoa nje mkojo mara binti huyo alining'ang'ania kwa nguvu huku akisema naisi raha ya ajabu

    "Asante Nelly kwa kula chakula changu hakika najua kilikuwa kitamu sana"!??...

    Baada ya mkojo kuisha nilimkubalia huku nikisema

    "Hivi ni nani alikufundisha utundu huu ingali tuko kijijini"!??....

    Nilimuuliza huku nikivaa kaptura tangu ya shule huku nikifikilia chakula cha binti huyo kilivyokuwa kitamu kumzidi merry!?!...



    "Aha! Kawaida mimi nilikuwa naishi mjini kabla ya kuja kijijini hivyo vingine nilikuwa nafundishwa na marafiki zangu wa mjini"!?

    Binti huyo aliongea huku akiwa amebetua midomo yake juu kwa kujinadi....



    Nilianza kutafakari kwenye akili yangu kuwa kama nikienda mjini kumbe nitapata watu zaidi ambao wanajua kupika chakula kitamu sana kuzidi wa kijijini, nikiwa naendelea kuwaza mara binti huyo aliiniita

    "Nelly,Nelly kweli unipendi hata kuniuliza jina hutaki kuniuliza"!???...



    Nilimuonea aibu na kusema nilitaka kukuuliza sasa hivi labda wewe ndo umeniwai

    "Haya samahani jina lako ni nani binti mzuri"!?..

    Nilimuuliza nikiwa naanza kutoka katika kichaka hicho....



    Binti huyo alinishika bega na kunambia

    'Mimi naitwa Editha niko kidato cha kwanza hapa kijijini ila nimesikia taarifa zako kuwa utaenda mwanza ni kweli katika taarifa hizi"!??.....

    Nilimkubalia kuwa ni za kweli ila siku ya kwenda ilikuwa ajapagwa rasmi, kila mtu alimuacha mwenzake na kuondoka zake....



    Nilipofika nyumbani mara nilishtuka baada ya kumkuta Merry akiwa amevaa sare za shule akiwa nyumbani, Merry alinitazama kwa macho ya upole na yenye ushari ndani yake mimj nafsi ilianza kunisuta baada ya kuwa nimemsaliti Merry.!!???....



    Ukimya ulikatika baada ya mama kukoa kama vile alikuwa anatuelewa tulichokuwa tunakiwaza kila mtu baada ya kuona mama amekohoa ilinibidi nivunje ukimya huo na kuanza kuongea

    "Mama,mama nilikuwa sijawai kukuambia kuwa huyu ni rafiji yangu wa shuleni"!??...

    Ilinibidi nimdanganye mama ila kaa ukijua mkubwa ni mkubwa tu mama alinitazama kwa jicho la mashaka na kuanza kuongea

    "Vizuri mwanangu kuwa na rafiki ila mbona rafiki yako amekuja hapa mda mwingi wewe ulikuwa wapi"'!?

    Mama aliniuliza swali uku akinitazama na kusubili jibu langu..

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "Kweli mama nimechelewa ila kuna mwalimu anaitwa mwalimu cosmas alikuwa ametuita sisi washiriki wa mbio kuwa twende tuombe ruhusa za kwenda Mwanza"!???...

    Kipindi nikiendelea kumchimba mkwala mama mara Merry naye aliingia kati na kuanza kunitetea

    "Oho mwalimu Cosmas,mwalimu wa michezo alikuwa na nyie na pia nilikuwa nimesahau kukuambia mama"!??

    Merry aliongea hivyo uku akinitazama mimi na mama..



    Mama aliguna kidogo, Nilianza kutoka sebuleni mara nikasikia we Nelly kaptura imekuwaje mbona imejaa michanga, nilianza kufikilia uongo mwingine wa kumdanganya mara Merry alidakia na kusema

    "Leo ilikuwa ni siku ya michezo mama"!?

    Nilijihisi aibu sana Merry alivyohongea hivyo mama akuongea tena nilienda chumbani kwangu na kubadili nguo na kutoka chumbani..



    Nilipakua chakula kilichokuwa kwenye mafiga tulikula sote mimi na Merry mama akula kwamaana alidai kuwa alikuwa ameshakula. Nilikula chakula huku nikimtazama Merry kwa kumuibiaibia kama alikuwa ameshagundua lolote. Hakuonekana kujua chochote baada ya kula Merry alitaka kuosha vyombo mama alimzuia lakini merrt aligang'ania kuosha mpaka mama alipokubali!!????....



    Merry aliosha vyombo baada ya kuosha vyombo aliaga na kuondoka nilimsindikiza mpaka tulipoagana na mimi kurudi nyumbani Mama aliniangalia na kusema maneno ya masihara ambayo yalikuwa yana ukweli ndani yake

    "Mwanangu nakuona una binti mzuri ambaye anaonekana mwenye tabia nzuri"!??..



    Nilikataa na kusema kuwa ni mwanafunzi mwenzangu katika shule yetu Mama alinitazama na baada ya kunitazama alinikata jicho la kunidhiaki?!!.....



    KIAPO KINAANZA KUFANYA KAZI YAKE

    Baada ya kipindi cha takribani miezi mitatu bado nikiwa niko katika kijiji chetu nikiwa natoka mtoni mara nilimkutana Editha akionekana dhairi ana wasiwasi mkubwa sana ilinibidi kushusha kidumu changu na kutaka kuongea nae editha, Editha alianza kulia baada ya kuanza kulia mimi nilianza kujiuliza "Hivi huyu binti ni kasumba yake ya kuwa akiwa anataka mtu ale chakula lazima alie au"!???...

    Niliendelea kutafakari hivyo kipindi niko natafakari mara alinishika mkono na kuniongoza katika sehemu ambayo ilikuwa ni sehemu ya kukutania nilishika kidumu kwanza na kukificha baada ya kukificha tuliongozana mpaka mpaka kwenye sehemu hiyo nilikaa chini huku nikiwa na hamu sana maana nilikuwa napenda mapigo yake!!!????....



    Nilianza kumpapasa kila sehemu lakini yeye akuonekana kuwa na hamu kabsa nilijaribu kugusa katika chakula chenyewe lakini hakuonekana kusisimka nilichoka na kukaa chini Editha alinitazama na kusema

    "Vipi mbona umeacha ila uko tayari nikwambie kitu"!???....

    Merry aliongea huku ameshika tumbo lake akilitazama..



    Nilimwambia kuna huna tatizo gani mpaka unaanza kuniogopesha kwa muonekano wako?.

    Merry alicheka kwa kumwenya na baada ya kumwenya alinambia

    "Hivi unajua toka siku ile tumefanya kitendo kile mpaka sasa sijawai kuona siku zangu"!??...

    Mimi nilipokuwa kiroho kilianza kunidunda kwa kasi sana

    "Ehe kwanini sasa kwani unajua ni nini sasa"!??

    Niliuliza swali hilo nikionekana nikiwa najua fika kuwa kuna nini maana nilikuwa napenda sana somo la sayansi hivyo nilikuwa najua ni nini ambacho alikuwa nacho!!!???



    'Kwani ujui'"!???..

    Merry aliniuliza baada ya kuniuliza niling'atuka na kusema

    "Kwahiyo una mimba au"!??...

    Merry alitikisa kichwa kumaanisha kuwa ni kweli nilianza kujilahumu sana kwani sikuwa nataka mtoto wakati huo na pia bado nilikuwa mwanafunzi...



    "Umeshamwambia mtu yoyote kuhusu ili"!!???..

    Nilimuuliza swali hilo nikiwa nawaza kitu fulani Merry alitikisa kichwa kumaanisha kuwa alikuwa ajamwambia mtu

    "Safi sana wewe ni msiri sana mke wangu nimekupendea usiri wako sasa yatupasa kutoa hiyo mimba ila kwa huku ni kijijini tutatoaje!?.

    Nilimuuliza Editha huku nikiwa ninashauku ya yeye akubari kutoa mimba....



    "Ndio na pia nilikuwa nataka kutoa mimba kabla sijakuambia ila nikaona vyema kukushirikisha"'!? Editha aliongea huku akiwa ameshika uume wangu kwa mikono huku akiusuguasugua mara nilipata hisia palepale na kuanza kufanya nae mapenzi hakika binti huyo alijua kupagawisha haswaa kwa kukatika akiwa amekuvulia!?!...

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Baada ya kumaliza tendo hilo kila mtu akili akajirudia kuwa yatupasa kutoa mimba tulianza kuhaha kwenye kichaka hicho na mara Editha alianza kusema

    "Dawa,dawa,nimeiona"??..



    Aliongea akiwa ametazama jani fulani alinionesha na kusema marafiki zake kipindi walivyokuwa wakitaka kutoa mimba walikuwa wanatumia jani hilo kwani walikuwa wakilitafuna na kunywa maji!!!??...



    Nilirudi katika kichaka ambacho nilikuwa nimeifadhi kidumu changu na kukikuta nilikibeba mpaka alipokuwa Editha, Editha alianza kutafuna jani hilo baada ya kulitafuna alikunywa maji?!!....



    Baada ya dakika mbili Editha katika sehemu zake za sili alianza kutoka damu na zikiwa mabongemabongea Editha alidondoka chini na kuanza kutoa damu kwenye midomo,masikioni,puani na hata machoni nilianza kuogopa nilimwita

    "Editha,editha"!?

    Lakini akuamka alizidi kutoa damu zaidi na zaidi..



    Ilinibidi nimbebe na kuanza kujiuliza nampeleka wapi nilianza kukimbia huku nikiwa nimembeba mgongoni



    Nilizidi kukimbia huku nimembeba mgongoni mara nilisikia kishindo kikindondoka 'Puuuuu'!! na huku kikiugulia maumivu, niligeuka nyuma lo! Nilistaajabu sana baada ya kumuona editha akiwa chini akilia na pia damu zikiwa zinaendelea kumbumbujika sana nilianza kumsogelea!?!..



    Nilimsogelea na kutaka tena nimbebe alikataa katukatu na kusema 'Nelly,siwezi kuendelea unaponipeleka maana kwasasa naisi nakufa na pia sina haki ya kuishi maana nimetaka kuua kiumbe ambacho kilistahili kuishi'!?..

    Alimaliza kuongea alinitazama usoni nami nilimtazama kipindi nikiendelea kumtazama hakuweza tena kufumba macho wala kupepesa macho!!!??...



    Roho ilinidunda kwa kasi sana na kuwaza kuwa kama hatakuwa amekufa nitampeleka wapi ilinibidi kuanza kumwita

    'Editha,editha,editha'!?

    Ila hakuonekana kuamka ilinibidi nimsikilize kwa kumlalia kifua maana mwalimu wa sayansi alikuwa akitundisha jinsi ya kumsikiliza mtu kama akiwa amekata huai au lo!??...

    Macho yalinitoka baada ya kumtingisha tena maana sikutaka kuamini kwa haraka sana lakini nilichukua takribani dakika kumi na tano kumuamsha ila hakuamka!!!...

    Nilianza kuogopa na kuanza kujifikilia kuwa nimemua mtoto wa watu..



    Baada ya kuamini kuwa amekufa ilinibidi nibebe mwili wa Editha na kutokomea nao msituni zaidi nilitokomea nimeubeba mara niliweza kuona korongo mwili wa Editha niliutupia kwenye korongo!!??..

    Baada ya kuutupa mwili wa editha nilianza kurudi katika kichaka tulichokuwepo mwanzo nilifika na kuchukua dumu langu na kurudi mtoni....



    Niliteka maji baada ya kuteka maji nilianza safari ya kurudi nyumbani huku nikimwazia Editha na pia mawazo mengi yakiwa kuwa kama nilionwa na mtu basi utakuwa mwisho wangu wa kuishi uraiani!!!...

    Nilifika nyumbani ila sikuweza kumkuta Mama angu alikuwa ametoka ilinibidi nipike chakula cha mchana,. Baada ya wazazi wangu kurudi tulikula huku mama akiniangalia macho ya mashaka sana,. Roho ilinidunda sana na kujua mama alikuwa amejua kila kitu baada ya kumaliza kula Mama aliniita chumbani kwake maana Baba alikuwa amerudi shambani?!..



    Mama alianza kuniangalia zaidi na zaidi huku akinipandisha na kunishusha

    'Mwanangu hivi kwasasa umekuwaje au ndo umekuwa nini'!???

    Mama aliniuliza swali hilo huku akiwa anataka jibu kwa kutulia kimya, Nilibaki kukodoa macho bila hata ya kutoa jibu lolote lile mara mama alizidi kusema

    'Ehe naona mpaka kunijibu kazi au nimwambie Babaako'!!???...



    Nilimuogopa sana baba maana Baba alikuwa ni mtu mkorofi sana maana alikuwa ni kiongozi wa sungusungu wa hapo kijijini walimpa uongozi huo baada ya kumpiga kiongozi aliyekuwepo baada ya kuwa wanashauriana na kiongozi huyo alionekana kudharau sana hoja za Baba akuvumiloa hilo hivyo alichukua hatua ya kumuadhibu baada ya kumuadhibu Baba akawa amechaguliwa kuwa kiongozi wa sungusungu hakika alikuwakorofi haswaaa!!!...

    Baada ya mama kusema hivyo ilinibidi nikate ukimya na kuanza kuongea

    'Hapana mama mimi mbona sijabadilika mama'"!!!??..

    Nilisema nikiwa namtazama mama huku nikikwepesha macho yangu yasigongane na ya mama.

    'Mwanangu,mwanangu unakuwa muongo mpaka kwa wazazi wako kweli mwanangu mimi ni mama ako huwezi kupata mama mwingine bali ni mimi haya naomba uniambie ukweli wote kuhusu Merry'!??..

    Mama aliniuliza huku akinisogelea na kunikalisha kitandani na pia akinishika begani nilienda moja kwa moja kitandani na kukaaCHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "Mama ambalo nitakwambia lisadiki kama lilivyo mama sitakuogopea chochote"!!!??.

    Nilimuelezea hivyo huku nikimlalia mapaja mama nilianza kumwelezea kila kitu japokuwa sikumwambia kuwa nilikuwa nimeshakula chakula chake na pia sikumpa habari za Editha!!?...

    Mama alionekana kufurahia sana baada ya kumwambia Merry alikuwa ni msichana wangu

    "Ehe hicho kiapo mlikifanyia wapi mwanangu'!?

    Mama aliniuliza..



    'Tulikifanyia kwenye mti ambao unasadikika kuwa ulikuwa unatumiwa na mababu na mabibi kufanyia tambiko"!??

    Nilimwelimweleza mama baada ya kumweleza mama, Mama alinishika kichwa huku akiniangalia kwa huzuni mkubwa

    'Mwanangu hicho kiapo umekilizia kweli maana kiapo ni kibaya sana baada ya kukisaliti'!?!

    Aliniuliza mama huku akiniangalia macho ya huzuni mkubwa

    'Mama usiwe na shaka nililozia kiapo hicho maana mimi nataka nije nimuoe Merry'!??...

    Niliongea hivyo ilimradi mama asiwe na shaka yoyote mama alitikisa kichwa kuashilia ni vizuri nilivyokuwa nimefanya..



    MIAKA MIWILI MBELE...

    Nilifanikiwa kumaliza darasa la saba huku tukiwa bado tukiwa tunaisubilia ahadi ya waziri wa michezo aliyokuwa amehiadi, na pia nilikuwa nimeishasau habari za Editha Mapenzi ya mimi na Merry yalichuka nafasi kubwa sana kila mtu alifahamu hata baba alivyoweka ngumu aikusaidia kitu

    'Mmm mapenzi yaache yaitwe mapenzi jama'!?

    Mapenzi yalizidi kukua maradufu mimi na Merry hadi merry ikawa akifunga shule alikuwa akija nyumbani na kushinda nyumbani.

    Siku moja nikiwa na Merry nyumbani tukiwa tunasikiliza habari mara niliweza kushtuka baada ya kusikia habari za hapo za hapo

    'HABARI ZA MCHANA MATOKEO YA DARASA LA SABA YAMETOKA ASILIMIA 80.1 WAMESHINDA"!?

    Baada ya kumaliza kusikia hivyi nilizima redio hiyo na kuanza kutoka kwa spidi na kuelekea shuleni, Niliweza kubahatika kuwakuta wanafunzi ambao tulikuwa tumemaliza sote darasa la saba..

    Mkuu wa shule alitoka huku akiwa na karatasi na kuitundika katika bao la matangazo alitundika baada ya kutundika alirudi ofisini???....



    Baada ya kuweka karatasi fulani tulianza kugombania kutazama karatasi hiyo baadhi ya wanafunzi walikuwa wakitoka kwa furaha mara niling'atuka baada ya kumuona Alfred akitoka na Furaha akiwa anajisemea

    'Nimeshinda,nimeshinda,nimeshinda'!?!..

    Mimi moyo ulianza kunidunda baada ya kuanza kuangalia namba yangu niliokuwa nimefanyia mtihani ambayo ilikuwa ni p|s0068 niilitazama kwa kiwewe sana lakini sikubahatika kuiona kijana aliyekuwa pembeni yangu alikuwa ameshinda nilimuimiza na mimi aniangalizie mara alianza kunicheka sana.

    Nilianza kujua kuwa nimeferi kwa kicheko hicho cha kifedhuri na kuanza kujutia kwanini nilikuwa nimemwambia aniangalizie

    'Nelly kweli una wasiwasi sana maana namba unayoitafuta umeishika wewe'?!!..

    Kijana huyo alinambia huku akiangalia karatasi hiyo niliitazama na mara nilishtuka baada ya kuona kweli namba yangu nilikuwa nimeigandamizia kidole changu

    "Matokeo ya mtihani najua kwa mtu ambaye ameshawai kufanya mtihani najua hakika matokeo yakiwa yametoka lazima awe na wasiwasi na hofu omba sana yawe mazuri sana"!?..



    Nilitoka kwa spidi kwa furaha na kuanza kukimbilia nyumbani nilikimbia sana ila kipindi nakimbia mara niligong'ana na mtu nilimdaka kabla ajadondoka, Nilivyomtazama lo!! Macho yalinitoka alikuwa mwalimu wangu wa hisabati lakini alikuwa ni mwalimu wa Field

    'We Nelly, mbona unakimbia bila kutazama mbele'!?

    Mwalimu Esither alihoji...



    "Mwalimu nisamehe sana nilikuwa natoka shuleni kutazama matokeo"!???

    Nilimwambia hivyo huku nikiwa nataka kuondoka..



    'Kwahiyo matokeo ndo yamekufanya uende unakimbia anyway naomba msaada wako nyumbani kwangu kuna shida ya kitu fulani naomba twende unisaidie"!??..

    Mwalimu Esther alisema huku akinishika mkono huku akiwa anautekenya kwa kusuguasugua!!???..



    Nilimuonea aibu na kuupokonya mkono wangu kutoka kwake na kusema

    'Sawa mwalimu twende ila iwe ni shughuli ya maana'!!???....

    Nilimwambia huku nikianza kutembea alipokuwa anaelekea...

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Mwalimu Ester alitabasamu na kuanza kutembea namimi nilianza kumfuata kwa nyuma huku nikiwa kimya tulitembea takribani dakika kumi na hatimae tulifika katika chumba kilichokuwa mbali kidogo na shule



    Tuliingia ndani na baada ya kuingia ndani mwalimu ester aliingia katika chumba yake na kurudi huku akiwa amebeba ndoo na kwenda kuoga, Alitumia takribani dakika nne alirudi huku akiwa amejifunga kanga na pia alikuwa ameroa tepetepe na ikulu yake ilionekana waziwazi baada ya kuniona nimemuangalia sana alifunga mlango kwa ufunguo na kuingia chumbani!?!!??...



    Baada ya kuingia chumbani mara nilianza kusikia sauti ya mwalimu Ester akiniita

    'Nelly njoo nikuoneshe kazi ambayo nilikuwa nimekuitia '

    Nilianza kujiuliza kuwa niende au nisiende mara Nafsi nyingine ilianza kusema

    'Nenda ukamsimkilize mwalimu wako shida yake na nafsi nyingine ilisema

    'Usiende,usiende'!??.



    Kipindi nikiwa nawaza mara niliweza kuvutwa na mwalimu na kuingia chumbani nilimkuta mwalimu akiwa na kanga ileile katika sehemu zangu za ikulu bendera ilikuwa imesimama tu iku ikipiga indiketa huku na huku!!?....

    Mwalimu alinipa simu yake na kunikalisha kitandani ilinitazame nae???..



    Nilianza kutazama nae picha zilizokuwemo kwenye simu yake na mara aliweka filamu ambazo zilinifanya nisisimke zaidi baada ya kuona watu wakiwa wanafanya sex huku binti akiugulia kwa raha sana kilichonishang'aza zaidi ni kuona binti akiwa anaweka uume wa mdomoni nilishang'aa sana baada ya kuona tukio hilo!!!?...



    Baada ya kuona hicho kitendo mara mwalimu Ester alinilaza kitandani na kuanza kunisaula nguo zangu huku macho yake yakiwa yanaonekana yanasinzia. Alinisaula baada ya kuimnisaula aliweka uume wangu mdomoni niliogopa sana na kujua kuwa nitaumwa kiroho kilianza kunidunda sana!!???...



    Mwalimu alianza kutelezesha mdomoni niliisi raha sana baada takribani alinipa chakula chake nilikula kipindi nakula mara niliweza kusikia mkojo ukiwa unataka kutoka nilihisi raha sana nilididimiza ndani mkojo wangu mara mwalimu alianza kunipa sifa kemkem kuwa mimi kidume na pia najua kula chakula na majina mengi ya kimapenzi ambayo kipindi hicho nilikuwa nimeshayazoea sana kutoka kwa mabinti ambao nilikuwa nimeshakula vyakula vyao!!!???....



    Nilienda nae kuoga huku nikimtomatomasa mwalimu wangu kwenye maziwa yake baada ya kumtomasa mara hisia ziliamka mara ya pili tukiwa bafuni ilimbidi mwalimu achume mboga. Niliweka kwa taratibu sana huku nikiwa nakula chakula kwa taratibu sana mara mwalimu alidondoka chini na kuanza kutoka damu kwenye sehemu zake za siri na huku akiwa analalama kuwa anaumia ilinibidi nimbebe kwamaana hakuwa mnene sana nilimbeba na kumpeleka ndani baada ya kumpeleka ndani, Mwalimu aliendelea kulalama kuwa anaumia katika sehemu zake za siri!!???....



    Nilianza kuogopa na hapo nilipotazama saa iliyokuwa kwenye simu ya mwalimu ilikuwa ni saa moja kamili na giza lilikuwa likitanda kwenye anga niliogopa sana baada ya kuona mwalimu akiwa aongei tena nilimwita takribani dakika tano sikuona ameamka ilinibidi nichukue maji na kujaribu kumwagia lakini hakuamka!!!???....



    Moyo wangu ulidunda na kujua amekufa hivyo baada ya kuona amekufa nilimfunika macho yake na kumshikisha kisu katika mkono wake na mwingine nilimshikisha barua baada ya kuona nimemaliza tukio hilo.



    Nilitoka nje kwa kutazama kwa umakini nilinyata na sikuweza kufanikiwa kumkutana mtu nilienda nakimbia mpaka nyumbani baada ya kukaribia nyumbani??!!..



    Nilijitazama baada ya kujitazama lo nikishangaa nikiwa nimevaa suruali la mwanamke hivyo ikanibidi nianze kurudi kwa mwalimu maana niliogopa kukutwa nguo zangu kwa mwalimu kwa maana ningeusishwa na kifo chake??!!...



    Nilienda kwa spidi sana sikuweza kukuta mtu niliingia ndani na kuchukua nguo zangu ila kipindi nataka kutoka mara kuna wazo nililikumbuka la rafiki yangu Alfred ambalo alikuwa anatuelezea kuhusu finger print baada ya kukuta marehemu amekufa!!!??...



    Moyo ulinidunda sana na kuanza kufikilia nifanye nini wazo lilinijia kwa haraka sana hapohapo nilimbeba mwalimu na kumweka katika gunia lilokuwa ndani nilimweka na kumbeba nilianza kutoka nilitembea kwa haraka baada ya kutoka nje nilienda sikuchukua dakika nyingi nilikuwa katika msitu nikiwa natembea kwa haraka nilifika katika korongo ambalo nilimtupa Editha, Nilitazama korongo hilo lilikuwa ni korongo lenye poromoko kubwa sana nilitupa mwili wa mwalimu Ester baada ya kumaliza hilo tukio nilianza kutoka katika sehemu hiyo na kuanza safari ya kurudi nyumbani???....

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Niliweza kufika nyumbani huku mama nikimkuta yuko nje akinisubilia baba naye pia akiwa na mama.

    Nilipofika tu nilikuwa nimeshatunga uongo wa kudanganya tuliingia ndani mama na baba hawakuniongelesha kwa jinsi nilivyokuwa nategemea bali wao walioneka wakiwa na furaha sana mara Baba alikatisha ukimya pindi tulipokuwa tunakula

    "Mwanangu umeshinda na pia mdhamini wa siku ile amesema atawapeleka baada ya wiki mbili huko mwanza ndo mtaenda kusomea na pia atawalipia kila kitu katika shule hiyo"!??

    Baba aliongea huku akiwa ameshika tonge moja la ugari akiwa anataka kuweka mdomoni mara ileile mama nae alidakia

    "Mme wangu siung'emaliza kula ona hadi unaungua vidole kisa furaha ya mwanao ya kupelekwa mwanza na pia kisaidiwa kuipiwa karo''!??...

    Mama baada ya kusema hivyo kilichofuata ni kicheko kilichochukua cha furaha sana!!!??...

    Baada ya kula nilienda kulala na nilikuja kushtuka mama akiwa pembeni yangu huku akiwa ameshika chupa ya chai..



    'Mwanangu leo umelala mpaka saa tano'!?!.

    Mama aliongea huku akinimiminia chai kwenye kikombe na pia akinitolea viazi na kuviweka kwenye sahani....



    Ilikuwa si kawaida yangu kulala hivyi mara nilikumbuka jana nilichokuwa nimefanya ndo nikajiua kuwa ndo ilikuwa sababu

    'Shikamoo mama baada ya kupata matokeo jana mimi na marafiki zangu sote tulienda kufurahi hivyo ndo maana leo nimeamka nimechelewa'!??...

    Ilinibidi nimuogopee mama maana nilijua angeniuliza maswali mengi sana...



    Mama alitabasamu kidogo na kutoka, Ilinibidi na mimi niamke niliamka na kwenda kusukutua mdomo baada ya kufanya hivyo niliingia katika chumba changu na kunywa chai baada ya kunywa chai nilienda kumuaga mama na kwenda kuchanja kuni??!...



    Nilienda kuchanja kuni baada ya kuchanja kuni nilipitia kwa merry nilimkuta mama ake maana Merry alikuwa shuleni niliweza kumpatia kuni na kuondoka nilifika nyumbani na kuweka kuni jikoni baada ya kuweka kuni jikoni sikuweza kumkuta mama wala baba...



    Niliingia ndani na kujilaza kitandani mara nilishtuka nikikimbizwa na watu ambao hawakuonekana usoni nikimbia sana mara nilijikwaa na kudondoka!!!???...



    Baada ya kudondoka mara watu waliokuwa wakinikimbiza walianza kunifuata kwa taratibu nilipotazama pembeni nilimuona merry akiiniita sikuweza kumfuata mara wale watu waliokuwa wakinikimbiza walionekana sura nilishtuka sana baada ya kuwaona kumbe walikuwa ni Mwalimu Ester na Editha walingang'ania mguu wangu lakini kwa bahati nzuri niliweza kuwaachika baada ya kuwang'ata nilikimbia mpaka kwenye mtu fulani ambao ulikuwa mkubwa sana!!???...



    Nilishtuka nikiitwa

    'Nelly,Nelly mbona unaonekana ulikuwa unaota"!??..

    Nilishangaa sana baada ya kumuona ni Merry akiwa pembeni yangu...

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Nilianza kutazama nilipokuwa nilishanga'aa sana baada ya kujikuta niko kitandani huku nikiwa nimetazamana na merry!!!???.....



    JE

    Nitaweza kumwambia ndoto niliyoota merry!!??...



    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog