Search This Blog

Thursday, 19 May 2022

KIAPO CHA MAUMIVU - 2

 







    Chombezo : Kiapo Cha Maumivu

    Sehemu Ya Pili (2)



    Ilipoishia iliishia pale....

    Huku akionekana yuko katika hali mbaya sikujua nianzeje maana sikuwa mzoefu kabsa Merry alinisogelea na kuanza kunivua, niliogopa sana na kukimbka na kwenda mlangoni na kutaka kufungua kuondoka!?...



    Sasa endelea nayo...

    Nilipofika mlangoni sikuweza kukuta ufunguo hivyo ilinibidi nisimame huku nikitetemeka mara Merry alinisogelea huku akilia na kunibembeleza alinisogelea na mimi nilizidi kusogea nyuma lakini na hatimaye nilifika ukingo wa ukuta hivyo sikuweza kusogea nyuma maana ukuta ulinizuia kurudi nyuma?!..



    Merry baada ya kuona namfanyia hivyo ilimbidi kwenda chumbani na kurudi na kitu ambacho sikujua ni nini hapo mwanzo alinisogelea huku akilia na kujionesha kujichoma,

    Loo! Kilikuwa ni kisu alianza kuongea maneno ambayo yalinifanya niogope

    "Hakika Nelly usipojaribu kufanya ninachotaka nitajiua kwa kujichoma kisu mbele yako"!?.

    Aliongea hivyo huku kisu amekioneshea kwa juu.

    Macho yalinitoka huku hofu ikichukua nafasi yake hivyo ilinibidi nianze kumsogelea nilimsogelea kwa mwendo wa tahadhari sana nilimpofikia nilimnyanganya kisu!?.



    Na kuanza kuzungumza

    "Niko tayari kufanya lolote unalohitaji hila hilo unalotaka sijui kabsa"!?

    Nilimueleza huku nikiwa nimeangalia chini maana nilimuonea aibu ya uchi wake..

    Merry akulizika na jibu hilo alinishika mkono na kunipeleka chumbani sikujua nilikuwa mjinga kiasi gani mpaka nafanya tukio hilo ambalo leo hii linaumiza Moyo wangu na ndio limesababisha kuleta mkasa huu wa mapenzi!?...



    Baada ya kunipeleka kitandani nilimshika katika chuchu zake na kuanza kuzinyonya niliona Merry akionekana mwenye usingizi mwisho wa siku namimi nikikuwa uchi nilikuwa katika hali ya kupampu upepo ila nilisikia kilio cha Merry akilalama kuwa namuumiza na mimi nilizidi kupampu lakini na mimi nilikuwa naumia sana katika uume wangu!?!..



    Nilijaribu zaidi kupampu zaidi lakini sikuweza maana niliumia sana na Merry alitoa miguno ya kuumia niliishiwa na hamu ya kufanya tendo la ndoa, Merry alizidi kulalama kuwa bado anahitaji ilinibidi nifyate mkia.

    Nilianza shughuli hiyo harakati hii nilikuwa na haraka nilijaribu kuzamisha zaidi Merry alipiga ukelele wa nguvu huku akishika mdomo wake mara niliweza kuona damu niliogopa na kujua Merry nimemua!!?!???....



    Nilicholopoka nilipokuwa na kutaka kukimbia mara nikasikia sauti nyuma ikinita sauti ya mtu akilia kwa maumivu

    "Nelly mbona unataka kuondoka hakika Nelly, usije ukanisaliti maana wewe ndo umetoa bikra yangu"!?!?.

    Aliongea hivyo huku akionekana ana maumivu makali sana?!?..



    Ilinibidi nimfuate na kuanza kuzungumza nae kwa ufasaha zaidi nilimsogelea kitandani alipokuwa na kuanza kumuhoji

    "Kwanini umetaka nifanye hivi na pia wazazi wako,wako wapi"!?

    Nilimuhoji huku nikionekana mwenye mawazo mengi..

    Merry alitabasamu kidogo kisha akanishika bega

    "Hakika katika bara la afrika msichana kumwambia mvulana nakupenda nikama msichana amejishusha hadhi yake na pia anaonekana ni malaya lakini kwangu mimi Nelly nimekupenda zaidi ya sana, na kuhusu suala la wazazi, wazazi hawapo wameenda mjini kumtembelea Baba mkubwa hivyo watakuja kesho"",!?!?.

    Aliongea hivyo huku akionekana waziwazi maneno aliyokuwa akiyasema kuwa yanatoka katika chemba ya Moyo wake,..

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Mimi baada ya kuona hivyo,hivyo na mimi ilinibidi nimuakikishie na mimi kuwa nampenda Maana Merry alikuwa mzuri wa umbo na pia sura yake ilivuta sana

    "Merry ila samahani kwa kukuhumiza ila namimi Nakupenda".

    Niliongea maneno hayo huku macho yangu yakimtazama macho ya Merry!?.



    Ajabu Merry hakuonekana kulizika kwa majibu yangu hivyo alinisogelea zaidi na kunambia hayo ni maneno tu naomba nikwambie kitu, Nilitukisa kichwa kuashiria anambie

    "Nikweli unayonambia kwasasa unanipenda maana wewe ni muoga sana ila kwasasa wewe shuleni ni mtu maarufu hivyo najua utadiriki kunisaliti hivyo naomba kama hutojari kesho kutwa ambayo hitakuwa ni siku ya Jumapili twende kuweka kiapo"!!?....



    Nilishang'aa kusikia kiapo hivyo ilinibidi na mimi kuuliza swali,

    "Kiapo ni nini"!?.

    Niliuliza swali hilo huku nikionekana macho yangu yakiingiwa na hofu baada ya kusikia neno kiapo!?!..

    Merry alitabasamu kidogo na kujibu kwa kifupi sana

    "Kiapo ni ahadi au ni kifungo mengine utayajua pindi tukiwa tunapeana kiapo"!?!..

    Baada ya kuongea maneno hayo Merry alitoka na kwenda sebuleni na kujifunga kanga, mimi nilivaa nguo za shule na kumuaga Merry na kurudi nyumbani!!!??....



    Nilifika nyumbani mida ya saa kumi sikuweza kumkuta mtu hivyo niliingia chumbani moja kwa moja katika chumba changu na kubadili nguo na kwenda bafuni kuoga, nilioga na kurudi chumbani kipindi najipaka mafuta mara niliweza kuona barua ikiwa katika kimeza kilichokuwepo ndani huku kwa juu imeandikwa "MWANANGU NELLY".



    Niliifungua barua hiyo na kuweza kukuta maandishi ambayo yalinipa faraja na karaha katika nafsi yangu maandishi hayo yaliandikwa hivi

    "MWANANGU NELLY MIMI NA BABA AKO HATUTARUDI MAANA MAMAAKO MDOGO KAFARIKI HIVYO TUTARARA HUKO"!?..

    Nilifurahi kusikia hivyo na kuhaidi kuwa nitaenda kwa Merry kulalako maana na kwakina Merry siku hiyo wazazi wake hawakuwepo,!????...



    Nilijipaka mafuta kwa haraka na kuchukua chakula changu kilichokuwa mezani na kumpelekea mbwa wangu aliyeitwa "Puppy"

    Baada ya kumpa mbwa wangu chakula nilifunga nyumba na kutoka kwa spidi na spidi hiyo niliishia kwenye mlango wa akina Merry?!..

    Niliita Merry mara moja mara hiyohiyo merry alifungua mlango huku swali la mshangao likimtoka

    "Vipi umekuwaje mpaka unahema hivyo'!??....



    Nilicheka huku nikiingia ndani

    "Leo nalala hapahapa"!?...

    Merry hakuamini nilichokuwa nikisema maana alionekana kuwa akuamini hivyo ilinipasa kumtoa dukuduku kabsaa

    "Maana na mimi wazazi wangu leo awapo"!?...



    Merry alifurahi sana baada ya kusikia hivyo hila ombi lake lilelile alizidi kunisisitizia la kuweka kiapo. Nilimkubalia na kusema hata "Tukienda sasa hivi"?

    Merry alivaa vizur na kufunga mlango baada ya kufunga alinambia nimfuate nilimfuata alipokuwa akielekea tulipita katika vinjia vya uchochoroni na kufika katika mti mkubwa ambao ulikuwa ukitumiwa na mababu zetu ambao walikuwa wakiutumia kuabudia maana Mama aliweza kunipa historia hiyo ya mti....



    Merry alinitazama na kuzungumza

    "Hivi unahakika na unachokisema au unaongea kufuruhisha mdomo ili nijue kuwa unanipenda"!?...

    Merry aliuliza huku akinikodolea macho ya kunitathimini,.

    Niling'atuka katika mawazo ambayo nilikuwepo na kumwambia

    "Nina hakika Nakupenda wewe tu"!?...



    Merry alitabasamu na kuutazama mti huo kwa juu na mara aliweza kuona mti uliokuwa umechongwa kama kisu. Aliuchomoa katika mahali pake na kunitazama mimi huku akizungumza

    "Huu mti najua, unajua historia yake hapa nataka mti huu uwe shaidi mbele yetu maana nataka tuweke kiapo"!?.

    Merry aliongea huku akishika kimti ambacho kilionekana kinamakali sana kama kisu,

    Nilimtazama merry na kumuuliza

    "Kwahiyo unamaana gani kusema hivyo"!?....



    Merry alijibu huku akinitazama machoni

    "Nataka tuweke kiapo cha dhati na kama mmoja wetu akimsaliti mwenzie kiapo hiki kiwe kiapo cha maumivu"!?..

    Nilishangaa sana Merry alivyokuwa akiongea mara nilitokwa na mshangao wa swali la ghafla

    "Kiapo cha maumivu ni nini

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Merry alinitazama na kusema

    "hiki ni kiapo ambacho mmoja wa wetu akimsaliti kwamaneno ambayo tutayasema hapa yatampata hivyo kuwa makini kwa hili kama unanipenda"'!?...

    Baada ya kuongea hayo mara alishika kisu kile na kunioneshea inshara ya kunyoosha kiganja, nilionesha kiganja na mara alinichana kwa kutumia kisu hicho na kushika damu yangu na kuichanganya damu yake na kuiweka katika kibuyu kilichokuwepo pale?!?..



    Nilibaki nikishang'aa maana sikuelewa halikuwa na maana gani nilishtushwa na sauti ya Merry aliponiita

    "Nelly,nelly umelizia kwa ili au"!?..

    Nilitingisha kichwa kumaanisha kukubari baada ya kukubari aliongea maneno ambayo leo hii nayaleta kwenu wasomaji wa simulizi hii maana yalikuwa ni ya kiapo cha maumivu!!!??...



    Merry alitazama kwanza kibuyu ambacho alikuwa ameweka damu zetu baada ya kuzichanganya maneno yalimtoka kwenye kinywa chake

    "Kama mimi ikitokea nikamsaliti Nelly nisipate mimba kamwe na pia kama Nelly akinisaliti awe ni mshiriki mzuri wa kutoa mimba za wasichana na pia wasichana wawe wanafariki wakiwa wanatoa mimba"!?!?...

    Baada ya kusema maneno hayo alishika kibuyu kilichokuwa na damu na kukipasua katika mti huo?...



    Nilizidi kumtazama huku nikiwa na wasiwasi mkubwa kwa matendo aliyokuwa akiyafanya yalinichanganya kabsa, Merry baada ya kupasua kibuyu hicho alinitazama na kusema maneno yaliyonishtua zaidi katika nafsi yangu

    "Hakika Nelly ukijaribu kunisaliti na kwenda kwa msichana mwingine kiapo hiki ni cha halisi kabsa na ukijaribu kukivunja utaishia kuteseka tu"!??...



    Alipomaliza kuongea hivyo alinishika mkono na kutoka katika mti huo uliosifika kwa maajabu yake, Nilitoka nae na kwenda nyumbani kwao baada ya kufika kwao sikuwa na hamu ya kufanya kitu chochote nilifika na kujibwaga kitandani mara nilikuja kushtuka nikiwa katikati ya msitu na pia nikiwa na Merry,mti uliokuwa ukisifika kwa tiba mbalimbali ulikuwa mbele yetu mara mti huo ulianza kuzungumza kwa sauti kuu na ya maajabu sana

    "Nimependezwa na upendo wenu ila hakikisheni msisalitiane maana hitakuja kuwaletea matatizo"!?

    Kipindi mti ukiongea mara alipita msichana ambaye alikuwa anaenda kuchanja kuni na pia alionekana ni mtu aliyekuwa na wasiwasi mkubwa!!!??...



    Nilijaribu kumgusa Merry alipokuwa lakini hakuonekana kunisikia alizidi kutazama mti uliokuwa ukizidi kuongea, kipindi nikimlazimisha kutazama binti yule mara nilisikia ukelele wa binti huyo aliyekuwa akienda kuchanja kuni,???!!!!....



    Nilizidi kusikiliza ukelele ambao ulinipenya mpaka kwenye ngoma za masikio ilinibidi nitoke nilipokuwa na kwenda alipokuwa binti akipiga ukelele nilimkimbilia kwa bahati mbaya binti huyo nilimkuta ameng'atwa na nyoka nikawa nataka kumng'ata katika sehemu aliyokuwa ameng'atwa na nyoka, nikiwa nataka kumng'ata mara sauti ya merry ilianza kuniita huku ikiniimiza kwa sana

    "Nelly,nelly usijaribu utaharibu kiapo chetu na kitakuwa kiapo cha maumivu kwako"!??.....



    Sikupenda kuamini hivyo, hivyo ilinibidi mimi nimng'ate huyo binti ili asife nilimng'ata na kweli binti huyo hakufa kwani alipata haueni!!!!??....

    Nilishtushwa na sauti ya Merry niliamka na kushangaa nikiwa kitandani Merry alinitazama huku akiwa anatokwa na jasho jingi mimi pia lilizidi lake?!!!...



    Nilijiuliza kama ilikuwa ni ndoto kwahiyo na Merry ameota kama mimi nilishangaa sana lakini Merry hakuonekana kujua ili wala lile, baada ya dakika kadhaa kila mtu aliamka na kutazama saa ilikuwa ni saa kumi na mbili hasubui hivyo merry akuendelea kulala aliniacha chumbani na kwenda kupika chai.....



    Hivyo baada ya kuniacha hapo nilianza kutafakari ndoto hiyo kwamaana iliniogofia sana na pia binti huyo ambaye nilikuwa nimemuota sikuweza kumfahamu na pia katika kijiji chetu sikuweza kumuona hivyo wasiwasi ulinitawala kuhusu binti huyo nilikatishwa na mawazo hayo baada ya Merry kuja chumbani na kuanza kuzungumza na mimi

    "Huko tayari kunioa ili niwaambie wazazi wangu"!? Merry aliuliza swali ilo huku akionekana mwenye Mapenzi ya dhati kwangu...



    Nilimjibu kuwa niko tayari kumuoa, Merry alinitazama kwa macho ya kuwa kuna kitu anakifaham kwangu kimoyomoyo sikutaka agundue ndoto ambayo nilikuwa nimeiota, Merry hakuonekana kuwa anawazia hilo baada ya kuniangalia hivyo alinirukia kifuani na kuwaza kuzungusha mkono wake katika mwiki wangu sikujua niliipata wapi hisia kwamaana nilimtoa nguo zake zote hususani khanga aliyokuwa amevaa na bikini, nilianza kupampu safari hii nilitumia nguvu niliumia sawa ila nilitumia nguvu zangu na kufanikiwa kutoa bikra kihuhalali kabsa!??!...



    Merry alipiga kelele baada ya kupiga ukelele mwingi nilimuonea huruma na kutaka kutoa pampu yangu kipindi nataka kutoa mara merry alinishika zaidi na kuanza kusema maneno ambayo nilimuona amepatwa na ukichaa wa ghafla kwani alikuwa akisema

    "Yaani tamu hivi kweli!! nakuomba nelly usije ukanisaliti"!??

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Nilijishangaa baada ya kuisi vitu kama mkojo yakitoka katika mwili wangu nilijihisi raha ya ajabu kipindi mkojo huo ukitoka nilimshika kwa nguvu merry baada ya kumaliza kukojoa niliishiwa nguvu na kuanza kutweta kwa nguvu sana Merry hakuwa na hamu baada ya kuhumizwa sana ukuweza kuinuka mpaka ilipochukua takribani dakika hamsini,,,...



    Baada ya takribani hizo merry aliamka na kwenda nje kuoga, baada ya Merry kwenda kuoga nilitoka ndani kwa kunyata na kutoka nje na kwenda nyumbani!!!???..



    Nilifika nyumbani sikuweza kukuta wazazi wamesharudi nilienda kuoga baada ya kuoga niliweka chai kwenye mafiga nikiwa jikoni mara nilishtushwa na sauti za mama na baba huku zikiita Nelly,nelly nilitoka jikoni na kwenda kwa wazazi wangu walipokuwa niliwasalimia baada ya kuwasalimia nilianza kuwauliza maswali ya kwenye kilio baada ya kumaliza kunijibu na mara!?.

    Na baba alikohoa huku akimaze mate kwashida maana alikuwa na huzuni sana baada ya kufiwa lakini alijitahidi kuzungumza hili kwamaana lilinihusu mimi

    "Yakupasa mwanangu kujiepusha katika makundi ya tabia mbaya"!??

    Aliongea hivyo mimi nilishang'aa baada ya kusema hivyo nilimjibu

    ""Vipi baba unamaana gani"!??!...

    Alijichekesha kidogo na kusema

    "Hakika mwanangu umechaguliwa kwenda mwanza kusoma hapo shule maana wamekuja wadhamini na kudhamini shindano hilo,.



    Baada ya kuongea hivyo niling'atuka kwa haraka sana na kumkubatia mama na baba uku nikiwa na furaha maana nilikuwa sijawai kupanda basi la kwenda sehemu za mbali?!...

    Mama alinishika bega na kusema "Mwanangu nakupenda ila hata ukienda uko usije ukajiunga na makundi ya watu waharifu au vijana wenye tabia mbaya"!?...



    Baada ya kuongea hivyo mara baba naye alinitazama na kusema

    "Najua mwanangu kwasasa umeshakuwa ila kumbuka kuwa sisi wazazi wako tunakutegemea sana ili uje hutusaidie hivyo hata ukienda uko usije ukatusahau sisi na pia kuwa makini katika masomo yako"!..

    Baba aliongea huku akinitazama mimi na mama huku akinipapasa kichwani!?..



    Baada ya kumaliza mazungumzo hayo niliwaletea chai na wakaweza kunywa chai baada ya kumaliza mama na baba walienda shambani ila mimi waliniacha na kunambia kuwa watarudi mida ya saa kumi alasiri, kipindi cha dakika tano walikuwa mbali wazazi wangu na mara ileile alitokea Mery huku akionekana akilia!??...



    Nilimkibilia na kwenda kumkubatia na kumuingiza ndani na kumkalisha kwenye kiti ambacho kilikuwa kimechakaa sana, alikaa bila ya kuwa na wasiwasi na mara maswali ya harakaharaka au maswali ya ghafla yalinitoka

    "Umekuwaje mpaka unalia merry";??..

    Nilimuiliza swali hili huku nikimtazama kwenye macho kwa kumtathimini...

    Merry alianza kusema maneno ambayo yalinishtua sana kwani alisema

    "Nelly,nelly hivi ni kweli unaenda huko mwanza na pia unanipenda au"!??..

    Merry aliniuliza swali hilo na macho yake yaligongana na macho yangu kwa kutazamana ilinibidi kukwepesha maana nilimuonea aya yaani aibu!??!!...



    Merry aliniita "Nelly,Nelly mbona unakwepesha macho au ndo ukienda utanisaliti ila kumbuka kiapo chetu maana kama mtu yoyote akimsaliti mwenzake lazima kiapo kitamfuata na pia kitakuwa kichungu kwake"!?...



    Nilishang'aa sana baada ya kusema kiapo ambacho tulikuwa tumekiapa na kipindi hichohicho nilimkumbuka binti ambaye nilikuwa nimemuota, kipindi nikiendelea kuwaza mara Merry alinishika bega nilishtuka na kuita "Mama,mama,mama"!?.

    Merry alitoka ndani huku akikimbia baada ya kuniona sikutaka kumjibu alikimbia huku akilia,!??...

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Niling'atuka baada ya kumuona merry akiwa anakimbia kwa spidi kwa bahati mbaya au nzuri au mbaya Merry alidondoka chini baada ya kujikwaa, Nilimsogelea na kumuamsha na pia kumbebeleza huku nikiongea maneno ya kumbembeleza

    "Hakika Merry sitakusaliti kamwe na kile kiapo kama nitakusaliti kinifuate mimi"!!?,.

    Niliongea maneno hayo bila uoga wowote maana sikuwa najua maana ya kiapo kama ningejua heri ningesema sitaki kiapo maana mpaka leo hii kinanitesa katika nafsi yangu hakika wewe msomaji na msikilizaji yasikie haya au yasome haya kwangu yasikutokee wewe maana kiapo ni kizuri pale unapokuwa amjasalitiana ila ni kibaya sana kwa kukisaliti!!!!???...



    Merry baada ya kusikia hivyo alifurahi sana na kunishika mkono na kujiweka katika shavu lake na kuanza kupangusa machozi yake na pia akiongea

    "Nelly, hakika uwezi nisaliti maana huko unakokwenda kuna wasichana wazuri zaidi yangu"!?

    Mery aliyasema huku macho yakitazama na macho yangu kwa huba ya hali ya juu sana????.....



    Kipindi nikiwa nae njiani mara mama na baba waliweza kunikuta na Merry njiani walitupita mimi na merry tuliwaamkia baada ya kuamkia, mery aliondoka mimi nilirudi nyumbani...



    Kipindi tukiwa shule mara kengera iligongwa wanafunzi sote tulijongea katika eneo hilo la kujipanga msitari waalimu wote walikuwepo baada ya kujupanga msitari, Mkuu wa shule alianza kuongea huku akiwa na furaha waziwazi?!...



    "Hakika nimefurahi sana baada ya mdhamini kuja kuhidhamini shule yetu"!?. Baada ya kusema hivyo mkuu wa shule alikata kauli baada ya kupigiwa simu aliongea baada ya kuongea na simu aliendelea kuzungumza!?!?...



    "Nadhani kila mtu anafahamu kuwa kuna mdhamini kajitokeza kuwadhamini baadhi ya wanafunzi ili kiwapeleka mwanza na hatimaye waje wafike mbali"

    Mkuu wa shule baada ya kusema hivyo alisita kidogo na kumwita mwalimu wa michezo na kuendelea kuzungumza Mwalimu Cosmas alianza kwa kutabasamu kama kawaida yake....



    Mwalimu cosmas alishika fimbo yake aliyokuwa nayo mikononi na kuanza kuinzungushazungua

    "Wanafunzi mnakumbuka kuna siku fulani kuna mashindano yalichezwa"!?!...

    Mwanafunzi wote wakaitia kwa kusema

    "Ndioooooo mwalimu"!?..



    Baada ya kuitikia mwalimu cosmas alisema

    "Basi ni vizuri kukumbuka kama kuna mchezo tuliucheza sasa naomba wanafunzi walioshiriki waje mbele"?????...



    Tulienda mbele baada ya kufika mbele mwalimu cosmas alianza kutuhuliza maswali ambayo yalionekana ya kejeri wanafunzi wengine walitucheka sana kwani mwalimu alisema

    "Washiriki mmeshawai kupanda basi"!?..

    Sote tulikataa kwa kutikisa vichwa wanafunzi walicheka sana hili hali nao hawajawai kuipanda...



    Baada ya kutuhuliza swali hilo la kejeli aliendele kuzungumza

    "Sasa mkuu wa mkoa mwanza ametoa nafasi kubwa kwa ajri yenu kwenda kusomea hukohuko mpaka chuo na pia atakuwa anawaendeleza kipaji chenu maana kipindi cha mashindano nayeye alikuwepo"!?!?...



    Baada ya kusema hivyo nilifurahi sana kwani nilijua waziwazi kuwa hapa kipaji chetu kitakuzwa zaidi na zaidi mwisho wa mwisho nilijua hipo siku tutabeba bendera ya Tanzania na kwenda nje ya nchi katika mashindano hayo ya kukimbia hakika nilifurahi sana!!!????.....

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Baada ya mwalimu cosmas kumaliza kuongea mkuu wa shule alianza kuongea tena

    "Siku ya kwenda mwanza bado kama ikifika tutawajulisha mapema sana na nyie mkajiandae mapema kwa kuwataharifu wazazi wenu'"!!!???...

    Mwalimu mkuu baada ya kumaliza kuongea kila mwanafunzi alirusiwa kwenda nyumbani....



    Nilienda nyumbani nikiwa na Furaha ya ajabu sana maana lakini nikiwa naenda mara mbele yangu nikamuona mtu akiwa analia huku amejiegemea mti!?!.....



    JE

    Ni nani huyo aliyekuwa amejiegemea huo mti na ni siku gani tulienda mwanza!!!!!?????





    ITAENDELEA



0 comments:

Post a Comment

Blog