IMEANDIKWA NA : ISAACK KANYANKOLE
*********************************************************************************
Sehemu Ya Kwanza (1)
Ilikuwa ni siku ya Jumamosi Tarehe 15 mwezi 07 mwaka 2017 nikiwa katika benchi nikiwa nasubilia majibu ya mgonjwa wangu niliyekuwa nimempeleka katika hospitali ya private iliyoitwa STEVEN HOSPITAL nilionekana nikiwa na wasiwasi mkubwa sana nilizidi kusubilia bila kukata tamaa, Baada ya dakika kumi na mbili, DOKTA alitoka katika chumba cha watu mahututi alionekana waziwazi kuwa kuna jambo lilokuwa limetokea, DOKTA aliniita katika ofisi yake na kuanza kuzungumza nami, Dokta alishika kwanza joho lake na kukohoa kidogo na kumeza Funda la mate na kuanza kuniuliza
"Kijana umemfanya nini mtoto wa watu"!? Dokta aliuliza huku akionekana mwenye shauku la kutaka kujua..
Nilitetemeka sana baada ya kuniuliza hivyo ikanibidi nimuogopee,
"Nimemkuta amezidiwa njiani ndomaana nikamleta hapa"!?..
DOKTA alinitazama kwa umakini wa hali ya juu na mimi sikupepesa macho yangu nilimtazama kwa ujasiri wa hali ya juu sana,.
Nilimshtua Dokta baada ya kuendelea kunitazama kwa kunichunguza, Nilimuuliza Dokta
"Vipi mgonjwa anaendeleaje"!?..
DOKTA alitoa miwani yake na kupangusa macho yake na kuanza kuzungumza "Kijana mgonjwa wako inaonekana alijaribu kutoa mimba kwa kutumia dawa ambazo sio sahihi hivyo nasikitika kusema"!?! DOKTA alipofika hapo alionekana mwenye kigugumizi, Nilimsihi aniambie kimetokea nini kwa mgonjwa wangu,.
DOKTA alikata ukimya wake na kuanza kuzungumza "Mgonjwa wako atunae tena duniani" DOKTA alipomaliza kusema hivyo nilihisi nakosa nguvu huku nikiiita jina la Miry,miry,miry nilihita jina hilo mara kadhaa,.
DOKTA alinitazama na kuniuliza vipi mbona unauchungu sana kama vile unamfaham, Nilikataa katukatu kuwa simfaham nilitoka katika hospitali hiyo baada ya kumuachia Dokta namba ya wazazi wake...
•••••••••••••
Kipindi cha miaka saba nyuma nilikuwa siamini kama Mapenzi yanaweza kumfanya mtu akawa mwendawazimu na pia nilikuwa sipendelei kuwa na mazoea na wasichana kwani niliwaonea aibu sana!?.
Nikiwa katika darasa la sita diwani wa kijiji chetu aliweza kuweka mashindano ya kukimbia katika shule zote za msingi, Wanafunzi wote tulipewa habari hizo kila shule ilionekana kuwa na uchu wa kile kilichokuwa kimetolewa na DIWANI.....
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Katika shule yetu iliyoitwa KIMBUNGA, wanafunzi wote walilazimishwa kukimbia uwanja mzima baadhi ya watu kumi waliweza kuzunguka uwanja huo mara saba nikiwemo na mimi, Mwalimu wa michezo aliyeitwa MWALIMU COSMAS, aliweza kututambulisha mbele ya wanafunzi kuwa sisi ndo tutakuwa washiriki, Mimi na wenzangu tulijiona fahari sana...
Tulianza kufanya mazoezi tukiwa tunasaidiwa na Mwalimu COSMAS alitutia moyo zaidi sana hakika miili yetu iliimarika vilivyo kwani tuliweza kupata pumzi,,
Siku zilikatika na hatimaye siku ya mashindano ilifika kila mwanafunzi wa shule yetu aliamni fika lazima tushinde kwa mazoezi tuliyokuwa tumefanya, Wanafunzi wote wa kijiji cha MTAKUJA walikusanyika katika kiwanja kikubwa ambacho kilitumika kufanyia mashindano ya kukimbia hususani watu wakubwa!?...
Wanafunzi na wanakijiji baada ya kufika pale kila mtu alikaa kimya baada ya mgeni rasmi kuanza kuongea "Hakika nimefurahi sana waalimu na wanakijiji kukubari mwito huu wa kuangalia watoto wenu wakifanya mashindano haya" Diwani aliongea na baada ya kuongea mashule kumi na tano yalitoa washiriki wao mimi na wenzangu tulitoka mbele,.
Mimi niliogopa sana baada ya kuona haraiki ya watu iliyokuwa mbele yangu, Rafiki yangu aliyeitwa ALFRED aliniona nikiwa na hofu alinitoa hofu baada ya kuanza kuzungumza juu ya shindano hilo?!.
Refa aliyekuwa mbele yetu alitusogelea na kuanza kuzungumza mtazunguka uwanja mara kumi na tano na hatakayefanikiwa kumaliza wa kwanza ndie atakuwa mshindi, Niliutazama uwanja ulikuwa mkubwa zaidi ya mara mbili ya ule tuliokuwa tunafanyia mazoezi...
Refa alituruhusu kila mshiriki kwenda kwa mwalimu wa michezo kwa dakika mbili ili tuweze kusikia maelezo yake mimi na wenzangu tulienda kwa Mwalimu COSMAS, Mwalimu COSMAS alitukumbusha mbinu aliyokuwa ametupa baada ya kusema vile tulirudi uwanjani kila mwanakijiji na wanafinzi walipiga kelele kwa furaha sana!?!?..
Kila mshiriki alijipanga katika sehemu yake filimbi ililia kila mshiriki wa shindano hilo alitoka spidi kali ila mimi na wenzangu tulionekana kwenda kwa taratibu sana,wanafunzi walipiga kelele hususani shule ambayo mshindani wake alikuwa mbele
Tuliendelea na spidi zetu hizihizi mshiriki aliyekuwa wa kwanza alizidi kutuongoza ndani ya round ya kumi na mbili washiriki wengine walionekana kuchoka kwani kuna baadhi ya wengine waliweza kudondoka huku wakitweta kwa juu mfano wa mtu aliyekuwa amezibwa mdomo!??..
Mimi na wenzangu tukaanza spidi hakika tulikimbia sana ndani ya round ya kumi na tatu,tulifanikiwa kuwa tumeshika usukani mimi na wenzangu. Nikiwa namba mbili rafiki yangu aliyeitwa Alfred alikuwa namba mmoja lakini kwa bahati mbaya alijikwaa na kudondoka mimi nikawa wa kwanza katika round ambayo ilikuwa ya mwisho!??!...
Wanafunzi na wanakijiji walipiga kelele nyingi sana na pia uwanja mzima walianza kuita Nelly,nelly,nelly, hakika nilivutika sana kuitwa hivyo nikahisi kuwa nitakuwa mtu maarufu katika kijiji chetu, na hatimaye nilimaliza huku nikiwa mshindi wa kwanza, na pia wa pili na wa tatu walitoka katika shule yetu?!. Hakika nilifarijika sana Mwalimu wa michezo Mwalimu Cosmas alishangilia sana huku akinikumbatia kwa nguvu zake zote wanafunzi hususani mabinti walinikimbilia na kunikumbatia hakika siku ile sitahisahau maana kila binti alitaka nimshike mkono!?..
Nikiwa katika purukushani hizo mara nilimuona binti wa shule tofauti alionekana waziwazi akiwa na huzunu mkubwa sana, sikumfatilia sana maana nilisitushwa na Diwani akiwa anaongea
" Hakika shindano ili lilikuwa na mvuto wa aina yake"
akiwa anazungumza hivyo niligeuka na kumtazama diwani baada ya kumpotezea huyo binti kumtazama niliyekuwa nikimuona hana huzuni mkubwa..
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Diwani alifakamia maji na kuendelea kuzungumza
"Hakika zawadi niliyokuwa nimewahidi nitahitoa hapa na mshindi nitampa zawadi yake hapa mbele yenu"
Diwani alizungumza hivyo huku akionekana kuwa alikuwa amehufurahi mchezo ule, Wanafunzi wa shule yetu ya KIMBUNGA walipiga kelele sana huku wakiwa na shauku kubwa ya kuiona zawadi hiyo,.
Baada ya hilo tukio Diwani aliita washindi watatu nilienda mbele ya diwani na pia nikiwa na washindi wengine,.
Diwani baada ya kuniona alipekecha macho baada ya kuniona mimi alishika maiki yake na kuendelea kuzungumza,
"Hakika huyu kijana si amin kama ni mwenyewe kuwa wa kwanza maana kimo chake anaonekana waziwazi kuwa hawezi kuwa wa kwanza ila anyway yeye ndo mshindi!?!, Diwani hakuamini kama ningekuwa wa kwanza kwamaana kimo changu nilikuwa mfupi kiasi na pia washiriki ambao nilikuwa nimewashinda baadhi yao walikuwa na familia zao kwa maana wengine walionekana waziwazi ila waliitwa wanafunzi baada ya kusoma Memkwa yaani elimu ya watu wazima katika shule za msingi,.
Nikiwa pale mbele Diwani alitoa vitabu na kunikabidhi mimi na kusema
"Hii ndo zawadi niliokuwa nimehiaidi katika mashule yetu hivyo wewe kijana yakupasa kumpelekea Mwalimu wako wa michezo na kumkabidhi!!!??,,
Nilitoka pale kwa umakini mkubwa kwamaana vitabu vilikuwa vingi sana huku vingine nikisaidiwa na washindi wenzangu Tulimpelekea Mwalimu Cosmas na kumkabidhi,
Baada ya kumkabidhi kila mwanakijiji alionekana kuguswa kwa hilo hivo kila mwanakijiji alionekana kuchanga kiasi alichokuwa nacho baada ya Mwenyekiti wa kijiji chetu aliyeitwa Majaliwa Kipaya kupitisha alambe hiyo,..
Na kweli wanakijiji walijitokeza wengi sana kuchangia pesa ya vitabu, Diwani alifurahi sana kwa hilo baada ya kuona wananchi wakichangia kwa umoja bila ya kurazimishwa na mtu wala kutumia nguvu, Baada ya tukio hilo Diwani alinyanyuka kwenye kiti chake baada ya kuwa amekaa kumruhusu mwenyekiti kuongea alisogelea maiki na kuishika alionekana akiwa anafungua barua fulani aliifungua na kuanza kuisoma mbele yetu " Mimi ni waziri wa michezo na utamaduni naomba kila diwani aweke michezo ya kukimbia maana ni mchezo ambao humewekwa nyuma sana ukilinganisha na mpira wa miguu na michezo mingine hakika nitafurahi sana kama mkiitimiza azima hii na pia washindi watatu baada ya kutokea nitawatumia nauli ili waje katika jiji la Mwanza ili waweze kusoma huku na mwishowe waendelee kufanya mazoezi na hatimaye kuitambulisha nchi yetu katika tathnia hii"..
Baada ya kusoma wananchi na wanafunzi tulishangilia sana Hususani mimi nilishangilia sana kwamaana nilikuwa sijawai kupanda hata gari kutoka katika kijiji chetu hiki hivyo niliona kama Bahati kubwa hile,.
Baada ya kusoma ile barua diwani alihita washindi na kutukabidhi zawadi zetu,. Nilitoka pale nikiwa na furaha sana ilinibidi kuomba ruhusa ya wiki moja maana nilikuwa nimechoka Mwalimu Cosmas alinikubalia.
Baada ya tukio hilo kila mwanakijiji na mwanafunzi waliondoka huku wanafunzi katika shule yetu wakionekana kufurahia sana, Niliondoka mpaka nyumbani ila sikuweza kumkuta Mama wala Baba na pia hata mdogo wangu sikumkuta hivyo ilinipasa kujiegamisha katika mlango huo!?...
Nilishtuka baada ya kusikia ndege zikiita huku niko kitandani na katika stuli iliyokuwa pembeni yangu kulikuwa na sahani ikiwa imefunikwa, Nilinyanyuka na kutazama kilichokuwemo nikikuta ni chakula nilikifakamia bila hata ya kupiga mswaki maana nilikuwa na njaa ya ajabu baada ya kula niliweza kutoka nje na kumkuta Mama akiwa anashughulika katika kuandaa chai, Baada ya kumuona Mama ilimbidi kumuulizia Baba, Mama alinitazama huku akionekana mwenye furaha sana na kuanza kuzungumza
"Mwanangu nelly Nakupenda sana na hakuna mzazi yoyote yule anayemzaa mtoto wake na kupenda mwanae aishie njiani katika malengo yake" Mama aliongea vile huku akionekana kuna Jambo la muhimu anataka kunambia ilinibidi na mimi kumuuliza swali
"Kwanini umesema hivyo mama angu"!??..
Mama alikohoa kidogo na kunitazama usoni na kuendelea kuzungumza "Mwanangu jana nimefurahi kukuona ukiwa unakuwa mshindi nimefurahi sana na Baba ako amefurahi sana ila ambacho nataka kukuambia nakuomba Mwanangu usije ukajiingiza katika makundi mabaya maana najua utatuacha na kwenda katika jiji la Mwanza na pia Mwanangu nakusisitiza kuwa makini na wasichana"!?!...
Mama akuendelea tena kuzungumza baada ya wageni kuja Nyumbani, Hivyo mimi nilitoka na kumuaga Mama
na kumuambia kuwa sitaenda shule kwamaana nilikuwa nimeomba ruhusa Mama alinikubalia kwa kutikisa kichwa na kuwafuata wageni waliokuwa wamekuja.
Ilinibidi mimi nipike chai baada ya chai kuchemka niliwapelekea wageni na kuwatengea chai, Baada ya kumaliza kuwatengea chai
Ilinibidi kutoka ndani na kushika panga huku nikielekea katika msitu uliokuwa mbali kidogo na Nyumbani...
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Nilifika katika msitu huo na kuanza kuchanja kuni kipindi niko Nachanja kuni mara nilisikia sauti ikiita "Nisaidie,nisaidie,nisaidie nakufa,nakufa Mama,mama,mama"!?!..
Nilitoka nilipokuwa na kuanza kufuata sauti ilipokuwa inatoka nilishang'aa sana baada ya kumkuta binti akiwa chini na huku mguu wake ukiwa umevimba
Nilimsogelea alipokuwa binti huyo na kumtazama mguu wake
"looh"
Nilishangaa sana baada ya kumkuta amegongwa na nyoka, hapohapo nilimkumbuka mwalimu wa sayansi aliyeitwa Mwalimu Devotha alivyokuwa akitufundisha huduma ya kwanza kwa mtu aliyeng'atwa na nyoka?!!...
Nilifyonza kwa kutumia mdomo wangu kutoa sumu iliyokuwemo katika jeraha alilokuwa amepata nilitoa mara kadhaa na hatimae binti huyo nilimuona akipata ahueni, baada ya kumuona kapata kaueni hivyo ilinipasa kumbeba na kumuuliza kwao ni wapi,
'"Ni kwa mwenyekitiii"
alinielekeza kwa shida sana lakini niliweza kupafahamu kwa mwenyekiti nilitoka kwa kasi sana na kwenda moja kwa moja kwa mwenyekiti, Nilipofika kwa mwenyekiti niliweza kumkuta mwanamke akiwa yuko jikoni alivyoniona nikiwa nimembeba mtoto wake maswali ya mfululizo yalimtoka kwa fujo,,
"Umemtoa wapi mwanangu na amekuwaje mpaka akawa hivi"!?...
Sikuwa na kauli kilichobaki nilikaa kimya mpaka hapoe na chechendo lake la kutaka kuuliza maswali likome nianza baada ya dakika takribani tatu mwanamke huyo alinitazama kwa macho ya udadisi sana, Na mimi baada ya kuona mwanamke anataka kujua!?.
Nilijikohoza kidogo na kumuomba maji Mwanamke huyo, mwanamke huyo alifanya kwa haraka na kuniletea maji...
Baada ya kuniletea maji alikaa tena kwa mwanae huku akitazama kidonda ambacho alikuwa amekipata nilimshtua baada ya kuanza kuzungumza
"Mama mimi nilikuwa nachanja kuni kipindi nikiendelea kuchanja kuni niliweza kusikia mtu akipiga kelele na kuomba msaada hivyo na mimi nilianza kufatilia hiyo sauti niliweza kumfikia mtu aliyekuwa akiomba msaada ambaye ni huyo binti yako alikuwa amevimba mguu wake nilimpotazama kwa umakini niliona kuwa amegong'wa na nyoka, hivyo nilimpa huduma ya kwanza na hatima ya huduma ya kwanza ilinibidi kumleta hapa baada ya kumuuliza"...
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/Mwanamke baada ya kumwambia vile alianza kulia huku akiingia na kurudi na kijue fulani kidogo na kukiweka katika jeraha hilo, Kipindi akiendelea kuweka jiwe hilo mara diwani alikuja Alinitazama na kumtazama mwanae ilimbidi kuanza kuuliza
"Merry mwanangu amekuwaje" Aliuliza huku akishusha panga lake chini na jembe lake,.
Mkewe alidakia kabla mimi sijaruhusu mdomo wangu kusema
"Merry kang'atwa na nyoka"
Mwanamke huyo aliongea huku akishika pindo lake la kanga na kujifunga kichwani huku akionekana na wasiwasi mkubwa!?.
Kipindi Mwanamke huyo akionekana na wasiwasi mara Merry alianza kuita Mama,Baba walifurahi sana walinishukuru sana baada ya kumponesha mwanao katika kisa kile. Niliondoka na kurudi msituni na kichanja kuni na kurudi nyumbani.
Nilipofika tu nyumbani mama alianza kuniuliza maswali huku akionekana ana hasira kali,. Ilinibidi kumuelezea tukio zima la binti aliyegongwa na nyoka.
Mama alinishukuru sana baada ya kuonesha ujasiri wa kumponesha mtoto wa watu aliniimiza kuendelea roho hiyohiyo ya kujari watu..
BAADA YA WIKI MOJA..
Nikiwa shuleni mara kengele ya saa nne ya mapumziko iligongwa tulikusanyika wanafunzi wote katika uwanja wa michezo na kila mwanafunzi alichukua uji na andazi moja moja, Tulishang'aa wanafunzi sote kwamaana haikuwa kasumba hiyo ya kunywa uji kipindi tukiendelea kunywa uji mara mkuu wetu wa shule alikuja mbele yetu na kutupongeza baada ya kutupigia makofi
"Hakika nimefurahi sana na nimefarijika sana kwamaana mchezo ambao mlifanya siku ile nimeweza kupata wadhamini wa kuboresha miundombinu ya shule"
Mkuu wa shule alizungumza akionekana waziwazi ana furaha ya ajabu sana baada ya kuzungumza hayo aliondoka na mara Mwalimu Cosmas alituruhusu siku hiyo kukaa nje bila kuingia darasani,.
Wanafunzi sote tulifurahia sana baada ya kusikia kauli hiyo, Mwalimu cosmas baada ya kusema hivyo aliondoka na kwenda ofisini,. Baada ya waalimu kutuacha uwanjani mimi niliamua kwenda darasani kuchukua madaftari yangu, kipindi nachukua madaftari yangu mara nilisikia sauti
"Nelly,nelly,nelly"...
Ilinibidi nigeuke kutazama mara nilishtuka alikuwa ni msichana ambaye sikuwa namfahamu alisogelea baada ya kunisogelea namimi nilipiga hatua nyuma kwamaana niliogopa sana wasichana!?!...
Binti yule baada ya kuniona nina woga alitoa kauli yake
"Hakika nashukuru sana"!?,.
Nilimtazama huyo binti baada ya kunishukuru niliwaza kuwa huyu binti amerukwa na akili kipindi nikiendelea kuwaza hivyo mara aliendelea kuzungumza
"Mimi naitwa Merry mtoto wa mwenyekiti"
Kumbukumbu zilinirudia baada ya kunikumbusha hivyo mara kauli yangu ilinitoka
"Oho merry ulipona vizuri"
Niliuliza swali ambalo halina maana kwani alionekana fika ameshapona vizuri tu..
Baada ya kuzungumza kwa kina Merry alinifuata na kunisogelea na kunipiga busu la shavu, niliogopa sana Merry aliniaga na kutoka katika darasa letu na kwenda uwanjani Mimi nilibaki nimesimama kama vile nimepigwa shoti ya umeme kwani sikuweza kutoka niliposimama maana kila muda nilibaki nikikumbuka tukio la kupigwa busu la shavu?!?!..
Kipindi hicho nikiendelea kuwaza mara baadhi ya wanafunzi walikuja darasani ilinibidi kutoka nao nilitoka nao na kwenda uwanjani sikuwa na raha kabsa kwa kitendo nilichokuwa nimefanyiwa na Merry na hatimaye mda wa kwenda nyumbani ulifika tuliruhusiwa na kwenda nyumbani...
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Kipindi nikielekea nyumbani mara nilishtushwa na sauti ya kike iliyoniita "Nerry,nerry,nerry"
Ilinibidi nigeuke mara nilipogeuka alikuwa ni merry akinikimbilia iliniradhimu kusimama baada ya kusimama Merry alinifikia na kuanza kuzungumza
"Samahani Nelly naomba leo twende nyumbani maana Baba na Mama wanataka wakushukuru kwa kunisaidia baada ya kugong'wa na nyoka"
Aliongea huku akishika begi lake kwa madoido ya hali ya juu.
Nilitafakari kidogo kisha nikamwambia "Amna shida twende"
Tulienda huku kila mmoja akiuliza masomo yanavyoenda maana mimi Merry nilikuwa namzidi darasa moja kwani yeye alikuwa la tano mimi la sita?!. Kipindi tukiendelea kuongea na hatimaye tulifika kwao alifungua mlango na kunikaribisha ndani hakika ndani kwao palipendeza sana maana kulikuwa na kila kitu ambacho kilistahiri kuwa kwenye nyumba japokuwa tulikuwa kijijini.
Nadhani Merry alifahamu nilivyokuwa natafakari alinisogelea na kunambia
"Vipi mbona unaonekana na mawazo mengi sana"!??...
Baada ya kuona amenigundua nilibadili kauli na kumuuliza huku nikisimama na kutaka kuondoka
"Wazazi wako, wako wapi sasa mbona siwaoni"!?.
Nilimuuliza swali ambalo lilimfanya Merry kushtuka ilimbidi kunibembeleza nikae ili aende akawaite nilikubali na kukaa huku macho yangu yakitazama huku na huku katika nyumba ile ilivyokuwa imepambwa!?!...
Merry alitoka huku akiwa na kanga moja aliyokuwa amejifunga lubega na huku akiwa na chai aliviweka mezani na kuendea mlango na kuufunga, Niliogopa sana alizidi kunisogelea na kukaa pembeni yangu na kuanza kunitomasatomasa akiwa anaendelea hivyo mimi nilibaki nakodoa macho maana akili yangu sikujua ilipokuwa, Kipindi akiendelea kunitomasatomasa huku macho yake yakiwa yanataka kusinzia mara mlango uligongwa huku mgong'aji akiita
"Mama merry,mama merry,hivyo
Merry baada ya kusikia mamaake anaitwa alinyanyuka na kusogelea mlango na kusema
"Mama hayupo amesafiri"
Mgong'aji baada kuambiwa vile aliondoka baada ya kusikia nyayo zake zikiondoka,.
Merry baada ya kujua huyo aliyekuwa anagong'a mlango mara alivua kanga aliyokuwa amevaa alibaki uchi kabsaa macho yangu yalipoteza mwanga baada ya kumuona binti huyo alivyokuwa alijazia kila sehemu chuchu zake zilikuwa zimeanza kutoka nilimkumbuka rafiki yangu Alfred alivyokuwa akiteta kwenye group letu kuhusu matiti hayo kuwa walikuwa wanayaita
"Saa sita"
Sikujua merry alinisogeleaje mara nilikuja kushtuka akiwa karibu yangu?!??...
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Huku akionekana yuko katika hali mbaya sikujua nianzeje maana sikuwa mzoefu kabsa Merry alinisogelea na kuanza kunivua niliogopa sana na kumkimbia na kwenda mlangoni na kutaka kufungua kuondoka!?.....
JE
Merry atafanikiwa adhima yake na mimi nitafanikiwa kuondoka...
ITAENDELEA
0 comments:
Post a Comment