Search This Blog

Thursday, 19 May 2022

WALI NAZI - 3

 





    Chombezo : Wali Nazi

    Sehemu Ya Tatu (3)



    Muda nao haukuwa nyuma, jua liliwaka kitendo cha kumaliza tu kuoga na kuvaa niljikuta na tweta na jacho kama ile ya awali. Kwa namna nilivyokuwa nimechoka, haikuwa ikinipa kero sana maana hata maumivu hayakuwa yakisikia kwenye mwili wangu. Lakini safari hii joto lilikuwa likishemsha damu yangu mithiri ya maji yashemshwapo. Nilipiga hesabu ya kwenda kufanya makulaji maeneo ya karibu na pale nyumbani ndio akili yangu ilikuwa ikicheza. Baada ya njaa kuanza kuchukua nafasi kwenye mwili wangu.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Facebook area ndio ilikuwa sehemu ambayo nilikuwa nimeshaifikiria pindi tu nilipofunga mlango nakutafuta sehemu ya kula, mara nyingi huwa na penda sana kupata msosi eneo lile maana si chakula tu nilikuwa nakifata eneo lile lakini uwepo wa watoto wazuri ilikuwa kivutio kikubwa kwangu, na mara nyingi visichana vya chuo ndio lilikuwa eneo lao haswa .

    Hivyo huwa na penda kwenda kula na kusuuza macho yangu kidogo.

    Sauti nyororo ilipenya kwenye masikio yangu baada ya kukalibia eneo lile na kuketi moja ya meza moja ambayo haikuwa imekaliwa na watu .Ilikuwa sauti ya moja ya wahudumu wa eneo lile na kunifanya utemeshi wa maneno yangu hapo awali kabla ya kukaa sawa na kuagiza chakula nilichokuwa na kihitaji. Niliagiza chakula muda mfupi nililetewa na kuanza kula nilitupia matango huku sauti ile ya mhudumu yule ilikuwa inanirudi masikioni. Sauti ambayo ilikuwa imebebwa na rafudhi ya watu wa Dundo ya msichana yule ambayo moja kwa moja nilihisi atakuwa mtu wa Dundo kama nilivyo mimi.

    Mawazo yalinipeleka mbali sana nilikumbuka rafudhi ya kipenzi changu Mariamu wakati nipo Dundo, ndio sauti ile ilinifanya nimkumbuke Mariamu hakutofautiana hata kidogo na rafudhi ya msichana yule ambaye kipindi ananihudumia ilinibidi nimtazamae mara mbili mbili . Akili yangu ilikuwa imesafiri kilometa mia nne na arobaini kutoka mahali pale tulipo hadi ndani ya kijiji cha Dundo mkoani Tanga.

    “Dah! Mariamu nimekumbuka sana pindi ulipokuwa ukinisifia na kuniambia sasa nimekuwa fundi katika mbinu zile za wali nazi wakati ukijaribu kunifundisha taratibu taratibu hatimaye kuwa mzoefu eti baby wali nazi. Ndio wali nazi kipenzi mchuzi wa nini? wenyewe tu unatosha kushiba chakula chako mimi kuridhika na wewe kuridhika na mimi ahhhhh!”.... Nilijisemea kimoyo moyo wakati nikiendelea kuyakumbuka yale sauti ya yule mhudumu ilipenya tena kwenye masikio yangu ikiwa karibu na meza ile aliyokuwa akiuliza wateja wengine.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Uvumilivu ulinishinda sikujua nini nakwenda kunena kwenye kinywa changu, ghafla mdomo wangu uliita jina la msichana yule nilikuwa nimelisikia kutoka kwa moja ya wahudumu wenzake, “Suleya” niliita kidogo kwa upole huku nikisindiiza na neno samahani. Moja kwa moja niliona mdada yule akigeuka na kuja pale nilipo punde alipomaliza kuwasikiliza wateja wale.

    Nilitanguliza samahani kwa mara nyingine kabla ya kufatiwa na maneno ambayo yalikuwa na lengo la kufahamu mahali haswa alipokuwa amezaliwa. Loo! kumbe sikuwa nimekosea sana alinimbia kuwa ni mwenyeji wa Duga mkoani Tanga , kijiji ambacho hakikuwa mbali na kijiji chetu, nilianza kumtajia mitaa kabla ya kuanza kunena kilugha ambacho nae alikuwa akikifahamu vyema.

    Nilijikuta na jizuika pale kabla ya kumuachia nafasi ya kuhudumia kidogo wale wateja na kurudi pale niliopo nakuendelea na maongezi kama vile tulikuwa tunafahamiana hapo awali.

    Maongezi yalinoga na mwisho ilikuwa kunipatia namba ya simu ambayo alisema ni ya dada yake, sikuona shida ile ile ilikuwa inatosha kumaliza yetu maongezi nikiwa na shida nae.

    Nilifanya malipo kabla ya kuondoka eneo lile nikiwa na mawazo kibao, niliendelea kupiga hatua kadhaa kabla ya simu yangu kuita , muito ambao ulinifanya niangalie kioo cha simu yangu hakuwa mwingine bali alikuwa Jimama Sophi kioo cha simu yangu kilionesha vile . Mara moja nilibonyeza kitufe cha kuipokea simu ile na kuweka kwenye sikio langu la kulia ambalo ndio mahususi kwenye mwili wangu katika kufanya mawasiliano kwa njia ya simu. Nikiamini ninasikia vyema mazunguzo kuliko nikitumia sikio langu la kushoto.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Sauti ya kudeka ya mama yule ilisika kwenye simu yangu zikifatiwa na i mis you nyingi zisikuwa na idadi. Nilitamani kucheka kwa muda ule ila nilijizuia mpaka pale alipoikata simu yake.

    Hapo niliamini katika ulimwengu wa mapenzi kuna vitu muhimu sana hata uwe na pesa kiasi gani kama uwezi kumridhisha mwenzi wako, ni sawa sawa na bure, hapa suala la michepuko linaweza kuwagumu kuepukika. Kama hautokuwa mfanisi kwa kipenzi chako, maana wanawake wameumbwa na vitu tofauti namna ya kuridhika kwenye mchezo inahitaji utumie akili ya ziada kukiweka sawa kiumbe hicho na hapo utaweka heshima kwenye ndoa yako hata penzi lako.

    Haijalishi saizi ya mtwangio wako, la ukiwa na mtwangio mkubwa unakupa faida ya kutwanga vizuri. Lakini hilo lisikusumbue ni wewe tu kumjua kipenzi chako ni maeneo gani ambayo ukimgusa anagusika na kipi anafurahia zaidi pindi muwepo ndani ya mchezo kiasi kikubwa unaweza ukafurahia penzi lako.

    Niwazi niliweza kugundua bosi hakuwa hakimridhisha wake mke, na tetesi za kuwa si ridhiki nazo zilikuwa zimechukua nafasi kwenye fikra zangu huku nikishindana kupinga kile. Kwa mtazamo tu wa kawaida jambo la kuwa bosi Mshongoma "eti" awe si ridhiki ilo bado alilikuwa likileta msuguano kwenye kichwa changu.

    Sumbuko usisumbukie kichaa mistari ya shairi moja nilikuwa nikilipenda wakati nipo shule lilipenya kwenye kichwa changu hapo sikuwa tena nikiyafikiria yale niliona tu ni kama kumsumbukia kichaa kwa lile niliendelea kuongoza njia ya kurudi nyumbani.



    "Tuendelee Fundi wangu” sauti ile ya puani aliyokuwa akiitoa Suleiya ilipenya kwenye masikio yangu huku akiwa anacheza cheza na kifua changu. Ikiwa siku ya pili baada ya jana tu kuonja utamu wake. Ilikuwa kama zali kwa upande wangu maana ilichukua zaidi ya mwezi moja kupata kunielewa baada ya misele mingi eneo lile la Facebook area nilipoonana nae kwa mara ya kwanza.

    Suleiya aliendelea na uchokozi kwenye mwili wangu taratibu askari wangu akasimaa imara kwa mara nyingine. Wakati huo kanda niliyoiweka kwenye redio yangu ilikuwa imemalizika. Kumalizika kule kulifanya kunyamazisha kelele zile za redio ambazo zilikuwa zikipunguza uwezekano washabiki ambao hawajalipia kusikia mtanange ule. Nilinyanyuka na kuweka sawa redio yangu kabla sijarudi kitandani nikiwa na yatazama vizuri maungo ya Suleya. Ukweli alijaliwa mno kijungu cha haja, chuchu za wastani, miguu iliyojazia kinamna. Ilizidi kuniongezea mzuka kwa mara nyingine kulekea kulila tunda lile.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Niliingia ndani ya uwanja nikipokelewa na kinywa chake na mimi sikuwa nyuma nilipelekea changu, mwendo ulikuwa wa kubadilishana mate. Mate aliyokuwa matamu ajabu maana pipi ya kijiti aliyekuwa akiilamba ilileta burudani kwenye zoezi lile. Kabla ya mimi kuanza kutalii tena kwenye mwili wake huku nikitumia mikono yangu vizuri kuhakikisha na mweka sawa kwa utaratibu nikiwa sina papara hata kidogo japo mashine ilikuwa imesimaa vyema.

    Nilitalii mpaka nilipo hakikisha mtoto amekolea ndipo nilipoanza kuruhusu mkuu wa kaya kuanza kukagua maeneo yale .Ukaguzi ule ulikuwa wa namna tofauti sana maana safari hii kila nilipokuwa nikisukuma kukagua eneo lile , Alizidi kukata kiuno chake kitendo ambacho kilizidi kufanya mkuu wa kaya kutoka eneo lile la wazi kuingia ndani zaidi na kuongeza radha sana .

    Issssssssssssssssssh! Anhhhhhhhhhhhhh! Zilisikika kadri nilivyokuwa nikiendelea kufanya ukaguzi maeneno ya kilugha nayo yalichukua nafasi yake auu.. gaaa…. fu…ndi…. Hata sikuwa nikiyaelewa hapo nilizidi kuchakalika. Joto nalo lilichukua nafasi japo kulikuwa na kimvua kwa mbali lakini joto alikuacha kuacheza eneo lile. Niliendelea kumpasha moto mtoto, alipashika mpaka tunaelekea ukingoni pumzi yake alikuwa ikitoka kwa shida sana. Nilitambua kuwa pale alikuwa tayari amefika kibo alikuwa akisubiri tu mimi nifike mawenzi, nami sikuchelewa nilifika tiii!

    Kitendo chetu cha kufika kileleni kilifatiwa na usingizi mzito kwa kila moja wetu. Mlio wa jogoo yule sumbufu ndio ulinifanya nistuke toka usingizini, moja kwa moja nilitupia macho upande ule ambapo Suleiya alikuwa amejilaza yeye alionekana bado yupo kwenye usingizi mzito.Nilitumia sekunde kadhaa kumwamsha hatimaye aliamka zoezi la kuoga lilichukua nafasi yake kabla ya kujiandaa mimi kuelekea kazini yeye nikimpeleka kazini kwake.

    ________

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Habari” ilikuwa ni sauti ya Rose pindi tu nilipoingia ndani ya ofisi, nilimwangalia kidogo kabla sijamjibu niko "Poa" nakufanya taratibu kama kawaida, yangu sikushangaa sana pale maana wiki mbili aliponipatia utamu wake sikuwa na mpango nae tena baada ya kubaini hakuwa yuko vizuri kitandani.

    Wakati huo nyuma kulikuwa na baadhi ya wafanyakazi wengine, wote tukiwa eneo lile hakupata nafasi hata ya kuongea na mimi na mimi mwenyewe nilikuwa nalitaka lile. Haraka nilisaini na kupiga hatua kuelekea ndani ya ofisi yetu.

    Duu! Nilishangaa kumwona George akiwa anachakalika, mapema vile tofauti na kawaida kabisa. Ilinibidi nimpatie salamu na kuweka mambo sawa ndani ya ofisi. Ndipo nilipomgeukia George kwa mara nyingine ambaye bado alikuwa bize sana. "Ndugu vipi?" Ilinibidi nimtupie swali kabla ajanibu swali lile na mimi kuanza kuchakalika. Nilijua wazi bosi leo alikuwa hataki masihara kabisa kwenye lile. Tuliendelea kuchakalika kama lisaa hivi ndipo mambo yalikaa sawa, wakati huo tukiwa tunavuja jacho mbaya kwenye miili yetu.

    Nilivuta pumzi ndefu "uwi… uwi" na kuketi pembeni ya George,"enhe niambie ndugu jana kilitokea nini mpaka bosi amekuwa mbogo?”

    "We.. acha tu! Alinijibu na kuanza kunipa mchapo ule ya kuwa kuna mfanyakazi moja amechonga kwa bosi ya kuwa tunachelewa sana kazi. Jambo lilomfanya bosi aje kuniwakia mbaya zaidi alifoka sana.

    "Usijali" nilimwambia George na kuanza kuzungumza mambo mengine, kabla ya kuniambia kitu kilichonishutua sana, "unasemaje?" Nilimuliza George baada ya kuona kama sielewi kile alichukuwa akiniambia. Alinijibu, "ndio hivyo Fundi kama nilivyokuambia taarifa ambazo zinasambaa hapa ofisini ya kwa kasi sana ya kuwa wewe na Jimama Sophi mwezi mzima bosi alivyokuwa amesafiri mlikuwa mnafanya mambo ya kikubwa ndani ya ofisi yake."

    “George huu msala” nilimtupia maneno, akatingisha kichwa kuonesha ya kuwa kweli ule ulikuwa msala kabisa. Jambo lile linipeleka mbali kimawazo nilikumbuka ndani ya Dundo siku moja nilivyofumaniwa na yule mke wa mtu. Shughuli niliyokuwa nimeipata siku ile ilikuwa si ndogo kabisa maana kijiji kizima ilikuwa habari ndio ile. "Vipi bosi habari hizi amezipata?" Nilimuuliza George aliyezungusha kichwa kumaanisha kuwa hajui kama amezipata au la.

    Kiukweli nilichanganyikiwa kabisa akili yangu haikuwa pale kabisa niliona kifo, kifo kinakuja mbele yangu.

    Nilikumbuka habari za kuwa mke wa mtu sumu tena sumu mbaya inayoua taratibu. Kwa jinsi nilivyokuwa nimechoka kutokana na kazi tulikuwa tumeifanya na George muda mfupi uliopita . Kichwa changu kiliuzidi mwili nilijikuta tu nainamia juu ya meza iliyokuwa mbele mahali nilipokuwa nimeketi. Kabla ya usingizi kunichukua kichwa changu kikiwa juu meza.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Sauti ya Rose ilinitoa ndani ya usingizi ule nikiwa natetemeka, mikono ilikuwa kama imepigwa na ubaridi vile. Nilijikaza kiume na kuinua sura yangu iliyopokelewa vyema na macho ya Rose. Kabla ya kuisikia sauti yake ile iliyokuwa ikiulizia jambo ambalo George alikuwa tayari amemjibu nikiwa natafakari ujio ule.

    "George" niliita punde tu taswira ya Rose ilipotoweka ndani ya mboni zangu."Siko sawa", kinywa changu kilitamka maneno yale na kufatiwa na mazungumzo marefu kidogo kati yetu.

    Siku nayo ilikuwa tofauti sana, muda nao ulienda sana mpaka mida ile hakuwa Jimaa Sophi wala bosi Mchongoma tulipokea taarifa zake. Wakati huo akili yangu bado ilikuwa ikiendelea kupambana na lile. Nilijitahidi kushindana nalo lakini bado liliendelea kunyanyasa fikra zangu. Manyanyaso yaliyokuwa yakileta maumivu makali kwenye kichwa changu hata ule uchangamfu wangu wa siku zote ulipotea. Ukweli Fundi nilikuwa nimepatikana kabisa, japo nilijikaza kisabuni mbele ya George bado nilikuwa nasutwa na taswira yangu. Niliyokuwa nikilazimisha kutoa tabasamu dhidi yake wakati wote mahali pale.



    ITAENDELEA



0 comments:

Post a Comment

Blog