Search This Blog

Thursday, 19 May 2022

WALI NAZI - 4

 





    Chombezo : Wali Nazi

    Sehemu Ya Nne (4)



    Kiupepo kilivuma kwa kasi ya wastani, ikienda sambamba na kiubaridi cha hapa na pale. Kilipiga vyema kuelekea mahali pale nilipokuwa nimejihifadhi kidogo, nikipata moja moto moja baridi. Nikiendelea kushindana na kile nilichokuwa ndani ya kichwa changu. Naam!, simu yangu ilichukua uhai,uhai ambao ilinifanya kutazama kioo cha simu yangu , nikiwa na malizia funda la kile kinywaji.



    Jimama Sophi ndio jina la mpigaji lilionesha vyema kwenye kioo cha yangu simu.Nilijilazimisha kutabasamu kabla ya kuipokea na kusikiliza maneno yale yalikuwa yakitoka kwenye kinywa cha Jimaa lile. Maongezi yalinifanya akili yangu kuhama pale na kurudi siku kadhaa nyuma.

    __________

    Panga boyi lilizunguka vyema ndani ya chumba kile cha ofisi na kuleta kibaridi kilichokuwa kikipambana vyema na joto la ndani mule. Wakati huo nikiwa juu ya kiuno cha jimaa sophi, nikizungusha nyonga yangu taratibu.Utaratibu ulikuwa ukileta raha isiyokuwa ya kifani upande wangu si kwa upande wangu tu hata kwake. Namna aliyokuwa akiyazungusha macho yake huku akiyafumba fumba na kuyafumbua ilionesha wazi Sophi alikuwa katika hali nyingine kabisa. Tofauti na kawaida mkuu wa kaya aliendelea kukagua eneo lile kwa manjonjo zaidi.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Ishiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, anhaaaaaaaaa, opssssssssi. Zilizidi kumtoka , nilijitahidi kwa kutumia mkono wangu kubana mdomo wa Jimama Sophi . Kwa kiasi kikubwa nilithibiti sauti zile zilizokuwa zikisikika kwa mbali . Niliendelea kumuwashia moto, nikitoa mashambulizi kushoto na kuelekea kulia mpaka eneo la katika. Nilicheza kibunifu zaidi kuleta utofauti, ulioziidi kumpangawisha Jimaa Sophi . Akiendelea kunena kwa lugha na kuongeza kasi ya mchezo.

    Ghafla nilihisi kitu nikiwa ndani ya mchezo ule, lakini jinsi nilivyokuwa nimekolea niliendelea tu mpaka pale nilipohitimisha safari.



    Uwi…uwi, nilivuta pumzi ndefu kabla ya kujitoa juu ya mwili wa Jimama Sophi. Mwili wangu ulitawaliwa na jacho kutokana na mtanange ule japo kibaridi kilikuwa kinapita toka kwenye panga boyi lilikuwa juu ya singibodi ya chumba kile. Aikutosha kunitoa jacho lile vinyeleo vyangu vikiwa vimesimaa, damu nayo haikuwa nyuma ilichemka kweli.

    Kimya kilitawala wakati huo kila moja akichukua vivazi vyake na kurudisha mwilini. Nilivaa haraka akili yangu ilikuwa ikiwaza juu ya kile nilichokuwa nimekisikia wakati nipo juu ya mwili wa Jimaa Sophi.



    "Sikuachi"yalikuwa maneno ya Jimama Sophi yalipenya sawia ndani ya ngoma za masikio yangu nikiendelea kutafakari. Kabla ya kufatiwa na maongezi yalikuwa yakinisifia kwa mara nyingine kama kawaida yake . Nilishia tu kuguna tu kadri alivyokuwa akiniambia, uvumilivu nao ulinishinda nilimuuliza ya kuwa ajasikia lile, "Usijali", ndio lilikuwa jibu lake. Sikutaka kutia neno kwa wakati huo.



    Nilitoka ndani ya ofisi. Taratibu nikipiga hatua kuelekea ilipo ofisi yetu. Wakati nikipiga hatua sura yangu ilikumbana na Maria, katibu mhtusari wa ndani ya ofisi alinipiga jicho ilo.Wazi nilijua tu kutakuwa anakitu ndani yake kuhusu mimi. Sikujali sana niliendelea kusonga mpaka ndani ya ofisi yetu.

    Sura ya George ilinipokea kama kawaida yangu. Nilimpa mchapo ule sikusahau kumwambia kuhusu Maria. Cha ajabu nilivyomtaja Maria, alistuka na kuanza kuniambia habari zake ya kuwa ni shushuu wa bosi. Namna alivyokuwa akiniambia kuhusu Maria niliona wazi lile inaweza ikaleta matatizo mbeleni. Ila niljikaza tu liwalo na liwe likachukua nafasi .



    Kama kawaida darasa letu la mapenzi likafatia ‘’ Kama nilivyokuambia jana wali nazi inahitaji utulivu sana katika kuijifunza na kuielewa vizuri. Kuweza kumpangawisha mwanamke wa aina yote pia ukitaka kuifaidi vizuri uwe na mpini mnene na wenye urefu wastani. Si kwamba ukiwa na mtwangio mdogo utashindwa kumpangawishwa mwenza hapana lakini ukiwa nao ni faida kubwa ndani ya wali nazi. Nilishakutajia mambo kadhaa ya muhimu George mengine ni haya

    Kiuno chako, ndio kiuno chako ni muhimu sana kwenye kumpagawishwa mwenza wako.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Tumia kiuno chako kiubunifu punde tu mtwangio wako ukiwa ndani ya kinu , twanga kwa kuzingusha zungusha kwa utaratibu ilihali unatumia nguvu kidogo. Akili yako ndio utumie vyema kumfanya nae mwenzako hata kama akati kiuno basi nae anze kuzungusha chake kiuno. Na jambo la kuzungusha kiuno chake kikutana na chako. Muda mfupi tu unaweza ukamtoa sehemu moja na kumpeleka sehemu nyingine kabisa. Sehemu yenye maraha ambayo kwa mwanaume mjinga mjinga tu hawezi kumfikisha mwanamke sehemu hiyo.



    Miguno ni muhimu,wali nazi inaenda sambamba na miguno ya maraha kwenye suala la wali nazi, mwanaume unabidi uwe mbunifu sana. Lazima na wewe uwe unatoa miguno ya maraha hatakama ya kuigiza , ukiipitisha kwenye masikio ya mwenza wako. Namna utavyokuwa ukitoa kwenye kinywa chako ndio itakayo uongeza kumpagawisha kipenzi chako na kujikuta akijifunga mwenyewe magoli kadri unavyopiga krosi kuelekea upande wake.

    Unajua nini? George ilibidi nimtupie kama ka swali la kiaina kabla ya kutingishwa kichwa na mimi kuendelea, lengo lilikuwa kuvuta umakini wake.Wakati huo George alikuwa yuko makini kweli kupita hata maelezo.



    Yah! Nilirudi kwenye mada yenyewe . Wanaume wengi wanajua kuwa zile kelele za maraha wanatakiwa kuzitoa wanawake tu. Basi lile kosa kubwa wali nazi inahitaji mwanaume na wewe utoe zile. Utoaji wa sauti zile ndizo zenye kumpagawishwa mwanamke kabla ya kuanza kujifunga tu baada ya kumfanyia mashambulizi ya nguvu.

    ‘’Ndio ...ndio! George kwa leo inatosha’’ nilimwambia George baada ya kumaliza kueleza lile maana uchovu nao ulianza kuninyemelea hata raha ya kutoa somo haikuwepo tena. Nilikatisha somo kwa miadi ya kuendelea kumegea kwa siku nyingine.

                                *********

    Jicho la Rose lilinistua punde tulipofikia mahali pale nikiwa naongozana na George punde tu muda wa kazi ulipomalizika. Jicho lile legezi la upande wa kushoto la Rose lilinifanya ni jenge picha ndani ya kichwa changu. Hakiks mawazo ya kumpata utamu wake bado ulikuwa ukicheza tu japo bado alikuwa akileta ka usumbufu.

    Hatukuchukua muda tulisaini kama kawaida na miguu yetu haikukawia kuacha ardhi ya eneo ile. Soga nazo zilichukua nafasi kwenye mwendo ule mpaka nilivyoagana na George kila moja akitafuta njia ya kuelekea mahali alipokuwa akiishi.

                                              *******

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Siku ilikuwa tofauti, ndani ya ofisi kila moja alikuwa vibwanga vilianzia kwa Rose lakini niliona tu itakuwa utani utani wake kama kawaida. Nilisahini na hapo sasa miguu yangu akaanza kuitafuta mahali ilipokuwa ofisi yetu, Namna nilivyokuwa nikiangaliwa na baadhi ya wafanyakazi wazi muonekano wao ulikuwa ukibeba jambo fulani lakini sikujali. Maneno ya George ndio yalinifanya nijue kuwa sasa mambo yalikuwa hadharani kweli, punde tu alipoyanena na masikio yangu kuyasikia.



    ‘’Ndio Sophi, Mariamu ndio mhusika wa yote’’ nilimjibu kukamilisha kile alichokuwa anakinena, kabla ya kuendelea kusikia kile alichokuwa anakisema Jimama Sophi. Wakati huo kibaridi kikiwa kinasindikiza maongezi yale yalichukua muda mrefu. Huku taratibu nikiendelea kupiga mafunda kadhaa ya kinywaji kile kilichoanza kubadilisha akili yangu. Kadri nilivyokuwa nikiendelea kunywa nikiwa kwenye maongezi yale.

    Giza nalo lilipigania nafasi yake katika ulimwengu na hatimaye lilichukua nafasi. Wahudumu wa eneo lile nao hawakuwa nyuma kulifukuza baada ya kuziwacha taa za eneo ile, kimziki kwa mbali kiliendelea kutuburudisha. Watu tuliokuwa eneo lile, mizinguko ya wahudumu pia ilikuwa ikipendezesha kutokana na jinsi walivyokuwa wamevalia vinguo vifupi vilivyoacha maungo yao wazi.

    Wakati huo sasa hata nilichokuwa na jibu ndani ya maongezi na Jimama Sophi hata sikujua yalikuwa yanatoka wapi? Mpaka inakatika simu sikuelewa, niliendelea kula vyombo tu. Macho yangu yakiangaza kutafuta kiburudisho cha kunifariji kwa usiku wa siku ile.

    Mpango wa kurudi nyumbani mapema haukuwepo kabisa, niliendelea kuangalia viungo vya wanawake kadhaa walikuwa eneo lile. Vilivyokuwa ndani ya vivazi vifupi, vivazi ambavyo ilifanya viungo vyao kwa kiasi kikubwa kuonekana ndani ya macho yangu na kuleta fujo kwenye maeneo yangu ya kujidai.



    Niliendelea kuburudika eneo lile kabla ya muda mfupi kujiwa na mgeni nilipokuwa nimekaa sauti nyororo iliyopenya kwenye ngome za masikio yangu. Ikiniomba kuketi eneo lile sikuwa na hiyani nilimkaribishwa, wakati huo macho yangu yakiendelea kumshangaa mdada yule jinsi alivyokuwa ameumbika. Alikuwa na kijungu cha haja kilichobanwa vyema na kile kimini alichokuwa amekivaa. Maeneo ya kifuani pia walisawili urembo wa yule mdada maziwa ya wastani yalipandishwa na kubanwa na sidiria yake. Ilitosha macho yangu kuona uzuri wa dada yule.

    Nilijipa ushindi kwenye akili yangu moja kwa moja kabla hata sijazungumza nae nilishajiweka vyovyote vile ule mzigo ningeondoka nao. Pesa nilizokuwa nazo mfukoni zilinipa jeuri kwa muda ule.



    Nilimtupia neno mdada yule iliyonifanya kumwita mhudumu haraka na kufika eneo lile na kumhudumia . Utambulisho nao ulifata, nilijipambana kweli pesa ilikuwa ikiongea. Nae hakuwa nyuma mapozi aliyekuwa akiyaleta mdada yule yalikuwa yakinikosha kweli nikiamini sasa maisha ndio haya sasa habari za sekendo ulizagaa ofisini haikupata nafasi tena kwa muda huo. Vinywaji vilitembea wahudumu walichakalika kweli kuelekea kwenye meza tuliyokuwepo. Niligiza nyama ya mbuzi kusindikiza na vinywaji.



    Zilipita kama nusu saa tuliendelea sasa kwa upande wangu nilikuwa hoi, wakati dada yule akijisogeza karibu yangu . Sijui kilitokea nini? Nilijishanga tunaanza kupapasana mahali pale mipaso iliyoanza kuleta hisia za mapenzi dhidi yetu. Majina ya baby, honey yalichukua nafasi, nikiwa bwiii chupa saba tu zilinifanya nijione tupo wawili wawili .                    

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/                                              ************

    Ishhhhhhhhhhh.ahaaaaaaaa . zilianza kusikika kutoka kwenye kinywa cha mdada yule huku akizungusha kiuno chake mithiri ya dondola. Tukiwa ndani ya chumba kile cha lodge kilichonakishiwa na uwanja mpana. Uwanja ambao ulikuwa tofauti na viwanja vingi ambavyo nilikuwa nimekutana navyo. Alinipeleka nikapelekea kweli, nilizidiwa sana kwa upande wangu nilijishangaa tu nguvu zikiniishia, mtalimbo wangu ukilala doro.Wakati ndio kwanza hata ungwe ya shamba lile nilikuwa sijalimaliza. Kibaridi nacho kilisawili vizuri kwenye mwili wangu kupoza damu yangu iliyokuwa ikichemka kutokana na mtanange ule. Usingizi nao hata ulipotokea sikujua wapi ulinichukua na kuchukulika nikiwa hoi.



    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog