Chombezo : Shemeji Ingiza Pole Pole
Sehemu Ya Nne (4)
ilipoishia "ndio dada na utakuwa umefanya jambo la maana sana kwani wengine"
.CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Walilalamika sana vitu vichache lakini wateja wengiii na wengine walilazimika pindi waonapo foleni nao uenda kwenye saloon nyingine.
"Oooook ndio maana nilipoona hayo nilijua tu mdogo wangu basi kesho mimi na safari hiyo na nitaondoka sawaaaaa kufanya hayo mamboooo"
"Sawaaaa dada ninekuelewaaa mno wala sina shaka na wewe fanya tu mpango huooo tufanye kazi vizuri"
Basi siku ikakata kwa kila mmoja wetu kwenda chumbani kulala na kulipo kucha kama alivyo sema dada Amina nilimuona na kabeba mkoba na begi moja nae aliniita pamoja na shem Erinest kumsindikiza mpaka kituo cha mabasi.
Tulimsindikiza mpaka tukahakikisha kapanda gari na liliondoka maeneo ya standi hiyo na kutoka maeneo hayo na mbele ya macho yangu pamoja na shem Erinest tuliliona linaishia basi mimi pamoja na shem tuliangua kicheko kikubwaaaa kweli mpaka watu walitushangaaa na ndipo kushituka watu wakitutizama nasi tuliona aibu japo moyoni furaha ilikuwa imezidi kwa shem lakini kwangu ilikuwa kawaida.
Tulipanda gari nasi kuelekea nyumbani na tulipofika nyumbani tu shem alifungua mlango wa nyumba na alipo maliza alinifata mpaka njeee na kunibeba mpaka chumbani kwani nami nilikuwa mtu mwenye uhuru kwani aliye kuwa aizuia hayo yote ya ujiachia nitakavyo alikuwa kaondoka wala sikupata uwoga kwa kile alichokuwa akifanya shem Erinest.
Erinest kama.kawaida yake alinibwaga kwenye kitandani mwake na kuanza kunisurubisha vizuri ndani ya dakika kazaaa kwani uhuru huo ukitufanya kujiachia nyumba nzima basi na siku hiyo nilichelewa kazini na nikaingia mchana mpaka watu wa jirani na ofisi walinishangaaa sana na zaidi ya kawaida.
Niliendelea na kazi ya kila siku lakini siku hiyo nilifunga mapema na kuwai nyumbani na nilipofika nyumbani na kukuta siku hiyo shem Erinest kaisha pika basi nami nikibadili mavazi na kuingia mezani kujumuika na shem.
Siku mbili zilikata huku nyumba ikiwa na furaha nyingi mnoo.
Nakumbuka siku hiyo nikiwai kama kawaida nyumbani na kumkuta shem siku hiyo nayo kapika ka kuweka tayari mezani basi aliposikia tu nagonga mlango alikuja speed na kufungua mlang
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Na aliponiona tu nae kwa furaha nyingi zilizo mzidi uwezo nae alinibeba mpaka chumbani huku halaka za shem Erinest tulisahau kufunga mlango basi tulipofika wote hatukuwa na wazo tena la kurudi kufunga mlango kama kawaida shem alinitupa kitandani huku akiwaza ngono tu nami hamu ilikuja pale alipokuwa akinishika sehemu ambazo nguvu za hisia zangu zinapo hifadhiwa basi nae alikuwa akiniwahi maeneo hayo huku ujanja sikuwa nao na kuanza mchezo ambao ulionekana kuwa wenye nguvu kubwa tena shem Erinest alikuwa kapania sana siku hiyo basi kama kawaida yake kufanya mpango wa kuniandaa mpaka aliponiona niko chapa chapa hoi kitandani na kunivua nguo taratibu na ndipo alipoanza kurusha mikwaju yake kwangu ambayo yalikutana nami huku nikiyahimili vilivyo na kupelekea kwa shem Erinest kuwa hoi nae kachoka na kutoka juuu ya kifua changu na kujiraza pembeni na ndipo alipoanza kwa mara ya pili ndindi alipokuwa kavuta nguvu kiasi na kabla ya kuanza tena mara mlango ulisikika ukifunguliwa wa chumbani na ndipo wote tulishituka na kushangaaaa!!!!! mno na kumuona dada Amina akipingwa na butwaaaaaa!!!? kali huku hakuamini kilichokuwa kikiendelea na kutupa mkoba wake chini nami nilipoona hivyo niliishiwa na.nguvu pale pale na kuwaza dada Amina atanichukulia vipi mimi na hilo swala nae alitoka chumbani kwa speed kali na huku chumbani akituacha wawili mimi pamoja na shem Erinest huku tukibaki tukiangaliana na kuwaza sana na kukosa rahaaa wakati huo basi kwa unyonge niliokuwa nao misili ya mfano "wa kuku kanyeshewaaaa na mvua"
Nami nilipaniki sana na kubaki nikijibizana ndani na shem Erinest
"Haaaaaaaah! shem nilikuambia masikini mimi nitakuwa mgeni wa nani na sura yangu kwa aibu hiii yalaaaaaaah!!!! wiiiiiiiiiiiiii!!! Erinest Erinest jamani lakini leo mimi nilikuwa nimekataaa huku nafsi yangu iligoma lakini utamu wa penzi lako umenifanya leo nionekane sina maana kwa kila mtu atakaye jua hili swalaaaaa?"
"Isabela tukio limeshatokea sio kitendo cha kulaumiana cha msingi ni kufanya nini tunafanya kupambana nalo basi ningoje humu ndani nimuwai mahari alipokuwa dada amina
Maana achelewi kufanya kitu kibaya kwetu au kwake"
Shem alionekana kuwa ni mtu anaye mfahamu fika dada Amina kwani yale yote aliokuwa akisema ni ya kweli dada amina ni mtu ambaye hubadilika gafra na kufanya chochote basi mini hapo ndipo naogopaaa mnoooo!!!!.
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
basi nae aliondoka na kuniacha chumbani huku nikiwa sina hali maana Tukio la fumanizi limetokea basi nilibaki nikiwa mtu mzito kwenye kichwa changu nami nilingoja chochote kitakacho tokea itabidi nikubaliane nacho maana kulikuwa hakuna namna. Uvumikivu ulinishindwaa nikipokuwa nimeka huku mawazo yangu yanataka niende kumuomba msamaaa dada Amina lakini wazo jingine likinishauri nibaki maana hato weza kuregeza roho yake kwani hakuwa na sifa ya kuwa mtu mwenye masihara.
Mara nikijishangaaa nikiinuka mwenyewe na kutoka chumbani na kuelekea sebureni na nikipo vuka tu mlango wa chumba hicho nafsi ili sita lakini nikianzaa kusogea taratibu mpaka nilipofika sebureni na niliwakuta shem Erinest akiwa yuko akimbembeleza dada amina.
Basi nafsi ilinituma nifike mbele yao na nipige magoti japo niombe msamaaa nami nilifanya hivyo nilifika na kupiga magoti mbele ya shem pamoja na dada Amina na iliniwia vigumu mnooo pale nilipokuwa nikinyanyua macho yangu na kumtazama dada amina basi nikikuwa na aibu kali ambayo sikuweza kuificha kwa mtu yoyote pale ndani kwani kwa kilicho kuwa kimetokea ni cha aibu sana kwani sikupaswaaa kufanya hivyo kwa dada yangu amina nafsi ilinisuta sanaa tena sana. Nikibaki nikidondosha machozi kwa dada amina huku nikiwa natia huruma lakini dada amina hakuonesha chochote juuu yangu
Kwani pindi nilipokuwa chini hapo nikiomba msahaaaa nilikuwa nikiumia sana na kuraumu mnooo nafsi ilionituma kufanya yote haya kwa dada amina nae dada amina akinitizama huku akishindwa hata kuongea pindi alipoona sura yangu ikimtizama yeye basi nami nilibaki kichwa chini nikijutia mno nafsi yanguuuu..
Shem Erinest alionekana akimtuliza kwa hali ya juuu huku dada amina alionekana kuwa na hasila nyingi na ndipo alipo nyanguka dada amina na macho yalinitokaaa na kuhisi kipi anataka kufanya basi aliondoka maeneo hayo ba bila ya kuongea na mtu basi nami kuona hivyo kwani nilikuwa mwingi tena mwenye hofu kubwaaa juuu ya hukumu ambalo dada amina atakayonipa.
Licha ya kuona hayo na kufikiria mengi kwa wakati mmoja na ndipo nilipowaza kuondoka maeneo hayo kabla ya kuwaza hayo nilitoka sebureni na kuelekea chumbani kwangu huku nikiwa na wazo la kuondoka basi nilipofika nilichukua mkoba wangu mdogo na kuanza kuweka vitu vichache huku nikipanga kwa mpangilio usio fahaaa kwani nilikuwa na mawazo mengi mno wakati huo basi ili niwapishe yeye na shem kwa kipindi kifupi mpaka hapo asila za dada amina atakapo punguza hasira zake ndipo nitakapo weza hata kuja kuomba tena msamahaaa juu ya jambo hilooo. Basi nilipoona nimepanga vibaya ilinibidi nimwage tena vitu nilivyokuwa nimepanga kwenye mkoba huo navyo nilimwaga chini na kuona business card na kuishika vizuri na.kuvuta taswira ya mtu aliyenipa kadi hiyooo nilitumia mda kidogo na kukumbuka aliyenipa kwani ndiye aliyenipa siku moja lifti asubui nilipokuwa nikielekea ofisini basi na kukumbuka kijana huyo alichoniambia na huku akinisihiii sana nipatapo mda au kitu chochote nijaribu kumtafuta. Na ndipo nilipo chukua simu haraka haraka na kuanza kuipiga namba hiyo nilipiga kwa mda sana lakini simu ilikuwa inapatikana lakini kupokelewa ndio ilikuwa tatizo lakini nijipa moyo pindi aikutapo simu ataweza kunitafuta au mimi mwenyewe mda tena ukipita nitajaribu kumtafuta tena. Nilipaki vitu vyangu kwenye mkoba huo na kuondoka maeneo ya nyumba hiyo na.kutimukia mbali kidogo bila ya mtu kujua na nilipotoka nje kidogo ya mji!
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Ilinirazimu kutafuta mahari pa kuweka japo ubavu wangu na kweli nilifanikiwa kupata nyumba ya kulala wageni basi nilifika hapo mda ya usiku na kukuta imebaki nafasi moja tu na ndio ikawa nafuuu kwangu kwani nilizunguka nyumba nyingine na kukuta zote zimejaaaa watu kwa siku hiyo. Nilitumia balance yangu kidogo niliyokuwa nao ili kulipia chumba hicho kwani niliitumia ile nilio fanya biashara kwa siku mbiliii basi nilikabidhiwa funguo na kuingia chumbani hicho kwa mara ya kwanza na kitu nilichooanza nacho ni kuoga nami nilioga kuondoa uchovu niliokuwa nao kwani nilikuwa nimepata huku nikiwaza tu jambo lililokuwa limetokea kwa siku hiyo lakini pole pole nilisemaaaa maneno potelea pote nilisema maneno hayo kwani niliingiliwa na jinamizi ambalo hata mimi sikujua lilipo tokea basi ndipo ilinibidi nijitupe kitandani na mda kidogo ulipita na simu iliita na kuona namba ile ile nikiokuwa nimeitafuta ndipo nilipifikiria ndio yenyewe basi nami niliipokea simu hiyo huku nikiwa na furaha kidogo.
"Haaaaaaallllllloooooooooo"
"Yes!!! Nani mwenzangu kwani namba yako ilinitafuta mda mrefu kidogo"
"Haaaaah ni mimi isabela uliye nipatia namba yako siku moja hivi ulinipatia lifti kwenye gari yako.
Nilikuwa nikiongea kwa uoga sana kwani furaha yangu ni kumpata na kukutana nae ile anitoke kwenye janga hilii tutakapo kaa na kutatua kwani aliniambia pindi nitakapo pata tatizo au jambo lolote nisisite kumtafuta nami
"Mmmmmmmh! Kweli basi sawa kesho itabidi nifanye juhudi hizo na nitakutafuta au vipi isabelaaaa? "
"sawa na tena utakuwa umefanya jambo la busara mno kufanya kesho maana siunajua mda huuu "
Nilimjibu hivyo nae aliongea maneno machache na kukata simu basi nami huku nikiwaza ya kesho juuu ya kuonana nae kwani sikutaka kukaa sana kwenye hifadhi hilo kwani pesa nilikuwa nao hazikutosheleza maitaji yangu kwa kipindi kirefu sana kwani pesa zilikuwa chache mno na ndipo nilipo zima taaa na kulala na nililala usingizi mzito na huku nikiwa mwingi wa mawazo katikati ya usingizi niliota ndoto ya ajabu na yenye kutishaaa sana huku ikionesha kwa kina sana tafsiri yake kuwa maisha yangu yanayo kuja mbele ya safari yangu ya maisha ni yenye tabu kweli na huku nikiendelea kuota ndoto hiyo nilishituka sanaaaa kutoka usingizini na haraka haraka kuwasha taaa na.nikuwa nikitoa pumzi kwa kasi sana niliogopa sana na kuifikiria sana ndoto hiyo basi nilipo maliza na kutulia kidogo na.ilinibidi nitoke kitandani ili niingie tena bafuni japo nijimwagie maji ili nipate kurudi kwenye hali ya kawaida kwani pindi niliposhituka niliishiwa nguvu mnooo huku akili ikionekana kuchoka kwa wingi wa mawazo huku ndoto nayo ikichangia. Basi nilifanta hivyo kuingia bafuni na kujimwagia maji kiasi na kurudi tena kitandani kupata japo usingizi wa kumalizia siku hiyo. Kulikucha asubui ilionekana kuwa mpya machoni mwangu kwani matazamio yangu yaliona ni siku itakayo badilisha fikira na mtazamo wangu wa maisha lakini laaaaaaa! sikujipa asilimia zote juuu ya jambo hilo basi nilipata chai ya asubui kutoka kwa wahudumu wa pale lakini wakati nikiendelea na tukio la kunywa chai gafra simu iliita na kuona namba ni ile ile ya kaka aliyenipa lifti basi nami nilipokea kwa nidhamu nzuri sana.
"halllloooooooo! za asubui?"
"nzuri lakini vipi za toka jana "
"Mmmmmmh! Kwangu ziko poa sana hofu ilikuwa kwako lakini sorry vipi kuhusu jana tulivyo pangaa kuhusu leo kuonana na wewe maana ni na hamu kweli jaapo nikutane na ww?"
Kijana huyo alinifanya niwe na wenge pindi alipo niambia anataka kuniona!
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Huku nikifikiria kuwa nitamuambia nini? kwani simu ilikuwa bado iko hewani nami kufikilia sana na kutotaka kumjibu papo hapo na kumwambia "Haaaaaah! Unataka kuniona na mimi basi ngoja nipange ratiba yangu ya leo na ndipo nitajua mda na wakati wa mimi na wewe tutakapo kutana? Sawaaa au"
Nae aijubariana na kile nilicho kuwa nikiongea nae kwenye simu kwani alionekana kuvutiwa na kupendezwaaa nami japo mimi sikuwa na shida nae bali ni hali ya maisha ilinifanya na itanifanya kupata mahari pa kujiegesha kwa kipindi kifupi au siku mbili tatu huku nikiangalia mwelekeo basi nae alipokwisha kujibu nami kwa haraka na furaha nilikuwa nayo nilikata simu hiyo na kuanza kuwaza nitampa mda gani ili kukutana nae ndio zilipo pita dakika kazaa nami kupata majibu ya wapi na mda wa kukutana nae basi nami kwa haraka nilichukua simu na kumtumia ujumbe wa SMS uliokuwa umejitosheleza juuu ya wapi na mda wa kukutana nae.
Nae alirudisha ujumbe ule kuwa kaupokea na hana shaka atazingatia mda tuuuuu!.
Ilikuwa mda ya jioni ambayo ndio mda tuliokuwa tumekubaliana kukutana ili wawili sisi tukae tuyazungumuze basi nilitoka hotelini nilipokuwa nimefikia huku nikiwa nimebakisha siku moja ya pesa yangu niliokuwa nimelipia kwa siku kazaaa.
Nilifika mahari nilipo mwambia na mda huo tuliokuwa tumepanga ulikuwa umeshafika na kunyanyua simu yangu na kumpigia simu.
Nilipopiga tu simu nae alipokea na kumbe alikuwa kaishafika mda mrefuuu basi nae alichukua jukumu la kunielekeza mahari alipo kuwa ameketi nami nikaelekea mahari aliponielekeza ili tuongeee mambo mabali mbali huku nikiwa na lengo mojaa tuuu kwani atakapo nitaka kimapenzi ni heli anitafutie mahari pa kuishi au kuishi nae kwake kwani nikikumbuka ya hotelini ndio yaliokuwa yakini changanya sana kuwa bado siku moja basi hayo ndio yalikuwa mawazo yangu. ndipo nilipomuona alipokuwa ameketi huku akiningojaa tuongee pamoja. Nilimkalibia nae aliponiona tu alinikumbuka haraka mno huku akitoa tabasamu zuri huku nami nikiwa nimevutiwa nalo basi alinikalibisha kiti huku akichukua jukumu la kukivuta
Nyuma na kunikalibisha vizuri huku nami moyoni nilifurahia kitendo hicho basi nami nikaketi huku nikimtazama sana pindi alipoonesha hayo .
Basi ilinibidi niwe mpole huku nikitizama na kubaki niko mdomo wazi nikiwaza ataanza na nini? yaani mazungumuzo baina yangu na yeye. Nae hakutaka kuuliza nini nataka hapo hapo alimwita muhudumu na kuniagiza kinywaji nami nilianza kushusha kiu taratibu huku mazungumuzo yakizidi kuwa matamu na ndipo alipo anza kuuliza swali huku nikiwa mwingi wa hofu sana aliponyanyua mdomo wake na kusema "sorry isabela kama nitadiliki kuzama ndani sana lakini inabidi tu niwe muwazi?" "yes nambie tuuuu wala usiogope " Nilijibu huku nikijiamini kwa kipindi kifupi mnooo na kupita kiasi basi nae alifunguka tena "isabela eti una mpenzi au mume ?" "Nilishituka na kupaliwa na soda niliyokuwa na kunywaaaaaa! basi nilikooa sana na takiribani dakika tano nilizipoteza kwa kukooa sana huku nikiwaza nitamjibu nini kwa swali aliloniuliza basi na kikoozi kile kilitulia na ndipo niliponyanyua kinywa changu na kumjibuuuuuuu. "Aaaaaaha no sina mpenzi wala mchumba niko kama unavyoniona vipi kwani?'" Nae aliposikia tu nimemjibu hivyo aliyoa tabasamu la ushindi na kuniambia tena "sawa vizuri ila mbona ulitakiwa kuwa nae au mda bado isabela"" "yaaah! mda bado na sijampata aliye tokea kuwania nia kwangu?" kiukweli aliniuliza maswali yenye changamoto sana huku akiwa mtu mwenye sura ya ki mahaba basi nami nilipoona akizidi kuzama mpaka ndani nimi nilibaki nikishika kucha na huku nikingata vidole vyanguuu vya mikono yanguuu tu.
Basi tuliendelea kupiga stori za hapa na pale huku tukizidi kufahamiana kwa vicheko na matani zaidii na mda simu yake ikaita nae gafra alipopokea alionekana mtu mwenye haraka na kuniomba kuwa atanitafuta kwenye simu basi alianza kupiga hatua huku nikiwa namwangalia nami nikiwawaza kuwa hotelini nako kaaa mda umebaki wa siku moja kwa kile kiwango cha pesa nilichokuwa nimelipa kufika tamati. na ndipo alipo geuka na kunitizama sana na kurudi haraka haraka huku akiwa mkono uko ndani ya suruali
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Nae alitoa burungutu la pesa na kuliweka mezani huku niksahngaaa na hofu ikiwa imenitandaaa maana sikuwaza kama atafanya hivyo na nilibaki nikiwa machooooo nikimtizama kwa kile alichokuwa akifanya nae alipo maliza kufanya hivyooo alipiga hatu kuondoka lakini alipofika mbele kidogo aligeuka na kusema "Take care Isabela lakini nitakutafuta badae please" Nami nilipatwa na kigugumiziiiii na kushindwaaa kuongea na kubaki nikitikisa tu kichwa huku nikimkubalia. Nae ndipo alipo nambia "mmmmmmh Isabela waweza kuniita "Erick " na tutazidi kufahamiana lakini ngoja niwahiiii mahari kwani naitajika sana wakati huuu lakini samaani sana kama nitakuwa nimekukela kwa kuondoka mapemaaaa". Basi na e alifika mbali na lutokomea kabisa maeneo ya hotel hapo na mimi nilipokuwa na shangaaa pesa zile alizo weka mezani nilizungusha macho yangu na nilishika pochi yangu niliokuwa nayo na kuzidumbukiza haraka haraka pesa hizo na sikutaka hata kupoteza mda maeneo yale basi niliona si vyema ni bora kumalizia soda niliokuwa nimeagiza basi na kuondoka hapo. Nilirudi tena hotelini nilipofikia baada ya kuondoka kwa dada amina huku nikiwa siamini kwa tukio lililotokea mdaa huuu mfupi kwani nilitoka nduki maeneo hayo huku nikiangalia kama kuna vibaka waliniona au mtu yoyote lakini laaah! haikuwa hivyo bali niliondoka bila ya mtu kuona. Basi ndipo nilipofika chumbani na kuzitoa burungutu hulo na kuliweka kitandani na kuanza kuzitazama sana pesa hizo huku nikifikilia sana je? asingekuwa kijana huyo hizi pesa ningezipata wapi huku nikikumbuka siku ya kwanza kupewa lifti basi nilianza kuziesabu pesa hizo huku mikono yangu ikionekana kuwa na jasho jing kwani kiwango cha pesa nilichokuwa nimepewa sikuwahi hata siki moja kukishikaaaa na ndio ilikuwa mara ya kwanza kushika pesa kama hizo. nilianza kupata kiwewe juuu ya pesa hizo huku nikitoa pesa baadhi ili nilipie nyumba illi niendeleee kuishi kwani ilinipasa tu kulipa maan sikuwa na mahari pa kuishi mpaka nitakapo pata ndio nitatoka hiyo ndio ilikuwa plan yangu kuishi mpaka nitakapo pata
alisnisaidia sana kunipatia kiasi kikubwa hicho cha fedha basi nilipofika tu niliingiwa na shauku ya kumtafuta na japo kumuomba asante kwa kile alichonipatia au nikiweza kumuweka mkononi niishi nae yote hayo yalikuwa mawazo yanguuu kwani alionekana matatizo yangu mpaka yalipo fika anaweza kuyatatua licha ya kuto weka asilimia nyingiii juuu ya jambo hiloooo nami niliona ningoje tu basi siku hiyo ilikuwa nzuri kwangu na yenye furaha kwani alinikwamua kwa kiwango kikubwaa mnooo na pili sikuwa na hali nzuri ya fedha.
Usiku ulipofika siku hiyo huku moyo wangu ukiwa mweupe hauna mawazo basi ilifika majira ya saa tatu nilifikiria sana kumpigia simu japo nimshukuru kwani sipo fanya hivyooo nitaonekana mtu wa ajabu basi ilinibidi nichukue simu na kuipiga namba yake na nilipoipiga iliita sana mpaka kutata huku nikijaribu tena napo iliita mpata ikakata napo ilipokata ilinikatisha tamaaa huku nikiwaza mda huuu atakuwa kachoka kiasi cha kwamba hata kupokea simu basi nilishusha simu na kukaa takiribani dakika chache na wazo jingine likanijia na kushika simu tena na kuipiga tena nayo kwa bahati nzuri alipokea simu nami nilishusha pumzi ya jaziba na kuweka nzuri na huku lengo languuu nikumuomna asante kwa kile alichonifanyia nami nilifanya.
jambo la kwanza kumwambia ni hilo la kumshukuru sana kwa kiasi kikubwa alicho nipatia japo sikuombaaa . Naee alionekana kunijibu kama kachukulia kawaida kwa jambo alilofanya basi nae alinijibu kawaida na kuiomba tena kukutana siku nyingineee ili tuzidi kufahamiana basi alionekana kusisitiza kwa siku hiyo ambayo hakuitaja mda na siku lakini alipenda nisije muweka njia pandaaa. Basi nami nilimjibu
"wala usijali siku ikifika utaona mwenyweee nami nitakuja usiwe na shaka mpendwaaa:"
nae alinijibu huku akionekana kuwa kalizika na jibu langu nililotoa wakati huo kupitia simu
"Ok sawa Isabela nami nitafurahi sana kama ukiitika wito wangu tena nitafurahi mnoooo". Basi ndipo nilipokata simu huku nikibaki nikijiuliza sana lakini sikutaka kuumiza sana kichwa changu huku nikiwaza siku hiyi nitaenda vipiii
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
siku hiyo ilikata nami nililala na kulipo kucha kama kawaida nilipata chai nzuri huku jambo liliokuwepo ni kutoka japo nizunguke zunguke mitaa ya maeneo hayo ya hotelini basi nillipo maliza chai nilifanya haraka haraka na kuchukua pochi mezani na kuingia mtaani lakini na kuanza kuzurula zurulaaaaaa lakini pindi nilipokuwa na mizunguko hiyoooo? gafra binivuuuu sikuamini kuona kwa mbali sura ya shem Erinest na alipozidi kusogea ilinibidi mimi nijifiche ili nimwone vizuri anapoelekea basi na alifika mpaka mahari nilipo huku nikizidi kujibana kwenye ukuta ambao haukuwa viizuriiii sana basi iliniwia vigumu lakini nilijitaidi mpaka kumkwepaaa nae alipitaaa huku nikiakiki kuwa ndie kweli au nimefananisha lakini niliakikisha kuwa hakuniona basi nami nilamua kuchomoka huku nikiwaza yaweza kutokea mengine mbele na kukatisha tena safari ya kuelekea nilikokuwa naenda japo kuwa sikuwa na mipaka lakini ilinibidi tu nifanye hivyoooo na kurudi mpaka hotelini nilipokuwa nikikaaaa.
Basi nilipofika tu na kuwaza sana huku nikijisemea
"sijui shem lake ananitafuta maana itakuwa kanimiss kwani mpaka huku kakujua vipi mchezo tu"
laaaah shaaa??? hayo yalikuwa mawazo tu huku na huku niliingia bafuni kuoga ili kuondoa uchovu niliokuwa nao kwani pale nilipokuwa nimejifichaaaa niliparamia ukuta ambao ulikuwa hauko vizuri kimatengenezo basi ndio niouparamia na kudondoka chini japo kuwa shem Erinest hakuniona kwa jitiada nilizokuwa nimefanya japo kuwa nilidondoka chini.
Nilimaliza kuoga na kurudi kitandani na kuanza kuchezea simu huku niperuzi instagram pamoja na facebook kwani ndio ilikuwa mtandao yangu mikubwa toka nimepata simu ambayo inasapoti intaneti
basi punde si punde mara SMS iliingia na kuiangalia na kuikuta ni ya yule yule kijana Erick huku alipo toa pesa zile basi simu yake au kitu chochote kikionesha ni yeye kapiga au katuma SMS nilifanya jitiada kurudisha mara moja ujumbeee basi tuliendelea kuchati takiribani saa moja na wote kuchoka lakini hakusahau kunikumbusha kile alichokuwa kapanga kukutana nae huku ikiwa imebakia siiku 1
Basi alinisisitiza sana juuu ya jambo hiloooo kwani asije katisha mambo yake na tena nisende kuona nae basi ilinibidi nichukue jukumu la kumpa moyo kuwa siku hiyoooo nitakuwepo basi nilimsihii juu ya siku hiyo kuwa nitakuwepo kwani sikutaka kupoteza bahati ambayo inaonekana wazi wazi tena kwa mtu mwenye moyo kama Erick. Kwani alionekana kuwa ni mtu msitarabu japo kuwa sijamsoma sana lakini kwa kuwaza kwanguuuu ilikuwa hivyooo bali japo kuwa nilikuwa na shida sana.
basi ndipo siku ilipo kata kwa mimi na yeye Erick kuachana huku tukiwa tumekubaliana juuu ya siku inayo fata huku kila mtu kumhaidi mwenzake kuwa hato muangusha basi nilikuwa na usingizi ambao ulikuwa ni wenye mawazo mengi huku nikiwaza ya kesho yake itakayofata kwa kuonana na Erick Kwangu alijilikana kama HB kwani alikuwa na mvuto japo mawazo yangu ni kuondoka kwenye janga la malazi kwani sikuwa na muelekea wowote juuu ya kile kilicho tokea kwa dada Amina basi hicho ndicho kilikuwa ni changamoto kwangu kwa kuanza maisha yanguuu basi usingizi kwangu ulikuwa kuwaza hayoooo tu mpaka asubui na kulipokucha nilishituka na kujikuta nikiwaza huku jasho likini tokaaa.
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Basi siku ilipoanza kama kawaida kuingia bafuni kuoga kwani nilikuwa nimeloa hatari kwa jasho lililo tokana na ndoto nilizo kuwa nikiota usiku uliosheheni mawazo mengiiiii juuuu maisha yanguuuu lakini niliziona ni changamoto tu huku nikijipa matumaini juuu ya huyuuu nilie mpataaaa. Nilioga na nilipo maliza tuuu nilipata kifungua kinywaa na nilipo maliza tu huku akili yangu ikiwa safi wakati huo kwani nilikuwa nishatoka kusafisha tumboooo langu na kuwa na nguvu basi niliwaza ni mda gani lakini nikama hatukuongea kuhusu mda niliwaza hayo na kupata wazo la kumtafuta kwenye simu Erick.
nilichukua simu na kutafuta jina la Erick na kuipigaaaa iliita mda sana lakini zilibaki dakika chache nae alipokeaaa simu na alipoongea tu alionekana kuwa bado yuko kwenye usingizi (kalala) na nilipoona hivyooo nilijiongezaa na kumwambia
"hoooooooh sorry Erick bado uko kitandani lakini japo mimi nilikuwa naulizaaa vipi hivi tulikubaliana mda gani? tutaonana maana najua siku ni leo Erick.
Nae aliposikia hivyooo huku nikimuulizaaa basi usingizi wake kwa kiasi flani uliondoka nae kuniambia.
"heeeeeeh! kumbe ni leoooo okay! sawa ni mida ya jioni au wewe unaonaje kwani kwa mda huo utakuwa freee au"
Alipo kwisha kuniambia hivyooo huku akiniachia kesi mimi kupanga mda huo basi nami nilijijua niko free mda wote kwani sikuwa na mahari pa kwendaaa ikabidi niondoe ubishiii nami nilimjibuuu Erick.
"oook sawa Erick basi kama mida ya jioni itakuwa poa mda hiyooo ya saa moja hivi au unasemaji hilo ni pendekezo languuu lakini"
Nilipo mwambia hivyooo nae alionekana mda huo atakuwa nae na mda huku utakuwa vizuri huku akisemaaa?
"haaah! hapo utakuwa umefanyaaa jambo la maana sana kwani mda yote nilikuwa na kikao mda flani ya mchana lakini free ilikuwa jioni na wewe umepangilia vizuri sana nimependaaa hakuna neno Isabela"
Basi alipo kubali ombi langu (pendekezo languuu) nilitoa tabasamu huku nikiwa na asilimia 100% za kumshika kwenye sekta ya mapenzi kwani alionekana kunisikiliza sana?
.
.Basi nilikata simu ya Erick na kuendelea na shughuri nyingine zangu hapo hotelini huku mawazo yangu tuuuu ni mda basi ndipo iliponibidi kuweka alamu ili mda utakapofika uniwezeshe kuniweka active (makini) kwa mda tuliokuwa tumepanga kukutana mimi pamoja na Erick ili niwe nimeshafika kabla ya mda ili kusudi aone niko tayari na kile alichokuwa akisema Erick. Jioni ilifika majira ya saa kumi na mbiliii huku nikiwa ni melala mara gafra alamu ilianza kupiga kelele na kuniamsha haraka mnooo. Basi nilishukuru kwa kile kilicho tendeka kwa wakati huo huku nikiamini nitawai mahari pa tukio na nianza kufanya upesi kujiandaaa na kuweka mwili safi huku nikiangalia sana mda na kuutumia vizuriii kwani Erick mara ya mwisho aliniambia kuwa mda niuzingatie sana kwani hakutaka afike then mimi siko eneo la tukiooooo? hilo tuuuu ndio lilinifanya mimi niwe na endana na mdaaa sana basi nilimaliza zoezi la kujiandaaa na kujipodoa nyuso yangu huku nikiweka vinakirishi vya mng`aooo wa kipekeee kwani nilivipata hapo hapo hotelinii na ndipo nilipo chukua boda boda ili iniwezeshe kuwahi mahari pa tukio na kuuwai mda tuliopangaaa.
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Lakini cha msingi nilichotaka kuonesha kwa Erick kuwa nisije kuonekana kuwa muongooo kwa kiasi kikubwaaa na kuweka mazingira mabaya basi na nilipokuwa nikielekea nilimsihiii mwenye chombo kuniwahisha awezavyoooo ilimradi tuuu nifike salama. Kiukweli niliwahi maeneo hayooo huku nikimsifu mwendesha boda boda niliokuwa nimepandaaa kwani alinifikisha kwa mda niliokuwa nimeupanga toka kwenye akili yanguuu na nilipofika hapo nilitulia kidogo pembeniii na kuanza kuongeza manukatooo huku nikihisi ya kuwa yote niliyaacha njiani kwa kasi ya mwendesha boda bodaa pindi alipokuwa akiikimbiza hatariii.
Basi nilijipulizaaa manukato mengineee na ikanibidi niongeze tena bwebweee kwenye nyuso yanguuu kwani nayo ilipata vumbi la njiani na niliona nitatia haibu nitakapo kuwa nae na kujionesha kuwa sijijari yote hayo yalikuwa mawazo yangu lakini ilinibidi tu kufanya hivyoooo wakati huoooo!
Nalilipo maliza kufanya yangu wakti huooo na nilianza kupiga hatua kuelekea mahari aliponiambia nitamkuta kwani mahari hapo hapakuwa pageni kwanguuu kwani siku ya kwanza ilikuwa ndio hapo hapooo basi nilionekana mzoefu kwa kufika moja kwa moja mpaka kwenye meza alioniambia nitamkutaaa Erick basi nilifika na ca kushangaza sikumkuta na kusema leo nimemuwaiiii kwa kiasi fulani na kuwa ni mtu wa kwanzaa basi nilikaaa na kumwita muhudumu na kuagiza kinywaji japo kukata kiuuu niliokuwa nayo kwani boda boda ile nilikuwa nimepanda ilinipeleka mpute mpute mnooo.
Na nilipokuwa nikiendelea kupata kinywaji hicho huku nikiangalia mda na kuona kuwa ilikuwa imebakia dakika chache tu kama kumi na tano kutimia mda tuliokuwa tumepangaaa. Lakini wakati nikitafakari juuu ya Erick kuwa atakuja au laaah! lakini sikuweka mawazo ya kutokuja kwani nilikuwa namjua akisema kitu lazima afatishe mda basi ilinibidi ni hesabu dakika zilizo kuwa zimebaki na zilipo timia majira ya saaa moja na kubaki kupoteza matumaini ya ujio wake Erick na ndipo mawazo yangu yakapelekea kuwazaaa "labda foleni kwani ndio ulikuwa mda mbaya sana kwa watu kurudi makwao au pengine majukumuuu!!!!! yote hayo nilikuwa nikiyatamuka moyoni "Nivumilie tuuu uwendaa yuko njiaani anakuja mda hiii nivute subira" na ndipo ilipo nibidi niongeze mdaaaa kidogo kama nusu saa ya kumsubilia yeye.
Na ndipo iliponizidia nafsi na kunibidi nichukue simu yangu ya mkononi ili kujua yuko wapi wakati huooo na nilipopiga simu ya Erick ilinitia mashaka sana kwani nilipata ujumbeee usemao "Namba ya mteja unayo piga kwa sasa hapatikani jaribu tena badaeeee!!!!!!!!" Nilibaki nikishika tama na kusema "Ebu nijaribu tena" Lkini nilijaribu tena lakini nilipokea ujumbe ule uleeee nakuishiwa pozi na kuwaz sana basi nilipoteza matumani kabisa kuja kwake na kubaki sijielewiiii wakati huooo? Ndipo mawazo yakawa mengiii mnooo! wakati huoo mpaka kupelekea kuinamisha kichwa changu kwenye meza ileee niliokuwa nimekaa na ndipo kupelekea usingizi mzito ambao sikujua ulikotokeaaa wapi?
Nilishituka usingizini kwa mguso nilioguswa na mtu flani ambaye sikumjua huku nikiwa nimeweka kichwa chini nafikilia na kuwaza kuwa ni Erick uwenda kafika. Tratibu huku nikinua kichwa changu na kumuangalia mtu ambaye aliye nigusaaa ni nani? Moyo ulishituka sana nilipo mwona mtu huyo huku sikutegemea kuwa naweza kumwona kwani mtu huyo alikuwa ni muhudumu na ndipo hakutaka kupoteza mda nae aliniulizaaa
"Dawa vipi umekunywaaa maana umelala hapa mda mwingi sana vipi kwani dada kuna tatizo naweza kukusaidia"
Nilishindwa hata kumjibuuu huku nikibaki nikitikisa kichwaa tu kuashiria ya kutokuwa na tatizo lolote pale basi nae alibaki akishangaaa kwa hali niliokuwa nayo huku akisikia nacho mjibu na kuto weka wazi jambo nililokuwa nalooo wakati huo ambalo lilikuwa linasumbua akili yanguuuu. basi ndipo nae alijibu.
"Sawa dada basi kunywa maji haya upate tena nguvuuu na ukimaliza hivyo japo pitisha na uso wako uondoe usingizi ulio nao".
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Nilishangaa sana kwa kile alichokuw akisema kuhudumu huyo na kuonesha kuwa na huruma sana basi nilichukua maji hayo na kufatisha alichokuwa akisema nilikunywa na kuyanawa kwa mjubu wake nilipata nguvu za kuinuka na ikanibidi niondoke maeneo hayooo na nilipo kuwa nikiondoka mara gafra simu yangu iliita huku namba ilikuwa ni ngeni na nilipo pokea tu
Nilivyooo pokea tu simu hile sauti iliyo nijia hapooo ilikuwa ya kiume ambayo hata mimi mwenyewe ilikuwa ngeni kwa kiasi kikubwa sikuweza kumfahamu na ilikwa tabu sana kuielewa na ndipo nilipo ikata simu hiyooo kwa kuhofia pindi nikiendelea kuongea nae mtu ambaye sikuwa na mfahamu basi nilipoikata simu hiyo na niliendelea kupiga hatua kutoka maeneo hayo na kuelekea barabarani kuchukua boda boda na kuelekea hotelini kwangu. Wakati nikielekea barabarani tena simu iliita na kuikuta ni ile ileeee iliokuwa imetoka kuongea nami mda mfupi tuuuu nami basi ilinibidi kuipokea simu hiyo na nilipo ipokea tu nilianza kufika huku nikimwambiaaa.
"Eheeeeeh! wewe nani? mbona sikufahamu kaka yangu au umechanganya namba kulikoniii ndugu yangu yani sikufahamu kabisaaa?"
Nae alipoona nimemwendea juuu alionekana kuwa mpole wakiti nikiyatoa maneno ambayo hata yeye alibaki akinishanga huko alikooo basi aliniomba kumsikiliza kidogo huku akikisisitiza kuwa na ujumbe anataka kuniambia tena wa muhimu nami kusikia hivyooo nilibaki nikimsikiliazaaa huku akisema.
"Samahani dada yangu mimi ni dakitari wa muhimbili na niko na mgojwa hapa kapata ajari kali sana na kupelekea kupoteza fahamu zake na wakati nikitafuta namba au vitambulisho vyake nikafanikiwa kukutana na namba yakokwenye mfuko wake wa suruali na nikaona sio budi kukupigia japo kujua mtu huyu ulie zoeana nae kuongea kwenye simu yuko kwenye hali gani na pengine waweza nisaidia ndugu zake kuwa fahamisaha zaidi
kama wewe sio ndugu yakeee au unamfahamu jina Erick nakama utaweza kuja hapa hospitalini muhimbili itakuwa vizuri sana na chumba alicho mpaka sasa ni 124 kwa heri dada kwa kunisikilizaaaa.
Nae alipokwisha kusema hivyooo na kukata simu nilishituka sana pindi alipolitaja jina la Erick na kujiuliza ndie au siye huku nikiwa njia panda sielewi nini nifanye nilizidi kuchanganyikiwaa na huku nikijiwa na wazo la kutafuta boda boda haraka mnoo na kukimbia hospitali.
Boda boda inikimbize mpaka alipo lazwaa Erick kwani mahari nilikuwa nisha ambiwa na daktali. Basi nayo ilinikimbiza mpaka hospitalini hapo muhimbili na moja kwa mojaa nilielekea mpaka hodi ya wagonjwa nilikuwa nimeelekezwa na dokta na nilipo fika mlangoni na kuanza kusita huku nikimwona akiwa kwenye kitanda huku akiwa amefungwaaa mitambo mingi nami nilisogea mpaka mahari alipokuwa amelazwa na kuanza kutokwa na machozi huku nikiwaza kipi kilicho mpata wakati huoooo Erick basi ilinibidi nimsubilie daktali mpaka atakapo fika ili anipe kisa na mkasa au chanzo cha yeye kufika kwenye hali hiii. Na ndipo iliponibidi nikae pembeni yake kidogo hukuuu nikimgoja daktaliii wa zamu basi niliendelea kumtazama Erick huku nikimsikitikia sana na huku machozi yalikuwa yakidondoka mpaka nilijawa na hali ambayo ilitaka kunipelekea mambo mengine zaidi kwani pindi lipokuwa namwangalia wakati akipumlia mashine huku macho yake yote yalikuwa yamefumbaa tuuu nilijawa na wasiwasi kama nitampoteza Erick wakati nnilipokwa nawaza na kumtazama Erick ndipo daktali nae alifika nae aliponiona niko pemebeni yake na kuanza kuniuliza maswali?
"Wewe ndiye niliye toka kuwasiliana na wewe mda uliopita kuhusu Erick au laaaha!"
Nami nilimjibu haraka mno huku nikiwa na aibu kwani nilihisi ananilipishia wakati nipo ongea nae huku nikionekana kuwa na jaziba basi nilisema.
"Ndio mimi dokta lakini samahani nini kimemekuta Erick Dokta" nilimuuliza dokta huku nikiwa na shauku ya kutaka kujua nini kilicho mpata Erick
Dokta nae alinijibu huku akinitaka kukaa pembeni kidogo ili hali atakpo maliza ndipo atanipa maelezo juu ya kitu kilichomkuta Erick. Nami ndipo iliponibidi niwe mpole huku nikiwa mwingi wa kutaka kujua sana na ndipo nilipo sogea pembeni na kumpisha aendelee na yakwake dokta ili aweze kuniambia kila kituuu kilichotokeaaa mpaka kufika kwake hapo hospital.
Nae alipomaliza na kuniita ili nimfate ofisini kwake basi ilinibidi niongozane nae mpaka ofisini kwake na nilipo fika nae alinikaribisha ndani na kuonesha kiti nikaeee ili tuyazungumuze vizuri kuhusu mkasa wa Erick ndipo alipo anza kuniuliza maswali yenye changamotooo zaidi
"haaaaah! karibu sana lakini unaitwa nani wewe kabra ya yote"
"Naitwa Isabela" Nilimjibu dokta
"Erick ni nani yako ndugu yako au?"
Ndipo niliposikia swali hilo nilitaka kusita kujibu lakini ilinibidi nimjibu kwani sikutaka kuonesha kitu chochote wakati huoo?
"haaaah dokta mimi ndio mpenzi wake Erick"
"okaaay! basi leo kwa mujibu wa lipoti nilioletewa hapa ni kwamba majira ya mchana mda ya saa saba hivi alipata ajari ya gari yake na FUSO kwa mujibu wa wasamalia walioona tukio hilooo na raia wema waliojitokeza kumleta mpaka hapa lakini walikuja wagonjwa wapatao watano (5) ambao miongoni mwao alikuwa ni Erick huku Erick ndiye alie pona kwenye ajari hiyooo huku wengine walifikishwa hapa wakiwa wameshapoteza uhai.
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Daktari aliendelea kunisimulia yote yaliyo tokea kwenye ajari ya Erick huku nikiwa namsikiliza kwa umakini mnoo! na kuniacha nikiwa na wazaaa sana juu ya yale yaliokua yamempata Erick na rafiki zake wa nne nami nilimuomba mungu apate nafuu kwani kwa mujibu wa dokta ulikuwa ukionesha kuwa yeye ndiye aliyekuwa kapona kati ya hao watano. Ilinilazimu kuwa ndiye mtu wake wa karibu japo kuwa daktari nilimdanganya nae hakujua chochote juu yetu nae alifata kile nisemacho na kukiamini. Basi alipokwisha kunisimulia daktari nae alinishitua kwa kuniita kwani akili yangu ilikuwa mbali sana wakati alipokuwa akinisimulia huku akiniambia "Isabela tuko pamoja"
Nami ilinibidi niitikie tu kwa kuwa yote aliokuwa akinisimulia nilikuwa nimeyaingiza japo kuwa mengine siku yaweka "Tuko pamoja daktari nimekuelewa lakini naomba japo fanya chochote juuu ya mgonjwa wangu"
Ndipo daktari nae alijibu bila wasiwasi huku akinitia moyooo juuu ya kumuhudumia Erick "sawa Isabela wala usijali kwa hilo ndio kazi yangu nami nakuhakikishia kwa lolote litakalo tokea nitakujuza chakufanya nipatie namba yako ya simu kwa mawasiliano zaidi"
Nilimpatia namba yangu haraka haraka na nilipo maliza ilinibidi tena nirudi mahari alipokuwa kalazwaa Erick ili kumuona kwa mara ya mwisho ili nipate kuondoka na kurudi Hotelini ili nijipange vizuri kuja kumuuguza kwa kipindi chote hicho mpaka hapo atakapo pona basi nilifika na nilimkuta bado hawezi hata fungua macho yake uku akiwa kwenye mashine nilimwangalia huku huruma ikinijaaa mpaka kupelekea kudondosha chozi langu huku nikiwa nimeinamia kitanda chake na ndipo daktari aliponinyanyua na kunisihiii nirudi nyumbani kwani mda wa kuwaona wagonjwa ulikuwa umekwisha nami nilijikokota na kunyanyuka hapo huku nikipata msaada wa daktari na kumuacha Erick na kuelekea Hotelini kujipanga na siku itakayo fata.
Niliondoka na kumuacha daktari akiendelea kumuhudumia Erick huku daktari huyo akionesha kuwa ni mtu mwenye huruma sana kwani kwa sasa hakuna daktari angeweza kufanya alivyo kuwa yeye kiukweli nilimpenda kwa kile alichokuwa akionesha na kukifanya basi nami nilifika Hotelini mahari napo ishi huku nikiwa mwingi wa mawazo kwani sikutegemea sana siku kama hiyo ingekuwa na changamoto kiasi hicho zilizo onekana kuwa ni ngumu na tena ni zenye kufanya akili ikiwa inachemka basi sikuweza fanya chochote nilipofika tu ndani mkoba niliokuwa nimeubeba niliutupa kulia nami kuelekea kushoto kukitafuta kitanda huku na viatu pia navyo vilionekana kuwa vizito miguuni mwangu na kujikuta nikiwa mwepesi na kutokumbuka hata mahari nilipo vivua viatu hivyoo! na kujitupa kitandani na nilizidi kuangaika na kutapa tapa huku akili yangu ikiwa kwa Erick tu maana zile pesa zilinitia tumbo joto huku nikihisi nitakapo kuwa nae zitaondokana na matatizo ya dunia.
Nileendelea kuwaza juu ya yale yote yaliompata huku nikifikria kuwa endapo nikimpoteza nami mipango yangu itakuwa imefeli juuu ya yale niliokuwa nimekusudia kufanya pindi niwapo na Erick. Nilijikuta napitiwa na usingizi ambao sikujua umechangiwa na mawazo au lahaa! yote hayo sikujua pindi nilipo shitushwa na ndoto ilionesha kuwa inatafsiri mbaya huku nami sikujua ndoto hiyo ilichokuwa ikimanisha kwani upeo wa kufikiria na kuzitatua ndoto sikuwa nazo lakini muonekano wa ndoto nilioota ulinifanya kuwa inamaana mbaya basi ilinibidi niichukulie kama ndoto nyingine basi siku ilipita nami kulipokucha tu nilitoka asubui sana na kwenda sokoni kuangalia matunda japo nitakapo kwenda hospital niwe na kitu mkononi kumpelekea mgonjwa Erick. Nami nilifanya hivyo na kupata matunda mazuri na kufunga safari moja kwa moja mpaka hospital na nilipofika nilikuwa nimeshazoea chumba na mahari alipo lazwa Erick nami nilienda moja kwa moja kwenye kitanda alichokuwa kalala akipumulia mashine huku nikimtazama na hali yaki nilona haikuwa nzuri huku akiwa bado kupata kufumbua macho hiyo hali hata mimi iliogopesha sana huku nikipoteza asilimia nyingi za kuwa nae tena.
Lakini nilipokuwa nikimtizama mara gafra niliingiwa na wazo nami ilinibidi nilifanyie kazi wakati alijapotea akilini mwangu huku nikisogea taratibu mpaka mahari alipokuwa kalala Erick na ndipo kuona mkono wake mmoja ukiwa una cheza cheza nami nilipata nguvu za kuwahi na kuhakikisha kama ni macho yangu au kweli na kweli nipo sogea mkono wake ulizidi kucheza cheza na kunifanya kutoa tabasamu zuri huku nguvu zikinijia na kuushika mkono wake hapo hapo nilishituka kuona na macho akifumbua taratibu hapo hapo ilinibidi nikimbie moja kwa moja mpaka kwenye ofisi ya daktari na kumueleza juu ya kile nilichokuwa nimekiona kutoka kwa Erick akionesha hatua ya kwanza kufumbua macho takiribani siku 2 hakuweza. Nae aliposikia habari hizo tulitoka wote mbio kuwahi mahari alipo Erick lakini cha kushangaza nae daktari alipofika na kuona vile alitoa tabasamu huku mimi aliniacha kwenye njia panda na ndipo ilipo bidi kumuuliza
"kulikoni daktali mbona unatabasamu huku ukifurahi kuna nini hapo maana umeniacha njia pandaaa"
Nae alinijibu "Isabela kwa kazi niliifanya kwa Erick mpaka kufikia hapa inanirazimu kuwa na furaha huku nikitoa yangu kwani nimepata tabu sana juuu ya mgonjwa huyuuu na kuna hatua inayo fuata ambayo kwangu na kwako itatutia hamasa ya kufurahi endapo tukifanikiwa? kwani hiii hali ni tofauti sana na ile aliokuja nayo"
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Nami kusikia hivyo nilikuwa na shauku ya kutaka kujua na ndipo nilipo muuliza tena daktari
"kwahiyo mgonjwa wangu hivi karibuni atakuwa vizuri na kuruhusiwa kurudi nyumbani au?"
ndipo daktari alipojibu juu ya swali langu "Ndio Isabela kwani alionekana kuwa na tatizo kubwa pale alipo pata ajari na kwa vile kaonesha hatua ya mwisho ambayo nimeiona mimi ni siku chache tu atakuwa yuko vizuri na kuruhusiwa kurudi nyumbani lakini mpaka hapo nitakapo chukua vipimo na kumuandikia dawa atakazokuwa akitumia nyumbani lakini kwa sasa ngoja nimwangalie kwanza kwa hili jambo ambalo umeniitia nione kama atachukua siku ngapi sawa Isabela"
Basi nilipo sikia hivyo nami moyoni nilikuwa mwingi wa furaha na mwenye shahuku ya kuruhusiwa huku pili nikiwaza atakapo toka je nitampeleka kwake au hotelini lakini laaaaha! sitofanya hivyo kwani itanilazimu kupajua kwake tu? nilijiuliza na kujijibu mwenyewe
.
JE ERICK ATATOKA HOSPTALI NA KURUDI KWAKE AU HOTELINI KWA ISABELA?
ITAENDELEA
0 comments:
Post a Comment