Search This Blog

Thursday, 19 May 2022

BABU UTAMU - 4

 







    Chombezo : Babu Utamu

    Sehemu Ya Nne (4)



    ILIPOISHIA

    "Amka my love uwai kazini nakupenda sana honey!" Macho yakamtoka na kushangaa hadi kupelekea kuyashafisha macho yake vyema kuisoma tena ile messeji.......Endeleea nayo

    Hakukosea kabisa kuisoma ile messeji ilivyoandikwa.Kwa hakika hakuamini usingizi uliokuwa bado upo licha ya kuamka ukamuisha kabisa.Akaisoma ile messeji aliyoifungua kwa mara nyingine na akaangalia vyema aliyoituma hakuwa mwingine zaidi ya Anna.Mwanamke ambaye siku iliyopita alimtemea cheche baada ya kumtamani kwa jinsi alivyoumbika kuanzia shepu mpaka sura.Mwanamke ambaye alimpa namba yake mwenyewe kabla ili awe anamshtua atakapokuwa anafungua mzigo mpya wa nguo kali za kike.Hakupata nafasi ya kumkagua mara ya kwanza kwakuwa alikuwa mteja wake mpya.Emmanuel baada ya kuisoma ile messeji na kuripukwa na furaha simu bado ilionyesha kuwa na sms zingine haraka akaitoa ile na kuanza kuzisoma zingine.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com

    "Emmanuel nimekubali kuwa na wewe.Lakini nachokuomba sana usiniumize,usiwe kama wale waliopita waliniumiza kisha wakaniacha na maumivu.Nakuomba uwe mwanaume bora kwangu na si bora mwanaume nakuomba tena nakuomba sana." Emmanuel alisoma messeji hiyo na kuachia tabasamu pana kisha akaitoa na kuifungua tena messeji iliyotumwa na Anna huyo huyo.



    "Pia my love nakuomba kabla ya yote.Mimi na wewe twende tukapime afya zetu tushakuwa watu wazima ili tuweze kuenjoy naomba uniambie lini twende kwenye kituo cha afya." Emmanuel akairudia ile messeji na kushusha pumzi ndefu kwa maana maneno yale yalileta ugumu kidogo kwake.Akaanza kufikiria ni muda mrefu alikuwa hajapima na alitembea na wasichana wengi kidogo na wengine alienda nao kavukavu.



    "Mmmh aisee hapa amenishika kweli.Kitambo sijapima aisee.Mama Mariamu nimeenda naye kavu,Mariamu naye kavu,Rozinta kavu naye mmmh nitakuwa salama kweli.." Emmanuel akajiwazia mwenyewe na kukosa raha kabisa.Haraka akanyanyuka na kwenda kuoga kisha akatoka pasi na kumjibu chochote Anna mwanamke ambaye alimuomba nafasi ya kuwa naye na kumkubali.Alipofika ofisini kwake kama kawaida aliendelea na shughuli zake.Mida ya mchana ndio wakati akipata chakula ndio akachukua simu yake na kuingia uwanja wa messeji.



    "Nimekubali ombi lako mpenzi kesho sitofungua hapa mapema.Asubuhi tuwahi mapema twende tukapime." Emmanuel akaiandika ile Meseji na kuituma.Kwa hakika alijishangaa kwa maana haikuwa mipango yake kwenda kupima kutokana na wasiwasi mkubwa aliokuwa nao.Palepale simu ikaita hakuwa mwingine zaidi ya Anna.



    "Asante sana mume wangu mtarajiwa kwa hakika nimekuwa mwenye kufarijika na urejeshi wa jibu lako nakupenda sana Emmanuel na hakika hautajutia kuwa na mimi." Akaongea Anna kwa madaha na bashasha kubwa.



    "Haya usijali kama nilivyokuambia." Emmanuel akajibu na kuruhusu mazungumzo mengine yaendelee.Anna alionekana kuwa mwenye furaha na kweli alikuwa na furaha sana.Ilipita kitambo hakuwa na mtu kutokana na hofu aliyokuwa nayo katika mapenzi kutokana na kuumizwa.Hakutaka tena litokee hivyo kwa jinsi alivyoonekana Emmanuel katika macho yake aliona kabisa atakuwa mwanaume atakayemfuta machozi.Pesa alikuwa nayo.Na hata kwao walikuwa watu wenye pesa zao.Hivyo uhali wa kawaida wa Emmanuel aliona kabisa utamfanya penzi la lidumu kwakuwa yeye alikuwa na pesa na Emmanuel alikuwa mwenye hali ya kawaida tu.Siku hiyo alikuwa mwenye furaha sana hata kazini kwake alipokuwa anafanya kazi waliliona kutokana na uchangamvu aliokuwa nao.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com

    "Emmanuel nakupenda sana.".......



    Alijisemea mwenyewe Anna kisha akaibusu ile namba ya Emmanuel.Emmanuel yeye baada ya kumaliza kazi zake akafunga na kuelekea nyumbani kwake.Akiwa kwenye daladala ujumbe mfupi katika simu ukaingia.Akaichukua simu ile na kuifungua mawazo yake yote yalikuwa kuwa alikuwa Anna.Lakini haikuwa hivyo.Namba ngeni ndio iliyoonekana katika screen ya simu yake ya Nokia.



    "Mambo mpenzi wangu Emmanuel.Ashura hapa au mama Mariamu leo nakuhitaji mpenzi nakuhitaji tupeana mambo mimi na wewe saa nne njoo basi." Alikuwa mama mwenyenyumba.Messeji ile ilimkera sana.Hakutaka kumpa penzi mama huyo kwakuwa alikuwa na kibarua kizito cha kupima siku inayofuata.



    "Hata mimi nimekumisi lakini naumwa mpenzi wangu natumia mseto hivyo sitaweza kuja acha nipone tupige mechi ya kibabe."Emmanuel akajibu ile messeji na kusubiria jibu lakini halikurudi.Akaachana nayo na alipofika katika nyumba aliyopanga akaingia na kutowasha taa.Alifanya vile kuhofia kusumbuliwa.Hata kula alikula kwa kutumia mwanga wa tochi ya simu aliyokuwa nayo na kuoga hakuoga.



    "Imaaa!.....weee Imaaa....upoo...Immaa!....mimi Mariamu fungua." Ilipofika saa tano akasikia mlango unagongwa na kuitwa kabisa.Alikuwa Mariam mtoto wa mama mwenye nyumba.Emmanuel alimsikia vyema lakini aliuchuna kimya hali iliyopelekea Mariamu kuondoka hapo akiwa mwenye masikiyilo makubwa.Haikupita hata nusu saa mlango tena ukagongwa.



    "Imaa...mimi rozinta fungua jamani nina halu na wewe..." Rozinta aliongea kwa sauti ya chini na kupiga piga dirisha lakini kidume akatulia kimya.Hakuwa na muda akatulia kama sio yeye.



    "Kama majibu yakitiki nawakaushia wote natulia na Anna tu kidogo nitampa mavitu mama mwenye nyumba." Alijisemea mwenyewe Emmanuel kimoyomoyo na kuuangusha usingizi mzito.Siku iliyofuata kama kawaida yake akaamka asubuhi na mapema.Akajitayarisha na kuondoka zake kuelekea kazini kwake.Alipofika kama kawaida akawasiliana na Anna ambaye hakukawia naye akaja kwa staili ambayo hakuitegemea.Gari kali aina ya Lexus nyeusi ndio lililowasili pale likafunguliwa mlango.



    "Unashangaa nini mpenzi panda uingie." Anna akaongea na kuachia tabasamu.Emmanuel akaingia kwa kujishtukia na kuacha gumzo kwa wauza nguo wengine waliokuwa katika maduka yao ya nguo kila mtu akaiongea lake.



    "Anna gari hii yako?"



    "Ndio jamani mbona jambo la kawaida baby!"



    "Anhaaa sawa." Njia nzima mazungumzo yakatawala ingawaje Emmanuel hakuwa katika hali ya usawa.Wakafika katika kituo cha afya na walikuta watu wachache.Zamu yao ilipofikia wakaingia kwa pamoja na mganga aliyokuwepo pale akafanya yake kisha akawaomba wapumzike kwa ajili ya majibu.Lisaa limoja likakatika wawili hao wakiwa wamekaa kwenye kiti Anna akiwa amemuegemea Emmanuel aliyekuwa na hofu.Mapigo yake ya moyo yalimuenda kasi kama saa.Alikuwa na wasiwasi sana.Zamu ikafika wawili wale wakaitwa tayari kabisa kwa majibu.Mganga yule akaanza kuwapa ushauri nasaha wawili wale Emmanuel na Anna na alipomaliza moja kwa moja akaenda kwenye majibu.Kila mmoja akamtizama mwenzake.



    "Je mko tayari." Mganga akauliza na sauti iliyosikika ikijibu ni Anna aliyekuwa akijiamini sana.



    "Naanza na wewe Anna majibu yako yako safi kabisa.Ushauri niliokupa endelea kuufanyia kazi ipasavyo sawa eeeh." Anna akapewa jibu akaachia tabasamu pana na kumtazama Emmanuel aliyeachia lake la kinafiki.



    "Na wewe........" Mganga akasema na kuishia njiani.Akavua miwani yake ghafla na kuhema na kupelekea Emmanuel kutamani hata kukimbia lakini miguu akaisi kama imekufa ganzi.Anna hata yeye alitishika sana kwa hali ile....



    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com

    Anna na Emmanuel wakawa wanamuangalia yule mganga ambaye baada ya kuvua miwani yake akaisafisha na kitambaa maalumu kisha akairudisha mahali pake.



    "Usiwe na wasiwasi Emmanuel vipimo vinaonyesha kuwa upo salama kabisa.Sema wewe nikushikilie sana kwakuwa vijana wa kiume ndio wenye mambo mengi kuliko wakike.Sisemi kwamba wakike hawana sema naona wakiume wengi umekuwa mkikosa sana utulivu.Nakusihi sana kuwa muaminifu na mlinde na mpenzi wako Anna mtengeneze familia bora." Mganga akaongea na kusababisha Emmanuel kuripukwa na furaha kubwa mno.Hakuamini alichokisikia masikioni mwake alifurahi sana.Alionyesha furaha yake kwa kutabasamu tu pale lakini ndani ya moyo aliona kama kulikuwa na watu waliokuwa wakishangilia kwa kupiga makofi na vigelegele.Furaha haikuwa kwake tu hata Anna alifurahi sana na kuonyesha mapenzi ya waziwazi baada ya kumtandika busu zito la mdomo mbele ya mganga aliyeachia tabasamu pana kuiona hali ile.kilichoendelea wakapewa tarehe ya kurudi tena na wawili hao wakanyanyuka na kutoka wakiwa wenye furaha sana.



    "Nimefurahi sana baby....wote tuko salama aaah nakupenda sana Imma wangu."



    "Hata mimi nakupenda sana naimani tutadumu katika penzi hili mpaka kifo kitakapotutenganisha."



    "Hahaha...una maneno wewe leo pumzika ofisini tuelekea nyumbani tushinde mpaka usiku au mpaka kesho asubuhi lakini tusifanye chochote." Anna akamwambia Emmanuel aliyekubali maneno yale na kuyapitisha kwa asilimia mia moja



    "Hahaa...amekwisha huyu leo lazima nimto****" Emmanuel alijiwazia na kufurahia mwenyewe.Safari ikaendelea wakapanda katika lile gari.Emmanuel hakujua wanapoelekea lakini alikuja kujua baada ya kufika maeneo ya kijitonyama.Anna akashuka na kufungua geti la nyumba kisha akarudi kwenye gari na kuliingiza.Macho ya Emmanuel yalikuwa kwenye mshangao tu.Shingo yake ilisumbuka sana kuangalia nyumba ile iliyokuwa na uzuri wa aina yake na ya kisasa zaidi.



    "Humu umepanga?"



    "Ndio si nilikuambia kuwa nimepanga na wala sipendi kukaa kwa wazazi."



    "Anha sawa unalipa bei gani hapa."



    "Aaah kwa mwezi nalipa laki sita tu." Macho yakamtoka Emmanuel aliposikia bei ile ailipayo mwanamke yule ambaye tayari alishagundua alikuwa mshua.Uzuri wa mwanamke yule ilijieleza kabisa.Na kwa Emmanuel ilikuwa kama bahati yeye kukubaliwa maana kuna wengi ambao walikataliwa na mwanamke huyo.Kilichomshangaza sana Emmanuel ni kwanini mwanamke yule alikuja kununua nguo katika duka lake la nguo la mitumba na wakati anauwezo wa kununua nguo dukani.Hapo ndio akajua kuwa lile lilikuwa zari la mentali.Emmanuel akakaribishwa katika sofa lenye thamani ya kodi yake ailipayo kwa mwaka mzima.Hakukaa sawa akachapwa na juice tamu lenye rada ya mapenseni na maembe ambayo aliinywa polepole kuondoa ushamba.Baada ya kunywa mazungumzo yakaendelea na walikuwa wakiongea na kucheka.



    "Haya nambie unataka nikupikie chakula gani baby?" Anna akauliza na kumtazama kwa macho maregevu.



    "Nakutaka wewe."



    "Mimi!.....kivip?"



    "Nataka nikukule wewe leo siku nzima." Emmanuel akasema kisha akanyanyuka na kumsogelea Anna katika kochi alilokaa.Haraka akaanza kumpapasa mwanamke yule katika mapaja yake manene.Hakuishia hapo akaanza kuinyonya shingo ya mwanamke yule vyema.



    "Aaaassss.....ba..by.....aaaaah....mmmh" Taratibu akaanza kulalamika kimahaba mwanamke yule aliyeanza kuonyesha ushirikiano.Akampelekea mdomo Emmanuel aliyeupokea na wote wakaanza kudendeka vyema......

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com

    Shughuli ikawa shughuli sasa.Emmanuel alitaka siku ile kwa sababu gani Emmanuel aliitwa hivyo.Wakiwa bado wanadendeka vyema mikono yake akaiyepeleka na kuanza kuyashika maziwa manene yenye uzuri wa kupindukia na kuanza kuyapapasa vyema.Presha ikazidi kupanda kwa Anna akaanza kujinyonga nyonga mwenyewe alisikia utamu wa ajabu.



    "Lakini baby si tuli....s...eeema hatu..tofanyaaa cho...cho..te aaaaah"



    "Shhhhhhhhhhhhhhhh! Kidogo tu." Emmanuel akajibu kwa mbwembwe nzito na palepale mkono ukaingiza ndani ya ile sketi fupi aliyovaa Anna na moja kwa moja akagusa ikulu ya Anna iliyokuwa inaanza kujaa kwa uchu.Bwana Emmanuel akaanza kupapasa papasa pale na kusababisha mwanamke yule sasa kujihisi kabisa kuwa hayupo katika dunia ile kwa raha alizokuwa akizisikia.



    "Jamani baby ooooh sio vizuri hapa sebuleni twende chumbani." Anna akaomba mwenyewe na kupelekea Emmanuel haraka kumbeba.



    "Kata kuliaaa hapo chumba cha pili mpenzi."Emmanuel akapewa maelekezo kwakua alikuwa si mwenyeji katika nyumba ile.Akafanya kama alivyoelekezwa akiwa amembeba mwanamke yule aliyekuwa shatashata kama mtoto mdogo.Akafungua mlango wa chumba alichoelekezwa na kuingia na Anna aliyemrusha kitandani kwa mbwembwe.Mlango ule akaufunga.akafungua vifungo vya nguo yake ya juu na kuitupa kando.Akafuatia na suruali yake ya chini na kubaki na nguo yake ya ndani.Anna alitoa macho alipoona mtalimbo wa Emmanuel ndani ya nguo ya ndani kwa jinsi ulivyotuna kwa hakika aliona kabisa ulikuwa kama mchi.Bwana Emmanuel akajirusha kitandani na kuanza kumshaula na Anna mpaka akabaki na chupi na sidiria zilizoondolewa haraka na kutupwa katika sakafu iliyopambwa na malumalu zenye kuvutia.Moja kwa moja Emmanuel akashika miguu ya Anna na kuipanua kisha akapeleka kichwa chake na kuanza kunyonya ikulu ile kwa raha na mustarehe.Utamu aliousikia Anna hakuwa wa nchi hii.Alijisikia burudani ya ajabu mno kunyonywa ikulu yake kwa sababu aliyeachana naye kitambo hakuwahi kumfanyia vile hata siku moja.



    "Ooooh baby....aaaah...mmmmh....uwiiiii asssssh oooh my....aaah mama yangu hapo...hapooo mpenziii...ooooh you...make me feel good aaah." Utamu aliousikia akinyonywa ikulu ulizidi asali anayotengeneza nyuki.Emmanuel wakati akiwa anamnyonya mikono yake akipandisha juu ya kifua cha Anna na kuanza kuchezea maziwa ya mwanamke yule hasa chuchu zake alizokuwa akizipikecha taratibu.Anna utamu aliusikia kotekote.Emmanuel hakuona haitoshi ulimi wake aliutoa na kuanza kuchezea kisimi cha mwanamke yule kilichokuwa kimechomoza kutokana na utamu na hamu alizokuwa nazo kwa wakati ule.Ilipita kitambo hakufanya mapenzi na mwanaume hivyo kiukweli alikuwa na hamu iliyozidi kipimo.Emmanuel hakuwa na papara wala haraka yoyote ile.Aliendelea kuchezea kile kisimi na ulimi wake mpaka Anna akazidiwa kabisa na kuomba kupewa dozi. kubwa.Emmanuel haraka akazamisha muoga wa jang'ombe ulioingia wote kutokana na kulainika vyema kwa ikulu ile.Mwendo wa taratibu ndio alioanza nao Emmanuel na vilevile alikuwa anampagawisha mno Anna aliyelalamika na kutaja majina yote.Emmanuel akazidi kasi sasa na haikuchukua hata dakika kumi na tano.Anna akafika mshindo wake na kusikia utamu maridhawa uliosababisha amwagie sifa Emmanuel.



    "Aaah wewe mwanaume ooooh mume wangu kumbe mtaalamu hivyi eeeh namshukuru Mungu kunipa zawadi hii nakupenda sana Emmanuel..."...



    Maneno yakamtoka Anna kwa furaha na kumfanya Emmanuel kichwa kuwa kikubwa.



    "Hata wewe mtamu zaidi ya asali mpenzi."Emmanuel naye akamwagia sifa Anna ambaye akamvamia palepale na kumpa mdomo wake wote wakaanza kudendeka.Emmanuel naye hakuwa nyuma vidole vyake akavipeleka kwenye ikulu na kuanza kupekecha ikulu ya mwanamke yule aliyesisimka kama hakuwa na akili nzuri.Na kwakuwa Emmanuel yeye hakufunga goli haraka akamgeuza Anna na kumwambia abong'oe.Anna akafanya ipasavyo akakaa kama alivyoelekezwa.Muogo wa jang'ombe akauzamisha kwenye ikulu ya Anna kisha akaanza kuuzungusha vyema kwa kukata kiuno kama wale waneng'uaji na kuzidi kumpagawisha.Chumba kizima kikazizima sauti za kimahaba na kwa hakika Emmanuel alitoa dozi stahiki kabisa na wala hakutaka kufanya shoo ya kipole alifanya shoo ya kibabe.Mtanange ule ingawaje ulikuwa mtamu kwa Anna lakini yeye Emmanuel aliboreka mno kwakuwa mwanamke yule hakuwa akinyumbulika.Alikuwa kama gogo katika uwanja ule mapenzi na kumfanya asijisikie ile raha ambayo alikuwa akipata kwa mama Mariamu,Mariamu mwenyewe pamoja na Rozinta.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com

    "Aaaah....sss......mpenziiii nimechokaa ooooh." Anna alilalamika kabla hata Emmanuel ajafunga goli lake.Maneno ya Anna yalimkera lakini hakuonyesha hali ile.Aliendelea kuzungusha gurudumu mpaka akafunga goli.



    "Ooooh jamani unaonekana unapenda sana kufanya mapenzi wewe hauchoki.."



    "Hamna Anna kawaida tu."



    "Auuu unapenda sana kwenda kwa wale wanaojiuzaa maana ndio huweza kuhimili kwa muda mrefu sana kwenye kufanya mapenzi." Anna akamwambia Emmanuel ambaye alikasirishwa na maneno yale.



    "Kwanza mwanamke mwenyewe hana lolote kumbe kitandani ngojea nikinukishe." Emmanuel akawaza katika kichwa chake na kujifanya maneno yale yamemkasirisha.Hakuwa akimpenda Anna bali alikuwa anataka penzi tu na si kitu kingine.



    "Kwa hiyo ndio umeamua kunitusi Anna?"



    "Kukutusi vipi mpenzi?"



    "Si umeniambia eti napenda kuwachukua wale wanaojiuza naona tunakoseana heshima sasa.Ngojea nikuache mwenyewe pumbavu kabisa weeee!" Emmanuel akanyanyuka haraka na kuitafuta suruali yake aliyoivaa haraka na uso wake ukiwa umekunjika kwa hasira.Anna alijikuta katika hali ya mshangao na pia aliona kabisa kuwa maneno yake hakuyasema kwa nia mbaya.



    "Emmanuel mpenzi sijakuchukulia hivyo.Na wala sijasema kwa nia mbaya sasa umekasirikia nini mume wangu...Emmanuel!....weee Emmanuel unaenda wapi mpenzi usinifanyie hivyo basi nisamehe." Anna maneno yakamtoka pasipo kutarajia.Haraka naye akanyanyuka na kuchukua taulo na kujifunga vyema.Akatoka katika chumba kile haraka na kumfuata kwa nyuma Emmanuel aliyeshika moto tayari na tayari alishafanikiwa kuufungua mlango na kuanza kuvaa viatu vyake alivyovivua wakati anaingia hapo.



    "Emmanuel sikutarajia kukukwaza na wala sikuwa na lengo la kukukwaza.Nimesema vile utani please naomba urudi ndani nisamehe nimekosa." Anna akaongea kwa huruma.Machozi yalikuwa yakimlenga lenga na alitamani hata kulia.



    "Siku nyingine ukiwa na mwanaume ujifunze hekima ya maneno unayoyazungumza m***ya weee..." Emmanuel akaongea kwa hasira na kuondoka hapo na kumuacha Anna akiwa haamini kile kilichotokea.Simanzi ya ghafla ikamshika na taratibu akajikuta akiugemea mlango na kuanza kushuka chini taratibu mpaka akaa kitako machozi yakimlenga lenga.



    "Oooh Mungu wee nina mkosi gani kwa wanaume mimi?...Kila kitu ninacho au nina kasoro gani?" Maswali mengi akajiuliza mwanamke yule kwa kile kilichotokea.Machozi yaliendelea kumtoka pale kama dakika kumi zikapita.Alipojiridhia mwenyewe akarudi chumba kwake na kujitupa kitandani na kuendelea kuwaza mengi kichwani mwake.....





    Safari ya Emmanuel alipotoka nyumbani kwa mwanamke Anna akaelekea kwake.Akapanda daladala iliyompelekea mpaka magomeni sehemu anapoishi.



    "Sema leo narudi mapema lazima watajishobokesha wale.Lakini nimemisi mzigo wa mama Mariamu na Mariamu mwenyewe acha tu." Wakati alipokuwa kwenye gari alijiwazia mwenyewe na kujikuta akitabasamu tu kwa furaha.Gari lilipofika magomeni mikumi taratibu akashuka na kuanza kukata mitaa kuelekea alipokuwa anakaa.Kabla hajafika sehemu anayokaa akamuona msichana Mrembo akiwa anaelekea kule alipotoka.Alipomkagua mrembo yule vyema akagundua kabisa alikuwa ameumbika kuanzia sura mpaka shepu ya uchokozi aliyobarikiwa.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com

    "Mmh simuachi huyu ngojea." Emmanuel akajisemea na kujiongeza na kumsogelea yule msichana aliyeonekana kutokuwa na mkuu kwa jinsi alivyokuwa akitembea na hata alivyokuwa akionekana kwakuwa pia alibeba sura nzuri yenye upole ndani yake.



    "Pssssss....samahani dada mambo." Emmanuel akaita na kumsogelea yule mrembo aliyenyanyua sura yake kumtazama yule aliyekuwa akimuita.Alipomuona Emmanuel anamsogelea hakutaka kusimama bali alipunguza mwendo na kutembea taratibu.



    "Mambo mrembo."



    "Poa eleza shida yako kwa maana nina haraka sana."



    "Ooh safi kwani unaishi maeneo haya wewe."



    "vipi kwani wee kaka?"



    "Najua una haraka lakini pia unaonekana mkali sana wewe.Urembo wako na hivyo unavyoongea haufai kuwa hivyo jamani mie nina shida na wewe ya mazungumzo basi kwakuwa una haraka naamini tutakutana tena tu mungu akipenda." Emmanuel aliongea kwa ustaarabu na kusababisha msichana yule kusimama.Kwa jinsi alivyoongea Emmanuel ndio ilisababisha mrembo yule kusimama na kumtazama Emmanuel kwa macho maregevu mno.



    "Mmmh haya una shida na mimi haya nambie.Nataka nikusikilize kwa maana unaonekana unalalamikaa wewe nambie."



    "Najua una haraka na hata nitakavyoanza kuzungumza hapa nitakuchelewesha.Mimi naitwa Emmanuel naomba yako ya simu." Emmanuel akamwambia yule mrembo ambaye aliachia tabasamu pana na kumtazama Emmanuel kisha akatoa simu yake.



    "Namba yangu sikupi taja namba yako labda nikikukumbuka nitakutafuta uniambie hiyo shida yako." Mrembo yule akamwambia Emmanuel aliyekosa la kuzungumza zaidi ya kutabasamu tu.Akamtajia yule mrembo namba yake na yule mwanamke akaiandika kisha akaomba Emmanuel arudie kutaja jina lake.Baada ya kumaliza akamtazama tena Emmanuel aliyekuwa akimtazama kwa macho ya kiuchokozi.



    "Kuna lingine Emmanuel?"



    "Hapana mrembo ila nimefurahi tu umenipa namba yako.Fanya kunitafuta nina mengi ya kukuambia jinsi ya kuutunza vyema mwili wako na urembo uliokuwa nao kwa maana hautakiwi kunyanyasika wala kudhurika kwa jinsi ulivyo umbika." Emmanuel akayaongea yale maneno kisha akaondoka na kumuacha mwanamke yule kuyafikiria yale maneno.Bwana Emmanuel akaongeza mwendo na kufika katika nyumba aliyopanga na kuingia kwa machale.Ukimya mzito ndio aliokutana nao na ndio uliotosha kumfanya agundue kuwa siku hiyo hakukuwa na watu katika nyumba hiyo.Akili yake ilimtuma na kumwambia kuwa labda walikuwa wametoka kama siku nyingine hutokeaga hivyo.Emmanuel akajisogeza mpaka kwenye mlango wake na kuufungua ule mlango kisha akaingia pasi na kuufunga.Haikuchukua hata dakika tano.Ugeni mzito ukaingia na kumshtua Emmanuel na kumtazama aliyeingia pasi hata na kubisha hodi.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com

    "Weee.....oooh Mariamu nambie.?" Emmanuel alianzisha mazungumzo mwenyewe kwa maana Mariamu alikuwa kimya.Uso wake ulionyesha kama mtu aliyekuwa amekasirika hivi jambo ambalo lilimfanya Emmanuel kujiuliza maswali mengi kichwani mwake.



    "Vipi Mariamu mbona uko hivyo wewe?"



    "Hivi kwanini umenifanyia hivi wee mwanaume.Kwanini umeamua kunifanyia vile ulivyonifanyia kwanini nakuambia?" Mariamu maneno yakamtoka na aliongea kwa sauti yenye kukaripia.Licha ya kuongea maneno yale pia machozi hayakuacha kutoka katika macho yake na kusababisha Emmanuel kunyanyuka na kumsogelea msichana yule.



    "Mmmh mbona unalia Mariamu?....Halafu unayoyasema mimi siyaelewi kabisa hebu niweke wazi nikuelewe."



    "Licha ya kufanya na mimi mapenzi ukaona haitoshi kwanini umeamua kufanya mapenzi na mama yangu?"......



    Mariamu akatumbua jipu lililokuwa linamsumbua kwa kumwambia Emmanuel kile kilichokuwa kinamliza.Emmanue hakuwa na ujanja wala hakuwa na la kusema.Taratibu akainamisha uso chini kuonyesha jinsi gani alivyokuwa akijisikia aibu mbele ya macho ya msichana yule kwa kutembea na mama yake.



    "Mariaaamu wewe nani amekuambia maneno hayo kipenzi cha roho yangu?" Emmanuel akaongea kwa sauti ya chini na yenye utaratibu wa hali ya juu.Msonyo wa nguvu ukamtoka Mariamu aliyekuwa bado chozi linamdondoka akiwa analia kwa kwikwi.



    "Ningekuwa kipenzi chako ungenifanyia hivi kweli.Mwanaume gani wewe umetembea na mimi umeona haitoshi ukahamia kwa mama yangu.Ni kipi nilichokupelekea mpaka ukawa hivyo eeeeh Imma umenikosea nakuambia umenikosea.Nimekushuhudia mbele ya macho yangu ukifanya mapenzi na mama yangu." Mariamu aliongea kwa hasira akiwa amemsogelea karibu Emmanuel na kuanza kumpiga piga katika kifua chake kwa hasira.Mwanaume akachukua jukumu kama mwanaume akamshika vyema Mariamu na kuanza kumbembeleza msichana yule kwa staili ya aina yake.



    "Mariamu najua unaumia lakini kumbuka kuwa mama yako alikuwa anaenda kunifunga!.Kumbuka jinsi tulivyobambwa mama yako alinilazimisha kufanya naye mapenzi ili kesi aliyotaka kuifungua asifanye tena.Hata hivyo pia ningehama hapa.Nisamehe alikuwa kusudio la moyo wangu kufanya hivyo nilitaka nimtimizie mama yako ili mimi na wewe tuendelee kula raha na kufurahia penzi letu kwa siri na raha." Maneno ya Emmanuel yakapenya barabara masikioni mwa Mariamu aliyenyanyua uso wake na kumtazama mwanaume yule.Maneno yale yalimuingia na kuona kabisa Emmanuel hakuwa na kosa.



    "Nimekuelewa Emmanuel mpenzi lakini nakuomba uwe unamuepekua mama yangu sawa?"



    "Sawa Mariamu ila na wewe uwe makini maana mama yako amenikanya kuwa atakapo kuja kugundua kuwa mimi na wewe tunaendelea na mahusiano basi atanifanya kitu kibaya."



    "Aaaaaah achana naye mtu mzima kutaka vijana tu.Emmanuel mwenzako kuna kitu nahitaji kutoka kwako nitafurahi ukinitimizia tena sasa hivi."



    "Mmmh!....nambie nakusikiliza Mariamu."



    "Mbona umeguna hautaki au?"



    "Hapana nambie tu usiogope."



    "Nataka unipe penzi nina hamu kweli na nimeshikwa mpenzi." Mariamu aliongea kimahaba huku macho yake makubwa akiyarembua kwa staili ya kusisimua zaidi.Mkono wake akaupeleka mpaka kwenye sehemu ya mtalimbo wa Emmanuel na kuanza kumpapasa papasa kimahaba.Akili ya Emmanuel ikaruka uchu ukamuingia na kumtazama Mariamu ambaye kiukweli alikuwa na hamu naye kwa sababu msichana huyo alikuwa anayaajua mambo.



    "Mama yako yupo wapi kwanza?"

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com

    "Hahaa...kwa una muogopa ametoka atarudi usiku maana amekwenda kwenye sherehe." Mariamu alimjibu Emmanuel aliyecheka kimoyomoyo kusikia maneno yale.Nilivyompania huyu leo nitamuonyesha Emmauel alijiwazia katika kichwa chake na hapo hapo akapelekea mdomo wake kinywani mwa mdomo wa Mariamu na kuanza kunyonya ndimi kihisia zaidi.Kila mtu alikuwa na hamu na mwenzie hivyo kila mtu alikuwa akitumia juhudi zake zilivyo.Bwana Emmanuel taratibu akapeleka mikono yake kwenye makalio ya msichana yule na kuanza kuyabinya binya wakati huo tayari Mariamu alikuwa ameshaingiza mkono wake ndani ya suruali ya Emmanuel na kuchezea rungu alipendalo.Mariamu bila ya kuambiwa mwenyewe akapiga magoti na moja kwa moja akaishika mkanda na kuufungua na kuishusha suruali ya Emmanuel mpaka kufukia katika miguu yake.Mtalimbo uliotuna ulionekana vyema ndani ya bukta ya ndani aliyovaa kidume kile.



    "Assssss....napenda rungu lako baby nimelimisi kuliko hata wewe..." Mariamu akaongea kuichokozi kisha akashusha na ile bukta na kutazama mtalimbo wa Emmanuel uliokuwa umesimama kikakamavu huku ukinesa nesa kidogo.....



    Haraka Mariamu akatema mate kwenye mtalimbo wa Emmanuel kidogo kisha akautumia mkono wake wa kushoto kuyasambaza yale mate huku akitumia staili ya kama anampigisha punyeto.Utamu aliokuwa akiusikia bwana Emmanuel haukuelezeka macho yake alikuwa ayafumbe mara afumbue kiufupi alikuwa akijisikia raha na utamu usioelezeka kimaandishi.Taratibu msichana yule akapanua mdomo wake na kuingiza rungu la mwanaume yule mdomo na kuanza kunyonya kama mtu alambavyo lambalamba au zile Ice Cream za Bakhresa.



    "Ooooh!....yes...baby...suck...it aaaaah....nakupenda...na...kupenda Mariamu." Emmanuel hakuacha kumwaga sifa kedekede kwa jinsi alivyopagawishwa na Mariamu aliyezidisha majonjo na mbwembwe kuhakikisha anampagawisha vilivyo Emmanuel mwanaume aliyetokea kumpenda ghafla.Ufundi wa Mariamu kwenye unyonyaji ulijulikana na Emmanuel mwenyewe aliyekuwa ameshikilia vyema kichwa cha msichana yule na kusikilizia utamu.Utamu ulizidi baada ya Mariamu kuanza uchokozi mpya.Baada ya kuwa ananyonya mtalimbo mzima akawa ananyonya eneo la kichwa cha mtalimbo tu.Hapo akapajaza mate mengi kisha akawa anamponyonya na kwamba akawa anang'ata vile na meno yake jambo lililompagawisha sana Emmanuel.Hakuishia hapo tu alipomuona mwenzie anazidi kupagawa akahama kwenye mtalimbo na kuanza kuzifakamia vitenesi viwili vya Emmanuel.Akaanza kuvinyonya taratibu hadi kupelekea mwenzie kufumba macho kabisa kwa hisia kali.Kwa ufundi ule Emmanuel akajikuta akifunga goli mwenyewe na wazungu wakitoka na kuruka hewani jambo ambalo lilisababisha Mariamu kutabasamu huku kimoyomoyo kwake akiona kama ushindi kwa kumfungisha goli mwenzie kwa kunyonya mtalimbo wake tu.Kama wasemavyo wahenga kutesa kwa zamu zamu ya Emmanuel kumiliki mchezo ukawadia.Haraka akaomba Mariamu anyanyuke na msichana yule akafanya hivyo.Mwanaume akavua shati lake na kubaki kama alivyozaliwa kisha akaishika kanga ya Mariamu na kuivuta na kumkuta Mariamu akiwa na nguo ya ndani tu aliyoivua pia.Mariamu mwenyewe akavua flana aliyovaa na kumalizia na sidiria yake akabaki pia naye mtupu kama alivyozaliwa.Mariamu akabebwa juu juu na kurushwa kitandani na Emmanuel aliyepanda naye haraka na moja kwa moja akaanza kuifakamia ikulu ya Mariamu kwa kutumia ulimu wake na kukichezea kiantena jambo lililosababisha msichana yule kupoteza network.Mariamu hakutulia mwenyewe akaanza kukizungusha kiuno chake kama mtu aliyerukwa na akili.Miguno ya kimahaba nayo ikazidi kumpa hamasa Emmanuel aliyecheza vyema na kile kidude.Kwa kuwa alijua angechezea sana kile kidude basi Mariamu naye angejifunga mwenyewe hakutaka itokee hivyo.Akaupekecha mtalimbo wake kwa kutumia mkono wake wakati huo mashine ilikuwa tayari imeshasimama baada ya kuchachuliwa tena.Haraka akaulepeleka na kuzamisha kwenye ikulu ya Mariamu taratibu taratibu na mwisho ukazama wote akaanza kukichezesha kiuno chake.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com

    "Auwwwww......aaaah....Immaaa....mmmmh asssssh kidogo baby...pungu....zaaa aaaaah mmmh!" Mariamu akaanza kulala Emmanuel alikuwa ameshawasha gari lake spidi mia ishirini.Hakuishia hapo mtu wakati kiuno chake akipeleka ndani na kukitoa hapohapo kwa haraka pia mkono wake mmoja ulicheza na kiantena alichokuwa akikisugua vizuri sana na kumpagawisha Mariamu aliyekua akipiga kelele kama mgeni wa uwanja huo.



    "Aaaaaa!...Emmaaaa nakupendaaa oooooh hapohapo aaaah."



    "Naku..penda pia kwa hakika wee mtamu." Kidume naye hakuacha kumsifia Mariamu aliyekua akikizungusha kiuno chake hakutaka Emmanuel awe anaongoza meli peke yake pasi kuwa na msimamizi........



    Alichokifanya Mariamu kilimsisimua zaidi na kusababisha mwenzie Emmanuel kupata mzuka wa ajabu.Akazidi kuongeza spidi na kuzidi kumlainisha Mariamu aliyekua akipatia utamu ambao waswahili wanasema sio wa nchi hii.Kwakuwa Emmanuel alikuwa hataki msichana yule mwanafunzi wa kidato cha tatu asikojea mapema akambadilisha mkao ili aendelee kumfaidi kwa sababu goli la kwanza alilifunga mapema na la pili huwa lenye kuchelewa.Mkao uliofuata hapo ulikuwa chuma mchicha.Mkao ule alikuwa akiupenda sana Emmanuel hivyo alichekelea baada ya Mariamu kupiga magoti kama anatambaa vile.Nyuma kila kitu alimuachia mwanaume ambaye alisababisha shuleni kwao aachane na wavulana wote aliokuwa nao na kuamua kumuweka moyoni Emmanuel ambaye yeye alikuwa anataka kumtumia kimwili tu na sio mwanamke wa kuoa.Baada ya Mariamu kukaa vyema yeye mwenyewe kwanza akafikicha vyema ikulu yake kipitia vidole vyake.Kisha akaupitisha mkono wake nyuma na kukamata mtalimbo uliokuwa umesimama vyema na kuuzamisha kwenye kitumbua chake tayari kabisa kuzidi kupatia ile roho inapenda.Emmanuel akaanza kupampu vyema mikono yake ikiwa mara imshike kiuno na mara nyingine mara apitishe mikono yake na kuyashikilia vyema maziwa ya Mariamu yote hiyo ilitokana na mzuka aliozidi kupanda.Mariamu hakuwa gogo kitandani.Mama yake alimfunza kukizungusha kiuno chake akutanapo na mwanaume na kweli hapo alikuzungusha kiuno chake pasipo kuchoka ingawaje utamu ulipozidi akajikuta akikilaza chini kifua chake na kubinua kiuno chake na kumuacha Emmanuel azidi kumshindilia.



    "Aaaassssss....mmmmmh.....Imaaaa.....utaniuaaaaaa uwiiii oooooh mmmmmh aaaah pole...polee basi." Mariamu hakuacha kulalamika kimahaba na kuomba spidi ipunguzwe kwa maana Emmanuel aliwasha moto kisawasawa.Lakini moto ulipunguzwa kwa dakika na Emmanuel akaongeza tena.Siku ile alikuwa na hamu vilivyo na Mariamu hakuacha na utundu wake kwa kuyachapa makofi makalio ya msichana yule kama wafanyavyo wacheza vilamu za ngono.Haikupita hata dakika thelathini Mariamu kwa mara ya kwanza katika maisha yake akafunga goli jambo lililosababisha apate furaha ya ajabu sana.Emmanuel lakini hakumuacha aliendesha dozi mpaka alipofunga na yeye goli yake ndipo alipomuacha Mariamu akiwa ana hema juu juu kama mtu aliyekua akikimbizwa na wanyama wakali poriji na hakuwa na msaada.



    "Asaaaaaanteeee....Emmanuel nakupendaaa sana...aaah leo kweli umenitendea haki haswa." Mariamu akampongeza Emmanuel ambaye alifarijika na sifa zile huku kichwa chake alikiona kilizidi kuwa kikubwa kwa sifa zile ambazo mwanamke akikumwagia basi ni bahati sana.Mpaka wanamaliza saa kumi na mbili ilikuwa imeshapiga hatua.Emmanuel hakutaka yatokee kama ya siku ile walipofumwa kwakuwa Mariamu alipitiwa na usingizi akamuamsha.



    "Jamani baby basi tuendelee kidogo tufanye tena basi jamani."

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com

    "Hamna Halima muda umekwenda sana bwana mama yako atarudi asije akakukuta bure." Emmanuel alimwambia Mariamu ambaye alikuwa mgumu mno kukubali.Emmanuel akatumia uzoefu wake na kumshawishi msichana huyo aliyekubali kwa shingo upande na kunyanyuka kisha akavaa alivovivua na kuondoka baada ya kuangalia mandhari ya uani na kuona kuwa hakukuwa na mtu.Emmanuel baada ya kufanikiwa kumuondosha Mariamu hapo hapo na yeye akajilaza kidogo na alikuja kushtushwa na mlio wa simu.Alipoangalia mpigaji ilikuwa namba ngeni.



    "Sio Anna huyu." Emmanuel akajiwazia na kukosa jibu.Hakutaka kupokea simu ya Anna mwanamke ambaye hakuvutiwa naye sana katika sekta ya mapenzi licha ya mwanamke yule kuwa na fedha za kutosha.Emmanuel aliiangalia ile simu mpaka ikakatika lakini haikuchukua hata dakika moja ikaita tena na kwakuwa Emmanuel hakutaka usumbufu akaipokea........



    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog