Chombezo : Nipe Kidogo
Sehemu Ya Pili (2)
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Mama monalisa alichanganyikiwa, hakuamini kama mumewake angeweza kufanya ivyo.
Alimpenda sana binti yake wa pekee.
Hakujua afanye nini kwa muda huo akiri ilimruka akajikuta anaangua kilio kilichowashtua wafanyakazi wake.
"Kuna nini boss?"
"Mwananguuu anajiua"
Alilia kwa uchungu sababu alikuwa mbali asingeweza kumsaidia monalisa.
"Mama si unayo namba ya huose girl ebu mpigie simu umwambie awahi kumzuia"
Alishauri mfanyakazi mmoja.
"Sina house girl mimi"
Alijibu nakuwafanya wamshangae mwanamke tajiri anakosaje mfanyakazi wa ndani?
"Basi mlinzi mama mwambie"
Akakubali nakumpigia simu mlinzi wake.
"Haloo samuel nenda chumbani kwa Monalisa kamzuie anataka kujiua au ukimkuta amekunywa mkimbize hospital"
Alisema uku akilia samuel alimuelewa.
Wafanyakazi wakamshauri muda huo aondoke kuelekea Airport apande ndege awahi kurudi.
Mmoja akajitolea kumwendesha adi Airport bahati nzuri alikuta ndege inayoondoka muda huo akawahi na safari ikaanza yakurudi.
Njia nzima alikuwa akilia tu hakuamini mumewake angeweza kufanya kitendo kibaya kama icho.
"Maliki kweli wewe jaman kwa binti yako shetani gani kakuingia wewe mwanaume?"
Aliumia sana moyo wake.
Alifika nyumban lakin hakumkuta mtu akampiga simu samuel aliemuelekeza hospital waliyoenda ari ya monalisa ilikuwa mbaya sana aliwekwa ICU
hakutakiwa kusumbuliwa kwa muda huo.
"Lazima nikufunge Maliki lazima"
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Alisema kwa hasira Benaderta ambae ni mamayake monalisa.
Alitoka adi kituo cha polisi nakuwaeleza ilivyokuwa, maelezo yalichukuliwa na jarada la kesi likaandikwa ikabaki kumkamata mtuhumiwa ambae muda huo hawakujua wapi alipo.
Benaderta alirudi hospital akiwaachia polisi kazi yao.
Mzee maliki alikuwa bar akinywa alipotosheka alirudi nyumban nakutaka kulala ila ghafla akabamiwa na watu alijua majambazi.
"Upo chini ya ulinzi kwa kosa lakumbaka binti yako nakupelekea anywe sumu ili ajiue"
Alisema polisi mmoja maneno yaliyomshtua sana maliki akaanza kujitetea lakin ilikuwa bure alibebwa nakupelekwa kituoni kwa mahojiano zaidi.
Monalisa alizidi kutumia mashine yakupumulia oxygen adi alipomaliza wiki moja akawa na ari nzuri alitolewa nakuwekwa chumba cha kawaida.
Mamayake alikuwa karibu nae muda wote akimfariji
"Mama ungeniacha nife tu "
Alisema uku akilia.
"Hapana mwanangu bado nakuhitaji"
Mwezi mzima alikaa hospital mwisho akapona kabisa nakuruhusiwa kurudi nyumbani.
Mzee Maliki alifungwa miaka kumi na tano jera benaderta aliomba talaka waachane lakini uyo mwanaume aligoma.
Alichokifanya benaderta ni kuchukuwa kila kitu chake nakuhama kabisa Uganda, sehemu aliyoona inafaa kuishi ni Tanzania akasafiri na mwanae nakuanza maisha yao mapya masaki jijini Dar es salaam.
Monalisa aliendelea na masomo yake akapelekwa mliman city.
Mamayake alikuwa mfariji mkubwa nakumfanya asahau yote nakuanza maisha mapya.
Alikuwa gumzo chuo kizima kutokana na urembo wake wanaume wengi walimsumbua.
Alichukia wanaume hakutaka kabisa kuzoeana nao.
Alikuwa bize na masomo yake hakutaka kujihusisha na mapenzi.
Hatimae akapata rafiki wa kizungu aitwae Alice
Walizoeana sana nakuwa marafiki wakubwa adi nyumbani walipelekena.
Siku moja wakiwa ndani chumbani kwa Alice alichukuwa laptop yake ndogo nakufungua akaweka picha za ngono.
Monalisa alishtuka lakin Alice alimwambia angalia walikuwa wasichana wawili wakizungu wakifanya mapenzi.
"Haaa ata wasichana pia wanafanya?"
Aliuliza mona
"Ndio bola kufanya wasichana kuliko na mwanaume unatapa mimba hautaweza kusoma"
"Mimi nachukia wanaume"
"Ata mimi pia"
Alisema Alice nakumsogelea monalisa karibu akaanza kumpapasa mwili wake.
"Unafanya nini Alice?;
"Subiri utaona"
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Alisema nakuzidi utundu akamuomba mona avue nguo akakubali.
Aliinama nakumnyonya mapaja yake makubwa yaliyonona sana akapanda adi juu nakumnyonya chuchu zake monalisa akibaki kulalamika tu.
Huo ukawa mwanzo wa uchafu wao kila hamu ikiwashika walikutana nakutoana kwa uume wa bandia.
Monalisa akawa mzoefu sasa akaanza kuwarubuni wasichana wengine nakusagana nao.
Aliharibika sana alipenda wasichana wenzake nakuchukia wanaume.
Siku zikazidi kusonga hatimae akamaliza kusoma nakufungua hospital yake binafsi akaanza kufanya kazi uku mamayake akiwa bize na biashara zake.
Kidogo kazi zilimbana nakukosa msichana wakulala nae.
Siku moja alizidiwa sana na alikuwa akihudumia mgonjwa mwanaume ambae muda wote suluali yake ilikuwa imeinuka kwa juu.
"Iv ulisema unaumwa nini?"
Aliuliza uku macho yamemlegea.
"Uku kunauma dokta kumesimama sana"
"Hee ndo ugonjwa huo ok usijali"
Alisema akainuka nakufunga mlango kisha akarudi nakumsogelea uyo mwanaume.
Bila kuongea alimfungua zipu ya suluali akaitoa nje nakuibugia mdomoni.
Yule mwanaume alikikuta anapagawa sijui akuwahi kunyonywa hakuchelewa akamwaga muda huo huo.
Monalisa aliinuka akavua nguo nakumsogelea kwenye kiti ajabu uyo mwanaume alianza kutetemeka
"Dokta nimeponaa doktaa"
Alisema akiinuka nakutoka mbio nje
"Anakimbia nini hajawahi kukutana na mwanamke mzuri nini yani ameniuzi huyu"
Mona alibaki na hamu zake alijisikia vibaya sana hakuweza kukaa tena hospital alitoka nakuelekea beach kupunga upepo.
Akiwa apo alimuona mtu ambae alimshtua sana.
Brown alisumbuliwa sana na shemeji yake azidi kumpa mapenzi lakini aligoma nakumfanya ajisikie vibaya.
"Brown kakayako kutwa safari aliniridhishi mimi, ona natamani mtoto lakini yeye ata ajali ilo"
Alisema kwa hudhuni nakumfanya Brown amuonee huruma,
"Usijal shem ngoja nitaongea nae"
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"Brown nipe kidogo basi"
"No penny siwezi msubiri brother"
Aliongea Brown nakutoka nyumbani kuelekea kazini.
Akiwa njiani akaona gari limepaki pembeni uku kuna msichana amesimama, Alipokaribia yule mtu akamsimamisha.
"Sorry kaka naomba nisaidie namba ya fundi aje atangeneze gari langu"
Alisema uyo msichana
"Jaman bila salamu? Haya ulisikia mimi namjua fundi au?"
Kwa makusudi Brown akamjibu.
"Nimepitiwa kakangu sorry"
Alijibu kiunyonge uyo msichana.
Basi Brown akashuka nakwenda kuangalia ilo gari lina nini.
Kumbe maji yaliisha bahati nzuri alikuwa nayo akaweka nakumwambia aliwashe.
"Wow thank you"
Aliongea kwa furaha uyo msichana.
"Ok usijali"
"Sorry mimi naitwa Minal nawewe?.
"Naitwa Brown"
Basi walifahamiana nakupeana namba za simu.
Brown akafika kazini kwake
"Kuna binti mrembo alikuja kukuulizia hapa"
Alisema kijana anaefanya kazi pamoja na Brown.
"Nani huyo?"
"Ameacha namba anaitwa stella"
"Oh ok nipe"
Basi alichukua nakuiweka huo ulikuwa muda wa kazi.
Maisha yalizidi kusonga kwa Brown alikuwa na akili sana kwenye biashara ndani ya muda mchache akafungua duka lengine na kuingiza pesa nyingi mwaka mmoja ulitosha akanunua nyumba tatizo likabaki ataondokaje nyumbani.
Siku moja usiku akasikia ugomvi chumbani kwa kakayake, hakujua nini tatizo ila alitoka kusikiliza
"Nimechoka nimesema niache"
"Sitak mumewangu nipe"
Mzozo mzito uliendelea ndani humo nakumfanya ashangae nini tatizo.
Mara ghafla akasikia shemeji yake akilia akafungua mlango nakutoka akaenda kukaa sebleni akizidi kulia.
"Mwaka wa pili huu sina mtoto wala mimba kilasiku huyu mwanaume amechoka anathamini pesa kuliko mimi, nani anipe haki yangu sasa yeye anadai kachoka"
Aliongea nakuzidi kulia penny.
Alichokifanya Brown ni kuingia chumbani kwa kelvin
"Nahitaji kuongea nawewe Kelvin"
"Unataka nini nawewe niacheni nilale nimechoka"
"Sikiliza Kelvin izo pesa unazotafuta hazina mwisho utatafuta leo adi kufa kwako na utaziacha.
Nashangaa upo bize kutafuta ikiwa huu mwaka wa pili huna ata mtoto si ungekuwa bize kutafuta mtoto sasa ivi ugekuwa nao ata watatu unamnyima mkeo haki yake! Nani ampe sasa naukimkuta na mwanaume mwengine utafanyaje? Huo ushauri wangu badirika umpe mkeo haki yake ukishindwa kumpa wenzio watampatia. Usiku mwema"
Alimaliza Brown akaondoka nakwenda kulala.
Kelvin maneno yalimuingia sana akaamka nakumfata mkewake alimbembeleza sana penny akamuelewa nakuingia chumbani kulala.
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
tangu siku hiyo hawakugombana kuhusu haki ya ndoa walikuwa wakipeana kila wanapojisikia, miezi michache baadae penny alibeba ujauzito alifurahi sana.
Na Brown akakusanya vitu vyake nakuondoka kuanza maisha mapya nyumbani kwake tabata.
"Hallow mambo"
"Poa nambie"
"Natamani nikuone uko wapi?"
"Nipo home tu"
"Naomba nije basi"
"Mmmh no mama mkali sana"
Uyo ni Brown alipigiwa simu na Minal akitaka kuonana nae.
Hakuwahi kupeleka mwanamke ndani kwake aliishi mwenyewe tu pamoja na uhuni wake lakini alijielewa ata wasichana wanaoenda dukani hakuna aliempa nguo bure lazima watoe pesa.
Yeye atagharamia Lodge au chakula siku mkiwa wote sio umekutana nae dukani akupe bure ilo awezi alikuwa na akili sana.
Minal alitaka kumuona Brown akumkatalia wakapanga waonane usiku.
Basi muda ulifika wakakutana ilikuwa Green hotel maeneo ya tabata shule.
"Nimefurahi kuonana nawewe"
"Ata mi pia"
"But Brown naogopa baba anaweza kuwepo maeneo haya nakuomba twende tukae chumbani"
Alisema Minal kumbe alishachukua chumba Brown alikubali wakaingia ndani.
Kufika tu Minal akasema anasikia joto akavua nguo nakuvaa mtandio mwepesi.
"Yani wanawake wanapenda kujirahisisha huyu dawa yake kumchunia naisi atakuwa mgonjwa"
Alijisemea moyoni Brown
"Brown mbona kimya jaman"
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"Amna usijali"
"Leo tutalala wote?"
"Mmmh noo siwez kulala apa"
Minal aliinuka nakumsogelea Brown ambae alimkwepa
"Unataka kufanya nini?"
"Brown nakupenda"
Minal alikuwa mrembo mweupe mrefu mwembamba kama miss vile.
"Asante kwa kunipenda ila mimi siwezi kuwa na kahaba polee bye"
Alisema Brown akainuka nakutoka nje.
Minal alijisikia vibaya sana.
Siku zikazidi kusonga uku kidogo akipunguza tabia yakulala na wanawake ovyo aliona hakuna faida muhimu pesa anazo.
Kipindi alichoamua kutulia likatokea jimama linaitwa chichi alimpenda sana Brown bila kutegemea wakawa wapenzi.
" Mmmh Brown wewe umejifunza wapi mahaba?"
"Usijal mpenzi kwajiri yako ndo mana najua, ebu lala kifudifudi kwanza"
Lile jimama likafanya ivyo alikuwa na makalio makubwa nakumfanya Brown apagawe
"Huyu sikuachi"
Alisema Brown jimama likanogewa na penzi la Brown akaanza kumuhonga pesa kilasiku bila kujali lolote.
Mumewake akagundua ilo nakuanza kupeleleza mkewe anamsaliti kwa nani.
Hatimae akamfahamu Brown
"Yani huyu mwanamke wakutembea nayule mtoto?"
Alipandwa na hasira sana akaandaa watu wawateke wote wawili awafundishe adabu.
Ni siku ambayo walikuwa hotel Brown na chichi muda wakutoka ulipofika wakiwa nje walishangaa bunduki zinawaangalia
"Ingieni kwenye ili gari fasta"
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Alisema mmoja wao walikuwa watatu, wakatii nakuingia uku wakitetemeka.
Safari yao ilifika mwisho maeneo ya tegeta kwenye jumba kubwa lisiloisha wakaingizwa humo nakupelekwa ndani zaidi.
"Haa mumewangu!"
Alishuta chichi nakumfanya Brown atetemeke sana sababu hakujua chichi anamume alimwambia amefariki
ITAENDELEA
0 comments:
Post a Comment