Search This Blog

Thursday, 19 May 2022

SHANGAZI ANATAKA - 5

 





    Chombezo : Shangazi Anataka

    Sehemu Ya Tano (5)



    mapenzi yao yeye na shangazi yalizidi kushamili, na sasa yeye na shangazi yake walikuwa

    wakikaa kama mke na mume, japo nje walionekana kama mtu na shangazi yake, Miezi minne mbele shangazi alianza kuonaCHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    mabadiliko mwilini mwake, na akiwa kama Dr, shangazi aligundua kuwa amesha shika ujauzito, pia aka akikisha kwa vipimo Vya

    kitahalamu, navyo vilithibitisha kuwa, shangazi ameshika mimba ya wanae Jayden, yani mtoto wakaka yake, ENDELEA....

    Lakini taarifa hiyo ilimchanganya sana Jayden, kiasi kwamba aliona ikimjia sura ya baba yake, akiwa amekasirika na kumhachia

    lahana, kwa kutembea na shangazi yake, lakini kitu cha ajabu shangazi yeye akuonyesha dalili ya wasiwasi, zaidi ya furaha

    usoni kwake “Jayden utaitwa baba hivi karibuni, namimi nitakuwa mama” maneno hayo ya shangazi ya limstua sana Jayden, nakuwa

    msumali moyoni kwake, akamtazama shangazi kwa mshangao, “shangazi inamaana uhioni ahibu inayo tukabiri mbele yetu?” aliongea

    Jayden kwa mshangao, lakini ndio kwanza shangazi akatabasamu “kwani kuna ahibu mke kuzaa na mke wake?” aliongea shangazi

    akisogeza mdomo wake kwenye shavu la Jayden nakumlamba busu moja matata, "usiwe na wasiwasi baba, ujuwe mtu unapoitwa baba

    inatakiwa uwe shujaha, kuwa baba siyo kazi ndogo” aliongea shangazi kisha akazima taa ya kitandani, alafu akapeleka mkono

    kwenye dudu ya mtoto wa kaka yake, nakutumia vidole vyake laini, kuchezea kichwa cha dudu ya Jayden, ambayo ilikuwa

    imenyong’onyea kutokana na hofu ya kumpatia mimba dada wa kaka yake, “mmmmh! Mumewangu usiwe na wasiwasi, mbona umekuwa

    muoga hivyo,” ahangazi aliongea akijiegemeza kifuani kwa Jayden huku mkono wake bado una pekecha dudu ya mtoto aliezaliwa na

    wifi yake, "Jay hivi kama ninge kuwa siyo shangazi yako alafu umenipa miba unge ogopa?" aliuliza shangai baada yakuona bado

    Jayden akili aija mkaa sawa, "nisinge ogopa kabisa" alijibu Jayden huku akipitisha mikono yake kwenye nywele za shangazi

    yake, "kwahiyo una nipenda ila unamwogopa baba yako?" aliliza shangazi huku akiendelea kuchezea dudu ya mwanae, nakupenda

    sana, tena nilikuwa nakutamani atakabla atujaanza kufanya mapenzi" alijibu Jayden akionyesha kuwa akuwa anatania, "ok! basi

    usiwe na wasi wasi niachie mimi" aliongea shangazi akiizama ndani ya shuka na kusogeza mdomo wake kwenye dudu ya Jayden

    kisha akailamba kidogo kwenye kichwa na kuidumbukiza dudu mdomoni, kisha taratibu akaanza kuinyonya, sekunde chache baadae

    kutokana na joto la mdomoni kwa shangazi, dudu ikaamka nakujaa vyema mdomoni mwa shangazi, shughuli ikaendelea, ****** Siku

    zilienda, tumbo la shangazi lilizidi kuongezeka, kila siku shangazi alijitahidi kumpunguza wasiwasi Jayden, akimtaka asiwe

    na uoga juu ya ujauzito ule, ilifikia kipindi Jayden aliondokana nauoga, lakini akupenda tena kwenda likizo songea,

    kwasababu nafsi yake ilimsuta, licha ya mama yake kupiga simu mala nyingi sana akimtaka Jayden aende akamwone, sababu ame m’

    miss, lakini Jayden alisingizia kubanwa na masomo ya chuo, kituambacho Jayden kilimfanya ashindwe kwenda kwa wazazi wakeCHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    alikuwa akiona aibu sana kuwaona wazazi wake kutokana na kitendo alicho kifanya, siku zili kimbia sana, huku bahadhi ya

    weekend shangazi akitoka na Jayden na kutembelea marafiki na watu mbali mbali, ambao wengine Jayden akuwai kuwajuwa kabla,

    kuna ijumaa moja walienda mikocheni, kumtembelea doctor mmoja mstaafu, anaitwa Dr Lazaro, anayeishi na mke wake ambae ni

    mwalimu mstaafu pia, kiukweli walipokelewa vizuri sana, huku wazee wale wakimlahumu Dr stella kuto kuwa tembelea kwa mda

    mrefu, Jayden alishuhudiawakipewa huduma na upendo wa hali ya juu sana, toka kwa wazee wale ambao walikuwa ni watu wenye

    uwezo mkubwa wa kifedha kuliko shangazi yake, licha ya nyumba nzuri ya ghorofa tatu pia wali miliki magari manne yakifahari,

    yaliyopaki uwani, wafanya kazi wa ndani wa tatu walikuwa wakishughulika mle ndani, huku walinzi wa kampuni ya KK securit

    wakilnda nje, ila kuna vitu vili mshangaza Jayden, kwanza kuna kipindi wale wazee, Dr lazaro na mke wake, wali inga chumba

    cha wage pamoja na Dr Stellah walituia kama nusaa wakatoka, licha ya kuwa walikuwa katika hali ya furaha kama waliyo mpkelea

    lakini alihisi kuna mazungumzo yalikuwa yakiendelea huko chumbani, pili sikuile walilala pale, lakini licha yakuwa penzi lao

    lilikuwa la siri, lakini walilala chumba kimoja kwa mda siku mbili, adi jumapili walipo rudi mbezi, "kwani wale ni wakina

    nani?" Jayden alimwuliza shangazi yake yani dada wa baba yake ambae kwa sasa ni kama mke wake, kwajinsi walivyo ishi, "wale

    ni watu muhimu sana kwangu, ndio walionisaidia mpaka nikafiakia hapa nilipo, mengi zaidi utayajuwa baadae" aliongea shangazi

    huku akiwa ame kaa seat yapembeni, huku Jayden akiendesha gari maana ssasa ndiyo alikuwa analitumia sna baada ya mimba ya

    shangazi yake, aliyo mpachika yeye mwenyewe kuwa kubwa sana, siku zilisogea na atimae miezi tisa ya ujauzito wa shangazi

    ilitimia, akazaliwaa mtoto wakike, wakamwita jina JADA, jina lililo fanana na jina la baba yake, yani Jayden, wote

    walifurahi sana kuzaliwa kwa mtoto huyo, huku Jayden akisahau kuwa amezaa na dada wa baba yake,

    Mtoto alikuwa ametimiza wiki tatu, wageni waliendelea kuja kumwona mtoto wakiwemo ma doctor wenzake na shangazi, pia

    alikuja Dr Lazaro na mke wake, walipo mwona mtoto walifurahi sana, wakasema sura ya mtoto ilifanana na Jayden, na watu wote

    walio mwona mtoto walisema hivyo, wakizani mtoto amefanana na kaka yake au binamu, Siku zilizidi kusogea, mtoto akatimiza

    miezi mitano, sasa alikuwa anajifundisa kukaa, licha ya mtoto kuwa anakataa watu, lakini zaidi ya mama yake Dr Stella

    alimzowea sana baba yake Jayden, na sura ya mtoto ilizidi kufanana na Jayden kila alipo kuwa akizidi kukuwa, ***** siku moja

    Jayden alikuwa amechelewa sana kurudi nyumbani toka chuoni, nikuchelwa kuliko sababishwa na gari kumsumbua njiani, brak pad

    za tairi moja, zilikuwa zina piga kelele kuashilia zimekwisha, alipitia kwafundi na kubadirisha pad kisha akafanya service

    nyingine kama kumwaga oil na kusafisha air cleaner, kazi hiyo ilimchukua muda mrefu kidogo, mpaka saa mbili nanusu za usikuCHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    ndiyo akaanza safari ya kurudi nyumbani, safari iliyo mchukuwa mpaka saa tatu na robo, ndiyo alikuwa anaingia nyumbani,

    alipo maliza kupark gari vizuri akauendea mlango, ile anataka kuufungua tu mlango, akaona ukifunguliwa na shangazi yake

    akiwa na mtoto wao JADA mkononi, Jayden kama kawaida akapiga busu shangazi mdomoni, kisha akampiga busu mtoto Jada, alafu

    akamchukua mtoto, “baba Jada mbona umechelewa hivyo jamani” aliuliza shangazi kwasauti ya kudeka, huku akimshika bega Jayden

    wakianza tembea kuelekea kwenye makochi, “lakini mama Jada sinilikutumia sms kuwa napitia kubad…..” alisita Jayden akitumbua

    macho kutazama kwenye kochi moja, walilokuwa wame kaa watu wawili anao wafahamu, alijihisi kutokwa na mikojo, nusu

    amdondoshe mtoto kwa jinsi alivyokuwa anatetemeka, na kijasho chembamba kikaanza kumtoka kwenye paji la uso wake, alitamani

    iwe ndoto ambayo amesha waikuota mala kadhaa, lakini aikuwa hivyo, ilikuwa kweli kabisa, yani baba yake mzazi ambae anajuwa

    ni kaka wa shangazi yake ambae amezaa naye mtoto, pamoja na mama yake mzazi ambae niwifi wa shangazi yake, walikuwa

    wakimtazama toka anaingia na kupokelewa na shangazi yake ambae kwa sasa ni kama mkewake, kiukweli Jayden alishuhudia sura za

    wazazi wake zikiwa zimejawa na uzuni kubwa, inonyesha walisha juwa kila kitu juu ya yeye kuzaa na shangazi yake “mwanangu,

    hiki ndicho chuo una chosoma?” mama Jayden alimwuliza Jayden ambae bado alikuwa amesimama akitetemeka mtoto mikononi mwake,

    Jayden hakuwa najibu, “wifi subirini kwanza akae, ili awasalimie ndipo tuongee nae” aliongea shangazi uku akimwongoza Jayden

    kukaa kwenye kochi, nayeye akakaa pembeni yake, baba Jayden alikuwa kimya akimwangalia mwanae, alikuwa ameshika mwanae

    mkononi ambae sasa ni mjukuu wake, huku wakikaa wametazamana na mwanae alie zaa na dada yake, “wifi, imekuwaje ukaona

    mwanangu ndie wakuzaa naye, kumbe kutuomba ukakae na Jayden lengo nikutembea na mtoto wa kaka yako, mbaya zaidi umezaa naye,

    uchuro gani huu jamani” aliongea mama Jayden akiwa na dalili zote za kuangua kilio, tofauti na shangazi ambae alionekana

    kutojari juu ya ahibu ile, “wifi kwani kuna ubaya gani mimi kuzaa na Jayden, wakati Jayden nimwanamume kama wanaume wengine,

    na mimi nime mchagua huyu awe mume wangu” aliongea shangazi akimchanganya kila mtu mlendani, nakuwa fanya watazame vichwa

    chini, kasolo baba Jayden peke yake ambae aliinua kichwa na kumtazama dada yake “dada Stellah umeniweza, nilijuwa unatania

    ulipo sema mume wako, atatoka kwenye damu yangu” maneno ya baba yake Jayden nayo yali wastua Jayden na mama yake “jamani

    naomba msinichanganye, we baba Jayden tafadhari, nieleze nielewe” aliongea mama Jayden akiinuka na kumshika kola za shati

    mume wake baba Jayden, ambapo walisafiri toka songea kuja Dar kwa jambo hili, “wifi ebu! Tulia kwanza, najuwa mumeo awezi

    kukueleza kitu mimi nitakueleza ukweli wote”

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/



    hapo mama Jayden alirudi na kukaa kwenye kochi alipokuwa amekaa mwanzo, yani pembeni ya mume wake, akatulia akimtazama wifi yake Stellah, Jayden akiwa pembeni ya shangazi yake huku amemshika mwanae Jada, nayeye alikuwa akisubiri kusikia alichotaka kuongea shangazi yake ambae kwassa alikuwa kama mke wake, baba Jayden alikuwa ameinamishaa kichwa, macho yote ametazama chini, shangazi naye alipoona wifi yake ametulia akaanza kuelezea, “wifi mama Jayden, nimefanya hivi makusudi kabisa, ni kwasababu ya kiapo nilichoweka mimi na mumeo” alisema shangazi kisha akatulia “wifi naomba unifafanulie, ni kihapo gani kinachosababisha ufanye uchafu kama huu?” aliongea mama Jayden akionyesha uchungu wawazi kabisa, “wifi samahani naomba ubadilishe kauri yako, wala siyo uchafu, nawala siyo uchuro, mimi kutembea na kuzaa na Jayden, tulia nikusimulie, naimani utanielewa tu!” shangazi alitulia kidogo, huku Jayden na mama yeke wakiwa makini kumsikiliza, ******* Siku za nyuma kidogo, nimiaka mingi iliyopita, Dr Stella akiwa kidato cha pili, aliamia shule ya sekondali ya Ruvuma day, huko songea mkoani Ruvuma, ni baada ya baba yake mzazi Dr Lazaro kuamishiwa mkoani Ruvuma kikazi, kuwa mkuu wa chuo cha ma doctor cha mkoa, akitokea Dar es salaam, alikokuwa akifanyia kazi kama mganga mkuu msaidizi wa hospital ya mwananyamala, akimwacha mke wake yani mama Stellah, dar es salaam, akiendelea kufundisha shule ya msingi mbezi mwisho, Stella alipo hamia pale Ruvuma day alipokelewa na marafiki wa aina mbali mbali, wote wakiwa ni wakike, akiwa maarufu sana pale shuleni, kutokana na uzuri wake, ilsemekana ni mmoja kati ya wanafunzi wakike wazuri kuliko wengine katika shule zilizopo songea mjini, sifa hiyo ilisababisha wanafunzi wenzake wakiume toka shule mbali mbali, kuangaika kurusha ndoano ya kumnasa kimapenzi, siyo kwa wanafunzi tu! ata walimu na watuwengine huko mtaani, wakiwa vijana kwa wazee, lakini Stella alikuwa makini sana, akutaka kujiingiza kwenye mapenzi na mwanamume yoyote, kwasababu moja kubwa, Stellah alikuwa na mpenzi wake James, alikuwa amemwacha Dar es salaam kwenye shule waliyo kuwa wanasoma pamoja, mbezi sekondali iliyopombezi luisi, kiukweli Stella alikuwa mzuri na mrembo sana , kwamwonekano wa sura na umbo lake matata, muda wote Stellah alionekana akiwa msafi, kiasi chakuwa mfano bora pale shuleni Ruvuma day, akichukuwa zwadi ya usafi kila mwezi, sifa zake zilienea shule zote za Songea na vitongoji vyake, nakusababisha wanaume wa shuleni kwao na shule za jirani, pamoja na wanaume wa mtaani, wazidi kumtongoza, ilifikia kipindi alitongozwa na wavulana sita mpaka kumi kwa siku moja, lakini Stella aliwamwaga, ilifikia kipindi usumbufu ulizidi mpaka ikawa kelo kwake, wakati huo ndani ya darasa lao alikuwa anakaa na kijana mmoja msataarabu sana, kijana huyu mwenye mwonekano wa maishaduni, alikuwa anaitwa Joseph au Jose kama wenzake walivyopenda kumwita, kiukweli licha ya kuwa karibu na Joseph, ambae alikuwa mpole na msikivu, lakini sikuzote wakiwa darasani akuna siku ata moja ambayo Joseph alitamka neno lolote la kimapenzi kwa Stellah, japo kijana huyu alionyesha dalili zote za kumtamani Stellah, labda kutokana na yeye mwenyewe kujuwa hali ya maisha yao na familia yao, kuwa yachini na uwezo ni mdogo sana wa kifedha, lakini kwa upande wa Stellah alitokea kumwona Joseph kuwa ni mwanafunzi msataarabu sana, ambae ange weza kuwa nae karibu, maana ata wanawake wenzie aliokuwanao karibu waligeuka kuwa makuwadi, kweli urafiki wao ukaanza taratibu, wakiongea kipindi wapo darasani, ikafikia kipindi urafiki wao ukazidi kushamiri, maana sasa walionekana pamoja atawakiwa nje ya darasa, sasa ata mwanamume yoyote alipo mtongoza Stellah, alijibiwa kuwa "nina mtu wangu" namtu mwenyewe alitajwa Joseph, licha ya watu kuponda na kumwona Stellah kuwa mjinga, amewakataa watu wenyefedha zao nakumkubari Joseph ambae sikuzote akuwa ata nafedha ya kunywea chai saa nne, mpaka anunuliwe na Stellah,pia ni kitendo kilicho pelekea wavulana wanafunzi na walimu, kuhacha kumsumbua Stella, lakini ukweli ni kwamba Joseph ma Stellah, muda mwingi walikuwa wawili, muda wote wakiitana kaka na dada,CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Siku ziliyoyoma likizo iliwadia, wakafunga shule na Stellah alitembelea dar es laam, ambako licha ya baba yake kuhama kikazi, lakini mama yake ambae ni mwalimu alikuwa bado anafundisha shule ya msingi mbezi mwsho, alikuwa bado haja amishwa, japo walikuwa kwenye mpango huo, lengo kubwa la Stella siyo kumtembelea mama yake, lengo lake lilikuwa ni nikwenda kumwona mpenzi wake James, ambae alikuwa ame mmiss kwa miezi sita, Stellah alikuwa ametamani dudu, lakini mambo yalikuwa tofauti, Stellah alipo fika Dar alikuta taalifa mbaya sana juu ya mpenzi wake huyu, James alikuwa ameacha shule na kukimbilia kwao mkoani singida kwa babu yake, ni baada ya kumpatia ujauzito mwanafunzi mwenzake Khadija, ambae alikuwa rafiki mkubwa wa Stella, taalifa hizo zilimuumiza sana Stella licha ya James kumsaliti, lakini pia amemsaliti kwa kutembea rafiki yake wakaribu sana, na mwisho wa yote Stellah akashukuru, kwa Khadija kupachikwa mimba, maana mala zote tatu ambazo Stellah alishiriki tendo la ndoa na James waalitumia kinga, "inamaana akuwa mwaminifu pengie na mimi ange nipamimba au magonjwa" aliwaza Stellah, Likizo iliisha na Stella akarudi Songea, kuanzia hapo Stellah akaamishia mawazo yake yote kwa Joseph, akiamini Joseph nikijana ambae atakuwanae karibu pasipo kupata madhara yoyote,kama aliyo yapata kwa James, japo urafiki wao haukuwa wa kimapenzi, na alijiapiza kuto kukubari kuingiziwa dudu tena, mpaka amalize masomo yake, ikiwezekena chuo kabisa, shule ilipo funguliwa urafiki wa Joseph na Stella ulizidi mala dufu, muda wote walikiongozana kama mapacha, ata baada ya shule, jioni Stella angekwenda nyumbani kwakina Joseph, au Joseph angekwenda nyumbani kwa kina Stella, siku zote waliendelea kuitana kaka na dada, ata ndugu zao kwa pande zote mbili, waliwaita kwa majina hayo ya kiundugu, yani dada zake Joseph walimwita Stellah dada au mdogo wao naye aliwaiata dada na wazazi walimchukulia kama mtoto wake ,kama yeye alivyo waita baba na mama, hivyo hivyo kwa Dr Lazaro, ambae alikuwa akiwa sisitiza sana kusoma, ukichukulia Stellah ndie binti yake wa pekee, hakuwa n mtoto mwingine, waliishivizuri yani ungezani nifamilia moja, japo kulikuwa nautofuti mkubwa sana wa kimaisha, kati ya familia hizi mbili, wakati familia yakina Stella walikuwa ni watu wenye uwezo mkubwa kifedha, kutokana na miladi ya maduka makubwa ya madawa ya binadamu, aliyo wekwa sehemu mbalimbali nchini, asa alizowai kufanyia kazi baba yake Stellah, yaani Dr Lazaro, kama Mbeya, Arusha, Dodoma, Dar es salaam na nyumbani kwao kabisa Morogoro, pia alikuwa anampango wakufungua duka jingine Songea, wakati kwa kina Joseph walikuwa ni wakulima wanao ishi nje ya mji, katika kijiji cha mateka, wakiishi kwa kutegemea kilimo cha mahindi na maharage, sasa walikuwa kama ndugu, ata familia zao ziliungana, nakusaidiana kama ndugu, huku mala kwa mala Dr lazaro akienda kuwa tembelea wazazi wa Joseph akiwabebea vitu mbali mbali, ata mama yake Stellah apo tembelea Songea alienda kwakina Joseph akitambulishwa kuwa ni familia rafiki, kunakipindi Dr Lazaro aliwai kumlipia Joseph ada ya shure na michango mbali mbali, baada ya wazazi wa Joseph kushindwa, Kitu ambacho watu hawakufahamu ni kwamba, wakiwemo wazazi wao wakina Joseph na Stellah, nikuwa licha ya kuzoweana nakuitana kaka na dada lakin Joseph na Stella mioyo yao ilishaanza kuingia kwenye hisia za kimapenzi, nakusabisha taratibu wazame kwenye uhusiano wa kimapenzi, mwisho wasiku kila mmoja aliweka wazi isiazake juu ya mwenzie, wawili hawa walikubariana kuwa wapenzi, wakipeana ahadi ya kuwa wapenzi wamaisha, licha ya kupeana mashariti ya kwamba, akuna kuonjana mpaka wamalize shule na kufunga ndoa, lakini wote walipendana sana, ungewakuta muda wote wakiwa pamoja, wakionekana wanafuraha sana, wakifurahia uhusiano wao, Ulipita muda mrefu sana atimae, wakamaliza kidato cha nne, wakati wanasubiri matokeo ya mitihani wa taifa, baba yake Stella yani Dr Lazaro, aliamishwa tena nakurudishwa Dar es salaam, safari hii akipelkwa Hospital ya muhimbili, kwenye chuo cha sayansi natiba, MUHAS, kiukweli ilikuwa nisiku ngumu sana kwao, ambayo ilipelekea kila mmoja wao asiisahau mpakaleo wanaposimuliana mkasa huu, wote waliumia sana moyoni, kwani kila mmoja aliamini pengine mwenzie angetafuta mpenzi wingine na kumsaau yeye, asa Joseph ambae alijiona nimwenye bahati sana kuwa na mschan mrembo kama huyu,

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/



    "kweli sina

    bahati" aliwaza Joseph ambae aliamini kutokana na uzuri wa Stellah asingeweza kukosa mtu wakuwa nae, lakini kwaupande wa

    Stellah aliamini kuwa Joseph ata msubiri tu, kutokana na jinsi alivyo mwona kwa kipindi walicho kuwa pamoja, alimwona kuwa

    ni mvulana mstaarabu sana tena mvumilivu, hivyo lazima angeweza kuvumilia na kumngojea, kwani kwa upande wake alikuwa

    nauakika wa kuwa mwaminifu kwa mpenzi wake huyu, licha ya kupeana moyo wa kukutana tena lakini ukweli ni kwamba siku ilikuwa

    Ngumu sana kwa wawili hawa, kila mmoja akiamini pengine mwenzie angeteleza na kutafuta mpenzi wingine nakumsaau yeye,

    wakatafuta kitu ambacho kitawafanya watunze kumbukumbu ya penzi lao, na pasitokee mmoja kumsaliti mwenzake, waliamua kuweka

    agano (kihapo) lakuishi pamoja, walichokifanya walikuchukua kisu nakujichanja kwenye kidole kidogo cha mwisho, kisha waka

    viunganisha vidole vyao vikiwa vina churuzika damu, (kuwa kama mchezo wa kitoto wa pingana) yani kukubaliana, wakapeana

    ahadi ya kuwa pamoja maisha yao yote,

    Siku ilifika Stella na baba yake walianza kuelekea safari ya dar, wakiwa wame agana na familia ya kina Joseph pia

    wakiwa wame waachia bahadhi ya vifaa vyandani ambavo waliona vitakuwa mzigo kwaa, aidha kwakuwa dar vipo au walikuwa na

    uwezo wa kununua vingine wakifika dar, miezi mitatu baadae urafiki wa familia hizi mbili ulikuwa umepungua, baada ya baba

    yake Stella kuamia Dar es salaam, ila ulibakia urafiki wa Joseph na Stellah tu, ambao kwa sasa walitumia mawasiliano ya njia

    ya barua, Joseph akiwa na soma chuo cha ufundi, kinacho milikiwa na shirika moja la kidini, wakati Stellah alikuwa anasoma

    kidato cha tano shule ya sekondali ya jangwani, kiukweli Stellah alikuwa msaada mkubwa kwa Joseph, kuhusu mambo ya ada na

    matumizi pamoja namichango mbalimbali ya chuo, maana yeye ndie alie mshawishi Joseph kujiunga nachuo hicho, akiahidi

    kumsaidia kwenye gharama za chuo, baada ya kupata matokeo mabaya ya mtihani wa kidato cha nne, Stellah alituma fedha kwa

    Joseph, ambazo zilimsaidia sana katika matumaizi yake, nakumfanya aonekane kijana mtanashati, wanawake pia wakaanza

    kujisogeza kwake, kwa kifupi Stellah akisaidiwa na baba yake Dr Lazaro na mama yake ambae alisha fahamu urafiki wa mwanae na

    kijana huyu, Stellah alitumia fedha nyingi sana kumsaidia mpenzi wake huyo, ambae alitambua fika kwamba kwao awakuwa nauwezo

    kifedha, napia alimsaidia kama mume wake mtarajiwa, siku zote Stella alikuwa akikwepa kujiingiza kwenye mapenzi, akitunza

    ahadi aliyoiweka na Joseph, asa alipokuwa akiangalia jelaha dogo kwenye idole chake cha mwisho,

    Joseph na Stella waliendelea kuwasiliana kwa barua wakitumiana picha na post card za mapenzi, wakipeana moyo kuwa

    wakimaliza shule wangeanza rasmi kukutana kimwili, lakini mambo yalibadirika, baada ya Joseph kumaliza chuo cha ufundi naCHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    kuajiriwa kwenye idara ya usalama, sekta ya ulinzi na usalama, kama fundi wa magari, kiukweli Joseph alipunguza mawasiliano

    ya barua kwa Stellah, ata Stellah alipotuma barua zaidi ya tatu yeye alijibu moja, wakati huo Stella akiwa mwaka wa kwanza

    chuo cha ma Doctor kule upanga, akisomea degree ya kwanza ya u’doctor chuo kikuu cha muhimbili, msimu walikizo yake ya pili,

    akiwa chuoni alionelea aende songea kumtembelea mpenzi Joseph, na kutokana na mawasiliano kuwa magumu barua ambayo ilitumia

    week mbili kufika songea kwa kipindi hicho, Stellah alijikuta akienda Songea bila taharifa kwa mpenzi wake huyo, kwakuwa

    alikuwa anapajuwa nyumbani kwa kina Joseph, nawao wanamjuwa vyema, akaona hisinge kuwa shida kwake kufikia kwakina Joseph,

    Week mbili baadae jioni moja, Stella alikuwa anaingia nyumbani kwakina Joseph, alipokelewa vizuri sana na ndugu zake

    Joseph, wakimwita dada kama walivyozowea, nayeye akiwaita dada kama alivyo zowea toka zamani, lakini hakumwona Joseph wala

    dalili ya uwepo wa Joseph pale nyumbani, lipo muulizia akaambiwa kuwa Joseph hivi sasa anaishi mjini, amepanga mtaa wa bomba

    mbili, dada alie mwachia ziwa Joseph, ambae alikuwa anamchumba wake pale pale mtaa wa Mateka, akahaidi kumpeleka nyumbani

    kwa Joseph kesho yake, sababu muda ulikuwa umeenda sana, maana aliingia songea mida ya saa mbili usiku, ilipo fika siku ya

    pili, yule dada wa Joseph aliongozana na Stella mpaka nyumbani kwa Joseph, kiukweli Joseph hakuwepo, lakini walimkuta

    mwanamke mmoja akiwa amebeba mtoto mwenye umri wa week mbili, akatambulishwa kuwa nimke wa Joseph, ni mwalimu washule ya

    msingi sokoine iliyopo pale pale bombambili, na sasa yupo likizo ya uzazi, dada wa Joseph akiwa hajuwi lolote juu ya

    uhusiano wa Stella na Joseph, akamtambulisha yule wifi yake mwenye mtoto, kuwa Stella ni ndugu yao, anasoma chuo kikuu huko

    dar es salaam, basi waliongea kwa pamoja, huku Stella akiwa anajizuwia kuonyesha machungu aliyokuwa nayo moyoni, walikaa

    mpaka jioni aliporudi Joseph, na kumkuta Stella akiwa amempakata mtoto wake wa kwanza wakiume, anayeitwa Jayden, Joseph

    alistuka sana kumkuta Stella pale nyumbani, kiukweli alijiona msaliti mkbwa, japo hakujari sana maumivu ya Stella, alikuwa

    amesaau misaada na upendo alio uonyesha kwake, Joseph alionelea bora, amtoe Stella pembeni kidogo na pale kwake, ili

    wakaongee juu ya swala lile, Stellah hakiwa ameficha machungu ya moyoni mwake aliongozana na Joseph wakaenda kukaa ehemu

    moja ya jirani, wakiwahacha dada yake Joseph na mama jayden nyumbani wakiwa hawaelewi kinacho endelea, Walienda kukaa maeneo

    ya jirani katika bar moja nakukaa, wakitazamana, macho ya Stella yalishaanza kutokwa na machozi, ukweli sura yake nzuri

    ilikuwa ikitia huruma, Joseph alishindwa kumtazama usoni Stella, “Joseph kanini umenifanyia hivi?” swalia la Stella ambalo

    Joseph alishindwa kulijibu, akabaki ameinamia chini, “Joseph kwanini umeamua kuniumiza mpenzi wangu?, yani yote niliyo

    kufanyia nikazi bure” aliongea Stella huku machozi yakizidi kumtoka na sauti yake ikianza kuambatana na kilio, “StellaCHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    naomba unisamehe, kiukweli sikuwa na maana ya kukuumiza,” aliongea Joseph kwasauti ya kubembeleza, “sasa ulikuwa una maana

    gani, Jose?, Hen! niambie ulikuwa namaana gani?” hapo Joseph hakuwa najibu “au kwasababu hatujawai kufanya mapenzi?,

    si’ungepunguza hamu alafu ungenisubiri?” hapo Stella akatulia kidogo, akatoa kitambaa chake na kujifuta machozi, kusha aka

    mtazama Joseph, “ok! Jose akuna, ubaya wewe nimwanamume, basi mimi naomba uniowe na mimi niwe mke wako wapili” aliongea

    Stella hakionyesha akuwa na utani, kauli hiyo ilimstua sana Joseph,



    “Stella, nitaanzaje, kuoa wake wawili, atadini hairuhusu” aliongea Joseph kwa sauti ya

    kuhamaki, akionyesha kuto kukubaliana atakidogo na Stellah, isitoshe nitamwelezaje mke wangu"

    aliogeza Joseph akiongea kwa ukali kidogo, maana aliona Stellah ana leta masihala,

    “unaniachaje Jose, naomba uniambie wewe, nitaolewa nanani?" aliuliz Stellah kwa sauti iyachini

    ilio ambatana na kilio cha kwikwi, Jose akabaki kimya huku akitazama pembeni, lakini sula yake

    bado ameikunja kwa hasira, "nitazame Jose,una haja ya kukasilika, unakumbuka hii?” aliongea

    Stellah akionyesha kovu kwenye kidole chake cha mwisho, huku sauti yake ikiambatana na kilio

    cha wazi, kama kilio kilianza upya, Joseph alifanya kazi ya kumtuliza, mpaka Stellah

    alipotulia kidogo, lakini kilio cha kwikwi kiliendelea, “sikia Stella nimepata wazo,

    nitaachana nahuyu mwanamke nilie naye, alafu nita ishi nawewe, sababu bado sijafunga naye

    ndoa” aliongea Joseph akizani Stella ange tulia nakuupenda ushauri wake, maana aliona kabisa

    kama hasipo tumia akili ya kuzaliwa mjadala utakuwa mrefu bila mwisho, “inamaana bado

    unafikilia kuendelea kuwa umiza wanawake,” aliuliza Stella, akitakakuanza kuanga kilio kikuu,

    "sasa mimi nifanye nini, basi Stellah najuwa unaumia sana kwa sababu ya msaada ulionipa, mimi

    nitajitahidi nikurudishie fedha zako zote" hapo Stellah aliganda kama sanamu flani, akimtazama

    Joseph, kwa sekunde kazaa, "inamaana urafiki wetu ulikuwa kwa sabab ya fedha?" aliuliza

    Stellah na Joseph akakosa jibu, "Joseph wewe siyo Jose wangu ninae mfahamu, naimani Jose wangu

    bado yupo nita mpata,tena toka kwako" aliongea Stellah huku Joseph akiamini nimaneno ambayo

    hayana maana kwasababu yeye ndie Joseph, na hakuna Joseph mwingine, Stella akaendelea kuongea

    huku ameshika mkono wake, nakutazama tena lile kovu kwenye kidole chake kidogo cha mwisho,

    “sikia, Jose mimi na wewe tuliweka kihapo, na tukaunganisha damu zetu, nazani unakumbuka kuwa

    atujawai kufanya mapenzi atasiku moja," hapo Stellah akatulia kidogo nakuachia tabasamu ambalo

    lili changanyika na uchungu, akamtazama Joseph usoni, akimkaziamacho, naye Joseph alikuwa

    akimsikiliza kwa makini sana, maana alianza kuhisi kuna neno zito Stellah anataka kuliongea

    "husijari Jose, mimi nitasubiri naimani utani patia mume wangu Joseph, siwezi nikaolewa na mtu

    mwingine, mume wngu yupo kwenye damu yako, damu ambayo tuliichanganya siku ile” aliongea

    Stellah huku akionyesha kuondoka kwenye hali ya uchungu mwingi na tabasamu lake kuzidi kuwa la

    matumaini, maneno hayo ya Stellah, Joseph au baba Jayden aliyachukulia kama ya mkosaji, yasiyo

    na maana yoyote, sabau kile kitendo cha wao kuunganisha damu, kilikuwa cha kitoto, alafu ni

    kama walikuwa wana jiliwaza tu! kwa kutengana kwao, "huyu chizi nini" aliwaza Joseph,

    akimtazama Stellah ambae alionyesha kuwa anamaanisha ancho kisema, "ok! sikukazi ukimwona

    unaye mpenda endelea naye, pia nakuomba kitu kimoja, endela kuwa kama dada yangu mke wangu

    hasijuwe" alisema Joseph akionyesha msisitizo, wa jisi anavyo msamini mke wake, "husijari kaka

    Jose, nitamweshimu wifi, na mimi naomba uni tunzie mume wangu nitakuwa nakuja kumwangalia mala

    kwamala" aliongea Stellah akiwa kawaida kabisa wote wakacheka, lakini moyoni Joseph

    akashangaa, "hivi kunamachizi wanasomea u doctor?" aliwaza huku wakiinuka nakuanza safari ya

    kurudi nyumbani kwa Joseph, "tena karibu sana siku yoyote na muda wowote" aliongea Joseph

    akijuwa kuwa anamzuga Stellah na ndoto zake za alinacha, "nashukuru sana, nitakuja mala

    kwamala, kumtazama mume wangu" baada ya kuongea aneno hayo, walibadiri maongezi wakaendelea

    kutembea huku wakiongea maongezi mengine kabisa, na sura ya Stellah ikarudi katika hali ya

    kawaida kabisa,CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Stellah alimaliza likizo yake, akiwa nyumbani kwa wazazi wa Joseph, lakini aikupita

    siku pasipo kwenda nyumbani kwa Joseph, kibeba vitu mbali mbali ikiwepo vyakula nanguo za

    mtoto, mafuta na vitu mbali mbali ambavyo muhimu kwa mtoto, pia ata vikengele va kumbembelezea

    mtoto, huku mke wa Joseph akimsifia kila mala, kuwa ni mzuri na mkalimu sana kwao, aliagana na

    Joseph na mke wake, na kurudi Dar es salaam, akiwa ahidi Joseph na mke wake kuwa, atawasaidia

    kwa kila kitu, atakachoweza kuwa saidia, pamoja na matunzo ya mtoto wao, Stellah alipo fika

    nyumbani kwao Dar es salaam, aliwasimulia baba na mama yake yaliyo mkuta, ndipo Dr Lazaro

    akamsahauri kutafuta mchumba kisha aolewe, lakini Stellah akawaambia "tayari ninae nangoja

    muda ufike nitawajulisha" japo nao walishangaa kwa ualaka wa mtoto wao kumpata mrithi wa

    kijana Joseph, lakini wali muunga mkono huku wakiwa hawamjuwi kijana mwenyewe ninani,

    walimsikitikia sana mtoto wao kwa pigo alilo lipata,

    Siku zilienda, Stellah akamaliza chuo, na huku akisaidiwa na baba yake, alipata kazi

    kwenye Hospitali ya muhimbili, licha ya kufanya kaazi kwa juhudi, lakini kila mwaka Stellah

    (sasa ni Doctor) akijitahidi kuwatembelea wakina Joseph na mkewake na mtoto wao Jayden, japo

    mala moja, akiwa nazawadi nyingi kwa mtoto Jayden, ambae kila alipo zidi kukuwa alikuwa

    anazidi kufanna na baba yake, na zawadi nyingine kwa Joseph na mkewake, ambae ni mama Jayden,

    Stellah na mama Jayden waliishi vizuri, huku mama Jayden akiamini kuwa Stella ni wifi yake,

    ata Jyden alipoanza kupata ufahamu alimtambua Stellah kama shangazi yake, huku Joseph akisahau

    kabisa maneno ya Stellah, akiaidi kumpata mume toka kwake, zaidi alizidi kuchukulia kuwa

    Stellah ni mwanamke alie wai kumpenda sana na kuchanganyikiwa na penzi lake, kiburi hicho

    kilisababisha Joseph ajaribu kumshawishi, Stellah wafanye ngono, lakini Stellah alimjibu kama

    utani, "aitawezekana kaka, uoni ahibu kutembea na dada yako" kiukweli uzuri wa Stellah ulizidi

    mala dufu, siyo Joseph peke yake ata, vijana na wazee wengi walimfwata Stellah, kuna kipidi Dr

    mwenzie mmoja alimfanyia surprise ya kumchumbia, kwa kumwadalia birth day ya siri na kuitaji

    kumvesha pete, mbele ya mzee Lazaro na mke wake, lakini jibu lilikuwa fupi, "samahani niye

    tayari" hakuna alie hamini, maana akuna aliwai kumwona Dr Stellah akiwa na mtu yoyote. Stellah

    aliongeza juhudi za kufanya kazi huku akifunga duka kubwa la dawa za bina damu, maeneo ya

    mbezi, akiwa ame nunua maeneo mawili na moja wapo kujenga duka hilo, na kuliita Matumaini duka

    la dawa, baada ya mwaka moja alianza ujenzi wa nyumba yake huko huko mbezi, akisaidiwa na

    wazazi wake akamaliza ujenzi nakuhamia kwake, akitoka kwa wazazi,

    Jayden akiwa na miaka kumi, na moja alisha fikia darasa la nne, ndipo shangazi

    alipoanza kuonyesha nia ya kumchukua na kwenda kuishi naye Dar es salaam, lakini akuna alijuwa

    nia ya shangazi, huku wakijuwa niupendo wa zati alionao Stellah juu ya mtoto wao, walikubari,

    lakini Stella akuweza kumchukuwa Jayden kipindi hicho sababu alipata ufadhiri, wa kuendelea na

    na ngazi za juu za masomao ya u doctor wa maswala ya uzazi kwa wakina mama, akifadhiriwa na

    shirika moja la kijamii la huko ujerumani, na masomo hayo alitakiwa akasomee ujerumani,

    licha yakuwa mbali sana, lakini alijitaidi kila hapatapo likizo yakuja Tanzania,

    lazima awatembelee wazazi wake kwanza, ambao walisha staafu na sasa walikuwa wana ishi kwenye

    mjengo wao mikocheni, pia Dr Stelah angeenda songea kuwa salimia wakina Joseph na familia

    yake, akiwa amebeba zawadi nyingi sana kwa Jayden, akika upendo wake ulikuwa mkubwa sana kwa

    mtoto huyu, miaka mchache baadae shangazi alikuwa amesha maliza masomo yake nchini ujerumani

    akarudi Tanzania na kufunguwa hospital yake maeneo ya mbezi kwenye eneo ambalo mwanzo

    lilikuwepo duka lake la madawa, kipindi chote shangazi au Dr Stella alikuwa akiwakataa wanaume

    wakila aina waliokuja kwa ahadi za kila namna, kipindi hicho ndicho kipindi ambacho Jayden

    alikuwa amemaliza darasa la saba, na kuchukuliwa na shangazi, na pasipo kujuwa shangazi

    alikuwa akimkagua Jayden sehemu za siri, asa ikitokea nakipindi Jayden akiumwa, alipenda

    kumtibu mwenyewe, hapo angemvua nguo nakumkagua vyema dudu na maumbile yake kwa ujumla,

    akijilizisha na ukuwaji wa viungo na mwili wa mume wake mtarajiwa, akisubiri amalize kidato

    cha sita nipo waanze kushiriki tendo la ndowa, kwani aliamini ata umri wake utakuwa unafahaa,

    hayo yote akidai ni kihapo alichowekeana na baba yake, na kuhamishia kwa mtoto baada ya baba

    kushindwa na kusaliti, ***CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “wifi hivyo ndivyo ilivyo kuwa, siku taka kuvunja ndoa yako, kwasababu wewe hukujuwa

    kitu, na ahukuwa na kosa, sikutaka kutembea na Jayden akiwa mtoto, nilisubiri amalize shule,

    aavuke miaka kumi na nane, nasasa nikijana mkubwa tu!, mimi siyo shangazi yake mimi ni mke

    wake” alimaliza shangazi Stellah, Jayden na mama yake waki shangaa, kwa jinsi story ilivyokuwa

    tamu, “inamaana wewe siyo dada wa baba Jayden?” aliuliza mama Jayden akiwaangalia kwazamu, Dr

    Stella na baba Jayden “nazani nimesha kuambia kila kitu” alijibu Dr Stella au mama Jada “na

    amkuwai kukutana kimwili?” aliuliza tena mama Jaydeni au bibi Jada “aswaaa, hakuna aliewai

    kuingiza ata kidole cha mkono” alijibu tena shangazi ambae alikuwa anaamini kuwa yupo sahii

    kabisa kwajambo alilolifanya



    “Eti mume wangu nikweli anacho ongea wifi?” mama jayden alimwuliza mume wake ambae muda wote

    alikuwa amekaa kimya kajiinamia, “baba mkwe mweleze mama nayeye ajuwe kama nikweli niliyo

    yasema?” aliongea mama jada au Dr Stellah akimwambia baba Jayden, huku Dr Stellah akuwa na ata

    chembe ya utani, “nikweli mke wangu, huo ndio ukweli halisi, lakini siku juwa kama Stella

    angefanya aliyo yafanya, yani ni haibu kubwa sana kwenye familia zetu, na wale waliotufahamu

    toka zamani” aliongea baba Jayden kwa sauti tulivu na nzito iliyo jawa na mfadhaiko, “

    samahani baba si,vyema ukiniita kwa jina, ni bora ukiniita kwa jina la mwanangu yani mama Jada

    au mkwe, alafu mimi ni mke wa mwanao, ahibu ya nini?” aliongea Dr stellah kwa sauti ya upole

    iliyojaa adabu na heshima, kanakwamba anaongea na wakwe, hapo mama Jaden akatulia kidogo,

    kisha akamtazama Jayden akiwa amempakata mwanae Jada, "mwanangu nawewe ulianzaje anzaje ku…

    yani haa! watoto hawa jamani, yani ata kuogopa kidogo mwanangu?, we mmama kama huyu...

    uliwezaje mwanangu?...” ukweli mama Jayden alishindwa kuongea “mama samahani, hapo unamkosea

    mumewangu, uwezi kumwuliza hivyo mbele yangu, na hiyo ni siri yetu, kama mmesha elewa

    kilichotokea, naomba mume wangu akaoge, ili ajiandae kwa chakula” aliongea tena Dr Stellah

    kwasauti ya upole yenye hesima na adabu, wote wakakubali Jayden aende kuoga,

    Kumbe ujio wa wazazi wa Jayden, shangazi aliufahamu mwzi mmoja kabla,akaamua kumficha

    Jayden maana angekosa amani kusikia wazaziwake wanakuja, wazazi wa Jayden walipo fika na

    kumwona mtoto waligundua amefanana sana na Jayden, kwa mama Jayden haikuwa tatizo maana Jayden

    amefanana baba yake, pia alikuwa anajuwa kuwa wifi yake ni dada wa mume wake, mtoto kufanana

    na Jayden nisawa maana ni ndugu, tatizo likawa kwa baba Jayden au Joseph, alipo mwona mtoto

    kengere ya hatari ikagonga kichwani kwake, ndipo alipo jikuta ameuliza juu ya baba wa mtoto,

    na Stella akuficha akawa chana live kwamba mtoto ni wa Jayden,*******

    Muda wakulala Jayden na mpenzi wake, wakihapo cha kurithi Dr Stella akiwa chumbani

    kwao, waliongea mengi sana ikiwa ni pamoja na mipango yao yakimaisha, huku chumba kingine mama

    na baba Jayden walikuwa wajadiliana juu ya mausiano ya Jayden na Dr Stellah, kweli ni alali

    kwa Jayden kuishi na shangazi wa hiyari kama mke wake?, atimae asubuhi ikawadia, siku ile

    jayden akwenda chuo, baada ya kunywa chai baba Jayden akaomba wote wakae bale sebuleni waongee

    jambo, dakika chache baadae maongezi yakaanza, baba Jayden alisema kwamba kiukweli yeye na mke

    wake wame kubari kwa moyo mmoja Jayden kuishi na Dr Stella,lakini walicho itaji nikwamba Dr

    Stella amchukulie Jayden kama walianza kukutana wao na asichukulie kama ni kisasi cha

    kuthalitiwa na baba yake Jayden, Dr stelah aliwaahidi kwa kusema kuwa yeye ameamua kuolewa na

    Jayden kwasababu ya mapenzi yake toka moyoninasiyo kisasi,

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Mahisha yaliendelea vizuri pale nyumbani, wakiishi kwa amani huku Dr Stellah

    akiwaheshimu wazazi wa Jay den kama wakwe zake japo mama Jayden, wakati mwingine alikuwa

    anakosea na kumwita Stellah wifi, atimae likizo ikaisha na wazazi wa Jayden waka rudi songea

    nakumwacha Jayden na mke wake, nao Jayden na Dr Stellah waliishi vizuri na kwa upendo na

    amani, mpaka mwisho wa story hii, nikwamba Jayden naye Doctor anafanya kazi hospitary ya

    muhimbili, licha ya kuwa yeye na mke wake walifungua hospital kubwa mbili nyingine, pia

    walijenga nyumba nyingine mbili na kufungua shule, primaly and secondaly academy school, na

    tayari wameshapata watoto wengine wawili, siku zote waliishi maisha ya furaha na amani, kwani

    ata wakina Dr Suzie walisha fahamu ukweli kuwa Dr Stellah na Jayden ni wapenzi, japo mwzo wali

    ashangaa sana lakinibaadae walijuwa siyo ndugu na kuwazowea, wakawaona wakaida, mwanzo ikuwa

    ngumusana kwa Dr Suzie kukatisha mausiano na Jayden, lakini mpenzi wake alipo maliza chuo

    ikamlazimu kufanya hivyo, ingawa mechi za mpenzi wake azikumfikia Jayden..





    MWISHO

0 comments:

Post a Comment

Blog