Chombezo : Utamu Wa Mchezo
Sehemu Ya Tano (5)
"Clement noo nipo period please"
"Why ukuniambia kabla lakini?.
Nilimuona clementina akiangaika nahisi alitafuta sababu ili nisimfanye siku hiyo ila hali yangu ilikuwa mbaya na ubaya muogo ulikuwa umesimama si mchezo nikitazama nimeshaona mzinga wa asali. Ila sikutaka kuforce nikamuasha kwanza nikakaa pembeni nione atafanyaje.
***********************
UPANDE WA CLINFORD.
" bro sikia me natoka naenda hapo nyumba ya pili pale kwa kina sarah mzee akirudi mwambie nimeenda kujisomea na wenzangu sawa?
"Poa haina noma lakini vipi kuhusu lile suala maana kaka yako amerudi atagundua?
" sikia mimi ndo nimekupa kazi kwahiyo kila kitu kipo chini yangu usijari naomba wakirudi nitumie ujumbe me nitarudi sawa?
"Poa haina noma"
Nilimalizana na mlinzi pale ili niende kwa sarah maana akinitumia ujumbe kuwa yupo peke yake nyumbani. Niliingia ndani hata sijui nilikuwa naenda kufanya nini ila ghafla nikasikia watu wananong'ona chumban kwa dada clementina "mmmh huyo sio kaka clement na dada clementina? Kheee jamani awajaacha tu mchezo wao? Jamani hapa dada sina km ni hivyo kagawa nyumba mzima kwanzia mzee mpaka mlinzi getini yani we waache ipo siku wataumbuka"
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Nilijisemea moyoni ila nikaamua ili kupata ushahidi nilienda kugonga chumbani kwa kaka clement ila sikupata mwitikio wowote nikafungua mlango taratibu ila hapakuwa na mtu zaidi niliona beg lake na nguo alikuwa amezivaa vikiwa kitandani nikaamini kuwa ndiye aliyekuwa chumbani kule.
"Hey bby please usisahau cd ya x leo nina ny** haswa nakuomba cliff" iliingia msg ya sarah nami fasta nikarudi chumbani kwangu nikabeba laptop yangu maana mule niliziweka za kutosha tu hasa za kiafrika zikiwepo za bongo na east africa kwa ujumla.
*****************
UPANDE WA CLEMENTINA.
Nilijinyanyua kutoka pale kitandani nikavuta kanga yangu pembeni nikajifunga nikaingia bafuni. Nilishika koki ya bomba nikafungua shower kisha nikasimama bila hata kuoga nikijitafakari hasa kwa yale mapichapicha yaliyokuwa yanaendelea pale ndani na mwisho wake utakuwaje. Bado sikupata majibu wa maswali yangu nikanyanyua sabuni nikaanza kujipaka mwilini mwangu huku nikipata taswira ya mama yangu nikajua kwa haki sikmtendea kabisa na kama ikilijua hili nitapata radhi ya kuokota makopo kabisa ila sasa nifanyaje maana sina maamuzi juu ya mwili wangu tena najihisi mwili wangu upo kifungoni tena kifungo kibaya cha uasherati kwamba siwezi kujitoa kirahisi.
"Hey cleme unaoga muda wote huo" ilisikika sauti ya kaka.
"Noooo nakuja wait please"
Niliitikia huku najisemea moyoni "mmh huyu nae king'ang'anizi yani hata alijui huyu ni dada yangu toka nikae lenyewe linawaza kunilala tu na hata bora angekuwa afadhali ila ule mdudu wake wenyewe mkubwa hata radha ya mapenzi hakuna na kibaya nimetoka kudate na yule mlinzi yani km mapacha wote miguu ya mtoto khaaaa wifi yangu mvumilivu kweli kwa dude lile khaaaaa"
"Vipi"
"Mmh jaman clement nisubiri uko jamani nakuja"
"Na mimi nataka kuoga tuoge wote"
"Cleme una akili kweli? Naona sasa unavuka mipaka naona umesahau me ni nani yako na wala ujatambua kuwa hapa tu tunafanya makosa yani unanifanya km mke wako cleme na unajua mimi ni dada yako toka wewe ziwa nikadakia mimi kweli clement?
" i know clementina ila nakuomba usifike uko hata mimi sipendi ila nina hisia na wewe sana sijui why?
"Chizi kweli ebu toka clement umenitibua toka nitapiga ndulu sasa hivi"
"Haaaaaa nooo uwezi kunifanyia hivi cleme"
"Mlinziiiiiiii"
Kabla sijamaliza alinishika mdomo akanikunja mithili ya mbwa aliyekamatwa na chatu.
"Upuuzi gani unataka kufanya kheeee mshenzu mkubwa wewe sasa nahisi umenisahau ujue mimi ni mnyama sana ngoja nikuonyeshe ujui hapa nilipo natafutwa na police uko nilipotoka tu nimefanya mambo kama haya"
"Noooo cleme mimi ni dada yako usinifanyie hivyo please tukubaliane basi nakuomba"
Sikuweza kufanikiwa kwani kwa mara ya kwanza niliingiliwa kinyume na maumbile baada kuona eti mbele hapata utamu km nyuma akuwa clement kaka yangu alikuwa mnyama hata kwangu mdogo wake nililia kwa kwikwi nikakumbuka mstari mmoja ndani ya kitabu kitakatifu usemao "mshahara wa dhambi ni mauti" .
**********************.
UPANDE WA CLINFORD.
"Upo na nani humu ndani?
" kheeee jamani cliff nipo alone"
Niliamua kumuuliza sarah maaana mazingira yalikuwa ni tofauti na siku zote nilihisi kuna kitu pale yani pamoja na kuweka mahanjumati/picha za x bado mtambo haukusimama kabisa. Sarah alisimama akishika blauzi yake na kuipandisha juuu na nguo ya chini pia akabakiwa na sidiria tu kisha akajana kupiga magoti mbele yangu kisha akanivua pensi yangu na tshirt juu huku nikimtazama tu tofauti na siku zote. Alizamisha mkono ndani ya boksa yangu.
"Nooo baby unawaza nini? Please usinifanyie hivyo"
"Sarah ebu sogea mbele yangu shenzi toka unajifanya mshenzi sio wewe wa kunifanyia hivi"
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/Niligundua kulikuwa na camera juu ya friji iliyofichwa sio rahisi kuiona ila muda wote niliokuwa pale nilijaribu kuchunguza na ndio sababy ya kutokuwa na amani.
"Baby sorry sikuwa na nia mbaya just for enjoyment baby"
"Enjoyment ulinishirikisha? Awewe umekuwa mcheza ngono sio?
" samahani baby please"
Kabla ajamaliza kuongea mara simu ikaita jina likitokea bro security nilipokea fasta.
"Dogo upo wapi? Njooo fasta hapa nasikia kelele tokea chumbani kwa dada yako na kaka yko njooo fanya haraka"
Hali haikuwa hali tena, pamoja na clement kuwa na kesi ya ubakaji yeye na group la wanafunzi wenzake siku moja iliyopita alimtendea vivyo hivyo mdogo wake clementina.
CLEMENTINA..
Nilipata maumivu makali mgongoni na sehemu zangu za haja kubwa na kikubwa alinihanisi kwa kunimwagia mbegu zake(clement) hii tayari ilikuwa matarajio yangu niliumia moyoni nilizidi kupata maumivu makali.
Mara mlango ukafunguliwa akaingia clinford na kaka mlinzi niliwahi nikajifunika na shuka machozi yakinitoka uko sehemu zangu za nyuma nikihisi tayari zimeharibiwa kutokana na maumbile makubwa ya clement(uume).
"I told you dada(nilikwambia dada) unaona sasa"
"Naona mdogo wangu clinford kweli mshahara wa dhambi ni mauti i deserve to die(nastahili kufa)"
"Usiseme hivyo mungu ni mwenye huruma hatakusamehe ila dada mama yuko njiani anakuja, kwani kaka kakimbilia wapi?
" Ohh Mungu wangu nitamwambia nini mama jamani"
Clinford alimvuta nje mlinzi na kuanza kupanga nae mikakati.
"Bro mambo yameshaharibika kama unavyoona sasa tufanyaje?
" nakusikiliza wewe"
"Me naona tumtoe hapa dada(clementina) maana inaweza ikatokea mama akaja muda wwote sasa huu ukweli hapaswi kuujua kaka"
"Sawa kaongee nae basi"
Clinford alitoka na kurudi chumbani kuongea na clementina juu ya suala kumuamisha pale.
"Clinford sitaki nitabaki hapahapa kama ukweli mama haujue nimetenda dhambi sawa lakini nisife na hii dhambi"
"Dada nisikilize mimi mama utamwambia ila iponye nafsi yako kwanza ukapate ushauri wa mafaktari na hayo mengine ukiwa sawa utakuja kusema"
***********
Baada ya clement kufanikiwa kutoroka baada ya kutimiza hazma yake ya ubakaji alidandia lori la cement kwa kuonga kiasi kidogo cha pesa limfikishe mpaka mtwara ambapo atavuka boarder na kuingia msumbiji-maputo.
"Sawa kaka panda twende haina shida"
Aliongea dereva baada ya kupokea kiasi kidogo cha fedha.
"Nashukuru kaka" alijibu huku akiwa anapanda kweli lori hilo"
Safari iliendelea huku zikisikika sauti za kukohoa(clement) kutokana na lile vumbi la cement. Hali ilivyozidi kuwa ngumu dereva alisimamisha gari.
"Vipi kaka?
" aisee vumbi humu nakohoa"
"Shuka basi usubiri basi"
"Aaah dereva wee twende tu"
"Ndi uvumilie weee mtoto wa kiume unajikohoresha wee ndo nini sasa?
" samahani dereva"
"Sasa hapo mbele kuna mzani utashuka kisha utanikuta mbele sawa?
" sawa kaka"
Safari iliendelea huku clement akizidi kukohoa tu kama kawaida unadhani wahenga walikuwa wanaongopa waliposema 'kikohozi akijificha' wakifananisha na mapenzi.
"Kakaaa shuka hapo sasa, wewe utatangulia mbele nitakukuta uko sawa" aliongea dereva.
"Sawaa kaka, ila tutatoka kweli hapo kwa hiyo foleni?
" tutatoka usijari" alijibu dereva na kipande hicho kilikuwa na upepo mno.
Taratibu clement alianza kuongoza na njia akiwa amevaa sweta lake lenye kofia ya kichwani. Pamoja na hayo yote clement bado hakujiona mwenye makosa ila alichukulia ni sehemu ya maisha alizidi kusonga akavuka mizani na kuendelea mbele zaidi.
**************
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
CLINFORD..
"Ndio mzigi ninao kaka sema kuna majanga yametokea hapa home subiri nisolve kisha tutapanga wapi tuonane" aliongea clinford kwa kificho akiwa hospitali ya amana kumleta dada yake clementina.
"Mzigo una dakika ngapi? Aliuliza yule wa upande wa pili.
" kama mlivyosema ni dakika 45"
"Ulisema una nyingine pia ni ipi?
"Aisee ninayo ya dady na dada nilifanikiwa kurekodi japo ina dakika 15 tu"
"Sawa huo nao ulete tutakupa nusu ya bei ya kazi ya awali" alijibu yue wa upande wa pili.
"Sawa nashukuru hivyo nitawadai dollar elfu 4000"
"Ndio ndio kwa kazi zote mbili"
Simu ilikatika clinford akawa anatabasamu tu huku anaitazana simu yake mara mbilimbili maana kama deal litafanikiwa ataingiza kiasi hicho cha US dollar 4000. Hayo yalikuwa ni makubaliano ya clinford na meneja masoko wa kampuni moja ya wacheza ngono(ponographic group quality production) ambaye huyo jamaa ni agent wao nchini tz ambalo shirika lao lilisambaa world wide.
Mlinxi alipokea ujumbe kutoka kwa nurse.
"Samahani kaka mgonjwa awezi kuhudumiwa mpaka apate pf3 kutoka kwa jeshi la polisi"
Aliongea nurse.
"Dada yangu tusaidie"
"Aah ndivyo utaratibu uliopo nchini" alijibu nurse
Kitendo kile kilimfanya mlinzi kutka na kuanz kumtafuta clinford mpka alipomkuta nyuma ya ukuta wa choo.
"Vipi bro wameanza kumuhudumia? Alihoji clinford.
" hali tete wanaka pf3 kutoka police" alijibu mlinzi
"Kheeee tunafanyaje sasa bro?
" ni way out zaid ya kutoa ripoti polisi"
Alijibu mlinzi..
**********
CLEMENTINA.
Baada ya nurse aliyekuwa zamu kutoka wakati clinford na mlinzi wanajaribu kushughulikia pf3(kibari cha matibabu kinachotolewa na polisi kwa watu walikubwa na matukio ya ubakaji, ukatilia unaotokana na ujambazi nk)
"Hivi nina sababu gani ya kuishi endapo wanachuo wenzangu, marafiki, mama, ndugu zangu na majirani wakisikia clementina katembea na baba yake, kaka na mdogo wake na zaidi mlinzi wa getini!!!!! No nakunywa dawa najicommit suicide(najiua) "
Clementina alichanganya dawa zilikuwa pembeni ambazo nurse alizileta kwa ajiri ya kumuhudumia mgonjwa aliyekuwa jirani naye(kitanda cha pili).
Haraka haraka alifungua vichupa nakuvimimina pamoja akaanxa kunywa ule mchanganyo.
Nilichanganya ile dawa na kwa haraka haraka nikaichanganya kwa mbali nikawa nasikia hatua za watu km wawili au zaidi wakija upnde ule wa wodini, nilifanya haraka nikanywa ile dawa.
Nilitulia ndani ya sekunde 40 ndipo nilianza kupata cha mtema kuni maana dunia yote niliibeba kichwani yale maumivu mfano wake hakuna utumbo ulikuwa unajikunja na kuachia alama za ramani zilijengeka kwenye paji la uso wangu, nilitamani nighairishe lile zoezi maana kumbe kifo kinauma namna ile takribani muda ulivyozidi kwenda na nguvu nazo zilianza kuisha mwilini mwangu nikaanza taratibu kupoteza fahamu na huku yale maumivu yakiama kutoka tumboni na kuja kichwani mpaka miguuni sikuweka tena matumaini ya kuishi kwakuwa nilikuwa ni mfu tayari.
**************.
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
CLINFORD.
Nilitazamana na kaka mlinzi tukiwa hatna pa kuanzia japo tunajua wazi sehemu inayotakiwa kupata kibari ni polisi ila je twende tukamshtaki kaka clement na akamatwe kwa kesi ya ubakaji (hapa bila kujua hii ni kesi ya pili kwa clement ya ubakaji).
"Inabidi tuokoe maisha ya clementina kwanza usimuangalie huyo wa mbali mtazame huyu tuliyenaye tunamsaidiaje twende tukatoe ripot" aliongea kaka mlinzi.
Yale maneno yaliniingia akilini na kweli palepale nilichukua hatua ya kwenda kutoa taarifa polisi kituo cha osterbay. Haikuwa rahisi kupata pf3 ila baada ya kusema tukio ni la leo tu alinielewa ila kilichowashangaxa kuwa hawa waliofanya kitendo hiki ni mtu na kaka yake tena wa damu.
"Haloo ebu fatilia faili la mtuhumiwa tujue km amewahi kufanya matendo yeyote ya uhalifu"
Aliongea kamanda wa zamu pale kituon
Nilitulia kimya kabla ya kutoka na polisi mmoja tuliyeambatana nae kuja hospitali(amana). Muda huo nilikuwa na ujasiri tofauti na zamani nilikuwa nawaogopa mno.
****************""
Tulishangaa kuwakuta manesi wakiangaika mno mule wodini nilikuwa wa kwanza kukimbilia wodi alilolazwa dada clementina ila nikazuiwa kuingia yule polisi aliniuliza.
"Amelazwa wodi gani"
"Ni hiyo wodi nilikwenda wakanizuia kuingia"
"Ni muda gani mmemleta? Aliuliza tena afande.
" hili litakuwa saa la tatu sasa ila ndo hivyo ajaweza kupatiwa huduma mpk muda huy kutokana na hiyo pf3"
Alisogea mpaka pale nami nikamfata nyuma nyuma ili kama ataingia nami niingie pia. Alipofika tulipata nafasi ya kufahamu nini kilichokuwa kinaendelea.
"Mgonjwa amekimbizwa icu kutokana na hali yake kubadilika ghafla ila muda si mrefu tutawapa taarifa ya mgonjwa" aliongea nesi ambaye kusema ukweli sikumuelewa kabisa kwani aliongea kwa haraka.
Tulitoka eneo lile tukakaa kwenye benchi la wagonjwa nilikuwa na huzuni mno na nilijiuliza maswali mengi "kubakwa tu ndio apelekwe icu kweli? Aiwezekani kuna jambo limetokea" ilibidi nivunje ukimya nikamuuliza polisi.
"Eti kubakwa tu ndo apelekwe icu?
" tusubiri ripoti ya daktari" alinijibu kiasi kwamba sikuweza tena kuuliza swali jingine ila mimi huwa sikomi nikatengeneza hoja nyingine nikavuta kama dakika mbili nikauliza tena.
"Kuna haja ya kurekebisha hizi by laws(sheria ndogo ndogo) yani kuhudumiwa mpk hiyo pf3 tutawapoteza ndugu zetu wengi" niliongea pasi kumtazama usoni nilipomtazama usoni tu nililipata jibu langu.
Alionyesha ni mtu aliyekereka na maswali yangu ila mimi nikitaka kujua jambo utaniambia tu "yani huyu ataongea tu ngoja" niliendelea kuuliza.
"Afande hivi mbona hampo karibu na jamii yenu nyie vyombo vya sheria?
" dogo mbona msumbufu? Sisi kama jeshi la polisi kazi yetu ni kutekeleza na kusimamia sheria , kazi ya kutunga sheria ni ya bunge na kutoa hukumu ni ya mahakama sisi ni watu wa katkati tu" alijibu kidogo akanipa mwanya wa kumuuliza tena swali.
"Kwanini wati wanakuwa tortured(wanateswa) hasa wakifika kwenu)?
" dogo hakuna mtu anayeteswa hila ushirikiano wako ndiio utakusaidia kuepuka adhabu sema kweli utaokoka na adhabu" alijibu
"Hii yote ni kwasababu watanzania wengi awajui sheria ila mnafanya vitendo vya ukatili mno na mnavunja haki za binadamu" nilitoa hisia zangu wazi
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"Dogo chunga kauli yako, nakuonea huruma kwasababu wewe nimtoto angekuwa mtu mzima mida ingebadilika, sasa nikikwambia utolee ushahidi wa hilo unaloongea na sheria inayovunjwa utatoa? (Kimya)" alitazama kulia ns kushoto kisha akanibwenga konzi takatifu nilihisi kama nyundo imetua kichwani mpaka misuli ya shingo iliregea ghafla kwa ile dozi.
Wakati nipo pale simu yangu ikaita nilikuwa naanza kupata usingizi kutokana na kukaa muda mrefu bila kuongea.
"Nyie mpo wapi hapa nyumbani hamna mtu na mama yako yupo njiani nampigia clementina hapokei simu upo wapi? Alifoka mzee tu punde nilipopokea simu hata salam hakutoa.
" amana hospital"
Nilimjibu kwa kifupi
"Unaumwa?
Alipoa na kuniuliza
" hapana dada clementina ndiye anaumwa na sasa hivi yupo icu"
*************
"Nooo clement wa kufanya hivi kweli mtoto niliyemzaa" alifoka pale hospitali na mpaka muda huo hatukapata taarifa ya kueleweka kutoka kwa daktari.
"Mzee punguza sauti" aliongea askari
"Ebu niache wewe mtoto anauma wewe" aljibu uku analia
Sikutaka kushangaa sana maana baba anampenda sana sana clementina siku zote ndiye mtoto wa pekee anbaye akutaka akasome nje na nyumbani ila mimi au clement hata marekani atatupeleka. Na muda huohuo mama nae alikuja maskini alikuwa amechoka mno na ndio alikuwa ametoka safarini.
"Mama clementina kwanzia leo clement sio mwanangu" aliongea tena kwa jazba.
"Mtoto ni mtoto tu kwani kafanyaje? Aihoji mama
" kambaka dada yake clementina"
Aliropoka mzee huyu
"Kheeeee nini huyu clement"
Alishuku mama
"Nampa radhi km mimi nitamsamehe clement basi nitakaa uchi barabarani siku nzima" aliendelea kumchanganya mama nikaingilia kati
" kwani wewe na clement mna tofauti gani? Maji ufata mkondo na kama ukiamua kukaa uchi akuna atakayeshangaa maana watajua umerukwa na akili"
Palepale mama aliaanguka chini na kupoteza fahamu kabisa ila alivyoanguka sijui kama uzima utakuwepo tena. Eeh mungu msaidie mama yangu..
Nilipatwa na bumbuwazi la ghafla nikamtazama mzee bp nayo ipo juu bro security alikuwa tayari karudi nyumbani nikakimbia kurudi chumba cha wauguzi nikiwa kama chizi "nisaidien jamani nisaidie wazazi wang" niliongea na kutoka kurudi nilipokuwa mwanzo ambapo wazee walikuwepo hali ilikuwa tete mno mama fahamu hazikuwepo, mzee naye aliegemea kiti tu.
Taratibu za first aid/huduma ya kwanza ilianza chapchap sasa hapo nilitoa usharo pembeni nikawa naangaika huku mara kule furaha yangu ilikuwa ni kuiona familia yangu ikirudi ktk hali yake tena japo haikuwa rahisi maana mpaka wakati huo sikujua hali ya dada clementina maana tayari alikuwa icu baada ya kunywa dawa ya kusafishia vidonda na kuchanganya na nyingine za aina tofauti, mama na baba pia toka wameanguka sikupata fursa ya kuwaona kwa muda huo wa dakika 30 zilizopita, nafsi ilinisuta kwani nami ni sehemu wa kupelekea matatizo kutokea. Nilijiinamia huku chozi likinitoka kwani nilimkumbuka na kaka clement ambaye labda angetusaidia kwa wakati huu ila sasa yeye ni chanzo kikubwa cha aya kutokea naye kakimbia kaniachia majanga.
Simu yangu ya mkononi iliita takribani mara nne ila ya tano ndio niliyopokea niliona namba ya rafiki yangu george nilikaa kumsikiliza.
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"Clifford hongera mwanangu umeongoza tahossa chemistry, bios na mathematics na over-all umekuwa wa kwanza" aliongea kwa furaha sana george
"Asnte kaka nashukuru kwa taarifa"
"Nasikia umezawadiwa vitabu za science, dictionary na mwaka wa form four mzee shabani robert atakulipia ada na mliongia tano bora mtatembelea mbuga ya wanyama mtakayopenda kwa siku tatu" alizidi kuongea george.
"Daah mungu ambariki sana" niliongea kumridhisha tu ila ckuwa excited/msisimko na aliyokuwa anazungumza"
"Kaka polen sikia kaka yako anatafutwa na polisini leo nimeliona kwenye gazeti jina lake anatafutwa na jeshi la polisi na hat redioni pia wametangaza, kumbe ndo maana haunaamani??"
"We njoo tu amana hospital tuongee"
***********************
CLEMENT..
Niliingia mtaani nikaanza kutafuta wenyeji wanionyeshe boda niingie msumbiji ili nifike maputo maana rafiki zangu niliosoma nao advance meta high school wengi wanaishi hapo. Nilishangaa kitu kimoja kila nikipita mtaan watu wananishangaa kama ni mtu maarufu au kuna kinachoendelea ila nilipotezea nikaendelea kusaga na njia mtaani. Kwakuwa nilikuwa na kiasi kidogo chw pesa nikapata geust nikaingia angalau nioge sikuoga siku tatu..
Nikiwa chooni nilisikia hodi nikawza mengi pale reception nimemalizana nao ni nani hao au polis, sikupoteza muda wakatimlango unagongwa nikajiandaa ili nipitie dalini na kweli nilifanikiwa nikatoka kupitia chumba cha jirani kwani hapakuwa na silingi board, mteja w kile guest alikuwa ni mwanaume na mwanamke (alikuwa uchi kitandani wakati bwana wake anaoga") nilimtaka anipe wigi na dela akatoa baibui yake akanipa maana alikuwa nayo yote yani dela na baibui kwa hand beg. Sikutaka niwaharibie nilimpa kiasi kidgo cha fedha kwa usumbufu nikatoka nje watu walijaa kweny chumba nilichokuwa wakipasua mlango mimi nilirudishia mlango nikatka.
Dada reception aliniuliza "dada unatoka?" Nilimjibu kw ishara ya kuzungusha kidole(ikimaanish nipo around). Nilitoka kwa spidi sasa nilivuka barabara bila kuangalia magari liikuja noah ikanivamia na kunirusha huko mtaroni.
***********
BAADA YA MWEZI KUPITA.
Hali ya maisha ilikuwa ngumu mno dada alijaharibia kizazi kumbe alitoa mimba kwa madawa makali hivyo hatoweza kuvaa kabisa, mama nae alipararazi bega la kushoto mpk mguu wa kushoto nililia sana maana hata baba tayari alikuwa ni mtu wa msongo wa mawzo anaweza kukutuma maji ukamletea akakuuliza haya ya nini mimi?(menta infinity).
Hakuna siku ambayo sitakuja kuisahau kama siku ya jumamosi mei ambapo nilikuwa natoka moi kumpelekea mama chakula ikapigwa simu na shangazi ummy anaishi moshi yeye alimpigia baba wakaongea hakujua ni nini kinaendelea ila nilimuona baba akikaa kimya asimjibu lolote nikachukua simu na kuweka sikiooni "mwili utaingia leo nadhani jioni kwahiyo tumeonelea kaka msiba tuufanyie huku tu moshi" mapigo ya moyo yalienda kasi kaka yangu clement sitaki kuamini nilikuja kuona mfululizo wa simu zinaingia kwanguu baada kuzima ile ya mzee ambaye naye presha ilipata mno. Nilitumiwa jumbe nyingi za pole wakati mimi tu sikujua au uhakika wa jambo nikajipa ujasiri kikaingia whatsapp group ya maschool mates nikaanza kupitia consetvations nikaona videos moja kati ya hizo ilikuwa inaonyesha mwili wa kaka ulivyotolewa mtaroni akiwa amevaa wigi na baibui wengi wakisikika wakisema
"Masikin dada wa wati alikuwa anavuka barabara" Alisema mmoja.
"Kheee kumbe ni mwanaume itakuwa ni jambazi katoka kuiba" alidakiwa wa pili mwanaume.
Nilitokwa na machozi baada ya kuona comments za rip clement, wakinipa pole mm pia.
Nilikuwa kimya nikiitazama feni inavyozunguka mawazo yakanipeleka mbali sana nikakumbuka kipindi kile kama familia tunaishi kwa amani hakuna matatizo tulifanya vizuri hata kimasomo na afya zetu zilikuwa njema kwa siku nyingi sikuwahi kuona mzee bloody pressure ikipanda, namkumbuka marehemu mama mdogo rose naye alikuwa ni miongoni mwa watu walioleta furaha kweny familia leo hii ile hali haipo tena baada ya kuisha kwa msiba wa kaka clement kuna mtu alinifata na kunipa namba yake kuwa nimtafute baada ya..
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Sikulitilia maanani hilo maanani maana hali za wazazi wangu zilikuwa mbaya mno dadie ilifikia stage aliwekewa mipira ya kupumulia, mama nae alikuwa kitandani wiki ya nne sasa sijui ni kipi kitaendelea nikitazama dada clementina ameisha si yule ninayemjua na kibaya zaidi ajakubaliana na hali hiyo anataka hata kujiua kwasababu ya jambo ambalo tayari limeshafanyika na uwezi kulibadilisha. Clementina ni mpenzi mkubwa wa movie za serias siku hiyo nilitoka mjini nikapitia movie shop nikachukua movie ya nikita, destiny to love you na katuni ya kirikou ili tu nitakapofika home nikiweka itaondoa stress zake.
"Shikamoo, vipi umeshindaje?
" marahaba, salama tu" aliitikia dada cleme
"Vipi upo sawa?
" yeah nipo sawa vipi uko utokapo? Aliuliza dada
"Salama tu nimekuletea movie hizo hapo me nakuja naenda kuoga, vipi shangazi yupo ndani? Niliuliza shangazi maana yeye alikuja pale baada ya ile hali ya msiba na ule ugonjwa isingekuwa njema tukabaki pekee nyumbani.
" yupo jikoni nadhani anapika"
Niliienda mpka jikoni nikamsalimia kabla ya kuingia chumbani kwangu, nilipofika kitandani nikakuta daily mbele yangu imeandikwa kwa ndani Comrade Clement Michael mzumbe university, Law. Roho iliniuma mno machozi yalinitoka nikakumbuka jinsi nilivyokuwa nashindwa masomo ya arts kama histry alikuwa akinifundisha na kunipa mbinu za kufahuru hayo masomo maana mimi nilitilia sana mkazo masomo ya science yeye ndiye aliyebadilisha mindset yangu juu ya masomo haya. Haikuwa kazi rahisi kusahau wema wake kwa familia na ushauri wake pia japo ametenda kwa ubaya mwishoni mwa maisha yake ila bado ni icon yangu the first born. Nilikumbuka vitabu vyake alivyonipa nikavikusanya vyote na madaftari yake "kupitia haya nitatimiza ndoto zangu promise you brother i will never let you down(nakuahidi kaka sitakuangusha)" nilibeba yale yote nikamuonyeshe dada clementina nilipofika pale sikumkuta mtu zaidi zile cd zilikuwa pale mezani
"Shangaziiiiiiiiiiii" niliita kwa nguvu nikiogopa uenda dada katoroka
"Abeeeeeeeee mwana weee njoo huku" alijibu shangazi
"Shangazi dada hayupo" niliongea huku macho yananitoka
"Aaha yupo chumbani kwake usijari, kama unahitaji kuongea naye kamgongee" alitoa ushauri wake shangazi
***************
Tulitazama kwa muda bila kuzungumza lolote nilimuona dada akitoka machozi na mimi machozi yalianza kunitoka nikamkubatia dada naye akanikumbatia tukawa tunalia wote, hapo ndio alipata fursa ya kutoa ya moyoni mwake.
"Clinford nimekata tamaa ya maisha najuta yaliyokwisha tokea, nilikuwa tayari kumsamehe clement maana hata mimi ni mchafu kuliko, lakini amekufa clement, clinford nimetembea na wewe, clement, mlinzi na kibaya zaidi baba mzazi nina laana ya mzazi ona sasa nimejiharibia hata kizazi sina tena mimi ni wakufa tu clinford"
"Noo cleme mungu ni mwenye rehema atakusamehe, usione watu wanatembea barabarani vifuani mwao wamebeba makubwa hayo madogo cha msingi kuomba rehema, kisha tuungane kuwauguza wazazi wetu naomba usiweke mawazo haya mabaya maana si ewewe ila shetani ndani yako yaepuke hayo"
*************
Niliumia nilipomuona mama yangu awezi kutembea tena alipararaizi upande wa kushoto roho iliniuma mno kwani mimi nilikuwa chanzo, tulimsukuma na kibaiskeli huku moyoni najishuhudia mengi ya kunihukumu, ila niliendelea kusukuma kile kibaiskeli mara nilisikia nesi wawili wanakuja kwa mwendo.
"Ni yule au* nesi mmoja aliuliza
" ndiyo huyo mvulana" alijibu mwingine
"Kaka samahani unaitwa na baba yako" alisema yule nesi wa kwanza.
*************
Kwa unyenyekevu mkubwa nilikaa chini kusiiliza maneno ya mzee.
"Mwanangu clinford nakuomba msamaha kwa yote yaliyotokea kweny familia yetu ila ni nyie kuwa hapo mlipo ni historia ndefu huko nyuma baba yenu nilikuwa sina kazi mjini zaidi ya kuangaika kwenye maofisi kutafuta kazo bila kupata ikawa siku moja nilipopata kazi hali haikuwa vile nilivyodhani.
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Nilikuwa na kiu ya kuendelea kujua kuhusu maisha ya mzee ila kikohozi kilipunguza concentration/umakini wa kufatilia jambo lile nilichukua maji kwenye chupa nikampa baba akanywa angalau kikohozi kikatulia.
"Baada ya kuangaika zaidi ya miaka miwili bila kupata ajira nilikata tamaa nikaamua kuondoka dar na kurudi simiyu(sehemu aliyokuwa akiishi awali) hata huko sikujua naenda kufanya nini ila rafiki yangu niliyewahi kusoma naye tabora boys nilikutana naye kwenye msafara wa kukata tketi tazara, nilishangaa maana ni muda mrefu umepita toka tulipoachana kwa mara ya mwisho"
**********
JINSI ILIVYOKUWA..
"vipi ndugu yangu za siku nyingi? Aliongea Billy
" wouw! Ni muda sana bila uko wapi siku hizi? Sikujibu kile nilichoulizwa zaidi ya kuunganisha mazungumzo.
"Nipo na wizara ya ujenzi nafanya kazi kama injinia msaidizi katka miradi ya miundombinu ya barabara" aliongea billy kwa bwebwe.
"Oooh kweli mungu amtupi mja wake billy naomba nishike mkono usiniache ndugu yangu hapa unaponiona narudi simiyu nimetafuta kazi bila mafanikio yeyote"
Niliongea kwa masikitiko
"Kwa sasa nasafiri kikazi naelekea shinyanga wewe nenda nikirudi nitakutumia barua ya kuja kufanya kazi wakatu nimeshatengeneza nafasi sawa" aliongea billy kwa namna nilivyomtazama alikuwa ni tofauti na billy wa kipindi kile shule kwani alikuwa mjanja mjanja kipindi hiki ikabidi niitikie tu.
Tulibuku tiketi kabla ya kusafiri yeye billy alikata daraja la kwanza mimi kwakuwa sikuwa na fedha nilikata daraja la mwisho, tuliachana pale nikiwa sina imani kamq billy atanitafuta tena.
********
Maisha mwanza hayakuwa mazuri nilikuwa nafanya biashara ya kutengeneza bakoroboi na kuuza angalau nipate fedha ya kula.
Muda ulizidi kusonga sikupata barua kutoka kwa billy mpaka nikapoteza imani na hiyo kazi.
Maisha yalizidi kuwa magumu zaidi ilikuwa siku hiyo jioni sikufanikiwa kuuza koroboi hata moja ambayo nilikuwa nayapanga sokoni. Nilirejea nikiwa mnyonge maana kiasi cha fedha nilichokuwa nakipata ni kidogo mno nacho nilikihifadhi ili endapo nitahitajika nirudi mjini nisichelewe. Mambo yalizidi kuwa magumu kuna wakati nalala na njaa au kula hata mlo mmoja kwa siku ili mradi mambo yaende sawa.
Hali ya simiyu ilinishinda na ule ukimya wa billy ulinifanya nifikiri kurudi dar-es-salaam ili kama kazi nihisubiri hukohuko.
*********
Sikuwa na cha kula njiani ndani ya treni, hapa pembeni nilikuwa nimekaa na msichana mzuri aliyeonekana ametoka shule anarudi nyumbani. Muda wote tulikuwa kimya kwa ile safari toka imeanza. Siku hiyo jioni watu walikuwa wamelala kutokana na uchovu wa safari mimi sikupata usingizi kwani nilikuwa na mawazo kichwani kwangu juu ya hatma ya maisha yangu na uko niendako. Nilisiikia mtu anavuta begi(yule msichana) nilimvizia na kumkamata tuliangaishana mpaka watu waliamka*
**********
Safari ilikuwa ndefu ila michale ya saa kumi jioni tulianza kuingia dar nilitabasamu sana yule mdada ndiye aliyekuwa akinisaidia katika ile safari alinipa anuani ya kwao na kuniahidi pindi nitakapomtafuta atanijibu kwa wakati. Aliniachia kiasi kidogo cha fedha shilingi kumi, ilikuwa ni kiasi kikubwa sana cha fedha hata alipotoa alikificha sana maana nyakati za nyerere hapakuwa na ubadhilifu wa fedha kama nyakati hizi hivyo ukionekana na kiasi kikubwa cha fedha hukumu yako ni jera umepata wapi kiasi kikubwa cha pesa kama hicho(socialism era)..
Nilifikia manzese maana ambapo palikuwa na nyumba chache sana, hapo nilimtafuta mjomba wangu akiyekuwa anaishi hapo toka nikiwa dar nyakati zile nilikuwa naenda kumsalimu.
Nilishtushwa niliposikia kuwa mjomba tayari alikuwa ameama mazingira yale nilichoka nikakaa chini na kushika kichwa "nitaenda wapi mimi?
Nilikosa mtu wa kunisaidia nikaanza kufanya biashara ndogo ndogo ili kujikwamua kimaisha haikuwa rahisi mpka siku zilipotangazwa dhabuni nikaiona kupitia gazeti la the citezen nikaamua na mimi kujaribu bahati yangu ndipo nilipopata bahati ya kupata kazi...
Nyakati zile hapakuwa na changamoto kama nyakati za sasa ilipofikia kipndi nikawa nafanya kazi chini ya wizara ya ujenzi hapo ndipo yalianza mizengwe wakati huo tayari nina familia ya watoto wakubwa tu clement, clementina na cliford, rafiki yangu wa muda mrefu Billy alinieleza kuwa kama nahitaji kuongezewa mshahara au cheo kikubwa zaidi twende kwa mtaalamu(sangoma) ili afanye mambo na kunipa dawa za kuweza kunifanya nikubalike na wakuu zangu wa kazi.
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Nilikubaliana na masharti yote kutoka kwa sangoma ila lilikuja suala moja lililonipa shida.
"Suala lipi baba" aliuliza clinford
"Mganga aliniambia km unahitaji kufanikiwa zaidi tembea na mtoto wako wa kike"
'Kheeee ili iweje sasa" alizidi kuhoji clinford
Ilikuwa ili nifanikiwe mambo yangu, nilipata shida sana ila mama yako aliposafiri ndipo nilipofanikisha malengo yangu hali ambayo ilinisaidia sana kazini na kipato.
**********
CLINFORD.
Nilimtazama baba akinisumulia kwa shida nikajikuta machozi yananitoka nikamtazama tena nikagundua hata kuhema kwake kulikuwa si kwa kawaida.
"Clinford mungu akusaidie mwanangu usome kwa bidii zile ndoto zako za kuwa daktari siku moja zitimie sisi kazi yetu duniani imekwisha penda familia yako na kamwe usiwasahau mimi nilipambana kote huko ilimuishi vizuri na isitokee siku mkakosa mahitaji muhimu, mungu"
Niilisikia neno la mwisho "mungu" ila hakumalizia akawa kimya nilimshika mkono wa kulia nikauweka kweny paja langu la kushoto kisha nikamfunika vizuri na shuka " daddy pumzika utanimalizia baadae najua umechoka" nilimkisi kwenye paji la uso nikatoka nje angalau kutafuta chakula maana nilikuwa na njaa mno.
Nilipokuwa kantini pale hospitali nilimpigia simu dada clementina kujua anaendelea nyumbani simu iliita bila kupokelewa nikampigia shangazi akawa anaongea kwa kutokuwa na utulivu.
"Shangazi ebu tulia kwanza una nini kuna nini?
" dada yako shangazi kwanini lakini clementina? Aliongea shangazi
"Amekuwaj sasa shangazi?
" anatokwa na mapovu na mwili wote unatetemeka"
Niliacha kula ili niende nyumbani tumuwaishe clementina hospitali maana shangazi peke yake asingeweza kumudu wakati nataka kutoka nikakumbuka kuwa sikuacha mazingira salama nikapitia wodini nilishangaa kuona pale kitandani baba kafunikwa shuka tofauti na lile.
**********
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Maisha yangu yalibadilika kwa kiasi kikubwa sana toka niliposhuhudia ndani ya mwaka mmoja nampoteza baba na kaka huku nikimuacha mama akipooza na dada clementina akiondoka pasipojulikana baada ya kupona tatizo lake nilikuwa mpweke kila nikikumbuka familia ile leo nipo na mama pekee ndugu wengine siwaoni.
Niliishi maisha ya wokovu nikiamini mungu pekee anaweza kusaidia maisha yangu kwani yote yaliyotokea yalikuwa ni funzo kwangu.
**********************MWISHO*********************
0 comments:
Post a Comment