Search This Blog

Thursday, 19 May 2022

UTAMU WA SHANGA - 3

 





    Chombezo : Utamu Wa Shanga

    Sehemu Ya Tatu (3)



    Tulipokuwa tumelaliana Mariamu akaniletea mdomo wake lakini nikapeleka mdomo wangu pembeni.

    " mmmh nini salsa"

    " sitaki bwana siko poa "

    " kwanini?"

    " nahisi kama naumwa"

    " au kwa sababu umepiga mechi sana"

    " nahisi hvyo japo sina uwakika"

    " basi poa usijali ngoja nikuache upumzike"

    " poa nilete juisi"

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    " haya hivi zena ameenda wapi?"

    " aaaah aliniambia anaenda sokoni muda mrefu kidogo nahisi atakuwa anarudi "

    " mmmmmh haya ngoja nikakuchukulie juisi"

    " poa haina noma"nilimjibu huku nikiwa nimelala kitandani na yeye akienda kuniletea juisi hatukaa muda mrefu. Zena nae alilejea huku akiwa amebeba koba kubwa lililokuwa limejaa mazagazaga ya kupika alipitiliza nalo mpaka jikoni akapangapanga vitu vyake kisha akaja chumbani

    " vipi mume wangu ulikuwa umelala!?"

    " hamna nilikuwa nimepumzika tu "

    "Haya nimekuletea maembe yako"

    " poa ntakula mchana ...alafu mbona umechelewa sana?"

    " aaah nilikuwa nakutafutia maembe yako mpenzi Wang"

    " sasa ndo muda wote huo"

    " ndiyo mpenzi wangu"

    " haya poa nashukuru umerudi sana"

    " poa ngoja niende nikapike"

    " poa unapika nini!!?"

    "Wali samaki kibua pamoja na nazi"alinijibu zena huku akiwa anatoka chumbani kwangu alipofika mlangoni alikutana na. Mariamu akiingia huku ameshika grasi ya juisi mkononi waliangaliana kisha Mariamu akaniletea juisi.

    " mlikuwa mnaongea nin?"

    " aaah kunavitu nilimuagiza sasa ndo kaniletea"

    " haya ila mwenzio Leo sijui najisikiaje"

    " kwanini"...au unajisikiaje"

    " sijisiki vizuri tu"

    " itabidi uwende hospitali" nilimwambia huku nikiendelea kunywa ile juisi aliyokuwa ameniletea Mariamu tuliendelea kupiga story......nilikaa kwa bamkubwa hatimaye likizo yangu ikaisha ikanibidi niludi nyumbani ili niendele na masomo Yangu

    ****** ******** *******

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Nakumbuka siku hiyo nikiwa natoka zangu nyumbani nikielekea uwanjani kucheza mpira ilikuwa kuna bonge la mechi kati yetu timu ya Msewe boys na kimara united Mimi ndo nilikuwa golikipa nakumbuka nilikuwa nimechelewa na nimekuta mechi imeshaanza ikabidi niende walipokaa wenzangu.

    " we hassani vipi mbona umechelewa sana sasa angalia mpaka tumefungwa goli moja" yalikuwa ni maneno ya kocha wetu"

    " nilitumwa na mama"

    " poa anza kufanya mazoezi madogo madogo uwingi " ilikuwa ni kitendo bila kisubili nikapasha mpaka kocha aliponiita ili niingie uwanjani.basi yule kipa mwenza akatoka na Mimi nikaaingia yani nilipoingia tu ilikuwa ni bonge la shangwe.watu wote walipiga kelele mzee nikaelekea golini.tuliendelea kucheza mpira mpaka pale tulipopata penati ilipigwa mpaka mpira unaisha tulikuwa tumeshinda mbili kwa moja muda ukiwa umeenda sana nilikuwa narudi zangu nyumbani nilipofika nilichukua maji ili nikaoge wakati naingia bafuni nikakutana na ashura nae anaenda kuoga huyu ashura alikuwa mpangaji wetu Wa muda mrefu.

    " heeee! Unaenda kuoga saihizi'

    " ndiyo "

    " haya basi tuingie wote tuoge pamoja"

    " hapana we oga mi nakusubili hapa nje"

    " aaaaah bwana hassani twende wote"aliniambia ashura huku akinivutia bafuni.

    " ngoja kwanza ashura" alifanikiwa kinivutia bafuni huku akiwa amevaa kanga moja tu nikaona Leo ushakuwa mtihani.tukaingia mpaka bafuni huku Mimi nikiwa naona aibu lakini ashura alikuwa yupo fasta na kuvua kanga yake

    " vua nawewe tuonge"

    Navua ngoja kwanza " nilimwambia ashura huku nikianza kuvua bucta yangu.ila kiukweli kila nikimwangalia ashura alikuwa ananipa wakati mgumu na wakati huo dudu langu likianza kunesanesa.ashura sijui aliliona vipi maana alilishika huku akiniangalia usoni .....



    ************

    *****************

    *************************

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    nilipofungua mlango nikakutana na salma akiwa amejifunga kanga.moja nyepesi iliyonifanya niweze kuona chuchu za maziwa yake live bila chenga

    " salma vipi"

    " poa tu kalibu ndani hassani"

    " asante nilikuwa nauliza kama ulikuwa umelipia umeme"nilikuwa naongea huku nikimuonea kiabu cha kiaina.

    " ndiyo nimelipia vipi kwani?"

    " mmmh...hakuna kitu"

    "ila bora umekuja maana kuna kazi nilikuwa nafanya ndani hvyo naomba unisaidie"

    " nikazi gani hiyo?"

    " nataka unisaidie kusogeza kitanda"

    "Haaaah..kitanda poa "

    " haya ingia ndani basi" aliniambia salma huku akinipisha mlango na mimi niingie ndani,nilipofika ndani duuuh nilikutana bonge la kitanda mpaka nikajiuliza

    " sasa hili kitanda pekee yangu ntaliweza kweli?"nimaswali nilikuwa najiuliza huku nikisubili kuambiwa nini cha kufanya

    " haya kaa hapo kitanda ujue kabla ya kufanya kazi upate kwanza juisi"

    " duuuuh!... poa mana nilivyokuwa na ubao"

    "Ngoja nikuandalie"

    " poa salma"nilikuwa makini kuangalia mazingira ya chumba cha salma kwani kilikuwa kina samani nyingi za garama.kwanza nilikuta na bonge la kabati languo huku kuna frati ya Samsung kule kuna mziki Mkubwa huku tena nimekalia bonge la Miranda.nikiwa naendelea kutafakali salma akanilete juisi nzito.

    " haya kalibu father house" alinitania huku akiniwekea juisi kwenye stuli yakioo

    " daaaah asante salma"

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "Poa wakati wewe unakunywa juisi ngoja nibadili kanga maana hii naiyona kama inanipa joto"

    "Aaaah!...ngoja basi nitoke ukimaliza utaniita"

    " hamna kaa tu kwani unaogopa mini"

    " siogopi kitu"

    " haya tulia hapo unywe juisi"

    " haya" nikawa nakunywa juisi huku nikijifanya kuangalia pembeni ili nisimuone salma akiwa anabadila kanga,daaaah jamani mtoto anamakusudi huyu kavua kanga kabaki na kufuli tena lapinki huku akizidi kujifanya kutafuta kanga nyingine

    " mmmh hizi kanga nazo sijui nimeziweka wapi?"

    " Haas!?.. sasa jamani kanga zake alafu ajui alipoweka kweli eh eh eh" niliwaza huku nikijichekea kimoyomoyo huku nikiendelea kunywa juisi mara akaja pale nilipokuwa nimekaa wakati naipeleka grasi ya juisi kinywani kwangu gafla salma aliishika ile grasi kisha akaiweka chini huku akiniangalia usoni.huku mkono wake akiupeleka mpaka kwenye bukta yangu iliyokuwa imeanza kutuna kutokana na ukubwa Wa dudu langu

    " mmmh naona Mkubwa kakasirika Mimi kushika himaya yako"

    " aaaah...hamna ndo zake"nilijibu huku nikiona kiabu cha kiume nikapeleka shingo yangu pembeni ili nimkwepe tusiangaliane

    " mbona unaniogopa"

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    " mmm mmh hamna "

    " haya niangalie" aliniambia salma huku akinishika kidevu changu na kukigeuzia kwake,akawa ananiangalia kwa macho ya matamanio akanipelekea mdomo wake tukaanza kulana denda huku nikiwa na msisimko Wa kulishika tako la salma liliokuwa ndani ya mtandio baada ya kuvua kanga,nikapeleka mkono wangu Wa kulia mpaka kwenye wowo lake nikalishika na kuliminya

    " aaaaiiiiiishhhiiiii hassani usinifanyie hvyo" alilalama huku tukizidi kunyonyana denda huku tukiwa tumezama kwenye ylimwengu Wa Mara nikasikia mlango ukigongwa huku mgongaji akiita jina la salma

    " haaaaaa!!!.... nimefumaniwa"

    " nini!?.. tumefumaniwa".......



    " NGO..ngo...ngo" ilikuwa nisauti ya mlango uliokuwa ukigongwa na mgongaji hakuonesha haraka ya kugonga

    " nani jamani?"lilikuwa swali aliloulizwa ngongaji na salma

    " Mimi musa"

    " nani?... umesema"

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    " nimekuambia musa mumeo mbona unauliza sana kwani unafanya nini" aliuliza yule mgongaji huku akionesha kupandwa na hasira,wakati huo nilikuwa natafakali nini cha kufanya mana kufumaniwa kubaya.

    " hassani ingia uvunguni mwa kitanda ujifiche"

    " sasa ntaingiaje angalia kitanda chako kilivyo" niliongea huku nikiwa natetemeka kwa uwoga.

    " we salma fungua mlango nimeshajua uko na mtu ndani kwangu"

    " nafungua jamani natafuta funguo Mme wangu"

    " sasa nitafanya nini " nilikuwa nawaza wakati huo huku nikiwa sina tumaini la kutoka ndani kwa salma nikiwa salama nikiwa naendelea kuwaza huku uso wangu ukiangalia juu nikaona tobo kwenye dali nikaona pale ndo pakutokea.

    " salma" nilimwita salma kwa utulivu huku nayeye akiwa anatetemeka.

    " unasemaje hassani....hapa niliponimechanganikiwa"

    " nataka nipite dalini nitokee chumbani kwangu"

    " mmmh basi panda pale kwenye kabati upite uwondoke"nikapalamia kabati nikapanda dalini huku nikimchungulia salma alipokuwa anaenda kufungua mlango.

    " ulikuwa unafanya nini muda wote huo" lilikuwa swali aliloulizwa na mumewe baada ya kufungua mlango.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    " nilikuwa natafuta funguo Mme wangu"

    " funguo muda wote humu lazima kutakuwa na mtu" aliongea mume wake salma huku akiinama kuchungulia chini ya kitanda kuangali kama kulikuwa na mtu kajificha kumbe mzee nilikuwa juu ya dali namchola tu.alitafuta kila upande lakini hakuona mtu.

    " bahati yako hakuna mtu"



    " kwaiyo mume wangu ulifikili nimeingiza mwanaume chumbani kwetu"

    " ndiyo" alijibu Mme wake salma huku akijifanya kucheka,wakati huo kule juu nikaona bora niondoke zangu nikatokee chumbani kwangu kwakati napita kwenye vyumba vingine nikapitia kwenye chumba ashura,yule dada niliyekula utamu wake bafuni jana nilipotupia jicho kwenye tundu la dali lake nikakutana na kitu kilichonifanya nizidi kuchungulia alikuwa ashura kashikilia ukingo Wa kitanda huku kakibinua kiuno chake kwa nyuma kilichofanya wowo lake kuongezeka ukubwa na kujigawa katikati yani vitobo vyake vyote viwili vilikuwa vinaoneka vizuri.



    " daaaah...jamani natami Wa ashura" nilikuwa nawaza kule juu nilipokuwa nimejificha huku nikiangalia kwa umakini mechi iliyotaka kuanza.basi yule jamaa akatoa dudu lake kisha akatemea mate kwenye mkono wake Wa kulia nakulipaka ili liweze kuingia kwa urahisi kwenye kitumbua cha ashura alipomaliza kulipaka akalingiza huku amelishikilia.

    " mmmmh shiiiiiiiiii chomeka yote" alikuwa analalamika huku akilikatia miuno dudu LA mjamaa yake,huku na Mimi dudu langu likiwa nimeshaanza kudisa nikawa nazidi kuchungulia mechi ya wenza hata joto lilokuwepo kule juu sikulisikia.ilikuwa nimechi nzuri ila kilichokuja kunistua ni pale jamaa alipotangaza kuvunja dafu kabla ya ashura.

    " daaaah sasa ndo unafanya nini Mudy Mara hii umeshamaliza"alikuwa ashura akilalamika huku akitoka Miranda na kwenda kuchukua kitambaa chake kisafi nakujifuta sehemu zake za siri

    " samahani nahisi mawazo tu "

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    " kila siku unawahi kumaliza basi bora uwahi kumaliza ila uweze kupiga hata raundi nyingine"

    " ntajitaidi ashura mi mwenyewe sipendi lakini najikuta inatokea tu." Alikuwa anajitetea yule jamaa huku kainamisha kichwa chini.

    " kwakweli ukiendelea hvyo tutashindwana bwana"

    " basi Ashura ntajirekebisha"

    " ndo hvyo nishakwambia huko......kwanza njaa inauma naomba hela nikanunue zangu chipsi nile "

    " haya chukua hapo kwenye suluali"

    " haya."



    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog