Search This Blog

Monday, 16 May 2022

MTOTO WA BOSS WANGU - 4

 







    Chombezo : Mtoto Wa Boss Wangu

    Sehemu Ya Nne (4)





    Wangesi aliachwa ndani ya korongo lile huku wakiamini kuwa wangesi amekufa .lakini kak yake na Monica liwaz kumsaidia wangesi alitafuta njia ya kurudi ili kuwez kuuchukua mwili kwa ajili ya kuuripotisha kituoni na hatimae kuuzika aliwaomba wenzake akajisaidie lakini lengo lake arudi kuuchukua mwili ule!CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/



    Nyumbani kwa kina Rose kipigo kiliendelea kwa msichana Rose baada ya kufumaniwa mama alimchapa sana hakujali umri wake wala kuangalia kuwa ametoka matiti



    Aimchap kiasi cha rose kuanza kutoa damu mdomoni na puani aliziona lakini hakujali kwa sababu alikuwa na hasira nyingi sana muda huo alimchapa sana kiasi cha rose kukaukiwa machozi alipigika sana Rose



    Baada ya muda baba rose alikuja kutoka huko naa kumkuta Rose akiwa yuko vibaya hali yake ilikuwa mbaya sana hajitambui baada ya kumuona alivyochapwa hasira zilimpanda gafra alimvamia mke wake na kuanza kumpiga mama rose alilaumu sana kwa sababu hakujua kosa la yeye kupigwa na kugeuziwa ubao



    Baada ya kumuona rose akiwa hali mbaya baba yake liamua kumchukua na kumuwahisha hospital aliichukua gari na kumpeleka hospital alimfikisha na kupokelewa na nurses wa hospital ile huku wakijiuliza huyu kafanya nini mpaka kupigwa hivi rose alipelekwa moja kwa moja wodini huku akiwa anahisi maumivu makari sana mwilini mwake!



    Polini kwenye korongo kaka yake na Monica alijitupa kumfuata wangesi aliyelala bila kujua yuko wapi alipumua kwa mbali sana lakini kaka Yake na Monica alihisi wangesi ameshakufa Baada ya kipondo kikali sana!



    Alimkaribia baada ya kumshika mwili wa wangese ulikuwa bado unajoto alimnusa na kumsikilizia vizuri aligundua wangesi hajafa alimtoa mle ndani alimpandisha juu na kuanz kufikilia atamfikishaje hospital ili apatiwe matibabu



    Maana kwa muda ule sehemu ile hapakuwepo na usafiri zaidi ya mtumbwi ambalo halikuwa na dereva aliamua kuwa dereva yeye mwenye alimuweka Wangesi huku kaka yake na monica alianza kuendesha mtumbw ule!



    Kaka Monica aliendesha kwa kasi sana maana alitaka kumuwahisha Wangesi hospital lakin kutokana na boti lazima utumie nguvu alichoka sana na kuishiwa pumzi mtumbwi ulianze kwenda mlama.



    Upepo ulianz kuvuma na kuwapeleka sehemu ambayo sio lakini walitokea wavuvi na kuanza kuwasaidia na walibahatika kuwatoa na kuwavusha upande wa piliCHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/



    Hapo ndipo kaka yake Monica alimbeba Wangesi kwa ajili ya kumuwahisha hospital alitembea umbali kidogo alitokea jamaa na gari lake na kuwapa msaada ili kumuwahisha wangesi hospital.



    Rose nae alianz kutibiwa kwa kupewa dawa za kutuliz maumivu alilazwa hospital pale huku aifikilia kichapo na kukumbuka wangesi huku akijiuliz Wangesi yuko wapi?



    Hakuweza kupata jibu wakati anawaza usingizi ulimpitia na kusinzia cha ajabu alianza kuota akiwa anaongea kam yuko na Wangesi alistuka na kujiseme Wangesi wangu yuko wapi nampenda sana hata kama nilipigwa na mama sitoweza kumuacha Wangesi hicho ndicho kiapo changu!



    Asubuhi ilivyofika kaka yake na Monica alimleta Wangesi hospital ten aliyolazw Rose lakini wodi tofauti rose alikuwa wodi ya kin mam huku wngsei akiwa wodi ya kin baba lakini familia ya rose hawakujua kuwa Wangesi yuko palar na wala kaka yke na Monica hakufahamu kuwa Rose yko hospital ile ile.



    Matibabu yaliendelea kwa wote huku family zote hawakujua kama Rose yuko pale na Wangesi kuwa yuko pale wote wanauguz walipishana masaa ya kuingi na kutoka kitu kilichosababisha wasionane lakini rose alikuwa akiwaza Wangesi alipo huku wangesi alikuwa bado hajapata fahamu maana alipigwa vibaya sana



    Mama Rose alianza kumuonea huruma mtoto wake na kujisemea kuwa hasira hasira lakini na yeye aliniabisha sana hayo yalikuwa ni mawazo ya mama Rose pale hospital



    Aliamua kuingia wodini kumuona mwanae alipofika tu Rose alimwambia mama yake kwamba najua nimekosea na mmenipiga sana kiasi cha kutaka kuniua ila kaa ukija kuwa mapenzi ni hisia na hisia zangu ziko kwa Wangesi japo mmenipiga sitoweza kumuacha Wangesi kamwe Niko tayari nikipona nikamtafute sehemu yoyote ile bora niache shule



    Unasemaje eee eee e,???? Mama aliuliza kwa mshangao mkubwa sana akiwa haamini masikio yake lakini Rose aliitikia na kusema ndio mama unadhani hiki kiumbe tumboni baba yake ni nani kama sio Wangesi?..



    Yesuuuuuuuu unamanisha unaujauzito?.

    Ndio mama aliitikia Rose .

    Mmmmmmmh!! Kazi ipo unadhani baba yako akijua itakuaje?

    Mama nakwambia hunielewi fanyeni harakati zenu zote namtaka Wangesi maana bila yeye sitofanya chochote kuanzia sasa sili namtka Wangesi!





    Baada ya mama kusikia maneno ya Rose aliinama na kusema kumbe mwanangu hakuanza leo na huyu wangesi wanamuda mrefu hivi mpaka anapata ujauzito sas mimi nitaiweka wapi sura yang maana hii ni aibu kwa familia yangu Rose nae aliendelea kukazia kuwa wangesI atafutwe saehemu yoyote ile maana bila yeye maisha atayaona magumu sana mama aliinuka na kuiondoka kwenda kukaa kwenye bench nje



    Baada ya dakika kadhaa aliondoka kuelekea nyumbani lakini aliwaza sana kuhusu ujauzito wa mwanae na lengo lake la kumtaka wangesi arudi kwake sas mimi nitampatia wapi jamani huu nimtihani maana sijui kwao



    Baba nae alikuja kwa ajili ya kumuona mwanae maana mama alikuwa ameshaondoka kuelekea nyumbani baada ya baba kufungua mlango Rose aliita wangesi kitu ambacho kilimfanya ashangae kwanza maana aliwaza wangesi amekujaje pale waakati tulimuuwa na kumtupa kwenye korongo alimfuata na kumuuliza Rose mwanangu mbona unamtaja wangesi kulikoni tena,



    Rose alisema kwani mama hajakuambia

    mzee alishangaa na kusema mimi sijaongea na mama yako tangu tugombane hajanisemesha sasa ataniambia nini mwanangu niambie kuna niniCHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/



    Basi nend umuombe mama msamaha na mmalize tofauti zenu maana mimi nategemea ushauri kutoka kwenu na pia nikwambie baba mimi nampend wangesi wangu hivy fanya njia yoyote niweze kumuona wangesi hapa



    Unasemajeeeeee wewe maana sijaelewa ulichosema nielekeze vizuri hivi wewe umewaza nini mpaka kuniambia ivo mimi baba yako maana sio rahisi kwa mtoto wa kike kutamka maneno kama hayo kwa baba yake tena kwa jiamini bila woga.Labda nikwambie kitu Rose kwa wangesi unayemtaka hapa hata kuja maana sitaki kumuona kwangu sitaki kabisa labba nikwambie ukweli



    Rose alisema baba usipofanya hivo mwanao utanipoteza hutoniona nyumbani tena nakwambia ukweli ndio huo nampenda sana wangesi na isitoshe nina mtoto wake tumboni anahitaji kulelewa na baba yake na sio mama yake tu kama wew ulivyonilea na mama na mimi nataka nimlee na baba yake



    mzee aliinua mkono na kutaka kumpiga Rose lakin bahati nzuri mama yake alikuja akitokea nyumbani akiwa ameshikiraia chakula kwenye kikapu mama Rose alisema baba Rose kuwa na moyo wa huruma maana mwanao anaumwa japo nilimpiga mimi na wew unataka umpige tena



    Hapana mke wangun mwanao anakiburi sana hawezi kuniambia kuwa anaujauzito na kunikomalia kuwa nimtafute wangesi nimlete sas nasema wangesi simleti na nyumbani mwanao atahama



    Mama rose alikaa kitandani huku Rose akiwa analia kwa uchungu mklubwa sana akisema nawaambieni wote bila wangesi hapa siwaelewi aiseee baba alitojka nje kwa hasira sana huku akiwaza maneno ya mwanae na kusema mwanangu nampenda san na anachokitaka ni wangesi huu ni mtihani mkubwa sana nitampatia wapi wakati wangesi tumeshamuua na kumtupa ndani ya korongo



    Alitaa kwemye benchi gafla kaka yake na Monica alitokea alikuwa amemletea chakula wangesi ambaye alikuwa ameshapata fahamu huku wangesi alilia sana alipokumbuka alivyotaka kufanywa kinyume na kundi la watu machungu yaliongezeka zaidi baada ya kumuona kaka yake na monica alilia sana mwisho alijikaza na kusema kwa kuwa bado natibiwa ngoja nitulie tu



    pale nje baba Rose alishangaa sana kuonana na France pale hospitalini ambae ndie kaka yake na Monica alimuuliza kwa nini yuko pale. Kaka yake na Monica alijibu alimleta mtoto wa mjomba wake aliogopa kuongea ukweli maana angezua mjadala pale hospital



    Baba Rose alisema nimemleta mwanangu Rose ukitaka ingia wodi namba nane umuone maana amenichanganya sana na maneno yake ya kijinga eti anamtaka wangesi sas mimi nitamtoa wapi mimi maana tulimuwa na kumtupa korongoni sas kule nani ataenda na mimi nimechanganyikiwa mwenzio nimekosa cha kufanya.





    Baba Rose akiwa bado na kaka yake na Monica pale hospital alijaribu kumuuliza kuwa Wangesi watampata wapi maana Rose hahitaji kula na ukizingatia na hali yake aliyonayo ndio inayoniumiz!



    Kaka yak na Monica alimtazama na kusema sehemu ya kumpata hio shuhuri nyingine maana tulivyompiga tumliuua nadhani ameshakufa hivyo kumpata Wangesi akiwa hai nivigumu hapo ni kumuuelez ukweli tu kuwa tulimpiga na kumuua maan hakuna njia nyingine .



    Mzee alisema unataka tufungwe wew huoni kuwa tutakuwa tumejichimbia shimo wenyewe embu sikia yule nimwanangu ndio lakini nitajua jinsi ya kuongea nae atnielewa tu.



    OK sawa aliitikia kaka yake na Monica muda huo aliingia wodini na kumkuta wangesi amekaa alimwangali alitabasam na kusema samahani ndugu yangu kwa yaliyotokea wala sikuwez kufahamu kama ni wew nisamehe siunajua kazi za kutumwa ndugu yangu

    .

    Wangesi alimuangalia kaka yake Monica na kusema nashukuru mmeweza kunionesha dunia jinsi ilivyo maan duniani tuko watu wengi lakini binadamu wachache sana hivyo niseme tu natambua kuwa ulikuwa ni ujinga wangu kufanya yale kwa Rose lakini aliyesababisha haya ni mtoto wake mwenyeweCHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/



    Rose maana alinitega sana muda mwingi nilijifanya mjinga lakini yeye alilazimisha kulala na yeye nami sikuwa na hiana nikafanya hicho ndicho chanzo cha Mimi kuingia kwenye mahusiano na yule binti sasa nyie hamkutaka kusikilizia pande zote mbili yaani upande Wangu na upande wa Rose na nina uhakika Rose hwwez kunisaliti wala kunikana



    Maana ananipenda sana hata kama ungelikuwa wew ungemfyatua bro maana alikuwa ananivalia kanga na kichupi tu ndani nililazimika kufanya jukumu langu kama mwanaume lakini nimejifunza sana sitoweza kufanya hivyo tena namuomba Mungu nipone nitafute cha kufanya na sitaki kukaa kwa mtu tena bora niwe nalala mtaroni na asubuhi naamka nafanya kazi zangu



    Kaka yake na Monica alisema kwa mfano Rose akisema anataka kuishi na wew utakubali?.

    Brother kwa mtoto Rose nakubali nampenda sana nitaishi nae mazingira yoyote yale na kamwe sitokubali furaha na tabasam lake vipotee usoni kwake nampenda sana kaka

    Sawa nimekuelewa



    Baada ya mazungumzo Wangesi alitoka nje kwenda kujisaidia maana alitumia choo cha nje aliingia chooni alijisaidia na kumaliza alivyotoka tu gafla alikutana na mama Rose macho kwa macho



    Wangesi alitaka kukimbia maana alihisi amefuatwa pale hospitalini alitetemeka mama Rose nae alimkazia macho na kusema umefikaje hapa?



    Mama nililetwa tu Mimi bila kujitambua maana nilipigwa na kutupwa kwenye korongo nilichukuliwa tu na wasamalia wema na kuletwa hospital hivyo walionileta siwafahamu



    Nisamehe mama niachie basi uhai wangu sitorudia tena maisha ni mwangu kote nimejifunza sana ulimwengu unavyoenda.



    Kule wodini kwa wangesi kaka yake na Monica alistuka na kujisemea huyu dogo ameangukia chooni au maana amekawia alitoka nje gafla alistuka kumuona mke wake na baba rose ambae ndiye boss wake kwa mambo ya uharifu



    Wangesiii unafanya nini hapo njoo huku ilikuwa ni sauti ya kaka yake na Monica Wangesi alitaka kuondoka lakini mama rose alimshika na kusema umeshamuharibu mwanangu yaani nyie vijana wa kizazi cha bongo fleva mnasumbua sana mnajifanya mnajua sasa njoo uangalie hali ya rose alivyokonda kwa ajili yako muda wote anakulilia na kunisumbua huno ndani hali wala hasinzii.



    Wangesi alishangaa sana kuambiwa maneno Yale alihisi ni uongo tu mama Rose alimpeleka Wangesi Wodini kwa Rose aliufungua mlango tu na Rose ile kumuona Wangesi alikurupuka kitandani na kusimama gafla na chupa ya maji aliyowekewa hakuijali



    Alimkumbatia wangesi mbele ya mama yake na kusema nakupenda wangesi wangu ulikuwa wapi jamani Rose alitoa machozi ya furaha ya kumuona kipenzi chake pale pale rose alihisi kupona alikaa kitandani na kufungua chakula alichokuwa amekataa kula



    Alipakua mwenyewe alianza kumlisha kwanza wangesi mama yake Rose na kaka yake Monica hawakuamini wanachokiona walibaki kushangaa tu bila kujua wafanye nini.



    Muda huo ilikuwa ni furaha kwa Rose lakini Wangesi alikuwa na wasiwasi alimugopa sana mama Rose na alikuwa unaogopa zaidi endapo baba yakr na Rose atakuja mazingira Yale ingekuwa kesi kubwa sana



    Mama Rose alianza kuondoa hasira zaje polepole juu ya Wangesi na kujisemea hawa wanapendana sana kubwa jikuwaacha wawe mke na Mme na shule Roe itabidi aache tu nitamtengenezea mradi wake



    Wakati anawaza vile kaka yake na Monica alijisemea pia hawa dam zimekutana San wote walikuwa na mawazo sawa

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Muda huo mlango uligongwa mama Rose alizipiga hatua kwenda kuufungua kumbe alikuwa ni Mme wake amekuja kumuona Rose.



    Mzee alishangaa sana baada ya kuingia ndani alivyomuona Wangesi amekaa wodini tena kitandani akiwa anamlisha Rose alimuangalia kwa jicho la kutaka kumpiga Wangesi nae alivyomuona aalitaka kuinuka ili atoke nje lakini Rose alimkonyeza na kumtka asiondoke Wangesi alijikaza japo alikuwa anakaribia kujikojolea.



    Baba yake Rose alimfuata na kutaka kutoa nje wangesi alimshika mkono na kusema kijana hupaswi kuwepo hapa kwanza umetokea wapi maana nilijua nimeua kumbe ulipona mshukuru Mungu na mizimu ya kwenu baba Rose alilopoka mwenyew bila kutegemea maana alikuwa hataki kusema tukio lile



    Mke wake alishangaa sana maana alikuwa hajui kuwa Wangesi alipelekwa kupigwa kwa sababu ya Rose hapo alianza kumuonea huruma japo mwanzo alikuwa hataki kumuona Wangesi



    Lakini alianza kuwa na imani nae alisema Mme wangu najua unaumia sana kwa tukio hili la mtoto wetu rose na wangesi siwezi kusema moja kwa moja umusamehe ila tufukilie jinsi ya kuwasaidia hawa watoto japo wanevunja sheria za nchi



    Hasa Wangesi maan ndio mwenye makosa tukimpeleka kwenye sheria atafungwa huyu kijana sasa kwa nini tumfunge na huyo mtoto aliyeko tumboni atalelewa na nani?



    Wangesi alistuka alivyosikia mimba alimuangalia Rose na kusema Rose una mimba? Uwiiiiiiii alijutia kuwepo pale maana alijua kuwa lazima apelekwe jera kwa kuwa Rose ni mwanafunzi



    Rose baada ya kumuona Wangesi amekosa amani gafla alisimama kwa ushujaa mbele ya baba yake ,mama yake na kaka yake na Rose alisema hivi



    Wazazi wangu najua mtaumia kwa haya machache nitakayoongea na muda mwingine mtahisi Mimi nimechanganyikiwa lakini niacheni mnione kuwa nimechanganyikiwa hii yote nikwa sababu nampenda sana baba wa kiumbe hiki kilichopo tumboni mwangu



    Huyu ndiye baba yake sahihi na hakuna mwingine atakae kuja na kusema kuwa huu ndio ujauzito wake Mimi Nina uhakika wangesi ndio baba wa mtoto huyu sasa nawaombeni mimi ni mtoto wenu mkinikana au msinikane nitaendelea kuwa mtoto wenu sitoweza kubadilisha ubini wa mama



    Najua nyie niwatu wazima na matatizo mnayajua hivyo nawaombeni niseme kuw Wangesi msimfunge mimi ndio mwenye makosa hakuweza kuniambia chochote juu ya kunitaka nijilaumu Mimi na siwezi kumlaumu wangesi naombeni mnisamehe Mimi au mtusamehe wote



    Ombi langu kwenu wazi nikuturuhusu sisi tuweze kuishi pamoja japo najua masomo yangu yameishia hapa na sitoweza kurudi shule tena nataka nilee mtoto wangu na kuangalia familia yangu hivyo naombeni tu Wangesi aweze kupewa ruhusa ya kutunza ujauzito huu maana hakuna mwingine zaidi yake yeye.



    Muda wote huo mama yake alikuwa analia maana alikuwa anawaza ujasiri alionao mtoto wao kusimama mbele yao na kuanza kuongea maneno mazito kiasi kile na kwa nini anaongea kwa kusisitiza



    Alilia sana Mama yake na kusema mwanangu umeongea mengi na sikutegemea kama itatokea siku nitaumia au utaniumiza kwa maneno makali ambayo yamenifanya kulia mwangu kwa upande wangu sina kinyongo na wew kwa kuwa umeamua kuwa na familia japo imekuwa gafla lakini mungu atakusaidia



    Baba alimuangalia mke wake alisimama na kumshika bega mke wake na kusema umri umetuacha mke wangu hivyo kwa maneno uliyoongea ni dhahiri kabisa kuwa umeonesha ukomavu hivyo ulivyonena wew siwez kukubishia na sina cha kuongea zaidi ya kusema nami sina kinyongo nao na Mungu awasadie tu wafanikiwe .

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Muda huo Wangesi alifurahia kusamehewa lakin aliwaza ataishije na familia yake mpya maana alikuwa hana sehemu ya kwenda akitoka hospitalini alijikaza alimsogelea Rose na kumkumbatia



    Huku baba na mama yake Rose walitoka nje kwa ajili ya kuliongelea hili na kaka yake na Monica nae aliitwa hivyo kikao cha gafla kilikaa muda huo kujadili hatima ya watoto pale pale hospitalini.







    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog