Chombezo : Mzoefu
Sehemu Ya Tatu (3)
Ambako nako sikudumu kwa muda mrefu,Usiku wa tabu ukawa umepita na kuikaribisha asubuhi ya shida.Lisa ambaye ndiye mara nyingi huniamsha kwa salam ya "Gud morn Hunpie", Leo hii hakujibu salaam yangu.Naam! Hapo ndipo nilipoanza kusikia kichwa kikinigonga kwa mawazo,Na bahati mbaya kichwa kinachouma kwa mawazo huwa hakitibiki kwa Hedex wala Panaldo za Kenya, Hupona tu kwa tulizo la moyo!,Je tulizo hilo nitalipata wapi asubuhi hiyo hali mwandani wangu hataki lau japo salaam?. Nilipatwa na upweke wa hali ya juu na kama siku hiyo shule pasingekuwa na mtihani basi hiyo ingekuwa excuse ' sababu' ya kutokwenda.Nikajizoa zoa mithili ya mjeshi aliyenusurika kifo kwenye vita na nikajikongoja kuelekea shule.CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Nashukuru Mungu kwa kunipa uwezo wa kubadilika kutokana na mazingira, Nilipofika shule Lisa alibaki moyoni huku kichwa kikiyafanya yanayotakiwa kufanyika kwa muda huo.Siku hiyo sikwenda na simu shuleni ili niweze kujizuia kutomtafuta Lisa.Hata majira ya jioni yalipojiri na muda wa kurudi nyumbani ulipofika, Nilirudi huku nikiamini ntakuta kitu chochote kipya kwenye simu yangu kutoka kwa Lisa.
Tofauti na matarajio yangu sio simu ambazo hazikupokelewa tu ( missed call) sikuweza kukuta hata salam yangu ya asubuhi imejibiwa.Nikajuta hata kuipekua simu hiyo.Nikaitupa pembeni kisha na mimi nikajitupia kitandani katika hali ya kukata tamaa."Why Lisa??"(Kwanini Lisa) Niliropoka peke yangu kwa sauti kubwa kama chizi huku nikiukumbatia mto kwa uchungu. Lisa hakuwa mtu wa kunifanyia hivi.Ni jambo gani baya nililomtendea hata anitende vibaya namna hii.
Nikiwa bado nagaagaa kitandani na mzigo wa mawazo nilikumbuka jambo moja kuwa Lisa ni mtu aliyenijali sana nikiwa katika hali ya kuumwa hivyo nikamuandikia ujumbe mfupi uliosomeka hivi "Baby m so sick!!" (Mpenzi naumwa sana) cha ajabu baada ya kuutuma tu ujumbe huo ulijibiwa papo hapo kana kwamba Lisa alikuwa akiusubiri kwa hamu. "M sick 2!" ( Naumwa pia). Khaa!! Nikajikuta nashangaa mwenyewe.Japo ujumbe wa Lisa ulinitia kichefu chefu lakini sikuweza kutapika.Sasa Lisa anaumwa nini? Na kama na yeye ana maumivu kama yangu kwanini hataki tuyamalize sasa ili kila mmoja awe huru.Baada ya kujiuliza maswali hayo ndipo kichwa changu kiliponiambia kuwa nimedhihakiwa na kama hiyo si dhihaka basi ni kijembe, pamoja na kupigwa kijembe hicho sikusita kumpa pole kipenzi changu Lisa kwa maradhi yanayomsibu lakini jibu lake likawa lile lile la herufi tatu 'enx'.Jibu hilo likakoroga kichwa changu kama vile brenda inavyoyafanya matunda lakini nikajipa moyo na sikuuacha utawala wa hisia mbaya na hasira kali uchukue mamlaka. ' Lisa ma baby i love u so much' (Lisa mpenzi wangu nakupenda sana) Kwa mara ya kwanza nikamuandikia Lisa ujumbe wa kimapenzi usiotoka moyoni. Naye ni kama vile alilijua hilo akajibu 'K'.K kwangu mimi iliyomaanisha KOSA.
' Lisa una nini wewe?'
'Kwani we unaona nna nini?'
'Kama umenichoka si useme tu!"
'Sema wewe ndo umechoka!'
'Kwa hiyo unaamuaje?'
Baada ya majibizano hayo mazito kwa njia ya ujumbe mfupi hatimaye tulifikia mahala ambapo moyo ulinidunda zaidi ya kitenesi.
'Wee ndo useme unaamuaje!' Lisa alinitupia tena mpira huo na mi sikutaka kumuacha kwani nilikuwa bado nampenda nikaurudisha tena kwake.
'Wee ndo uniambie umeamua nini' Baada ya kumtumia Lisa ujumbe huo akaamua kulipasua jipu.
'Kila mtu afanye yake basi!' Huo ndio ukawa ujumbe wa mwisho kutoka kwa Lisa,Ujumbe ambao ulilivunja daraja la mapenzi lililokuwa likiziunganisha nyoyo zetu.Sikuweza kushangaa hata kidogo Lisa kufikia maamuzi hayo hata kidogo kwani panapofuka moshi pana moto na moshi huo ulionekana mapema sana.Japo tulipendana kwa dhati tuliachana kimasihara sana hata mtu angeniuliza kwanini tumeachana nisingekuwa na jibu la kumpa, Sijui labda Lisa yeye alikuwa nalo.Pamoja na urembo wote na mapenzi ya dhati niliyokuwa nayo juu ya Lisa lakini sikuwa na budi kuachana naye kwani moyo wangu huwa ni mzito saana kupenda pasipopendwa,kubembeleza asiyebembelezeka na kung'ang'ana na mtu mwenye dalili za kutaka kuondoka, Mambo hayo kwangu ilikuwa ni sumu kabisa ambayo inaweza ikaua huba lote la moyo na nisithubutu kupenda tena.
Hatimaye nikayaanza maisha ya peke yangu.Maisha bila ya Lisa, Maisha yaliyojaa chungu tele niliyopaswa kuivumilia. Kushinda mchana kutwa bila ya ujumbe toka kwa Lisa kuliinyima raha siku yangu na Usiku haukufurahi bila kuwasiliana na Kimwana huyo.Namba yake ndiyo! niliifuta kwenye simu lakini ilileta maana gani iwapo namba hiyo niliishika kichwani, Bila shaka hapakuwa na tofauti na kuziba kule wakati huku pako wazi.
Hata baada ya kuuchana na Lisa nilijua ningepata tabu sana lakini haikuwa hivyo, maisha yalikuwa ni ya kawaida sana. Masikini!! Kumbe sikuweza kuyasikia maumivu yeyote kwa kuwa moyo wangu ulikufa ganzi, Lakini vipi ganzi hiyo ikiisha ntaweza kuyamudu maumivu!?.Jibu la swali hilo lilipaswa kusubiri wakati wake ukifika.
Lisa ni kama alikuwa ameniloga vile, Mbona sikutamani kupenda mwingine na muda wote nilikuwa nikimuwaza yeye hata zaidi ya awali tulivyokuwa wapenzi.
Baada ya muda mrefu kidogo kupita tangu nimeachana na Lisa, Siku moja majira ya jioni nilipokea ujumbe mfupi kutoka kwenye namba isiyo na jina. ' Helow Tom i miss u'.Ingawa namba hiyo haikuwa na jina niliweza kitambua, ilinikaa kichwani mwangu kuliko namba yeyote ile.Ilikuwa ni namba ya Lisa.Ghafla nikashtuka toka nilipokaa na kuisoma kwa mara nyingine tena.Ndio!..ulikuwa ni ujumbe toka kwa Lisa. Kama mimi ningekuwa ni mwanajeshi bila shaka Lisa angekuwa kamiss vita,kama mimi ningekuwa ni mchungaji bila shaka angekuwa kamiss ibada lakini mimi ni mtalaka wake sasa kwangu atakuwa kamiss nini zaidi ya mapenzi?, Bila shaka kipenzi Lisa ameyamiss mahaba. Na ukisikia mtu anapunguza sauti ya redio ili asome ujumbe mfupi kwenye simu basi ilikuwa ni siku hiyo.
'I miss u 2 babie! Siku zote nilikuwa naamini wewe bado ni wangu na nilikuwa nasubiri urejee, Nashukuru umerudi Honey!"
Nilikaa kimyackwa muda ili kumpa tumbo joto Lisa kufikiria kuwa ntamjibu vipi kisha baada ya muda nikamtumia ujumbe uliokuwa na dhamira ya kulirudisha penzi letu kitemi.Halafu ikawa ni zamu yangu tena kusubiri kama nimefanikiwa ama laa!!.
"Tom ar u sure on wat ar u talkin abt?" (Tom una uhakika na unachokisema) Lisa alinitumia ujumbe wa king'eng'e kutaka kuthibitisha kuwa hayo niliyosema nimemaanisha ama namchora na sikuwa najibu lingine zaidi ya '100%' .
Lisa alifurahi kuwa moyo wangu hakuwa mgumu na mimi sikuwa mtu wa kinyongo kwake, Akaniomba radhi kwa yale yaliyotokea na kuniahidi hayatotokea tena.
Siku hiyo tulipiga story nyingi huku kila mmoja akionyesha kuwa ana hamu sana na mwenzake na alimkosa kwa siku nyingi. Asikwambie mtu! Mkiachana afu mkarudiana mapenzi hunoga mara mbili ya awali na kila mmoja anakuwa na nidhamu ya uoga kuliko mkizoeana sana, hakuna atakayemuhofu mwenzake. Baada ya kupiga story nyingi na Lisa kwa simu hatimaye nilimuuliza swali ambalo majibu yake yalinipa raha na karaha kwa wakati mmoja.
Niliweza kumuuliza Lisa kuwa yuko wapi saivi naye akanijibu yupo Dar es Salaam.Nikamuhoji tena alikuja lini akajibu kuwa ana muda kidogo.Basi moyoni mwangu nikafurahi sana kuwa mtoto mzuri nnayependa sana yupo karibu na mimi, Sikutaka kupoteza muda papo hapo nikamueleza kile nnachokiwaza.
' Baby plz naomba kesho uje home!' Nilimwambia Lisa kwa njia ya ujumbe mfupi (msg) huku nikitamani ajibu ndio.
'Swtheart mi mwenyewe natamani sana kama ningekuja ila hapa nilipofikia ni geti kali na isitoshe tunachungwa zaidi ya mbuzi' Majibu hayo ya Lisa hayakuweza kueleweka moja kwa moja kichwani mwangu. Japo nilikuwa namwamini nilihisi kama ananibania. Nlitamani hata ampigie simu mama yake Tabora na aombe ruhusa kuwa anakuja kunisalimia hivyo hilo geti kali limuachie lakini nikaenda naye taratibu nione kuwa tutaishia wapi.CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
'Ina maana Hun hata weekend (mwisho wa wiki) huwa hamtoki?'
'Tunatoka lakini tunakuwa na Mamkubwa na Bamkubwa hivyo itakuwa ni vigumu kuonana na wewe'
'Ok Lisa naomba nikwambie kitu kimoja!'
'Tel me bby'
'Siku mkitoka tu plz tel me mnaenda wapi na sangapi!'
'Worry off babie ntakwambia' Lisa alikubaliana na ombi langu na mimi sikuishia na kuridhika hapo, Nilijiona kama mjinga je wasipotoka ama wakitoka na akasahau kuniambia ama akaniambia na mimi nikawa katika mazingira yasiyoniruhusu kufika walipo itakuwaje?, Baada ya kujiuliza hayo niliiona kuwa niliongea bila kufikiri sawasawa na nilazima nitafute njia mbadala ya kuonana na mpenzi wangu kuliko hiyo ya kuwinda kama Fisi, eti Simba abakize mzoga ndiye naye aje kula.
'Bby i have another plan!' (Bby nnao mpango mwingine). Baada ya kimya kifupi kupita nilimtumia Lisa ujumbe huo.
'What plan hun?' (Mpango gani asali)
'Naomba kesho nije kukuona hun!'
'Bby situlishapatana lakini!'
'I know it ma luv bt i cant wait 2 c u plz' (Nalijua hilo mpenzi lakini nashindwa kusubiri kukuona Mpenzi tafadhali' Nilimsihi Lisa naye akanielewa.
'Ok kesho njoo basi lakini tutaonana kwa dk tano tu! Cz nafwatiliwa sana hun!'
'Nimekuelewa bby bt nije mda gani!?'
'Njoo jioni jioni hivi!'
Mwanaume ni mwanaume tu huwa hakubali kushindwa kirahisi rahisi tu baada ya mchezo wa maneno nikafanikiwa kupata ushindi wa ahadi ya kuonana na Mpenzi wangu siku inayofuata, japo kwa sharti la dakika tano tu lakini haikujalisha bora chochote kitu kuliko kukosa kitu. Usiku huo nikalala usingizi wa amani na furaha nikiisubiri siku mwanana inayofwata nikaonane na mpenzi wangu. Hakuna kinachonoga dunia hii kama mapenzi ya kweli na hakuna kinachiweka roho juu kama ahadi ya mpenzi umpendaye.
Japo saa ilikuwa ikitembea kasi yake ile ile lakini jicho langu liliona kama inatembea na break (Kipunguza mwendo).Nilikuwa na hamu ya kuonana na Lisa kupita kiasi.Yaani tangu mawio yalipojiri nilikuwa nikiiangalia saa yangu ya mkononi kila mara, Japo ahadi ilisema tuonane jioni sana hadi kufikia majira ya saa tisa alasiri nilishakamilika kwa kila kitu na ikibaki kuianza safari tu. Siku hiyo shule nilitoroka majira ya saa tano asubuhi, Ilipogongwa kengele ya kutoka nilitoka kama kawaida lakini ilivyogongwa ya kurudi badala ya kurudi nikapepea hadi nyumbani.
Naelewa mpenzi wangu Lisa anahusudu kuniona katika mtazamo wa aina gani! Hivyo wakati wa kuchagua mavazi sikufanya kosa. Nilivaa fulana safi kabisa (form six) iliyonakshiwa kwa rangi za orange na nyeupe kisha nikavaa na pensi ya rangi ya brown iliyonikaa sawia na chini nikamaliza na raba za old star za rangi nyeusi.Mkononi saa peke yake haikunitosha nikaongeza uzito kwa kuvaa ruberband tatu moja ikiwa ya orange na nyeupe zilizoendana na rangi ya fulana niliyovaa na moja ilikuwa na rangi ya brown ili pensi isibaki na upweke. Chini nilikuwa na raba nyeusi rangi iliyokosa support (Haikuungwa mkono).Hivyo nikaisupport kwa kuvaa miwani nyeusi pamoja na kofia nyeusi. Naam! Nilipojiangalia kwenye kioo sikutofautiana na mtu yoyote mashuhuri (celebrity). Nikaridhika na kuianza safari lakini mara tu baada ya kutoka ndani na kupishana na dada nnje kuna kitu nilikumbuka. Nikarudi ndani haraka, mimi si mpenzi wa marashi ( unyunyu) lakini nilikumbuka aina ya manukato anayotumia dada kama ningejipulizia kidogo, hakika Lisa hatotamani kuniachia pindi tutakapokumbatiana, hivyo niliingia chumbani mwa dada kwa siri na kujipulizia marashi yake, Sasa kidume nikawa nimekamilika na kuianza safari ya kuelekea kwa huba la roho yangu! Macho ya matamanio ya kina dada kwenye daladala yalinifanya nijiamini zaidi kuwa niko vizuri ( Nimependeza ).
Kutoka nyumbani kwetu hadi anapokaa Lisa haikuwa mbali sana, ni mwendo wa takribani lisaa limoja ukijumlisha na foleni.
'Hey bby m so cloz jiandae kutoka' (Hey mpenzi nipo karibu sana jiandae kutoka) nilimtumia Lisa ujumbe huo na yeye kitendo cha kujibu tu ikawa tayari nimeshawasili.
"Aaaaaargh sheeet!!" Niling'aka mwenyewe mara baada ya kukumbuka ya wahenga kuwa mkono mtupu haulambwi.Ndio nilikuwa nimependeza lakini hiyo haikutosha kumpumbaza Lisa kuhusu zawadi yake aliyoniambia nimletee, Bahati nzuri mtaani kwao nako palichangamka nikaliendea duka moja kubwa ili kuona kama naweza kupata nnachotaka, Baada ya kufika dukani muuzaji aliniona kama nashangaa vile lakini hakujua nilitazama lakini sikuona, kichwa kilifikiri kwa upesi kuwa ninunue nini maana mpenzi wangu alikuwa anapenda vitu vikuubvitatu chocolate ya dairy milk, maziwa ya unga ama biscuit za eet sum mor. Baada ya kufikiri kwa muda nikachukua maziwa ya unga na dairy milk, Nikiwa bado nipo dukani simu yangu iliita " baby uko wapi jaamani" sauti laini ililalama kimahaba. Sauti hiyo ilitosha kabisa kunisahaulisha hadi chenchi, muuzaji naye akafaidika na mapenzi yangu juu ya Lisa. Nikaondoka chap chap kuwahi tulipo panga kukutana, Nilifika kweli na nikamkuta Lisa, kitendo cha kumuona tu ikawa ni sawa na jua lililomulika rohoni mwangu kila kitu kikawa wazi ( mapenzi ya dhati ) taratibu nikamkumbatia Lisa na P.K iliyokuwa mdomoni mwangu ilipata tabu kwani sasa ilitafunwa na watu wawili na kama hiyo haitoshi ikatolewa kabisa na kuziacha ndimi zetu pekee kufanya mchezo ulioleta utamu.Hakika ndani ya dakika chache tu tulikuwa tumeshapotea kwenye dunia ya kawaida na kuzama kwenye ulimwengu wa peke yetu, ni bahati nzuri tu kilishaanza kuingia kigiza cha usoni hivyo hatukuonekana na wengi na hata kama ingekuwa ni saa saba mchana nisingemuhofu mtu.
"Mmmh ulimi wako haujaacha ukorofi wake tu!" Nilimtania Lisa kimahaba kwa kuninyonya vizuri naye akaachia tabasam na kuzing'ata lips (papi) zangu kwa lips zake akiwa na maana niache utani.
"Bby tukae basi pale tupate walau dinner pamoja!" Nilimshawishi Lisa huku nikimuonyeshea kwa kidole hotel iliyokuwa karibu yetu.
"Baby haiwezekani yaani hapa tu nimeaga naenda dukani na mtaa huu una wambea hatarii!" Alijitetea Lisa huku akiniangalia kwa jicho la upole na mimi sikutaka kumshawishi zaidi tukaachana na swala hilo na kupiga stori zetu. Kikubwa nilimsisitiza Lisa aache kuzingua katika mapenzi kwani moyo wangu nimemkabidhi yeye.Tuliongea mengi kuhusu mapenzi yetu hadi Lisa alipoaga na kutaka kuondoka.
'Naomba mkono wako wa kulia tafadhali!' Nilimwambia Lisa huku nikiwa nimeshaanza kuukamata mkono huo, naye hakunizuia kufanya nilichotaka kukifanya, nilimvua neckless ya silver yenye kidani cha kopa aliyokuwa kaivaa mkononi.
"Bby all i need for you is Love! Just love me!" (Mpenzi vyote nnavyohitaji kutoka kwako ni mapenzi! We nipende tu) Nilimwambia Lisa alipokuwa akinisaidia kunivisha neckless yake.
Ni kama vile aliupenda mchezo huo wa kunyan'ganyana vitu kwani na yeye aliingiza vidole vyake katikati ya vidole vyangu kisha akaanza kuzihamisha ruberband pana toka kwa mkono wangu kwenda kwake!
"Nibakishie hata moja jamani!!" Nilimsihi Lisa alipokuwa anazibeba zote.
"Tulia wewe mii ndo nakupenda zaidi hakibaki kitu hapa!" Lisa aliniambia kiutani lakini akizibeba kweli rubber hizo.
",Bby chukua na moyo wangu basi ukae nao!" Nilimtania Lisa naye akaangua kicheko. Ingawa kikao chetu hicho tulipanga kidumu kwa dakika tano tu,hadi muda huo tayari kilishakula dakika kumi na ushee, kila mmoja hakutaka kuachana na mwenzake lakini ilitubidi Lisa alinipa ulimi wake kwa mara nyingine nami nikaunyonya inavyotakiwa kisha nikamkabidhi zawadi zake na tukawa tumeagana, japo yeye aliondoka lakini mimi nilibaki nimesimama pale pale nikiutazama mwendo wake wa twiga, ama kwa hakika mtoto huyu alipata mibaraka ya pekee sana toka kwa muumbaji na ingawa alikuwa ni mpenzi wangu sikuwahi kumzoea, kila tulipokutana nilimuona ni mpya, sijui uzuri wake ulikuwa unaongezeka kila kukicha au ndio mahaba niue!
Lisa alipofika kwenye kona ya mwisho alinipungia mkono nami nikamtumia busu la upepo kisha akapotea kwenye mboni za macho yangu. Nilikitazama tena kile kidani chake cha silver kilivyong'aa kwa mkono wangu kisha nikakichum na moyo ukatabasam. Nikaianza safari ya kurudi nyumbani huku nafsi ikinisifu kwa kumiliki mtoto mkali.
* * * *
Baada ya muda mrefu kupita huku Lisa akiwa ameshaanza masomo yake ya chuo mkoani mbeya baada ya kukosa credit moja iliyomnyima kwenda elimu ya juu ya sekondari ( A level ).
Hapo ndipo penzi letu lilipozidi kupata changamoto. Awali nikiwa mkoani Tabora nakumbuka nilikuwa ni mtu mwenye pesa mingi hivyo nilitamani kuzitumia na mpenzi wangu Lisa kila wakati lakini cha ajabu Lisa alikataa kata kata, hakuhitaji hata senti tano kutoka kwangu, Hali hiyo ilinishangaza na kuniumiza pia. Kwanini mpenzi wangu hataki pesa zangu? Ama nikidogo? Kila nilipomuuliza Lisa ni kwanini hakuwa na jibu la msingi na wakati mwingine alijibu kiufupi " sasa mimi pesa za nini? " cha ajabu zaidi Lisa alikataa hata out (kutoka) mara kwa mara nahisi aliona ni matumizi mabaya ya pesa. Nilizoea hali hiyo na siku zikapita pamoja na changamoto zake. Lakini sasa siku hizo zilizopita zilirudi kivingine na changamoto zingine. Changamoto mpya ya sasa ilikuwa ni kutoa pesa.CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Ilianza kama utani vile, nimekaa nimetulia unaingia ujumbe mfupi ' bby nna shida na elfu kumi plz' .Hiyo ilikuwa ni mara ya kwanza kabisa Lisa kuomba pesa, moyoni mwangu nikafurahi kweli kwani nilipata nafasi ya kumuonyesha mrembo wangu jinsi nnavyomjali.Sikutuma elfu kumi elfu kumi niliyoombwa nilituma elfu ishirini na ya ziada. Pia nikajipongeza kwa kuwa na akiba tigo pesa kila wakati. Mwanaume akiba bwana, nilijisifu nilipokuwa nausoma ujumbe wa Lisa akinishukuru. 'No need to thank hun (huna haja ya kushukuru mpenzi) chako changu, changu chako' Nilimjibu Lisa kinamna hiyo huku moyoni mwangu kweli nikiona mimi na yeye ni kitu kimoja hivyo hapaswi kunishukuru, Hazikuisha siku tatu kipenzi changu Lisa alirudi tena na Shida ya shilingi elfu thelathini, Pia hiyo nayo kwangu haikuwa tatizo kwani shida za Lisa si ndio shida zangu pia? Au mimi naweza kutabasam vipi hali yakuwa Lisa hana raha? Bila shaka haiwezekani!! Hima hima nikatuma shilingi elfu thelathini na tano pamoja na pesa ya kutolea. Mpenzi wangu Lisa akashukuru sana na kwa mara nyingine nikamsisitiza kuwa hana haja ya kufanya hivyo kwani kunishukuru mimi ni sawa na kijishukuru mwenyewe. Sikushangaa hata kidogo Lisa kurudi baada ya siku tatu tu mara baada ya kuchukua hela, niliamini kuwa pesa niliyompa awali haikutosha kulimaliza tatizo alilokuwa nalo au pengine aliona haya kuniomba pesa nyingi
Siku zikapita na walau sasa palitulia kidogo ila siku ya Jumapili nikiwa nyumani naangalia tv, simu ilipiga kelele kuashiria kuwa ina ujumbe mfupi,japo mi ni mvivu kusoma ujumbe unaotoka kwa namba ngeni lakini nikausoma, nao ulisomeka hivi 'bby sory nw sitokuwa hewan 4n angu leo imedumbukia kwa maji akati nafua, hii no. Ya ma frnd! ur cwry Lisa'.
Lisa anipa taarifa hiyo ya kutokuwa hewani lakini mimi sikuwa na mawazo ya kizembe taarifa hiyo kwangu ilikuwa na maana ya kununua simu nyingine.
Sikuujibu ujumbe huo na badala yake nikapiga simu, Lisa akapokea tukaongea mawili matatu na kikubwa nikamuahidi kuwa atapata simu nyingine kabla ya siku tatu kuisha, akafurahi sana na simu ikakata.Siku iliyofuata mara baada tu ya kutoka shule, break ya kwanza ikawa Kariakoo, Nilipita kwenye maduka tofauti tofauti ya simu nikimtafutia mpenzi wangu simu, pesa kitu gani bwana mbele ya sauti tamu ya Lisa inayonipa usingizi mnono, niliweza kuzishuhudia simu nzuri ( kali ) tofauti tofauti zikiwa zinatabasam katika Maduka ya wahindi Kariakoo hali yakuwa wallet yangu imenuna kwa uhaba wa fedha. Mtu anajikuna mkono unapoishia, nikanunua moja niliyokuwa na uwezo nayo na jioni niliporudi nyumbani nilikuwa na sababu ya kumtafuta Lisa kwa kuwa nilikuwa na habari njema ya kumpa. Naam! Simu yake ilikuwa tayari na nilichohitaji toka kwake ni maelekezo jinsi ya kumtumia. Hilo nalo halikuwa tatizo tena mara baada ya kumpata hewani na mazungumzo kufika tamati, Kazi ikabaki asubuhi kudamkia stendi ya Ubungo kulikamilisha zoezi hilo.
Siku iliyofuata niliituma simu hiyo na majira ya saa nne za usiku Lisa alinipigia kwa namba yake tena kumaanisha kuwa ameupata mzigo wake.Japo alinishukuru lakini sauti yake ilionyesha wazi kuwa hakuridhika na nililithibitisha hilo mara baada ya wiki moja kupita, Lisa aliponitumia ujumbe mfupi kupitia namba ya rafiki yake tena kunijuza kuwa mchana alipoenda mjini wakati wa kurudi simu yake iliibwa kwenye daladala.
Japo mimi ni mwepesi sana katika kufanya maamuzi au kutoa ahadi kwenye mambo kama hayo.Siku hiyo nilikuwa mzito kidogo, Sikuwa mzito kwa sababu sikutaka kutoa anha anha! Hatua niliyokuwepo inaitwa ' natamani nikupe ila sina' . Wiki moja tu iliyopita nilimnunulia Lisa simu iliyokomba akiba yangu yote kiasi cha kuniacha mwanaume suruali leo hii wiki haijaisha karudi tena, hivi huyu Lisa anafikiri mimi pesa napata wapi hali ya kuwa anajua mimi ni mwanafunzi! Eti mi ni mtoto wa kiume hiyo ni sawa lakini mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Ni sawa na askari hatakiwi kulalamika mshahara mdogo akati yeye ni polisi, Kwani Polisi ndio hawana tumbo?
Nilijikuta nawaza mambo mengi kwa mpigo bila kujua pesa ntapata wapi.
Nakumbuka maishani mwangu nilikuwa na ndoto tatu kubwa Ya kwanza nikuifanya familia yangu ijivunie kuwa na mtoto kama mimi na hilo nilifanikiwa, ndoto ya pili ilikuwa nikupata kazi nzuri itakayonifanya niishi bila matatizo ya pesa, hii ilikuwa bado haijatekelezeka na ya tatu ilikuwa nikuwa na msichana mkali mwenye vigezo vyote vya kuitwa mrembo hii nayo ilitekelezeka kwa asilimia zote. Lakini tatizo ni kwamba ndoto ya tatu ilitimia kabla ya yapili.Yaani niliweza kumiliki mtoto mkali kabla sijawa na kazi nzuri, sasa ntamuhudumia vipi!? Hapo ndipo tatizo lilipojibanza. Nilitaka kujilaumu kwa kung'ang'ania nisivyoviweza lakini sikuthubutu kufanya hivyo, Kazi nzuri kwangu mimi itakuwa na umuhimu gani badae iwapo sitapata kigoli mzuri nnayempenda. Hiyo ilikuwa ni hatua tu.Nikaamini siku moja ntaivuka na mambo yatakuwa sawa.
Wiki chache baadae baada ya mawasiliano yatabu baina yangu mimi na Lisa kutokana na mpenzi wangu kukosa simu.Hatimaye nilikuwa na habari njema tena ya kumpa. Niliweza kumnunulia smart phone kali ambayo aliipenda na kuifurahia huku akiiniacha mimi katika dimbwi la matatizo ya kupambana na walinzi wa shule kutokana na kutokulipa ada. Huku nyumbani napo nikilazimika kumpelekea mzee risiti ya kugushi ili anipunguzie tabu.
Matatizo yote hayo sikuyajali ili nimrizishe mke wangu mtarajiwa, Na usiku ulipowadia sauti yake mwanana kwenye simu ikanifanya nizisahau shida zangu zote za mchana.
Ulimwengu wa mapenzi sasa ulianza kunikaribisha kwenye maisha mapya ya madeni na ulaghai, Ili kuyatimiza mahitaji ya kifedha ya Lisa kila mara nililazimika kuwakopa marafiki ( washkaji) au kumlaghai baba anipe hela chini ya kofia ya michango ya shule, michango isiyokwisha kila uchao. Kama mtu asivyoweza kuipiga deki bahari ndivyo na mimi nilivyoshindwa kuyamudu majitaji ya Lisa, Kadri nilivyojitahidi kuyapangua ndivyo yalivyozidi kumiminika mithili ya bondia Mayweather. leo hiki kesho kile kila kinachokuja kina uzito kuliko mwenzake. Nilichoanza kuwaza sasa ni kwamba nakomolewa. Ivi inakuaje baba yake Lisa anashindwa kumuhudumia mwanae hali yakuwa jina lake linavuma Tabora yote kwa umaarufu wa pesa! wazo hilo likaniacha mdomo wazi, kwani familia ya kina Lisa ilikuwa vizuri kiuchumi. Mara ya kwanza nilijua pengine Lisa ananipima ni kiasi gani namjali lakini ni kipimo gani hicho kisichoisha kila uchao??.
Ukweli ni kwamba maisha ya ulaghai, mikopo na kuomba omba pesa kila siku kwa wazazi yalishanichosha na jambo moja nililolifikiria kwa wakati huo ni kuachana na Lisa ama kutafuta njia nyingine ya kunipatia kipato, tofauti na kuomba omba na kukopa!!
Maji ukishayavulia nguo kuyaoga hauna budi, nilishaamua kuwa na Lisa maisha yangu yote sasa vipi nimuache sababu ya pesa, Sikuwa nampenda tu Lisa shauri ya uzuri wake uliopitiliza. Ila moyo wangu haukuwahi kumsajili mpenzi mwingine zaidi yake, Hao ambao nimewahi kuwa nao walisajiliwa na kichwa tu na walipoenda mbali, ubongo nao uliwafutilia mbali kabisa, Lisa daima huishi moyoni mwangu, hata nampofikiria kwenye joto huhisi upepo mwanana unanipuliza.
Sababu hizo ndizo hunifanya nisimshirikishe mtu yeyote yule kwenye mambo yanayonihusu mimi na Lisa japo mficha maradhi kifo humuumbua ni bora kufa kwajili ya kitu flani kuliko kuishi bila sababu. Kwa tabia za Lisa alizozianzisha niliamini nikimueleza mtu yoyote yule basi ushauri wa haraka ambao angenipatia ni kuachana na msichana huyo, ushauri ambao nisingependa kabisa kuusikia. Niliamini ya kuwa hakuna anaejua ni kiasi gani nampenda Lisa zaidi yangu naMungu wangu, hata Lisa mwenyewe sidhani kama anafahamu ni kiasi gani sifurukuti kwake.
* * * *CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Siku chache baadae tangu wazo la kutafuta njia ya kuniingizia pesa lilipotia nanga kumkichwa nilimtafuta na kumpata Bwana Amani.Huyu alikuwa ni rafiki yangu kipenzi wa siku nyingi isipokuwa tofauti zetu mimi nayeye ilikuwa mimi ni mwanafunzi na yeye ni mfanyakazi, ingawa alikuwa ni kijana mdogo bado alikuwa na wadhifa mkubwa katika kampuni yao ya Numerator's Entertainment.Kampuni inayohusika na kuandaa matamasha ya burudani kila mwisho wa wiki. Nakumbuka mara ya kwanza rafiki yangu Amani alikuwa akinisisitiza kufanya kazi katika kampuni yao lakini nilikataa kila siku kwa kigezo kwamba shule kwanza alafu mambo mengine baadae. Lakini leo Bwana Amani alishangaa nimemfwata kwa miguu yangu mwenyewe nataka kazi.
" Lakini wewe si ulisema shule kwanza mambo mengine baadae!? " Amani aliuliza kwa mshangao akizani labda namtania.
"Sikiliza mshkaji (rafiki) wangu Amani mwanzo sikuwa na sababu yeyote ya mimi kufanya hivyo lakini sasa nnayo hiyo sababu ndomana nna haja ya kazi!" Nilimuelezea Amani kwa msisitizo naye akaonekana kuanza kunielewa.
"Wewe au umempiga mtu mimba nini hebu kuwa muwazi!'
" Hamna kitu kama hiyo unajua saivi nakaribia kuua skonga ( kumaliza shule) hivyo nimeamua kutafuta mchongo (kazi) ya kufanya mapema, si unajua tena kukaa hom ( nyumbani) sio issue eenh!!" Nilimfafanulia Amani huku sababu kuu nikiiweka nyuma ya pazia na yeye kwa kuwa ni rafiki yangu kipenzi lazima anielewe tu hata kama nisingekuwa na sababu hata moja.
" Nafurahi shughuli zenyewe unazielewa afu jumlisha na swagger (mikogo) zako tena mbona sana tu!"
Tuliongea mengi siku hiyo na Amani na uhakika wa kufanya kazi ukawa umetiki kwa asilimia mia, mjini Network (mtandao) bhana. Bila mtandao utaishia kuwa mtu wa mipango isiyotekelezeka.
* * * *
Ni Jumapili ya kwanza kabisa Tom nikiwa juu ya jukwaa kubwa linalotazamwa na macho ya wengi ni hapa nikiwa nimesimama kama Mc (msema chochote) wa shughuli hiyo ya burudani kwa siku hiyo hii ni baada ya kuunganisha mitambo inayofanya kazi uwanjani hapo. Ingawa sikuwahi kusomea sound engeenering, Amani alishangaa jinsi nilivyoifanya kazi hiyo ya kuuda sound system kwa muda mfupi. Zawadi moja niliyopewa na Mungu akati nakuja duniani ni kujua kufanya mambo mengi. Hata wazazi wangu walilijua hilo hadi fundi aje nyumbani basi kuna tatizo lililokwenda shule ( kubwa sana). Hii yote nilitaka kufanya kazi kama mtumwa ili niishi kama Mfalme na kubwa ambalo lingenipa raha katika ufalme wangu ni kumuona Malkia wangu Lisa akiwa na furaha.
Hadi mwisho wa shughuli hiyo siku hiyo kila kitu kikawa kimeenda sawa.Boss mkubwa wa kampuni alinisifu kwa kuwa na sauti yenye punch kama B 12, Ingawa mwanzo nilianza kwa kutetemeka kutokana na kutozoea kusimama mbele ya kundi kundi kubwa la watu tena nyomi (wengi) lakini mwisho wa siku Boss mwenyewe alikiri kwamba naweza. Na huo ndio ukawa mwanzo mzuri wa deal yangu kati ya mimi na Numerator's Entertainment.
Utamu wa kazi Pesa. Kiasi cha shilingi elfu sitini nilizozipata siku hiyo kwangu ilikuwa ni kama milioni mia moja sabini elfu. Ni muda mrefu sasa sikuwa nimeshika pesa nyingi za kwangu mwenyewe tangu nilipoacha kazi yangu ya umeneja wa mgahawa wa Bamdogo mkoani Tabora. Nilifurahi sana kwa kuwa pesa zilianza kuninukia tena. Katika elfu sitini niliyopata nikaweka elfu thelathini tigo pesa na pesa hiyo nikaiita kofliny (dawa ya kikohozi) yaani Lisa akikohoa tu nampa. Kisha elfu sita ikawa fungu la kumi ( sadaka ) na iliyobaki ingenisaidia mimi kurudi tena kazini mwisho wa wiki mwingine. Ratiba yangu ya maisha ikawa imekamilika.Siku tano za week enda, shule, siku mbili za weekend, moja kanisani moja kazini, wiki imejaa, maisha yanaendelea.
Huo ndio ukawa mfumo mpya wa maisha yangu. Majira yakasonga na kampuni yetu ikaendelea kukua na kutanuka. Sasa siku ya maonyesho ( show) haikuwa tu mwisho wa wiki, Kampuni ikaiteua siku ya Alhamisi na yenyewe kuwa siku ya show (maonyesho). Hivyo siku za show zitakuwa ni mbili kwa wiki japo hii ilikuwa ni habari njema kwa upande wa mapato lakini kwa upande wa shule haikupendeza kusikiliza. Pesa nazitamani, Elimu naipenda, kwani kuua siku moja ya vipindi vinne shuleni kisha nikaingiza kiasi fulani cha pesa kuna hasara gani? Nilijiuliza na kichwa kikadakia upesi upesi kuwa hakuna shida moyo nao ukaridhia.Hivyo ndivyo siku ya Alhamisi ilivyogeuka kutoka kuwa siku ya shule na kuwa siku ya kazi.
Siku hii begi likawa halibebi madaftari tena bali lina beba nguo za shughuli. Nikawa naondoka nyumbani kwa tiketi ile ile ya nguo za shule na nauli ya mia mbili mia mbili juu. Lakini nikitoka hapo naua root ya shule, nabadilisha nguo nakwenda mzigoni ( kazini ) kama kawaida.
Haikuwa tabu kufanya hivyo na nilipoenda shule siku ya Ijumaa nili cover wenzangu walivyojifunza Alhamisi. Kazi ikazidi kunogeshwa na donge la pesa lililokuwa linaongezeka kila uchwao. Na pesa kama kweli ni chachu ya mapenzi basi iligandisha donge zima la mapenzi. Kwani kutamani kutoa wakati huna ndipo tatizo linapokuja lakini kutoa kama kipo ni kama ilivyo sawa bin sawia. Sasa nilikuwa na amani na mpenzi wangu.
Kuachana na pesa sasa nilihisi kuna tatizo jipya limeingia kwenye penzi letu. Nilihisi upendo wa Lisa umepoa kwa kiasi kikubwa. Sikutaka kukurupuka juu ya hilo nikaanza uchunguzi wangu yakinifu taratibu. nikagundua kwamba kama nisipoanza mimi kumtafuta Lisa basi nayeye atakaa kimya hadi nitakapomuanza. Nikajaribu kukaa kimya siku mbili.Lisa naye akakaa kimya siku mbili hadi nilipoanza kumchatisha tena.
' hellow hun! ' nilimtumia Lisa ujumbe mfupi baada ya siku mbili za ukimya.
'Hellow swt!' Naye akajibu ivyo.
' ur so quet nw dyz wat da prbm? ' (upo kimya sana siku hizi nini tatizo)
' natin wrong hun! ( hakuna tatizo mpenzi)' alijibu Lisa nami sikutaka maelezo marefu nikaachana naye.
" ok enjoy ur tym hun'(sawa furahia mda wako mpenzi)
' tanx bby bt sory nna shida ya ela!'
' lyk how much?' Kama shilingi ngapi vile.
' 15 bby' alinijibu kifupi Lisa. Japo ningeweza kumtumia elfu moja mia tano kutokana na alivyoiandika sikuwa na hiyana nikamtumia shilingi elfu kumi na tano pamoja na ya kutolea.
Lakini cha ajabu alikaa kimya, sawa nilimwambia hana haja ya kunishukuru nikimpa hela kwa kuwa mie na yeye ni kitu kimoja lakini sikumbuki kama nilishawahi kumwambia kuwa hata hela ikifika akae kimya, nikalazimika kumtumia ujumbe mfupi.
' vipi umeipata ' akajibu 'yap' . Hali hiyo iliuchoma moyo mithili ya msumari wa moto kwa kidonda japo nilivumilia lakini chembe chembe fulani za kutomjali Lisa zilishaanza kuijenga roho yangu.
Maisha ya kero ndo hivyo yakawa kiongozi wa penzi letu.Kimya kwa kimya, ujumbe mfupi kwa ujumbe ujumbe mfupi na swali kwa jibu.
Katika vitu viwili vinavyonishindaga maishani ingawa huwa navijaribu mara kwa mara cha kwanza ni kusubiri na cha pili ni kubembeleza.Kuna Vitu nilianza kuhisi vimeshaanza kunishinda kwa Lisa. Kila mara kumuuliza mtu anatatizo gani na anajibu hana, Ilikuwa ni kibarua kinachokera kuliko kuzibua chemba za maji machafu.
Mimi si abiria mjinga kupanda basi linalokwenda nisipopajua, gari lenye shehena ya mapenzi ya Lisa tayari lilishapoteza dira nami nikashuka kimya kimya bila kutoa taarifa. Japo sikumwambia Lisa neno lolote tayari nilishambwaga kimya kimya, Nikawa sihangaiki naye tena kwa ujumbe mfupi wala kwa simu.
Siku moja bila kutarajia Lisa alinitumia ujumbe mrefu kwenye simu uliojaa malalamiko kuwa nimempotezea siku hizi, niliusoma lakini sikuhangaika naye kumjibu. Hakuridhika na kimya changu baada ya muda mfupi akanipigia simu, Sikufanya kiburi nikaipokea simu yake, Leo ilikuwa ni zamu yake kulalamika na kunibembeleza.CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
" Tom nini tatizo lakini mpenzi wangu, mbona umekuwa hivyo!?! Hii ni kauli laini ya Lisa iliyopenya masikioni mwangu na kuamsha vilivyolala. Nadhani alitarajia ntamwambia hakuna tatizo sababu ya tabia yangu ya upole siku zote kwake lakini leo hii sikubakiza la moyoni ' nilifunguka kiroho safi' yote yanayonisibu.Ingawa yeye ndiye aliyepiga simu hakuwa na la kusema zaidi ya kuwa msikilizaji, na hapo yakazihirika ya wahenga kuwa ukimuamsha aliyelala utalala wewe. Hadi mwisho wa mazungumzo yetu Lisa hakuyakubali makosa yake wala hakuyakataa, akawa amenichezea mchezo wa siasa, mchezo ambao naumudu vyema sana, nikajiapia kuwa ntaenda naye sawa. Mara tu baada ya simu kukata Lisa akatuma ujumbe mfupi kuomba radhi ya makosa aliyoyakataa na kwenye ujumbe wake aliweka neno ' kama kweli nimefanya ivyo" neno lililonifanya niamini kuwa hatojirekebisha na kwa kuwa siasa naimudu vyema, ujumbe wake sikuujibu ili ashindwe kuelewa kuwa umefika, nimeusoma, nimemsamehe au la! Huenda akapata nafasi ya kujifikiria tena.Na kweli ikawa hivyo kwani baada ya muda mfupi akatuma tena ujumbe mwingine kusisitiza msamaha ' bby m sorry ma luv najua nimekuuzi!'
"Itz ok no prblm' ( ni sawa hakuna tatizo) kwakuwa hakutaka kukiri makosa namie kwenye ujumbe wangu sikuainisha kuwa nimemsamehe au la!.
'Bt bby m sorry i have a prblm' (Lakini mpenzi samahani nna tatizo) ujumbe huo ukaanza kunichefua kwani nilijua huyu mtoto kilichomleta kwangu ni pesa nikajipanga kumchinjia baharini ( kumnyima)
'Which prblm?'
' ur kiss hun! If i wl ev it m gonna b fine' ( busu lako mpenzi kama ntalipata ntakuwa sawa) Lisa kama alijua vile, aliwasha endcater za kulia na kukata kushoto, nikajiona mimi ndo nawaza pesa, nikajisikia vibaya.
'Mmwaah!' Nikamchumu.
'Hun hujanambia wapi!"
' kwenye shavu bby!'
' ctaki shavu hun nata kwenye lipz!'
'Mmwaaaaaah! Kwa lipz!'
'Ooh thnx ma luv nw m gud!'
Hivyo ndivyo tulivyoagana usiku huo. Nikahisi huba la Lisa kuchomoza tena mithili ya jua la asubuhi, nikalala usingizi mororo usiku huo.
Asubuhi na mapema mara tu baada ya kuamka nilikuta ujumbe mzuri kwenye simu yangu toka kwa Lisa. Alikuwa amenitakia siku njema sanjari na maneno mazurii ya kimahaba, nilipoujibu tu ujumbe huo nilitandikwa kirungu papo hapo (niliombwa pesa).
'Bby nna shida ya shilingi elfu 50 plz help me ma luv if u can' Huo ndio ujumbe nilioweza kuusoma, niliitupa simu pembeni na kushika kichwa!!
"Ooh my God yaani salaam tu shilingi elfu hamsini" niliongea mwenyewe kama kichaa kwa sauti ya chini sana na baada ya kuachia kichwa changu niliujibu ujumbe wa Lisa.
'I cant babie sory'( siwezi baby samagani) naye akanijibu ile herufi yake moja ' K '.
Ingawa nilishatoa jibu la kukataa lakini bado kichwa kiliendelea kulifikiria ombi hilo.
Namkumbuka Rafiki yangu Ayatola mara tu baada ya kurudi hosteli kuishi nyumbani na mimi kuamua kumuuliza kwanini kafanya hivyo, alinipa jibu moja tu "asee kama una mpenzi wako anayeishi hostel akikuomba pesa hata kama huna, kakope uumpe!"
Hiyo ni kauli ya Ayatola iliyojirudia kichwani mwangu baada ya kupita siku nyingi.Sikumuuliza Ayatola kamaanisha nini kwani hata mimi nilishapitia maisha ya boarding (kulala shuleni) kwaiyo najua mtu akifulia (akikosa hela) huwa inakuwaje.
Sikumnyima Lisa pesa kwa kuwa sikuwa nazo la hasha! Nini elfu hamsini hata laki moja ningemtumia ila kilichonikera mimi ni yeye kunigeuza mimi A T M yaani ananitafuta akiwa na shida ya hela tu. pamoja na yote hayo niliichukua simu yangu na kumtumia kiasi cha pesa alichohitaji kwa hasira naye akajibu 'enx hun!' Tukawa tumemalizana kwa siku hiyo huku moyoni mwangu nikijua kuwa atanitafuta tena pesa hiyo itakapokuwa imekwisha.
* * * *
" Hellow Lisa mzima wewe!" Baada ya siku nyingi kupita huku kimya kikiwa kimetawala kati yetu niliamua kumpigia simu Lisa na baada ya simu kuita mda mrefu hatimaye ilipokelewa.
" Mie mzima sijui wewe!!" Sikutaka kuirefusha salaam hiyo moja kwa moja nikaelekea kwenye dhumuni langu la kupiga simu.
"Hivi Lisa maisha gani haya tunayoishi, kama tumelazimishwa bwana!....sasa nataka kujua kitu kimoja unanipenda au hunipendi!?"
"Tom kiukweli naona siku hizi hisia zangu zimeisha kwako yaani sijui najisikiaje...!" Lisa alijibu huku akijiuma uma sikuweza kuvumilia kuendelea kumsikiliza nikakata simu huku akiwa bado hajamaliza kuongea sikutaka kujua kuwa alikuwa anatania au anamaanisha anachokisema. Baada ya kukata simu hiyo nilianza kutetemeka kwa hasira hasa baada ya kujizuia nisibamize chini simu yangu.
Lisa alikuwa ni mzuri ndio hata mimi ni handsome boy jumlisha na wasichana wanaonitongoza kila mara basi sikuona sababu yeyote ya kuendelea kubembelezana na Lisa. Laiti kama angeshika simu yangu na kuingia inbox siku moja na kuona wasichana wenzake wanavyosumbuka kunipata hakika asingenidengulia hata kwenye njozi akilala. Tatizo ni kwamba nilikuwa nampenda sana labda ndomana anajiona yeye ndo yeye.
Usiku huo huo mara tu baada ya kuachana na Lisa nikataka nimkubalie moja kati ya wasichana anayesumbuka sana kulipata penzi langu. Lakini nikaona hizo zote ni hasira na ntajikomoa mwenyewe hivyo nikaamua kuwa mpole tu kuisubiri hatma yangu ya mapenzi.
Kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi, tangu nimeachana na Lisa nashangaa nikawa mwepesi sana katika mambo yangu na hapo ndipo nikaamini bora pengo kuliko jino bovu. Sasa sikuwaza tena juu ya nafsi mbili, sikuwaza simu za usiku wala lawama za kutokujibu msg, kila kitu kina faida na hasara zake.Hasara ni kumpoteza Lisa na faida ni kuishi kwa raha bila kuwaza mbona Lisa leo yupo kimya, mara kanipiga kibomu, ghasia zote hizo zilinipitia kando.
Baada ya hayo yote kutokea wiki hiyo Siku ya Jumamosi majira ya mchana niliamua kwenda beach (ufukweni ) kutuliza kichwa, Mara nyingi kichwa changu kisipokuwa sawa huwa napenda kwenda kutazama mbingu inapoungana na bahari, kwa kufanya hivyo huwa naipumzisha akili. Kama kawaida yangu nilielekea moja kwa moja kigamboni na kwa kuwa nilihitaji utulivu siku hiyo sikwenda kwenye beach maarufu zinazotembelewa na watu wengi na badala yake nilitafuta sehemu iliyokuwa na watu wachache sana na nikaamua kutulia hapo.
Nilijaribu kutofikiria swala la mapenzi lakini haikuwezekana, bado nilikuwa nikiwaza juu ya Lisa. Sababu kuu ya kuachana hakuna lakini ndio hivyo tushaachana. Nikiwa bado nayawaza hayo huku nikitupa mawe baharini kwa mbali kidogo nilimuona msichana mmoja, tangu nilipofika ufukweni hapo alikuwa peke yake, nikadhani labda kuna mtu ana miadi naye ndiye anayemsubiri lakini haikuwa hivyo. Muda uliendelea kuyoyoma pasipo mtu yeyote kuja kuungana naye. Nikaamua kwenda kumsabahi.
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"Dada mambo!?" Nilimsalimu baada ya kumfikia naye akanitizama kana kwamba anajiuliza aitikie salam yangu ama aache ila baada ya mda akajibu kifupi "poa" . Sikufa moyo na mapokezi yake mabaya nikamuuliza tena.
" samahani sijui naweza kuketi hapa !" Huku nikiionyeshea kidole changu pembeni yake.
"Yeah unaweza!" Aliitikia huku akitikisa kichwa.
"Ahsantee!" Nilishukuru nilipokuwa nakaa pembeni yake.
" Mie naitwa Tom!...sijui wee mwenzanguu!?"
"Ooh! Me naitwa Malha!" Alinijibu kwa mtindo ule ule wa (nijibu nisijibu)
"Malha una jina zuri!" Nilimsifia naye akatabasam.
"Wow ahsante Tom!" Aliongea sauti laini saana.
"Malha mtoto mzuri mbona uko peke yako?"
"Mbona wewe uko peke yako?" Badala ya kunijibu swali langu naye akaniuliza kisha wote tukacheka.
"Mie sipo peke yangu nipo na wewe!" Nilimjibu kupotezea hiyo mada
"Na mie sipo peke yangu nipo na wewe!" Naye akalirudia jibu langu kisha wote tukacheka tena.
Malha ambaye alikuwa na uzuri wa kawaida uliotiwa dosari na chunusi kadhaa kwa uso wake huku akiwa na nyodo kiasi niliweza kukaa naye na kupiga naye hadithi za maisha na nyingi zikiwa za mapenzi.
Hatimaye muda wangu wa kukaa beach hiyo uliisha na Malha alinisindikiza hadi kwenye kituo cha dala dala.
"Malha sijui naweza kupata namba yako please!" Nilimwambia Malha daladala ilipokuja naye kwa mtindo ule ule alifikiri mara mbili kabla ya kuchukua simu yangu na kuziandika. Nikapanda kwenye gari nakuondoka.
'Ndo napanda kivuko apaa' nilimtumia Malha ujumbe huo sikumjumlisha kuwa ndio napanda kivuko ila nilitaka aipate namba yangu.
"Poa wangu uwe na safari njema!" Malha naye alinijibu kwa ujumbe mfupi kuonyesha kuwa amemuelewa nani kamtumua ujumbe huo.
Majira ya saa tatu usiku nilipokea ujumbe mwingine toka kwa Malha ' mmmh jamani hata kusema kama umefika'
' ooh m sorry Malhaa nilifika salama '
'Poa usiku mwema!'
'Usiku mwema pia bt am sorry?'
'Sorry for!?'
'Baadae naweza kukupigia simu!'
'Kwenye saa ngapi?'
'Sasa nne nne hivi!'
'Yap unaweza' kwa mtindo ule ule Malha alifikiri sana kabla ya kuujibu ujumbe wangu.
Katika story zangu chache za mchana nikiwa beach na Malha niliweza kujua mambo makuu matatu kutoka kwake.
kwanza alikuwa ni mwalimu wa chekechea katika moja ya shule zilizopo Kigamboni.
Pili alikuwa ni binti wa Kitanga na Tatu alikuwa akisumbuliwa na mpenzi wake.
Ingawa Malha alikuwa akionyesha nyodo za mara kwa mara mbele yangu lakini bado niliendelea kumbembeleza hakujua sikumbembeleza bure ila kuna kitu nilikihitaji toka kwake!
Jambo la msingi nililohitaji toka kwa binti huyo ni urafiki ule wa kushibana (best friend). Niliamini kwa kufanya hivyo ningeweza kujua mambo mengi yanayowahusu wasichana bila kupitia kwa Lisa. Ndio nilikuwa nimeachana na Lisa lakini bado nilikuwa na shauku ya kutaka kujua kwanini tumeachana.Je watoto wakike hawapendi nini? Je wanapenda nini?, maswali yote hayo niliamini yangejibiwa vizuri na Malha hasa ukizingatia kazi yake ni mwalimu pia ni binti kutoka mapenzi yalipoanzia ( Tanga) kwaiyo nikaamini ni lazima atakuwa anajua mengi kuhusu mahaba.
Saa nne urobo juu ya alama kama ahadi yangu ilivyosema nilimvutia waya Malha (nilimpigia simu)
" Ah jamani ulishalala kumbe!?" Nilimchombeza Malha mara baada ya kupokea simu kwa sauti ya kichovu.
"Hata sijalala nipo kwa tv hapa nasinzia tu!" Alinijibu Malha kwa sauti ya mapenzi. Kukataa kwake kuwa hajalala kulimaanisha anataka mazungumzo na mimi, na mie nikalianzisha.
"Ivi Malha kwanini unahisi boy wako anakusumbua hali mpo pamoja?" Lilikuwa ni swali langu la kwanza kwa Malha, mchana alinipa muhstasari na jioni hiyo nilitaka habari kamili.
" Yaani Tom nashindwa hata nianzie wapi!?" Kama kawaida yake Malha alinijibu mara baada ya kufikiri sana.
" I am sorry kama ni swali baya ila kama haupo huru kulijibu achana nalo!" Nilimwambia Lisa baada ya kuona anakuwa mzito kunijibu, na sikumwambia hivyo nikiwa na maana asijibu la hasha, nilijifunza saikolojia moja ya watoto wa kike muda mwingine ukimbembeza sana anaweza asikupe unachotaka, lakini ukionyesha sio lazima ni rahisi kwake kukupatia. Niliituma janja hiyo na nikafanikiwa kwani Malha aliweza kunieleza kila kitu kuhusu yeye na mpenzi wake na hadi mwisho wa mazungumzo yetu nilikuwa nimejua vitu vitano Malha anavyovikosa toka kwa mpenzi wake.
Cha kwanza kabisa ni Muda, Mpenzi wake hana muda kabisa wa kukaa naye muda mrefu na kujadili mambo kadha wa kadha kuhusu mapenzi yao.
Pili,Mpenzi wake hajali mambo madogo madogo, Malha anaweza kumwambia anaumwa yeye akamwambia tu anywe dawa bila kutaka kujua nini kimemsababishia kuumwa.
Tatu, Pindi Malha anapomuhitaji kuongea naye kwenye simu yeye hutumia nafasi hiyo vizuri kumringia kwa kumwambia yupo bize ili nayeye aonekane mtu muhimu.
Nne, wanapokuwa pamoja hupenda kuongea yeye peke yake na hamsikilizi mpenzi wake.
Na tano. Hupenda kumkosoa mpenzi wake karibu kwa kila jambo ili yeye aonekane yupo sawa kila wakati.
Shutuma hizo nilizozisikia toka kwa Malha dhidi ya mpenzi wake zilinifanya na mimi nijisikie mtuhumiwa kwa kiasi fulani toka kwa Lisa. Japo sio zote lakini na mimi kama mbili hivi zilinihusu. Na mimi nilikuwa mpuuziaji mzuri wa mambo madogo madogo, kama Lisa akinieleza tatizo basi moja kwa moja niliekea kwenye utatuzi badala ya kuchimbua chanzo cha tatizo na wakati mwingine nilidiriki hata kusema 'achana na mambo madogo hayo' sikujua kuwa mambo madogo yanazingatiwa kiasi hicho na wanawake.
Kitu kingine kilichonigusa hata mimi nilipokuwa bize na mambo mengine sikutaka habari za mapenzi sikujua kuwa mwanamke ukiwa bize ndipo na yeye anakuhitaji muda huo huo ili kupima umuhimu wake, lakini kama uking'ang'ana na ubize wako basi yeye hujiona mtu asiye na thamani kwako.
Siku hiyo ikapita tukiwa tumeongea mengi na Malha na huo ndio ukawa mwanzo wetu wa kupiga story kila siku usiku.
"Hello Tom mambo!" Japo ilikuwa kila siku mimi ndiye nampigia simu Malha lakini leo hii alinipigia yeye.
"Safi Malha nambie!"
" Tom wajua wewe ni rafiki yangu sana!"
"Ndio najua hata sisi ni marafiki sana!"
"Uko wapi saivi?"
"Nipo hom dia"
"Najua upo hom but wapi chumbani au sebuleni"
"Nipo chumbani hapa ndo najiandaa kulala!"
",ok Tom usinichukulie vibaya lakini!"
" kwanini Malha?...wee sema tu me nakusikiliza!"
"Mmmmmh hapo ulipo umevaa nini!?" Malha aliguna kimahaba kisha akaniuliiza kwa sauti ya uvunguni.
"Mimi huwa nalala na boxer tu kiukweli!" Nilimjibu Malha bila wasi wasi kwani tayari tulikuwa tumeshazoeana kwa kiasi kikubwa sana.
"Tom naomba uivue tafadhali!" Ingawa sikuivua boxer yangu lakini nikamjibu kuwa tayari nimeshafanya ivyo. Sikutaka kumkatiza Malha nilitaka kujua kuwa ana nia na madhumuni gani.
"Na mimi nilikuwa na kikanga kimoja nishakitupa pembeni!!! Aliongea tena Malha kwa sauti ile ile ya huba naingawa yeye ndiye mwenye tabia ya kufikiri muda mrefu kabla ya kuongea leo hii nilimrithi.
"Wow!" Nilizuga baada ya kukosa cha kujibu.
"Tooooom!" Malha aliniita kwa sauti ambayo sijawahi kuitwa hata na ex wangu Lisa.
"Yes Malha!"
"Naomba niilambe koni yako!"CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"Lamba dia!" Nilijibu hata bila kufikiria, ukweli ni kuwa binti huyu wa kitanga alishazipandisha hivyo akili ya kawaida ikatawaliwa na nyege.
"Mmmmh psss...ah..ah Tom unayo Tam aah Tom yako tam!!" Malha alianza kutoa miguno ya kimahaba huku akihema kwa tabu, huwezi amini kufumba na kufumbua koni yangu ikavimba karibu kupasuka.
"Aaaash mmmh oh oh....uh uh Tom tamu!" Malha aliendelea kulalama kwenye simu na mimi uvumilivu ukanishinda nikaitoa koni yangu kwani muda huo ilitishia kuchana boxer!
"ooh Tom chomeka!!... kitumbua changu kimelowa saana aaash!!...ingiza yote Tom!" Malha alifanikiwa kuniteka na kisauti chake cha kimahaba na muda huo mi nilikuwa najaribu kumtuliza askari wangu ( uume) munkari kwa kuminya minya.
" chukua Tom....oh ooops ....yote yako!! Mmmh taam...ooh!"
" nipe baby nipe utaamu!" Na mimi nilianza kujibu mashambuzi rasmi na tuliendelea na mchezo huo mchafu hadi Malha alipopiga ukelele nadhani alikuwa akifika kileleni baada ya hapo tuliagana na kukata simu.
Kwa mara ya kwanza toka nizaliwe, mtoto wa kitanga akawa amenichezesha mchezo unaoitwa sexy phone, Ingawa awali sikutambua lakini hadi mwisho wa mchezo nikawa nimeelewa nini kimefanyika.
Sijui kwa upande wa Malha lakini kwa upande wangu usingizi ulinipaa kabisa, Nyege zilinipanda (hamu ya kufanya ngono) kwa kiasi kikubwa. Japo hakuwa na uzuri wa kuvutia lakini Malha mambo yake yalishaniteka akili, nikajikuta namtamani kwa kiasi kikubwa, muda huo sikukumbuka hata chunusi zake, nilikuwa nikikiwazia kitumbua chake tu.Nikawaza jinsi akinipa ntakavyo kitafuna baraabara,mawazo yangu hayakuwa na tofauti na mtu aliyeonjeshwa asali akataka kuchonga mzinga!.
Nikajibembeleza nilale huku nikitamani asubuhi ifike mapema nimuombe mchezo Malha ili yale mambo ya kwenye simu tuyafanye live.
Hauchwi hauchwi huchwa, Hatimaye pakakuchwa na kitu cha kwanza kufanya nikumtumia ujumbe mfupi Malha hata kabla sijajua kuwa nimeeamka salaama au la!
' gud mon my dia!'
'Morning hw ar u!' Baada ya muda mfupi Malha akawa amenijibu, nikiwa namuandikia ujumbe mwingine nilisikia tena mlio wa ujumbe mfupi, nikasitisha nilichokuwa naandika ili niusome kwanza ujumbe huo nao uliandikwa hivi.
'Samahani sana Tom kwa nilichokufanyia jana bt haikuwa dhumuni langu, sisi ni marafiki naomba tuendelee kuheshiamiana kama mwanzo.tufanye kama hakijatokea kitu nakuahidi ctorudia tena! M sory!'.
Je ujumbe huo toka kwa Malha utaua nia ya Tom???
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
ITAENDELEA
0 comments:
Post a Comment